DC ARUMERU AUNGANA NA WAUMINI WA KANISA LA KKKT KATIKA HARAMBEE YA UCHANGIAJI...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro jana ameungana na Waumini wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Meru kuwasilisha Salamu za Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na...
View ArticleDK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MWANI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mwani cha PT Aga Swallow Hendrico...
View ArticleFLYING DRIBBLERS YATINGA FAINALI YA SPRITE BBALL KINGS
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.TIMU ya Flying Dribblers imefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kufanikiwa kushinda michezo yake miwili dhidi ya wapinzani wake Team Kiza huku Bingwa Mtetezi...
View ArticleDkt Kalemani azungumza na watumishi wa TANESCO, awapongeza kwa Kuchapa Kazi
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza Dodoma katika kikao kazi alichofanya na watumishi wa shirika hilo wakiwemo wajumbe wa Bodi ya Tanesco, viongozi wa menejimenti ya TANESCO, Bodi ya...
View ArticleAirtel yawezesha uchunguzi wa afya na matibabu BURE kwa wadau na wafanyakazi wao
Wakwanza kulia ni Mtoa huduma wa kutuo cha tiba ya Kinywa na Meno cha Elite Dental Clinic Bi Baby Luck akiwa na Muuguzi wa Kituo hicho Bi Rosemary Kwilasa wakitoa ushauri wa tiba ya meno kwa...
View ArticleKesi ya kina Mbowe yazidi kupigwa kalenda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake na kutoa sababu za msingi mahakamani.Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri...
View ArticleWIZARA YA AFYA ITAENDELEA KUKARABATI NA KUPANUA VYUO VYA MAFUNZO YA AFYA...
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee wa Watoto Ummy Mwalimu katika akitata utepe kuashiria uzinduzi na makabidhiano ya majengo ya chuo cha Uuguzi Tanga yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na balozi wa Canada nchini aliyemaliza muda wake Mhe. Ian Myles walipokutana Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2018.Rais...
View ArticleSERIKALI YATOA SHILINGI MILIONI 500 KWA AJILI YA UJENZI KITUO CHA AFYA KIJIJI...
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Makungu katika mkutano wa hadhara uliohusu miradi ya maendeleo ukiwemo wa ujenzi wa kituo cha afya...
View ArticleMITIBIASHARA KUWAPA FURSA MPYA WAWEKEZAJI WA MISITU TANZANIA.
Na.khadija seif ,Globu ya jamii.Katika kuunga mkono juhudi za Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania John pombe Magufuli kukuza sekta ya viwanda Taasisi ya ki_uanachama ya African Forestry (AF)...
View ArticleTAARIFA KUTOKA IDARA YA UHAMIAJI KUHUSU KUZUILIWA KWA BAADHI YA RAIA KUONDOKA...
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleTAARIFA KWA MADAKTARI NCHINI
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha watanzania kuwa kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika) “electro physiologist” (EP) tunatarajia kufanya kambi...
View ArticleWATUMISHI NSSF WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUFIKIA LENGO LA KUKUSANYA...
MKURUGENZI mkuu wa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF) William Erio amewataka watumishi wa shirika hilo kufanya kazi kwa bidii na kufikia lengo la kukusanya Shilingi Trilion 1.5 na kwamba hatovumilia...
View ArticleKAZI YANGU NI KUWATUMIKIA WANAKAGERA UTUMISHI ULIOTUKUKA-RC KAGERA
Na Editha Karlo,Blobu ya Jamii Kagera.MKUU wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka wanakagera kumpa ushirikiano katika majukumu yake mapya ya kikazi aliyoanza ili kuendeleza yale...
View ArticleNEEC, UNDP na wadau wengine kufanya tafiti zitakazochochea maendeleo kwenye...
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananachi Kiuchumi (NEEC),Bi. Beng'i Issa katikati akisaini nyaraka ya makubaliano ya mkataba wa kufanya kazi na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...
View ArticleJASINTA MBONEKO AKIAPISHWA KUWA MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack amemuapisha Jasinta Venant Mboneko kuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatatu Agosti 6,2018.Na Kadama Malunde – Malunde1 blogHafla fupi ya...
View ArticleWAZIRI DKT.KALEMANI AIPA "KONGOLE" TANESCO, MWEKEZAJI AIFAGILIA SERIKALI
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, (wapili kushoto), Meneja Mwandamizi wa TANESCO Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Mhandisi Mahende Mgaya, (kulia), na Mwenyekiti wa Kampuni ya Kamel Group,...
View ArticleKIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA
MKUU wa wilaya ya Bahi Mwanahamisi Mkunda akitoa shukrani kwa KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Mhandisi Charles Francis Kabeho kushoto mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Tanesco wilaya ya Bahi...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MIFUGO ABDALLAH ULEGA AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KATI
Na Emmanuel Massaka,Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amefungua rasmi maonesho ya Nane Nane Kanda ya kati ambayo yanaenda sawa na mashindano ya Nane ya Mifugo kitaifa...
View Article