Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live

RAIS MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA PAMOJA NA KUFUNGA MAONESHO YA ONESHA UWEZO MEDANI CHUO CHA KIJESHI MONDULI MKOANI ARUSHA

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha waliojitokeza kumsalimia wakati akielekea Monduli kwa ajili ya kufunga zoezi la Onesha uwezo Medani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma bango mara baada ya kukabidhiwa na mwananchi mmoja katika eneo la Kona ya Nairobi Mkoani Arusha
Umati mkubwa uliojitokeza katika eneo la Mianzini Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Arusha katika eneo karibu na chuo cha Arusha Tech. Wananchi hao walifunga barabara ili wapate nafasi ya kumuona Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mianzini Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini General Davis Mwamunyange wakati waufungaji wa zoezi la Onesha Uwezo Medani lililofanyika Monduli nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini General Davis Mwamunyange wakati akielekea kupewa maelezo ya zoezi zima la Onesha Uwezo Medan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa jeshi katika tukio hilo la Ufungaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenye uwanja wa maonesho akiwa pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini General Davis Mwamunyange.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi mara baada ya kufunga zoezi la Onesha Uwezo Medani Monduli Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akishuhudia matukio ya zoezi la Onesha Uwezo Medani Monduli Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipewa maelezo ya zana mojawapo ya Kivita katika Zoezi la Onesha Uwezo Medani Mkoani Arusha. Picha na IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunga “Zoezi la Onesha Uwezo Medani” lililoandaliwa na kutekelezwa na Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ambalo ni sehemu ya Jeshi la wananchi Tanzania katika eneo la Lang’arurusu nje kidogo ya Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha.

Akizungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la wananchi Tanzania kabla ya kufunga zoezi hilo, Rais Magufuli amesema katika awamu yake ya tano ya uongozi amedhamiria kulitumia Jeshi la wananchi Tanzania katika kujenga uchumi, ikiwemo kuanzisha viwanda na kampuni za ujenzi ili kuharakisha maendeleo.

Ametoa mfano wa kiwanda cha Nyumbu ambacho kipo chini ya jeshi la wananchi Tanzania na kueleza kuwa wakati umefika wa kukiimarisha na kukiendeleza kiwanda hicho, ili kiweze kufanya uzalishaji mkubwa kwa manufaa ya nchi ikilinganishwa na hali ilivyo hivi sasa.

“Zipo nchi nyingi ambazo majeshi yao yanatumika katika uchumi na yanafanya kazi nzuri ya kupigiwa mfano, wakati umefika na sisi kufanya hivyo. Hata hizi sare za jeshi na viatu, hatuna sababu ya kuvinunua kutoka nje ya nchi, tunaweza kutengeneza sisi wenyewe” Alisisitiza Rais Magufuli.

Rais Magufuli amelipongeza Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kuandaa “Zoezi Onesha Uwezo Medani” ambalo limethibitisha uwezo, weledi na utayari lilionao katika jukumu lake la kiulinzi.

Ameahidi kuwa ataendeleza juhudi zilizofanywa na viongozi wenzake waliotangulia za kuliimarisha kwa vitendea kazi na maslai ya wanajeshi ili liweze kutekeleza wajibu wake bila vikwazo.

Pamoja na kuwapongeza Askari na maafisa wa Jeshi la wananchi Tanzania walioshiriki katika zoezi hilo, Rais Magufuli ameagiza Askari Mgambo na Askari wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) walioshiriki zoezi hilo kuajiriwa na jeshi la wananchi Tanzania.

Akitoa maelezo ya awali kabla ya hotuba ya Rais Magufuli, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Wizara yake itaongeza na kusimamia juhudi za kuliboresha jeshi hilo kwa zana, vifaa na maslai kwa wanajeshi ili kuwajengea uwezo na morali ya kutekeleza majukumu yao ya kuilinda nchi, pamoja na kutoa msaada stahiki kwa nchi zenye kuhitaji ulinzi wa amani popote duniani.

