Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46397 articles
Browse latest View live

UWF yatoa zawadi kwa mshindi wa nne na watano wa shindano la mwanamakuka 2013

$
0
0
Mshindi wa nne wa shindano la Mwanamakuka 2013 bi Maajabu Rajab akipokea hundi  yake kutoka kwa  Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi Magreth Chacha kwenye hafla fupi iliofanyika kwenye kiota cha maraha,Escape 2 kilichopo Mbezi Beach,jijini dar.Kulia ni Mwenyekiti wa UWF Bi Ester Wakati  na kushoto ni Meneja Mradi wa Mwanamakuka,Bi.Mariam Shamo.
 Wa pili kutoka kulia ni Mshindi wa tano wa shindano la Mwanamkuka 2013 Bi Agnes Daud akipokea hundi yake
Mtangazaji wa Kipindi cha Leo tena,Kutoka Clouds FM, Dina Marios akipokea cheti cha shukrani kwa kazi yake nzuri ya kumtafuta Mwanamakuka 2013,kutoka kwa Meneja  Mradi wa Mwanamakuka ,Bi.Mariam Shamo.
Wa pili kutoka shoto ni Mshindi wa kwanza wa shindano la mwanamakuka bi Hadija Mbogulume akiwa na picha zake anazochora na kununuliwa hapo hapo zote na akiwa sambamba na baadhi ya Wanachama wa UWF.
 Mmoja wa Wadhamini wa shindano la Mwanamkuka b.i Juhayna kusaga kutoka kampuni ya Prime Time Ppromotions akishukuriwa na UWF
 Baadhi ya Wanachama wa UWF wakijimwaya mwaya kwa pamoja
Baadhi ya Wanachana wa UWF wakiwa na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo fupi iliofanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape 2,Mbezi Beach jijini Dar.
wadau  wa UWF,Godliver na Bertha wakishoo love kwa pamoja.

kinana awapongeza vijana wa Ifakara kwa kuchapa kazi na kujitegemea.

$
0
0
Ndugu Kinana akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na baadhi ya wanachama wa Ifakara mjini kwenye mkutano wao ndani mapema jana.
Baadhi ya wanachama wakimsikiliza Ndugu Kinana alipozungumza nao kwenye mkutano wao ndani,Ifakara Mjini wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro,ambapo alizungumza mambo mbalimbali ikiwemo na suala zima la kukiimarisha chama hicho.
Mmoja wa wanachama wa chama cha CHADEMA akikabidhi kadi yake kwa Ndugu Kinana na baadae kukabidhiwa kadi ya chama cha CCM,akiwa ni mwanachama mpya aliyejiunga na chama hicho.
Baadhi ya Wanchi wa eneo la Ifakara Mjini wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana alipozungumza nao eneo la Stendi kuu ya mabasi ya Ifakara mjini,Ndugu Kinana alizungumza mambo mengi ikiwemo  namna ya kufanya utatuzi wa mambo ambayo yamekuwa kero kwao,ikiwemo suala la Umeme,Kilimo na miundo mbinu,sambamba pia kuisaidia miradi mbalimbali inayofanywa na vijana wa mji wa Ifakara ambao unakuwa kwa kasi siku hadi siku.
Ndugu Kinana akikazia jambo wakati alipokuwa akizungumza na baadhi ya Wanchi wa eneo la Ifakara Mjini,eneo la Stendi kuu ya mabasi ya Ifakara mjini,wilayani Kilombero mkoani Morogoro.Ndugu Kinana aliwasifu na kuwapongeza vijana wa mji wa Ifakara kwa kuonyesha uwezo wao mkubwa kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea.Ndugu Kinana yumo mkoani Morogoro kwa ziara ya siku kumi ya kuimarisha chama cha CCM sambamba na kukagua miradii mbalimbali kwa ajili ya maendelo ya wananchi,
Mkuu wa wilaya ya Kilombero,Bwa.Hassan Masalla  akifafanua jambo kuhusiana na tatizo la kukatika katika kwa umeme mbele ya wakazi wa mji wa Ifakara mjini mapema jana,aidha Masalla aliwatoa hofu wananchi wa eneo hilo la Ifakara mjini kuwa tatizo hilo ambalo limekuwa kero kubwa kwa wananchi wa eneo hilo linashughulikiwa kwa nguvu zote na kuhakikisha linatengamaa na kwisha kabisa,kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana akimsikiliza kwa makini.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana alikisalimiana na baadhi ya vijana wakiwemo waendesha Boda boda waliokuwa wakimsubiri kwa hamu,ambapi vijana hao walimweleza baadhi ya matatizo ambayo yamekuwa kero kwako,aidha Kinana aliwasikiliza na kuwaeleza kuwa ameyapokea matatizo yao na kuahidi kuyafanyia kazi na kuhakikisha yanapungua ama kuisha kabisa.
Ndugu kinana akizindua moja shina la Wakaretwa wa chama cha CCM kati ya mashina manne aliyoyazindua Ifakara mjini.
Ndugu Kinana akiwa ameongozana na baadhi ya Wanachama wa CCM kwenda kukagua moja ya mradi unaoendeshwa na chama hicho Ifakara Mjini.
Ndugu Kinana akizungumza na mmoja wa wauza Mchele eneo la sokoni,Ifakara mjini

