Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46401 articles
Browse latest View live

SHUJAAZ WAWAFUNDA WAANDAAJI WA MASHINDANO YA EAST AFRICA CUP 2017

$
0
0
Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akitoa maelezo kwa washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na  Mradi wa Shujaaz  iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz kwa ajili ya kutoa eimu juu ya maswala mbalimbali ikiwemo Ujasiliamali pamoja na Kilimo,Warsha ambayo inafanyika sambamba na Mashindano ya Kimataifa ya Vijana kwa vijana wa nchi za Afrika Mashariki.
Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akitoa maelezo kwa washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na  Mradi wa Shujaaz  iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi
Washiriki katika Warsha hiyo.
Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumalizika kwa Warsha iliyoandaliwa na  Mradi wa Shujaaz  iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi
Baadhi ya Vijana waliofanikiwa kuingia katika Kijiji cha Shujaaz wakionesha umahiri wao katika uimbaji ambapo pia walipata zawadi kutoka Shujaaz.
Timu za watoto chini ya miaka 13 za Msimamo na Right to Play kutoka Dar es Salaam zikichuana katika mashindano ya East Africa Cup 2017 yanayofanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ya Moshi Ufundi.
Vijana chini ya miaka 13 wakioneshana umahiri  katika kusakata soka katika mashindano ya East Africa Cup 2017 yanayofanyika katika viwanja vya Moshi Technical.
Baadhi ya vijana wakifuatilia mchezo huo.
Katika Kijiji cha Shujaaz wakishiriki michezo mbalimbali ikiwemo ya kukimbia huku wakiwa ndani ya magunia.
Kijiji cha Shujaaz kimekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wanaoshiriki mashindano ya East Africa Cup 2017.

Na D ixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.

NAIBU MEYA ILALA OMARY KUMBILAMOTO ;AFUTURISHA KATIKA KIJIJI CHA KAUZENI WILAYA YA KISARAWE

$
0
0
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti ,Omary Kumbilamoto akizungumza wakati akiwakaribisha wakazi wa kijiji cha Kauzeni Wilaya ya Kisarawe  katika Dua na futari aliyoiandaa kwa ajili ya wana kijiji hao katika kipindi cha mwezi hu mtukufu wa Ramdhani
 Bondia wa Zamani na Bingwa wa Dunia katika uzito wa kati ,Rashid Matumla akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kauzeni kabla ya futari  iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa Ilala.
 Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Kauzeni akisoma majina wakati wa Dua ya kuwasomea ndugu zao waliotangulia mebele ya haki
 Wazee na viongozi wa dini wa kijiji cha Kauzeni Wilayani Kisarawe wakioma dua kabla ya futari iliyoandaliwa na Naibu Meya wa jiji Omary Kumbilamoto
 Sehemu ya Wanakijiji wa kijiji cha Kauzeni wakipata futari ya pamoja na iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala.

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WADAU WAKE IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

$
0
0
 Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na wadau  wa takwimu wakati wa kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
 Mdau wa Takwimu kutoka REPOA akitoa maoni yake wakati wa  kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
 Baadhi ya Wadau wa Takwimu kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (hayupo pichani) wakati wa  kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
Baadhi ya Wadau wa Takwimu waliohudhuria kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.

VIJUSO VYA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 25, 2017

DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

$
0
0
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akikabidhi sehemu ya vyakula kwa mmoja wa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. 
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika (kulia) pamoja na Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa taasisi hiyo, Rahma Amoud (wa pili kulia) wakikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Aisha Mohamed (kushoto) mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani, Saleh Kawambwa.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. 
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Ashura Nassor mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. Katikati ni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani, Shaban Kawambwa.
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akimkabidhi mfuko wa sandarusi wenye vyakula mbalimbali Mtoto Biatha Shembilu (14)  ambaye ni mgonjwa wa moyo mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, leo Juni 24, 2017.
Rahma Amoud wa DMF akikabidhi sehemu ya vyakula kwa Mzee Abdul Mkwanda na Mkewe Bi. Moshi Mlango wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, leo Juni 24, 2017.

