Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live

Exim Bank supports Mt. Kilimanjaro tourism drive

$
0
0
 The Global Career Company (GCC) Director Sarah Roe (right) poses for a photo shortly after reaching Mt. Kilimanjaro’s Uhuru Peak early morning yesterday during a charity climb supported by Exim Bank Tanzania. 
The Exim Bank Managing Director Anthony Grant (second left) poses foe a group photo with Global Career Company (GCC) members shortly before start their journey to conquer Mt. Kilimanjaro’s Uhuru Peak during a charity climb supported by Exim Bank Tanzania recently.
 The Global Career Company (GCC) members start their journey to conquer Mt. Kilimanjaro’s Uhuru Peak during a charity climb supported by Exim Bank Tanzania recently. 
=======   ========  ========
Exim Bank supports Mt. Kilimanjaro tourism drive

EXIM Bank, Tanzania’s sixth largest bank in terms of total deposits and assets has sponsored nine visitors from Global Career Company (GCC) a recruitment consultancy company based in London-UK to climb Mt. Kilimanjaro Africa's highest peak.

The event was meant to support ‘Education Africa Charity’ that works with disadvantaged communities in Africa to address issues of inequality in education and at the same help in raising the visibility for Tanzanian tourism sector.

A statement issued by the Exim Bank Managing Director Anthony Grant yesterday said the bank’s sponsorship will help to promote the visibility of beautiful Kilimanjaro for tourists while simultaneously raising funds for ‘Education Africa’, a charity supported by GCC.

Grant said six of the sponsored visitors,  none of whom had any climbing experience, reached the summit of Mt. Kilimanjaro, Uhuru Peak,  early in the morning yesterday and posed for a photograph with the Exim Bank Tanzania company flag.

“We are glad that the team from Global Careers in London have been able to make it to Uhuru Peak and raise funds for their chosen charity. We congratulate their successful climb and belive they will be good ambassadors for Exim Bank and Tanzania as a whole when they return back home, ” Grant said.

Grant reiteriated his bank’s commitement to support various inititatives that promote the development of tourism in the country. The GCC Director Sarah Roe upon reaching Uhuru Peak, “It was a wonderful experience to climb Mt. Kilimamjaro.The last 48 hours have been the most intense and physically grueling experience of my life.

“Miraculously, we have managed to make it to the top together. We enjoyed the climb and we enjoyed Tanzania.“We are grateful to Exim Bank for the support rendered.” She added.

ATCL kurejesha safari ya Dar – Tabora

$
0
0


SHIRIKA la Ndege la Taifa la Air Tanzania limetangaza mpango wake wa

kuirudisha safari ya Dar es Salaam – Tabora kuanzia Jumamosi hii baada
ya kuhairisha safari kwenye njia hiyo kwa zaidi ya mwaka mmoja
ikipisha ukarabati wa uwanja mkoani humo.

Taarifa iliyotolewa na shirika na kusainiwa na Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa shirika hilo, Kapteni Milton Lazaro jana ilisema kuwa
shirika hilo limejipanga kutoa huduma ya usafiri, yenye bei nafuu,
salama na ya uhakika kwa abiria watakao tumia njia hiyo.
Kapteni Lazaro alisema shirika lake litatoa huduma ya usafiri katika
njia hiyo mara tatu kwa wiki kwa kutumia ndege aina ya De-Havilland
Dash8 – Q300 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 50.


Kapteni Lazaro alibainisha kuwa safari zitakuwa katika siku za
Jumatatu, Alhamis na Jumamosi ambapo muda wa kuruka kwa Jumatatu na
Jumamosi utakuwa ni saa 5:30 asubuhi, ndege ikiruka moja kwa moja
kuelekea Tabora na Jumatano saa 12:30 asubuhi ikiruka kupitia Kigoma.
“ATCL imeamua kurejesha safari ya Dar es Salaam – Tabora ikiwa ni
jitihada za shirika ili kutoa huduma ya usafiri wa ndege yenye unafuu
na ya uhakika kwa wakazi wa Tabora hususani wafanyabiashara,” alisema
Kpt Lazaro.

Alisema kuwa maamuzi ya uongozi wa ATCL kurejesha safari ya Tabora ni
suala jema katika kuwapa wakazi wa mkoa huo huduma ambayo inaendana na  lengo la shirika la kukuza ushirikiano kati ya mikoa yote hapa nchini.


 “Tumegundua pia kuwa kumekuwapo na ukosefu wa usafiri wa uhakika wa
barabara katika njia hii toka tuondoke. Tunaamini urejeshwaji wa
safari hii utakuwa ni chachu ya maendeleo ya uchumi katika mkoa wa
Tabora na Ukanda wa Ziwa kwa ujumla,” alisema.


Kpt. Lazaro aliongeza kuwa kurejea kwa safari hiyo ya Tabora
kumetokana na kilio cha wananchi, maombi toka kwa mawakala wa usafiri
na Bunge wakilitaka shirika la ndege la taifa kutimiza dhamira yake ya
kufanya biashara na kuwahudumia wananchi.

