Heri ya X-mass kutoka Ngoma Africa Band aka FFU
Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchiniUjerumani inawatakia wadau wote Heri ya Siku kuu ya X-Mass,Amani na Upendo ndio msingi pekee wa furaha ya maisha.Merry X-Mass wadau...
View ArticleTONITE/USIKU WA LEO-XMAS EVE WASHINGTON DC,NEW VENUE,VIP STYLE
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleMEYA JERRY SILAA ASHIRIKI KATIKA KAMPENI YA USAFI KATIKA KATA YA GONGO LA MBOTO
Pichani Juu na Chini ni Mstahiki Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la mboto, Jerry Silaa akiwa na baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wakifanya kazi ya usafi katika eneo la Stendi ya Mabasi ikiwa ni...
View ArticleMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim akimpongeza mshindi wa Miss East Africa...
Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya Exim ya Tanzania Bw. Anthony Grant (kushoto) akimpongeza mishindi wa mashindano ya ulimbwende ya Miss East Africa 2012 Jocelyne Maro, ambaye ni mshiriki kutoka Tanzania,...
View ArticleUSIKOSE MKESHA WA X-MASS NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE LEO USIKU NA...
Kikosi kazi cha SKYLIGHT Bendi kikiongozwa na Joniko Flower kuporomosha burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam. USIKOSE Mkesha wa X-MASS na SKYLIGHT BAND...
View Articlekampuni ya Msama promotions yatoa MISAADA kwa VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA...
Baadhi ya vitu vilivyokabidhiwa kwa vituo vya Msimbazi Center na Chamzi Group kwa ajili ya shereje za sikukuu ya krismasi na mwaka mpya .Mkurugenzi wa Msama Promosheni, Alex Msama (kushoto)...
View ArticleMWAKYEMBE APIGA MARUFUKU VIZUIZI VILIVYOWEKWA NA HALMASHAURI KWENYE STENDI ZA...
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amepiga marufuku na kuagiza kuondolewa vizuizi vyote vilivyoanzishwa na Halmashauri kwenye stendi za barabara kubwa kwa ajili ya kukusanya ushuru kwani...
View ArticleNafasi za Kazi ya Ualimu
Little Wonders Nursery & Primary School (Bagamoyo,Kiwangwa/Msata Road)Ni shule mpya ya kisasa ya bweni,ipo Kiwangwa/msata road nje kidogo ya Bagamoyo umbali...
View ArticleJUST IN; basi la New Force toka Mbeya kwenda DAR lapata ajali ASUBUHI HII
Breaking newss basi la New Force toka Mbeya kwenda Dsm lapata ajali asubuhi hii zaidi ya majeruhi 20 wakimbizwa hospitali. CHANZO CHA HABARI Tone Multmedia Group tumeshuhudia tukio zima . zaidi...
View ArticleClub 327 lands American DJ for New Year’s Eve Celebrations
Club 327 lands American DJ for New Year’s Eve CelebrationsDJ Topspin returns to Dar after one year.Club 327 today announced that the American DJ, DJ Topspin, would be the headliner for the club’s New...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMTEMBELEA MZEE SAID NOOR ABDULKADIR NA KUTEMBELEA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakimsalimia Mzee Said Noor Abdulkadir, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake,...
View ArticleSCHOOLMATES WA ZANAKI GIRLS.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angella Kairuki akishow love na my schoolmate wake Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu katika viwanja vya Mnazi hivi karibuni wakati wa...
View ArticleMABONDIA WA ‘NDONGA ZA MWAKA’ WAPIMA UZITO KWA MPAMBANO WA KESHO
Mabondia wote wakiwa katika picha ya pamoja.Mada Maugo akiwa na mpinzani wake toka Uganda, Iga Jumaa.Mada Maugo akipimwa uzito.Mbwana Matumla naye akifanya zoezi hilohilo.Esther Kimbe akipima...
View ArticleMshindi wa Shindano la Facebook ya Airtel Atangazwa
Mshindi wa jezi ya Manchester united kupitia shindano la Facebook ya Airtel bi.Seba Aggrey akionyesha jezi yake iliyosainiwa na wanachama wa timu hiyo aliyokabidhiwa katika ofisi za makao makuu ya...
View ArticleCLUB Bilicanas yaja na Toto Shoo Krismas ya Kesho
KATIKA kusherehekea sikukuu ya Krismas, Club yenye hadhi ya kimataifa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Bilicanas, kesho inatarajiwa kuwapa burudani kabambe mashabiki wa muziki wa disko...
View ArticleFichuka Development Agency yatambulisha mfumo mpya wa usambazaji wa kazi za...
Kampuni ya Fichuka Development Agency Ltd, leo tarehe 21/12/2012 inatambulisha mfumo mpya kabisa wa usambazaji wa kazi za wasanii ambao umepewa jina la MFUMO RAFIKI (Code number) na utaanza kutumika...
View ArticleRais kikwete aTOA MILIONI 30 KWA MRADI WA KULEA NA KUHIFADHI MBWA MWITU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wasimamizi na wafadhili wa mradi huoRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wawakilishi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambayo imechangia...
View ArticleSalaam maalumu kutoka kwa mdau mwenzetu henry Mdimu.
Pichani kulia nikiwa na rafiki yangu Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti aliyetutumia salamu zake za xmass na mwaka mpya hapa jamvini,ama kwa hakika abarikiwe sana na Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono...
View ArticleASIA IDAROUS,GYMKHANA HILALL NA MARTIN KADINDA WATEULIWA NA KUTOA UAMUZI...
Baraza la sanaa la taifa limeteua majina matatu ya wabuni wa mavazi nchini Tanzania kuwa waamuzi wa shindano la wanamitindo bora wa mwaka wenye sifa za kipekee nchini Tanzania.Uteuzi wa majaji hawa...
View Article