Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live

PRESIDENT KIKWETE MEETS PRESIDENT MUSEVENI IN NEW YORK

$
0
0
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and the UN Secretary General Ban ki Moon during the first meeting of the High Level Panel on The Global Response to Health Crisis held at the UN Headquarters in New York this afternoon.
02
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and Ugandan President Yoweri Kaguta Museveni meet in New York this evening. (photo by Freddy Maro) 

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH.PAUL MAKONDA ALIVYOHITIMISHA MGOMO WA MADEREVA JIONI YA LEO JIJINI DAR.

SHAMRA SHAMRA ZA MAANDAMANO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI ZILIVYOFANA MJINI MUSOMA

$
0
0
DSC_0056
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
DSC_0060
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.
DSC_0083
Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.
DSC_0086
DSC_0103
Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe maandamano hayo.
DSC_0108
Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo.

DSC_0127
DSC_0136
Shangwe zikiendelea kuelekea viwanja vya Mkendo.
DSC_0153
Kinababa nao hawakubaki nyuma waliwaunga mkono Wakunga kwenye maandamano hayo.
DSC_0161
Mkazi wa mjini Musoma mwenye ulemavu aliyejumuika kwenye maandamano hayo akisukumwa na mmoja wa Wakunga kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo zinakofanyika sherehe za maadhimisho hayo.
DSC_0164
DSC_0177
Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige naye alishiriki maandamano hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma mkoani Mara.
DSC_0180
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) Tanzania, Sawiche Wamunza (wa kwanza kulia) akishiriki kwenye maandamano hayo.
DSC_0185
DSC_0222
Mpiga picha wa Clouds TV Ntibashima Edward akiwa amepanda juu ya gari aina ya canter kwa ajili ya kuchukia matukio ya maandanamano hayo.
DSC_0289
Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia) wakipokea maandamano kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mjini Musoma, Mkoani Mara. Kutoka kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali, Dk. Ama Kasangala, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magese Mulongo, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Musoma, Stephen Zelote pamoja na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Bi. Feddy Mwanga.
DSC_0275
Maandamano kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yakiwasili kwenye viwanja vya Mkendo na kupokea na mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) yakitokea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma.
DSC_0285
DSC_0293
DSC_0300
DSC_0304
DSC_0307
KAWAIDA Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog). 

 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara. Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo. 

 Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe maandamano hayo. Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo. 

Shangwe zikiendelea kuelekea viwanja vya Mkendo. Kinababa nao hawakubaki nyuma waliwaunga mkono Wakunga kwenye maandamano hayo. Mkazi wa mjini Musoma mwenye ulemavu aliyejumuika kwenye maandamano hayo akisukumwa na mmoja wa Wakunga kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo zinakofanyika sherehe za maadhimisho hayo. 

 Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige naye alishiriki maandamano hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) Tanzania, Sawiche Wamunza (wa kwanza kulia) akishiriki kwenye maandamano hayo. 

 Mpiga picha wa Clouds TV Ntibashima Edward akiwa amepanda juu ya gari aina ya canter kwa ajili ya kuchukia matukio ya maandanamano hayo. Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia) wakipokea maandamano kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mjini Musoma, Mkoani Mara. 

Kutoka kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali, Dk. Ama Kasangala, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magese Mulongo, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Musoma, Stephen Zelote pamoja na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Bi. Feddy Mwanga. Maandamano kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yakiwasili kwenye viwanja vya Mkendo na kupokea na mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) yakitokea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma.

MEYA MWENDA WA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi Tuzo ya Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la Afrika Kundi la Majiji ya Kati (Medium Size Cities) zilizotolewa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (UCLGA), kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi cheti cha Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la Afrika Kundi la Majiji ya Kati (Medium Size Cities) kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda katika hafla iliyo zilizotolewa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (UCLGA), Dar es Salaam jana.

Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam

Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda ameshinda Tuzo ya Meya Bora katika Bara la Afrika katika kundi la Majiji ya Kati na kuyabwaga majiji mengine mbalimbali.

Tuzo hizo zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (The United Cities and Local Government of Africa- UCLGA) na kupewa jina la Rais wa Angola ‘President Jose Eduardo Dos Santos- Africa Mayors Award’ ni za mara ya kwanza kufanyika Barani Afrika.