Kwa upande wake Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Adolf Mwamunyange amemhakikishia Rais Magufuli kuwa Jeshi la wananchi Tanzania lipo imara na litaendelea kutekeleza majukumu yake kwa weledi, nidhamu ya hali ya juu na uzalendo mkubwa.

Kabla ya kuwahutubia maafisa wa jeshi la wananchi, Askari na wananchi waliohudhuria ufungaji wa “Zoezi Onesha Uwezo Medani”, Rais Magufuli ameoneshwa zana mbalimbali za kivita ikiwa ni pamoja na kushuhudia upigaji wa mizinga ya masafa mafupi, masafa ya kati na masafa marefu.

Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU

Arusha

22 Januari, 2016

ZEC YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR, NI MACHI 20 /2016

NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA

$
0
0
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji Mstaafu Mark Bomani
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa kisukuma Bujora.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni Bujora.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
 Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza utamaduni wa Kisukuma.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya.
 Sehemu ya jukwaa la kukalia la uwanja wa ndai wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.
 Wanafunzi  wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya michezo, Malya.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo aliahidi kutatua changamoto mapema.
 wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo- Malya wakionyesha uwezo wao wa kimichezo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye .
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza.


NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA

$
0
0
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji Mstaafu Mark Bomani
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa kisukuma Bujora.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni Bujora.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
 Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza utamaduni wa Kisukuma.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya.
 Sehemu ya jukwaa la kukalia la uwanja wa ndai wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.
 Wanafunzi  wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya michezo, Malya.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo aliahidi kutatua changamoto mapema.
 wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo- Malya wakionyesha uwezo wao wa kimichezo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye .
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza.


MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Azza Hillal Hamad kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Cecilia Daniel Paresso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA LA MAJI YA DAWASCO YAENDELEA KAWE-TEGETA

$
0
0
Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta . 
Matengenezo ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtamb wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana katika jiji la Dar Es Salaam na Bgamoyo. 
Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza juu ya matengemezo hayo alipotembelea katika eneo hilo kujionea shughuli zinavyoendelea.
Imeandaliwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii. 

Yamoto Band watengeneza Video ya kibao kipya cha Mama mjini Tanga

$
0
0
Yamoto Band waliweka Kambi ya Siku 3 katika jiji la Tanga wakiwa wanashoot video ya wimbo wao Mpya ambao unaitwa MAMA na Director Pablo, Video ya wimbo huo inatarajiwa kuachiwa mapema wiki ijayo.

 Kiongozi wa Yamoto Band Aslay amesema kuwa wameamua kwenda kufanya Video hiyo Tanga ili Kubadirisha Mazingira na pia kuleta Utofauti na Video zingine ambazo tayari wameshazifanya, Lakini pia aliwaomba mashabiki kupokea kazi hiyo ambayo inatoka hivi Karibu kwani niwimbo Mzuri wenye maneno mazuri kuhusu Mama maana kila mmoja amezaliwa na Mama.




SERIKALI YAOMBWA IKAMILISHE TARATIBU ZA UVUNAJI WA MSITU

$
0
0
msitu
Na. Ahmad Mmow, Nachingwea.
Baadhi ya wananchi na viongozi wa kijiji cha Ngunichile, wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Wameiomba serikali kuharakisha na kukamilisha mchakato wa uvunaji wa msitu wa kijiji hicho.

Wananchi na viongozi hao waliyasema hayo mbele ya timu ya waandishi wa habari na maofisa wa Mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu (MJUMITA) waliokwenda kijijini hapo juzi ili kuona mafanikio na changamoto za uhifadhi misitu.

Waliiambia Lindiyetu.com urasimu ambao hawaujui unatokana nanini, umesababisha uvunaji wa mazao ya misitu kwenye msitu waliohufadhi uchelewe kuanza.

