Quantcast
Channel: JIACHIE
Browsing all 49219 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES...

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA KWENYE TUTA. GAZETI LA JAMBO LEO LATINGA MTANDAONI

Kwa habari za kila siku Soma gazeti la Jambo Leo kupitia website www.jamboleo.co.tz Utajipatia habari mbalimbali ambazo zimetokea nyumbani Tanzania na matukio mengine duniani,gazeti la Jambo Leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA...

MKurungenzi  wa kampuni ya ujenzi  wa barabara Iringa ya GNSM Bw  Geofrey Mungai na mkewe  Sarafina Mungia katikati  wakikabidhi  baada ya misaada  yenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 1 kwa  mlezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE...

Wanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' na Mzee Yusuf (kushoto) wakipozi baada ya kufanya mahojiano na wanahabari leo.Wanamuziki hao wakionyesha mbwebwe zao mbele ya wanahabari (hawapo...

View Article

CHAMA CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI

CHAMA CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICAN JUNIOR ZONAL CHAMPIONSHIPS) KWA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 16, JANUARI 11-19 2015.Chama cha Tennis Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikundi cha Ngara Youth Foundation kimeishukuru Serikali kwa kupatiwa Mkopo...

Mkurugenzi Msaidizi wa Ufutiliaji na Tathimini kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi.Verdiana Mushi akikagua mradi wa kikundi cha vijana kutoka Ngara alipowatembelea kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA Hali ya usalama barabarani kiujumla kwa mwaka huu 2014 ni ya kuridhisha ukilinganisha na mwaka jana. Kwa mfano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIC YAELIMISHA SIKU YA CHOO KWA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Siku ya choo duniani ambayo huadhimishwa tarehe 19 Novemba. UNIC waliadhimisha siku hii kwa kuwakutanisha vijana walioko nje ya shule tarehe 23 Desemba 2014 kwa lengo la kuwaelimisha na kuwahamasisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijiji 45 mkoani Mara kupatiwa umeme

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa vijiji vipatavyo 45 vilivyopo katika mkoa wa Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HELP THEM TO MAKE THIS CHRISTMAS SPECIAL FOR THE LESS FORTUNATE. YOU CHOOSE,...

In light of the holiday season Hellofood and Rotary Club of Bahari (Dar es Salaam) is running a Corporate Social Responsibility campaign called Light Up A Soul. This campaign allows the public to go to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI...

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili  na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YALIFUNGIA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MIAKA MIWILI

Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA SUPER D AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA VIFAA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA

Desemba 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi ,Mh Benard Membe alikabidhi bendera kwa Balozi Adadi Rajabu kwa niaba ya Mabalozi ,ikiwa ni ishara ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.Diamond na Idris wakifanya yao stejini.Idris Sultan akimtambulisha kwa mashabiki wa Dar Live mshikaji wake aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi mtoto, Nabil Hahya (4) kutoka Jijini Dar es Salaam, mmoja kati ya watoto 55 wa awamu ya kwanza kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAMOJA NA MVUA KUBWA, TAMASHA LA KRISMAS LAACHA HISTORIA MJINI IRINGA

Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akimtunza Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini DRC Congo wakati akiima kwenye tamasha la Krismasi lililofamyika kwenye uwanja wa Samora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigulu Nchemba mgeni rasmi Tamasha la Upendo wa Mama Dar

  NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza Tamasha Maalumu la 'Upendo wa Mama' linalotarajiwa kufanyika katika Kanisa la Rutheran Mabibo Extenal jijini Dar es Salaam na kushirikisha...

View Article
Browsing all 49219 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>