SSRA YAWAANDALIA SEMINA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI JIJINI DAR DAR ES SALAAM KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

$
0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (katikati), akiwa katika dawati la mapokezi akimuhudumia mteja kwa sura ya furaha katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka (wa pili kulia), akimsikiliza mteja kwa makini. 
Wafanyakazi wa SSRA wakiwahudumia wageni kwa sura ya bashasha. 
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathimini na Sera akifafanunua baadhi ya mambo wakati wa semina ya hifadhi ya Jamii kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini. 
Mkurugenzi wa Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde, akiwasilisha mada kuhusu hali ya hifadhi ya jamii nchini wakati semina kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini.
Maafisa Habari na mawasiliano serikalini wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa SSRA baada semina ya hifadhi ya Jamii iliyoandaliwa na SSRA kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya 
utumishi wa umma. 
Mkuu wa kitengo cha Elimu kwa umma na mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi. Silvia Lupembe akitoa neno la shukrani wakati wa semina ya hifadhi ya Jamii iliyoandaliwa na SSRA.  
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Emmanuel Urembo akiwa kwenye dawati la mapokezi akimuhudumia mgeni aliefika kwenye ofisi za SSRA maeneo ya Kinondoni Moroco. 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akiwa na Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwenye moja ya vikao vilivyoandaliwa katika wiki ya utumishi wa umma lengo likiwa ni kusikiliza na kutatua 
changamoto zao. 
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakifuatilia semina ya hifadhi ya jamii iliyoandaliwa na SSRA kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma 2017.

MASHAURI 18 YA MADAI YA KODI YA ARDHI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.1 YAWASILISHWA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA WILAYA YA TANGA

$
0
0

Mwakilishi wa Kamishna wa Ardhi Msaidizi Kanda ya
Kaskazini, Ardhi Mwandamizi Thadeus Riziki akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu Baraza la Ardhi Mkoani Tanga kupokeamashauri 18 yenye thamani ya Bilon 1.1 ambayo yamefikishwa kutokanawamiliki wa nyumba ,makazi na viwanda  kushindwa kulipa kodi ya ardhikwa wakati

 Afisa Ardhi Mteule Halmashauri ya jiji  la Tanga Straton Thobias akielezra mkakati wa  mwaka wa fedha wa 2016/7 halmashauri imeweka lengo la  kukusanya kodi ya ardhi kiasi cha shilingi bilioni 2.5 ambapo hadi sasaimefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 2.3
Mwanasheria wa  Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Kanda ya Kaskazini  Rosemery Mshana akiwataka wamiliki wa ardhi wanatakiwa kilipa kodi bila shuruti na kwamba kinyume chake watafikishwa mahakamani  mujibu wa kifungu cha  50  cha sheria ardhi namba nne(4
 Mashauri 18 ya madai ya kodi ya ardhi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 yamewasilishwa katika Baraza  la ardhi na nyumba  wilaya ya Tanga ikiwa ni mkakati wa Serikali wa kuwabana wamiliki wa viwanja wanao kwepa kulipa kodi.

Akizungumza mara baada ya kuwasilishwa kwa mashuari hayo mwakilishi wa afisa ardhi msaidizi kanda ya kazikazini Thadeus Riziki amesema hatua ya kuwafikisha mahakamani wamiliki wa viwanja  hivyo ni kupata kibali kitakacho wezesha wizara kulipwa makusanyo ya madeni

Amesema baada ya halmashauri kuwapelekea wamiliki hati ya madai na kushindwa kulipa hatua inayofuata ni kuwafikisha mahakamani ili kupata ridhaa ya kisheria ya kukamata mali za wadaiwa.

Kwa upande wake afisa ardhi mteule Halmashauri ya jiji  la Tanga Straton Thobias amesema katika mwaka wa fedha wa 2016/7 halmashauri imeweka lengo la  kukusanya kodi ya ardhi kiasi cha shilingi bilioni 2.5 ambapo hadi sasaimefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 2.3

Akizungumzia zoezi hilo mwanasheria ofisi ya kamishina wa ardhi  Rosemery Mshana amesema wamiliki wa ardhi wanatakiwa kilipa kodi bila shuruti na kwamba kinyume chake watafikishwa mahakamani  mujibu wa kifungu cha  50  cha sheria ardhi namba nne(4) 
habari kwa hisani ya blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

NSSF YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 UPANUZI WA KIWANDA CHA CHAKI SIMIYU

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama(kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Dkt.Fredrick Sagamiko.

Na Stella Kalinga, Simiyu

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekabidhi hundi ya shilingi bilioni 1.5 kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, fedha ambazo ni mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha Chaki Wilayani humo na kuongeza uzalishaji.