Bakari Lilombo aliyejitambulisha ni mwanajamii, alisema kutoanza uvunaji wakati miti imefikia umri wa kuvunwa kunasababisha baadhi ya wananchi kukatatamaa kutokana na kutoona manufaa ya msitu huo."Uvunaji ungeanza ungeingiza mapato ambayo yangetumika kununua zana za kilimo na kujenga visima vya  vya maji, lakini kwa hali hii tunakata tamaa,"alisema Bakari.

Mzee Hamis Malombe mwanajamii, alisema matarajio ya wananchi nikunufaika na mapato ya mazao ya msitu huo wenye hekta 1800, kupitia huduma za jamii. Hata hivyo wananchi wanakata tamaa na matarajio yao yameanza kutoweka.


Bi Maua Ntila, ambae ni mjumbe waserikali ya kijiji hicho, alisema mapato ambayo yangetokanana mauzo mazao ya msitu huo yangeweza kutumika kuchimba visima na kuboresha zahanati. Jambo ambalo lingekuwa ni ukombozi kwa akinamama wakazi wa kijiji hicho.


Hatahivyo hadi sasa hawajaanza uvunaji, ingawa walitaraji uvunaji ungekuwa umeanza tangu mwaka jana. Kwa upande wake, ofisa mtendaji wa kijiji hicho, Selemani Soya, alisema hatua za awali za maandalizi ya uvunaji zilishafanyika.

Ofisi ya mkurugenzi wa wilaya ya Nachingwea iliwahaidi wangeanza uvunaji mwaka jana mwezi novemba, hata hivyo hadi sasa hawajaanza kuvuna."Tunapata shida ya kupambana na wavunaji haramu,maana maeneo mengi hayana miti"kwahiyo eneo lenye miti ni msitu huu, kama tungeanza uvunaji naamini wangeogopa na tungekuwa na nafuu sana,"alisema Selemani.

Akijibu malalamiko hayo kwaniaba ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nachingwea. Ofisa misitu wa halmasiauri hiyo, Paiton Kamnana, alisema uvanaji umechelewa kuanza kwasababu kutokamilika baadhi ya taratibu, nyaraka na nyundo.

Hata hivyo maandalizi yote yamekamilika, kwahiyo muda si mrefu uvunaji utaanza.
"Nyaraka zilishafuata wizarani,nyundo imeshapatikana pia.Ilikuwa jambo lisilowezekana kuanza uvunaji kabla ya kuwapa plan(mpango)".

Utunzaji wa msitu huo nimatokeo ya elimu iliyotolewa na mashirika yasiyo kiserikali ikiwamo Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania(MJUMITA) kupitia mradi wa kampeni ya mama misitu kwa kushirikiana na serikali.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA MNADA WA NYAMA CHOMA DODOMA

$
0
0
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na wafanyabiashara wa eneo la Msalato lililopo mkoani Dodoma sehemu ambayo inatumika kufanyia mnada wa nyama choma ikiwa ni moja ya ziara zake kufatilia hali ya ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya nchi, akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Jasmine Tiisekwa (mwenye skafu shingoni) pamoja na Afisa Afya Mkuu wa Manispaa ya Dodoma Bw. Alek Barakena (mwenye suti nyeusi).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea eneo la Msalato lililopo mkoani Dodoma sehemu ambayo inatumika kufanyia mnada wa nyama choma ikiwa ni moja ya ziara zake kufatilia hali ya ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Baada ya kutembelea mnada huo, Mhe. Ummy aliwataka wananchi wa eneo hilo kutambua kuwa bado ugonjwa wa kipindupindu upo na unaendelea kusambaa maeneo mbalimbali ya nchi hivyo ni wajibu wao kama wananchi kuweka mazingira yao katika hali ya usafi ili kutokomeza uonjwa huo.

Aidha ili kuzidi kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, Waziri Ummy ameagiza kuendelea kutekelezwa kwa agizo la Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Jasmine Tiisekwa ambaye aliagiza kusimamishwa kwa shughuli za kuuza nyama nyoma katika eneo hilo la Msalato mpaka uongozi wa wilaya hiyo utakapojiridhisha kuwa ugonjwa wa kipindupindu umetoweka mkoani Dodoma.