Baadhi ya wakazi wa Ifakara Mjini eneo la Sokoni,wakimsikiliza Ndugu Kinana alipozungumza nao kwenye eneo la mradi wa chama hicho.
Shina jipya likizinduliwa na Ndugu Kinana.

jicho la jiachie likijivinjari live ndani ya wilaya ya kilosa,mkoani morogoro

MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YAFANA INGAWA HAYANA WADHAMINI

$
0
0

Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Yusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti .
Bondia Athumani Yanga wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala akioneshwa mkono juu baada ya kumpigaYusuph Saidi wa Kokoto wakati wa mashindano ya Klabu bingwa ya wilaya ya temeke yaliyoanza jana Yanga alishinda kwa point na kupereka shagwa katika klabu ya Ashanti .

Bondia Husein Mawimbi wa Amana akinyooshwa mkono juu baada ya kumpiga kwa point bondia Said Mabunda wakati wa Mashindano ya Klabu bingwa wilaya ya temeke Dar es salaam jana Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MZEE ALI HASSAN MWINYI AWEKA BAYANA KAULI YAKE KUHUSU KUCHINJA

KAMPUMZIKE KWA AMANI BI KIDUDE BINT BARAKA

$
0
0
Mwanamzuki Mkongwe wa mahadhi ya Taarab hapa nchini ,ambaye anakadiriwa kuwa na umri zaidi ya miaka 100,ajulikanae kwa jina la kisanii almaarufu Bi Kidude Bint Baraka amefariki  dunia mapema leo kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu,huko Zanzibar.Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen. 

=========  ========  ========

Fatuma binti Baraka (aka Bi Kidude) is a Zanzibari Taarab singer,
She died on 17th April 2013 in Zanzibar,Tanzania.

Fatuma binti Baraka (aka Bi Kidude) is a Zanzibari Taarab singer. She is considered the undisputed queen of Taarab and Unyagomusic and is also a protégé of Siti binti Saad. Bi Kidude was born in the village of Mfagimaringo, she was the daughter of a coconut seller in colonial Zanzibar. Bi Kidude's exact date of birth is unknown, much of her life story is uncorroborated, giving her an almost mythical status.
In 2005 Bi Kidude received the prestigious WOMEX award for her outstanding contribution to music and culture in Zanzibar.
She died on 17th April 2013
Bi Kidude’s exact date of birth is unknown, much of her life story is uncorroborated, giving her an almost mythical status.
As a child, she was singled out for her fine voice and, in the 1920s, sang locally with popular cultural troupes, combining an understanding of music with an equally important initiation into traditional medicine.
At age 13, after a forced marriage she fled Zanzibar to mainland Tanzania. Bi Kidude toured mainland East Africa with a taarab ensemble, visiting the major coastal towns and inland as far west as Lake Victoria and Tanganyika. She walked the length and the breadth of the country barefoot in the early 1930s fleeing another unhappy marriage.
In the 1930s she ended up in Dar es Salaam where she sang with Egyptian Taarab group for many years.
In the 1940s she returned to Zanzibar where she acquired a small mud hut to be her home. She is known for her role in the Unyago movement which prepares young Swahili women for their transition through puberty. She is one of the experts of this ancient ritual, performed only to teenage girls, which uses traditional rhythms to teach women to pleasure their husbands, while lecturing against the dangers of sexual abuse and oppression.

