Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel

Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels

Showcase

Channel CatalogChannel Description:

Karibuni Jamvini Wanajamii

older | 1 | .... | 1202 | 1203 | (Page 1204) | 1205 | 1206 | .... | 1898 | newer

  0 0

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassani wa Kasubi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassani wa Kasubi.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wabunge, Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Tabora kwenye uwanja wa ndege wa Tabora baada ya kuzungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ng’wana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.  Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
   : Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam  Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka nje na muumini kijana baada ya kuhudhuria ibada  ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na mmoja wa watawa baada ya kuhudhuria ibada  ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.PICHA NA IKULU

  0 0

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni  Mapipa jijini Dar es Salaam.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Mapipa  jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani hapo.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay DktAdelhelm Meru wakisali baada ya kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

   Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa CCM Wilaya ya Kati na wa  Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili  kwenye ofisi za CCM za Wilaya ya Kati

  Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wajumbe wa kamati za Siasa Tawi , wilaya na mkoa kwenye ukumbi wa TC Dunga, wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja.

  Kwenye mkutano huo uliohudhuriwa na wajumbe 590 uliofanyika kwenye ukumbi wa TC Dunga , Mhe. Samia aliwataka wana CCM kukiimarisha chama katika mkoa wa Kusini Unguja , aliwaambia wajumbe hao kuwa CCMsi kadi CCM ni Itikadi, ambapo aliahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha mafunzo ya itikadi mara baada ya chaguzi ndani ya chama kukamilika.

  Alihimiza Vijana waambiwe mambo mazuri ya CCM  alisema  "CCM peke yake, ndio penye misingi,penye historia, na penye Malengo" na kutaka wananchi hao kuunga mkono juhudi na jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein katika kuleta maendeleo nchini.

  Mhe. Samia pia alihimiza Makatibu kufanya kazi zao hasa katika kutoa taarifa sahihi za masuala ya uchaguzi badala ya kubeba watu na alizitaka Jumuiya kufanya kazi zake kwa mujibu wa kanuni na utaratibu.

  Aidha wakati wa kumkaribisha Mhe. Samia , Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdalla Juma Mabodi alisema Wazanzibar wapuuze porojo za wanasiasa waliopoteza muelekea kwani hata Jumuiya za Kimataifa zinaelewa CCM ndio inayotawala kwa mujibu wa Sheria na Katiba na aliahidi kufanya kazi zaidi na mashina.   Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdalla Juma Mabodi akihutubia kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa , Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ukumbi wa TC Dunga wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja.
   BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI  0 0

  Gari maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo ha televisheni cha Clouds likiwa Crator ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongo kwa ajili ya kurusha kipindi cha Clouds 360.
  Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi Clouds 360 moja kwa moja kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
  Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakijiandaa kuanza kipindi.
  Kipindi cha Clouds 360 kikirushwa kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
  Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakizungumza jambo wakati wakimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani katika mahojiano wakati wa kipindi hicho.
  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Crator Ngorongoro.
  Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri Ramo Makani.
  Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Musa (kulia) pamoja na Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete wakifuatilia kipindi hicho katika eneo la Crator.
  Wananchi wa jamii ya Masai pia walijumika na askari wa Hifadhi hiyo kufuatilia kipindi hicho.
  Mtangazaji wa Sports 360,James Tupatupa akivishwa vazi rasmi na wananchi kabila la Wamang'ati wakati akiingia katika kipengere cha michezo katika kipindi hicho.
  Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo na viongozi wa TANAPA na Ngorongoro.
  Naibu Waziri,Makani akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa jamii ya Wamang'ati katika ene la Miti Mitatu.Ngorongoro.
  Mnyama Tembo akionekana katika eneo la Crator ,Ngorongoro.
  Eneo la Mti Mitatu.
  Wanyama Pundamilia ndani ya Crator,Ngorongoro.
  Wanyama Nyumbu katika Crator ,Ngorongoro.
  Eneo la Crator katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro

  Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

  0 0

   Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

   Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo leo
   Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka

   Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo   Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika
   Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika
   Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo

   Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo
   Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka
   Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika   Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

   Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na  familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