Tofauti na Tuzo za Tanzania, Tuzo hizi za Afrika zinahusika na Mamlaka ya miji tu.

Tuzo hizi zilikuwa ni katika makundi matatu ambayo ni Tuzo za Majiji Makubwa (Large Size Cities), Tuzo za Majiji ya Kati (Medium Size Cities) na Tuzo za MajijiMadogo (Small Size Cities).

Tuzo za Majiji Makubwa (Large Size Cities) zimekwenda jijini Accra, Ghana wakati zile za Majiji madogo zimechukuliwa na Praia katika visiwa vya Cape Verde.

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilishiriki mashindano ya Tuzo za Meya (Halmashauri Bora za Afrika baada ya kushinda Tuzo za Meya/ Halmashauri Bora Tanzania zilizoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT).

Miradi iliyoshindanishwa kutoka Manispaa ya Kinondoni ni pamoja na ukusanyaji wa mapato na kituo cha Mabasi Sinza. Hata hivyo Manispaa ya Kinondoni ilipimwa katika vigezo vyote vilivyoanishwa na UCLGA.

Zawadi zilizotolewa ni kikombe, Cheti na Fedha tasilimu kiasi cha Dola za Kimarekani 100,000 ambazo sawa na shilingi milioni 200.

Majiji mengine yaliyoshinda yalipata Dola za Kimarekani 200,000 (Sawa na shilingi Milioni 400) kwa Miji Mikubwa na Dola za Kimarekani 50,000 (sawa na shilingi milioni 100 kwa Miji midogo.

DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF).
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi.

Wajumbe wa Sekretrarieti ya Kamati Maalum ya NEC, Zanzibar wawafariji waloiathirika na mvua.

$
0
0
WAJUMBE wa Sekreatrieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya (NEC) ya CCM, jana walitembelea maeneno yaliyofikwa na mafuriko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kwa lengo la kuangalia na kuwafariji wananchi walioathirika na mkasa huo.


Wakiongozwa na Mwenyekiti wao, ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Vuai Ali Vuai, wajumbe hao wa Sekreatrieti walitembelea maeneo mbali mbali mkoani humo ikiwemo Mpendae kwa Binti Amrani, Tomondo na Mwanakwerekwe, ambayo yalikumbwa na kadhia hiyo.
Walitumia nafasi hiyo kuwafariji baadhi ya wananchi waliathirika na mafuriko hayo, ambapo baadhi nyumba zimejaa maji na nyengine kuanguka kuta zake, na kusabababisha hasara kubwa.

Wajumbe hao wamewataka wale wote waliokumbwa na janga hilo, kuwa na moyo wa subra na kuiachia Serikali kupitia kitengo cha maafa kutafakari na kuona nini la kufanya. Aidha, wametoa wito na haja kwa jamii nzima ya Wazanzibari kuchukua tahadhari hasa wakati huu wa mvua za masika zinazoendelea kunyesha.

Mvua hiyo kubwa iliyonyesha kwa muda wa masaa matatu mfululizo, kuanzia saa 3:30, iliwafanya wananchi wa Manispaa ya Zanzibar na vVitongoji vyake kushindwa kutekeleza shughuli zao za kimaendeleo.




ERNEST AND YOUNG RELEASES 2014 ACACIA MINING INVESTMENT AND ECONOMIC CONTRIBUTION IN TANZANIA

$
0
0
Ernest and Young (EY), Country Managing Partner, Joseph Sheffu, presents EY 2014 report on Acacia Mining Investment and Economic Contribution in Tanzania, at a News Conference in Dar es Salaam’s Serena Hotel, Wednesday May 6, 2015. Among other things, in 2014, Acacia Mining purchased TZS 795bn of goods and services from suppliers located in Tanzania.



Acacia’s Chief Executive Officer, (CEO), Brad Gordon, makes his remarks on the report.



Acacia’s Vice President (Corporate Affairs), Deo Mwanyika, responds to the uestions from Members of the media, regarding the report.



