Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live

MKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA CCM URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN VIWANJA VYA MICHEWENI PEMBA

$
0
0
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, akiwa na Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa CCM wakati wakiwasili katika viwanja vya mkutano wa Kampeni Micheweni Pemba kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni kugombea nafasi hiyo kwa mara ya pili na kuomba ridhaa za Wananchi Pemba kumpigia kura za Ndio katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Sheinakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg Hamad Mberwa Hamad wakati akiwasili katika viwanja vya mkutano wa kampeni Wilaya ya Micheweni Pemba uikiwa ni mkutano wake wa Nne kisiwani Pemba katika kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar kuomba kura. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai wakiwa katika viwanja vya mkutano wa kampeni katika viwanja vya Jimbo la micheweni Pemba.
Mgombea Urais Zanzibar Dk Shein, akiwa na Viongozi wa CCM kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai na kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia mkutano huo wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud akihutubiwa katika mkutano huo wa kampeni viwanja vya micheweni Pemba.
Wananchi wa Wilaya ya Micheweni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika viwanja hivyo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud akiwahutubia Wanachama wa CCM Jimbo la Micheweni wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, na kuwataka Wananchi wa Micheweni kumpigia kura ya Ndio mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Micheweni Kisiwani Pemba.
Mhe Zainab Omar akiwahutubia Wanachama wa CCM Wilaya ya Micheweni wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Shein uliofanyika viwanja vya Micheweni Pemba na kuwataka kutokupoteza nafasi hiyo ya kumchagua Dk Shein kwa maendelea ya Wananchi wa Zanzibar.
Mhe Ramadhani Abdalla Shabani akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar na kuwaambia msemaji wa uchimbaji wa mafuta Zanzibarb ni yeye hakuna mtu mwingine na suala hilo liko tayari kinachosubiriwa ni kupitisha sheria hiyo kuaza kazi ya uchimbaji wa mafuta Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, na kusoma Ilani ya CCM jinsi inavyotekelewa katika miradi mbalimbali iliyoahidi wakati wa kipindi cha miaka mitano iliopita kwa kiasi kikubwa miradi hiyo imekamilika kwake na kulaani kitendo cha Wanachama wa CUF kuwashambulia Wanachama wa CCM wakirudi katika mkutano wa wa kampeni Chokocho na kusababisha kujeruhiwa kwa Mwanachama wa CCM na kuvunjwa kioo gari moja. 
Wanachama wa CCM Pemba wakishangilia Sera za CCM wakati wa Mkutano huo wa kampeni ya Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Micheweni Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni wa nne katika kuomba kura kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 jinsi ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbali mbali za Kijamii.   

Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar wakati wa mkutano wake wa Kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya Micheweni Pemba.

Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakifuatilia hutuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya micheweni Pemba akiwa katika mkutano wake wa kampeni kisiwani humo kuomba kura kwa mara ya pili kuongoza Zanzibar kwa Maendeleo ya Wananchi wake kuwapatia maendeleo katika Sekta mbalimbali za Jamii.
Mwanachama wa CCM akishangilia wakati wa mkutano huo wa kampeni ya Urais katika viwanja vya micheweni Pemba.
Taswira wa Uwanja wa mkutano micheweni Pemba ilivyokuwa kwa Wanachama wa CCM wakimsikiliza Mgombea wa Urais 
Dk Shein.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Micheweni Pemba Ndg Shamata Khamis.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Wingwi Pemba Ndg Said Omar Said,. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Konde Pemba Ndg Omar Seif Abeid. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Tumbe Pemba Ndg. Ali Khamis. Bakar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Micheweni Pemba Ndg Khamis. Juma Bakar. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Wingwi Pemba Ndg Khamis. Shaame
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Konde Pemba Ndg Ramadhani Omar. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Tumbe Pemba Ndg Rashid Kassim Abdalla. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Udiwanbi katika Wilaya ya Micheweni Pemba kupitia Chama cha Mapinduzi, wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya micheweni Pemba. 
Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba Wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Micheweni na kuwatambulisha Wabunge, Wawakilishi na Madiwani kwa Wananchi.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot. Zanzinews,com


SELCOM YALETA MFUMO MPYA NA WA KISASA WA MALIPO YA TIKETI ZA TAMASHA LA “KILIFEST” KWA KUTUMIA “SELCOM CARD”

$
0
0
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wahudhuriaji wa tamasha la ‘KiliFest’ wataweza kutumia Selcom Card kupata tiketi za tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambalo litafanyika siku ya Jumamosi September  26, 2015 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam.