Aidha, alibainisha kuwa shirika lake limejidhatiti kwa kuwa na mpango
madhubuti ambao utapelekea shirika kufungua njia mpya nchini ikiwa ni
pamoja na Songwe, na kurejesha safari za Arusha, Zanzibar na Mwanza.
“Tutaanza kuruka katika njia hizi mpya mara tu baada ya kupokea ndege
yetu mpya baadae mwaka huu. Taarifa rasmi kuhusu ndege hii mpya
tunayoitegemea itatolewa mara baada ya taratibu zote kukamilika na
kuthibitishwa,” alisema.

katibu mkuu wa ccm Ndugu kinana akagua ufukwe wa ziwa nyasa,atembelea machimbo ya chuma Liganga wilayani ludewa.

$
0
0
Akagua ufukwe wa ziwa Nyansa katika mwambao wa ziwa hilo kwenye kijiji cha Lupingu, wilayani Ludewa, na kuwambia wananchi wasihofu na maneno Malawi kuhusu ziwa hilo, Serikali ipo imara kuwalinda usiku na mchana.

*Akagua na kuimarisha uhai wa Chama ngazi za chini kabisa za matawi na mashina. Ahudhuria vikao vya mashina na wajumbe wa nyumba kumi yaliyoko ndani ndani vijijini na kufanya mikutano ya hadhara iliyojaa shamra shamra, apokea wanachama wapya kibao

*Akagua hatua zinazoendelea katika upembuzi yakinifu wa mradi wa makaa ya mawe na chuma Liganga, aahidi wanannchi kushirikishwa kwa karibu mambo yakiiva.

UKAGUZI MWAMBAO WA ZIWA NYASA.
 KATIBU Mkuu wa CCM, Kanali mstaafu, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) wakiwa kwenye ufukwe wa ziwa Nyasa, kwenye mwambao wa ziwa hilo katika Kijiji cha Lupingu, Kata ya Lupingu Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe, leo Mei 29, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama na kusikiliza kero za wananchi katika mkoa huo. Wengine ni Mbunge wa Ludewa, Deo Philikunjombe na Mbunge wa Mwibala Kange Lugora.
 KATIBU Mkuu wa CCM, Kanali mstaafu, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kulia) wakiwa kwenye ufukwe wa ziwa Nyasa, kwenye mwambao wa ziwa hilo katika Kijiji cha Lupingu, Kata ya Lupingu Wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe, leo Mei 29, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama na kusikiliza kero za wananchi katika mkoa huo.
 Nape na Lugora wakieleweshana jambo kuhusu ziwa hilo
 Kinana na baadhi ya viongozi aliokuwa nao kwenye msafara wake wakiwa kwenye ufukwe wa ziwa hilo kwenye kijiji hicho, Majini ni Mbunge wa viti maalum na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Pindi Chana.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Nape wakipiga picha ya pamoja na baadhi ya walioambatana nao kwenye msafara huo.
 Monica Msemwa akimuogesha mtoto kwenye ufukwe wa ziwa hilo la Nyasa. katika kijiji cha Lupingu wilayani Ludewa mkoani Njomba.
Kinana na msafara wake wakipita kwenye mitaa ya kijiji hicho cha Lupingu baada ya kukagua ufukwe wa ziwa Nyasa.

KUKAGUA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA NGAZI ZA CHINI KABISA
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha shila  namba moja, tawi la Lupingu, Wilaya ya Ludewa. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga au 'Jah People'
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia mwananchi aliyekuwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha wavuvi cha Lupingu, wilayani Ludewa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa kadi ya uanachama wa CCM, Flowin Mkinga, katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Lupingu. Jumla ya wanachama wapya 32 walipata kadi za CCM.
 Wanachama wapya waliopewa kadi wakila kiapo. Kulia ni Kinana akishiriki kwenye kiapo hicho cha utii kwa CCM
 Msanii akiikung'uta ngoma kwa maarifa yake yote, wakati kikundi cha ngoma ya mng'anda kilipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kijiji cha Lupingu.
Wasanii wa ngoma ya mng'anda wakionyesha uhodari bwa kucheza ngoma hiyo, kwneye mkutano wa hatadhara uliofanyika katika kijiji cha Lupingu. 

  • MCHUCHUMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd, inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni  Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Tao Jian. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la Liganga, wilayani Ludewa mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni ya Kichina ya Tanzania China International Mineral Resorce Ltd, inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo ni  Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Tao Jian.
 Tao Jian akiwaonyesha Kinana na msafara wake, ramani linalofanyiwa kazi na kampuni yake katika kutafiti aina na kiasi cha Chuma kitakachoweza kupatikana Liganga
 Mabosi wa Kampuni ya Kichina inayofanya utafiti wa aina na kiasi cha chuma kitakachopatikana Liganga, wakitoa maelezo ya jumla kuhusu mradi huo unavyoendelea
Kilima cha madini ya Chuma, kinavyoonekana kwa mbali eneo la Liganga. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Katibu Mkuu wa CCM,Kinana na ujumbe wake awasili wilayani makete mkoani njombe asubuhi hii.

