Quantcast
Channel: JIACHIE

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM IKULU NDOGO YA TUNGUU ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI BALOZI COMORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH MTUPA AKEMEA WALE WANAODHULUMU MALI NA HAKI YA WATOTO YATIMA

 SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Hamis Mtupa ametoa rai kwa watu wanaodhulumu mali za yatima ili kujinufaisha na kuwaacha watoto hao wakitangatanga ,waache dhuluma hiyo kwani ni sawa na kula moto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUWEZI KUIKOSOA SERIKALI KAMA SISI WENYEWE HATUWEZI KUTIMIZA WAJIBU WETU -...

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa ngazi zote kutimiza wajibu wao ipasavyo.Ameyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORYX ,ASAS WAKABIDHI MSAADA WA VYAKULA ,MAJIKO YA GESI KWA WANACHI...

Na Mwandishi WetuSERIKALI imesema itaendelea kuwatazama kwa karibu wananchi wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, walioathiriwa na mafuriko ikiwamo kupoteza malazi, vyakula na kusimamia kwa uzalishaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALIZA JUMAPILI NA MAOKOTO YA MERIDIANBET

 BAADA ya jana kushuhudia mitanange kibao kutoka ligi mbalimbali, pia leo hii utamu wa soka bado unaendelea na wewe una nafasi ya kujiweka kwenye mamilionea kirahisi sana. Suka jamvi lako na ubashiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUFIKISHIE SALAMU ZA SHUKRANI KWA DKT SAMIA KUTUOKOA KUTOKA NDANI YA HIFADHI;...

Na Mwandishi wetu, Handeni.WANANCHI waliohama kwa hiyari kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga wamemuomba mkuu wa mkoa huo mhe. Balozi Dkt.Batilda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU KUZINDUA MIRADI YA ZAIDI YA BLIONI 4 WILAYANI MUHEZA

 Na Oscar Assenga,MUHEZA.MWENGE wa Uhuru Kitaifa unatarajiwa kukimbizwa wilayani Muheza Aprili 15 mwaka huu ukitokea wilaya ya Tanga na utazindua miradi yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 4 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHIMBI: TUTAWEKA MSUKUMO KILIO CHA LAMI KIBAONI, KATAVI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Nchimbi amesema ataongeza msukumo kwa serikali kuhakikisha mradi wa Barabara ya Stalike - Kibaoni unaendelea na kukamilika kwa wakati kutokana ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA SUMBAWANGA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameagiza wakandarasi kukamilisha ujenzi Machi mwakani na kwa ubora unaotakiwa. Ujenzi wa uwanja huo utakaogharimu zaidi ya sh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE UNAPENDA SALAD YA AINA GANI? MERIDIANBET KASINO FRUIT SALAD 100 USHINDI...

 NI wakati mwingine tena wa kufahamu kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni iliyopo Merdianbet. Fruit Salad 100 unakupa nafasi ya kushinda kwa kiwango cha 96.06% Bonasi za kasino na alama nyingi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA ATOA TANI 300 ZA VYAKULA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KIBITI NA...

 Na Mwamvua Mwinyi,Pwani, April 15MKUU wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge amepokea misaada ya Tan 300 za unga ,mchele na maharage kutoka kwa mh.Rais Samia Suluhu Hassan.Kunenge amemshukuru Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA BUSTANI ZA KIJANI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kuhamasisha Uwekezaji katika Bustani za Kijani Nchini kwa Maendeleo Endelevu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SAMIA ATEMBELEA MAJIRANI ZAKE MTAA WA MOMBASA, UNGUJA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 ARIDHISHWA NA MRADI WA TANGA UWASA

 KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 Godfrey Mnzava katikati akifungua koki ya maji baada ya kuzindua mradi wa maji wa kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Kata ya Chongoleani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAANZAJE JUMATATU YAKO BILA YA KUBASHIRI NA MERIDIANBET?

 IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi ya mechi kibao zinaendelea leo hii abapo Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo uyatakayo hivyo ingia na uanze kubashiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAWA YAWEKA KAMBI RUFIJI, ELIMU YA KUEPUKA MADHARA YA MAMBA NA VIBOKO YATOLEWA

Na Beatus Maganja,RufijiTIMU ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SH. BILIONI 743 ZATOLEWA KWA WANUFAIKA MILIONI 6 - WAZIRI MKUU

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2023/2024, shilingi bilioni 743.7 zimetolewa kwa wanufaika zaidi ya milioni sita kupitia mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi.Ameyasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA MITATU (3) YA DKT. SAMIA YANUFAISHA WAKAZI WA MANISPAA YA BUKOBA.

Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: MAHAKAMA ZAANZA KUTUMIA MFUMO WA KUTAFSIRI LUGHA ZA KIINGEREZA...

 *Nia ni kuwawezesha wananchi kuelewa mwenendo wa mashauriWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mahakama zimeanza kutumia mfumo unaonasa sauti na kuzibadilisha kwenda kwenye maandishi huku ukitafsiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNDUMA, SONGWE YAITIKA ZIARA YA NCHIMBI

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Mji wa Tunduma, Wilaya ya Mbozi, mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE VIONGOZI WAHIMIZWA KUJILINDA DHIDI YA KUCHAPISHA MAUDHUI MABAYA...

NA EMMANUEL MBATILO, MOROGOROWANAWAKE viongozi na vijana wanasiasa wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija kwa lengo la kupeana taarifa na kuondokana na matumizi mabaya yenye kuleta athari hasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SLOTI YA 40 LUCKY SEVENS KUSHINDA NI SIMPLE SANA

 IRINGA na Tanga Lushoto husifika kwa uzalishaji wa mtaunda kwa wingi hapa Tanznaia, je umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani kilimo cha matunda na biashara ya matunda ina faida kubwa kiasi gani?Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miaka 60 ya Muungano Kati ya Tanganyika na Zanzibar, Zifahamu 4R za Rais...

Miaka 60 ya Muungano Kati ya Tanganyika na Zanzibar, Zifahamu 4R za Rais Samia Suluhu Hassan.Copyright 2007 ©MICHUZI JR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI LEO NANI KUTINGA NUSU FAINALI UEFA?

 HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo miwili ya UEFA hatua ya robo fainali mechi ya marudiano kupigwa kule Hispania na Ujerumani na meridianbet wanakwambia pesa ipo huku.Mechi kali...

View Article





Latest Images