Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46366 articles
Browse latest View live

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.

$
0
0


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.



Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kupokea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. eneo la Nyarugusu. 
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katoro waliojitokeza kwa wingi ,Katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaambia wakazi hao vyama vingi vya siasa vimeshindwa kuendelea kutokana na kukosa sera,kushindwa kusimamia mambo pamoja na kuwa na viongozi wasiokubali mabadiliko na kung'ang'ania madaraka.
 wakazi wa Katoro waliojitokeza kwa wingi ,Katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaambia wakazi hao vyama vingi vya siasa vimeshindwa kuendelea kutokana na kukosa sera,kushindwa kusimamia mambo pamoja na kuwa na viongozi wasiokubali mabadiliko na kung'ang'ania madaraka.
  Sehemu ya umati wa watu waliofurika katika mkutano wa hdhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo.



Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe.Mh Lolensia Bukwimba akihutubia wakazi wa Katoro kwenye mkutano wa hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

 Umati wa wakazi wa Katoro wakiwa kwenye mkutano wa hadhara ndani ya mji mdogo wa Katoro mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.

Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kupokea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. eneo la Nyarugusu. 
 Baadhi ya wakazi wa mji mdogo wa katoro mkoani Geita wakifuatilia mkutano wa hadhara wa CCM uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Kinana.
  Sehemu ya umati wa watu waliofurika katika mkutano wa hdhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Geita,Vick Kamata wakielekea  katika mkutano wa hadharakatika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo. 
 Mbunge wa Busanada Lorencia Bukwimba akisalimia wananch katika mkutano huo wa Chikobe.
 Na Wao wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara
 Komredi Kinana (wa tatu kulia), akishiriki kulima barabara ya Kijiji cha Nyankanga, wilayani Geita wakati wa ziara yake katika Jimbo la Busanda.  
 Komredi Kinana akishiriki kupiga lipu  Jengo la Watumishi wa Idara ya Afya katika Kijiji cha Inyala, Jimbo la Busanda Wilayani Geita leo.
 Wakazi wa Katoro wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa wakazi wa Katoro,wakati wa mkutano wa hadhara mkaoni Geita.

Tanzania na India Zasaini Mikataba kadhaa ya Ushirikiano

$
0
0
 The Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Dr.  Mahadhi Juma Maalim exchange documents with his counterparts India’s Secretary in The Ministry of Defence Shri Mohan Kumar on Memorandum of Understanding in the Field of Hydrography between India and Tanzania
 The permanent Secretary in The Ministry of Natural Resources and Tourism Dr.Adelhelm  Meru  exchange documents with India’s Administrative Secretary in the Ministry of Tourism  after signing an MOU on cooperation in the field of Tourism
 The Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Finance Ms.Dorothy Mwanyika exchanges documents with the chairman of the EXIM Bank Mr. Yaduvendra Mathur after signing a loan agreement between Exim Bank and Government of Tanzania for US$268.35 million for extension of Lake Victoria pipeline project.
 The Head of East Africa Statistical Training Center(EASTC) Professor Innocent Ngalinda exchange documents with his Indian counterpart Mr.T.V Raman after signing an MOU between his institute and the India’s National Statistical System Training Academy(NSSTA) on establishing a collaborative program in official statistics.
.During the same occasion India’s Chief Hydrographer Vice admiral SK Jha handed over Navigational charts for the ports of Zanzibar and Dar es Salaam, harbor to Defense Advisor in the Tanzania High Commission to India Major General Issa Nassor, for which survey was conducted by Indian Navy. Photos by Freddy Maro.

WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI MTWARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

$
0
0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi ameanza ziara ya siku mbili Mkoani Mtwara ambapo aliongea na watendaji wa Mkoa wa Mtwara kuhusiana na migogoro ya ardhi inayoukumba Mkoa huo . Aidha, Waziri Lukuvi alipata fursa ya kukagua shughuli za Shirika la Nyumba la Taifa na kusikiliza migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani. 