“Kipindupindu kimesambaa sehemu nyingi nchini ikiwepo hapa Dodoma na hivyo naagiza katazo la Mkuu wa Wilaya, Dkt Jasmine Tiisekwa liendelee kuwepo hadi ugonjwa wa kipindupindu uishe Dodoma na niwajibu wa kila mwananchi kuhakikisha kipindupindu kinakwisha,” alisema Waziri Mhe. Ummy.

Pamoja na hayo pia Waziri huyo wa Afya ameutaka uongozi wa Manispaa ya Dodoma kufanya kikao cha pamoja na wafanyabiashara hao wa nyama choma ili kuona ni jinsi gani wanaweza kuendelea na biashara zao huku wakizingatia kanuni za usafi wa afya na mazingira bila kusababisha kuzidi kusambaa kwa kipindupindu.
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akifafanua jambo kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mhe. Ummy Mwalimu akitoa maagizo ya wafanyabiashara hao kusitisha shughuli zao mara moja katika eneo hilo la Msalato mpaka uongozi wa wilaya hiyo utakapojiridhisha kuwa ugonjwa wa kipindupindu umetoweka mkoani Dodoma.
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (wa pili kushoto), Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Jasmine Tiisekwa (wa tatu kulia) na Afisa Afya Mkuu wa Manispaa ya Dodoma Bw. Alek Barakena (kushoto) wakisikiliza hoja kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa eneo hilo (hayupo pichani).
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza hoja kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa eneo la Msalato lililopo mkoani Dodoma sehemu ambayo inatumika kufanyia mnada wa nyama choma ambaye jina lake halikupatikana alipofanya ziara ya katika eneo hilo.

EDWIN HAMLI NA ISABELLA MUSHI WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 
Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe na kufuataia na hafla ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam usiku huu, hafla hiyo imehudhuriwa na ndugu marafiki na jamaa wa maharusi katika kufanikisha Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakivishana pete wakatia walipofunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe leo. baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo wakishiriki ibada ya harusi hiyo kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe jijini Dar es salaam. 
Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi wakiwa na waimamizi wao mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakionyesha vyeti vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe. Mdau Chilumba akiwa mna wageni waalikwa wengine waliohudhuria katika hafla hiyo. Mdau Kombe pamoja na wadau wengine wakiwa katika hafla hiyo. Maharusi Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha kwenye ukumbi wa Woter Front mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe Bi. Harusi Isabella Mushi na waalikwa wakicheza muziki kwenye ukumbi nwa Woter Front. Mdau Kombe akiserebuka pamoja na wageni waalikwa wengine katika hafla hiyo. Mdau Chilumba wa pili kutoka kulia na Hassan Mabuyu wa pili kutoka kushoto wakiserebuka kwa muziki. Kutoka kulia ni mdau Willy Mwenyekiti wa kamati Kombe mjumbe wa kamati, Merkior mjumbe na Gasper mjumbe wakipozi kwa picha. 

Rais Magufuli atunuku kamisheni kwa maafisa wapya 205 wa Jeshi la Wananchi

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Januari, 2016 ametunuku kamisheni kwa Maafisa wapya 205 wa jeshi la wananchi kundi la 57/15 katika Chuo cha mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha.


Maafisa hao wapya wametunukiwa cheo cha Luteni Usu, ambapo kati yao 16 ni maafisa wanawake, na 189 ni maafisa wanaume.


Aidha, miongoni mwa maafisa wapya 205 waliotunukiwa kamisheni, maafisa 10 wametoka majeshi rafiki kutoka nchi za Uganda, Kenya na Burundi.Akiwa katika uwanja wa paredi wa chuo hicho Rais Magufuli amepokea heshima zote za kijeshi ikiwemo kupigiwa wimbo wa Taifa na kukagua gwaride rasmi lililojumuisha maafisa hao wapya.
Baada ya kutunukiwa kamisheni, Maafisa wapya wa jeshi wamekula kiapo na wametoa heshima kwa gwaride lililopita mbele ya Rais kwa mwendo wa pole na mwendo wa haraka.