Kati ya mawakala wa Selcom zaidi ya 15,000 wanaopatikana nchi nzima ni mawakala 40 tu wameochaguliwa kuuza tiketi za KiliFest kwenye vituo vyao na wote hao wanapatikana Dar es salaam. 

Baada ya kulipia Tsh 10,000/- tiketi itawekwa moja kwa moja kwenye Selcom Card kwa njia ya kielektroniki ambapo mteja atakuwa amepata Selcom Card bure na atatakiwa kufika na kadi hiyo Leaders Club siku ya tamasha na kugonga (tap) kwenye mashine za POS za Selcom zitakazokuwa zinapatikana kwenye milango ya kuingilia ya Leaders Club ili kuhakikisha manunuzi ya tiketi.

Selcom Card itamuwezesha mteja kupata tiketi za tamasha la KiliFest kwa sasa na kuitumia kadi hiyo hapo baadae kufanya malipo na manunuzi mbalimbali baada ya tamasha hilo.

Malipo na manunuzi yatakayoweza kufanyika kwa kutumia Selcom Card ni pamoja na malipo ya manunuzi ya bidhaa kwenye supermarkets, kulipia mafuta ya gari kwenye vituo vya mafuta, kulipia tiketi za matamsha yajayo, kulipia bili za chakula kwenye migahawa/bar, kupokea na kutuma pesa kwenda mitandao yote na kwenye akaunti za benki, kutoa pesa kwa wakala wa Selcom, kulipia tiketi za usafiri, bili za LUKU, DAWASCO, NHC, AzamTV, ZUKU, Startimes, DSTV,  nk, kununua vifurushi vya internet pamoja na muda wa maongezi wa mitandao yote.

Hapo awali kumekuwa na changamoto kubwa wakati wa uuzaji wa tiketi za matamasha mbalimbali ambapo imekuwa ni vigumu kudhibiti wizi na tiketi feki, kwa kupitia mfumo huu mpya wa Selcom Card sasa waandaji wa matamasha wataweza kuzuia wizi wa tiketi na kuwa na uwezo wa kuuza tiketi mapema kabla ya tamasha na pia kuweza kujua nani ameingia kwenye tamasha hilo.

Lengo kuu la Selcom Card ni kuwarahisishia wananchi na kuwajengea utamaduni wa kufanya malipo mbalimbali kwa kutumia mfumo wa kadi ambao ni wa haraka, salama na uhakika bila kubeba fedha mkononi kila wanapohitaji kufanya malipo au mununuzi.  Watumiaji wataweza kuongeza fedha kwenye kadi zao za Selcom (Salio) kwa mawakala wote wa Selcom nchini au kwa njia ya simu banking.

Selcom ni kampuni inayoongoza katika utoaji wa huduma mbalimbali za kifedha kwa njia ya simu za mkononi na yenye uzoefu mkubwa kwenye nyanja ya Teknolojia nchini Tanzania na ndio msingi wa uendeshaji wa huduma ya kifedha kwa njia ya simu ikishirikiana na mitandao yote minne ya simu hapa nchini, benki zaidi ya 30 na vituo vya mauzo vya Selcom vinavyotumia mashine za POS vilivyopo zaidi ya 15,000 nchi nzima.

 Pia Selcom ni wawezeshaji wa malipo na manunuzi ya huduma mbalimbali kwa washirika zaidi ya 50 kupitia simu za mkononi, simu banking na mawakala wake. 

 Selcom ni kampuni inayoongoza Tanzania kwa kuanzisha huduma za malipo ya kielektroniki katika miji mbalimbali ya Afrika Mashariki na ni kampuni ya kwanza kuzindua malipo na manunuzi kwa njia ya kadi nchini Tanzania.

Selcom, Tunakuwezesha Kwa Njia Ya Teknolojia
info@Selcom.net
SEHEMU ZINAPOPATIKANA TIKETI ZA KILIFEST

