Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live

RAIS MAGUFULI AONANA NA MABALOZI WA CHINA NA KOREA KUSINI, PROFESA LIPUMBA IKULU LEO

$
0
0
ba7 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempongeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
ba9 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akifanya mazungumzo na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015
ba10 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempondeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015. 
ba1 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015
ba2 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015
ba4 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na Balozi wa Korea ya Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.
ba6 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Balozi wa Korea ya Kusini  hapa nchini Mhe. Chung IL Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015. Balozi huyo pia alitumia nafasi hiyo kumuaga Rais kwa kuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umemalizika.
PICHA NA IKULU

CCM YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI KWAMBA IMEKUBALI KUMKABIDHI MAALIM SEIF IKULU

$
0
0
Chama cha Mapinduzi CCM kimekanusha Taarifa iliyozagaa katika Mitandao ya Kijamii kwamba Chama hicho kimeridhia aliyekuwa Mgombea wa Urais wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akabidhie nchi kuiongoza kwa miaka mitano. 

Akikanusha Taarifa hiyo mbele ya Waandishi wa Habari Afisini kwake Kisiwandui Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai amesema taarifa hiyo ni uzushi uliotungwa ili kuwatia taharuki WanaCCM na Wananchi kwa Ujumla. 

Amesema toka kusambaa kwa Taarifa hiyo Jana amekuwa akipigiwa simu na Watu mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kujua ukweli wa Taarifa hiyo hasa ikizingatiwa kuwa ilidaiwa kusainiwa na Naibu huyo. “Huu ni Uzushi Mkubwa na kwamba unafaa kupuuzwa maana hauna lengo jingine zaidi ya kuwagawa WanaCCM” Alismema Vuai. 

Amesema kilichopo nikwamba CCM inajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa Marejeo kama ambavyo Tume ya Uchaguzi ilitangaza kuufuta Uchaguzi na hivyo kurudiwa upya. Aidha Vuai amesema kuwa tayari wamewasiliana na Wanasheria wao pamoja na wataalamu mbalimbali ili kuwabaini waliohusika kusambaza Taarifa hizo na kuwapeleka katika Vyombo vya Sheria. 

“Tumeshafanya mawasiliano na Wataalam wetu na tukiwabaini Sheria ya Makosa ya mtandao itachukua nafasi yake” Alisema Vuai. 

Katika taarifa hiyo iliyosambaa na kudai kusainiwa na Vuai Ali Vuai ilisema kuwa Chama cha mapinduzi kimeridhia na kukubali kumpa nchi Maalim Seif Sharif kupitia chama chake cha Cuf kuwa ndio rais wa uchaguzi ulopita,na yeye ndio atakayeongoza serikali ya umoja wa kitaifa. 

Taarifa hiyo ilieleza kuwa CCM imekubali kushirikiana na maalim Seif katika kuongoza nchi chini ya serikali ya umoja wa kitaifa na kukubali kutoa makamo wa kwanza wa rais na nusu ya mawaziri. 
Vuai amerejea kauli yake kuwa mazungumzo yanayofanywa na Viongozi wa Kitaifa kwa kushirikiana na Viongozi Rais Wastaafu wa Zanzibar hayawezi kubatilisha maamuzi ya Tume ya kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita. 


IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR.

Dola za Marekani Milioni 3.4 Zatengwa Kusaidia Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania

$
0
0
Na. Lilian Lundo – Maelezo.
 
Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imetenga jumla ya Dola za Marekani Milioni 3.4 kusaidia vikundi vya wachimbaji wadogo na watoa huduma  katika migodi nchini.
 
Akiongena vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam, Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini Badra Masoud amesema, hatua hii imekuja baada ya  Serikali kubaini kwamba wachimbaji wengi wadogo huchimba madini kwa kutumia zana na vifaa duni kutokana na ukosefu wa  fedha za kununulia vifaa vya kisasa.
 
