Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Karibuni Jamvini Wanajamii

older | 1 | .... | 97 | 98 | (Page 99) | 100 | 101 | .... | 1898 | newer

  0 0

  Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya (kushoto) akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
  Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
   (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)

  0 0
 • 06/06/13--13:59: Article 4
 • Ofisa kutoka kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Barrick Gold Mining Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni sehemu ya udhamini wa kampuni hiyo kwenye mashindano la Redd's Miss Mara yatakayofanyika leo mjini Musoma.
  Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Mara 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana ikiwa ni siku moja kabla ya warembo hao hawajapanda jukwaani kuwania taji hilo ambalo linashikiliwa na Miss Tanzania namba mbili 2012. Shindano hilo linataraji kufanyika leo.
   Baadhi ya washiriki wa Redd's Miss Mara 2013 wakiwa wenye furaha.
  Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi
  Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Mara 2013 wakitembea kwa pamoja leo ikiwa ni siku moja kabla ya warembo hao hawajapanda jukwaani kuwania taji hilo ambalo linashikiliwa na Miss Tanzania namba mbili 2012. Shindano hilo linataraji kufanyika leo.

  0 0  0 0

  USAJILI wa timu za mikoa inayoshiriki mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu umekuwa na mwitikio mkubwa miongoni mwa vijana wa umri huo katika mikoa ya Temeke, Ilala, Kinondoni na Tanga.

   Wakizungumza kwa nyakati tofauti makatibu wa mikoa hiyo ambao ndiyo wanaoratibu zoezi hilo la usajili wamesema kuwa vijana wengi wamejitokeza kiasi cha kulazimika kufanya mchujo ili kupata timu sita zinazotakiwa kushiriki Airtel Rising Stars ngazi ya mkoa.

  Katibu wa mkoa wa kisoka wa Temeke, Mbarouk Mohamed alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa kumekuwa na mwitikio wa ajabu ambapo zaidi ya timu mia zimejitokeza na kuwalazimu kuanza kufanya mchujo kwa kuzingatia vipaji ili kupata idadi ya timu sita zinazohitajika kushiriki. “Kwa kweli ni vijana wengi mno wanaotaka kushiriki mashindano haya ya Airtel Rising Stars na tunaamini kuwa kujitokeza kwao kwa wingi kunatupa wigo mpana wa kupata wachezaji wazuri watakao tuwezesha kutetea ubingwa wetu katika fainali za ARS Taifa”

  Naye Katibu wa Mkoa wa Ilala, Kanuti Daudi alisema kuwa mchakato usajili unaendelea vizuri na vijana wengi kujitokeza kwenda kujisajili. “Kutokana mwitikio huu tunatarajiza kumaliza usajili mapema kabla ya muda wa mwisho uliowekwa ambao ni Juni 11, 2013”, alisema Daudi. Kwa upande wake Katibu wa Mkoa wa kisoka wa Kinondoni, Isack Mazwile alisema kuwa wameanza rasmi zoezi la usajili Jumapili iliyopita na kulingana na mwitikio wa vijana wengi wanatarajia kukamilisha zoezi hilo wiki hii. “Tutalazimika kufanya mchujo ili kupata vijana wenye vipaji vya soka wataounda timu sita za mkoa wetu”


  Mkoa wa Tanga unaoshirikisha timu za wasichana pekee umeanza kuendesha ligi ambayo ndiyo inayotumika kubaini wachezaji wenye vipaji na hatimaye kuunda timu sita kwa ajili ya Airtel Rising Stars mkoani humo. “Sisi huku tumeshaanza mchakato wa kutafuta timu kwa upande wa wasichana , na kwakweli nimefurahi kuona mwitikio wa timu umekuwa mkubwa na hapa tunajiandaa kuzichuja ili tuweze kupata timu bora, “ alisema katibu wa soka mkoa wa Tanga Beatrice Shabani.

