RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam....
View ArticleRAIS MAGUFULI AAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa...
View ArticleTAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa...
Josephine Arnold Wakili wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akifungua semina ya matekelezo ya Mradi wenye lengo la kuchangia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika ngazi mbalimbali za...
View ArticleNSSF KUSHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE MKOANI SIMIYU
Shirika la la Taifa la Hifadhi ya jamii NSSF linashiriki kwenye maonesho ya wakulima NANE NANE yaliyoanza tarehe moja mwezi wa nane katika viwanja vya Nyakabunda mkoani Simiyu. Kaimu meneja Uhusiano na...
View ArticleDkt. Shein akutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo na...
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Indonesia Muhammad Jusuf Kalla ambapo katika...
View ArticleCHANGAMOTO YA SOKO YAPELEKEA WAKULIMA WA ZAO LA KOROSHO MKINGA KUUZA NCHINI...
Katibu Tawala wa wilaya ya Mkinga, Joseph Sura akizungumza namna walivyojipanga kuimarisha ulinzi mipakani kupitia vyombo vya ulinzi na usalama huku wakisisitiza hakuna ulazima wa kuvusha korosho nje...
View ArticleMAMA WA SHIGONGO AZIKWA BUCHOSA SENGEREMA
MAZISHI ya mama wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Asteria Kapela, yamefanyika jana Agosti 1, 2018 katika kijiji cha Bupandwamhela Wilayani Sengerema...
View ArticleMAOFISA WA JESHI LA MAGEREZA WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI
Na Lucas Mboje, Magereza;KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike amewataka Maofisa na askari wa Jeshi hilo kujiepusha na vitendo vilivyo kinyume na maadili ya kazi yao, badala yake...
View ArticleTAWLA yazungumzia vikwazo vinavyozuia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa...
Josephine Arnold Wakili wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akifungua semina ya matekelezo ya Mradi wenye lengo la kuchangia ongezeko la ushiriki na uwakilishi wa wanawake katika ngazi mbalimbali za...
View ArticleFOMU YA KUOMBA HATI MPYA PALE YA ZAMANI INAPOPOTEA.
Na Bashir Yakub. Ni fomu namba 3 katika kanuni za Sheria ya usajili wa ardhi .Inatokana na kifungu cha 38 cha Sheria ya Usajili wa Ardhi Sura ya 334. Fomu hii kazi yake ni kuombea hati mpya ya ardhi...
View ArticleGAVANA WA BoT ATANGAZA BANK M SASA IKO CHINI YA USIMAMIZI WAO
*Ni baada ya mtaji wake kutetereka, yapewa siku 90 kujitathimini Na Said Mwishehe, Globu ya jamii BENKI Kuu ya Tanzania(BOT) imeamua kuchukua usimamizi wa Bank M kuanzia leo na uamuzi huo unachukuliwa...
View ArticleJumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni
Katika kuwajengea Watanzania mazingira salama na rahisi ya kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao, Jumia imesisitiza kuwa bidhaa zote zinazopatikana kwenye mtandao wake ni halisi na zenye bora wa hali...
View ArticleWATOROSHAJI TANZANITE KIAMA KINAKUJA- WAZIRI KAIRUKI
Na Asteria Muhozya, SimanjiroWaziri wa Madini Angellah Kairuki amesema Serikali itaaendelea kusimamia ulinzi na kudhibiti utoroshaji wa madini ya Tanzanite na watakaokwenda kinyume na matakwa ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA AWAASA WATUMISHI WA TFS...
Watumishi wa Wakala wa Huduma Tanzania (TFS) wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria za utumishi wa Umma ili kuleta ufanisi wakati wanapotekeleza majukumu yao ya uhifadhi.Rai hiyo...
View ArticleZAO LA MCHIKICHI KUMALIZA UHABA WA MAFUTA NCHINI
SEKTA ya kilimo ni mhimili wa uchumi wa Taifa na inategemewa katika kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025, kupitia viwanda kwa sababu kilimo ndicho kitawezesha viwanda kwa kuvipatia...
View ArticleJENGENI DARAJA USIKU NA MCHANA- KWANDIKWA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magara linalounganisha Wilaya ya Babati na Mbulu kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha ujenzi wake unakamilika...
View ArticleMaamuzi ya taasisi lazima yashirikishe baraza la wafanyakazi –Profesa Msanjila
Na Chalila Kibuda.Maamuzi yanapotakiwa kufanyika ni lazima uwepo ushirikishaji ili kuweza kuendesha taasisi na kupata mafanikio ya kimaendeleo na taifa kuona tija ya tasisi husika.Hayo aliyasema Katibu...
View ArticleBoT YAAMUA ZIUNGANISHA BENKI ZA BENKI ZA TWB , TPB BANK Plc
Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiBENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeridhia ombi la uunganishwaji wa benki za Benki ya Wanawake Tanzania(TWB) pamoja na TPB Bank Plc. Kutokana na hatua hiyo sasa kutakuwa na...
View ArticleBINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
"Huyu binti anaitwa Theresia yupo hapa Mbulu, aliugua ghafla na kupooza upande wa kulia toka 2011,alikuwa hawezi kuongea kabisa kwa zaidi ya mwaka mmoja,baada ya matibabu kwa mwaka mmoja alianza...
View ArticleDKT TIZEBA AAGIZA WAKAGUZI WA VIUATILIFU KULINDA MASLAHI YA TAIFA
Mgeni rasmi-Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akizungumza wakati wa mkutano wa ufunguzi wa mafunzo ya wakaguzi wa viuatilifu kwenye hafla iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha kilimo (SUA) Mkoani...
View Article