“Wachimbaji wadogo wengi hawawezi kukidhi masharti ya kupata mikopo katika benki za biashara nchini, hivyo Serikali inawajengea uwezo hatua kwa hatua hadi wafikie hatua ya kuweza kukopesheka katika mabenki ya kibiashara,” alisema Badra.
 
Aidha, Badra alisema kuwa pesa hizo zitatumika kwa miaka mitatu kuanzia mwaka huu wa fedha 2015/16 kwa ajili ya kuwawezesha wachimbaji madini wadogo kupata ruzuku kwa awamu ya tatu ili waweze kuchimba kisasa na kujiongezea vipato vyao na kuongeza pato la Taifa.
 
Badra alizidi kufafanua  kwa kusema kuwa, ruzuku hii ni jitihada za Serikali katika kukwamua wachimbaji wadogo kuondokana na umasikini kwa kuwajengea uwezo  wa kufikia  kuwa wachimbaji wa kati.Vilevile Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, imetenga maeneo yenye ukubwa wa hekari 197,432 kwa ajili wa wachimbaji wadogo ili kuendeleza uchimbaji wa madini mdogo nchini.
 
Serikali itaendelea kuwa karibu na wachimbaji wadogo waliopatiwa ruzuku kuhakikisha fedha wanazopewa wanazitumia kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo, wachimbaji hao watapewa elimu ya uchimbaji wa kisasa, utunzaji wa mazingira na namna ya kuepuka ajali ndani ya migodi.

Wizara ya Nishati na madini yaendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi za Rais Dkt. Magufuli.

MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI KATIKA JIMBO LA MLALO

$
0
0
 Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wananchi wa jimbo la mlalo wakati Mkuu wa mkoa wa Tanga alipotembelea mradi wa maji wa  jimbo hili na wakatiwa sherehe ya kumpongeza, katika hafla fupi ilifanyika maeneo ya Mlalo Mkongoloni mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza atembelea wilaya ya Lushoto na kuangalia miradi ya maendeleo ya Serikali ikiwepo maabara na mradi wa maji wilayani Lushoto Mkoani Tanga  baada ya kabla ya hafla fupi ya Mbunge wa jimbo la Mlalo iliyofanyika maeneo ya Mlalo mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza akisalimiana na wananchi wa jimbo laMlalo.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika jombo la Mlalo kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mariam Juma, Mbunge wa jimbo la Mlalo ndugu Rashid Shangazi na diwani wa jimbo la Kwemshasha Anuari Kiwe.
Baadhi ya wananchi na madiwani wa jimbo la Mlalo waliokusanyika kwaajili ya kukubali wito wa Mbunge wa Mlalo,Rashid Shangazi mara baada ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kukagua mradi wa maji katika jimbo la Mlalo, na Mbunge wa jimbo hilo kufanyiwa sherehe ya kumpongeza hafla hiyo iliyofanyika katika jimbo hilo wilayani Lushoto Mkoani Tanga.

RC KILIMANJARO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

$
0
0
Na Mwandishi Wetu, Moshi

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kujionea hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

Akizungumzia ziara yake hiyo, Makalla alitoa siku tatu kwa watendaji wa Manispaa ya Moshi kuhakikisha kwamba lundo la takataka katika soko la Kwasadala linaondoshwa haraka iwezekanavyo. Alisema hawezi kukubali kuona Manispaa hiyo inashuka kiwango chake cha kuifanya Moshi inaendelea kuheshimika katika suala zima la usafi.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla aliyesimama mlangoni, akiendelea na ziara yake ya kushtukiza kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro kujionea hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

