sherehe za SHIWATA zaihirishwa.
SHEREHE za miaka kumi ya kuanzishwa kwa Mtandao wa WAsanii Tanzania (SHIWATA)zilizokuwa zifanyike Desemba 25, jijini Dar es Salaam zimeahirishwa.Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa...
View ArticleWaziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewasili jijini Doha, Qatar jana usiku (Jumamosi, Desemba 20, 2014) kwa ziara ya siku tatu kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo inayotarajiwa kuanza leo.Lengo la ziara ya...
View ArticleWatanzania kunufaika na ajira Qatar - Pinda
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi...
View ArticleUJENZI WA MABWENI SHULE ZA PEMBEZONI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI MIJINI.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.Jamii imetakiwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za ujenzi wa mabweni katika shule za Sekondari zilizoko pembezoni mwa miji hasa maeneo ya vijijini ili kukabiliana...
View ArticleKITUO CHA RADIO 5 WAFANYA KAMPENI YA USHINDI KWA WATOTO YATIMA
Wafanyakazi wa kituo cha redio 5 Arusha wakikabidhi misaada mbalimbali katika kampeni ya "USHINDI"inayoendeshwa na kituo hicho,misaada hiyo ilitolewa na wahisani mbalimbali kwaajili ya watoto wanaoishi...
View ArticleHERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA KUTOKA FLAVIANA MATATA FOUNDATION
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleUNESCO YAFADHILI MAENDELEO YA SAYANSI AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye mahafali ya pili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia yaliyofanyika jijini Arusha...
View ArticleWATANZANIA WASHAURIWA KUITUMIA NEEMA YA GESI KUPELEKA HIFADHI YA JAMII KWA...
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha,...
View ArticleTWIGA CEMENT YAZINDUA CHAMA CHA MAKIPA TANZANIA. TASWA FC WAFUNGUA NJIA.
Kampuni ya Twiga Cement ya jijini Dar es Salaam, jana imefanikiwa kuzindua rasmi Chama cha Wachezaji wa Nafasi ya Golikipa wanaoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania, ambapo katika uzinduzi huo timu...
View ArticleHazina SACCOS yakadhi hati za viwanja ambavyo ni rasmi zaidi kwa 150 kwa...
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba...
View ArticleEXCLUSIVE INTERVIEW: DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU WEMA, ZARI, MENINA NA PENNY....
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleWaandaaji wa Tuzo za Filamu nchini washauriwa kuzimtangatia viwango na ubora...
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake...
View ArticlePROIN PROMOTIONS LTD WISH YOU MERRY XMASS AND HAPPY NEWS YEAR
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleTimu ya Makipa yaichapa 3-0 Taswa FC
Mshambuliaji wa timu ya chama cha makipa Tanzania (TAGA), Ivo Mapunda akimiliki mpira na kiungo wa Taswa FC, Martin Peter katika mchezo maalumu wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Bora...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA...
Rais Kikwete Afanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma Ikulu Darby John Bukuku on December 22, 2014 inMCHANGANYIKOwithNo comments Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Jackob Zuma wa Afrika ya...
View ArticleNEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
Johnson LukazaMwesigwa Lukaza Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga...
View ArticleAirtel yawapatia kundi la walemavu mtaji na mafunzo ya biashara
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za...
View ArticleALIKIBA AZINDUA VIDEO “MWANA”
NYOTA WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI, ALIKIBA AZINDUA VIDEO “MWANA” ILIYOKUWA IKISUBIRIWA KWA HAMU KWA KISHINDO, KATIKA VITUO VIKUU VITANO AFRICA PAMOJA NA DUNIA NZIMA Akiwa ana nyimbo za “Mwana” na...
View ArticleMHE . UMMY MWALIMU AENDESHA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WASICHANA WA WILAYA...
Mhe Ummy Mwalimu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya kujitambua na kujithamini Wilayani Muheza mwishoni...
View Article