  0 0

  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Mh Amos Makalla ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka mkoa wa Songwe mapema jana,jijini humo huku vifijo na nderemo za kuwasili mwenge huo vikiwa vimeshamiri,Hafla ya kuupokea Mwenge huo imefanyika Wilayani Chunya April 16,2017.Mwenge huo ukiwa mkoani Mbeya utakimbizwa katika halmashauri saba,ambapo utafanya kazi ya kukagua,kuzindua na kuweka Mawe ya Msingi miradi mbalimbali yenye thamani ya shilingi Bilioni 10.8
   Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akiupokea Mwenge wa Uhuru wilayani Chunya mkoani Mbeya sambamba na kula kiapo cha kuukimbiza mwenge huo katika halmashauri zote za mkoa  wa Mbeya.
   Baadhi ya makamanda wa jeshi la Polisi ambao pia ni miongoni Mwa wakimbiza mwenge wa Uhuru uliowasali hapo mkoani Mbeya
   Baadhi ya wanachama na Wafuasi wa Chama cha Mapindizi (CCM) sambamba na viongozi wa chama wakisherehekea mapokezi ya Mwenge huo wa Uhuru ulio wasili  jana April 16,2017 mkoani Mbeya na kupokelewa na mkuu wa Mkoa wa  Mbeya Mh.Amos makalla

  0 0

  Msanii Nguli wa Bongo Fleva, Juma Kassim 'Nature' akipanda jukwaani.
  SHANGWE zilikuwa shangwe usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, namaanisha Dar Live ambapo wakali wa kudondosha utamu wa burudani, Juma Nature, Harmorapa, Msaga Sumu na wengine waliteka jukwaa kwa kuachia mangoma ya maana huku kuwaacha mashabiki zao waki-enjoy.
  Nature akikamua jukwaani.
  Katika shoo hiyo ya Usiku wa Pasaka, Msaga Sumu, Nature, Harmorapa walioneshana umwamba kwenye ishu nzima ya kukonga nyoyo za mashabiki zao.
  Shoo ikibamba
  Msaga Sumu kama kawaida yake na ngoma zake za uswazi, Singeli alikinukisha huku Nature akigonga zote kali za kitambo na mpya. Hakika watu walifurahi si kifani.
  Harmorapa aliyekuwa akisubiliwa kwa hamu aliamsha homa ya burudani baada ya kupanda jukwaani na kushika maiki, wakti mashabiki wakiwa hawaamini kinachoendelea Mmakonde huyo aligonga burudani isiyo ya kawaida huku akiwaacha mashabiki midomo wazi na kushangilia kila dakika.
  Burudani zikinoga.
  Juma Nature 'akiliamsha dude'.
  PICHA NA ISSA MNALLY | GLOBAL PUBLISHERS  0 0

  Msanii nyota wa filamu Tanzania, Kajala Masanja, kulia akishiriki katika droo ya kwanza ya bahati nasibu ya Ijue Nguvu ya Buku inayoendeshwa na Kampuni ya Biko ambapo ilimpata mshindi wake wa kwanza wa Sh Milioni 10 ambaye ni Christopher Mgaya, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Juhudi Ngolo.  ‘Nguvu ya Buku’ yampatia Sh Milioni 10 Christopher Mgaya

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
  DROO ya kwanza ya kuwania Sh Milioni 10 iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki imempatia donge nono mkazi wa Temeke, Christopher Mgaya na kuweka historia ya kuwa mtu wa kwanza kujinyakulia kitita hicho kutoka kwa mchezo wa bahati nasibu wa Biko.

  Droo hiyo ilichezeshwa na msanii nyota wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja akishirikiana na mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Juhudi Ngolo.

  Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Juhudi Ngolo kushoto akichezesha droo kumtafuta mshindi wa Sh Milioni 10, ambapo mkazi wa Temeke, Christopher Mgaya aliibuka na kitita hicho. Kulia ni msanii wa filamu, Kajala Masanja, akishuhudia.

  Akizungumza katika droo hiyo, Meneja Masoko wa Biko, Goodhope Heaven, alisema kwamba jumla ya washindi 2000 walipatikana katika zawadi mbalimbali, huku Mgaya yeye akiibuka kinara wa Sh Milioni 10.

  Heaven alisema kwamba baada ya kupatikana kwa mteja huyo, taratibu za kumkabidhi hundi yake ya Sh Milioni 10 unaweka ili mteja huyo apate fedha zake haraka iwezekanavyo.

  “Tumeanza vizuri kwa kufanikiwa kumpata mshindi wetu wa kwanza wa Sh Milioni 10 ambapo alicheza bahati nasibu yetu, huku yeye akifanikiwa kuibuka mshindi.
  Droo hiyo ya kutafuta mshindi wa Sh Milioni 10 inaendelea
  Droo inaendelea kutafuta mtu wa kunyakua Sh Milioni 10
  Msanii Kajala Masanja akimpigia simu mshindi wa Sh Milioni 10, Christopher Mgaya jana jijini Dar es Salaam.

