MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA RAIS WA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA...
Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais huyo wa Afrika ya kusini, akiondoka...
View ArticleFedha za Tegeta escrow ni za IPTL - JK
Rais Jakaya Kikwete leo amezungumza na taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam ambapo alitoa ufafanuzi kuhusu sakata la akaunti ya escrow ya Tegeta, huku akisisitiza kuwa fedha hizo ni za IPTL bali si za...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA TAIFA KUPITIA WAZEE JIJINI DAR.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam ambao waliitika wito wa kumsikiliza wakati wa kulihutubia Taifa kupitia Wazee kwenye...
View ArticleMakampuni saba yajisajili Tuzo za Bodi Bora Sekta ya Benki na Bima
MAKAMPUNI saba yamethibitisha ushiriki wao katika tuzo za bodi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership Awards (BBLA), zilizopangwa kufanyika Januari...
View ArticleTPB yaendesha semina kwa wajasiriamali mkoani Mbeya
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya...
View ArticleAirtel yatangaza kumi bora wa wiki wa shindano la Airtel Trace Music Stars
Meneja uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando (kulia) na Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Bi. Aneth Muga (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Airtel Trace Music Stars leo mara...
View ArticlePINDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA QATAR
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wnaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha...
View ArticleTTCL yaanzisha huduma ya Afya Mtandao, yatoa msaada wa vyakula kwa Taasisi ya...
Laibu Leonard Meneja Huduma wa kampuni ya simu ya TTCL akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Mary Haule Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road ya jijini Dar es salaam ambavyo vimetolewa na kampuni hiyo...
View ArticleOLOLOSOKWAN WAJIWEKA TAYARI KUTIMIZA NDOTO YA KIJIJI CHA DIJITALI
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues aliposimama kwenye Kijiji cha Ngeresero kwa ajili ya kuwaungisha...
View ArticleMASHAUZI CLASSIC YAPANIA KUITEKA MOROGORO X-MAS
Kundi zima la Mashauzi Classic chini yake Isha Mashauzi, litafanya utambulisho wa wimbo wao mpya “Sura Surambi” kwa wakazi wa Morogogo Disemba 25 kwenye maadhimisho ya siku ya Christmas.Mkurugenzi wa...
View ArticleKampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road
Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa....
View ArticleKAMPENI YA TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO.
Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Taifa Mh Mboni Mhita Ambaye Pia ni Katibu Mkuu wa Pan African Union Ulio Chini ya Umoja wa Afrika AU Anayehusika Kushugulikia Ajira kwa Vijana, Fursa ,Elimu...
View ArticleTUIMARISHE ULINZI KATIKA MIKUSANYIKO YA SHEREHE ZA X MASS NA MWAKA MPYA
KESHO ni siku ya Siku kuu, pasi na shaka hakuna mtu ambaye halijui hilo.Siku kuu ya Krisimasi na mwaka mpya ni siku kuu ambazo hufuatana na kwadesturi ya ushirikiano tulio nao hapa nchini siku hizi...
View ArticleTume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa Mitano
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora,...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MSANII NASSIB ABDUL ‘DIAMOND’ IKULU, AWAPONGEZA YEYE...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Nassib Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar...
View Article