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Makete,Mh Josephine Matiro akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM na ujumbe wake,mapema leo asubuhi alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Tandala,Wilaya ya Makete mkoani Njombe.Kinana na ujumbe wake wako ziarani mkoani Njombe katika kuimarisha shughuli za chama,kuangalia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wa CCM na pia kuzungumza na Wananchi kuhusiana na matatizo yao mbalimbali yanayowakabili .

Timu ya Yanga yapongezwa na Kilimanjaro Lager leo

$
0
0
Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Mil. 25 kwa Katibu Mkuu wa Yanga,Laurance Mwalusako ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwa Timu yeyote itakayo chukua ubingwa wa Ligi Kuu.Wengine pichani ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga,Mussa Katabaro,Mkurugenzi wa Fedha Yanga,Denis Oundo pamoja na Geoffrey Makau.
Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla fupi ya kuipongeza Timu ya Yanga baada ya kutwaa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara,hafla hiyo imefanyika kwenye Ukumbi wa TBL Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam.Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa Yanga,Laurance Mwalusako pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga,Mussa Katabaro.
Katibu Mkuu wa Yanga,Laurance Mwalusako akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kuipongeza Timu ya Yanga baada ya kutwaa Kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara.Kushoto ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe.

Taarifa ya msiba

$
0
0
Marehemu Felician M. Makwaia

MICHUZI MEDIA GROUP Inasikitia kutangaza kifo cha Mzee Felician M. Makwaia ambaye bi baba mzazi wa mmoja wa wakurugenzi wake Bw. Christopher Makwaia, kilichotokea leo May 30, 2013 huko Bombay nchini India alikokuwa amekwenda kwa matibabu baada ya 
kupambana kwa muda mrefu na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

Mipango ya kusafirisha mwili kuurejeshwa nyumbani kwa mazishi inafanyika. 
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori,Jijini Dar es Salaam.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Tutaendelea kuwafahamisha hatua kwa hatua ya kiatakachoendelea katika msiba huu mzito.

Kwa mawasilian0 ya aina yoyote piga simu namba
0659 528446

BWANA ALITOA , NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE

AMIN

Nay wa Mitego,Mb Dog na wengine kibao kukutana Dar Live jumamosi hii

$
0
0
ONYESHO kubwa ambalo ni uzinduzi wa Shindano la QS Queens 'Utamu Extra' linalotarajiwa kufanyika Jumamosi ya kesho ya Juni Mosi katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala, pia limepangwa kuwa sehemu maalum ya kuenzi mchango wa msanii Albert Mangwea, aliyefariki nchini Afrika Kusini.

Ngwea amepangwa kuletwa kesho Jumamosi kwa ajili ya maziko yake yaliyopangwa kufanyika mkoani Morogoro, huku onyesho hilo la maombolezo likihudhuliwa na wakali kibao wa muziki hapa nchini lilioandaliwa kwa muda mrefu na kilele chake kuwa Jumamosi hii.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, leo mchana, Meneja Masoko wa Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment, Freddy Felix, alisema kuwa shindano hilo litafanyika pia katika mikoa mbalimbali kwa ajili ya kupata warembo 20 watakaoishi katika Jumba moja kwa ajili ya kupata kimwana huyo wa QS Queens.

Alisema kuwa wasanii wengi wamepangwa kupanda jukwaani kwa ajili ya kuomboleza msiba huo, akiwamo Ney wa Mitego, Wanaume Halisi, ikiongozwa na Juma Nature, MB Dog, Diamond, Inspector Haroun, Madee, H-Baba, Snura, Khadija Kopa, Solid Ground Family na wengineo, wakiwamo wasanii chipukizi, Amor na Shalviny.

“Wasichana wote wanaotaka kushiriki shindano hili ambao ni kama uzinduzi wake, watajiandikisha katika fomu maalum ukumbini hapo, ambapo baadaye watatafutwa wengine ambao wote wataishi kwa miezi miwili katika nyumba moja itakayotembelewa na watu mbalimbali.

“Huku mshindi akijishindia gari la kifahari, pia wanapokuwa katika jumba hilo kila siku mtu atalipwa kadri tutakavyokubaliana, huku tukiamini kuwa huu utakuwa ni mwanzo mzuri katika shindano hili,” alisema Felix.


Kwa mujibu wa Felix, shindano hili kabla ya kupatikana warembo hao litatembelea mikoa kadhaa ya Tanzania Bara, kama vile Mwanza, Tanga, Morogoro, Mbeya, Iringa na kwingineko kwa ajili ya kutafuta msichana mmoja wa kuingia katika kinyang’anyiro hicho.

