SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA BAADHI YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uteuzi wa baadhi ya...
View ArticleWAZIRI MKUU AUPONGEZA UONGOZI WA MAKUMBUSHO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ramani ya muonekano mpya wa kijiji cha Makumbusho kwenye kikao cha kujadili maandalizi ya Tamasha la Utamaduni wa Tanzania katika kijiji cha...
View ArticleMKWASA AFANYIWA UPASUAJI WA MOYO INDIA.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, na mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa afanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo.Mkwasa yuko jijini New Delhi, India ambako...
View ArticleARUSHA YAANZA KUONYESHA NJIA MADEREVA WASIOKUWA NA VYETI
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo akiongea na Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa magari ya abiria wakati wa Mahafali ya kuhitimisha mafunzo yao yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa...
View ArticleMANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MICHUANO ya Ndondo Cup yamefikia tamati leo baada Timu ya Manzese United kuibuka mabingwa wapya wa Ndondo Cup 2018 baada ya kuifunga timu ya Kivule kwa goli 1-0 mechi...
View ArticleZIJUE AINA SITA ZA VIAZI LISHE NA FAIDA ZAKE
Hiza ni aina ya ya mbegu za viazi lishe zilizopo katika shamba la mfano la SUGECO Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro, ambalo washiriki wa mafunzo ya uongezaji thamani wa viazi lishe walitembelea mwishoni...
View ArticleTAMWA YAHIMIZA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI SHULENI
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Eda Sanga (kulia) na mgeni rasmi katika sherehe za Mahafali ya nane ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi St. Aloysius...
View ArticleDIWANI VIGWAZA AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI VIJIJINI
NA MWAMVUA MWINYI,VIGWAZADIWANI wa kata ya Vigwaza ,Bagamoyo , Pwani ,Mohsin Bharwani (CCM),amechangia mabati 242, mifuko ya saruji 100 na matofali 3,000 vyenye thamani takriban sh.milioni 12 katika...
View ArticleMBUNGE ATOA UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA JIMBO LAKE MKOANI SINGIDA
Na Dotto Mwaibale, SingidaMBUNGE wa Jimbo la Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (pichani), ametoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita katika Jimbo lake ambao...
View ArticleBENKI YA CRDB YASHIRIKI KWA KISHINDO MAONYESHO YA NANE NANE-2018 KITAIFA...
Benki ya CRDB imeendelea kung'ara katika maonyesho ya nanenane kitaifa yanayoendelea Mkoani Simiyu kwenye viwanja Vya Nyakabindi Bariadi.Ushiriki wa Benk ya CRDB umekonga nyoyo za wananchi kwa kuwa...
View ArticleMHANDISI MTIGUMWE APONGEZA SPIDI YA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA
Katibu Mkuu Wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akikagua hali ya uhifadhi wa mahindi na kubaini akiba ya chakula mara baada ya kutembelea Wakala Wa Taifa wa hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya...
View ArticleMzimu wa Muziki Dansi kuwabangua vichwa tena Ulaya kuanzia tarehe 9-08-2018...
Ni katika viwanja vya Feste-Platz,wakati onyesho hilo la kimataifa la GaiExpo 2018 na International Afrika Festival Tubingen 2018 mwaka huu, nchi lengwa ikiwa ni Tanzania.Baadhi ya bendi za muziki na...
View ArticleUN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji...
View ArticleBENKI KUU YAIUNGANISHA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA TWB NA KUWA BENKI MOJA
Ofisa Mtenda Mkuu wa Benki ya TPB Plc Sababa Moshingi,(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Dar es Salaam juzi baada ya Benki kuu kuamua kuziunganisha Beki ya wanawake Tanzania...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI TIC AELEZA SABABU ZA WAO KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA...
KITUO cha Uwekezaji Tanzania(TIC) ni mojawapo ya taasisi za Serikali zinazoshiriki kwenye Maonesho ya 25 ya Nanenane ambayo yameanza kufanyika nchini kuanzia Agosti 1 mwaka huu na yanatarajiwa...
View ArticleTUME YA NGUVU YA ATOMIKI NCHINI WATOA ELIMU YA MIONZI KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Kutoka kulia ni Mtafiti kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Yesaye Sungita, wa kwanza kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Tume Peter Ngamilo akiguatiwa na Mtafiti wa Tume hiyo Jerome Mwimanzi wakitoa elimu kwa...
View ArticleMAMA SHEIN ATEMBELEA WAJASIRIA MALI
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo...
View ArticleMaonesho Nane Nane yasiwe nguvu ya soda- Dkt.Mwanjelwa
Na George Binagi-GB Pazzo, BMGNaibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa jana Oktoba 04, 2018 amefungua rasmi maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nane Nane Kanda ya Ziwa Magharibi...
View ArticleMbunge wa Bukombe azindua wodi ya kisasa ya Mama na Mtoto
Na George Binagi-GB Pazzo, BMGMbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Mashaka Biteko (CCM) amezindua rasmi wodi ya akina mama na watoto katika Kituo cha Afya cha Charles Kulwa Memorial kilichopo...
View Article