Acacia’s Chief Executive Officer, (CEO), Brad Gordon, (C), with Ernest Young’s country Managing Partner, Joseph Sheffu, (L), and EY Partner, Tax International Tax East Africa, Silke Mattern, shortly after the EY unveil a report of Acacia economic and fiscal contribution to Tanzania in 2014



Acacia’s Vice President (Corporate Affairs), Deo Mwanyika, (R), in tête-à-tête with the company’s Head of Government Relation, Alex Lugendo



Acacia’s Communications and Public Relations Manager Necta P. Foya, speaks at the start of report presentation 


EY Partner, Tax International Tax East Africa, Silke Mattern


Editors busy at work.


Journalists follow attentively 


Silke Mattern, EY


Alex Lugendo, Acacia





Acacia's CEO and his team, accompany with EY officials arrive for the meeting.


Acacia's CEO, Brad Gordon, explains on the company's new MOTO, on the back ground.

ZANTEL launches ZUNINGA TV

$
0
0
ZANTEL has launched a new service named “ZUNINGA TV” a service that delivers latest news and entertainment to its subscribers directly to their mobile phones. The new ZUNINGA TV service is expected to ensure that ZANTEL customers can watch the TV programs such as news, bongo movies, religious, music, sports and other related contents they like on their handsets from a number of local media houses.

Speaking at the launch, Chief Executive Officer Pratap Ghose, said the ZUNINGA TV which is open to all ZANTEL customers is another attractive service from ZANTEL because, “we have various TV programs for our customers which includes news and entertainment for recreation. Therefore, with this service our customers should be assured that their worries of missing out on their favourite programs on TV is no more.” 
IMG_8683

ZANTEL CEO, Mr. Pratap Ghose launching the ZUNINGA TV service officially at the launch ceremony held at ZANTEL Dar es Salaam Head Office

Having access to current events and up-to-date information is important in the modern world because change is constant. Without regular access to news, most people would be unaware of the various events taking place, both locally and around the world, that impact their lives. This is why our company is excited about ZUNINGA TV service which is a way of ensuring that our customers get everything on the go in an extremely simplest manner possible, he said.

ZANTEL customers can subscribe to the service by dialling *149*11# select option number 1 and choose a service of their choice be it news, music, sports, cooks, movies or religious and starts to enjoy ZUNINGA TV free for fifteen days from today until the 21st  of May 2015 and thereafter for Tsh.120/- per day.

Since its establishment, ZANTEL has added value to the telecom industry in Tanzania by introducing different innovations which have terrifically changed the lives of its customers. 
IMG_8694

ZANTEL Marketing Director, Ms. Progress Chisenga emphasizing on a point during the launch ceremony held at ZANTEL Head Office

It has also introduced a less complicated SMS services called Z-Kilimo which offers Tanzanian farmers agricultural tips ranging from techniques to the best seeds to use and in turn substantially increase farming productivity and food security in the financially sustainable way.

Additional services continue like Caller Ring Back Tone (CRBT), Music on Demand (MoD), Live Radio, Islamic Portal and Reverse Ring Back tone (RRBT) which help Tanzanians in a number of ways. 
IMG_8671

ZANTEL staff witnessing the launch of ZUNINGA TV.

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

$
0
0
Kundi la Vijana ambao ni marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini.
Mratibu wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Mratibu wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana .
Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowasa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI ANSI MMASI ATOA MSAADA KWA WALIOATHIRIKA NA MFURIKO MOSHI VIJIJINI.

$
0
0
Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwa wahusika.
Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi .
Afisa Tarafa wa Kilimanjaro akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini.
Kada wa chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa Chakula kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la TPC wilaya ya Moshi vijijini. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

WAKUNGA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUTENGENEZA TAIFA LA KESHO

$
0
0
DSC_0228
Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
DSC_0247
Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges akizungumza na Wakunga nchini Tanzania waliohudhuria kwenye mdahalo wa siku moja uliofanyika kwenye ukumbi wa Mara ofisi za Mkuu wa mkoa wa Mara mjini Musoma kuelekea kilele cha sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga duniani kujadili changamoto zinazowakabili Wakunga nchini. Katikati ni Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Feddy Mwanga na Kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikalim kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala.
DSC_0105
Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga nchini waliohudhuria mdahalo huo wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika mdahalo huo.