Viongozi wengine waliokuwepo katika tukio hilo ni pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange, Maafisa wa ngazi za juu jeshini na Maafisa wastaafu, viongozi wa mkoa na wilaya na wakufunzi kutoka nje ya nchi.


Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kutoa kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la wananchi tangu achaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwezi Oktoba Mwaka jana.


Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU

Arusha.

23 Januari, 2016.



NAPE AKIIMBA NA KUPIGA GITAA KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA CHANELI 294

"TAASISI YA KANGA" YAZINDULIWA ZANZIBAR KUSAIDIA MAPAMBANO YA VIFO KWA WAJAWAZITO NA WATOTO

$
0
0
  Baadhi ya wageni waliohudhuria katika  uzinduzi wa Taasisi ya KANGA ambayo itahusika katika kukusanya michango mbalimbali kutoka kwa wadau kwa lengo la kupambana na Vifo vya Wajawazito na Watoto nchini.Uzinduzi wa Taasisi ya KANGA ulifanyika katika Viwanja vya Hospitali ya Mnazi mmoja na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. 
 Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Shekh Abdallah Talib kushoto na Mwenyekiti wa Taasisi ya KANGA Dkt.Mohamed Hafidh kulia kwa pamoja wakiwakabidhi Viongozi kutoka Taasisi ya “DARAJA Foundation” KEKI waliyoinunua katika harambee ya kuichangia Taasisi ya Kanga kama njia ya kuiunga Mkono Taasisi hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya KANGA Dkt.Mohamed Hafidh akitoa maelezo ya Taasisi hiyo ambayo itahusika katika kukusanya michango mbalimbali kutoka kwa wadau kwa lengo la kupambana na Vifo vya Wajawazito na Watoto nchini.Uzinduzi wa Taasisi ya KANGA ulifanyika katika Viwanja vya Hospitali ya Mnazi mmoja na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Shekh Abdallah Talib akitoa hutuba yake kabla ya kuizindua Taasisi ya KANGA ambayo itahusikana ukusanyaji wa michango mbalimbali kutoka kwa wadau kwa lengo la kupambana na Vifo vya Wajawazito na Watoto nchini.Uzinduzi wa Taasisi ya KANGA ulifanyika katika Viwanja vya Hospitali ya Mnazi mmoja na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar.

Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar 23/01/2016

Katika kukabiliana na Vifo vya Wajawazito na Watoto Zanzibar Taasisi isiyo ya kiserikali ijulikanayo kama KANGA imezinduliwa rasmi ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na tatizo hilo nchini.

Uzinduzi wa Taasisi hiyo umefanyika katika Viwanja vya Hospitali ya Mnazi mmoja na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar.

Akitoa ufafanuzi wa kuanzishwa kwake Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Dkt.Mohamed Hafidh amesema Serikali na Taasisi binafsi zinawajibu wa kuzidisha mikakati ya kukabiliana na Vifo kwa akinamama na watoto ili kuwa na taifa endelevu.

Amebainisha kuwa wapo baadhi ya watu wenye uwezo wa kuchangia lakini wanashindwa kujua wapi watapeleka Misaada yao ili kuokoa maisha ya watoto na akinamama.

Dkt. Mohamed ameongeza kuwa hata Serikali kupitia Wizara ya Afya inakabiliwa na changamoto mbalimbali za matibabu nakwamba uwepo wa Taasisi ya KANGA kutasaidia kwa kiasi kikubwa juhudi za Serikali kukabiliana na tatizo hilo nchini.

