Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel

Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels

Showcase

Channel CatalogChannel Description:

Karibuni Jamvini Wanajamii

older | 1 | .... | 1563 | 1564 | (Page 1565) | 1566 | 1567 | .... | 1897 | newer

  0 0  0 0

  0 0

  Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi akiongea na baadhi ya wananchi waliokuwa wamehudhuria katika hafla ya kukabidhi vifaa na gari la kubebea wagonjwa kwa lengo la kuendelea kuboresha sekta ya afya katika jimbo hilo Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi akikabidhi vitanda kwa ajili ya kituo hicho
  Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini, Cosato Chumi akikabidhi gari la kubebea wagonjwa kwa ajili ya kituo hicho   NA FREDY MGUNDA, MUFINDI

  MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi ametoa msaada wa vitanda kumi kwa kituo cha afya cha Ihongole kilichokuwa kinakabiliwa na upungufu wa vitanda katika wodi ya wazazi. 

  Akizungumza wakati kukabidhi vitanda hivyo sambamba na kukabidhi gari ndogo ya kubebea wagonjwa iliyotolewa na serikali, Chumi alisema kuwa msaada huo wa vitanda utasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza changamoto katika kituo hicho cha afya ambacho kinachohudumia wakazi zaidi ya 20000 wa jimbo la Mafinga mjini. 

  Alisema kuwa ushirikiano katika kuondoa changamoto na kuchukulia mapungufu ndio njia pekee ya kuendelea kuinyanyua Mafinga hasa katika sekta ya afya ambayo imekuwa ikikabiliana na changomoto nyingi.

  Chumi alisema kuwa msaada wa vitanda vimetolewa na mmoja wa wahisani wanaolisaidia jimbo la Mafinga kuondokana na changamoto mbalimbali katika sekta ya afya ambayo imekuwa na ikikabiliwa na mapungufu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa miundo mbinu bora.

  Alisema changamoto za sekta ya afya katika jimbo hilo na wilaya ya Mufindi kwa ujumla zitakashughulikiwa kupitia serikali na wadau wake mbalimbali wanaotakiwa kujitokeza kuboresha huduma zake .Akizungumzia Gari hiyo ambayo imetolewa na Serikali Chumi alisema kuwa itatumika kubeba wagonjwa ambao watalazimika kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mafinga ambapo awali ilikuwa vigumu kwa wagonjwa pindi wakizidiwa kwenda kutibiwa. 

  Mbali na msaada huo, mbunge huyo ambaye mbali na ahadi mbalimbali kwa wapiga kura wake, aliahidi kuboresha huduma za afya katika jimbo hilo amekwishatoa msaada vitanda, magodoro, viti vya kubeba wagonjwa na vifaa tiba mbalimbali katika hospitali ya Mafinga. 

  Akipokea na kushukuru kwa msaada huo, Kaimu Mganga Mkuu wa kituo cha Ihongole, Bernad Makupa alisema msaada huo wa vitanda na gari ya kubebea wagonjwa utasaidia kwa kiasi kikubwa kuwahudumia wananchi katika vijiji mbalimbali vinavyopata huduma katika kituo hicho.

  Kwa niaba ya halmashauri ya Mafinga Mjini, mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Charles Makoga alimshukuru Chumi kwa ushiriki wake katika kuchangia maendeleo ya wananchi wa jimbo hilo kabla na baada ya kuingia madarakani na akamuomba endelee na moyo huo.

  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amewaagiza viongozi wote wa halimashauri katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanawachukulia hutua wale wote wanaohusika kuwapa mimba watoto wa shule. 

   Hayo ameyabainisha wakati wa kujadili tathimini ya elimu baada ya kubainika wanafunzi wengi wanajiusisha na mapenzi na kupelekea mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017.

  0 0

  Afisa Masoko wa Kampuni ya Mbolea ya Yara mkoa wa Iringa Dionis Tshonde akitoa maelezo kwa kiasi gani mbolea hiyo inawasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija na kuvuna mavuno mengi kwenye msimu mmoja 
  Uongozi wa timu ya Singida United ya mkoani Singida na wachezaji wa timu hiyo nao walifanikiwa kutembelea shamba darasa ambalo wanatumia mbolea ya kampuni ya Yara na kuwataka wakulima wa mkoani Iringa kulima kilimo bora kwa kutumia mbolea ambazo zinazalishwa na kampuni ya Yara iliyopo kulasini jijini Dar es salaam.
  Shamba darasa ambalo lipo mkoani Iringa katika kata ya Ruaha manispaa ya Iringa

  NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

  WAKULIMA wametakiwa kutumia kulima kilimo chenye tija kwa kufuata maelekezo ya wataalamu ili waweze kupata mazao bora.

