DIAMOND PLUTNUMZ, WIZKID, DAVIDO, MR EAZI, JOHN BOYEGA, ABRANTEE & MORE...
Following its seminal debut ceremony last July, which saw the likes of Wizkid, Fuse ODG, CEO Dancers and Anthony Joshua take home the biggest prizes of the night, having been voted for by over half a...
View ArticleNBS YAMUAGA MKUU WA UTAWALA WA BENKI YA DUNIA
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel wakati wa hafla fupi ya kumuaga...
View ArticleWATUHUMIWA 4,809 WA DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA
*Heroine, Cocaine, bangi, mirungi na kemikali bashirifu vyakamatwa * Mashamba ya bangi ekari 569.25 na mirungi ekari 64.5 yateketezwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miezi minne,...
View ArticleMAONESHO YA SABASABA 2017: HUDUMA ZA PSPF NI "CHAP CHAP", AFISA WA POLISI ASEMA
Modesta Mchopa wa PSPF, (kulia), akimpatia taarifa za michango mwanachama wa Mfuko huo, Afisa wa polisi, E.M Peter, aliyefika kwenye banda la Mfuko huo leo Julai 5, 2017. Afisa huyo wa polisi amesifu...
View ArticleSERIKALI YAPUNGUZA TOZO YA ARDHI KWA ASILIMIA 5
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia mwaka huu wa fedha, Serikali imepunguza gharama za malipo ya awali ya thamani ya ardhi iliyopimwa kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia 2.5.“Serikali inaendelea...
View ArticleAMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wa Amref Uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Mkurugenzi wa...
View ArticleMEYA WA JIJI NA MEYA WA KINONDONI WATEMBELEA BANDA LA (LAPF) MAONYESHO YA...
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mh. Isaya Mwita akizungumza na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa...
View ArticleBritish Council Yatoa Fursa Kujipima Kiingereza
Mkurugenzi Mkazi wa British Council nchini Tanzania Bi. Angela Hennely akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu ofa ya jaribibo la mtihani wa Kiingereza inayotolewa na...
View ArticleHalmashauri Zashauriwa Kuiunga Mkono Serikali Katika Tanzania ya Viwanda
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiwatambulisha Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Issaya Mwita (kulia) na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Benjamin Sitta kwa ugeni...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA KUSIMAMIWA KWA UTEKELEZAJI WA SHERIA ZA NCHI ZENYE LENGO...
Copyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleMRISHO MPOTO ATANGAZWA KUWA BALOZI WA PROPERTY INTERNATIONAL
Mrisho Mpoto akiwa ameshika tuzo ya ,Property International mara baada ya kutangazwa kuwa balozi wa kampuni ya Property International katika maonesho ya kimataifa ya Biashara Mtendaji Mkuu wa Property...
View ArticleTANZIA: MWANAMUZIKI SHAABAN DEDE AFARIKI DUNIA LEO
Mwanamuziki mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia leo saa mbili asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu kwa takriban wiki mbili, mwanae Hamad Dede amethibitisha....
View ArticleWAZIRI KINDAMBA ATEULIWA KUWA AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw. Waziri Waziri KindambaCopyright 2007 ©MICHUZI JR
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO KUANZA UJENZI WA BARABARA YA KWENDA SHULE YA SHERIA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akielekeza jambo wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua barabara ya Mawasiliano kuelekea Shule ya Sheria (Law school Of...
View ArticleUsaili wa kuwasaka warembo wa Miss Grand Tanzania wiki ijayo
Usaili wa kuwatafuta washiriki wa mashindano ya kumtafuta mrembo wa Miss Grand Tanzania utafanyika Julai 10, mwaka huu katika ukumbi wa Dar es salaam Convention Centre, jijini Dar es Salaam.Zoezi za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZITAKA TAASISI ZA MAENDELEO YA FEDHA NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amezitaka Taasisi za Maendeleo ya Fedha za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na kubadilisha...
View ArticleGLOBAL EDUCATION LINK INAENDELEA NA UDAHILI VYUO VIKUU VYA NJE
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MAMLAKA wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA)imejizatiti katika kufanya marekebisho ya sheria ikiwa ni katika kuboresha zaidi manunuzi ya zabuni kwa...
View ArticleWAZIRI MWIJAGE:WATANZANIA PENDENI BIDHAA ZA NGOZI ZINAZOZALISHWA TANZANIA.
.Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji , Charles Mwijage akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Biashara na Uhusiano wa Kiwanda cha Bora Sylivery Buyaga (wa pili kulia) juu ya kiwanda hicho...
View Article