“Ukweli nikwamba wapo wasamaria wema wanaguswa na hali ya vifo vya Wajawazito na Watoto lakini wanashindwa wapi kwa kupeleka misaada yao lakini kupitia Taasisi hii ya KANGA basi itakuwa ni sehemu muafaka ya kupeleka misaada yao na bila shaka lengo litafikiwa”Alisema Dkt. Mohammed Hafidh

Dkt Mohamed amesema hali ya Vifo nchini bado inatisha na kufafanua kwamba kati ya Kinamama Wajawazito Laki moja,wastani wa 460 hupoteza maisha yao nchini ambapo kwa nchi za Ulaya Idadi kama hiyo ni wastani wa watu sita wanaopoteza maisha.

Ameongeza kuwa Wastani wa Watoto 29 kati ya Elfu moja wanaozaliwa hufariki dunia nchini Tanzania ambapo kwa nchi za Ulaya ni Wastani wa watoto watatu wanaopoteza maisha miongoni mwa watoto Elfu moja.

Kwa upande wake Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Shekh Abdallah Talib amewaomba Viongozi na wananchi kwa ujumla kuiunga mkono Taasisi hiyo kwa kuchangia jitihada zake za kukabiliana na changamoto zinazowakabili wazazi na Watoto katika kipindi cha ujauzito na kujifungua.

Amesema kutokana na umuhimu wa jambo lenyewe ameahidi kukwata kiasi Fulani cha Mshahara wake kila mwezi ili kuchangia harakati za Taasisi ya KANGA.

“Kwa namna ambavyo nimeguswa na Malengo ya Taasisi ya KANGA na kwa namna ambavyo Tatizo la Vifo kwa Wajawazito na watoto linavyoendelea naahidi kukatwa Mshahara wangu kila mwezi kusapoti Taasisi hii”Alisema Shekh Talib

Taasisi ya KANGA ambayo imezinduliwa imejikita katika kujitolea kupambana na tatizo la Vifo kwa watoto na akinamama wakati wa ujauzito ambapo pia malengo ya baadae itaratibu uwepo wa Madaktari Wanawake wa kutosha ili taratibu za Uzazi zote Hospitalini zifanywe na Wanawake wenyewe badala ya Wanaume kama ilivyo sasa.

Katika uzinduzi huo Taasisi mbalimbali zilihudhuria na kutoa michango yao ikiwemo Mfuko wa Huduma za jamii Zanzibar ZSSF, Bank ya Watu wa Zanzibar, Taasisi ya Daraja Faoundation. 

WAZIRI NAPE NNAUYE ATUMBUIZA NA WEUSI JUKWAANI

Basata yawataka waimbaji nyimbo za Injili kujisajili

$
0
0

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limezidi kutoa wito kwa Waimbaji wa muziki wa Injili kujisajili katika baraza hilo ili stahiki zao zitambulike inavyotakiwa.

Mkurugenzi wa ukuzaji Sanaa na Mtukio wa Basata, Maregesi Kwirujira Ng’oko alisema waimbaji wengi wa muziki wa Injili wa Tanzania kuzingatia hilo.

Ng’oko alisema kujisajili Basata kuna faida na fursa nyingi ambazo ni msaada ambao utasaidia kupata haki zao kupitia kazi zao.

Ng’oko alisema kwa kuwa wao ndio wasimamizi wa kazi za sanaa ni jukumu lao kuwakumbusha mara kwa mara wasanii kujisajili.

Aidha Ng’oko alisema wanatoa salamu hizo kwa wasanii pindi inapotokea mikinzano katika ufanikishaji wa kazi zao.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era alisema wanafikiria kuongeza msukumo kwa waimbaji wa muziki wa Injili kuhusu kujisajili Basata katika baadhi ya matukio.

Mang’era alisema wanafikiria kutoa elimu ya kujisajili Basata katika matamasha yao ama kusaka namna ya kufanikisha utambuzi wa waimbaji katika baraza hilo.

RAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA WAHITIMU CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI

$
0
0
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange wakati alipowasili  katika chuo cha Maafisa wa Kijeshi Monduli Mkoani Arusha kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi kwa cheo cha Luteni Usu, anayetazama katikati ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Paulo Peter Massao. 
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi katika viwanja vya Chuo hicho.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia gwaride lililokuwa likipita mbele yake  kutoa heshima.
 Gwaride la Wahitimu likipita kutoa heshima mbele ya mgeni rasmi  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli .

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli Meja Generali Paulo Peter Massao. 
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi mmoja wa wanafunzi aliyefanya vizuri  O/Cdt. Mmang’anda katika Mafunzo hayo. 
 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya hawapo pichani .

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma jarida  la Ngome baada ya kukamilika zoezi la kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi.

 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wapya aliowatunuku Kamisheni pamoja na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Wananchi. 
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na watoto waliofika kushuhudia tukio hilo la kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya wa Jeshi. Picha na IKULU.

DK.REGNALD MENGI ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WATU WENYE ULEMAVU DAR ES SALAAM

$
0
0
 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi (kushoto), akizungumza na Cosmas Anthony ambaye ni mlemavu wa miguu kwenye tafrija ya chakula cha mchana aliyoiandaa maalumu kwa watu wenye ulemavu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo mchana.

 Dk.Mengi akimpa chakula mmoja wa walemavu aliyehudhuria hafla hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye tafrija hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye tafrija hiyo.
 Tafrija ikiendelea.
 Mwanamuziki wa kizazi kipya, Beny Paul (kulia), akipagawasha kwenye tafrija ya chakula cha mchana maalumu kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi akitoa hutuba fupi kwenye tafrija hiyo.
 Wafanyakazi wa IPP waliokuwa wakitoa huduma mbalimbali katika tafrija hiyo.
  Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivawata), Ummy Hamisi kwenye tafrija hiyo.
 Dk.Mengi akimpa chakula mmoja wa walemavu aliyehudhuria hafla hiyo.
 NI furaha tu katika tafrija hiyo watu wamekula na kunywa.
 Dk.Mengi akiteta jambo na mtoto mwenye ulemavu Roida Undule.
 Dk.Mengi akisalimiana akina mama waliohudhuria hafla hiyo.
 Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
Mchungaji Alphonce Temba akiomba kabla ya kuanza kwa tafrija hiyo.

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA CHINI YA UENYEKITI WA SPIKA WA BUNGE

$
0
0
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y. Ndugai (MB) akiongoza kikaoo cha Kamati ya Uongozi ya Bunge-Ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo tarehe 24 Januari 2016. Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ni Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson (MB) akiwasalimia wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge kabla ya kuanza kwa kikaoo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju akimsalimia Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) kabla ya kuanza kwa kikaoo cha Kamati ya Uongozi. Kushoto ni Mwwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Dkt Mary Nagu (MB)
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama (MB) (aliyesimama katikati) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia).
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mheshimiwa George Masaju (kulia) akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (MB) (kushoto) kabla ya kuanza kwa kikaoo cha Kamati ya Uongozi.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge ambao ni Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge wakisubiri kuanza kwa kikaoo cha kwanza cha Kamati hiyo.(Picha na Ofisi ya Bunge)

MASHINDANO YA MICHEZO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU YAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM.

$
0
0
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard Tadeo akikabidhi Jezi kwa moja ya timu zinazoshiriki katika mashindano ya michezo yanayohusisha wanafunzi wa vyuo vikuu leo jijini Dar es Salaam.Wa kwanza kulia kwake ni mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula.
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard Tadeo akikagua timu ya chuo kikuu cha Dar es salaam wanaokaa Chuoni wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula(aliyesimama) akimkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard Tadeo(kushoto) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.Pich na Daudi Manongi-WHUSM

SHUGHULI MBALIMBALIZA WAZIRI MKUU MAJLIWA BUNGENI

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunhe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Mhuheza na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majlaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live


Latest Images