Na Mwandishi wetu, Musoma
Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges, ametoa wito wa wakunga na wauguzi kubadilisha uzoefu wa shughuli zao ili kuhakikisha taifa linaondokana na vifo vya wanawake wajawazito na watoto.
Akizungumza katika mdahalo kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wakunga duniani, iliyofanyika kitaifa mkoani Mara, Ganges alisema kwamba ni wajibu wa wakunga kuhakikisha kwamba dunia ya kesho inakuwa bora na wanaweza kwa kushirikiana na kubadilishana uzoefu.
Alisema dunia inawategemea wauguzi kuendeleza kizazi cha binadamu na katika kufanya hivyo kuna changamoto nyingi zinazotokea changamoto ambazo zinaweza kumalizwa kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake katika eneo analofanyia kazi. Aliutaja wajibu huo kama uongozi, uelimishaji na pia utendaji wa kazi wenye tija na busara. Alisema nia ya siku ya wakunga ipo wazi ni kuleta ushirikiano kwa ajili ya kuleta dunia iliyo njema ya kesho.

Mtendaji huyo wa Shirikisho hilo lenye makao makuu yake nchini Uholanzi alisema kwamba wanafuraha kubwa kusikia mambo makubwa yanayofanywa na wakunga nchini Tanzania pamoja na changamoto zake zilizopo.
Alisema mafanikio yaliyopo ni matokeo ya ushirikiano na ufanyaji kazi wa pamoja.

Alisema katika hotuba yake hiyo kwamba wakunga wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha watoto wanazaliwa salama, wanawake wanakuwa salama na kizazi cha binadamu kinakuwa salama. Wakati huo huo Programme Specialist in Health System wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA) Felista Bwana amesema tafiti zilizopo zinaonesha kuwepo na idadi ndogo ya wakunga wataalamu na kwamba juhudi lazima zifanyike kuhakikisha kwamba vituo vya afya vyote vina wakunga wataalamu.

Aidha mratibu wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Martha Rimoy alisema chama hicho chenye wanachama 3000 miongoni mwa wakunga wauguzi elfu 39 kimelenga kuhakikisha kwamba kila mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa anapata huduma za mkunga mtaalamu . Alisema kwa sasa ni asilimia 51 tu ya wanawake wazazi wanapata huduma ya wakunga wataalamu. Alisema ipo haja ya kukubaliana kuwekeza kwa wakunga kwa ajili ya taifa la kesho.

Naye Daktari bingwa wa magonjwa ya kike na uzazi, kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Rosina Lipyoga akizungumza katika siku hiyo ya wakunga alisema ni aibu kwa watoto na wazazi kufa kutokana na huduma hafifu.

Aliwataka wakunga kutumia maarifa zaidi kuokoa maisha ya watoto na wazazi kwa kuwa na maamuzi ya haraka yanayozingatia uwezo wa eneo analofanyia kazi na kuhakikisha, kazi zisizowezekana zinapelekwa katika hatua afiki.
Alisema ipo haja ya mara kwa mara kwa wakunga kuangalia mabadiliko mbalimbali ya kazi zao kwa kufuatilia wenzao wamefanya nini na sasa tatizo analoshughulikia wengine wamelifanyaje.Alisisitiza haja ya ufanyaji maamuzi mapema ili kuokoa maisha ya mtoto na mzazi.
DSC_0274
Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges akisisitiza jambo wakati akiteta na Wakunga nchini ambapo pia aliwatia moyo kwa kazi nzuri wanayofanya na kuwataka kuendeleza moyo huo bila kuchoka.
Alisema hali hiyo inatokana na ukweli kuwa wazazi wenye uzazi pingamizi hucheleweshewa kufanyiwa maamuzi na hivyo kuhatarisha maisha ya mtoto na mzazi.
Wakati huo huo Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga alisema ipo haja ya wakunga kujitathmini na kushirikiana ili kuhakikisha kwamba huduma wanayoitoa ni ya kiwango cha juu, inayokubalika na kuvutia.
Alisema wanawake wanapoamua kuzalia kwa wakunga wa kienyeji kuna haja ya kujiuliza kwanini wanafanya maamuzi hayo wakati vituo vipo na wakunga wapo.
Alitaka wakunga kufanyakazi zao kwa bidii na maarifa na kuhakikisha kwamba huduma zao zinakubalika ili wazazi watumnie huduma zao na hivyo kuwezesha kuwa na taifa bora.
Aidha alitaka watumie takwimu vyema katika kuboresha huduma za ukunga katika maeneo yao na hasa kuhakikisha kwamba zinafikika na zinafanyiwa kazi.
DSC_0138
Daktari bingwa wa magonjwa ya kike na uzazi, Kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Rosina Lipyoga akizungumza katika siku hiyo ya mdahalo wa wakunga ambapo alisema ni aibu kwa watoto na wazazi kufa kutokana na huduma hafifu.
DSC_0206
Programme Specialist in Health System wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA), Felista Bwana akitoa mada kwenye mdahalo huo.
DSC_0128
DSC_0217
Mratibu wa Chama cha Wakunga nchini (TAMA), Martha Rimoy akielezea umuhimu wa Wakunga nchini kujiunga na chama hicho pamoja na faida watakazozipata pindi wawapo wanachama wa TAMA wakati wa mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga duniani mjini Musoma.
DSC_0298
Kutoka kushoto ni Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA), Christine Kwayu, Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges pamoja na Programme Specialist in Health System wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA), Felista Bwana wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa ukumbini hapo.
DSC_0058
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Lena Mfalila (kulia) akijumuika na Wakunga kuimba wimbo wa mshikamano na hamasa mara baada ya kusikiliza risala fupi ya Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges (hayupo pichani).
DSC_0065
Baadhi ya Wakunda kutoka mikoa mbalimbali nchini walioshiriki kwenye mdahalo huo wakishiriki kuimba wimbo wa mshikamano.
DSC_0053
DSC_0064
Programme Specialist in Health System wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA), Felista Bwana (kushoto) akishiriki kuimba wimbo huo wa mshikamano.