“Pamoja na kuagiza kuondoshwa kwa uchafu huo, pia nataka kuona Mkoa wetu wote unakuwa kwenye hali ya usafi, magari ya usafi yazoe taka kwa wakati, uongozi wa masoko uthamini usafi bila kusahau uongozi wa Hospitali ya Hai unakamilisha haraka ukarabati wa vyoo,” alisema Makalla. Kwa mujibu wa RC Makalla, kitendo cha kuiweka Moshi katika mazingira ya uchafu si tu inaondosha kwa kasi ile heshima yake, bali pia itazalisha ugonjwa wa mripuko, ukiwamo ule wa Kipindupindu unaosikika kuweka katika kambi katika baadhi ya wilaya nchini Tanzania. 
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla akipata maelekezo kutoka kwa watendaji na watumishi katika Manispaa ya Moshi, mkoani humo, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika sehemu mbalimbali kwenye manispaa hiyo. Bashir Nkoromo 15:27 (40 minutes ago) to Kambi, Josephat, pamojapure, othmanmichuzi, me, muhidinuk, josephat.lukaza, cathbert39, zainul.mzige21, fadhiliathuman., amichuzi, assengaoscar, dande15us Mbwana, kwa nini kwenye captions unaandika "Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla"? RC si ndiyo mkuu wa mkoa kwa Kiingereza? Kumradhi, imebidi nikuambie kwa sababu umeirudia sana. Zaidi ya hapo nakutakia kazi.

RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA OFISINI KWAKE IKULU DAR.

$
0
0
sa1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
sa2sa3 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akiagana na  Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015. Wa pili (kulia) ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais, Mohamed Khamis. Picha na OMR

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

$
0
0
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya  mabasi yaendayo haraka ya Morogoro jijini Dar es Salaam.
Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi  wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa madereva wasiopenda kuvaa kofia ngumu(Herement) pamoja na Serikari Jeshi la Polisi kutoa agizo la kuvaa kofia hizo lakini wamekuwa wakiakipuuza sheria hiyo. wakingoja ningejua ninge.......
Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula kama ilivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).

Viongozi wa Ofisi ya Rais- Utumishi wala kiapo cha Uadilifu

$
0
0
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Mathew Kirama fomu maalum ya kuweka Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma mapema leo ofisini kwake.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda (kushoto) akielekeza namna ya kutoa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma zoezi lililofanyika mapema leo Ofisi ya Rais-Utumishi jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu akitia saini fomu ya Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda (kulia) ofisini kwake mapema leo.
 Wakuu wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakila kiapo cha  Uadilifu kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) mapema leo.

JOHNNIE WALKER YAZINDUA KAMPENI MPYA YA “FURAHA ITAKUFIKISHA MBALI”

$
0
0
 Meneja Chapa (Pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Shomari Shija (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (katikati) ni Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited (SBL), Stanley Samtu na kulia ni Dj maarufu kutoka Ireland Frank Jez. “Johnnie Walker” ni chapa maarufu ya pombe kali inayosambazwa na Kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini.
 Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited(SBL), Stanley Samtu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (Kushoto) ni Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija na (kulia) ni Dj maarufu kutoka Ireland Frank Jez. “Johnnie Walker” ni chapa maarufu ya pombe kali inayosambazwa na Kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini.
 Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited(SBL),Stanley Samtu (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (Kushoto) ni Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija na (kulia) ni Dj maarufu kutoka Ireland Frank Jez. “Johnnie Walker” ni chapa maarufu ya pombe kali inayosambazwa na Kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini.
Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited (SBL), Stanley Samtu (kushoto), Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (kulia) na Dj maarufu kutoka Ireland Frank Jez (katikati) wakionyesha bidhaa mbalimbali za Johnnie Walker wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. “Johnnie Walker” ni chapa maarufu ya pombe kali inayosambazwa na Kampuni ya bia ya Serengeti hapa nchini.

CHAPA maarufu ya pombe kali inayosambazwa na Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries “Johnnie Walker” imezindua kampeni mpya iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” siku ya leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ikiwa na lengo la kuwahamasisha watu kuwa na furaha katika kila wanachokifanya kwa vile furaha huleta maendeleo na sio kinyume chake kama wengi wanavyodhani.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa Kampeni hiyo katika hoteli ya Serena, Mkuu wa kitengo cha Masoko pombe kali wa Kampuni ya bia ya Serngeti (SBL) Stanley Samtu alisema “Kama chapa, Johnnie Walker imesimama daima kwenye upande wa maendeleo. Imekuwa hivyo kwa miaka takribani 200 tangu mwanzilishi Johnnie Walker alipoanza ufundi wake.

