Quantcast
Channel: JIACHIE
Browsing all 49386 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOLA KUWAONDOA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA.

Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossiakitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya GolaFoundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMCO YASISITIZA MSHIKAMAO WA KIJAMII.

Na Swahilivilla Blog,  WASHINGTON DC. TANZANIANI muslim Community Washington DC na vitongoji vyake nchini Marekani (TAMCO) imesisitiza umuhimu wa umoja na mshikamao wa kijamii miongoni mwa wanajumuiya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Africa – A land worth exploring.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU YATAWALA CHUO CHA KAMPALA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Kampala (KIU) leo wameandamana na katika chuo hicho kushinikiza warudishe fedha zao kutokana na kuanzisha kitivo ambacho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI.

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM WA BIASHARA NA VIWANDA TANZANIA KUTEMBELEA CHINA KUSAKA FURSA ZA...

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dk Abdallah Kigoda (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 50 ya ziara Waziri Mkuu wa China Zhou...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA...

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO-...

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akisoma hotuba ya uzinduzi wa huduma za leseni kwa njia ya mtandao.Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (katikati) akibonyeza kitufe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA NCHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Mei 2015 leo jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA TAMASHA LA BULABO KABILA LA WASUKUMA MKOANI...

Makamu wa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipiga Ngoma ishara ya Kuzindua Sherehe za  kimila za kabila la wasukuma zilizofanyika  kwenye kijiji  cha kisesaWilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO NAKO APATA WA KUTOSHA

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGANA NA MWANDISHI SIMON KIVAMWO KUPAMBANA NA SARATANI YA UTUMBO

Copyright 2007 ©MICHUZI JR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGARI MERCEDES- BENZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (watatu kulia) akiwa na ujumbe wake wakiapata maelezo kutoka kwa Adam Nowak M.A.Afisa  anaehusika na ufundi wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB)...

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akiwaonyesha waheshimiwa wabunge taarifa iliyoambatana na Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi yake kwa mwaka wa fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIRA YAKE WILAYANI MULEBA MKOANI...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini.Prof Anna Tibaijuka pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera,John Mongella wakishiriki katika kazi ya utandazaji wa umeme wa REA katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA

Jumamosi ya 6 Juni 2015 inasemekana haikuwa nzuri katika kambi ya FFU -ughaibuni  baada ya msimu wa joto kuanza nchini ujerumani ,kikosi maalumu cha kuangalia wanyama kiliungana na Kamanda ras Makunja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA YAFANYIKA...

Bw. Ramadhani Hangwa afisa kutoka UNFPA anaeshughulika na Program ya Idadi ya Watu na Maendeleo, akitoa neno kwa washiriki kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi ili afungue semina hiyo.Mgeni Rasmi Bw....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILAMU KUBWA YA MPANGO MBAYA YA TMT KURUSHWA MLIMANI CITY CINEMA 12.JUNE.2015.

ILE Filamu kubwa iliyoshirikisha wasanii mahiri kutoka Tanzania movie Talent Top Ten 2014(TMT) ipo tayari na inatarajia kuonyeshwa katika jumba la sinema la Mlimani City Cinema Tarehe 12.June. 2015 ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU, ALLY HASSAN MWINYI MGENI RASMI MASHINDANO YA MAGARI.

 Rais wa Chama cha Mashindano ya Magari Tanzania,Nizar Jivani akizungumza kuhusiana na mashindano ya magari katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam,mashindano yatakayofanyika Juni 12 mwaka,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE MUFINDI WAMWANGUKIA, MWENYEKITI WA UWT MUFINDI MARCELINA MKINI...

mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kuonyesha kumkubali.Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini wa kwanza kushoto akiwa na mkuu...

View Article
Browsing all 49386 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>