THE NEW RUKWA REGIONAL MUSEUM (LOCATED AT REGIONAL COMMISSIONER'S OFFICE, GROUND FLOOR)

$
0
0
It is a small museum founded by the Rukwa Regional Commissioner Engineer Stella Manyanya to concur with the instruction given by the Prime Minister Mizengo Kayanza Pinda during the function of Tanzania Cultural Day, Rukwa and Katavi Community held in Dar es Salaam at Makumbusho square last year 2012. The instruction by the Prime Minister went to Rukwa and Katavi leaders to establish Regional Museums that will serve together with tourism  industry in the respective Regions.

 Just by start, the Rukwa Regional Commissioner decieded to establish a small museum at his office as a steping stone towards the achievement of having a Regional Museum where later on will be shifted elsewhere as a full Regional Museum. The area has already alocated where in the future will be transformed into a Rukwa Regional Museum.    
 Some collections of informations and crafts has already being made as can be seen on the pictures.
 Various trophies that were given to the Rukwa Regional Commissioner's Office in previous years on a different achievements can also be found here.
 Information of all Regional Commissioner's lead Rukwa Region since its establishment in the yaear 1974 can also be found here. 

Rukwa Regional Commissioner Engineer Stella Manyanya working handly with carpenters in the process of establishing the Museum. It was not an easy task, this day it took over 20 hours a day to accomplish the initial stages of the Museum.
(Photo by Hamza Temba of the Rukwa Regional Commissioner's Office).

Mstahiki Meya Jerry Silaa azindua kambi ya Starkey itakayotoa huduma Bure na vifaa kwa wananchi wenye matatizo ya kusikia.

$
0
0

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akilakiwa na uongozi wa Starkey alipowasili katika shule ya Buguruni Viziwi kuzindua kambi ya Starkey itakayokuwa inatoa huduma ya uchunguzi, vifaa na matibabu bure kwa wananchi wenye matatizo ya kusikia.

Mstahiki Meya Jerry Silaa akipewa maelezo na mmoja wa wauguzi katika kambi hiyo mara baada ya kuwasili.

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akifanyiwa uchunguzi wa tatizo la kutosikia wakati kuzindua kambi ya Starkey itakayosaidia kutoa huduma na matibabu bure kwa wananchi wenye matatizo ya kusikia iliyopo kwenye shule ya watoto wenye ulemavu wa kusikia (Buguruni viziwi) jijini Dar.

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa jana tarehe 16 April 2013 amezindua kambi ya Starkey ya kusaidiawananchi wenye matatizo ya kusikia iliyofanyika katika shule ya watoto wenye ulemavu wa kusikia (Buguruni viziwi), ambapo wenye magonjwa watatibiwa na wenye kuhitaji vifaa vya kuongezea usikivu watatengenezewa kulingana na size zao na watapewa bureee.

Mstahiki Meya amepima na kwa kuwa ameonekana kutokuwa na tatizo amepata fursa ya kutengenezewa "custom made earphones" wote wenye matatizo mnakaribishwa. Huduma hii ni bureee...
Picha juu na chini ni Mstahiki Meya Jerry Silaa akivishwa "Custom made earphones" na mmoja wa madaktari bingwa katika kambi hiyo mara baada ya kuzindua huduma hiyo atakayokuwa ikitolewa bure kwa wananchi wenye matatizo ya kusikia.


Mstahiki Meya Jerry Silaa akimsalimia mmoja wa watoto waliofika kambini hapo kupatiwa huduma baada ya kuizindua.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akipewa maelezo ya namna huduma hiyo itakavyokuwa ikitolewa kwa wagonjwa watakaofika kambini hapo.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi wa kambi hiyo mara baada ya kuzindua.

Miss Dar Indian Ocean 2013

$
0
0


Dear all,

As some of you may or may not know, Bhitz Group is the organiser of this years REDDS MIss Dar Indian Ocean 2013. It will be the first pageant to kick off the search of MIss Tanzania 2013. The Event is being held on the 30th of Aprill 2013 at the National Museum opposite IFM. We would like your assistance in publicising this event on your blog, and social media sites in efforts of raising public awareness. 

Please find attached a copy of the 'press release,' the 'official MDIO2013 poster' and a 'free ticket give way competition poster' for the event in both swahili and english.

If you need more information, please do not hesitate to email us.

Your assistance will be truly appreciated. 