  Hayo yamesemwa na Afisa Kilimo Manispaa ya Iringa Bi.Happines Nnko wakati akizungumza na wakulima wa kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa katika shamba darasa ambalo wakulima wamelima kwa kufuata kanuni na taratibu za kilimo bora na kufanikiwa kustawisha mazao vizuri.

  Hapinpines alisema kuwa wakulima wanapoteza nguvu,muda kulima kilimo sikichokuwa na tija kwa kutofuata kanuni za kilimo, mbegu bora na mborea za kupandia na kukuzia."Ninawaomba tuwatumie wataalamu wetu ili tuweze kulima kilimo chenye tija.Pia ninawaomba haya mliyoshauriwa na wataalamu kutoka kmpuni ya Mbolea Yara na Seed.co mkayafanyie kazi,lengo tunataka kuona kilimo kikimkwamua Mkulima na si kumdidimiza"

  Akitoa Elimu kwa wakulima juu ya umuhimu wa kutumia Mbolea ya Yara Vespa Kwavava,amabae ni Mkulima katika eneo la Ipogolo kata ya Ruaha alisema kuwa hapo awali kabla hajaanza kutrumia Mbolea uzalishaji ulikuwa mdogo ,lakini kwa hivi sasa umeongezeka.

  Ninawaomba wakulima wenzangu watumie mbolea na wataalamu ili wawaeze kupiga hatua katika uzalishaji na hatimae kujikwamua kimaisha kupitia kilimo.Kwa upande wake Afisa Masoko wa Kampuni ya Mbolea ya Yara Dionis Tshonde alisema kuwa wataendelea kutoa elimu ya kilimo bora kwa kushirikiana na wananachi ili kuhakikisha wanalima kilimo chenye faida kubwa kuliko wanavyofanya sasa wakulima wengi.

  “Wananchi wengi wanapenda kulima lakini bado hawafuati taratibu na kanuni za kilimo bora hivyo atahakikisha kupitia kampuni ya Yara wanatoa elimu kwa wakulima ili kuwakomboa katika kilimo wanacholima kwa sasa hadi kufikia kulima kilimo cha kisasa na chenye faida” alisema

  Tshonde aliwataka wakulima kutumia mbolea za kampuni ya Yara ambazo kwa sasa ndio imekuwa mkombozi wa wakulima kwa kuzalisha mazao mengi tofauti na ilivyokuwa hapo awali.“Mbolea za kampuni ya Yara zinavirubisho ambavyo vinasaidia mazoa kukuwa na kuzalisha mazao mengi ambayo yanakuwa faida kwa wakulima”

  Tshonde alisema kuwa ukitumia mbolea ya kampuni Yara utapata faida kubwa kwa kuwa ukilima hekali moja unakuwa na uhakika wa kuvuna kati ya gunia 35 hadi 40 endapo mkulima atazingatia kanuni na taratibu za kilimo che tija.

  0 0

  NA TIGANYA VINCENT-RS TABORA

  ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Magharibi Tabora Isaac Laise amesewma Watanzania wanatakiwa kutoruhusu mataifa ya nje yawagawanye kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

  Alisema kuna baadhi ya mataifa makubwa yanaweza kutaka kupenyeza ajenda zao ili kujinufaisha kisiasa au kiuchumi na kuiacha Tanzania ikiwa imegawanyika kama wananchi hawatakuwa makini kulinda umoja wao.

  Askofu Laise alisema hayo hivi karibuni mjini Tabora wakati akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kongamano la ulinzi na usalama lilioandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora na kuwashilikisha wadau mbalimbali.

  Alisema jamii ya Watanzania inapaswa kuwa waangalifu na mataifa makubwa ambayo yanakuwa na ajenda zao binafisi na zinaposhindwa kufanikiwa wanaweza kuwa kuwagawanya kwa misingi ya udini, ukabila hata itikadi ya kisiasa ili kuhakikisha wanachohitaji wanakipata.

