Quantcast
Channel: JIACHIE
Browsing index pages (51726 articles)
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA 46 WA CATA JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amewasili mkoani Arusha leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASISITIZA USHIRIKIANO AFRIKA NA GHUBA KULINDA WAFANYAKAZI

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Zuhura Yunus, kwa niaba ya Katibu Mkuu, Bi. Mary Maganga, akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa kikao cha Makatibu Wakuu, Watendaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Pushes for Modernization, Value Addition in Tobacco Sector

Tanzania has reaffirmed its commitment to advancing the tobacco sector by engaging in high-level discussions with Japan Tobacco International (JTI), a subsidiary to the Tanzania Cigarette Company...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA: NBC Yaenda “Extra Mile” Kuwafikia...

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Mwezi wa Huduma kwa Wateja 2026 kwa kusisitiza dhamira yake ya kwenda hatua ya ziada katika kuwafikia wateja kwenye maeneo yao ya biashara na shughuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa Arusha, Yasisitiza Dhamira Yake Ukuzaji...

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini kwa kuendelea kuwekeza katika suluhisho za kifedha na kiteknolojia, ubia wa kimkakati pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUTUMIA COP12 KUVUTIA UWEKEZAJI UCHUMI WA BULUU

 Na Karama Kenyunko Michuzi tvTANZANIA inatarajia kutumia Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaofanyika Dar es Salaam Septemba 6 hadi 9, 2026, kuimarisha diplomasia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBASILA YAFUTA ZIRO, YAPUNGUZA DARAJA LA NNE

 Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamSHULE ya Sekondari Kibasila, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, imeendelea kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa baada ya kufanikiwa kuondoa kabisa wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB BANK FOUNDATION YAPIGANIA UJUMUISHWAJI WA KIFEDHA VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu.Rome, Italia. Tarehe 4 Oktoba 2026: Taasisi ya CRDB Bank Foundation imeendelea kujiimarisha kama daraja muhimu la mitaji ya kimataifa na jamii ambazo hazijafikiwa ipasavyo na huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukikosea Namba Zote Bado Unaweza Kutoka Mshindi Kupitia Lucky Loser

 KATIKA michezo ya kasino, kukosea namba zote kwenye tiketi mara nyingi huonekana kama mwisho wa safari. Lakini kwa mashabiki wa Win&Go kupitia Meridianbet, hadithi inaweza kuwa tofauti kabisa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufaransa Kuikaribisha Ubelgiji Nations League

 TIMU ya taifa ya Ufaransa itakuwa mwenyeji wa Ubelgiji Jumatatu, Oktoba 5, 2026, katika mchezo wa UEFA Nations League, utakaopigwa kwenye uwanja wa Stade de France, Saint-Denis. Mchezo huo utaanza saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB yaondoa ada NMB Direct kwa siku 90

Benki ya NMB imeondoa ada za miamala kupitia mfumo wake mpya wa NMB Direct kwa siku 90, kuanzia Oktoba 5 hadi Desemba 31, 2026, hatua inayohusisha malipo ya pamoja, uhamishaji wa fedha ndani na nje ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Absa yatoa wito kwa Wanawake kutumia maarifa ya kifedha kujiwezesha...

Na Mwandishi Wetu Dar es SalaamWANAWAKE wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu masuala ya kifedha na uwekezaji, mambo yatakayowasaidia kuongeza kipato na akiba, hivyo kuwawezesha kuwa na uhuru kamili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI MKUTANO WA 153 IPU YAKAMILIKA, NCHI 159 ZATHIBITISHA USHIRIKI

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV ArushaMAANDALIZI ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) yamekamilika jijini Arusha, huku nchi 159 kati ya 183 wanachama wa Umoja huo zikishathibitisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA ARDHI AENDELEA KUKAGUA MAENEO YA UWEKEZAJI NCHINI

Na Munir Shemweta, WANMM KASULUWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameendelea na ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji ambapo ametembelea eneo la mradi wa kilimo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITONGOJI CHA SABURI WAOMBA MSAADA WA DHARURA KUZUIA UBOMOAJI NYUMBA ZA...

Na Mwandishi Wetu WANANCHI Kijiji cha Makuyuni Kitongoji cha Saburi kilichopo wilaya ya Monduli katika Mkoa wa Arusha, wametoa taarifa ya dharura kuomba ulinzi na uingiliaji kati wa haraka kutoka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AWATAKA KUHAMA WANAOISHI MAENEO HATARISHI MTO MSIMBAZI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua shughuli za usafi katika Mto Ng’ombe Jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Going The Extra Mile: Turning Everyday Service into Meaningful Impact

By Obedi S. Laiser - Managing Director & CEO, Absa Bank TanzaniaEvery customer has a story, and every interaction we have with that customer becomes part of that story.It may be a small business...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ugiriki Yataka Kuendeleza Ubabe Dhidi ya Ujerumani

 TIMU ya taifa ya Ugiriki itakuwa mwenyeji wa Ujerumani leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, katika mchezo wa UEFA Nations League utakaopigwa Uwanja wa Toumba, Thessaloniki. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari Ya Hazina Ya Meridian Leprechaun Wish Ipo Meridianbet

 ULIMWENGU wa michezo ya kasino umefungua ukurasa mpya wa burudani kupitia Meridian Leprechaun Wish, mchezo unaokupeleka moja kwa moja kwenye ulimwengu wa simulizi za kale za Ireland. Safari hii si ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURIANI DKT. KAVURA: TPSC YAMUENZI KWA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA CHUO...

 Na Shakiru AbdulkarimUhai wa mwanadamu una mwisho, lakini mchango wake katika maisha ya wengine unaweza kuendelea kuishi kwa vizazi. Kifo cha Dkt. Richard Mwenyewe Kavura, kilichotokea tarehe 2 Oktoba...

View Article
Browsing index pages (51726 articles)


Latest Images