Kind Regards,

Bhitz

GARI HII AINA YA NOAH INAUZWA

$
0
0
 Inavyoonekana kwa Nyuma
 Upande wa Kulia
 Kwa Mbele


Kwa Ndani inavyoonekana
 Upande.
 Chasis Namba hiyo...
Aina: Toyota Noah
Model : 1999
CC: 2000
Good Condition ( Hali nzuri)
Imelipiwa Kila kitu Inasubiriwa Namba za Usajili tu.
Kwa Mawasiliano 0712 390 200 au 0713 344399
E-mail: Josephat.lukaza@gmail.com

Kumbukumbu ya kutimiza miaka 5 , Marehemu Anthony Njeje

$
0
0

Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana Lihimidiwe.

Amen

YAHUSU KUSAMBAA KWA HABARI ZA MISHAHARA YA WALIMU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

Exim Bank Group approaches the trillion shilling milestone

$
0
0

  The Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (centre) stresses a point to journalists on the bank’s financial performance last year. Looking on is at the left is the bank’s Senior Finance Manager Issa Hamis and Selemani Ponda the bank’s Chief Finance Officer 
 The Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) stresses a point to journalists on the bank’s financial performance last year. Looking on is at the left is Selemani Ponda the bank’s Chief Finance Officer . 
 The Exim Bank Tanzania Chief Finance Officer Selemani Ponda (left) stresses a point to journalists on the bank’s financial performance last year. Looking on is at the left is the bank’s Managing Director Anthony Grant (centre) and the bank’s Senior Finance Manager Issa Hamis (right) 
 The Exim Bank team listen to questions from journalists during the press conference. Second right is the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant. The Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant
The Exim Bank Tanzania Assistant Marketing Manager Anita Goshashy  (right) and the bank’s Head of Human Resource (HR) Siaophoro (left) carefully listen to journalists’ question during the press conference

=============  ============  ============
Exim Bank Group approaches the trillion shilling milestone,

EXIM Bank Group with subsidiaries in Tanzania, Djibouti and Comoros has recorded a10% growth in after tax profits , rising to Tzs 13.7 billion in 2012, from Tzs12.4 billion recorded in 2011.

Addressing a press conference yesterday on the bank’s financial performance last year, the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant said the bank is now close top the trillion shilling milestone.

Grant said the bank’s total assets rose by 14.9% to Tzs 966.5 billion for the year ending 2012, as compared to Tzs 841 billion recorded for December 2011. “Total deposits grew by 16% to Tzs 809 billion in 2012, from Tzs 699 billion recorded in 2011. Total shareholder funds for the Group rose by 22.5% to Tzs 109.4 billion in 2012, from Tzs 89.3 recorded in 2011.  

Return on average shareholder funds however grew by 14.2% and basic earnings per share rose basic earning per share went up 9% to Tzs1,059 in 2012 from Tzs971 in 2011.

Grant said that during the year Exim Bank invested to strengthen its foundation. The bank transitioned into a new core banking system that became fully operational in 2012. During the year the bank continued its planned expansion, adding a new full service branch at Kigoma on Lake Tanganika and opening a second Moshi branch named Kilimenjaro. Resources were also placed into preparation for a new Shinyanga branch, opened in February 2013. Exim Bank operates Tanzania’s fourth largest branch  network.

Grant was upbeat on the bright future, commenting also on the bank’s position as Tanzania’s only indigenous bank to have spread its wings to operate in two other countries Comoros and Djibouti.

“Exim Bank will continue to take services closer to communities across the country and launch new distribution channels. Our corporate and individual customers have been able to enjoy world class products,” he said.
ENDS.

saturday night

Ziara ya katibu mkuu wa ccm na ujumbe wake ndani ya wilaya ya kilosa,leo wapo wilaya ya Gairo.