  “Tusiruhusu maadui wa nje watugawanye kwa ajili ya maslahi yao ya kisiasa au kiuchumi ambayo wakati mwingine yako kwa ajili ya kutaka kunyonya rasilimali hapo nchini…jambo la msingi ni kuendelewa kulinda umoja wetu, amani na utulivu tulijaliwa na Mwenyezi Mungu” alisema Askofu huyo.

  Alisema kila Mtanzania anapaswa kuwa mdau mkubwa wa amani ya nchi hii kwa kuiilinda na kuitunza ili hatimaye iweze kumsaidia katika shughuli mbalimbali za kujiletea maendeleo yake na Taifa kwa ujumla.

  Aidha Askofu Laise alisema kila mwananchi katika nafasi ni lazima atende haki na kusiwepo na vitendo ambavyo vinalazimisha haki kununuliwa

  Alisema jamii ya Watanzania inapaswa kuwa waangalifu katika nyakati hizo ambapo Serikali inapambana na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijinufaisha na rasimali za taifa kwa maslahi yao kutumiwa na mataifa makubwa kuwagawanya kwa misingi ya udini, ukabila hata itikadi ya kisiasa.

  0 0

  • Yawakumbusha waombaji kuandaa nyaraka muhimu
  • Mwongozo wa kina kutolewa mwanzoni mwa Mei, 2018

  Jumanne, Aprili 17, 2018

  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu wananchi kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi ujao (Mei, 2018) baada ya kukamilishwa kwa maboresho makubwa ya mfumo wa uombaji kwa njia ya mtandao.

  Maboresho ya mfumo wa maombi
  Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru (pichani) amesema katika taarifa yake leo (Jumanne, Aprili 17, 2018) kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao (www.olas.heslb.go.tz) ambao umefanyiwa maboresho na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UCC-UDSM).

  Aidha, Bw. Badru amesema dirisha hilo la litafunguliwa sambamba na kutangazwa kwa mwongozo wa kina utakaotoa utaratibu wa kuwasilisha maombi, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi, sifa na vigezo vitakavyotumika katika kuchambua na kutoa mikopo kwa mwaka ujao wa masomo unaotarajiwa kuanza mwezi Oktoba, 2018.

  “Tunawasihi wale wote wanaotarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kusoma kwa makini mwongozo tutakaoutoa kwa vyombo vya habari na tovuti mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018 na kuuzingatia,” amesema Bw. Badru.

  Bw. Badru amefafanua kuwa wito wa Bodi ya Mikopo umetolewa kutokana na uzoefu wa miaka iliyopita ambapo waombaji wa mikopo waliwasilisha maombi yao bila kuzingatia mwongozo uliotolewa na kusababisha baadhi ya wanafunzi kukosa mikopo.

  “Mwaka jana, kwa mfano, zaidi ya waombaji 10,027 kati ya waombaji zaidi ya 61,000 hawakuambatisha nyaraka muhimu kama vyeti vya kuzaliwa au hata vile vya vifo vilivyothibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama tulivyoelekeza,” amesema.

  Nyaraka muhimu zinazohitajika
  Nyaraka nyingine muhimu ambazo waombaji mikopo wanapaswa kuziandaa ni pamoja na nakala za vyeti vya kitaaluma za kidato cha nne, sita na stashahada ambazo zimethibitishwa na Kamishna wa Viapo yaani Wakili au Hakimu.

  Aidha, wanafunzi waombaji wenye ulemavu au wenye wazazi wenye ulemavu wanapaswa kuwa na barua zinazothibitisha ulemavu huo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Mkoa, Wilaya au Kituo cha Afya cha Serikali;

  Bw. Badru ameongeza kuwa wanafunzi ambao walifadhiliwa katika masomo yao ya Sekondari au Stashahada (Diploma) wawe na barua za uthibitisho wa udhamini huo kutoka katika taasisi zilizogharamia masomo yao.

  Maafisa wa HESLB kutoa elimu mikoani.

  Katika hatua nyingine, Bw. Badru amesema mwaka huu maafisa wa Bodi ya Mikopo watatembelea mikoa mbalimbali ili kukutana na waombaji mikopo kwa lengo la kuwaelimisha waombaji mikopo kuhusu taratibu sahihi za kuwasilisha maombi yao ya mikopo kwa njia ya mtandao. Ratiba na maeneo itakapofanyia mikutano hiyo itatangazwa mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018. 

