Quantcast
Channel: JIACHIE

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA SHULE, MADEREVA ZINGATIENI USALAMA WA WANAFUNZI KIPINDI CHA MVUA -...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa shule na madereva wa mabasi yanayotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wajiridhishe kuhusu njia wanazopita ili kuhakikisha kunakuwepo na usalama wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

 Naibu Katibu Mkuu wa Usimamizi wa Uchumi, Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwamdumbya na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Masuala ya Kodi Kimataifa wa Wizara ya Fedha ya Czech aliyeongoza ujumbe wa Czech Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKUKURU YAFANIKISHA MAREJESHO YA SH.MILIONI 439.2 KUTOKA KWA WANUFAIKA WA...

 Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga Victor Swella akizungumza na waandshi wa habari ambao hawapo pichani wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2024 ambapo alisema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Amewaagiza UCSAF Kuendelea Kusimamia Ujenzi wa...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) lililopo eneo la Njedengwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI...

TANZANIA imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa ZAMCOM katika mwaka 2024-2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Kamisheni ya Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission -...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU KUINGIA MKOA WA PWANI APRILI 29

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge akizungumza  na Waandishi wa Habari  Ofisini kwake leo Aprili  25, 2024 hawapo pichani.Na Khadija Kalili, Michuzi TvMKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFS WACHANGIA MIL.20 KWA WENYE MAAFA KIBITI NARUFIJI

 Na Khadija Kalili ,Michuzi TvMKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge leo amepokea hundi yenye thamani ya Mil.20 kutoka Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ikiwa ni katika muendelezo wa kuchangia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Urusi Kushirikiana Kudhibiti Uhalifu wa Kimtandao

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu wa wizara hiyo, Miriam Mmbaga(kulia) wakionyeshwa jinsi Mfumo wa Kudhibiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROMBO MPYA YA KUWEKEZA KWENYE ELIMU - DC MWANGALA

 Na Mwandishi wetu, RomboMKUU wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangala amewataka wakazi wa eneo hilo kuwekeza kwenye elimu kwani mataifa mengi yameendelea kutokana na kuwekeza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL TANZANIA YANG’ARA HUDUMA BORA ZA MTANDAO-TCRA

AIRTEL TANZANIA imeibuka kinara wa kutoa huduma bora za mtandao kufuatia ripoti ya Takwimu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoishia Machi 2024 ya kila robo ya mwaka iliyochapishwa Aprili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MALEBO:UHAMAJI WA HIARI KUTOKA NGORONGORO NI KWA LENGO LA KULINDA...

 Na Mwandishi WetuSERIKALI ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi.Hayo ameyasema Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YAZINDUA KAMPENI ELIMU KWA UMMA MRADI WA UJENZI WA MINARA 758...

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Hassan Masala,kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, akizungumza na viongozi wa serikali wakiwemo wa vyama vya siasa wakiongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM),leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NACTVET YAELIMISHA WANAFUNZI WA SEKONDARI MANISPAA YA TABORA

 Na Mwandishi WetuBaraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Kanda ya Magharibi, limewapatia elimu wanafunzi 5,000 katika shule za sekondari 20 za Manispaa ya Tabora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPRA, ZPPDA Zasaini Makubaliano Kuenzi Miaka 60 ya Muungano

 Na Mwandishi WetuWakati kesho Tanzania ikisherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yakabidhi madarasa Sekondari ya Kikilo, Shule ya Msingi Isabe,...

Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 - 25, 2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na madarasa mengine mawili katika Shule ya Msingi Isabe zote za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA AKIWA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORB OF DESTINY KASINO YENYE NJIA 14 ZA MALIPO

 ORB OF DESTINY ni mchezo wa sloti kutoka kwa Hacksaw Gaming. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unaleta mshangao mzuri. Kuna Wilds zenye nguvu na mizunguko ya bure inayokuja na ushindi wa hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMBE, ASKARI MGAMBO MIKONONI MWA POLISI, SAKATA LA DKT. KAWAMBWA

 Na Mwamvua Mwinyi, PwaniJESHI la Polisi Mkoani Pwani, limewakamata Diwani wa kata ya Kiromo Mstaafu Hassan Wembe na Askari Mgambo Abdallah Mgeni na baadae kupewa dhamana, kwa kosa la kumshambulia kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAJA NA MKAKATI KUONGEZA UFANISI

Mjumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Ndg. Salum Mwalim akitoa salam kwa niaba ya uongozi wa Baraza hilo wanaomaliza muda wao wakati wa mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOCHEPUSHA VYAKULA VYA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI,WAHOJIWA

 Na Mwamvua Mwinyi, RufijiTAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji watu 11 akiwemo Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUVUMA:JESHI LA POLISI WAMTIA MBARONI WIZI WA VIFAA NDANI YA MAGARINI HALFA...

 Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi mwandamizi Marco Chilya,akiwaonyesha Waandishi wa Habari(hawapo pichani)baadhi ya milipuko(baruti) aina ya Super Powder 90 zenye vipande 12 kila moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Namibia Nangolo Mbamba Atembelea Ofisi za Mabibo jijini Dar es Salaam

 Na Mwandishi WetuRAIS wa Namibia Mhe. Nangolo Mbumba ambaye yuko Nchini Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan jana 25.04.2024 alitembelea Kampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHEREHESHAJI WATAKIWA KUTUMIA KISWAHILI FASAH

 WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaasa Washereheshaji kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na kuibua misamiati mipya ambayo inaweza kichakatwa na kuwa rasmi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MASHABIKI WA TIMU ZA SIMBA NA YANGA WATOA BURUDANI ARUSHA

 Na Eleuteri Mangi, ArushaTIMU ya Viongozi wa vilabu vinavyoshiriki michuano ya Mei Mosi Taifa 2024 ambao ni mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga wametoa burudani kwa wakazi wa jiji la arusha katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIX DECADES STRONG, CELEBRATING THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA'S PROUD UNION...

60 years of the United Republic of Tanzania, We are united and Strengthened for the Development of Our Nation. 1. Introduction. The United Republic of Tanzania was established through the unification...

View Article





Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>