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana akimsikiliza Kaimu Mkuu wa hifadhi ya Mikumi,Bwa.Datomax Selanyika wakati alipokuwa akimuelezea faida za kuhifadhi Mbuga za Wanyama na kutunza mazingira ya Mbuga hizo,aidha pia Dotomax alizungumzia mipango na mikakati ya kuihamisha barabara ya lami itokayo Dar kuelekea Tunduma ambayo imekatiza ndani ya hifadhi na alifafanua pia kuhusiana na faida ya kuihamisha barabara hiyo. 
Moja ya Kikundi cha ngoma kilichokuwa kikitumbuiza kwenye mkutano wa hadhara uliofanywa na katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana,uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Kilosa Town,Kilosa mjini
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi-CCM,Nape Nnauye akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Kilosa Town,Nape aliwaasa wakazi wa Kilosa kuwa makini na mambo ambayo wamekuwa wakiambiwa kutoka kwa vyama vingine ambavyo vimekuwa vikipotosha ukweli wa mambo kuhusiana na mambo mbalimbali yanayowahusu.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Wananchi wa waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Kilosa Town.Kinana alikuwemo Wilayani humo kwa ajili ya kuimarisha chama na kukagua miradi mbalimbali ya chama hicho.
 Ndugu Kinana akiagana na Mbunge wa Jimbo la Kilosa,Mh.Mkulo
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana akipokelewa na wanachama wa chama hicho mara baada ya kuwasili Wilayani Gairo mapema jana usiku akitokea Wilayani Kilosa sambamba na ujumbe wake wa CCM,tayari kwa kukagua miradi mbalimbali zikiwemo shughuli za maendeleo mapema leo.
 Baadhi ya Wanakijiji waliokuwa wamejitokeza kushuhudia shughuli za uzinduaji shina eneo la Ulaya-Wilayani Kilosa
 Ndugu Kinana akisikiliza hotuba iliyokuwa ikisomwa na mmoja wa wanachama wa CCM kabla ya kuzinduliwa kwa shina eneo la Ulaya-Wilayani Kilosa
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdurahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya kuzindua tawi la CCM-Kibaoni wakati akiwa njiani kuelekea Wilayani Kilosa kwa ajili ya Kuimarisha chama na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ya chama hicho.
 Kwaya ya CCM Kilosa ikiimba tayari kwa kumpogea mgeni rasmi,Ndugu Kinana na ujumbe wake wa CCM.
 Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Mbumi B wilaya ya Kilosa,wakishangilia jambo,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akizungumza nao na kuzindua shina la Wakereketwa eneo hilo.
Ndugu Kinana akizungumza na baadhi ya wajumbe na wanakijiji cha Mbumi B,Wilayani Kilosa mara baada ya kufungua Shina la Wakereketwa wa  chama hicho,nyuma kabisa ni Katibu wa NEC  Itikadi na Uenezi-CCM,Nape Nnayo wakifuatilia mkutano huo uliopokelewa vyema na Wananchi.

Baadhi ya Wajumbe,mabalozi,viongozi wa mashina,madiwani na wenyeviti  wenyeviti wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (hayupo pichani),alipozungumza nao kwenye mkutano wa ndani kwa dhumuni kubwa la kuimarisha chama na kukagua baadhi ya shughuli za maendeleo ya chama hicho uliofanyika Uhindini,kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mamlaka ya mji Mdogo wa Kilosa,

Majadiliano kuhusu uchumi wa Tanzania na Gesi na Benki ya dunia na IMF

$
0
0
 Ujumbe kutoka Tanzania katika kikao cha pamoja na Mwakilishi Mkazi wa World Bank Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier katika majadiliano kabla ya kukutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bw…..
Kutoka kushoto ni Mshauri wa Mkurugenzi wa Afica Group One Bw. Wilson Toninga Banda, Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group One Bw. Denny H. Kalyalya pamoja na Mkurugenzi Mwandamizi  wa Africa Group One  Bw. Peter Larose wakiwa katika majadiliano na ujumbe wa Tanzania  ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt A. Mgimwa.

 Kutoka kushoto Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. A. Mgimwa, Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group (IMF) Bw. Momodou Bamba Saho pamoja na Naibu Katibu Mkuu Dr. S. Likwelile wakifurahia jambo baada ya kikao cha kujadili masuala ya hali ya uchumi wa Tanzania pamoja na gesi.
 Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. A. Mgimwa akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Africa Group (IMF) Bw. Momodou Bamba Saho mara baada ya kumaliza majadiliano.

Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte

$
0
0
Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo jana Jijini The Hague.Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri mkuu wa Nchi hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh.Mark Rutte(picha na Freddy Maro).

Tanzania lunches One Health initiative to curb communicable diseases

$
0
0


 Tanzania’s Vice President Dr Mohammed Gharib Bilal (left) unveils a pull up banner to symbolize the launch of One Health in Tanzania initiative which will pull together health institutions to work together towards identifying, preventing and eradicating communicable diseases in Tanzania. Right is One Health Central and Eastern Africa (OHCEA) Country Focal Person Prof Japhet Kilewo. The launch was done in Arusha on Tuesday. Note: One Health in  Tanzania is (Afya Moja Tanzania) 
========  =======    ========    =======

Health institutions in Tanzania has pulled together to form a one health network which would harmonize activities done by these institutions which aims at minimising duplication of efforts to fight communicable diseases.