Aidha QS ilitangaza kuwa mabinti wanaotakiwa kushiriki katika shindano hilo ni wale wenye vipaji maalum na uwezo wowote wa kupambanua mambo, huku kigezo cha elimu kikiwekwa pembeni.

Shindano hilo pia litaonyeshwa katika vituo vya Channel Ten, DTV, Clouds, ambapo huko kote wadau na wapenzi wa mambo ya urembo na burudani watapata fursa ya kuwapigia kura washiriki kabla ya siku ya kilele chake kitakachofanyika baadaye mwaka huu.

LIVE NEWZ KUTOKA IRINGA LEO;DIWANI AKIRI WAZI TATIZO LA MAJI KWENYE KATA YAKE,WANANCHI WAMTUPIA LAWAMA.

$
0
0
Kutokana na kukitihiri kwa kero ya maji katika kata ya Nduli maeneo ya njia panda ya Mgongo Manispaa ya Iringa, wananchi wameutupia lawama uongozi wa kata hiyo kwa ukosefu wa huduma kwa kipindi kirefu.

Wakizungumza na mapema leo,wakazi hao wa kata ya NDULI maeneo ya njia panda ya Mgongo, wamesema kuwa inawalazimu kutumia maji ya madimbwi kwa miaka mingi na tayari michango kwa ajili ya kuleta huduma hiyo ya maji imekwisha changwa.


Akijibia lawama hizo Diwani wa kata ya nduli mh. Rashidi Chonanga amekiri kuwepo kwa tatizo la maji katika kata yake na sasa wanamtafuta mkandarasi wa maji ili kuhakikisha maji yanafika maeneo yote ya Nduli.





REMARKS BY HIS EXCELLENCY JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE FIRST MEETING OF THE REGIONAL OVERSIGHT MECHANISM OF THE PEACE, SECURITY AND COOPERATION FRAMEWORK FOR THE DRC AND THE REGION, 26TH MAY, 2013, ADDIS ABABA

$
0
0
Excellencies, Heads of States and Government;
Your Excellency Ban Ki-moon, UN Secretary General;
Your Excellency Dr. Nkosazana Dlamini Zuma, Chairperson of the African Union Commission;  
Executive Secretaries of SADC and ICGLR;
Ladies and Gentlemen:

I thank you Mr. Secretary General and Madam Chairperson for convening this first meeting of the Regional Oversight Mechanism of the Peace, Security and Cooperation Framework for the DRC and Region we signed on February 24th, 2013.  Tanzania welcomes your joint efforts which will go a long way towards ensuring that the objectives of the Framework are implemented to the letter and spirit.

I commend you Secretary General, Ban Ki-moonfor appointing Mrs. Mary Robinson to be your Special Envoy for the Great Lakes Region.  This is a clear testimony of the seriousness that you and the UN attach to attainment of peace and stability in theDRC and the Great Lakes Region.   I have no doubt in my mind that she will add value to the efforts being deployed to find durable peace in the Democratic Republic of the Congo. 

 I pray that she will use her long experience and renowned diplomatic skills to enable the people of the DRC and the Great Lakes Region realise their long standing dream of a peaceful and stable country and the region.  I assure Madam Robinson my personal commitment as well as my Government’s readiness to work with her in fulfilling her mandate.    

Excellencies;
We all know that the Framework we signed in February this year (2013) provides another importantmilestone in the search for durable peace in the DRC and her neighbours and the region at large.  The launching of the Regional Oversight Mechanism, the establishment of the Technical Support Committee and the creation by the UNSC of the Force Intervention Brigade under MONUSCO are important milestones in these endeavours. 

 I amconfident, all these measures will go a long way towards bringing about lasting peace in Eastern DRC.  But, the success of these efforts will depend on the genuine commitment and readiness of the parties to see peace reign if they have at heart the belief and desire for peaceful solutions to this long standing conflict which has infected great misery and suffering to millions of innocent people.  Unfortunately, it is the women, children and innocent civilians who suffer the most.  

Excellencies;
It is evident that the barrel of the gun cannot bethe ultimate answer as testified by the recurrence of fighting.  We must deploy serious efforts towards bringing the parties to the negotiating table.  Only the negotiating table will deliver on the demands of all the conflicting parties.  I am hoping that thisMechanism will deploy serious efforts towards initiating comprehensive negotiations. First, let the Regional Oversight Mechanism be a catalyst for completion of the ongoing peace talks in Kampalabetween the M23 and the government of the DRC. 

 If these talks are concluded successfully and implemented to the letter and spirit, the first visible manifestation of the conflict will have laid to rest.  But, there are other players, the FDLR and the ADF who should also be engaged and find a peaceful way of making them stop their negative activities against their countries of origin.  