WANANCHI NA TAASISI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI WANAPOTAKA KUPIMA MAENEO YAO YA ARDHI KUEPUKA KUTAPELIWA

$
0
0
Mkurugenzi Msaidizi wa Upimaji na Ramani vijijini wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Huruma Lugalla (kushoto) akitoa maelekezo kwa wataalam wa Upimaji na Ramani wa wizara hiyo wakati wa uhakiki wa moja ya ramani ya eneo linalopaswa kuwa la makazi ya watu na taasisi nje kidogo ya mji wa Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani iliyopimwa na Kampuni ya Intergrated Property Consultancy and Services (IPCS) ya Morogoro na kubainika kuwa chini ya kiwango.
Wataalam wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifanya uhakiki wa moja ya ramani ya eneo linalopaswa kuwa la makazi ya watu na taasisi nje kidogo ya mji wa Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani lililopimwa chini ya kiwango. Katikati (aliyesimama) ni Bw. Bernard Malugu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Intergrated Property Consultancy and Services (IPCS) ya Morogoro iliyoifanya kazi hiyo chini ya kiwango.
Mkurugenzi Msaidizi wa Upimaji na Ramani vijijini wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Huruma Lugalla (kushoto) akifuatilia moja ya eneo ambalo lilitakiwa kuwa na alama ya mpaka ambalo halikuwa na alama yoyote wakati wa uhakiki wa moja ya ramani ya eneo linalopaswa kuwa la makazi ya watu na taasisi nje kidogo ya mji wa Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani iliyopimwa na Kampuni ya Intergrated Property Consultancy and Services (IPCS) ya Morogoro ambayo ilibainika kuwa chini ya kiwango. Kulia ni Bw.Allex Kachoka Mpima Ardhi wa wizara hiyo.

Marekani na Tanzania zazindua Program ya Mbwa Maalum wa kubaini Dawa za kulevya na Pembe za ndovu

$
0
0
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu, akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa kwanza kulia). Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( katikati) akiwa na Eng. Mathayo.
Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse ( wa kwanza kulia). akizungumza wakati wa uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu. akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu ( wa pili kulia) . Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa pili kushoto) akiwa na Eng. Mathayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu wakiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse akiwa ameinama amemshika mbwa( wa tatu kulia ) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa tatu kushoto) w uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii,.Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa kwanza kushoto) wakiwa katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam.

BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA JIJINI DAR KUZICHAPA NA MTHAILAND

$
0
0

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisa baada ya kutoka jela, ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha  kutoka 


nchini Thailand ,mpambano huo wa raundi 10 utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,

Akizungumza matayarisho ya mpambano  huo, promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda sawa kwa hivi sasa, ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii.