Hundi hiyo imekabidhiwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama kwa niaba ya Serikali na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara wilayani Maswa mkoani Simiyu.


Akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi hiyo Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara amepongeza Mkoa wa Simiyu kwa kutekeleza Sera ya Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda kwa vitendo na kuwataka viongozi wa mkoa huo kutokatishwa tamaa.

Amesema NSSF kama Shirika la Umma linatekeleza sera na maelekezo ya Serikali na wametoa mkopo huo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa ili wafanye upanuzi wa kiwanda cha chaki na kuongeza uzalshaji kwa kuwa suala la Viwanda ni la kipaumbele.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara(kushoto) akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa, (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka.

Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amesema kiwanda cha Chaki Maswa kimebeba ujumbe na dhana ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ya kushikamanisha Uchumi wa Viwanda na Maendeleo ya watu kwa sababu kinatumia malighafi ya hapa nchini.

Aidha, amesema kiwanda hiki kitawanufaisha Watanzania hususani vijana wa Mkoa wa Simiyu ambao watafanya kazi moja moja katika kiwanda na wale wataohusika katika uchimbaji wa malighafi ambayo inapatikana maeneo mengine hapa nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akipokea taarifa ya Upembuzi yakinifu wa panuzi wa kiwanda cha chaki cha Maswa kutoka kwa mtalaam wa Taasisi ya Masuala ya Kiuchumi na Kijamii(ESRF), Deodatus Sagamiko.

“Asilimia 56 ya nguvukazi hapa Tanzania ni vijana na vijana wengi bado hawana ajira lakini kiwanda hiki kitasaidia, kwa kuwa sehemu ya hiyo asilimia 56 wataajiriwa katika kiwanda na wengine watapata ajira huko mkoani Singida ambako malighafi ya kutengenezea chaki inapatikana” amesema.

Mhe.Mhagama ameongeza kuwa kiwanda kitatatua tatizo la upatikanaji wa chaki hapa nchini,kitaokoa fedha kwa kuwa chaki zitauzwa kwa bei nafuu na kitaongeza mapato ya fedha za kigeni kwa kuwa chaki zitakazozalishwa zitauzwa katika soko la nje ya nchi.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka amesema Halmashauri ya Wilaya ya Maswa imeonesha mfano katika kutekeleza agizo la Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli la kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa kujenga kiwanda hicho kikubwa, ambapo amesema kufikia mwaka 2020 Halmashauri za Mkoa wa Simiyu zitakuwa mfano kwa kuwa na miradi yake zenyewe .
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu(wa tatu kushoto), viongozi wa Wilaya ya Maswa wakimkabidhi Meneja wa Benki ya Azania( wa pili kulia)Hundizilizotolewa na NSSF kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki wilayani humo ili aendelee na taratibu za kibenki.

“Kama Halmashauri zinakopa mabilioni kujenga stendi, masoko kwa nini zisikope kujenga viwanda, zikatumia malighafi ya hapa nchini zikaajiri Watanzania wakapata kipato na nchi yetu ikanufaika; Halmashauri za Mkoa wa Simiyu zitaajiri na kwenye miaka mitano ya Mhe.Rais tutatoa mfano wa kuwa Halmashauri zenye miradi yake” amesema.

Kwa upande wake Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Mhe.Riziki Pembe Juma amesema Zanzibar ni wadau wakubwa wa Chaki zinazotengenezwa Maswa(Maswa Chalks), hivyo ameomba ushirikiano ulioanzishwa kati ya Zanzibar na Simiyu udumu ili kufikia malengo katika kukuza kiwango cha elimu na utekelezaji wa Sera ya Viwanda.