NO.
SHOP NAME
LOCATION
DECRIPTION
1
Village Super Market
Masaki
Sea Cliff House Branch
2
Village Super Market
Masaki
Chole Road Branch
3
Village Super Market
Mbezi Beach
Tank Bovu Branch
4
Shrijee Supermarket
Osterbay - Morogoro Store near Mohans
Osterbay Branch
5
Shrijee Supermarket
Masaki
Masaki Branch
6
Shrijee Supermarket
Kisutu - Mtendeni Street
Kisutu Branch
8
Shoppers Supermarket
Mikocheni - Shoppers Plaza
Mikocheni Branch
9
Shoppers Supermarket
Mbezi Beach - Kwa Street
Mbezi Beach Branch
10
A to Z Supermarket
Upanga - Ocean Road - Near Ocean Road Hospital
Ocean Road Branch
11
Imalaseko Supermarket
Posta - Pamba Street
Posta Branch
12
Koli Finance
Posta - J Mall/Habour View Tower/Samora Street
J Mall Branch
13
Puma Petrol Station
Kisutu - Jamuhuri Street
Kitumbini Branch
14
Bahamadi Shop
K/koo - Living stone/Agrey Street
Opposite Bakhressa Depot
15
Bahamadi Shop
K/koo - Mahiwa/Living Stone Street
Nearby Kariakoo Bazar Bulding
16
Habibu Shop
K/koo - Living stone/Pemba Street
Opposite Green Bureau Change
17
Crown and Beauty  Shop
Mlimani City
In Mlimani City Mall
18
Big Bon
Sinza Mori
At the Big Bon Petrol Station
19
C - Park Cub
Kinindoni B
Kinondoni B nearby Bus Stop
20
Baby Face Internet Café
Mwananyamala (A)
Near bus stop of Mwannyamala A
21
Treenaz G.Supplies
Kawe - Mlalakuwa Street
Opposite EFM Radio
22
Jukas Shop
Africa Sana
Opposite Africana Shop near the Africana Market
23
Puma Petrol Station
Mbezi Bech Branch
Between Interchick and Tank Bovu Bus Stops
24
Petro Fuel Station
Tegeta Branch
Near Azania Bus Stop
25
Swai Shop
Ubungo Riverside
At kibangu Bus stop
28
Virus Internet Café
Magomeni - Magomeni Mapipa
Nearby Mapipa Bus Stop
29
Bakari Shop
Magomeni -Mwembe Chai
Neaby Bus Stop Opposite Mosque
30
Twaha Shop
Magomei – Kagera
Nearby Old Kagera Bus Stop
31
Eshanaa Classic Ware
Magomeni - Kagera
Opposite Oil Com Petrol Station
32
Elvis Digital & Network
Mbezi Louis
Dealer of DSTV opposite Old Bus Stop
33
Mohamed Shop
Mbagala Kongowe
Nearest to the Bus Stop of Tua Ngoma
34
Merseytel Shop
Mbagala Rangi Zakiem
Opposite Darlive Pub
35
Kipanga Stationery
Mtoni kwa Aziz Ally
Nearby Aljazira Supermarket
36
Khadija Shop
Mtoni kwa Aziz Ally
Nearest to the Mtoni kwa Aziz Ally Bus stop
37

TICS WAPANDA MITI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KURASINI

$
0
0
 Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari  ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Mfanyakazi wa TICS Slyvester Ntomba (kulia) akijumuika na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kurasini kupanda miche katika eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
 Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kurasini wakipanda miche katika eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.

MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

$
0
0
WAKAZI wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri.

Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha wakazi wa kisarawe.

93.7 EFM tutaendelea kutoa burudani hii ya muziki mnene na kuwafikia wasikilizaji wetu wote, hivo wakae mkao wa kula.
  








          

SWAHILI FEST COMMUNITY PICNIC YAFANA DMV

$
0
0
Mshereheshaji Tuma akielekeza jambo kwenye tamasha la Swhili Fest lililofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Water Front iliyopo jimbo la Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog/ Kwanza Production.
Patrick Kajale mmoja ya waratibu wa swahili fest akipata picha ya pamoja na mmoja ya watoto walioshinda kucheza wimbo wa Bongo Flava. Waratibu wengine ni Amri Maliyatabu, Seif Ndossa na Frank Kajale.
Patrick Kajale mmoja ya waratibu wa swahili fest akipata picha ya pamoja na mmoja ya watoto walioshinda kucheza wimbo wa Bongo Flava.
Patrick Kajale mmoja ya waratibu wa swahili fest akipata picha ya pamoja na mmoja ya watoto walioshinda kucheza wimbo wa Bongo Flava.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly akiongea machache kwa wageni waliohudhuria tamasha la Swahili Fest.
Mwalimu wa darasa la Kiswahili DMV na mdau wa CHAUKIDU Bi. Asha Nyang'anyi akiongea machache.
Mdau wa CHAUKIDU Bwn. Elius Magembe akilonga machache.
Wageni waliohudhuria tamasha hilo katika picha


Kwanza Production 181.85 GB (14%) of 1,240 GB used Manage Terms - Privacy Last account activity: 0 minutes ago Details Kwanza Production Show details

NAIBU WAZIRI WA NYUMBA KAIRUKI ATEMBELEA GEREJI TEGETA

$
0
0
 . Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akizuru eneo la Magereji Tegeta.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki atembelea eneo maalumu la Mradi wa Gereji kwa Vijana Tegeta. Eneo hili linajulikana kwa jina la Magereji kwakuwa ni eneo maalumu lililotengwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa magari kutoka mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam.
 Mhe. Angela Kairuki akiangalia mitambo ya kisasa inayotumika kutengeneza magari katika eneo la Magereji Tegeta.
 Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta.
 Mafundi na wafanyakazi wa eneo la Magereji Tegeta wakimsikiliza Mhe. Angela Kairuki.