 Uzoefu umetufundisha kwamba maendeleo hayatakiwi kuwa safari ya kupanda tu na isiyo na kikomo bali tunaweza kupiga hatua na kufurahia katika malengo tunayoweza kuyafikia kila kukicha. Hiyo ndio maana halisi ya kampeni hii ya Furaha itakufikisha mbali zaidi”.

Kufurahia kile unachokifanya ni sehemu kubwa na muhimu ya kufanikiwa na kuwa na maendeleo. Katika juhudi za kufikisha ujumbe kwa wahusika, Johnnie Walker inategemea kuwamulikia baadhi ya nyota katika fani mbalimbali waliojizolea umaarufu kutokana na mafanikio walioyafikia. Hawa ni pamoja na Sheria Ngowi wa tasnia ya mitindo, Dj Frank Jez kutoka Ireland na Dj Peter Mo. Vijana hawa wote wamebobea katika kile wanachokifanya na wamekuwa mfano wa kuigwa nchini. 

Wamekuwa sehemu ya dunia ya watu ambao wanaaamini kuwa chanya siku zote katika kazi ni moja kati ya vitu viliyowasaidia kufika mbele zaidi katika fani zao.

Watumishi wa Umma watakiwa kushiriki zoezi la usafi disemba 9

$
0
0
Na Shamimu Nyaki-Maelezo


Serikali imewaagiza watumishi wa umma kushiriki zoezi la usafi wa  nchi  litakalofanyika tarehe 9 disemba mwaka huu katika maeneo yao wanaoishi.


Agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw Assah Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijin Dar es salaam na kusema kwamba Watumishi wa Umma  wanatakiwa wabaki nyumbani na kufanya usafi katika maeneo yao na  yale watakayo pangiwa na viongozi wa mitaa wanayoishi.


“Kila mwananchi ahakikishe eneo lake ni safi”Alisema Mwambene.


Mkurugenzi ameongeza kuwa Watumishi wa Umma hawataenda kazini badala yake  watabaki  nyumbani na kufanya usafi kwa kushirikiana na wananchi kusafisha maeneo yanayozunguka mitaa wanayoishi ikiwemo hospitali,kuzibua mitaro iliyoziba pamoja na kuzoa taka zilizolundikana sehemu ambazo sio rasmi.


Ameongeza kuwa muongozo kuhusu namna zoezi la usafi litakavyotekelezwa umeshatolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI  kwa Uongozi wa Mikoa hadi Mitaa na kilichobaki ni utekelezaji tuu wa agizo hilo kwa kila mwananchi sehemu anayoishi,anayofanyia shughuli nyingine za kila siku kuhakikisha anafanya usafi.


Aidha Mkurugenzi amewataka viongozi wa kila eneo kutengeneza utaratibu mzuri ambao utafanikisha zoezi la usafi  kufanikiwa kwa kuhakikisha wanasimamia kwa ukamilifu na kuwahimiza wananchi kuwa na tabia ya kusafisha maeneo wanaoishi kwa kuwa ni wajibu wao kufanya hivyo.


Hata hivyo tarehe tisa disemba kila mwaka huwa ni siku ya kusherehekea Uhuru wa Tanganyika uliopatikana miaka hamsini na nne iliyopita lakini kwa mwaka huu itaadhimishwa kwa kufanya usafi nchi nzima.

