NEC YAONGEZA SIKU 7 ZA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
Mkurugenzi wa Idara ya Daftri la Kudumu la Wapiga kura Dk.Sisti Griah akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya uchanguzi, juu ya Tume ya Taifa ya...
View ArticleBALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam...
View ArticleHANSA GROUP SUPPORTS KIBAMBA PRIMARY SCHOOL- DAR ES SALAAM.
HANSA Group of Companies has business networks in Tanzania, Kenya, Zambia, South Africa, Uganda, DRC and India, just to name few. In Tanzania they have distributor ship of Mitsubishi, Fuso and Yokohama...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE AJINYAKULIA WADHAMINI WA KUTOSHA MKOA WA LINDI NA MTWARA.
Katibu wa CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama...
View ArticleMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
Mkuu wa mashindano ya Baiskeli na Barozi wa Umoja wa Ulaya Filiberto Sebregondi akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani)katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Ulaya jijini Dar es...
View ArticleDKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA TATU WA WAKUU WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya...
View ArticleASKOFU CHARLES GADI AFANYA MAOMBI MAKUBWA NCHINI INDIA KUOMBA KUPUNGUA KWA JOTO.
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for all Ministry akiwa katika matukio tofauti wakati akifanya maombi makubwa katika mji wa Hydrabad nchini India ili joto lipungue kwani tayari limekwisha...
View ArticleGLOBAL TV ONLINE : JOKATE AFUNGUKA KUHUSU BIDHAA ZA KAMPUNI YAKE
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleMorogoro yaanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. John Henjewele akifungua mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura yaliyofanyika Juni 5, 2015 Katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Kulia, ni...
View ArticleTANAPA to benefit from Chinese Academy of Sciences
Some of the TANAPA Management team posed in a group picture with a delegation from the Chinese Academy of Sciences after the official signing of the MoU between the two institutions.Director General of...
View ArticleLOWASSA ATIKISA MUSOMA, BUNDA NA TARIME
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais. Waziri...
View ArticleKUPIGA PICHA WATENDA MAKOSA BARABARANI NI KUREKEBISHA TABIA
Picha kama hii inaweza kutumwa katika kituo cha taarifa cha kikosi cha usalama barabarani kwa hatua zaidi.Baadhi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani maarufu kama, RSA.Baadhi ya magari yanayopigwa picha...
View ArticleWIZARA YA ARDHI YAFANYA MABADILIKO KATIKA KODI YA ARDHI
Na Georgina Misama…MAELEZO…DodomaSerikali imekusudia kufuta milki za ardhi kwa wamiliki wanaokikuka masharti ya umiliki ikiwemo kutokulipa kodi ya ardhi kwa wakati.Hayo yamesemwa na waziri wa Ardhi,...
View ArticleSERIKALI KUTUMIA TEKNOLOJIA YA JENI KATIKA KUENDELEZA
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah Saadala, akijibu swali Bungeni Dodoma leo.Naibu Waziri, Wizara ya Kazi na Ajira, Mhe. Makongoro Nyerere (Mb) akijibu swali...
View ArticleMJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE NA DAYNA
WATANZANIA wametakiwa kuwatumia wasanii katika kufikisha ujumbe wa masuala muhimu ya kijamii kwakuwa wasanii hao wanamvuto mkubwa kwa wananchi.Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi...
View Articlewatanzania milioni 21 wapatiwa dawa za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
Catherine Sungura, MOHSW- ArushaZaidi ya dozi milioni52 za dawa zinazotibia magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ya matende, vikope, mabusha,minyoo ya tumbo, kichocho na usubi zimetolewa na...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI,KESHO...
Wananchi wa kijii cha Rukoma kata ya Rukoma wakiwa wamekusanyika wakimsilikiza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara jioni ya leo Bukoba vijijini. Katibu Mkuu...
View ArticleKATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. WILLIBROD SLAA ZIARANI BARANI ULAYA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini Jumamosi Juni 06, 2015 kuelekea Bara la Ulaya ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku nane.Akiwa...
View ArticleAli Kiba na Abdul Kiba watua VOA
Kushoto promota wa Ali Kiba Marekani Dickson Mkama a.k.a DMK , Ali Kiba , Abdul Kiba na Sunday Shomari.2.Kina Kiba wakiwa na Kushoto mtangazaji wa VOA Khadija Riyami , Mamu na kulia kabisa Mr.Tz...
View ArticleTBL YAPATA USHINDI WA USALAMA NA USAFI WA MAZINGIRA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akikabidhi Cheti cha ushindi wa kwanza kwa Meneja Usalama na Mazingira wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda, kutambua mchango...
View Article