  Mbali na mkoa wa Tanga mikoa mingine inayoshirikisha wasichana pekee ni Kigoma na Ruvuma wakati mikoa ya kisoka ya Kinondoni, Ilala na Temeke inashirikisha wavulana na wasichana huku Morogoro, Mwanza na Mbeya ikijumuisha wavulana pekee.Mikoa ya Morogoro, Mwanza, Kigoma, Ruvuma na Mbeya pia imeshaanza usajili na inatarajia kukamilisha zoezi hilo kabla ya siku ya mwisho Juni 11.

  0 0


  0 0


  Umoja wa Watanzania Ujerumani (U.T.U ) Kushiriki katika Festival ya
  "Brüderschaft der völker " mjini      Aschaffenburg " Ujerumani.
                     Kuanzia 19 hadi 21 Julai 2013

  Watayarishaji wa Festival ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg,
  nchini Ujeruamani,wameuhalika Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kushiriki katika maonyesho hayo utamaduni wa nchi mbali mbali yatakayo
  anza 19 hadi 21 Julai 2013.

  Watayarishaji wa maonyesho hayo wamevutiwa sana sana na shughuli
  za Umoja wa Watanzania ujerumani (UTU) kwa juhudi zake za kuitangaza
  Tanzania,wandaaji wa onyesho hilo wametoa nafasi kwa umoja wa watanzania kushiriki na kuitangaza Tanzania kwa kasi zaidi.

  Mwenyekiti wa UTU Bw.Mfundo Peter Mfundo ameupokea mwaliko
  huo kwa mikono miwili na amewaomba Watanzania wote wanaoishi
  ujerumani kujitokeza kwa wingi katika maonyesho hayo na kuitumia
  nafasi waliyopewa kwa maslahi ya Tanzania na watanzania, Umoja wa
  Watanzania (UTU) utakuwa na banda lake katika maonyesho hayo.

  Mnakaribishwa wote na kwa maelezo zaidi wasiliana na

  0 0


   Sanduku lenye Mwili wa msanii bongofleva,Marehemu Albert Mangwea ukishushwa kaburini taratibu na waombolezaji,ndugu jamaa na marafiki jioni ya leo kwenye makaburi ya Kihonda nje kidogo ya Mji wa Morogoro,ambapo maekfu ya watu walishuhudia mazishi hayo yaliyovunja rekodi mkoani humo.


  Eeneo la Mazishi likiendelea kama lionekanavyo kwa mbaali.

   Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakirekodi yaliyokuwa yakijiri kwenye mazishi hayo.
   Ibada ya mazishi ikiendelea kabla ya sanduku la marehemu Albert Mangwea kushushwa kaburini. Na pichani chini ni baadhi ya watu wakianza kuondoka sehemu ya mazishi.
   Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera akizungumza machache ndani ya uwanja wa Jamuhuri wakati watu mbalimbali walijitokeza kuaga mwili wa Msanii Albert Mangwea.

   Pichani kulia ni Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu sambamba na ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo wakati wa sala ya kumuombea marehemu Mangwea ikiendelea.

   Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Afande Sele sambambana na watu wengine wakielekea kutoa heshima zao za mwisho 

  0 0

  The housemates on Big Brother: The Chase may have struggled to nominate each other for eviction after just 24 hours in the game last Monday, but this week DStv audiences saw how alliances, relationships and grudges fuelled a tense nomination day in the houses. 

  When the dust had settled and the Heads of House had had their say during Monday night’s first nomination show, Ruby housemates Koketso & LK4 and Diamonds Feza, Hakeem & Dillish found themselves up for eviction this week but the final decision is now all up to the viewers!

  Following a shocking first set of evictions, which saw Huddah and Denzel leave on Sunday, it was time for housemates to sharpen their minds on who they will be nominating. The Diamonds’ nominations saw Bolt lead the pack with 5, followed by Hakeem and Dillish with 4 each.

   The bulk of the housemates cited Bolt’s perceived laziness as a motivating factor for their nominations, while Hakeem was put in the firing line because the housemates felt he was clearly not happy to find himself in the Diamond house. Bimp and Fatima avoided nomination altogether.