Katika ziara hiyo, Waziri Lukuvi amerejea kauli yake aliyoitoa Lindi jana kwa kuwaonya na kuwaagiza Maafisa ardhi, wapima , wathamini na maafisa mipango miji kuacha mara moja kujinufaisha kwa kuwadhulumu wananchi haki zao za ardhi. Aidha ameutaka Uongozi wa Mkoa wa Mtwara kuharakisha upimaji wa ardhi ya wananchi na utoaji wa hati I na kutenga muda wao ili kuweza kusikiliza kero za wananchi li kupunguza migogoro ya ardhi.
New Picture
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akionyeshwa na Maafisa waandamizi wa sekta ya ardhi kanda ya Kusini taarifa yenye mpango Mji wa Mtwara(Mtwara Master Plan) unaoendelea kukamilishwa alipozuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara katika ziara yake mkoani humo.
New Picture (8)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Mtwara uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi.

New Picture (9)
Ofisa Ardhi Mteule wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Bw. Michael akijitetea kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi baada ya wananchi kumtuhumu kutowapa huduma kwa haki na kuchelewesha kuwapimia wananchi ardhi yao.
New Picture (7)
Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkoa wa Mtwara wakimsikiliza Waziri Lukuvi aliposikiliza kero zao katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Mtwara.
New Picture (6)
Meneja wa NHC Mkoani Mtwara Bw. Joseph John akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa nyumba unaotekelezwa na NHC eneo la shangani Mtwara ambapo alisema kuwa mradi huo utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 4 hadi kukamilika.
New Picture (5)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akilitaka Shirika la Nyumba kutumia fursa zilizopo Mkoani Mtwara hivi sasa kwa kuongeza ujenzi wa nyumba za makazi na biashara alipotembelea nyumba zinazojengwa na NHC eneo la Shangani Mtwara.
New Picture (4)
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC) walialikwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi katika ziara yake kiwanda cha saruji cha Dangote ili kujifunza namna ya kuwekeza Mkoani Mtwara. Kituo hicho cha Mikutano kinakusudia kuwekeza Mkoani Mtwara kwa kujenga ukumbi mkubwa wa kimataifa wa mikutano.
New Picture (3)New Picture (2)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akipewa taarifa na uongozi wa kiwanda kikubwa cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara alipopata nafasi ya kutembelea kiwanda hicho ili kuondoa kero zinazomkabili mwekezaji huyo. Kiwanda hicho kitakachoanza uzalishaji mwezi Agosti mwaka huu kina uwezo wa kuzalisha tani 7500 za saruji kwa siku.
New Picture (1)
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi na Sekretarieti ya Mkoa wa Mtwara ambapo alisisitiza uadilifu na utendaji haki katika kuhudumia wananchi ili kuondoa migogoro ya ardhi.

MUSTAFA PANJU KUINGIA KATIKA MBIO ZA UBUNGE ARUSHA MJINI

$
0
0
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake ,akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM kushoto ni mke wake.
003
Kassim Mamboleo ambaye ni katibu wa kamati ya ushindi ya mgombea Mustafa Panju akitoa utambulisho kwa vyombo vya habari.
004
Taswira katika mkutano huo na waandishi wa habari.