  HESLB ilianza kazi rasmi mwaka 2005 ili, pamoja na majukumu mengine, kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa watanzania wahitaji na wenye sifa na kukusanya mikopo iliyoiva ambayo ilitolewa na Serikali tangu mwaka 1994/1995.

  Imetolewa na:
  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  DAR ES SALAAM
  Kwa ufafanuzi: +255 (0) 757 500800.

  0 0

  0 0

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Prince William katika jumba la Kifalme la Buckingham Palace.

  Makamu wa Rais alimweleza Prince William kuwa Tanzania inatambua mchango wake katika kuzuia ujangili wa wanyama pori na Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbali mbali ya kupambana na kuzuia ujangili ingawa bado hatujawa na tekinolojia yenye uwezo wa wa kutambua na kuona wanyama wote lakini tumeendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama pori.

  Kwa upande wake Prince Williams alimuahidi Makamu wa Rais kusaidia katika kuboresha ulinzi wa wanyama pori kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu na pia Prince William amemualika Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano unaohusu masuala ya Wanyapori unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu jijini London.

  Makamu wa Rais Mhe. Samia yupo nchini Uingereza kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za jumuiya ya Madola.​ 
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Prince Williams leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace ikiwa sehemu ya ratiba zake jijini London ambapo anamuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya za Madola. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimbidhi picha ya kuchorwa Prince Williams leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace kama zawadi na ishara ya kutambua mchango wa Prince William katika kupambana na ujangili, Makamu wa Rais yupo jijini London kumuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya za Madola. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  0 0

  •      Etihad Airways customers now more connected to Africa than ever before
  •          EGYPTAIR to provide its customers greater access to South Korea and Australia
  Abu Dhabi, UNITED ARAB EMIRATES–Etihad Airways, the national airline of the UAE, and Egyptian national airline EGYPTAIR, have announced a significant expansion of their successful codeshare partnership, widening their horizons to cover more destinations in Africa, North Asia and Australia for the benefit and convenience of their customers. Sales on the expanded agreement will come into effect from today, for travel from 2 May.

  The initial phase of the agreement was launched in March 2017 and saw both Etihad Airways and EGYPTAIR place their codes on each other’s flights operating between Abu Dhabi and Cairo. 

  The second phase of expansion of the current codeshare partnership will see Etihad Airways place its ‘EY’ code on EGYPTAIR flights to a number of African destinations including Ndjamena in Chad, Nairobi in Kenya, Khartoum in Sudan, Entebbe in Uganda, Johannesburg in South Africa, and subject to government approvals, on flights to Nigeria, Eritrea and Tanzania, through the Star Alliance carrier’s Cairo hub.

  Peter Baumgartner, Etihad Airways Chief Executive Officer, said: “EGYPTAIR is one of the oldest and most experienced airlines in the region with a major presence in cities across the African continent. 

  The forging of closer codeshare ties between our two airlines means unprecedented access to many new gateways for Etihad’s customers while bolstering our services to markets we already serve, such as Kenya and Tanzania, by connecting easily through Cairo onto EGYPTAIR’s African network.”

  The expanded partnership will also see EGYPTAIR place its ‘MS’ code on Etihad Airways flights from Abu Dhabi to Seoul, Brisbane, Melbourne and Sydney, and subject to government approvals, on flights to China.

  Safwat Mussalam, Chairman and Chief Executive Officer of EGYPTAIR HOLDING, said: “One of EGYPTAIR’s strategy pillars is successful cooperation with our partners to enhance and expand our reach beyond our network. 

  The expansion of cooperation between EGYPTAIR and Etihad Airways will give our customers seamless access to major cities in Australia and South Korea.”

  Etihad Airways has been serving the Abu Dhabi – Cairo route since 2004, and currently operates five daily flights between the two capitals. EGYPTAIR operates up to three daily services on the route.

  0 0

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ameeleza  namna ambavyo wamemkamata na kumhoji msanii maarufu Nassib Abdul a.k.a Diamond  na kisha kumuachia kwa dhamana.

  Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na Michuzi blog,Kamanda Mambosasa amesema alimakata Diamond jana kati ya saa 11 na saa 12 jioni na kisha walimhoji kutokana na kusambaza picha za utupu katika mtandao.

  "Polisi tumemshikilia Diamond na kisha tukamhoji kwa kusambaza picha za utupu mtandaoni,"amesema Mambosasa na kuongeza kuwa hilo ni kosa la kimtandao hivyo sheria itachukua mkondo wake.