I am of the view that the enlargement of MONUSCO and the deployment of Intervention Brigade to play a dissuading role will not end the war.  Ultimately, and comprehensive and lasting peace will be realised at the negotiating table.  Let us give serious attention to peace talks.  Let the Mechanism support the process in Kampala.  Time has come to reach out to FDLR, ADF and other negative forces with the view to ending the circle of violence.

I also welcome the establishment of a Technical Support Committee to develop benchmarks and ensure day – to – day monitoring and reporting on the implementation of the Framework.  The activities of these processes should be well coordinated to create a synergy and energy that will push the peace agenda of the region to fruition.  

Excellencies;
Once again, I commend the UN Secretary General and the AU Chairperson for supporting theregional Oversight Mechanism and the Technical Support Committee to be established.  I sincerely hope that these two structures will be fully supportedby the region and international stakeholders.  I am confident that through our commitment and support the pursuit of peace negotiations in the DRC, herneighbours and the region will attain the much sought and elusive commodity: namely, peace on its hands.  It can be done.  Let us play our part.  
Thank you for your attention.

LIVE NEWZ KUTOKA IRINGA LEO.TCRA YATOA SEMINA JUU YA SHERIA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAKE LEO.

$
0
0
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania wametoa semina juu ya sheria ya mawasiliano na mfumo mpya wa leseni  kwa wadau mbalimbali pamoja na aina za leseni.


Akizungumza Mkurugenzi wa mawasiliano wa  idara ya sheria  Bi ELIZABETH NZANG katika semina hiyo iliyofanyika katika chuo kikuu huria Manispaa ya Iringa, amesema kuwa mamlaka inahimiza wadau wote waliochukua leseni na watakaoomba leseni kufuata sheria kwani kwa kutofanya hivyo mamlaka itamtoza faini , itamfungia kituo au adhabu ya kifungo.


NZANGI amesema kuwa ukiukwaji wa sheria mamlaka inayo wajibu kuwaadhibu huku akitaja aina za leseni kuwa kumiliki na kujenga miundombinu, kuendesha na kuunganisha mawasiliano,kutoa huduma za masiliano ,leseni za maudhui , vifaa vya mawasiliano, leseni za very small aperture terminals pamoja na utumiaji wa vifaa vya masafa.


Mbali na suala hilo la leseni mamlaka pia inatoa taarifa kuanzia july mosi yeyote ambaye atanunua simu ambayo haijasajiliwa haitotumika na kusema kuwa unaposajiliwa hakikisha kwa namba inayianzia  nyota mia na sita leri ili kuhakikisha kama usajili umekamilika.


Aidha Mamlaka inaomba wananchi kutoa ushirikiano ili waweza kufanya kazi vizuri kwa mujibu wa sheria namba 21 huku ikiwaonya watanzania kutonunua simu kwa wamachinga na kuahidi kushughulikia malalamiko kwa haraka likiwemo la utumiaji wa mabadiliko ya fedha .




LIVE NEWZ KUTOKA IRINGA LEO;Kaimu Mkurugenzi na afisa mipango Iringa akemea matumizi mabaya ya viwanja vya posta.

$
0
0
Kutokana na matumizi mabaya ya viunga vya posta, Manispaa ya Iringa yanayofanywa na baadhi ya watu,Kaimu Mkurugenzi na afisa mipango miji manispaa ya Iringa IMAKULATA SENJE amekemea vikali tabia hiyo.


Senje amesema kuwa maeneo hayo yaliwekwa kwa ajili ya watu kupumzika nyakati za mchana na si kwa ajili ya matumizi mengine ambayo yanafanywa na baadhi ya watu wasiokuwa wastarabu mkoani hapa.


Aidha senje amesema kuwa wana mpango wakumuweka mtu binafsi ambaye atasimamia viunga hivyo na kuendelea kupaboresha kwa kuweka vitu mbalmbali lakini kitu kama hicho kina taratibu zake.


Afisa senje amesema hayo kutokana na tbia za watu wanaopenda kwenda kujipumzisha katika viunga hivyo vya posta mkoani hapa na kutumia vibaya kwa kufanya anasa mbalmbali na kutupa taka ovyo hali inayopeleka wafanya usafi kupata tabu.



katibu mkuu wa ccm ndugu kinana na ujumbe wake aendelea na ziara yake wilayani makete mkoani njombe.