Maonesho ya Jua Kali kufunguliwa rasmi Jumatano

$
0
0
 Mwenyekiti wa Shirikisho la wajasiriamali Afika Mashariki Bw. Josephat Rweyemamu (Katikati) akiangalia bidhaa zinazotokana na karanga  kutoka kwa wajasirialiamali katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dare s salaam  kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Ajira kutoka Wizara ya Kazi Ajira na Bw. Ali Msaki.
 Baadhi ya bidhaa zinazopatika katika maonesho ya Jua Kali yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
 Baadhi ya wajasiriamali  kutoka nchi wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki wanaoshiriki maonesho ya Jua Kali yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam .
Kikundi cha Jivunie Tanzania Sanaa Group kutoka Mbagala Jijini Dar es salaam wakitumbuiza katika maonesho ya Jua Kali yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja .picha zote na Raymond Mushumbusi -Maelezo



Na Jacquiline Mrisho- Maelezo


Maonesho ya Jua Kali yanayoshirikisha wajasiriamali kutoka  jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki (EAC) yatafunguliwa rasmi Disemba 2 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Hayo yamesemwa na msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwani Wema kwamba maandalizi yanaendelea na washiriki toka nchi wanachama wameshafika kwa ajili ya maonesho hayo na takribani wajasiliamali 700 wanatarajia kushiriki maonesho hayo.

Akizungumza  katika maonesho hayo, Mkurugenzi kutoka Wizara ya Kazi na Ajira Bw.Ally Msaki amesema kuwa maonesho haya yanafanyika kwa lengo la kuwawezesha wajasiriamali waweze kupata masoko, kujifunza mbinu mbalimbali toka kwa wenzao na kuwawezesha kupata ajira.

Aidha Mwenyekiti wa Shirikisho la wajasiriamali wasiorasimishwa Afika Mashariki  (CISO) Bw. Josephat Rweyemamu alielezea umuhimu wa maonesho hayo kuwa ni ushirikiano wa wajasiriamali kutoka umoja wa Afrika Mashariki, kujitangaza kibiashara, kujifunza kutoka kwa wenzao, wajasiriamali   kujua taratibu za kurasimisha biashara zao na kuongeza wigo wa biashara zao.

“ Tumezialika taasisi mbalimbali kama Benki ya CRDB, mfuko wahifadhi ya  jamii wa NSSF na  Mamlaka ya Usajili wa biashara (BRELA) ili kutoa elimu kwa  wajasiriamali juu ya upatikanaji wa mikopo ya riba nafuu, kuwekeza katika mifuko ya jamii na jinsi ya kurasimisha biashara zao” alisema Rweyemamu.

Bw. Josephat Rweyemamu ameendelea kusema kuwa Serikali inatoa mchango mkubwa katika kufanikisha maonesho haya kwa kuwapa eneo na kutowatoza kodi za ndani kwa washiriki ingawa wanatakiwa kuchangia kiasi cha shilingi elfu arobaini kama ada ya ushiriki.

Mmoja kati washiriki toka Uganda Bi Josephine Ikiri-g amesema ni mara yake ya pili kushiriki katika maonesho hayo na kuna changamoto zinazowakabili ambazo  ni  elimu ndogo kwa wajasiriamali, kutoelewana  kwa kuwa hakuna lugha rasmi ya kuunganisha wajasiriamali na wateja, ukosefu wa masoko wa bidhaa zao kwani waafrika wengi hawataki kutumia bidhaa asili zinazotengenezwa ndani ya nchi.

Mjasiriamali kutoka Mkoani Morogoro Wilaya ya Kilosa Bw Leonard Mtunda amesema ni mara yake kwanza kushiriki katika maonesho hayo na ameweza kupata elimu ya ujasiriamali iliyoratibiwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) iliyotolewa kwa wajasiriamali 150 kabla ya kuanza maonesho hayo.

Maonesho ya Jua Kali yalianzishwa Novemba 1991 wakati wa kusaini mkataba wa jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya wakuu wa nchi wa umoja huo kupendezwa na maonesho na  kuazimia yafanyike  Novemba ya kila mwaka pindi wanapokutana katika mkutano wao  kwa kukutanisha wajasiriamali toka nchi wanachama na kufanya maonesho ya bidhaa mbalimbali.


