MHAGAMA AAGIZA NEEC KUFANYA TATHIMINI YA UHALISIA WA WANUFAIKA WA MIKOPO...
Na EmanuelMadafa,MichuziBlog,Mbeya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu anayeshughulikia Sera,Bunge, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama ameliagiza Baraza la Taifa la Uwezeshaji...
View Article“SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOVIKABILI VYAMA VYA...
Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) akisisitiza umuhimu wa SACCOS nchini wakati akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Saccos Duniani hafla iliyofanyika katika viwanja vya...
View ArticleMatukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akisisitiza kuhusu hatua iliyochukuliwa na Serikali katika kuwawezesha wajasiriamali wadogo kupata alama ya ubora...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA MRADI WA UMWAGILIAJI MPWAYUNGU UKAGULIWE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wananchi wa kijiji cha Mpwayungu wilayani Chamwino baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Oktoba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)WAZIRI...
View ArticleKUNAMBI ATOA ONYO KWA MTU YOYOTE ATAKAYEBAINIKA KULETA VURUGU NA KUKWAMISHA...
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bw.Godwin Kunambi akizungumza kwenye mkutaano wa hadhara na wananchi wa Mtaa wa Ndani na maeneo ya jirani uliokuwa unahusiana na mpango mpya wa urasimishaji ardhi....
View ArticleZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO...
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongozana na Wananchi wa kijiji cha Wami Luwindo kilichopo Dakawa Wilaya ya Mvomero kukagua mradi...
View ArticleFAINALI ZA MASHINDANO YA VILABU VYA KODI ZAFANA
Na Veronica Kazimoto,Dar es Salaam Fainali za mashindano ya vilabu vya kodi zilizoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), zimefanyika kwa mafanikio makubwa ambapo zawadi mbalimbali zimetolewa kwa...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA KUBOMOLEWA KWA UZIO NA KUSITISHA UJENZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Bw. Godwin Kunambi kubomoa uzio wa mabati uliojengwa kwenye eneo la wazi lililotengwa kwa ajili ya kuchezea watoto na kusitisha...
View ArticleFARAJI MAJIMOTO AIBUKA MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA MKOA WA TANGA
Meza ya Majaji ikijadili jambo wakati wa shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota mkoa wa Tanga, Toka kushoto ni Mecky Manyanga, Adam Mchomvu, Stamina na Moko Biashara.Jaji Mkuu wa shindano...
View ArticleDC MURO ATEMBELEA NA KUKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MBUYUNI
Imma Msumba, Arumeru.Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mbuyuni kilichopo katika Halmashauri ya Arusha Dc ambacho...
View ArticleAJALI YA GARI YAUA WATUMISHI WATANO WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA
Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiWATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula wamefariki dunia leo asubuhi baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupata ajali wilayani Manyoni mkoani Singida.Taarifa ya...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA...
Katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Ndg. Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitawachukulia hatua kali...
View ArticleDC Kinondoni aahidi kutatua kero ya barabara inayokwenda Kliniki ya Heameda,...
VIONGOZI wa ngazi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wamepongeza uongozi wa Kliniki ya Heameda iliyopo Bunju B ambayo imekuwa ikitoa huduma za matibabu ya moyo kwa...
View ArticleVIONGOZI BORA HUANZIA SHULENI
SHULE ya sekondari ya Imperial kwa mara ya kwanza imesheherekea mahafali ya kwanza ya kidato cha nne mahafari yaliyofanyika jana Oktoba 20,2019.Akizungumza Katika mahafali hayo Spika wa Bunge mstaafu,...
View ArticleWANACHAMA 15 KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI WAHAMIA CCM
WANACHAMA 15 wa vyama vya siasa vya upinzani wilaya ya Temeke wamejiunga na chama cha Mapinduzi CCM jijini Dar es Salaam leo.Wanachama waliohama vyama vyao na kujiunga na CCM ni aliyekuwa katibu...
View ArticleWAZIRI WA UJENZI, MHANDISI KAMWELE AKAGUA UJENZI BARABARA SITA DAR-KIBAHA
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Injinia Patrick Mfugale (kulia) akimwelezea Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Issack Kamwele (katikati) maendeleo ya mradi wa...
View ArticleTigo Pesa na Google team waungana kuwezesha Watanzania kulipia maudhui au...
Je umewahi kutaka kununua muziki, cinema, apps au vitabu kwa kusoma kwenye mtandao wa Google Play Store lakini ukashindwa kufanya hivyo kwa sababu hukuwa na kadi ya benki? Tangu Juni yam waka huu,...
View ArticleVIONGOZI BORA HUANZIA MASHULENI-ANNE MAKINDA
SHULE ya sekondari ya Imperial kwa mara ya kwanza imesheherekea mahafali ya kwanza ya kidato cha nne mahafari yaliyofanyika jana Oktoba 20,2019.Akizungumza Katika mahafali hayo Spika wa Bunge mstaafu,...
View Article