  Diamond Head of House Betty was only ever going to save one housemate as part of her ‘save & replace’ decision – and didn’t disappoint by saving love interest Bolt from the block and putting Feza up for eviction in his place. Relations between Betty and Feza have been rocky since day one, with the Tanzanian nominating the Ethiopian last week and also putting her up for eviction in Elikem’s place.

  Once the Rubies had spoken, Biguesas had picked up 5 nominations while LK4 got 4. 

  The housemates predominantly cited Biguesas’ lack of participation in life in the house as their reason for nominating him, while many seem to be seeing LK4 as being particularly manipulative. Neyll has received a frosty reception since being swapped over during the Airtel Arena Showdown last week, reflected in the nominations he received.

  Selly, in her role as Ruby Head of House, also let her heart lead her ‘save & replace’ decision, sparing Biguesas and replacing him with Koketso.

  So, there are three ways to vote to keep your favourite housemate in Big Brother: The Chase - via web, SMS or mobile site – and you can win amazing prizes in the process, like DStv HD PVR’s and DStv Walkas. Voting opened immediately after Monday night’s nomination show and closes at 07:00 on Sunday morning

  To vote via web or mobile site, go to the official Big Brother website, www.bigbrotherafrica.com , log in, click ‘Vote’ and then click the appropriate button for the housemate you’d like to keep in the house. You may vote once per hour.

  To vote via SMS, send the word VOTE, followed by the name of the housemate you’d like to keep in the game, to the number for your country below. SMS’s are charged at specified network tariffs in the various countries. VAS rates apply.

   Free minutes do not apply. Please note that you can vote 100 times by SMS per telephone number during each voting period.

  Tanzania

  Vodacom 15456 TZS 600
  Tigo 15456 TZS 600
  Zantel 15456 TZS 600
  Airtel 15456 TZS 600

  Big Brother: The Chase fans can catch all the latest news, video, and all-important voting information at www.bigbrotherafrica.com.

  Stay tuned to DStv channels 197 and 198 for all the Big Brother: The Chase action 24/7 for the next three months, or catch the daily shows on AfricaMagic Entertainment at 21:00, Tuesday-Friday with highlights of the week on Saturday at 21:00.


  0 0


   The Dar es Salaam Regional Commissioner, Said Meck Sadiki (second left) poses for a group photo with representatives from Exim Bank shortly after handing over a trophy after the bank emerged winners of the financial institutions category in the Ilala Municipality Environment Awards 2013. Second right is the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant
   The Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) displays a certificate won by the bank in recognition to the bank’s contribution to environment conservation during the World Environment Day celebrations in Dar es Salaam on Wednesday. Centre is the bank’s Acting Marketing Manager Anita Goshashy.
   The Dar es Salaam Regional Commissioner, Said Meck Sadiki (second left) hands over a trophy to the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) after emerging winners of the financial institutions category in the Ilala Municipality Environment Awards 2013. Looking on at is the Temeke District Commissioner Sophia Mjema
   The Dar es Salaam Regional Commissioner, Said Meck Sadiki (left) hands over a trophy to the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) after emerging winners of the financial institutions category in the Ilala Municipality Environment Awards 2013. 

  The Dar es Salaam Regional Commissioner, Said Meck Sadiki (left) shares a light moment with the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) during the World Environment Day celebrations held at Zakheem grounds- Mbagala on Wednesday
  =======  ========= ========

  Exim Bank scoops 2013 best-practice environmental award


  EXIM Bank Tanzania has emerged overall winner of the financial

  institutions category in the Ilala Municipality Environment Awards
  2013. The Award seeks to recognize institutions which have greatly
  contributed to environmental conservation.  The award giving ceremony held at Zakheem grounds-
  Mbagala and organized by Temeke Municipal Council as hosts of this
  year’s World Environment Day on behalf of Dar es Salaam City Council
  was in commemoration of the World Environmental Day under the theme
  "Think. Eat. Save".