………………………………..
Habari Picha -Na Pamela Mollel,Arusha
 JIMBO la Arusha ni moja ya jimbo ambalo linaonekana kuwa  ni jimbo
lenye siasa komavu, kutokana na hali hiyo limeonekana kuongoza kwa
vurugu na uvunjifu wa amani , ambapo kupitia kwa Mtangaza nia wa
ubunge jimbo la Arusha mjini  Mustafa Panju amewahakikishia wananchi
kurudisha amani hiyo.
Jimbo hilo ambalo linashikiliwa na Mbunge wa Arusha mjini kupitia
chadema ,Godbless Lema ambaye hivi sasa ametangaza tena kulitaka jimbo
, ambapo hadi hivi sasa jumla ya wagombea 18 kupitia chama cha
mapinduzi wamejitokeza kumg’oa mbunge huyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana  wakati akitangaza nia ya
kuwania ubunge kupitia chama cha mapinduzi , Panju alisema kuwa ipo
sababu ya kurudisha jimbo hilo mikononi mwa CCM kwa kuwa CCM ni chama
kinachopenda amani na kinachodumisha amani.
‘kila mmoja anatambua jinsi ambavyo jiji la Arusha hivi sasa halina
amani kabisa na hakuna mtu anayedhubutu hata kutembea usiku , ila
nitahakikisha linakuwa jiji la amani na utulivu na kuwawezesha
wananchi wake kufanya shughuli zao bila hofu yoyote’alisema Panju.
Alifafanua zaidi kuwa,mbali na kurejesha amani jijini Arusha
atahakikisha anaondoa makundi mbalimbali yaliyopo miongoni mwa
wananchi kwa kuwafanya wawe wamoja na wenye ushirikiano ili kuleta
mabadiliko katika jimbo la Arusha kwa ujumla.
Pia alisema kuwa,wagombea wote wa nafasi ya ubunge katika chama ni
wajibu wao kujenga Undugu,Upendo, na urafiki wakati wote ili kuepuka
kujenga makundi ndani ya chama kwa misingi mbalimbali ya ukabila,
udini na hata urangi.
Panju alisema kuwa, swala la kuwepo kwa makundi na vikundi katika
vyama na kwa wananchi linapaswa kuangaliwa kwa umakini kwani
likiendelea kuwepo linajenga uhasama ndani ya chama  na pia uhasama
unaoleta ubaguzi ndani ya nchi kwa ujumla .

MUSTAFA PANJU KUINGIA KATIKA MBIO ZA UBUNGE ARUSHA MJINI

$
0
0
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake ,akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM kushoto ni mke wake.
003
Kassim Mamboleo ambaye ni katibu wa kamati ya ushindi ya mgombea Mustafa Panju akitoa utambulisho kwa vyombo vya habari.
004
Taswira katika mkutano huo na waandishi wa habari.

………………………………..
Habari Picha -Na Pamela Mollel,Arusha
 JIMBO la Arusha ni moja ya jimbo ambalo linaonekana kuwa  ni jimbo
lenye siasa komavu, kutokana na hali hiyo limeonekana kuongoza kwa
vurugu na uvunjifu wa amani , ambapo kupitia kwa Mtangaza nia wa
ubunge jimbo la Arusha mjini  Mustafa Panju amewahakikishia wananchi
kurudisha amani hiyo.
Jimbo hilo ambalo linashikiliwa na Mbunge wa Arusha mjini kupitia
chadema ,Godbless Lema ambaye hivi sasa ametangaza tena kulitaka jimbo
, ambapo hadi hivi sasa jumla ya wagombea 18 kupitia chama cha
mapinduzi wamejitokeza kumg’oa mbunge huyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana  wakati akitangaza nia ya
kuwania ubunge kupitia chama cha mapinduzi , Panju alisema kuwa ipo
sababu ya kurudisha jimbo hilo mikononi mwa CCM kwa kuwa CCM ni chama
kinachopenda amani na kinachodumisha amani.
‘kila mmoja anatambua jinsi ambavyo jiji la Arusha hivi sasa halina
amani kabisa na hakuna mtu anayedhubutu hata kutembea usiku , ila
nitahakikisha linakuwa jiji la amani na utulivu na kuwawezesha
wananchi wake kufanya shughuli zao bila hofu yoyote’alisema Panju.
Alifafanua zaidi kuwa,mbali na kurejesha amani jijini Arusha
atahakikisha anaondoa makundi mbalimbali yaliyopo miongoni mwa
wananchi kwa kuwafanya wawe wamoja na wenye ushirikiano ili kuleta
mabadiliko katika jimbo la Arusha kwa ujumla.
Pia alisema kuwa,wagombea wote wa nafasi ya ubunge katika chama ni
wajibu wao kujenga Undugu,Upendo, na urafiki wakati wote ili kuepuka
kujenga makundi ndani ya chama kwa misingi mbalimbali ya ukabila,
udini na hata urangi.
Panju alisema kuwa, swala la kuwepo kwa makundi na vikundi katika
vyama na kwa wananchi linapaswa kuangaliwa kwa umakini kwani
likiendelea kuwepo linajenga uhasama ndani ya chama  na pia uhasama
unaoleta ubaguzi ndani ya nchi kwa ujumla .