UCHUNGUZI WA SAKATA LA WATUHUMIWA WA WIZI WA MAKONTENA 329 KUCHUKULIWA HATUA

$
0
0
 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  Bw.Diwani Athumani (CP) akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo katika picha leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchunguzi wa sakata la watuhumiwa wa wizi wa makontena 329.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi wa watuhumiwa wa wizi wa makontena kwa Mamlaka ya Bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Na Nyakongo Manyama-Maelezo
Tarehe : 30/11/2015.

Kufuatia agizo laWaziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa la kuwataka watuhumiwa wa wizi wa makontena 329 katika bandari ya Dar es salaam kuchukuliwa hatua na Jeshi la Polisi, tayari Jeshi hilo limewashikilia watuhumiwa kumi na mbili wanaohusika na wizi huo. Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (CP) Diwani Athumani amesema kuwa, uchunguzi unaofanywa na wataalamu waliobobea katika makosa ya uhalifu wa kifedha umeweza kuwabaini watu kumi na mbili ambao wamehusika na wizi huo.

“Kati ya watuhumiwa hao kumi na mbili, watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi na saba bado wapo katika upepelezi na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani,” alisema Kamanda Athumani.Wanaoshikiliwa kutokana na tuhuma mbalimbali ni Kamishna wa Idara ya Forodha na Ushuru TRA Bw. Tiagi Masamaki, Meneja Kitengo cha Huduma za Ushuru na Bi. Habib Mponezia, Msimamizi Mkuu wa Kitengo cha Ushuru wa Forodha.

Watuhumiwa wengine ni pamoja na Bi. Eliaichi Mrema, Msimamizi Kitengo cha Mawasiliano ya Kompyuta Bw. Haroun Mpande na Mchambuzi Mwandamizi wa Masuala ya Biashara Bw. Hamis Omary.Aidha Kamanda Athumani amewaomba wananchi wenye taarifa za ubadhilifu wa mali za Umma kuendelea kulisaidia Jeshi la Polisi katika kutekeleza majukumu yake.

Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali: Tusikubali ya Rada, hatua zichukuliwe

$
0
0
Taasisi ya Serious Fraud Office ya Uingereza ( SFO ) inafanya mazungumzo na Benki ya Standard Group ya Afrika ya Kusini Lakini iliyoorodheshwa katika soko la hisa ya Uingereza ( London Stock Exchange ) ili kumalizana kuhusu tuhuma za rushwa katika ununuzi wa hati fungani za Serikali ya Tanzania yenye thamani ya dola za kimarekani milioni Mia Sita ( $ 600m ). Mazungumzo hayo yanafanywa mbele ya Jaji katika mji wa London.

Ndugu wanahabari, ni jambo la kawaida kwa serikali yoyote duniani kuuza hati fungani. Mnamo mwaka 2011/2012 Serikali kupitia Wizara ya Fedha iliuza hati fungani ( Bonds ) zenye thamani ya dola za kimarekani 600 milioni ($600 million), dhamana hizo za serikali zilinunuliwa na benki ya kigeni  (Stanbic) ambayo ni mali ya Standard Group ya Afrika ya Kusini, yenye makao makuu yake huko London, Uingereza.

Hata hivyo, sehemu ya fedha hizo haikuingia kwenye akaunti za Serikali ya Tanzania na pia gharama za Bond hiyo zilipaishwa kupitia wakala wa kati kati ( middle men ) na hivyo kupelekea rushwa ya takribani $60 milioni kutolewa Kwa maafisa waliothibitisha biashara hiyo.

Ndugu wanahabari, taasisi za kiuchuanguzi za nchini Uingereza, hasa ile ya kushughulikia makosa ya rushwa (Serious Fraud Office-SFO) tayari imeshafanya uchunguzi wake wa awali kwa kuhusisha pande zote zinazohusika, na wamegundua kuwepo kwa rushwa kubwa katika mchakato huo, jambo ambalo liliwafanya washauri uongozi wa benki hiyo hapa nchini kuondolewa na kurejeshwa nchini Uingereza kwa hatua zaidi. Hata hivyo SFO na Standard Group wanataka kulimaliza jambo hili Kwa mtindo wa walivyomaliza suala la radar.