$
0
0
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Ndugu Abdulrahman  Kinana akizungumza na Wananchi wa kata ya Iniho mapema leo jioni ndani ya wilaya ya Makete mkoani Njombe,Kinana alizungumza kwenye mkutano huo wa hadhara mambo mbalimbali ikiwemo na kuwahakikishia wananchi kuwa Serikali itaendelea kutekekeleza miradi yake yote iliyoahidi ikiwemo ya barabara,maji na umeme,aidha aliwataka wananchi kubeza baadhi ya vyama vya siasa vinanvyoeneza chuki kwa watanzania na kuindosha amani iliyopo.Kinana akiwa sambamba na ujumbe wake ameyazungumza hayo wilayani Makete katika kijiji cha Ukwama ikiwa siku ya nne ya ziara yake mkoani Njombe kutembelea mashina ya chama hicho pamoja na kufanya mikutano ya hadhara kueleza serikali ilichotekeleza.
Katibu  wa Itikadi na Uenezi Taifa  Nape Nnauye  akimtambulisha aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA,Keffa Lupiana pichani kushoto kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye kata ya Iniho,Wilaya  ya Makete mkoani Njombe.
Mbunge wa Jimbo la Makete na Naibu Waziri wa Maji Dkt.Binilith Mahenge akieleza mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyofanywa jimboni  mwake katika kutekeleza Ilani ya CCM kwenye mkutano wa .
 Sehemu ya Wananchi wakishangilia jambo wakati ndugu Kinana alipokuwa akizunngumza nao kwenye mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa shule ya msingi ya ukwama mapema leo jioni ndani ya wilaya ya Makete mkoani Njombe .
  Sehemu ya Wananchi wakiwa kwenye uwanja wa kata ya Ukwama wakimsubiri Ndugu Kinana  azungumze nao mapema leo jioni ndani ya wilaya ya Makete mkoani Njombe.
Ndugu Kinana akisalimiana akisalimiana Chifu wa kabila la Wakinga,Godfrey Mwemusi Sanga,mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye uwanja wa ukwama,wilaya ya Makete mkoani Njombe,shoto ni Katibu  wa Itikadi na Uenezi Taifa  Nape Nnauye 
 Sehemu ya hali ya hewa ya Wilaya ya Makete kama ionekavyo jioni ya leo.
Mkuu wa Wilaya ya Makete,Mh Josephine Matiro akimuongoza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na ujumbe wake,mapema leo mchana alipokuwa akikagua uhai wa mashina ya chama hicho katika kijiji cha Tandala,Wilaya ya Makete mkoani Njombe.Kinana na ujumbe wake wako ziarani mkoani Njombe katika kuimarisha shughuli za chama,kuangalia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wa CCM na pia kuzungumza na Wananchi kuhusiana na matatizo yao mbalimbali yanayowakabili .

washindi wa shindano la gfc hawa hapa.

$
0
0
Washindi wa kwanza wa nusu fainali ya pili ya Guinness Football Challenge Emmanuel Okraku Kofi(kushoto) na Isaac Aryee(kulia) katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi hicho Larry     Asego na Mimi kalinda.
Washindi wa pili wa nusu fainali ya pili ya Guinness Football Challenge Ephatus Nyambura(kulia) na Samuel Papa(kushoto) katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi hicho Larry Asego na Mimi kalinda.

Miss Tabata leo, Twanga Pepeta kupamba shindano

$
0
0
Shindano la kumtafuta Miss Tabata 2013 linafanyika leo katika ukumbi wa Dar West Park Tabata. Warembo 20 watachuana kutaka kumrithi Noela Michael ambaye anashikilia taji hilo kwa sasa. Noela pia ndiye anashikiria taji la Miss Ilala.

Mbali ya kuwakilisha Miss Tabata kwenye shindano la Miss Ilala baadaye mwaka huu, mshindi huyo pia atazawadiwa Sh.600,000 pamoja na king’amuzi kutoka Multichoice ambacho kimelipiwa tayari kwa miezi mitatu kikiwa na thamani ya  Sh.400,000.

Mshindi pili atapata Sh. 300,000,  wa nne Sh.200,000 na wa tano  atazawadiwa Sh.150,000. Warembo wengine watakaofanikiwa kuingia 10 bora, watazawadiwa Sh.100,000 kila mmoja wakati waliosalia watapata kifuta jasho cha Sh.50,000 kila mmoja.

Warembo wanaoshiriki kinyang’anyiro hicho mwaka huu ni Madgalena Bhoke (21), Kabula Juma Kibogoti (20), Upendo Dickson Lema (22), Hidaya David Mwenda (22), Aneth Ndumbaro (19),  Dorice Mollel (22), Eunice Nkoha (19), Kazunde Musa Kitereja (19),  Rehema Kihinja (20),  Pasilida Mandali (21), Brath Chambia (23), Joaniter Kabunga (21), Recho Mushi (20),Caroline Sadiki (20) na  Suzan Daniel (18).

Wadhamini wa shindano hilo ni Dodoma Wine, Redd’s Original, Nipashe, Vayle Springs, Multichoice, Fredito Entertainment, Integrated Communications Limited, CXC Africa, Brake Point na Saluti5.

Miss Tabata 2013 imeandaliwa na Bob Entertainment na Keen Arts.

ADMISSION OPEN FOR ACADEMIC 2013/14 UNIVERSITY OF MYSORE INDIA


NYUMBA YETU NI MOJA TWAGOMBANIA FITO.!