Mpambano huo utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwa

Wamesema kuwa wao wako tayari kwa mpambano huo na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano huo,ambao utavuta hisia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini

siku hiyo  Vicent Mbilinyi 'Sugu'  atavaana na  Keis Amal 


Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi,pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA TANZANIA WAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA KWA AJILI YA HOSPITALI NANE ZINAZOLAZA WAGONJWA UNGUJA NA PEMBA.

$
0
0
 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa  Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya malaria  Zanzibar katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
 Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman akitoa neno la shukrani baada ya kupokea  msaada wa vyandarua ambao utatumika katika Hospital nane zinazolaza wagonjwa  Unguja na Pemba.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimuaga Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman baada ya makabidhiano ya vyandarua yaliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Unguja.

BODI YA NHC YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA JIJINI ARUSHA

$
0
0

Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na  NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.
Usariver ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na watendaji wa NHC wanafurahia mpango wa kuendeleza eneo hilo lenye ekari 300 linalomilikiwa na NHC.


Hii ndiyo hatua ya ujenzi iliyokwishafikiwa hivi sasa katika ujenzi wa nyumba za gharama ya kati aina ya “town houses” zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli kwa ajili ya watumishi wa Halmashauri hiyo.


AIRTEL YATOA PUNGUZO KABAMBE LA GHARAMA ZA MAWASILIANO

$
0
0
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya inayotoa punguzo kabambe kwa gharama za kupiga simu ijulikanayo kama ‘Airtel Zone’, katika hafla iliyofanyika kwenye makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi Nyakundi na (kulia) ni Meneja Masoko wa Airtel, Ravi Agarwal. 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya (katikati),  Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi Nyakundi (kushoto) na Meneja Masoko wa Airtel, Ravi Agarwal, wakionyesha bango kama ishara ya uzinduzi wa huduma mpya inayotoa punguzo kabambe kwa gharama za kupiga simu ijulikanayo kama ‘Airtel Zone’, katika hafla iliyofanyika kwenye makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Msikilize Bratrice akifafanua hapo chini.

JK na Jopo la watu mashughuli kutoka nchi sita duniani waanza kazi kutafuta njia za kukabiliana na Majanga Mjini New York

MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA

$
0
0
DSC_0334
Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

SERIKALI imeshauriwa kuhakikisha sera na mipango mizuri iliyopo kwa afya ya mama na mtoto mchanga inasimamiwa na kutekelezwa ili kuliondoa taifa katika janga la kupoteza mama na watoto wakati wa uzazi.

Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno katika mafunzo kwa waandishi wa habari mjini Musoma.

Alisema bila kutekeleza mipango mizuri ambayo Rais Jakaya Kikwete amekuwa championi wa masuala ya wanawake na watoto kitaifa na mataifa, tatizo la vifo kwa wanawake wenye pingamizi za uzazi na watoto wachanga. Alisema kutokana na haja ya kutoa msukumo katika masuala ya uzazi wameamua kuwapatia elimu waandishi wa habari ili wawe chachu ya kutambua umuhimu wa ukunga na uzazi salama.

"Tunafunza waandishi wa habari ili waweze kusukuma mbele shahuri hili ili kila mtu katika nafasi yake atetee nafasi yake" alisema Lweno. Alisema suala la mama na mtoto mchanga ni masuala mtambuka ambapo mambo mengi lazima yaunganishwe yafikiriwe na kutambuliwa ili kudhibiti vifo vya wanawake na watoto wachanga.

Alitaja masuala hayo kama upangaji wa bajeti ya kueleweka kwa ajili ya kusaidia kupatikana kwa wakunga wataalamu na vifaa vyao vya kazi na maeneo ya kufanyia kazi. Aidha kuwapo kwa ukubali wa wakunga na elimu ya uzazi.

Alisema ni vyema waandishi wa habari kama watia chachu kuelimishwa mambo mengi yanayohusiana na uzazi salama ambapo ndani yake kuna masuala ya bajeti na ufuaji wa wataalamu na ufuatuiliaji wa sera na sheria zilizopo katika kuhakikisha usalama wa mama na mtoto. Alisema anaamini waandishi wa habari wakielewa mambo hayo watasaidia kukomaa nalo na kuwezesha kila mtu kuwajibika.
DSC_0278
Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo ya siku moja yaliyofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA) kuelekea kwenye kilele cha sherehe za maadhimisho ya siku ya wakunga duniani ambapo kitaifa imefanyika mkoani Mara.