Kiwanda cha kutengeneza chaki Wilayani Maswa kwa sasa kinazalisha katoni zaidi ya 180 kwa siku na chaki hizo zinatumika katika shule zilizopo katika maeneo tofauti hapa nchini, ikiwa ni pamoja na mikoa yote za Zanzibar na baadhi ya mikoa ya Tanzania bara ikiwemo Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Geita na Tabora.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara(kulia) wakiteta jambo wakati wa hafya ya makabidhiano ya hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Wilayani Maswa.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu, Mhe.Jenista Mhagama(wa tatu kulia), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa, wilaya ya Maswa na Vijana wa Maswa Family wanaofanya kazi katika kiwanda cha chaki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar , Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu wakati wa hafla ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama( wa pili kushoto) akiangalia kikundi cha ngoma mara mara baada ya kuwasilisi wilayani Maswa, kwa ajili ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Msanii Elizabeth Maliganya (kulia) na baadhi ya waimbaji wa Kwaya ya Kanisa la AICT Bariadi (wenye sare za vitenge) wakicheza na viongozi mbalimbali mara baada ya makabidhiano ya hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama(wa tano kulia), Waziri wa Elimu Zanzibar (mwenye ushungi mwekundu), mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka (wa sita kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya yaMaswa na wadau wengine wa maendeleo baada ya makabidhiaono ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama katika picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wakuu wa idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa baada ya makabidhiaono ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mbunge wa Maswa Mashariki, mhe.Stanslaus Nyongo mara baada ya kuwasili wilayani Maswa, kwa ajili ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akitoa salamau za mkoa wakati wa hafla ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 iliyotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Baadhi ya viongozi katika Mkoa wa Simiyu wakifuatilia masuala mbalimbali katika hafla ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Baadhi ya viongozi katika Mkoa wa Simiyu wakifuatilia masuala mbalimbali katika hafla ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Ajira,Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara(mara baada ya kuwasili wilayani Maswa, kwa ajili ya makabidhiano ya Hundi ya shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na NSSF kama mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha chaki Maswa.

Mama Samia Azindua Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS)

$
0
0


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha picha kutoka kwa Kamishna wa Utalii Zanzibar Javed Jafferji wakati wa hafla ya futari iliyoambatana na uzinduzi wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) jana Jijini Dar es Salaam.
1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha kitabu cha picha alichokabidhiwa na Kamishna wa Utalii Zanzibar Javed Jafferji (kulia) wakati wa hafla ya futari iliyoambatana na uzinduzi wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) jana Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ambaye pia alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia  Kamishna wa Utalii Zanzibar Javed Jafferji alipokuwa akisaini katika kitabu cha picha alichomkabidhi Makamu wa Rais wakati wa hafla ya futari iliyoambatana na uzinduzi wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) jana Jijini Dar es Salaam.
3
Mwanzilishi wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS), Bw. Abdulsamad Abdulrahim akitoa maelezo kuhusu malengo ya jumuiya hiyo mbele ya mgeni rasmi Makamu Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati wa hafla ya futari iliyoambatana na uzinduzi rasmi wa Jumuiya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Mwanzilishi huyo alitoa mchango wa shilingi milioni 25 kama mtaji wa kuanzia wa ATOGS.
4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) jana Jijini Dar es Salaam, Mwanzilishi wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS).Kutoka kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage na Mwanzilishi wa Jumuiya hiyo Bw. Abdulsamad Abdulrahim.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue(kushoto) wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Jumuiya hiyo jana Jijini Dar es Salaam,kulia ni Mwanzilishi wa Jumuiya hiyo Bw. Abdulsamad Abdulrahim. Hafla hiyo iliambatana na uzinduzi rasmi wa Jumuiya hiyo ambayo lengo lake ni kushirikiana na Serikali katika kuwahamasisha wazawa kujihusisha na masuala ya gesi na mafuta ili kuongeza mnyororo wa katika sekta hiyo.
6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Jumuiya ya Watoa Huduma ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoambatana na uzinduzi wa Jumuiya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Lengo la Jumuiya hiyo ni kushirikiana na Serikali katika kuwahamasisha wazawa kujihusisha na masuala ya gesi na mafuta ili kuongeza mnyororo wa katika sekta hiyo.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO

WAKUU WA MIKOA 11 WATOA TAMKO KUHUSU UTENDAJI WA RAIS MAGUFULI.