Lowassa aipongeza kampeni ya hoteli ya Double Tree ya kutoa taa za nishati ya jua

$
0
0
IMG_9427
Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann akifafanua jambo kwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa (kulia) ambapo amemweleza kuwa huu ni mwendelezo wa Kampeni yao itakayodumu kwa takribani miaka miwili tangu walipoanza na lengo likiwa nikuwafanya wanafunzi hususani wa darasa la saba wawe na ufahamu zaidi juu ya chanzo kingine cha umeme ambacho ni rafiki wa mazingira kwa kupitia mafunzo katika madarasa yao katika hafla fupi iliyofanyika ofisini kwa Mh. Edward Lowassa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoulbeTree by Hilton Florenso Kirambata.(Picha na Dewji Blog).
IMG_9437
Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann (katikati) akimkabidhi moja kati ya taa 200 zinazotumia nishati ya jua Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoulbeTree by Hilton Florenso Kirambata akishuhudia tukio hilo kwenye hafla fupi iliyofanyika Ofisini kwa Mh. Edward Lowassa jijini Dar.
IMG_9448
Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoulbeTree by Hilton Florenso Kirambata akikabidhi baadhi ya taa zinazotumia nishati ya jua kwa Kaimu Afisa Elimu wa Wilaya ya Monduli Jumanne Masuke. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa ( wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann (wa pili kushoto).
IMG_9468

Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa uongozi wa DoubleTree Foundation ambapo ametumia fursa hiyo kuitaka serikali kuwekeza sana katika elimu ili kuweza kukuza uchumi.

Aidha amesema ni vyema kuwekeza katika sekta ya elimu ili tuweze kusonga mbele na kuwa na kizazi cha watu wenye elimu kwani masikini asiye na elimu ni hatari kuliko mtu yeyote, kwa kuwa mtu anapopata elimu anakuwa na ufahamu unaomuwezesha kukabiliana na maisha ya kila siku.
IMG_9481
Picha juu na chini ni Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton ya Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann (katikati) na Kushoto ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoulbeTree by Hilton Florenso Kirambata mara baada ya kukabidhiwa taa 200 zinazotumia nishati ya jua atakazozigawa katika jimbo lake kwa shule za msingi.
IMG_9479

DEWJI AMWAGA MISAADA KATIKA JIMBO LA SINGIDA YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 87 NA KUWATAKA VIONGOZI KUTEKELEZA ILANI ZA CCM.

$
0
0
E83A0131
Picha juu na chini ni Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Gullam Dewji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha mabasi cha zamani mjini Singida.(Picha zote na Nathaniel Limu).
E83A0138
E83A0112
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji kuzungumza na wananchi wa jimbo lake.
E83A0094
Mbunge wa jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Gullam Dewji, akiwa anasalimiana na Wana CCM na wananchi wa Singida mjini kwenye kituo cha mabasi cha zamani mjini Singida.

Na Nathaniel Limu.
Mbunge wa Singida mjini (CCM) Mh. Mohammed Gullam Dewji amemwaga misaada mbalimbali ikiwemo kuwaongezea mitaji wauza kahawa chungu, ambayo haijawahi kutolewa jimboni humo na mbunge au mfadhili yeyote kwa wakati mmoja, kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru.
Misaada hiyo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 87.9, ni pamoja na mabati 100 na mifuko ya saruji 100, kwa kila shule 17 za sekondari jimboni humo.

Misaada mingine ni vyereheni viwili kwa kila kata 19 na cherehani moja kwa kila tawi la CCM jimboni humo. Pia vikundi 16 vya wajasiriamali vikiwemo vya kung’arisha viatu, mafundi baiskeli, wapiga debe wa vituo vya mabasi, wasukuma matoroli, wakereketwa wa mashina ya CCM, watengeneza viatu vya kienyeji na baba, mama lishe, kila kimoja kimeongezewa mtaji wa shilingi 500,000 taslimu.

Vifaa hivyo na mitaji ya biashara, vimetolewa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida. Akizungumza kwenye mkutano huo wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya wana-CCM na wananchi kwa ujumla, Mh. Dewji amesema msaada huo ni mwendelezo wa misaada yake anayoitoa kwa ajili ya kuiunga mkono serikali katika kuwatumikia wananchi.

Amesema pia kuwa misaada hiyo ni sehemu yake ya utekelezaji wa ilani ya CCM katika kuwatumikia wananchi wa jimbo la Singida mjini. Amesema “Tunatakiwa tujitume usiku na mchana, ili tuhakikishe kila tuliyoyaahidi kwenye ilani yetu, yote tumeyakamilisha, vinginevyo wananchi hawatatuelewa. Wananchi wanahitaji utimilifu wa ahadi na sio uhodari wa kujieleza kwenye majukwaa”.