Naye Afisa Muuguzi mwandamizi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Saturini Manangwa akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari alisisitiza haja za waandishi kutambua dhana ya afya ya mama na mtoto kuwa ni kitu mtambuka kutokana na suala la lenyewe kutegemeana.

Alisema serikali inapohimizwa kuwekeza kwa mkunga kunatokana na ukweli kuwa huduma ya mama na mtoto mchanga itakujwa bora kwa kuwa na mkunga bora mwenye vifaa na anayefahamu wajibu wake kuanzia ujauzito wa mama hadi kujifungua kwake.

Alisema uwekezaji huo unagusia changamoto nyingi zilizopo sasa kama upungufu wa wakunga, vituo vya kutolea huduma, dawa, miundombinu na masuala anuai ambayo yameegemezwa na utambuzi wa bajeti na umuhimu wake kama kipaumbele.

Alisema kwamba katika upangaji bajeti kila kitu kinategemea huwezi kusema unazidisha hiki na unakiacha hiki. Alisema mathalani katika hali bora ya ukunga na uwezo wa kumsaidia mhusika ,viwango vya dunia vilivyoweka na Shirika la Afya Duniani (WHO) kila mkunga mmoja ahudumie angalau watu sita, lakini sehemu kubwa ya dunia haifikii hivyo.
Aidha alisema kwa Tanzania kiwango ni mkunga mmoja ahudumie watu 20-25 lakini kwa sasa Tanzania mkunga mmoja anahudumia zaidi ya watu 50.

Kimsingi alisema Tanzania ina tatizo la wakunga na pamoja na serikali kuanzisha vyuo vya kufunza wakunga na kukubali mashirika ya dini nayo kufanya hivyo hali bado ni tete.
Hata hivyo alisema ni kupitia wakunga waliowataalamu upo uwezekano wa kuzuia vifo visivyo vya lazima.
DSC_0253
Mratibu wa Chama cha Wakunga nchini (TAMA), Martha Rimoy akizungumzia nia ya chama hicho ni kuhakikisha kwamba kila mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa anapata huduma za mkunga mtaalamu.
Muuguzi huyo mwandamizi pia alisema katika juhudi za serikali kunaanzishwa mafunzo ya mwaka mmoja ambapo yatatoa maofisa afya ambao kazi yao kubwa itakuwa kujua idadi ya wanawake wajawazito na wagonjwa katika maeneo yao na kutoa taarifa kwa zahanati iliyo karibu.
Alisema ofisa huyo kazi yake haitakuwa hospitalini au kwenye zahanati bali kwenye jamii akitambua idadi ya wagonjwa wake na kutoa taarifa sahihi ya hali ya afya ya kitongoji chake kwenye zahanati.
Mmoja wa washiriki Belina Nyakeke ambaye ni mwandishi wa habari wa magazeti alisema kwamba amefurahishwa na mafunzo hayo ambayo yamempa nafasi ya kutambua wajibu wake katika kusaidia kuondoa tatizo la vifo vya mama na mtoto mchanga.
Alisema japokuwa mafunzo ni ya muda mfupi lakini yamemfumbua macho kutambua wajibu na haki kwa wananchi na serikali.
Naye Ahmed Makongo akizungumzia mafunzo hayo alisema yamemfanya atambue wajibu wake kusaidia kusukuma mambo yaende sawa kwa upande wa waamuzi na pia wananchi husika kwa kuzingatia mafunzo hayo yaliyoletwa kwao na Mama Ye na UTTPC chini ya Ufadhili wa Shirika la Mpango wa watu Duniani (UNFPA)
DSC_0219
Afisa muuguzi mwandamizi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Saturini Manangwa akizungumzia changamoto za upungufu wa wakunga, vituo vya kutolea huduma, dawa, miundombinu n.k wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari wa mjini Musoma mkoani Mara.
DSC_0299
Afisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu (UNFPA) anayeshugulikia mifumo ya Afya, Felista Bwana akitoa takwimu za nchi zinazoongoza kwa vifo vya mama na mtoto kwenye mafunzo ya waandishi wa habari mjini Musoma.
DSC_0244
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen, mkoani Mara, Belina Nyakeke (katikati) akishiriki kwenye mafunzo ya waandishi wa habari yaliyofanyika mjini Musoma na kufadhiliwa na Shirika la UNFPA.
DSC_0207
Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima mjini Musoma, Igenga Mtatiro akiuliza swali kwa Afisa muuguzi mwandamizi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Saturini Manangwa (hayupo pichani).
DSC_0229
Pichani juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari wa mkoani Mara ambao pia wanachama wa vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) walioshiriki mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Mradi wa Mama Ye kwa kushirikiana na UTPC na kufadhiliwa na UNFPA.
DSC_0267
DSC_0260
DSC_0197
Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo.
DSC_0242
Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya (kushoto) akibadilishana mawazo na Mratibu wa Chama cha Wakunga nchini (TAMA), Martha Rimoy mara baada ya kuhitimisha mafunzo hayo.