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA WZIRI MKUU WA INDIA

$
0
0
 03
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ikulu ya New Delhi India baada ya viongozi hao wawili na ujumbe wao kufanya mazungumzo rasmi. (picha zote na Freddy Maro)
02
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi(Official talks) na Waziri Mkuu wa India na viongozi wandamizi wa serikali yake katika ikulu ya New Delhi India leo mchana
6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wziri Mkuu wa India Narendra Modi katika ikulu ya New Delhi muda mfupi kabla ya kuanza mazungumo rasmi(official talks) leo asubuhi.

HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.

$
0
0
 Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.
 Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeri Maeneo ya Chimala
 Tarehe 17.06.2015 wanawasili Iringa na kulala Hapo kisha asubuhi wanaonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa
 vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupigia Kura, na hapa wanadhihirisha kuwa wao wanavyo tayari, je wewe umeijiandikisha?
 Tarehe 18.06.2015 vijana hawa wanaendelea na safari yao ya kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam na hapa wanaanza kushuka mlima Kitonga ambapo wanaenda kulala Mikumi.
Hapa wanapumzika maeneo ya kati kati ya Mlima Kitonga
 Sasa wanapata chakula Baada ya kumaliza kushuka mlima kitonga
Usiku wa Tarehe 18.06.2015 wakiwa Mikumi  
 Haya yalikuwa ni baadhi ya Mataili ambayo walibadilisha wakiwa mikumi
 Ni Tarehe 19.06.2015 asubuhi na mapema vijana hao wakiwa wameaka ili kuzirekebisha Baiskeli zao tayari kwa kuvuka Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
 Tarehe 19.06.2015 vijana hao watatu wakiwa na Baiskeri zao sasa wanajiandaa na kuanza kuvuka Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo walitembea kwa Kilometa 50
 Wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi
 Mmoja wa vijana hao akiwa anatazama ndani ya Hifadhi kama ataona wanyama
 Wakiendelea na Safari yao
 Wakimalizia malizia safari yao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Leo Tarehe 20.06.2014 vijana hawa wanaondoka Morogoro kuendelea na safari na hapa wakiwa wameweka Hema lao Mjini Morogoro.

Vijana hawa watatu ambao ni  Wise Man Tanzania,John Mwaipaya na Alex Mahenge walioamua kusafiri kwa kuendesha Baiskeri kutoka Mbeya mjini hadi Dar es salaam kwa lengo la Kuhamasisha watu kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kura na  Baadae wakifika Jijini Dar kwa lengo la Kumpongeza Rais Dkt. Jakaya Kikwete kwa uongozi wake Bora katika kipindi cha Miaka 10 akiwa ameshika wadhifa wa Kiongozi Mkuu wa nchi.

Vijana hao ambao wameanza safari Tarehe 15.06.2015 wakitokea Mbeya sasa wapo Morogoro wanaendelea na Safari.

Na Blogs za Mikoa

MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA

$
0
0
Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.

NATHAN MPANGALA NA VIMBWANGA VYAKE

WIMBO MPYA: KADJA NITO - SINA MARINGO

$
0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito.