Ndugu wanahabari, Chama changu cha ACT-Wazalendo, kinazitaka mamlaka za kiuchunguzi hapa nchini, kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wale wote waliohusika na upotevu wa $600 milioni, ambazo kwa pesa ya Tanzania ni zaidi ya shilingi 1.2 trilioni.  Hicho ni kiwango kikubwa sana cha fedha, ikilinganishwa na makusanyo ya Mamlaka ya Maapato Tanzania (TRA). Tunaitaka Benki Kuu ya Tanzania, FIU Tanzania na PCCB kuweka hadharani taarifa ya chunguzi zao na kueleza ni kwanini hawajachukua hatua mpaka sasa.

Ndugu wanahabari, chama cha ACT-Wazalendo, kinaunga mkono jitihada za Rais wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli, za kutumbua majipu, hivyo tungependa kuona Mheshimiwa Rais akichukua hatua kwenye jambo hili ambalo lina maslahi mapana ya nchi yetu, hasa ikizingatiwa na uzoefu tulionao katika masakata kama hayo yanayohusisha nchi za kigeni, mfano mmojawapo ni sakata la rada, ambalo vyombo vyetu vya uchunguzi vilisema hakukuwa na rushwa, na baadaye serikali ya Uingereza ilithibitisha pasina shaka kwamba kulikuwa na rushwa, na baadaye serikali yetu ilirudishiwa sehemu ya fedha zilizozidi kwenye manunuzi ya rada ( chenji ya rada ).

Chama cha ACT Wazalendo kinasubiri taarifa ya makubaliano ( settlement ) Kati ya SFO na Benki ya Standard Group ( Benki mama ya Stanbic ) ili kushauri zaidi hatua za kuchukua. Ikumbukwe kuwa Benki ya Stanbic ndio ilihusika na kashfa ya Tegeta Escrow na mpaka sasa haijachukuliwa hatua zozote kama ilivyoagizwa na Bunge. Benki hiyo imewaficha waliochota fedha za escrow mpaka Leo.


( imesainiwa )
Masasi, 30 Novemba 2015
Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb
ACT-WAZALENDO

Bilioni 4 za sherehe za uhuru kupanua barabara ya Mwenge-Moroco yenye urefu wa kilomita 4.3

$
0
0

index 
Sehemu  ambako utaanzia upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami kufuatia agizo la Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli la kutumia fedha shilingi bilioni  nne zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9, 2015 kutumika kufanya upanuzi wa barabara hiyo.PICHA NA IKULU.

…………………………………………………………………………………

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
 Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa kuanza mara moja.

Akizungumza na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi PATRICK MFUGALE Ikulu Jijini Dar es Salaam, Dkt. Magufuli ametaka ujenzi wa barabara hiyo uanze haraka ili kukabiliana na adha ya msongamano wa magari katika barabara hiyo Kujengwa kwa njia hizo kutaifanya barabara ya Morroco hadi Mwenge kuwa na njia tano. Wakati huo huo, Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ikulu Jijini Dar es salaam.

Katika Mazungumzo hayo Prof. Lipumba amempongeza Dkt. Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kwa kutoa hotuba nzuri ya uzinduzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokonga nyoyo za Watanzania.
 Kwa Upande wake Rais Magufuli amempongeza Prof. Lipumba kwa msimamo wake thabiti wa kupinga ufisadi na amemtakia heri katika shughuli zake.

Gerson Msigwa.
 Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU.Dar es Salaam.

30 Novemba,2015

Tanzania’s new President, John Magufuli, inspires new Trend

$
0
0
Written by Omar Mohammed for Quartz
John Magufuli has only been president for three weeks but he is already stamping his authority on the new government.

A few days after taking office, he issued an edict banning all foreign trips by government officials. Any external work requiring Tanzania’s presence would be done by the country’s diplomats abroad, the president’s office explained.

