MKUTANO WA MAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI...
Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika...
View ArticleNI IJUMAA HII @ RHAPSODY' S - DJ PETER MOE & GROOVEBACK TEAM
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEWA NA MTOTO ALBERT
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mtoto Albert Kanan wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Ilalangulu wilayani Mlele ambaye alikwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu katika kijiji cha Kibaoni...
View ArticleAUSTRALIA YAIPIGA ‘JEKI’ VETA
Mkurugenzi wa VETA,Mhandisi Zebadiah Moshi (kushoto) akitia saini ya makubaliano kati ya Veta na Serikali ya Australia na Kulia ni Naibu Waziri Mkuu wa Jimbo la Australia Magharibi na Waziri wa Afya na...
View ArticleWAZIRI MKUU APOKEA VITABU KUCHANGIA SHULE ALIYOSOMA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha...
View ArticleMama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.Kwa...
View ArticleCHADEMA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA, JOHN HAULE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael Haule, wakati Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu...
View ArticleRais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ZA MZEE RUANGISA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleHomestrings Webinar - Investor Series: Choosing the Right Investment for You
On May 28th at 17:30 BST, as part of the Homestrings Webinars Investor Series, we’re pleased to invite you to the webinar on “Homestrings Product: Innovare Agriculture Leasing Bond”.The Innovare...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa...
View ArticleDR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pilikulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil...
View ArticleNHIF WAZINDUA MPANGO WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA MANYARA.
Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya Bendera (kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Ally Uredi vifaa tiba na dawa zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF)...
View ArticleKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR CHA ANDAA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAM NA...
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar Bi. Maryam Hamdani akifungua mafunzo ya siku mbili ya waandishi wa habari kuhusu Haki za binaadamu na sheria za waandishi wa Habari katika...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO...
Balozi Seif kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga Mkutano wa Nne wa siku Tatu wa Mabalozi wa Tanzania uliokuwa ukifanyika katika Hoteli ya...
View ArticleMISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015
MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISAFamilia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala...
View ArticleTANZANIA KUTOA NAFASI ZAIDI KUWEZESHA WAKIMBIZI KUWA NA MAISHA YA KAWAIDA
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kigoma ambaye pia ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Dkt. John Ndunguru akisoma taarifa fupi ya hali ya Wakimbizi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe...
View ArticleJivunie Utanzania na dot tz (.tz)
Kama utakuwa na kumbukubu nzuri kipindi cha nyuma kidogo ulikuwa ukiingia kwenye mtandao utakuta domain nyingi ziko kwa namna ya jinafulani.com alafu baada ya muda tukaanza kuona jinafulani.co.uk ila...
View Article