  Alipoulizwa kama Diamond bado anashikiliwa Polisi au laa, Mambosasa amejibu baada ya kumhoji walimuachia kwa dhamana wakati upelelezi ukiendelea."Upelelezi ukikamilika tutaendelea na hatua nyingine za kisheria,"amesisitiza.

  0 0

  Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tigo jijini Dar es Salaam leo katika hafla ya kukabidhi simu janja aina ya Tecno R6 kwa washindi 52 kutoka Dar es Salaam wa wiki hii katika promosheni ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.
  Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Tatu Shomari Kandi (kati) mjasirialimali n amkaazi wa Tabata jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kama mojawapo ya washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.
  Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Mariam Yatela Omari (kati), mhudumu wa saluni katika eneo la Kisarawe, Dar es Salaam baada ya kuibuka kama mojawapo ya washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.
  Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Boni Japhet Sanga (kati) mjasirialimali n amkaazi wa Tabata jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kama mojawapo ya washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mtaalam wa Usambaji Bidhaa wa Tigo, Baraka Hamza.

  0 0

  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua na kuongoza mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga uliolenga kujadili namna ya kufanikisha zoezi la chanjo hiyo kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 mkoani humo. 

  Mkutano huo umefanyika leo Jumanne Aprili 17,2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.

  Akifungua mkutano huo,Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga alisema Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto kwa kushirikiana na wadau wa chanjo imeanzisha chanjo mpya ya kuwakinga na ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 14.

  Matiro alisema saratani ya mlango wa kizazi ni ya kwanza nchini Tanzania kwa kusababisha vifo ikifuatiwa na saratani ya matiti ambazo zote zinasababisha zaidi ya asilimia 50 ya vifo vyote vya akina mama vitokanavyo na saratani hivyo kunahitajika juhudi na ushirikiano zaidi kupunguza vifo hivyo.

  “Lengo la kuanzisha chanjo hii ni kukinga mabinti kutokana na madhara makubwa yanayoweza kuwapata ambayo husababisha vifo vingi kwa wanawake,na walengwa wa chanjo hii mwaka huu ni wasichana wote wanaotimiza miaka 14 ambapo katika mkoa wa Shinyanga wasichana wasiopungua 29,479 watachanjwa”,aliongeza.

  Alisema chanjo hiyo itatolewa bila malipo katika vituo vya kutolea huduma vya serikali na binafsi ,baadhi ya shule na maeneo katika jamii ambazo zitatolewa kwa njia ya huduma za mkoba.

  “Saratani hii inachangiwa na vitu vingi ikwemo kuanza kujamiiana katika umri mdogo,kuwa na wapenzi wengi,ndoa za mitaala,kuzaa watoto wengi na uvutaji wa sigara”,alieleza.

  Alizitaja dalili za saratani ya mlango wa kizazi kuwa ni kutokwa damu ya hedhi bila mpangilio,kutokwa damu baada ya kujamiiana,maumivu ya mgongo,miguu na kiuno,kuchoka,kupungua uzito,kukosa hamu ya kula,kutokwa uchafu wa rangi ya kahawia au wenye damu kwenye uke na maumivu ya miguu au kuvimba.Hata hivyo alisema dalili mbaya zaidi zinazoweza kujitokeza kuwa ni pamoja na kuishiwa damu,figo kushindwa kufanya kazi,kupatwa na fistula na uvimbe wa tezi.

  Kwa upande Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Dkt. Rashid Mfaume alisema kati ya wasichana 7304 wanaougua saratani ya mlango wa kizazi nchini kila mwaka,4216 sawa na asilimia 58 wanafariki dunia hivyo ni muhimu zaidi kupata kinga kuliko tiba. Alisema uzinduzi rasmi wa chanjo hiyo mkoani Shinyanga utazinduliwa siku ya Jumatatu Aprili 23,2018 katika manispaa ya Shinyanga. 