$
0
0

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanry ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa mkutano wa ujirani mwema wa Mikoa 11 akitoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli, kulia kwake ni Mwenyeji wa Mkutano huo Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.
ag2
Wajumbe wa kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa 11 iliyoshiriki Mkutano wa Ujirani mwema wakifurahia mada zilizowasilishwa katika Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
ag3
Wajumbe wa kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa 11 iliyoshiriki Mkutano wa Ujirani mwema wakifuatilia mada zikiwasilishwa katika Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
ag4
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanry (katikati) ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa mkutano wa ujirani mwema wa Mikoa 11 akipokea maoni na mawazo ya wajumbe wa kutano huo, kulia kwake ni Mwenyeji wa Mkutano huo Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi.
ag5
Mwenyeji wa Mkutano wa ujirani mwema baina ya mikoa 11, Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na wajumbe wa mkutano huo.
……………………………………………………………………………..
race Singida.
Wakuu wa Mikoa 11 wametoa tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi ya kizalendo ya kutetea na kulinda rasilimali za Watanzania kwa maslahi ya taifa zima.
Tamko hilo limetolewa jana jioni wakati wakuu hao wakihitimisha mkutano wa kawaida wa ujirani mwema baina ya mikoa hiyo ambao umefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa mkutano huo ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanry wakuu wa mikoa ya Singida, Rukwa, Katavi, Kagera, Dodoma, Manyara, Geita, Shinyanga, Mwanza na Kigoma wamesema wanamuunga mkono Rais na wataendelea kuzingatia maelekezo yake katika utendaji wao.
“Sisi wasaidizi wake (rais Magufuli) tutaendelea kutekeleza   na kuzingatia maelekezo katika utendaji wetu wa kila siku. Aidha, wakati wote tutakuwa pamoja na wananchi na kuwatumikia kwa kutimiza wajibu wetu kwa uaminifu, uadilifu na tutahakikisha maslahi ya wananchi na taifa yanapewa kipaumbele cha kwanza”, sehemu ya nukuu ya tamko hilo.
Katika tamko hilo pia wametoa wito kwa wananchi na wawekezaji wote halali wa ndani na nje ya nchi kumuunga mkono rais Magufuli kwa kazi nzuri ya kulinda rasilimali za taifa na wakati wote wazingatie sheria za nchi.
“Tutumie fursa nyingi zinazoendelea kutengenezwa kwa hatua hizo za kizalendo anazochukua mheshimiwa mpendwa wetu rais Dkt. Magufuli Kwa mafanikio, maendeleo na tija kuelekea Tanzania ya uchumi wa kati na uchumi wa viwanda”, sehemu nyingine ya tamko hilo.
Katika Mkutano huo Mwenyekiti Mwanry amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa kuandaa mkutano huo na kupendekeza mikutano ya ujirani mwema ya mikoa ifanyike kikanda ili kuimarisha ulinzi na usalama wa taifa pamoja na kubadilishana uzoefu na kupeana taarifa mbalimbali za kimaendeleo.
“Tumekutana hapa kwa mapenzi ya nchi yetu na ya rais wetu Magufuli. Tuliokutana leo hii changamoto za mikoa yetu zinafanana. Changamoto hizi ni pamoja na uharibifu wa mazingira, uhaba wa mvua, kilimo cha kuhama hama na uhamiaji haramu”, amesema Mwanry na kuongeza;
“Kwa hiyo tukiacha kila Mkoa utatue changamoto hizi kivyake hatutafanikiwa kizitatua. Tumekubaliana kukutana mara kwa mara ili changamoto zinazotukabili sote tuzipatie ufumbuzi wa kudumu kwa pamoja”.
Aidha, mwenyekiti huyo amesema wamekubaliana kusimamia matumizi bora ya ardhi pia kusimamia ulinzi na usalama hasa kwa Mikoa ile iliyopo mipakani na nchi jirani.
Kwa upande wake Mwenyeji wa Mkutano huo Dkt Rehema Nchimbi amesema mkutano huo umekua wa manufaa makubwa kwa mikoa iliyohudhuria pamoja taifa kwakuwa wameweza kubadilishana mawazo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wote.

Zaidi ya Lita Mil.700 za Maji Kuzalishwa

$
0
0

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Serengeti  Limited  inayotekeleza mradi huo Bw. Mehrdad Talebi (kulia) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo kuhusu hatua iliyofikiwa katika kutekeleza mradi huo mapema leo.
mai4
Moja ya Visima Virefu vyenye kina cha Mita 600 vikitoa maji wakati wa majaribio yaliyofanyika ili kuonesha uwezo wa visima hivyo kuzalisha maji.
mai5
mai6
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akinywa maji yanayozalishwa na visima hivyo mara baada ya kukagua mradi huo leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA.
mai1
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (wa pili kutoka kushoto) akikagua  mradi wa kuchimba visima virefu 20 katika eneo la Kimbiji na Mpera Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
mai2
Kaimu Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Romanus Mwangi’ngo (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo kuhusu utekelezaji wa mradi huo utakaowanufaisha wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Kisarawe Mkoani Pwani wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo unaotarajiwa kuzalisha maji lita  milioni 260 kwa siku.