Katika hatua nyingine, Mh. Dewji ametumia fursa hiyo kuwaomba viongozi na watendaji kuendelea na moyo safi wa kuwatumikia wananchi bila kuchoka. Amesema pia wawe waaminifu na waadilifu kwa wananchi na waongozwe kwa dhamira iliyo njema, yenye uzalendo wa kuipenda nchi yetu na watu wake. Mbunge Dewji amesema “Tuendelee kuhubiri amani na utulivu kwenye majukwaa, wakati wote tuwaelekeze wananchi kwenye kujiletea maendeleo endelevu ya wakati huu na wakati ujao”.

kinana na ujumbe wake wapokelewa kwa shangwe wilaya mpya ya waging'ombe,mkoani Njombe azindua miradi mbalimbali ya kijamii.

$
0
0
Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (chini ya bendera) alipowasili leo , kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wanging'ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe. 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wanging'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanganya udongo kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wanging'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake wakitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wanging'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake wakitoka kukagua moja ya shina la chama hicho ndani ya wilaya mpya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Ndugu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wakazi wa kijiji cha Malangali,Kata ya Luduga,Wilaya ya Wanging'ombe mapema jioni ya leo.Kinana alizungumza mambo kadhaa ikiwemo na suala la mgogoro ardhi uliohusu wananchi waishio eneo la hifadhi ya Malangali kuhamishwa,Kinana aliishauri serikali kulifanyia kazi jambo hilo kwa umakini mkubwa kuondoa mgongano na usumbufu kwa wananchi,Aidha katika mkutano huo hadhara Kinana aliahidi kiasi cha fedha kwa vijana kuwawezesha kuunda umoja wao wa kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
Wakazi wa kijiji cha Malangali,Kata ya Luduga,Wilaya ya Wanging'ombe wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara,ambapo Ndugu Kinana pia alizindua ofisi ya CCM ionekanayo pichani.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikata utepe kuzindua Mradi wa ufugaji wa Nyuki wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Wanging'ombe katika kijiji cha Malangali Kata ya Luduga mapema jioni ya leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo mafupi mara baada kuzindua Mradi wa ufugaji wa Nyuki wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Wanging'ombe katika kijiji cha Malangali Kata ya Luduga mapema jioni ya leo.Aidha alielezwa kuwa Kijiji cha Malangali kimetoa ekari 50 kwa Jumuiya hiyokwa matumizi ya mradi huo wa Nyuki,ambapo baadhi ya wanakijiji hicho walikiri wazi kuwa Urinaji asali ni zao ambalo kwa sasa limekuwa la kibiashara  na linawapatia fedha za kujikwamua kimaisha.Katika taarifa iliyoswa inaeleza kuwa mpaka sasa wamekwisha chonga mizinga ya nyuki ipatayo 50 yenye thamani ya shilingi milioni 1.50.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akizungumza na Wakazi wa kijiji cha Malangali,Kata ya Luduga,Wilaya ya Wanging'ombe mapema jioni ya leo.
Ndugu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na moja ya Shina la CCM ikiwa ni sehem ya kukagua na kutambua uhai wa mabalozi wa chama hicho popote pale walipo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa kijiji cha Igwachanya ambapo ndio makao makuu wa Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Ofisi ya CCM Wilaya ya Wanging'ombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipita kuangalia maonesho ya mafunzo ya shamba Darasa na maonesho ya shughuli za Mkulima katika kijiji cha Igwachanya ambao ndio makao makuu Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.

MICHANGO YA MAANDALIZI YA MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEHA

$
0
0
Kamati ya maandalizi ya msiba / mazishi ya msanii ndugu yetu Albert Kenneth Mangweha inapenda kutoa taarifa ya mchakato unaoendelea wa maandalizi ya mazishi, Kamati inahitaji michango yenu kwa ajili ya kufanikisha mazishi pale mwili wa marehemu utakapofika nchini Tanzani,kuanzia kuagwa kwa marehemu shughuli itakayofanyika jijini Dar es Salaam na kusafirishwa mjini Morogoro eneo la Kihonda kwa ajili ya Maziko.
Kusafirisha mwili wa marehemu pekee ni dola za kimarekani elfu sita gharama hizi zimetolewa na Clouds Media Group lakini vilevile kampuni ya Bongo records na Push Mobile kila moja imetoa shilingi milioni tano, EMasters wametoa Tenti 20,viti 1500 na gharama za uwanja wa Leaders pamoja na Mabasi Madogo aina ya coster 5 , Miraji Kikwete ambae yeye amejitolea  kuprint tshirt 200 kwa familia na kamati, Samaki samaki wametoa Milioni Moja na Laki tano,skylyte Band wao wametoa gari ambalo litaupokea mwili wa Marehemu na kuusafirisha mpaka Morogoro, 

Kwa wale wanaoweza kuchangia kupitia mitandao ya simu tuma kwa kaka wa marehemu Kenneth Mangweha namba zifuatazo:

Tigopesa - +255 717 553905

Jina la akaunti: Kenneth B Mangweha
Namba ya akaunti: 2012505840
Benki: NMB

Tukitegemea ushirikiano wenu tunatanguliza shukrani za dhati
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live




Latest Images