Quantcast
Channel: JIACHIE
Browsing all 49586 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MHE. JAPHET HASUNGA AONYA UKATAJI MITI OVYO MKOANI SONGWE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza jana na wananchi kuhusu athari za ukataji miti ovyo kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Isalalo kata ya Wasa wilayani Mbozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CANADA YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI HADHARANI

HATIMAYE Canada imeandika historia baada ya kuwa nchi ya pili duniani baada ya Uruguay kwa kuhalalisha rasmi matumizi ya bangi hadharani kama dawa na starehe.   Jarida la Times nchini humo limeeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MBARAWA AKERWA NA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Mhandisi wa Maji Wilaya ya Nanyamba, Moses Msuya akimuonyesha Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa mpango ya utekelezaji wa mradi wa Nanyamba-Mlanje.Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akikagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yapiga Marufuku Usafirishwaji Wa Kaboni kutoka Mkoa Mmoja kwenda...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (katikati) akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini katika kijiji cha Saza kilichopo wilayani Songwe mkoani Songwe ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAOMBWA KUCHUKUA HATUA KALI WAZAZI NA WALEZI WATAKAOKEKETA MTOTO WA...

Eliafile Ndossi ambaye ni mwezeshaji kutoka Shirika la Tanzania Mindset Network akitoa elimu juu ya madhara ya kupinga Ukeketaji kwa viongozi wa Vitongoji, Vijiji pamoja na wazazi na walezi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUBIRA KUGAWA TAA ZA KISASA ZAHANATI 121 ZINAZOZALISHA ,ILI KUPUNGUZA TATIZO...

NA MWAMVUA MWINYI,PWANIMBUNGE wa viti maalum Mkoani Pwani, Subira Mgalu ,ametoa msaada wa taa za kisasa, zinazotumia umeme wa jua katika zahanati zaidi ya hamsini ,kati ya 121 ambazo zinatoa huduma ya...

View Article

ZIARA YA NAIBU WAZIRI DKT NDUGULILE KIBITI PWANI

Copyright 2007 ©MICHUZI JR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATOA MILION 50 KWA TAIFA STARS

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametoa kiasi cha Milioni 50 kwa timu ya Taifa ya Tanzania.Fedha hizo ni  kwa ajili ya safari ya mchezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKANDARASI WAZAWA ACHENI UBABAISHAJI MNAPOPEWA KAZI

Pichani ni daraja la Kijiji cha Getamok linalosuasua kukamilika kwake kutokana na changamoto mbalimbaliNa, Vero Ignatus, KaratuMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameiagiza kampuni ya Kiure...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WAWILI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Japan hapa nchini Shinichi Goto Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YATUMIA MAAFALI YA SHULE YA MSINGI KANA CENTRAL ENGLISH MEDIUM KUTOA...

 MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza wakati wa mahafali ya 8 ya Darasa la Saba katika Shule ya Kana Eglish Medium Central  School ya Jijini Tanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA AWATAKA WAKULIMA WA NYANYA IRINGA KUCHANGAMKIA FURSA YA UZALISHAJI...

Waziri wa Kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb), (katikati) akikagua mtambo wa kuchakata nyanya akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Richard kasesela (Kulia) wakikagua kiwanda cha Darsh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MABODI AMUOMBEA KURA MGOMBEA WA CCM JANG’OMBE

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadalla ‘Mabodi’ (kulia), akimnadi na kumuombea kura mgombea wa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jang’ombe Ramadhan Hamza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAMBEE YA KUCHANGISHA FEDHA ZA KUBORESHA MAJENGO CHUO CHA ST. MARK'S...

Mwenyekiti wa Kamati ya kuchangisha fedha za maboresho ya majengo ya Chuo cha ST. Mark's Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Agustino Ramadhani akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam kuhusiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON ATEMBELEA BENKI YA CRDB NA KUFANYA MAZUNGUMZO...

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo ametembelea Benki ya CRDB na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, AbdulMajid Mussa Nsekela.Dkt. Tulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii Watakaopanda Jukwaa la Tigo Fiesta Wahudumia Wateja kwenye Duka la...

Msanii Chin  Beez akimkabidhi simu aina ya Tecno R6 na Tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote mteja wa Tigo, Lole Kway. Ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta wateja wanaoenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMKABIDHI WAZIRI JAFO ORODHA YA WATUMISHI

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Selemani Jafo orodha ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ili awachukulie hatua baada ya kugoma kuhamia katika kituo chao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI KUFADHILI TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2019

 Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dkt. Detlef Waechter akibadilishana nyaraka za mkataba wa ufadhili na Mheshimiwa Simai Mohamed Said (Mwakilishi Jimbo la Tunguu),  Mwenyekiti wa  Bodi ya Wadhamini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YAPONGEZA JUHUDI ZA TANZANIA KATIKA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Na Grace Semfuko –MAELEZO Serikali ya Marekani imesema inatambua juhudi za Serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali yatasaidia kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BUNGE LA CHINA

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mgeni wake Mheshimiwa Prof. Lou Jiwei ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China (CPPCC) alipomtembelea hii leo na...

View Article
Browsing all 49586 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>