The network launched on Tuesday by Tanzania’s Vice President Dr Mohammed Gharib Bilal in Arusha, will see three institutions - the National Institute for Medical Research (NIMR), Southern African Centre for Infectious Diseases Surveillance (SACIDS) and One Health Central and Eastern Africa (OHCEA)- working together to identify, prevent and eradicate communicable diseases in Tanzania.

Speaking during the opening of the 27th Annual Joint Scientific Conference of the National Institute for Medical Research (NIMR) and the 2nd One Health Conference in Africa which is jointly organized by NIMR, SACIDS and OHCEA, Dr Bilal said the Government will continue to support all national, regional and international commitments for surveillance, risk management and control of communicable diseases.

He said that the fact that NIMR has joined forces with the SACIDS and OHCEA to hold the largest gathering that has brought human health and animal health experts under one roof to discuss measures on how to control the pandemic is a good start of partnership which will transform Tanzania’s health sector landscape.

The conference goes with the theme, “Changing Landscape in Health Research in Africa.” According to Dr Bilal, the theme is timely, considering that the government is preparing to implement its 4th National Health Research Priorities. “Tanzania, like many other Sub-Saharan Africa countries is challenged by a number of emerging and re-emerging communicable diseases,” he said and added, “I am glad to learn that one of the sub-themes of this conference is addressing “One Health in Africa.”

Elaborating on the One Health in Tanzania initiative, OHCEA Country Focal Person Prof Japhet Kilewo said the network will see several one health networks in Tanzania which share the common mission of driving transformational change for improvement and wellbeing of humans, animals and the ecosystem through multidisciplinary research, training and community service, working together.

“These bodies have recently met and charted out a way forward including the formation of a ONE HEALTH FORUM that would harmonize the activities of these networks so that duplication of efforts is minimized.

“Experience with the AIDS epidemic indicates that we have lost many opportunities which would have enabled us to investigate and limit the spill over of agents of disease from animals to humans. We should therefore not allow other epidemics to take us by surprise like HIV/AIDS,” he said.


Prof Kilewo mentioned that in order to do that healthcare institutions must be prepared to identify potential human disease agents which reside in animals (both wild and domestic).  They must also prepare to prevent these disease agents from spilling over to humans but when they cause overt disease in humans we must be prepared to control and/or treat it.

Elaborating National Health Priorities (2013-2020) initiative, the Director General of NIMR, Dr Mwele Malecela said that the priorities which are set every five years allow them to re-examine what the key areas for research should be.
“This is done in collaboration with several stakeholders and most prominently Tanzaia Health Research forum, Dr Mwele said and added that this is the fourth set of priorities set in since 1999.”
About SACIDS Regional Strategic Plan focusing this year to 2020, the SACIDS Executive Director, Prof Mark Rweyemamu said they set about developing the capabilities of young African scientists and catalyzing institutional change of mindset.
Prof Rweyemamu said, in this initiative they have introduced the concept of a community of practice for research themes.
In the current five years, he said they have focused on five specific diseases themes, namely Ebola, Rift Valley Fever, Tuberculosis, Plague and Foot-and-Mouth disease.
“We have targeted the poor communities, especially in the areas of contact between people livestock and wildlife,” Prof Rweyemamu said.