  Speaking at the ceremony, the Guest of Honour Dar es Salaam Regional
  Commissioner Said Meck Sadiki cautioned communities to preserve the
  environment they are living in the sustainability of their operations
  in the future.  “You can destroy the environment you are living in today so as to
  forge development but such kind of development will not be sustainable
  and you will definitely lose out completely in the long run,” he said.
  Also speaking shortly after receiving the award, the Exim Bank
  Managing Director Anthony Grant thanked the Municipality and
  reiterated the bank’s commitment to continue supporting environmental
  conservation initiatives across the country.

   "Exim Bank is committed       
  to support a transition to a greener economy.  Our actions and the eco 
  choices we make will have direct impact on the social and economic 
  well-being of the country,”   
  Grant noted that there is need for all stakeholders to join forces to  
  improve the environment. “We have to leave behind a sustainable planet  
  for our future generations,” he added.

  The Civil Society Forum on Climate Change (Forum CC) Chairperson
  Euster Kibona during the event noted that environmental degradation
  has had negative impacts on the country that include 1997/98 El Nino
  rains, seasons drought in 2005/2006, floods, and eco-system shift
  among others.

  Kibona noted that there is need to invest in research to come up with
  alternative with alternative sources of energy so as to save our
  forests.

  0 0

   Airtel Tanzania imeendelea kutimiza dhamira yao ya kuwapatia wateja wake unafuu zaidi kupitia huduma yake ya AIRTEL YATOSHA nchini ambapo sasa wateja watafurahia Vifurushi vya Airtel Yatosha kwa masaa 25 kwa siku,   hii itawawezesha watanzania kufurahia kupiga simu mtandao wowote kwa gharama nafuu kwa muda mrefu zaidi.

  Akiongea wakati wa uzinduzi wa Airtel yatosha masaa 25 Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema” kuanzia sasa, huduma ya Airtel yatosha kwa siku itakua kwa masaaa 25 kuanzia pale mteja anapojiunga na huduma, yaani masaa 24 ya kuongea na kama vile haitoshi Airtel yatosha inakuongezea saa jingine moja la ziada. Sasa wateja wa Airtel watafurahi kupiga simu kwa gharama nafuu na kwa muda zaidi kuliko ilivyokuwa awali”.

   “Hii ni ya kwanza na pekee kutoka Airtel, Airtel yatosha itaendelea kuwa suluhisho la mawasiliano ya huduma za simu kwa watuamiaji na wateja wa Airtel nchi nzima ”. aliongeza Mmbando

  Airtel yatosha ni huduma iliyoanzishwa ili kuleta kuvunja mipaka kwa watanzania na kuwawezesha kuwasiliana ndani na nje ya mtandaa kwa gharama nafuu. Kujiunga na huduma hii  piga *149*99# na atapata majibu papo hapo achague unataka Yatosha WIKI au Yatosha SIKU au Tosha ya Mwenzi.

  0 0


  0 0

  Warembo 11 kati ya 12 wanaopanda jukwaani leo kuwania Taji lenye Sifa Kuu mbili ya Redd's Miss Sinza 2013, lakini pia linaloshikiliwa na Redd's Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred, leo katika Ukumbi wa Meeda Club uliopo Sinza Mori. Katika shindano hilo litakalosindikizwa na burudani kabambe kutoka kwa Bendi mahiri ya African Stars, 'Twanga Pepeta', viingilii vitakuwa ni Sh. 20,000/= kwa VIP na Sh. 10,000/= kwa viti vya kawaida. Shindano hili limedhaminiwa na Redds Original, Mtandao wa Sufianimafoto Blog, Dodoma Wine, Chilly Willy Energy Drink, Fredito Entertainment, CXC Africa, Clouds Media Group na Salut5.com.