……………………………………………………………………………………
Frank Mvungi – Maelezo
Serikali inatekeleza mradi mkubwa wa uchimbaji Visima virefu 20 wenye thamani ya bilioni 40 katika eneo la Kimbiji na mpera vyenye kina cha mita 600 kila kimoja, vitakavyowezesha kuzalishwa kwa jumla ya lita milioni 260 za maji kwa siku.

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo  unaotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo amesema dhamira ya Serikali  ya Awamu ya Tano ni kuhakikisha kuwa kila mtanzania anafikiwa na huduma ya maji safi na salama kote nchini.

“Visima vya Kimbiji na Mpera ni moja ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali kupitia DAWASA yenye lengo la kuongeza wingi wa maji katika eneo la huduma ya Mamlaka hiyo kutoka lita  milioni 300 hadi kufikia zaidi ya lita milioni 700 ambazo zinajumuisha maji yanayozalishwa katika vyanzo vya Ruvu Juu na Ruvu Chini yatakayokidhi mahitaji hadi kufikia mwaka 2032.” Alisisitiza Prof. Mkumbo

Akifafanua Profesa Kitila amesema tayari visima 17 kati ya 20 vimeshachimbwa na baadhi vipo katika hatua ya upimaji wa wingi wa maji (pump testing).

“Hali ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam inaendelea kuimarika na nchini kwa ujumla lengo likiwa kuwafikia watanzania kwa zaidi ya asilimia 95,” aliongeza Prof. Mkumbo.

Aliongeza kuwa mradi huo pamoja na ile ya Ruvu Juu na Ruvu chini sasa itaondoa kabisa tatizo la maji katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo yote yanayohudumiwa na Mamlaka hiyo ikiwemo Kigamboni, Mji mpya, Kongowe, Gongo la mboto, Pugu, Chanika, Mbagala na Mji wa Mkuranga Mkoani Pwani  na maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwa upande wake Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Romanus Mwangi’ngo amesema kazi ya usanifu wa kulaza miundombinu ya kusafirishia maji imekamilika.

Mradi wa uchimbaji visima vya Kimbiji na Mpera unatekelezwa na Serikali  kupitia Kampuni ya NSPT ya Iran na Serengeti ya Tanzania kwa gharama ya bilionii 40 za Tanzania ukiwa na lengo la kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam.

MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA

$
0
0

NA MWANDISHI WA K-VIS BLOG
WATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jioni hii Juni 24, 2017 na Kaimu Meneja Uhusinao wa TANESCO makao Makuu, Bi. Leila Muhaji, imesema, uharibifu huo mkubwa wa miundombinu umeathiri upatikanaji wa umeme kwa wateja wa maeneo ya Kirando na Kipili wanaopata huduma ya umeme ya njia ya msongo mkubwa wa umeme unaopita kwenye maeneo hayo.
“Mafundi wa TANESCO waliofika kwenye eneo hilo, wameshuhudia uharibifu mkubwa ambapo miundombinu ya umeme imeungua na kusababisha hasara kubwa.” Alisema Bi Leila katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.
Bi Leila amesema TANESCO inawaomba wananchi wote waishio kwenye maeneo hayo kutoa taarifa kwenye ofisi za TANESCO au kituo cha polisi kilicho karibu ili kuokoa miundombinu ya umeme kwa manufaa ya taifa.
Amesema, tayari vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na TANESCO wameanza msako ili kuwabaini wahusika ili sheria ichukue mondo wake.

 Afisa wa polisi akiwa eneo la tukio huku akishuhudia jinsi moto huo ulivyoathiri nguzo za umeme

WABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WA CCM UWT

$
0
0



Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais 
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Viongozi na Wanachama 
wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha 
wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama. Mkutano huo ulifanyika leo mchana kwenye Ukumbi 
wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ikupa 
Alex. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

 Baadhi ya Wanachama wa CCM Kina mama wakifurahia moja ya kauli ya mgeni rasmi.
 Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati wa mkutano huo.
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Masunga, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia.
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Ilikuwa ni furaha kwenda mbele.... 
 Wanachama wakishangilia
 Mgeni rsmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.
 Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza jambo na mmoja wa wanachama aliyekuwa akimueleza baadhi ya Kero za mtaani kwake baada ya kumaliza kuwahutubia Viongozi na Wanachama wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam.
 Mgeni rsmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.

