RC RUVUMA ATOA MAAGIZO 20 KWA HALMASHAURI MBILI ZILIZOPATA HATI ZENYE MASHAKA
 Na Albano Midelo,RuvumaMkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametoa maagizo 20 kwa Halmashauri mbili zilizopata hati zenye mashaka ili ziweze kubadilika na kurejea kwenye hati safi.Kanali Thomas...
View ArticleAirtel Afrika yaitaja Tanzania Miongoni mwa nchi Tatu kuwashwa Masafa ya...
- Airtel Tanzania miongoni mwa himaya tatu za Airtel zitakazohamia teknolojia ya 5G hivi karibuni Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Airtel Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa huduma za mawasiliano...
View ArticleWASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA VIGEZO AJIRA ZA WATENDAJI WA VITUO...
 Makamu Mwnyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidi wa...
View ArticleJIPATIE BASHIRI ZA BURE UNAPOCHEZA AVIATOR YA MERIDIANBET
 KUNA raha Fulani hivi pale ambapo unakuwa rubani wa maisha yako, na kila mtu ana uwezo wa kuwa rubani wa maisha, kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet mchezo pendwa wa Aviator unakuja na...
View ArticleKITUO CHA STERM PARK CHATUMIA WIKI YA SAYANSI AFRIKA KUTOA MAFUNZO YA...
 Meneja wa Kituo cha Sayansi cha Sterm Park Max George akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani.Meneja wa Kituo cha Sayansi cha Sterm Park Max George akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleJamii yahimizwa kuchangia damu
 Na Salome Majaliwa – Dar es SalaamWADAU wa afya nchini wameitaka jamii kuona umuhimu wa kuchangia damu ili kuwezesha huduma za matibabu ikiwemo upasuaji wa moyo kufanyika kwani changamoto ya...
View ArticleTANZANIA KUFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI INDONESIA
 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za...
View ArticleMRADI WA MIAKA MITANO PWANI, KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI NA WATOTO WACHANGA
 Na Mwamvua Mwinyi, PwaniHALMASHAURI Tisa , Mkoani Pwani zinatarajia kunufaika na awamu ya pili ya Mradi unaofadhiliwa na Korea Foundation For Health Care (KOFIH ),mradi ambao unaolenga kupunguza vifo...
View ArticleBONASI YA KASINO KWA 200% UKIJISAJILI NA KUONGEZA SALIO
 HII nayo sio ya kukosa, nakupa mchongo wa uhakika kama wewe hukuwahi kuongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet basi hii inakufaa. Meridianbet wanakupa mpaka 200% ya bonasi ya kasino ya...
View ArticleSACCOS ya JKCI kutoa mkopo wa shilingi milioni 20
 Na Mwandishi MaalumMFUKO wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ina uwezo wa kukopesha wanachama wake hadi kiasi cha shilingi milioni ishirini endapo mwanachama atakidhi vigezo na masharti...
View ArticleLSF Wazindua Jezi, kusaidia hedhi salama kwa wasichana
Mkurugenzi wa Smile for Community (S4C), Flora Njelekela akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza tarehe mpya ya mbio na kuzindua jezi zitakazotumiwa na wakimbiaji wa mbio za 'Run for...
View ArticleMAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA , SIDO WAENDESHA SEMINA KWA...
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV MAMLAKA ya Masoko na Mitaji (CMSA) kwa kushirikiana na SIDO leo Juni 22 mwaka 2023 wameendesha warsha ya kuwajengea uwezo na uelewa wadau ambao ni wajasiriamali kuhusu...
View ArticleRAIS SAMIA KUWAREJESHEA ZAIDI YA HEKTA 74000 WANANCHI WA MBARALI, MGOGORO WA...
Na John Mapepele - MbaraliSerikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kurejesha  hekta 74,432 kwa wananchi wa Mbarali zilizokuwa Eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ruaha...
View ArticleDIT YAANZA KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU WALIOPATIWA VISHIKWAMBI
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kutoa mafunzo kwa walimu waliopatiwa vishkwambi baada ya kubaini baadhi yao wakiwaachia watoto wachezee badala ya kuvitumia kufundishia.Aidha, imesema...
View ArticleCHEZA MICHEZO YA SLOTI KWENYE MADUKA YA MERIDIANBET
 MERIDIANBET wakali wa odds kubwa, bonasi na promosheni kali, wamekuja na kitu kipya kwa wateja wanaobeti madukani, kuanzia sasa mchongo ni kucheza mashine za sloti zizopo kwenye maduka yote ya...
View ArticleTEA YAENDELEA KUPOKEA MAOMBI KWA WADAU WANAOHITAJI UFADHILI KUEDELEZA MIRADI...
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVMAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA), katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma wamekuwa wakipokea maombi katika taasisi mbalimbali ambazo wanahitaji ufadhili kwa ajili ya...
View ArticleMWANAFUNZI ALIYEPOTEA MBEYA APATIKANA, APIMWA HANA MIMBA
 Na Avila Kakingo, Michuzi TVJESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kumpata mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB katika Shule ya Sekondari Pandahili, Ester Noah Mwanyilu [18] Mkazi wa...
View ArticleWABUNGE EALA WAUNGANA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII WAKIANZIA HIFADHI YA...
Na Kassim Nyaki, Ngorongoro Arusha.Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wametembelea eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ikiwa ni utekelezaji wa kampeni yao ya kutangaza vivutio vya utalii katika Nchi...
View ArticleDIT KUZALISHA WATAALAM WENGI KUPITIA KITUO CHA UMAHIRI CHA TEHAMA
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inatarajia kutoa wataalam wa kutosha katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ngozi na nishati jadidifu vitakavyochochea ukuaji wa uchumi...
View ArticleWAZIRI MCHENGERWA ATUA KWENYE MAPOROMOKO YA MPANGA KIPENGERE, AWAKARIBISHA...
Na John MapepeleWaziri wa Maliasili na utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa watanzania kujitokeza kutembelea maeneo ya utalii wa maporomoko ya maji ambayo yana historia kubwa ya utamaduni wa...
View Article