  Mshiriki mwenye No, 9-SARAHY PAUL (23)..
  Mshiriki mwenye No 8-HAPPYNESS MAIRA (19)
  Mshiriki mwenye No, 11-NICOLE MICHAEL (21)
  Mshiriki mwenye No, 5-PRISCA ELEMENT (20)
  Mshiriki mwenye No, 3-MAUA ABDUL (18)
  Mshiriki mwenye No, 7- AGNES SIMON (22)
  Mshiriki mwenye No, 1-CATRINA LAURENCE (19)
   Mshiriki mwenye No, 6-JACQUELINE ROBERT (20)
   Mshiriki mwenye No, 4-DORIS MWAIPOPO (19) 

  Mshiriki mwenye No, 10-MARTHA JOSEPH (19)
   Mshiriki mwenye No, 2-NASRA HASSAN (18)
   Mwalimu wa warembo hao, Mwajay Model, akionyesha uwezo wa kusebeneka, wakati akifungua rasmi shoo ya warembo hao ya kujitambulisha katika Promosheni maalum ya utambulisho wa shindano lao iliyoandaliwa na kinywaji cha Redd's katika Baa ya Mary Land Mwenge jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni mshereheshaji wa hafla hiyo fupi..... 

  Warembo hao wakipozi kusubiri utaratibu baada ya kuwasili eneo la tukio jana usiku.

  Warembo wakimshangilia mwenzao wakati akipita mbele kwenda kujitambulisha, ''sasa sijui na leo jioni huyu ndiye atakayeshangiliwa kama hivi?''

  Mwalimu wa warembo hao, Majay (kulia) akipozi na warembo wake.

  Hapa wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao....ya maandalizi....

  0 0


  Tunayo furaha kuwafahamisha kuwa kuna nafasi za udhamini kwa ajili ya wanafunzi wa kike wenye vipaji lakini wasiojiweza, chini ya Mradi wa Somesha Mtoto wa Kike (SOMKI). Mradi wa SOMKI unaleta utofauti katika maisha ya wanafunzi wa kike wa Tanzania wanaoishi katika mazingira magumu na wasiojiweza na ambao wameonyesha vipaji maalum au imeonekana kuwa na uwezo wa kufanya vizuri katika masomo yao na kufikia viwango vya juu au daraja la kwanza katika mitihani yao.


  Udhamini huu ni kwa ajili ya kuhakikisha kwamba hawaathiriki na hali yao ya kimaisha ya sasa na kwamba wanaweza kupata fursa ya kubadilisha maisha na kuwa na maisha bora. Baada ya mchakato wa uhakiki na tathmini ya uhitaji itawapa walengwa fursa ya kupata elimu na kuwapunguzia mazingira magumu wanayoishi na kujisomea.


  Tunaelewa kuwa katika shule yenu au utakuwa na taarifa kuwa kuna wanafunzi wanaostahili kupata nafasi hii. Kwa barua hii tunaomba uweze kusambaza taarifa hii na kuhamasisha wale wanaostahili kutuma maombi yao. Tafadhali nafasi hizi hutolewa mara moja tu kwa mwaka. Maombi haya yako wazi hadi kufikia tarehe 30 Desemba 2013, kwa ajili ya wanafunzi watakaodhaminiwa kitaaluma na Mradi wa SOMKI kwa mwaka 2014.


  Maombi yatumwe kwenye anuani iliyopo hapo chini. Na kwa maelezo zaidi msisite kututafuta kwa anuani iliyopo hapo chini na namba ya simu.


  Mlalakuwa,  Mikocheni,  
  Plot No: 36 B,  
  P.O. Box 71821, 
   Dar es Salaam, Tanzania 
  Email: sophiamkana@yahoo.com
  Tel: +255-0656 647 280


  Wenu mtiifu,


   Jane M

  Mratibu wa Mradi 


  0 0

  kushoto Bw Sheha Mjaja Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar, na Kulia ni Bw. Emmauel Tutuba kutoka wizara ya fedha, wakifuatilia jambo katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn Ujerumani.picha na Evelyn Mkokoi

  0 0
 • 06/07/13--04:51: kipaji kutoka moyoni.