WASANII MAARUFU WA VICHEKESHO WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

$
0
0
000000
 Msanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi anayeshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, Habib Mrisho (Sumaku) akisaini kitabu cha wageni katika banda la Jeshi la Magereza wakati msanii huyo na mwenzake Jesca Kindole kwa jina maarufu la uigizaji (Safina -kulia) walipotembelea mabanda ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kulia ni maafisa wa Jeshi hilo.00000
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Advera Bulimba (kulia) akiwapa maelezo wasanii maarufu wa vichekesho wa Kundi la Kashi-Kashi wanaoshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, kuhusu taarifa mbalimbali zinazoandaliwa na Jeshi hilo, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Jesca Kindole (Safina) na Habib Mrisho (Sumaku).0000
 Wasanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi wanaoshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, wakipewa maelezo na Koplo wa Jeshi la Polisi, Sylvester Mganga, kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Jeshi hilo, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Habib Mrisho (Sumaku), Jesca Kindole (Safina) na Rashid Costa (Maringo 7).000
2. “UTII WA SHERIA BILA SHURUTI” Msanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi anayeshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, Jesca Kindole (Safina) akilipigia saluti sanamu la askari wa Jeshi la Polisi wa kipindi cha kikoloni, wakati msanii huyo na wenzake walipotembelea mabanda ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
00
Wasanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi wanaoshiriki katika kipindi cha Mizengwe kinachorushwa na Kituo cha ITV, wakichukua vipeperushi vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi toka kwa Afisa wa Idara ya Probesheni na Huduma kwa Jamii, Pendo Mtama (kulia) wakati wasanii hao walipotembelea mabanda ya Wizara hiyo, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Habib Mrisho (Sumaku) na Jesca Kindole (Safina). Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA BUKOBA AZOA WADHAMINI

$
0
0
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Kagera mjini Bukoba Juni 20.2015, alipokwenda kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.Picha zote na John Badi.SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mbele mwenye miwani) akiongoza umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015 na kufanya matembezi kutoka uwanjani hapo hadi katika Ofisi ya CCM Mkoa, alipokwenda kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo. Kushoto kwake Ini Katibu mstaafu wa CCM mkoa Kagera, Faustine Kamaleki.SONY DSC
Msafara wa bodaboda ukiongozi msafara wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani) baada ya kuwasili mjini Bukoba mkoani Kagera Juni 20.2015,kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500 mkoani humo.

Kipindi Kipya ' Nyumbani Na Diaspora'

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA

$
0
0
001
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 002mail.google.com
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.003

MHANDISI EDWIN NGONYANI ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

$
0
0
????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu  cha wageni kwenye banda la Wizara ya Nishati na Madini.
????????????????????????????????????Mtaalam kutoka Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC), Jumanne  Shimba ( wa kwanza kulia) akimwonesha Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (katikati)  moja ya  bidhaa zinazotengenezwa na  kituo hicho, kwenye  banda la Wizara ya Nishati na Madini
????????????????????????????????????Afisa Uhusiano kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA), Yisambi Shiwa (kulia) akieleza shughuli zinazofanywa na  wakala huo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (Kushoto) mara alipotembelea banda la wakala huo. Katikati ni Omari Rwakyaya kutoka wakala  huo.
????????????????????????????????????Kaimu Afisa Masoko Mkuu kutoka makao makuu ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) (Katikati), Monica Massawe akitoa maelezo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la  Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi  Edwin Ngonyani (Kushoto) mara alipotembelea banda la TANESCO. Kulia ni Afisa Uhusiano Wateja –TANESCO  Mkoa wa Illala, Lucas Kusare.
????????????????????????????????????Mtaalam kutoka Idara ya Nishati – Wizara  ya Nishati na Madini, Jacob Mayala (Kulia) akimweleza Abdul Naseka (Kushoto) majukumu  ya Idara ya Nishati kwenye maonesho ya  Wiki ya Utumishi wa Umma  yanayoendelea katika  viwanja  vya Mnazi Mmoja  jijini Dar es Salaam.
????????????????????????????????????Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati aliyevaa suti) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA ATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.

