TBS YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA BARCODE KITAIFA MNAZI MMOJA JIJINI DAR...
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika maaadhimisho ya Wiki ya Barcode Kitaifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo Shirika limeendela kutoa elimu kwa...
View ArticleRostam, Kitila wamshukia vikali Mbowe kwa kauli za ubaguzi
* Wamtaka awaombe radhi Watanzania kwa kuwabagua Wazanzibari* Wawaonya wanasiasa kwa kutoa kauli hatari kwa umoja wa taifaMwandishi Wetu, Dar es SalaamMFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam...
View ArticleCHANGAMOTO ULIPAJI FIDIA KWA WANAOVAMIWA NA TEMBO KONDOA YATUA KWA KATIBU...
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV-KondoaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amemuelekeza Waziri wa Maliasili na Utalii kuangalia namna ya kutatua changamoto ya ulipaji fidia kwa...
View ArticleSLOTI YA BOUNTY HUNTERS FURAHIA USHINDI
*Furahia Mavuno na Bounty Hunter Kasino ya Mtandaoni.MAZINGIRA ya kuvutia ya mwituni ndio upekee wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, watengenezaji Expanse Studio wameamua kuja na Sloti mpya ya...
View ArticleCHONGOLO AWATAKA WANANCHI WA MAENEO YANAYOPAKANA NA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ametoa wito kwa wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kondoa wanaopakana na Pori la Akiba la Mkungunero, kuheshimu taratibu za kisheria za...
View ArticleWAKUMBUSHENI WAUMINI KUSIMAMIA HAKI NA KUDUMISHA AMANI – DKT MABULA
Na Munir Shemweta, WANMMWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka viongozi wa dini nchini kuwakumbusha mara kwa mara waumini pamoja na watu wote umuhimu wa...
View ArticleTBS WASAINI HATI YA MAKUBALIANO (MoU) NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesaini hati za Makubaliano kuhusu Mashirikiano katika Ukaguzi na Usajili wa Majengo ya Chakula na Vipodozi na Wakurugenzi Watendaji...
View ArticleDiwani wa Chadema amueleza Chongolo anavyotekeleza Ilani ya CCM
DIWANI wa Kata ya Chandama kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mohamed Mgongaji amemueleza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo jinsi anavyotekeleza Ilani ya CCM,...
View ArticleSERIKALI YAAGIZA MAENEO YOTE YENYE CHANGAMOTO YA KUWEKA NAMBA ZA NYUMBA NA...
Na. Mwandishi Wetu Serikali imeagiza kuwa maeneo yote yaliyokuwa na changamoto ya kuweka Namba za Nyumba na majina ya Mitaa yakamilishwe haraka ili zoezi hilo likamilike.Hayo yamesemwa leo Juni 20,...
View ArticleRogers Nyota Mpya wa Meridianbet Kasino
“Chagua Tukupe” ndio kaulimbiu ya Meridianbet kwamba wewe unachagua tu halafu wao wanakupatia na ndicho alichokifanya Rogers Sezero mshindi wa milioni 50 taslimu za kitanzania ambaye yeye amechagua...
View ArticleTBS YAKAMATA BIDHAA ZILIZOPIGWA MARUFUKU ZENYE THAMANI YA ZAIDI MILIONI 25...
BIDHAA za mafuta ya breki ya dot 3, nguo za ndani za mitumba na nyaya za umeme ambazo zimepigwa marufuku nchini zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 25 zimekamatwa kupitia operesheni maalum...
View ArticleKATIBU MKUU ATOA MAELEKEZO KUHUSU SKIMU ZA UMWAGILIAJI BAHI, ATOA NENO KWA...
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TVKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Daniel Chongolo ameiagiza Wizara ya ya Kilimo,Mkuu wa Mkoa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Bahi kukaa pamoja kuangalia namna ya kupata...
View ArticleWAZIRI JAFO, NEMC WARIDHISHWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWENYE MIGODI MKOANI...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wawekezaji wa migodi nchini kuhakikisha wanapofanya shughuli za uchimbaji madini wanarejesha maeneo hayo...
View ArticleGEMU MPYA YA USHINDI MERIDIANBET KASINO YA MTANDAONI
HII ni kubwa tena kjwa watumiaji wa kasino ya Mtandaoni, wao wanaelewa uzuri wa sloti za Expanse Studios, na sasa katika stoo ya Meridianbet kuna huu mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Planet Power,...
View ArticleCHEZA KASINO YA MTANDAONI SLOTI YA DEUCES WILD
*Sloti ya Deuces Wild PokerKASINO ya mtandaoni ya Meridianbet ina michezo mingi sana, kuna michezo ya sloti kama vile Deuces Wild Poker moja kati ya sloti bomba na rahisi kukusanya maokoto. Na huu ni...
View ArticleKUAHIRISHWA KWA KAMBI MAALUMU YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MIGUU
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kujulisha Umma kwamba kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya kuzibua mishipa ya damu ya miguu (Peripheral Interventions) iliyopaswa kufanywa na...
View ArticleSERIKALI KUJENGA NYUMBA 212 ZA WATUMISHI WA KADA ZA ELIMU NA AFYA KUPITIA...
Na James Mwanamyoto – OR-TAMISEMINAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali kupitia mradi wa SEQUIP...
View ArticleRC Malima aridhishwa na ujenzi hospitali ya Halmashauri ya Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amesema ameridhishwa na ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro baada ya kukamilisha sehemu ya ujenzi wa majengo hitajika na kutoa...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA YAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI (TEF)
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais anayesiamia Muungano Bw. Abdallah Mitawa akifungua kikao kazi kati ya ofisi hiyo na Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF kinachofanyika leo Jumatatu Juni...
View ArticleSUA WANAMCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI
Na: Calvin Gwabara- Mikumi.Wahifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi Mkoani Morogoro wanajivunia matunda ya kazi nzuri inayofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA ya kuzalisha Wahifadhi...
View Article