Mamia wamejitokeza katika mazishi ya Mratibu wa Miss Tanzania
Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es...
View ArticleWANANCHI DODOMA WAIPA HEKO BAJETI YA TAMISEMI
Na Mwandishi Wetu, DodomaIkiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu...
View ArticleCCM WATUMA SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA PAPA FRANCIS
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleJISAJILI, WEKA AMANA NA CHEZA – SHINDA SAMSUNG A25 MPYA KABISA!
Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani iliyojaa nafasi za ushindi wa kweli! Kupitia promosheni yao mpya kabambe, Meridianbet inakupa nafasi ya kushinda moja kati ya simu 5 mpya za Samsung...
View ArticleWAKULIMA KINGERIKITI WAIFURAHI KUPANDA KWA BEI YA KAHAWA
Afisa Ushirika wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Menas Komba kulia,akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Msingi cha Ushirika Kingerikiti,wakati wa ziara yake ya kutembelea vyama vya Ushirika...
View ArticleWABUNGE WAITAKA WIZARA YA FEDHA IIPE FEDHA WIZARA YA TAMISEMI ITEKELEZE...
Na Mwandishi wetu, DodomaWABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu,...
View ArticleMKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI EAC WAANZA JIJINI ARUSHA
Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umeanza leo Aprili 22, 2025 jijini Arusha ambako ndiyo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo.Mkutano huo utakaofanyika kwa ngazi ya Wataalamu Aprili...
View ArticleTRA KUWACHUKULIA HATUA WAINGIZAJI MAFUTA WASIOFUATA UTARATIBU
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema TRA itawachukulia hatua Kali kwa mujibu wa sheria waagizaji na wauzaji wa mafuta ya Petroli na Dizeli wanaokiuka taratibu za...
View ArticleAmerican Roulette Ushindi Kwa Njia Rahisi Sana
Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka...
View ArticleAirtel Tanzania Yadhamini Singida Black Stars kwa Mashindano ya Kombe la...
KAMPUNI Airtel Tanzania imejivunia kutangaza kuendeleza udhamini wake kwa Klabu ya Singida Black Stars, ambapo safari hii udhamini huu unalenga kuisaidia timu hiyo katika mashindano ya Kombe la...
View ArticleTULINDE, TUENZI UTAMADUNI KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU- MAJALIWA
*Asema tusikumbatie tamaduni zinazokwenda kinyume na maadili na ustaarabu*Prof. Kabudi asema sarakasi ni mchezo unaongoza kuliingizia Taifa fedha za kigeniWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema...
View ArticleMaadhimisho ya Muungano 2025 kufanyika Kimikoa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akiwa na viongozi mbalimbali katika kongamano la Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleBALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
-Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – BundaKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa...
View ArticleBUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA TAMISEMI TRILIONI 11.78 KWA MWAKA...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani...
View ArticleJAB YASHIRIKI KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MAENDELEO YA MICHEZO JNICC
Na Mwandishi Wetu.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula ameshiriki Kikao Kazi cha Kimkakati cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo...
View ArticleCheza na Ushinde Sloti ya Juicy Fruits Kasino ya Meridianbet
Juicy Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na alama za ushindi kama vile wilds, ambayo pia huonekana kama alama...
View ArticleTume yaanza kukutana na wadau katika majimbo yaliomba kugawanywa
Na Mwandishi wetu, MaguMWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Aprili 23,2025 ameongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na Wadau wa Uchaguzi katika...
View ArticleINEC yajiridhisha walioomba kugawanywa Majimbo
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamMjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Balozi Omar Ramadhani Mapuri ameongoza kikao cha pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi wa Jiji...
View ArticleBALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi...
View Article40 Imperial Crown, Taji la Utajiri na Meridianbet Kasino
40 Imperial Crown kasino ya mtandaoni yenye safu tano zilizopangwa katika nguzo nne na una jumla ya mistari 40 ya malipo. Ili kuweza kushinda, ni lazima kuunganisha alama tatu au zaidi za kufanana...
View ArticleLISSU AGOMA KUSIKILIZA KESI YAKE KWA NJIA YA MTANDAO
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amegoma kusomewa maelezo ya awali katika kesi kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kwa njia ya mtandao 'video conference'....
View ArticleKILA MMOJA WETU ANA JUKUMU LA KUPINGA UKATILI, TUSHIRIKIANE KUIOKOA JAMII -...
Na WMJJWM - DodomaKATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii na ukatili wa kijiinsia ni la kila mmoja hivyo ameiasa...
View ArticlePesa Kubwa Ipo Meridianbet Leo
WAKALI wa ubashiri Tanzania leo hii Meridianbet wanakwambia hivi nafasi ya wewe kushinda zaidi ya mamilioni ipo hapa. Mechi kibao za ushindi zipo hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti hapa.LALIGA...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA VIWANJA VYA MICHEZO PRIZ ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Viwanja vya Michezo vya Priz katika eneo la Kilimani Unguja Zanzibar...
View ArticleVipaumbele vitano Ofisi ya Msajili wa Hazina 2025/26
Mwandishi Wetu,DodomaSERIKALI imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma, usimamizi...
View Article