SHEIKH MKUU, MUFT WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKARY BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI MJINI MOSHI

$
0
0
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro.
Sheikh Mkuu Mufti waTanzania, Sheikh Abubakary Bin Zubery akishiriki Futari katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, jana. 
Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay wakati wa Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo katika Ofisi za Bakwata mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waumini wakishiriki Futari hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akishiriki Futari hiyo
Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay akizungumza wakati wa halfa fupi ya Futari iliyoandaliwa kwa Waislamu wa mkoa wa Kilimanjaro na Benki hiyo .
Mwenyekiti wa Halmashari ya Bakwata Taifa, Alhaj Sheikh Hamis Mataka akizungumza kwa niaba ya Sheikh Mkuu Mufti wa Tanzania Abubakary Bin Zubery wakati wa Futari hiyo.
Sheakh Mkuu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Bin Zubery akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongzi wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya Futari
Wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, wengine ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe.

WAKULIMA WA TANGAWIZI RUVUMA NA TANGA NEEMA YA WANYEMELEA

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma Joseph Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Mlalo Mkoani Tanga Mh. Rashidi Shangazi , wazungumzia jitihada wanazozifanya za kuwakwamua wakulima wa zao la Tangawizi.

MKAKATI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MATUMIZI BORA YA ARDHI WAKAMILISHWA.

$
0
0
Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUP) Dkt.Stephen Nindi akizungumza kwa ufupi hatua iliyofika kabla ya kwenda kukabidhi rasimu hiyo katika vyombo vya juu
Mkurugenzi msaidizi nyanda za malisho kutoka wizara ya kilimo na Mifugo Bw. Victor Mwita(Kulia) ambaye alikuwa mwenyekiti wakati wa shughuli hiyo, akitoa mwongozo wa baadhi ya mambo.
Baadhi ya watumishi Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUP) wakiwa wanafuatilia kwa makini majadiliano hayo wakiwa mkoani Morogoro.
Mmoja wa wajumbe wa kikosi kazi hicho akichangia jambo wakati wa mjadala
Bi. Amina Ndiko kutoka Shirika la kimataifa la Oxfam nchini Tanzania akitoa neno la shukurani mara baada ya kukamilisha zoezi la kukamilisha mkakati wa kukabiliana na changamoto za matumizi bora ya ardhi.

Jiji la Mwanza yatumia Tehama Kuboresha utoaji wa huduma kwa umma

SALA YA EID EL FITR DMV LEO

$
0
0
Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment

CCM ITAPAMBANA KURUDISHA KATA ZA JIMBO LA SEGEREA: ANGELA KAIRUKI

$
0
0

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam.

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Wanachama wakifurahia na kushangilia
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonah Kaluwa, akizungumza kutoa baadhi ya kero za wapiga kura wake mbele ya mgeni rasmi Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam.


Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema kitapambana kufa na kupona kuhakikisha majimbo sita yaliyochukuliwa na upinzani yanarudi mikononi mwa chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.

Aidha wabunge hao wamewataka viongozi waUmoja wa Wanawake CCM (UWT) waliopoteza majimbo kutopewa tena nafasi katika chaguzi zinazoendelea kwa maslahi ya uhai wa Chama.

Akizungumza jana Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Angellah Kairuki akiongoza ziara ya wabunge hao wilaya ya Kinondoni alisema hakuna haja ya kumuonea mtu haya lengo ni kuhakikisha majimbo hayo yanarudi. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Alisema ni muhimu kila mmoja kabla ya kuwania nafasi ya uongozi ndani ya UWT kujipima na kujitafakari uwezo wake kama ana kifua cha kukihakikishia chama kinarejesha majimbo hayo.

‘’Tutahakikisha CCM Mkoa wa Dar es Salaam tunapambana kufa na kupona kurudisha majimbo sita yaliyochukuliwa na upinzani yanarudi mikononi mwetu hakuna muda wa kusubiri tukikosea katika chaguzi za ndani tumekosea baadae kushawishi na kurejesha uhai wa chama,’’alisema.

Alisema ni lazima kuingia katika chaguzi hizo kwa kujitafakari na kutochukua fomu kwa waliosababisha kupoteza majimbo hayo kutokana na kutojipanga kwao. Angellah alisema ni jambo la ajabu na aibu wanawake kukubali kupoteza majimbo hayo kwa kushindwa kujipanga na kuhamasishana kujiandikisha kupiga kura.