“Unless there is an urgent undertaking abroad one could be allowed to travel after getting permission from the president or the chief Secretary,” Premi Kibanga, the president’s spokesperson, said (in Kiswahili) in a statement. Instead, civil servants are urged to spend more time traveling to rural areas and fix the country’s problems there.

It hasn’t stopped there. He has ordered against official gatherings outside the office when such meetings can be conducted through conference calls. And this week came the news that independence day celebrations next month, an annual fixture, are cancelled. The funds that would’ve been spent on the pomp and circumstance should be directed to other public services, such as the fight against cholera, the president’s office explained (in Kiswahili).

Also banned are public offices buying and sending christmas cards on the government’s dime. On top of all of that, Magufuli has promised a small, lean cabinet, expected to be announced next month.This new shift towards a more austere government appears to have resonated across the continent.

Under #WhatWouldMagufuliDo, people are figuring out all kind of ways of saving money, it seems.From a cheaper way of exercising, eating at home rather than going out to lunch, to forgoing a cab home, folks are embracing a thriftiness modeled after Tanzania’s new president.

Scaling back on government spending may not just be a political move, but a necessary step for a government that simply has no money. There are reports that the government is running on a significant budget deficit and struggling to meet revenue targets to fulfill its obligations.

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE MOROCCO WAANZA

$
0
0
Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.

MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO

$
0
0

Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania na Zara Charity,Zainab Ansel akishiriki mbio hizo pamoja na mdogo wake Rahma wakikimbia mbio za Km 5.
Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume ,Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.

Baadhi ya washiriki wa mbio hizo kutoka nje ya nchi wakimalizia mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. Usalama kwa wakimbiaji uliimalishwa zaidi.


Mwanariadha Banuelia Bryton akihitimisha mbio akiwa nafasi ya kwanza katika mbio za KM 10 kwa upande wa wanawake.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania,Zainab Ansel akimalizia mbio za KM 5.
Askari Polisi wa Kikosi cha usalama barabarani ,Salatory Mtanange akiwasindikiza washiriki wa mbio hizo waliokuwa mwishoni kabisa huku akikimbia nao kwa karibu. Baadhi ya washiriki wa mbio za KM 3 katika mbio za Kilimanjaro Health Run 2015.



Kampuni ya Vinywaji baraidi ya Bonite ya mjini Moshi ilidhamini zawadi kwa washindi wa mbio hizo.
Zoezi la utoaji wa zawadi kwa washindi wa mbio hizo z likianza rasmi.






Baadhi ya wakurugenzi wa mashirika mbalimbali waliofika kwa ajili ya mbio za Kilimanjaro Health Run ambazo hufanyika kila mwaka.







Katibu wa Chama cha riadha mkoa wa Kilimanjaro ( KAA ),Amini Kimaro akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.







Mkurugenzi wa Zara Tanzania ,Zainab Ansel akizungumza katika sherehe za kilele cha mbio hizo.







Viongozi wa mashirika mbalimbali wakiwa tayari kukabidhi zawadi kwa washindi.









Mshind wa kwanza wa Mbio za Km 10 ,Lameck Msiwa akikabidhiwa zawadi zake mara baada ya kuibuka mshindi katika mbio hizo.









Mshindi wa kwanza kwa wanawake katika mbio za KM ,10 Banuelia Bryton akikabidhiwa zawadi zake.







Mshindi wa pili kwa wanawake Mbio za KM 10 Adelina Aclati akikabidhiwa zawadi.













Mshind kwa upande wa walemavu pia alijipatia zawadi zake.







Diwani wa kata ya Longuo ,Ray Mboya akizungumza katika sherehe mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

BEI YA MADAFU LEO

MISS TANZANIA USA 2015-2016 AEESHA KAMARA ASHINDA KUWA COVER GIRL KWENYE CALENDA YA MISS AFRICA USA 2015-2016

$
0
0

Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) akiibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano ililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015.
Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji.
Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.
Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.
Viewing all 46389 articles
Browse latest View live




Latest Images