
Vifaa vyote vya kutangazia katika Studio ya Hits FM Radio vilivyoteketea kwa moto usiku wa juzi katika studio hiyo mara baaada ya kuvamiwa na watu wasipjuulikana huko Migombani Mjini Zanzibar



Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Mkuu wa kituo cha Hits FM Mohammed Abdallah hayupo pichani mara baada ya kuunguzwa kituo cha Radio hiyo.

Mwenyeki ti wa MCT Suleiman Seif katikati akifafanuwa jambo kwa waandishi wa habari kuhusiana na kutiwa moto Hits FM Radio usiku wa juzi iliyopo Migombani Mjini Zanzibar.