WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA BAHI, AZINDUA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua daraja la Chipanga wilayani Bahi, Oktoba 19, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI PAMOJA NA WACHEZAJI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao walifika Ikulu jijini Dar es Salaam pamoja na Viongozi wa...
View ArticleJUMUIYA YA JUKWAUPE YATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA WA VIJIJI VYA FUMBA NA...
Wafanyakazi wa Jumuiya ya kuwasaidia na kuwaenzi wazee wasiojiweza (JUKWAUPE) wakiwa katika Kijiji cha Fumba kwa ajili ya kutoa msaada kwa wazee wasiojiweza wa kijiji hicho Katibu Mkuu wa Jumuiya ya...
View ArticleMILIONI 500 ZATUMIKA KULETA NEEMA YA MAJI CHARAMBE NA KIBONDEMAJI
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza na wananchi wakati wa kukabidhi miradi ya maji ya Charambe na Kibonde maji Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya hatua zinazochukuliwa katika...
View ArticleWAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WATAKIWA KUWATUMIKIA...
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu waliohudhuria kikao kazi kilichofanyika...
View ArticleSERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) akifafanua jambo wakati wa ziara yake ya kukagua upatikanaji wa mawasiliano kwenye vijiji mbali mbali vya Wilaya ya...
View ArticleBreaking Nyuuuuzzzz.... : Mfanyabiashara Mo Dewji apatikana
*Apatikana baada ya waliomteka kumtupa viwanja vya Gymkhana Dar*Waliomteka inadaiwa walikuwa wanaongea lafudhi ya South Afrika*MO mwenyewe awashukuru Watanzania kwa dua zao kwakeNa Said Mwishehe,Globu...
View ArticleDKT NDUGULILE AWAAGIZA WATENDAJI WIZARA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAKAZI YA WAZEE...
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na viongozi wa mkoa wa Morogoro na baadhi ya watumishi wa Mkoa huo hawako pichani kuhusu...
View ArticlePOLISI KISHAPU YAKABIDHI GARI JIPYA KUTOKA MGODI WA MWADUI
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akiliangalia gari alilokabidhiwa kwa ajili ya Jeshi la Polisi wilayani Kishapu. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akitoa maelekezo na...
View ArticleSerikali Yawekeza Sh. Bilioni 45 Kwenye Miradi ya Maji Mtwara
Ujenzi wa mradi wa maji wa Chipingo-Mkaliwata, wilayani Masasi katika mkoa wa Mtwara ukiendelea.Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akitoa msisitizo kwa Jumanne Mackenzie, mkandarasi kutoka Kampuni...
View ArticleRostam Wainogesha IOKOTE ya Maua Sama kwenye Jukwaa la Tigo Fiesta Moshi.
Kundi la Rostam linalowashirikisha wasanii wawili Roma na Stamina jana walipanda jukwaani kuimba pamoja na msanii Maua Sama wimbo unaotamba kwa sasa ujulikanao kama IOKOTE kwenye Tamasha la Tigo Fiesta...
View ArticleIGP SIRRO AELEZA HATUA KWA HATUA NAMNA MO DEWJI ALIVYOPATIKANA...INASIKITISHA
*Atangaza msako mkali kuwasaka watekaji,agusia walivyotaka kuchoma gari kupoteza ushahidi *Silaha ya kivita,bastola zakutwa ndani ya gari ya watekaji ,atoa onyo kaliNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiJESHI...
View ArticleMKUU WA WILAYA NAMTUMBO SOPHIA KIZIGO AHAMASISHA VIJANA KUPIMA UKIMWI ILI...
Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiWANANCHI wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameelezwa kuwa wana kila sababu za kuhakikisha wanakuwa na afya bora na salama, kwani afya ni muhimu na afya ni mtaji mkubwa...
View ArticleKAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA FAINALI ZA MASHINDANO YA VILABU VYA KODI
Na Veronica Kazimoto -Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere amefungua fainali za mashindano ya kumi na moja (11) ya vilabu vya kodi katika Shule za Sekondari...
View ArticleWAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA IDARA ZAKE, AHOJI UTENDAJI KAZI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi zake katika kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kwa kipindi cha mwezi...
View ArticleSERIKALI, ACACIA WASAINI HATI ZA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI...
Halmashauri za Wilaya ya Msalala, Shinyanga (Shinyanga) Nyang'hwale (Geita), Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji) na Wadau wa Maendeleo ambao ni ACACIA...
View ArticleWAZIRI MKUU ATOA SIKU 25 KWA WATUMISHI CHAMWINO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA USHIRIKA WA MAMLAKA SACCOS ZANZIBAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali zote mbili, yaani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali ya...
View ArticleTanzania, DRC Zaanza Mazungumzo Ujenzi wa Kinu/Kiwanda cha Kuchenjua Colbat
Waziri wa Madini Angellah Kairuki na mgeni wake Waziri wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) Martin Kabwelulu (wa pili kushoto) wakimsikiliza Mtaalam Mwelezi Martin Sezinga Akiwaonesha mashine...
View Article