BREAKING NEWZZZZZ: 93.7 E-FM radio Station na michuzi blog zaunganisha nguvu kunogesha libeneke la michezo, muziki na utamaduni

$
0
0
Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group  (MMG) Ankal Muhidin Issa Michuzi (kulia) na Meneja Maslahi na Sheria wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm Bw. Denis Ssebo  wakipeana mikono baada ya  kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano  kwenye hafla fupi zilizofanyika Jumatano Mei 6, 2015 kwenye ofisi za kituo hicho cha redio Mikocheni jijini Dar es salaam.


Pamoja na mambo mengine MMG na Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kuanzia sasa watashirikiana katika mambo ya habari, matangazo na shughuli zingine za kijamii ikiwa ni pamoja na michezo, muziki na utamaduni.

“Hii ni siku ya kihistoria katika tasnia ya habari nchini Tanzania kwa makubaliano haya ya kwanza ya aina yake ambapo kituo chetu cha 93.7 E-FM kilicho mstari wa mbele kukuza tasnia za michezo, muziki na utamaduni wa Tanzania na MMG inayoendesha na kuongoza katika tasnia ya habari mtandanoni nchini ya Michuzi Blog pamoja na Michuzi online TV kukubaliana kufanya kazi pamoja.

“Hii ni baada ya kila upande kugundua  kwamba ina wapenzi lukuki ndani na nje ya Tanzania kuliko vyombo takriban vyote vya habari Tanzania, na pia kwa pamoja kuona haja ya kuenzi na kukuza tasnia za michezo, muziki na utamaduni wa Tanzania ambavyo pamoja na umuhimu wake vyombo vingi vya habari havijazipa tasnia hizo msukumo wa kutosha.



“Hivyo sisi kwa pamoja tumeamua kuungana na kufanya mabadiliko makubwa kwenye kuendeleza tasnia za michezo, muziki na utamaduni kwa nguvu zetu zote”, alisema Bw. Ssebo.

Kwa pande wake, Ankal, ambaye anaamini katika vitendo zaidi ya kuongea, alisema MMG inayoendesha Michuzi Blog a.k.a Globu ya Jamii, pamoja na Michuzi TV online, watafanya kile ambacho wengi hawafanyi ama kama wanafanya inakuwa kijuu juu tu.

“93.7 E-FM radio station imedhihirisha ndani ya mwaka mmoja tu kwamba michezo, utamaduni na jamii ya Tanzania vinaweza kupendwa na kuthaminiwa na kila mtu ndani nan je ya Tanzania….

“Kwa kuwa Ubunifu, kujituma na juu ya yote kuwapa wananchi kile roho zao zinapenda ni dira ya MMG na kituo hiki cha redio kinachokuja juu kwa kasi ya ajabu na kustua, wadau wetu wakae mkao wa kula kila siku kwani maneno hayavunji mfupa”alisema Ankal, ambaye blog yake pendwa kuliko zote nchini ya Michuzi Blog mwaka huu inatimiza miaka 10  ya kuanzishwa kwake.

Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kina mwaka mmoja tu toka kuanzishwa kwake lakini kimetokea kuwa kituo pendwa nchini Tanzania kwa kuenzi tasnia za michezo, muziki na utamaduni, wakati Globu ya Jamii inatajwa kuwa ndiyo Blog ya Kiswahili inayosomwa zaidi duniani.
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live




Latest Images