Mazoezi Miss Sinza 2013 kuanza April 26

$
0
0

Miss Sinza 2012 ambaye pia ni Miss Kinondoni na Miss Tanzania, Brigitte Alfred mara baada ya kushinda taji hilo mwaka jana. Mchakato wa kumsaka mrithi wa taji hilo utaanza April 26 kwenye ukumbi wa Meeda, Sinza.
===========  ============  ==========
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2013 yataanza  Aprili 26 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini.
Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Brigitte Alfred ambaye ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya dunia, Miss World 2013 mwezi Agosti mwaka huu.
Mratibu wa mashindano hayo, Majuto Omary alisema kuwa maandalizi ya mazoezi hayo yamekamilika na yatasimiwa na kamati ya maandalizi huku ikitafuta mwalimu kwa ajili ya kuwanoa.
Majuto alisema kuwa warembo waliowahi kushiriki mashindano hayo wanaruhusiwa kuja kutoa sapoti kwa warembo wapya na kamati yao itawapa nafasi ya kuwafundisha warembo wapya ili kuwapa ‘mbinu’ mbali mbali za mashindano hayo.
Alisema kuwa fomu za kuomba kushiriki katika mashindano hayo zinapatikana kuanzia leo (Ijumaa) maduka ya Zizzou, Sinza Afrika Sana, Meeda, Ofisi za Miss Tanzania, Ofisi za gazeti la Mwananchi (Tabata) au kwa njia ya mitandao (blogs), balilemajuto, sufiani mafoto, saluti5 au kutuma kwa njia ya email, majutoy2k@yahoo.co.uk
 “ Lengo letu kubwa ni kumsaka mrithi taji la Miss Tanzania, Miss Kinondoni na Sinza, mataji yote hayo yapo katika kituo chetu, tumejipanga kulinda heshima yetu na tunaamini titafanikiwa kwa heshima ya wakazi wa Sinza, Kinondoni na Tanzania kwa ujumla,” alisema  Majuto.
Alisema kuwa wanawakaribisha warembo wanaotaka ‘kupata taji’ kuchukua fomu zao ambazo zinatolewa bure.  Majuto pia aliwaomba wadhamini wanaotaka kujitangaza kupitia mashindano yao wanaruhusiwa kuja kudhamini mashindano hayo na milango ipo wazi.

WATANZANIA WASHINDWA KUFANYA VIZURI KIPINDI CHA TANO CHA GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE*

$
0
0
 Washindi wa kipindi cha tano cha Guinness Football Challenge Ken Muturi (kushuto) na Chis Mwamgi(kulia) wakishangilia ushindi walioupata huku wakiwa wamebeba pesa taslimu walizojishindia katika shindano hilo jana usiku na pembeni ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho Lary Asengo(anayepiga makofi kulia). 

Washindi wa kipindi cha Tano cha Guinness Football Challenge, Chris Mwamgi(kushoto)  na Ken Muturi(kulia) katika picha ya pamoja na watangazaji wa kipindi hicho Larry Asego and    Flavia Tumsiime jana baada ya ushindi.

=======  =============  =============

*WATANZANIA WASHINDWA KUFANYA VIZURI KIPINDI CHA TANO CHA GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE*


 17 Aprili 2013, Dar es Salaam;Jana usiku kupitia Televisheni za ITV na Clouds TV timu ya Tanzania ilishindwa kutumia nafasi ya kipindi cha mwisho cha mashindano ya “Guinness Football Challenge” katika hatua ya Afrika Mashariki baada ya kutolewa na timu kutoka Kenya. Rangi nyekundu imeonekana kuwa ni rangi ya bahati kwa timu za Kenya kwani hii ni timu ya nne kutoka Kenya kufanikiwa kufuzu kuingia hatua ya Pan-African GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGETM.Kenneth Mukuri na Chris Mwamgi ndio walioibuka washindi jana usiku kwani walifanikiwa kufika katika hatua ya mwisho ya kulenga ukuta  wa pesa wa Guinness ambapo walijishindia dola za kimarekani  1,500.


Ni vipi Kenneth na Chris wataweza kumudu hatua ya Pan-African? Sasa wana nafasi ya kuiwakilisha nchi yao katika mashindano ya Pan-African ambapo watakutana na wawakilishi pekee kutoka Tanzania, Daniel Msekwa na Mwalimu, washiriki kutoka Uganda Alex Muyobo na Ibrahim Kawoova pamoja na wenzao kutoka Kenya,Francis Ngigi na Kepha Kimani(washindi wa kipindi cha 2), Kenneth Kamau na Wills Ogutu(washindi kipindi cha 3) na Ephantus Nyambura na Samuel Papa(washindi kipindi cha 4).


Timu hizi tano zitakua uwanjani kutimiza malengo yao, ambapo watakutana uso kwa uso na washiriki kutoka Ghana na Cameroun kuonesha ni nani ana maarifa zaidi na ujuzi wa kusakata kabumbu,  hata kuvishwa ubingwa wa Pan-African na  kuondoka na dola za kimarekani 250,000.


Usikose kuangalia mashindano haya kupitia televisheni za ITV na Clouds TV huku ukiburudika na kinywaji cha GUINNESS.

                                                                                                                                         

Tafadhali kunywa kistaarabu - Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18. 

Viewing all 46397 articles
Browse latest View live




Latest Images