  Naye Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela alisema tayari pesa kwa ajili ya chanjo hiyo zimeshatumwa kwenye halmashauri kinachotakiwa ni utekelezaji tu ili kuhakikisha mkoa unafanya vizuri katika zoezi hilo la utoaji chanjo kwa wasichana. 
  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifungua mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga 
  Matiro alisema serikali imeamua kuanza kutoa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa sababu saratani ya mlango wa kizazi ndiyo inayoongoza kwa kuua wanawake wengi ukilinganisha na saratani nyingine nchini.
  Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Dkt. Rashid Mfaume akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga. 
  Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.
  Mkutano ukiendelea.
  Wadau wakiwa ukumbini..Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Nyabaganga Talaba na Afisa Tawala wilaya ya Kahama, Said Yasin
  Kushoto ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga,Ngassa Mboje akiwa na Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bakari Kasinyo
  Wadau wakiwa ukumbini
  Mkutano unaendelea.

  Mtakwimu (Mpango wa taifa wa chanjo), David Kayabu akitoa mada kuhusu zoezi la chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi

   Daktari wa Meno mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya ambaye ni Mkufukunzi wa mafunzo ya chanjo ya HPV akitoa mada ukumbini kuhusu chanjo hiyo

   Afisa Elimu mkoa wa Shinyanga, Mohammed Kahundi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo 
  Picha za pamoja wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi
  Picha za pamoja wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi

  Picha za pamoja wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi
  Picha za pamoja wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.

  Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog

  0 0

  0 0

  Ahadi hiyo imetolewa mjini hapa leo na Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia walipozungumza na waandishi wa habari kueleza utekelezaji wa hoja za CAG katika sekta zao.

    Waziri Ummy: Tunakagua Deni la Wagonjwa Nje

  Akieleza utekelezaji wa hoja mbalimbali katika sekta ya Afya, Waziri Ummy ameeleza kuwa Wizara ya Afya, baada ya kupata taarifa ya CAG kuhusu kuongezeka kwa deni la matibabu ya wagonjwa wanaopata rufaa nje ya nchi, imeamua kufanya uchunguzi wa kina wa kitabibu na kihasibu kujua usahihi wa deni hili ili kuchukua hatua madhubuti.

  Aidha, amesisitiza kuwa Wizara imekubaliana na ushauri wa CAG wa kuhakikisha Serikali inaendelea kuboresha utoaji wa huduma za kibingwa hapa hapa nchini nchini ili kupunguza gharama. Waziri Ummy ameeleza hatua mbalimbali zilizochukulia kutekeleza agizo hilo ikiwemo kuanza kutolewa hapa nchini huduma za upasuaji wa moyo, upandikizaji wa figo, uwekaji wa vifaa vya usikivu na matibabu ya magonjwa ya mifupa na mishipa ya fahamu.

  Kwa upande wa huduma za kibingwa katika maradhi ya saratani, Waziri Ummy alisema tatizo kubwa lililopo sasa ni huduma za kiwango cha juu cha kupima ugonjwa huo ambazo hazipatikani sehemu nyingi za Afrika. Hata hivyo alisema katika mwaka mmoja ujao Tanzania itamaliza tatizo hilo kwani Serikali imetenga Shilingi bilioni 14.5 mwaka ujao wa fedha kununua mashine ya kupima saratani (PET-CT-SCAN) 
  .
  Kuhusu uingizwaji wa bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 1.94 kwa kutumia vibali vya kughushi, Waziri Ummy amesema wameshachukua hatua za haraka kupitia Bodi ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kuwabaini wote waliohusika na tayari baadhi wameshakabidhiwa kwenye vyombo vya dola huku TFDA ikichukua hatua za kujiunga na mfumo wa TRA ili kutambua nyaraka zisizo halali.

  Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja zilizotolewa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za  Serikali (CAG)kwa mwaka wa fedha unaoishia june 2017. Mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
  Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia,  Prof. Joyce Ndalichako akitioa maelezo kuhusu kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo hasa katika ukusanyaji wa mikopo iliyoiva kwa wanafunzi wa elimu ya juu wakati akijibu  hoja zilizotolewa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za  Serikali (CAG)kwa mwaka wa fedha unaoishia June 2017. Mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari kabla yakuwakaribisha Mawaziri kushiriki katika mkutano na Waandishi wa habari leo mjini Dodoma kuhusu hoja mbalimbali zinazogusa Wizara zao katika ropoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka unaoishia June 2017.
  Serikali imesisitiza kuwa hakuna hoja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika sekta zote na hususani sekta za Afya na Elimu ambayo haitatekelezwa ili kuhakikisha azma ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikiwa ipasavyo.

  0 0

older | 1 | .... | 1563 | 1564 | (Page 1565) | 1566 | 1567 | .... | 1897 | newer