  “Utaratibu ni ule ule kwasababu kila mtu anaweza kushinda kwa kuinguza muamala kwa Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money ambapo ataingiza namba ya kampuni ambayo ni 505050 kwenye kipengele cha lipa bili, huku pia akiingiza namba ya 2456 kama namba ya kumbukumbu ambapo Sh 1000 atakayocheza itampatia tiketi mbili za kushinda hapo hapo au tiketi ya kumuingiza kwenye droo ya kuwania Sh Milioni 10”, Alisema Heaven.

  Naye Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Juhudi Ngolo alisema kwamba wameikagua kampuni ya Biko na kuvutiwa na utaratbu wa mchezo wao, hali inayoonyesha kwamba Watanzania wapo salama katika kucheza mchezo huo.

  “Nimekuwa mwakilishi wa kwanza kutoka Bodi kusimamia wakati wa kumtafuta mshindi wa Sh Milioni 10 ambapo naamini Watanzania wataamua kucheza zaidi,” Alisema Ngolo.

  Naye Mgaya mshindi wa bahati nasibu hiyo ya Sh Milioni 10 alisema haamini kwamba ameshinda Sh Milioni 10 hadi hapo atakapokabidhiwa kitita chake ingawa kimemfanya avuje jasho wakati anatangazwa yeye ndio mshindi.

  “Nimefurahishwa kushinda kwangu mshiko wa Biko wa Sh Milioni 10 ambapo siamini kama nimeshinda zawadi hiyo kubwa kutoka kwenye Kampuni ya biko,” Alisema Mgaya.

  Kwa mujibu wa Biko, mbali na ushindi wa Sh 5000, 10,000, 20,000, 50,000, 100,000, 500,000 na Sh Milioni Moja zinazolipwa kila siku na papo kwa hapo kwenye simu za wateja, ushindi wa Sh Milioni 10 utapatikana kila mwisho wa wiki kwa kuchezesha droo inayokutanisha washiriki wote wa siku za wiki.

  0 0

  Wito umetolewa kwa jamii ya watanzania kuacha mila potofu inayopelekea tabia ya baadhi ya wazazi kuwaficha watoto wenye matatizo mbalimbali hasa tatizo la kichwa kikubwa na mgongo wazi bali wawapeleke hospitali mapema ili wapate matibabu kwani wanaweza kupona endapo wakiwahishwa hospitali.

  Wito huo umetolewa na Afisa Mawasiliano mwandamizi wa Hospitali ya Mifupa (MOI) Bi. Mary Ochieng, wakati akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Halotel walipotembelea wodi za watoto hao pamoja na kutoa misaada ya kijamii, akizungumza na wafanyakazi hao Ochieng, amesema kuwa licha ya Taasisi hiyo kufanya jitihada kubwa za kutoa elimu na kufanya upasuaji kwa watoto hao bure bado kuna baadhi ya wazazi wameendelea na tabia ya kuwaficha watoto wao.

  “Tangu Taasisi yetu ichukue jukumu hili imefanya kazi kubwa sana, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali tumeweza kutoa matibabu kwa watoto wengi, ila changamoto kubwa bado inabaki kwa baadhi ya wazazi ambao wanawaficha watoto wao pale inapotokea wakagundua watoto wao wana matatizo ya vichwa vikubwa au mgongo wazi” Alisema nakuongeza.
  “Bado changamoto ziko nyingi sana ndani ya jamii ya Watanzania, Kwanza wanawaficha watoto hawa, lakini pia wanawake wanao jifungua watoto wenye matatizo wakati mwingine wananyanyaswa na wanaume wao au hata ndugu kutokana na mila potofu zilizo ndani ya jamii yetu, sio jambo jema, na sio sahihi kabisa ni lazima watoto wote wapewe haki sawa ya kuhudumiwa kwani tunayo mifano ya watoto wenye matatizo haya na wameweza kupata matibabu na sasa wanaendelea na masomo yao kama watoto wengine na pia wana ndoto kubwa” Alisema Ochieng

  Aidha ofisa huyo aliiomba, Kamnpuni hiyo kuangalia namna ambavyo wanaweza kushirikiana na taasisi hiyo katika kutoa elimu na kusaidia kuchangia gharama za matibabu kwa watoto na wazazi wenye matatizo hayo kwani wengine wanatoka nje ya mkoa wa Dar es Salaam na inakuwa vigumu wao kumudu gharama za maisha wanapokuwa wanapokea matibabu.

  Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Nguyen Van Son, alieambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo amesema licha ya wao kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika sikuu ya pasaka, kwa Pamoja kampuni yake itakaa na wataalam wa taasisi hiyo ili kuangalia namna gani wanaweza kuwasaidia wagonjwa hao ikiwa ni pamoja na kufanya kampeni ya kitaifa kusaidia kukabiliana na tatizo hilo.

  “Tumeguswa na tatizo hili hatutaishia kutoa misaada hii midogo ya kijamii, na kuishia hapo lazima tuangalie kwa upana namna ambavyo tunaweza kuisaidia serikali na jamii ya Kitanzania kupambana na tatizo hili kadri tutakavyo weza,” Alisema Son.
  Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Halotel, Stella Pius (kulia) na wafanyakazi wenzake wakitoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye matatizo ya vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)
  Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel Pham Dinh Quan (kulia) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kutoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)
  Wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Halotel wakiwa katika picha ya pamoja nje ya wodi ya watoto ya Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) kabla ya kutoa zawadi ya Pasaka kwa watoto hao.

  0 0

  Harmorapa si wa mchezo mchezo! Usiku wa kuamkia leo Ameandika Historia Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, nazungumzia Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem baada ya kudondosha Bonge la Shoo tofauti n a watu walivyokuwa wakimbeza.Harmorapa ambaye anaonekana kuja kwa speed kali kwenye game ya Bongo Fleva aliisimamisha Dar Live kwa takribani saa 1 kwa kupiga shoo kubwa kwa mara ya kwanza Jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa Ujumla ambapo alikuwa hajawahi kupata nafasi kama hiyo hapo awali.Harmorapa aliwadhihirishia mashabiki wake kuwa yeye siyo wa kubeza kama baadhi ya watu ambavyo wamekuwa wakimfikiria. Ngoma yake ya Kiboko ya Mabishoo ilinyanyua mashabiki wote kwenye viti na kujikuta wakipagawa na kuivamia steji huku kila mmoja akitaka kucheza ngoma hiyo na Rapa huyo.Shoo yake ilikuwa ya kibabe huku akishangiliwa na umati mkubwa wa mashabiki waliofurika Ukumbini hapo. Hakika ilikuwa ni Historia kwake na kwa mashabiki wake kumtazama LIVE kwa mara ya kwanza aki-perform jukwaani tena kwenye shoo kubwa kama ile.Katika shoo hiyo, alikuwepo mkali wa Bongo Fleva, Juma Nature, Msaga Sumu na wengine kibao ambao waliangusha burudani ya aina yake ukumbini hapo.
  BOFYA PLAY HAPO UCHEKI SHOO NZIMA

  0 0

  Wachungaji walioohudhuria tamasha hilo, wakimwombea mwimbaji, Solly Mahlangu (chini aliyepiga magoti), kutoka Afrika Kusini, wakati alipotumbuiza kwenye tamasha hilo jana jijini. 
  Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja, akitumbuiza katika tamasha hilo. 
  Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiwa katika harakati ya kutumbuiza kwa wimbo unaoitwa Siku ya Mwisho, wakati wa tamasha hilo.  
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama (wa nne kushoto), akimkabidhi Tuzo aliyomtunuku Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba aliyeipokea kwa niaba yake, wakati wa tamasha hilo.  
  Mwimbaji wa nyimbo za Injili Solly Mahlangu wa Afrika Kusini akiimba na kuzirudi ngoma wakati alipotumbuiza katika tamasha hilo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.  
  Mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto), akicheza kijeshi jeshi sambamba na msanii Solly Mahlangu wa Afrika Kusini wakati alipotumbuiza katika tamasha hilo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. 
  Mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto), akicheza sambamba na msanii Solly Mahlangu wa Afrika Kusini wakati alipotumbuiza katika tamasha hilo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.
  Waibaji wa kwaya ya Sauti ya Mungu kutoka Kanisa la Siloam, Mbezi, Makonde jijini Dar es Salaam, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Mungu uliyetuumba wote, vizazi vyote katika Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)  
  Vijana wa Kwaya ya KKKT Mwananyamala, wakiimba na kucheza wimbo unaoitwa Siku ya Mwisho, wakati wa tamasha hilo.  
  Mashabiki waliohudhuria katika Tamasha la Pasaka wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka na kupiga picha za selfi, uwanjani hapo. 
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama (kulia), akiimba sambamba na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja, wakati akitumbuiza katika tamasha hilo. 
  Mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba, akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), mara baada ya kumaliza kutoa hotuba yake. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama.
   