$
0
0
1
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.2
Mh.Waziri wa Fedha Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.3
Waziri wa Fedha Mh.Saada M.Salum(MB) akiwa katika mgahawa wa Dodoma Carnival alipotembelea kukagua matumizi ya mashine za EFD. Mh.Waziri aliagiza mgahawa huo ufungwe mpaka hapo watakaponunua mashine hizo. Kushoto kwa Mh.Waziri ni meneja wa TRA Mkoa wa Dodoma na mwenye shati jekundu ni msimamizi wa mgahawa huo.4
Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum (MB) akiwa na Mh.Rukia Kassim Ahmed Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha wananchi CUF wakitoka kwenye duka ambalo lilikutwa mmiliki wake akifanya biashara bila ya kutoa risiti za mashine ya EFD. (Picha zote na Ramadhani Omary).5
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (MB) akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi.Ingiahedi Mduma mara baada ya kufanya ukaguzi wa matumizi ya mashine za EFD katika duka mojawapo Mkoani Dodoma.
……………………………………….
Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.
Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min supermarket),Mh.Waziri akiongozana na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania aliagiza kufungwa kwa maduka yote ambayo yamekaidi agizo la Serikali la matumizi ya mashine EFD mpaka pale watakaponunua na kuzitumia ipasavyo mashine hizo.
Aidha Mh.Waziri amewataka wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kuisaidia Serikali kuwafichua wafanyabiashara wasio waaminifu na ambao wanapelekea kuikosesha Serikali mapato ambayo yangetumika katika kuboresha huduma za kijamii.
Imetolewa na Msemaji Mkuu,
Wizara ya Fedha
Dodoma

27th Ecobank Group Annual General Meeting 2015, Dar es Salaam Tanzania

$
0
0
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)


Wakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Emmanuel Ikazoboh (kulia), akiendesha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Ecobank Group, jijini Dar es Salaam leo.




Wajumbe wa mkutano huo wa 27 wa mwaka wa Ecobank, wakifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. 
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
 
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo. 
 Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Ecobank Group, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wakuu wa benki hiyo, walipokuwa wakizungumza nao jijini leo. 
Mkutano wa waandishi wa habari na wakuu wa Ecobank Group, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. mara baada ya kumalizika mkutano mkuu wa mwaka wa benki hiyo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ecobank Group, Albert Essien akielezea jambo wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Emmanuel Ikazoboh na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Fedha, Laurence do Rego.

Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka Wadhamini

$
0
0

Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la  Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint. Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.

Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa. Kwa upande mwingine Mh January amesema kuwa anamajibu ya kiuchumi katika Jiji la Mwanza na endapo akifanikiwa kupata nafasi hiyo atabadilisha uchumi wa jiji la Mwanza kwa kutumia lasiri Mali za jiji hilo la Mwanza. Picha zote na John Sambila

Msafara wa Pikipiki ukimpokea January Makamba Kuelekea Ukumbi wa Nyanza.




Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini Kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana Elius Mpanda.


Umati wa wakazi wa Mwanza waliojitokeza kumpokea Mh January Makamba.



















OFISI YA RAIS UTUMISHI YAMUAGA RASMI ALIYEKUWA KATIBU MKUU BW. GEORGE YAMBESI

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga  aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (hayupo pichani) iliyofanyika Leaders Club jana jioni. Kushoto kwake ni Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi.4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (Mb) (wa pili kutoka kulia) akionyesha Tuzo ya Ununuzi Bora wa Umma  ya Ofisi ya Rais – Utumishi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) hivi karibuni baada ya kushinda.Wanaoshuhudia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) ,Katibu Mkuu Mstaafu Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) na Mama Yambesi (kushoto).5
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (wa pili kutoka kulia) akipokea kombe la mshindi wa kwanza wa mpira wa pete la mashindano ya Mei Mosi 2015 kutoka kwa Kapteni wa Timu ya Netiboli ya utumishi Bi. Elizabeth Fusi katika viwanja vya Leaders Club jana jioni. Wanaoshuhudia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) ,Katibu Mkuu Mstaafu Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) na Mama Yambesi (kushoto).


