Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo. |
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk Cyril Chami akiteta jambo na Innocent Melleck wakati wa shughuli ya kumsimika ku wa naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini. |
Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya ghalani Himo. |
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Dk Cyril Chami akimvisha vazi maalumu Innocent Melleckak wakati akisimikwa kuwa Naibu kamanda wa UVCCM wa wilaya hiyo. |
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini na kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Dk Cyril Chami akimuapisha Innocent Melleckak kuwa Naibu kamanda wa UVCCM wa wilaya hiyo. |
Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini Innocent Melleck akizungumza mara baada ya kusimikwa kushika nafasi hiyo. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.