  0 0
 • 04/17/17--12:04: TAARIFA KWA UMMA

 • 0 0

   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wanachama wa tawi la Muungoni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Tawi la Muungoni lililopo Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya ujenzi ya shule ya awali ya Watoto Kajengwa, Makunduchi kutoka kwa Mhandisi Riziki Jescha Salim, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.

   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka eneo inapojengwa shule ya watoto ya awali iliyopo Kajengwa, Makunduchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi.   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wakina Mama wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wake na wajumbe wa kamati za siasa kuanzia matawi mpaka ngazi ya mkoa.
   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wake na wajumbe wa kamati za siasa kuanzia tawi mpaka mkoa ambapo aliwaambia wajumbe hao kuwa ni wakati wa kukiimarisha Chama sasa na kutoa elimu ya Itikadi kwa wanachama.
   Sehemu ya wajumbe 535 waliohudhuria mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye amehitimisha ziara yake ya kuimarisha chama katika Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.
   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wajumbe wa kamati za siasa kuanzia matawi mpaka mkoa kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Makunduchi ambapo aliwasihi wazee kutoa elimu kwa vijana katika historia ya Mapinduzi kisha kuwapa nafasi vijana zaidi ambao kasi yao ni ya 4G.
   Vijana wa Makunduchi wakionesha juu picha za Viongozi wao wakati wa ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

   BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI  0 0

  Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Abia Richard, akizungumza wakati wa Tamasha la Vijana la kupinga Ukatili wa Kijinsia lililofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Picha Zote na Nasma Mafoto

  ********************************************

  Na Karama Kenyunko

  Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake (WLAC), kimeanzisha bonanza maalum la michezo kwa ajili ya kuhamasisha jamii kupinga ukatili wa kijinsia.

  Bonanza hilo, limefunguliwa na mratibu wa WLAC, Abia Richard jijini Dar es Salaam.Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Bonanza hilo uliofanyika Mwembe Yanga,Temek, Abia amesema lengo la kuanzishwakwa bonanza hilo ni kutaka kuwaunganisha watanzania kupambana na vitendo hivyo bya ukatili wa kijinsia.

  Amesema, katika kampeni nyingine ambazo wamekuwa wakiendesha, kundi kubwa ambalo limekuwa likihamasika ni wanawake na wasichana kwa hiyo wanaamini kuanzisha kampeni hiyo kutasaidia kuwahamasisha na wanaume.

  Ameongeza, kati ya kundi linalotajwa katika kutenda vitendo vya ukatili wa kijinsia na wanaume pia wamo, lakini katika kampeni nyingi zinazoendeshwa za kuhamasisha kupambana na vitendo hivi, kundi la wanaume wamekuwa wakijiweka pembeni.

  " Tunaamini katika kampeni hii kupitia bonanza, wanaume watashiriki kwa wingi kwa sababu wanapenda michezo,” amesema Abia.Ameongeza kuwa, vitendo vya ukatili wa kijinsia vinapaswa kupambanwa na kila mtu katika jamii kwa kuwa vinaathiri sana jamii yetu. Wanaume hawapaswi kukaa pembeni, tunawaomba kupitia michezo hii nao washiriki kupambana navyo.

  Katika kampeni hiyo michezo mbalimbali imepangwa, kuwamp ikiwemo ya mpira wa miguu, pete, na mingine mingi, itakayowapa fursa na wanaume kushiriki.

  Pia alisema wanatarajia kuanzisha timu baina ya madereva wa boda boda, bajaji na za vijana kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuwahamasisha kuelimisha jamii kupinga vitendo hivyo.Katika uzinduzi wa kampeni hiyo, timu ya mpira ya wanawake ya Simba gueen na Mburahati queen zote za jijini Dar es Salaam, zilimenyana na kutoka sare ya bila kufungana.  Wachezaji wa timu za Simba Queens na Mburahati Queens, wakichuana kuwani mpira wakati wa mchezo wao kwenye Bonanza hilo. Katika mchezo huo Mburahati Queens, waliibuka washindi kwa mikwaju ya penati 4-2. Picha Zote na Nasma Mafoto

  Viongozi wakikagua timu kabla ya kuanza kwa mtanange wa Soka kwa upande wa wanaume.

  Kikosi cha Simba Queens

  Kikosi cha Mburahati Queens

older | 1 | .... | 1202 | 1203 | (Page 1204) | 1205 | 1206 | .... | 1898 | newer