7
Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. George D. Yambesi (aliyesimama)  akizungumza katika hafla ya kuagwa iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jana jioni. 2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (Mb)(kulia) akimkaribisha Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. George D. Yambesi katika hafla ya kumuaga iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jana jioni.1
Baadhi ya watumishi wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi iliyofanyika Leaders Club jana jioni.3
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) iliyofanyika Leaders Club jana jioni. Wengine ni Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi Bi.Celina O. Kombani (Mb) (wa pili kutoka kulia) na Mama Yambesi (kushoto).

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MKOANI GEITA

$
0
0
 Baadhi ya Wachimbaji wadogo wadogo wakiendelea na shughuli zao za kusaka Dhahabu katika eneo waliloachiwa wachimbaji hao eneo la Mgusu,wilayani Geita mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co. Oparative Society Limited jinsi mchanga unavyosafishwa.

Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana leo amehitimisha ziara yake ndani ya mkoa wa Geita kwa kutembea kilometa 1680 kwa Gari,ametembelea Majimbo sita na Wilaya zake sita,huku akiwa amehutubia mikutano 78,mikutano 72 ya hadhara na mikutano 6 ya ndania.Ndugu Kinana ametembelea miradi 53 ya Maendeleo,miradi mitano ya CCM.Kama vile haitoshi Ndgu Kinana amejizolea Wanachama wapya 6816,Wapinzani wakiwa 640 hasa kutoka CHADEMA.

Ndugu Kinana akiwa na msafara wake kesho anaanza ziara Mkoani Mwanza ya Kuimarisha uhai wa chama,kuhimiza na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2010-15,sambamba na kusikiliza matatizo ya Wananchi na kuyatafutia ufumbuzi.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyeshwa dhahabu ambayo tayari imeshapatikana baada ya kupitia hatua zote hizo kutoka kwa  Mjumbe wa Bodi ya Mgusu Miners Co Oparative Sociaty Limited Bw.Abdu Jumbe.

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha wachimbaji dhahabu wadogo wadogo

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya katika kijiji hicho cha wachimbaji wadogo wa dhahabu. 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wakati alipokagua ujenzi wa zahanati ya kata ya Nyamilyango mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na mbunge wa jimbo la Busanda Lolensia Bukwimba wakishiriki kutandaza nyaya za umeme wa REA vijijini katika kata ya Kasota. 
 Wananchi wa kata ya Nzera wakishangilia jambo wakati katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana alipozindua ofisi ya Kata hiyo,mkoani Geita leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kufukia mabomba katika mradi wa maji wa mji wa Geita katika eneo la Kalangalala Shilabela.
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita Mh. Vick Kamata akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Kalangalala Nyankumbu.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika leo, mjini Geita.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi, Nyankumbu, katika Kata ya Kalangalala, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Geita leo.

 Melfu ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowahutubia katika Uwanja wa Shule ya Msingi, Nyankumbu, katika Kata ya Kalangalala, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Geita leo. 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita Mh. Vick Kamata wakinyanyua mikono juu wakati wakikabidhi baiskeli za viongozi wa kata wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) zilizonunuliwa na Mbunge huyo, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akipokea baadhi ya wafuasi wa chama  cha CHADEMA,waliokuwa wakirudisha kadi na kujiunga na chama cha CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa Nyakumbu,mkoani Geita.
 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana akijadiliana jambo na  Mbunge wa jimbo la Busanda Lorencia Bukwimba akihutubia katika mkutano huo.

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga misumari kwenye kenchi aliposhiriki uwekaji kenchi kwenye Nyumba ya Mganga inayojengwa katika zahanati ya Kijiji Nyanguku, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Geita leo
Viewing all 46366 articles
Browse latest View live




Latest Images