Alisema wakati wa kujutia makosa ni sasa hivyo Jumuiya hiyo ikiwa inaendelea na chaguzi zake ni muhimu wanachama wahakikishe hakuna kuchaguana maswahiba ‘maboya’ na badala yake wachague mtu kwa sifa yake ili aweze kuchapa kazi kwa umakini zaidi.

Alisema Kinondoni idadi ya watu waliochukua fomu ukilinganisha na wanachama waliopo ni ndogo hali inayotishia kuwapo na hujuma hivyo ni lazima kujipanga lengo si kuwa kiongozi kwa mazoea kwakuwa chama si mali ya mtu mmoja.

‘’Ni aibu haiwezekani nafasi moja mtu mmoja au wawili na yupo yeye na swahiba yake au boya lake haiwezekani ni lazima kuwa makini hayo maboya mliyoweka yanaweza kuja kuibuka na matokeo yake chama kikakosa nguvu ya kupambana kurejesha majimbo hayo,’’alisema.

Alisema kutokana na hali hiyo utendaji hautakuwa na sifa stahiki bali utakuwa wa kuogopana na hakutakuwa wa kumkanya mwenzake.

Angellah alisema baada ya uchaguzi huo anaamini kuwa makundi hayatakosekana lakini ni vyema kubaki na mtu ambaye ameshinda na wote kumuunga mkono. Pia alishitushwa na idadi ndogo ya vijana ambao wanaingia katika chaguzi hizo huku akiwataka wasinyimwe nafasi kwa maana vijana ndio taifa la leo na kesho.

Waziri Kairuki pia alibainisha kuwapo na harufu ya ufisadi katika kata ya Ndugumbi Wilaya ya Kinondoni kutokana na matumizi mabaya ya mali za UWT zikiwemo fedha na vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya wanawake kujitafutia kipato.

Alisema hayo yamesababishwa na kutokuwa na viongozi madhubuti wa kusimamia mali za chama.

‘’Tulipochaguliwa tulirudi kuwashukuru na tulitoa mashine tatu za kusaga na tatu za kukoboa, Vyerahani Saba lakini huu ni mwaka wa sita vinaozea Wilayani na vingine mtu kajimilikisha anatumia kama vya kwake binafsi ni lazima sasa kuanza kufuatilia mali za UWT na kurejesha kwa wanachama,’’alisema.

Aliongeza mbali na vifaa hivyo pia zilitolewa mashine za kutotoreshea vifaranga na fedha za kodi kwa kila jimbo ni lazima zirudi na kuelekezwa kwenye matumizi yaliyokusudiwa.

Kwa upande wake Katibu wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Fatuma Maliyaga aliwataka wanachama wa Jumuiya hiyo kuachana na dhana potofu wanaposhindwa chaguzi kwa kuwa na makundi na badala yake washirikiane kwa maslahi ya Chama.

Alisema ipo haja ya kukubali mabadiliko
kwa kuwa wakati huu watakaokiuka maadili hawatakuwa salama.
Mgeni rasmi akiwasalimia wanachama wa ccm jimbo la Segerea wakati akiwasili ukumbini hapo
Baadhi ya Wanachama wa CCM Kata ya Kitunda wakimsikiliza kwa makini Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha uchaguzi na kuimarisha chama kuelekea uchagzi wa UWT.
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar esSalaam, Janeth MAsaburi, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam.

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais


Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam.

Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya Vioongozi wa meza Kuu.

Exim Bank Tanzania yafuturisha Wateja Wake Mikoa Mbali Mbali

$
0
0
 Wateja wa benki ya Exim waliopo Mtwara wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana.
 Wateja wa benki ya Exim waliopo Mtwara wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana.
 Wateja wa benki ya Exim waliopo Zanzibar wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort juzi.
 3A2ZSWSAQMeneja mwandamizi wa Exim Bank tawi la Zanzibar, Fred Umiro akizungumza na wateja wa benki hiyo baada ya futari maalum iliyoandaliwa na Exim Bank kwa wateja wao wa Zanzibar iliyofanyika katika hotel ya Zanzibar Beach Resort juzi.
 Wateja wa benki ya Exim waliopo Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana.
Wateja wa benki ya Exim waliopo Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Tiffany Hotel jana.

Viewing all 46401 articles
Browse latest View live




Latest Images