 • 0 0  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akiandika kwenye daftari la mwananfunzi aliyekaa pembeni yake kama ishara ya matumizi ya madawati 320 yaliyokabidhiwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust ya jijini Dar es Salaam tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense ikiwa ni jitihada za taasisi hiyo kusaidia elimu nchini.  Mkuu huyo wa Mkoa aliishukuru taasisi hiyo na kusema mfano wake ni wa kuigwa ukilinganisha na taasisi zingine ambazo huishia kuilamu Serikali na huduma zilizopo badala ya kutoa mchango wowote. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hassan Maajar Trust Bi Zena Tenga na Makamu Mwenyekiti Ndugu Shariff Maajar. Wa tatu kutoka kushoto aliyesimama ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chima.
  Wanafunzi wa shule ya msingi Kasense wakiwa wamekalia baadhi ya madawati yaliyotolewa shuleni hapo na taasisi ya Maajar Trust. Jumla ya shule nane (8) za Mkoa wa Rukwa kutoka kila Wilaya zenye upungufu mkubwa wa madawati zimepata madawati arobaini (40) kila moja kuondoa upungufu unaowakabili.
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi madawati 320 ya taasisi ya Hassan Maajr Trust kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense, Mkuu huyo wa Mkoa aliishukuru taasisi hiyo na kusema mfano wake ni wa kuigwa ukilinganisha na taasisi zingine ambazo huishia kuilaumu Serikali badala ya kusaidia katika huduma za jamii. Aliendelea kusema kuwa katika kuhakikisha huduma za elimu Mkoani Rukwa zinaboreka atakuwa dikteta kuhakikisha kila mtu wakiwemo wazazi wanatimiza wajibu wao katika kuhakikisha huduma za elimu Mkoani Rukwa zinaimarika. Kulia  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hassan Maajar Trust Bi Zena Tenga.
  Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chima akitoa taarifa fupi ya madawati kwa shule za msingi Mkoani Rukwa katika hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa shule hizo Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense, Aliishukuru taasisi hiyo na kusema kuwa Rukwa ina uhaba wa madawati 33,638 sawa na asilimia 50.2%.
  Makamu Mwenyekiti wa taasisi ya Hassan Maajar Trust Bw. Shariff Maajar akizungumza katika hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi hiyo kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense. Mwenyekiti huyo alisema kuwa lengo la taasisi hiyo ni kuboresha mazingira ya kusomea watoto nchini Tanzania. Aliwaasa wadau wa elimu Mkoani Rukwa kuchangia katika sekta hiyo kwa maendeleo ya taifa.
  Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zena Tenga akizungumza katika hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi hiyo kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense. Katika hotuba yake hiyo alisema lengo la taasisi hiyo ni kuboresha mazingira ya kusomea kwa watoto wa Tanzania na kuhamasisha jamii kutambua wajibu wa kuchangia ili kuweka mazingira ya shule zetu kuwa mahali bora kwa watoto kusomea. 
  Mkurugenzi Mtendaji wa  Hassan Maajar Trust Bi. Zena Tenga akisoma houtuba yake kwenye hafla hiyo.
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa taasisi ya Hassan Maajar Trust Bw. Shariff Maajar shilingi laki moja na nusu ili aikabidhi kwa mwalimu mkuu shule ya msingi Kasense ikiwa ni sehemu ya azimio alilolianzisha na kuliita "Azimio la Kasense" KADARU (Kampeni ya Dawati Rukwa) katika hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013.
  Makamu Mwenyekiti wa taasisi ya Hassan Maajar Trust Bw. Shariff Maajar akizungumza katika hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi hiyo kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule ya msingi Kasense, Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya, Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Alhaj Salum Mohammed Chima, Meya Manispaa ya Sumbawanga Sabas Katepa na Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi. Zena Tenga.
  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akipima uelewa wa baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Kasense Mkoani Rukwa kwa kuwapa mtihani wa kuandika wakati wa hafla fupi kukabidhi madawati 320 ya taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa shule za msingi Mkoani Rukwa tarehe 06-06-2013 katika shule hiyo, Kulia ni Mstahiki Meya Manispaa ya Sumbawanga Sabas Katepa.

  Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti Hassan Maajar Trsut Bw. Shariff Maajar, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya, Mstahiki Meya Manispaa ya Sumbawanga Sabas Katepa na Mkurugenzi Mtendaji Hassan Maajar Trust Bi. Zena Tenga wakifurahia Ngonjera ya wanafunzi wa shule ya msingi Kasense katika hafla hiyo ya kukabidhi madawati. 

  Picha  ya pamoja kati ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya, viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na viongozi wa taasisi ya Hasaan Maajar Trust.
  Picha ya pamoja.
  (Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa - rukwareview.blogspot.com)

  0 0

  Moto mkubwa umezuka hii leo na kuunguza chumba kimoja katika maeneo ya kibwabwa Ipogolo kata ya Ruaha manispaa ya Iringa.
  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo  kamanda wa polisi mkoa wa iringa RAMADHANI  MUNGI amesema moto huo umezuka katika nyumba ya HIRALI  RAMADHAN ambayo ilikuwa na wapangaji .
  Amesema chumba hicho kilikuwa kinakaliwa na CHRISTINA MFUGA na moto huo haukuwa na madhara yoyote kwa binadamu kwani kikosi cha zima moto kiliwahi kufika katika eneo la tukio.
  Aidha amesema kuwa jeshi la polisi bado linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha moto huo pamoja na gharama za vitu ambavyo vimeteketea.
  WAKATI HUO HUO.

  Mtu mmoja aliyefahamika  kwa jina la JOJINA  KABOGO(29) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani  Iringa kwa uchunguzi zaidi kufuatia tukio la kuokotwa kwa mtoto mchanga mkoani hapa.
  Tukio hilo limetokea hii leo  katika maeneo ya mlandege manispaa ya iringa ambapo  afisa mtendaji wa mtaa huoFADHILI OSKA amemuokota mtoto huyo anae kadiliwa kuwa na umri wa miezi 6 jinsia ya kiume akiwa ametupwa jalalani.
  Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa iringa RAMADHANI MUNGI amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa uchunguzi bado unaendelea na kosa hilo ni la jinai, na ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa iringa kuacha tabia hiyo

  0 0

  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeitakia kila la kheri timu ya Taifa Stars ambayo inacheza  kutafuta tiketi ya kucheza kombe la dunia mwaka 2014.

  Taifa Stars katika mechi yake ya kesho itavaana na Timu ya taifa ya Morocco.
  Akizungumza kutoka Dar es salaam ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye alisema CCM inaitakia kila lakheri Taifa Stars na mafanikio katika mchezo wa kesho na kwamba CCM inatambua umuhimu wa taifa Stars kushinda mechi hiyo ya kesho.
  Alisema anaamini dua za CCM na Watanzania wote zitaiwezesha Taifa Stars  kushinda mechi yake dhidi ya Morocco. "Watanzania tunaomba muiombee Taifa Stars, tunaimani nayo, bila shaka itashinda kesho" alisisitiza Nape

  Nape Moses Nnauye

  The CCM Secretary for Ideology & Publicity  0 0

   Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akipokea Salamu za heshima kutoka kwa wahitimu wa mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
   Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akikagua wahitimu wa mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
   Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheo cha Ukoplo Askari B4448 Patric Babara kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
   Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheti muhitimu B7348 Patrick Chalemta  aliye fanya vizuri masomo ya Darasani katika  mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi namba 20
    Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheti muhitimu aliye fanya viz

older | 1 | .... | 97 | 98 | (Page 99) | 100 | 101 | .... | 1898 | newer