AIRTEL FURSA YAWAWEZESHA WAFUGA NYUKI WA MBEYA

$
0
0
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imewawezesha vijana wajasiriamali wa kikundi cha MINARACO kutoka mkoani Mbeya wanaojishughulisha na ufugaji wa nyuki. Kikundi hicho kinaundwa na vijana 76 walioamua kuungana na kujihusisha katika ufugaji wa nyuki ili kujikwamua na changamoto za maisha. Kupitia mradi wa Airtel FURSA kikundi hicho kimewezeshwa kwa kupatiwa mizinga ya nyuki 20, mashine za kukamulia asali 1, vifaa vya kinga ya nyuki 2, chupa za lita 1, 400, chupa za asali za lita 5, 200 na zana zitumikazo kuboresha biashara ya ufugaji wa nyuki

Akikabidhi vifaa hivyo meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi alisema, “vitendea kazi waliopatiwa ni vyakisasa zaidi na vitasaidia kuboresha ufugaji huo na kuwawezesha vijana hao kupata mavuno zaidi ya waliokuwa wakipata awali”.
Akiongezea amesema, “mpango huo wa kuwawezesha wajasiriamali vifaa ni sehemu ya mpango wa kampuni ya Airtel wa kuwawezesha vijana ili kuboresha maisha yao na ya watu wanaowazunguka”.

“Sisi kama Kampuni ya mawasiliano tumeona ni vizuri kushirikiana na wajasiriamali na hasa vijana wenye umri kati ya miaka 18-24 ili kuhakikisha tunawawezesha na kukuza mitaji yao ya biashara kwa mafunzo na vifaa” alisema meneja huyo”.

Wakipokea msaada huo wameishukuru, Airtel kwa kujitoa kwa kuwasaidia vijana katika kutatua changamoto zinazowakabili na kuahidi kutumia vifaa hivyo kwaajili ya kuongeza uzalishaji ili kufikia malengo waliojiwekea katika kikundi hicho.

“Hatukuamini kuwa Airtel itakuja kututembelea, kuangalia mahitaji yetu na hasa kwa kutupatia msaada wa vifaa vya kisasa walivyo tupatia leo, tunawashukuru sana na  tunaahidi kutumia vyema msaada huu ili kuhakikisha tunakuza na kuendeleza ufugaji bora wa nyuki” alisema mwakilishi wa kikundi hicho John Maige.

Akiongezea Maige  alisema, “Awali tulikuwa na changamoto ya uchache wa mizinga, vifungashio vya asali na soko la uhakika, lakini Airtel imetusaidia kwa kutupa mafunzo na vifaa vya kutosha vitakavyo tusaidia kupata Asali ya kutosha na  yenye ubora mzuri “.
Kampuni ya simu ya Airtel inazunguka nchi nzima kukutana na vijana kwa lengo la kuwapa elimu ya ujasiriamali na kisha kutoa uwezeshaji kwa vijana.
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiwakabidhi wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO mjini Mbeya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa nyuki. Kupitia mradi wa Airtel FURSA kikundi hicho kimewezeshwa kwa kupatiwa mizinga ya nyuki, mashine za kukamulia asali, vifaa vya kinga ya nyuki na zana zitumikazo kuboresha biashara ya ufugaji wa nyuki. Wakishuhudia kutoka kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha FURSA Irine Paul akifuatiwa na Meneja mauzo wa Airtel mkoani Mbeya Saidi Zani
 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akiongea na wawakilishi wa kikundi cha MIRANACO katika hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vitakavyowasaidia katika biashara yao ya ufugaji wa nyuki vikiwemo mizinga ya nyuki 20, mashine za kukamulia asali 1, vifaa vya kinga ya nyuki 2, chupa za lita 1 400, chupa za asali za lita 5, 200 na zana zitumikazo kuboresha biashara ya ufugaji wa nyuki mjini Mbeya . Wakishuhudia kutoka kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha FURSA Irine Paul akifuatiwa na Meneja mauzo wa Airtel mkoani Mbeya Saidi Zani.

TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR

$
0
0
 Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Tamasha la Fahari ya Mwafrika litakalofanyika viwanja vya Club ya Escape One, Oktoba 3, 2015 Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni hiyo, Gabriel Manyaga na Mkurugenzi wa Ubunifu wa kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya. 
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Black Sensation, Gabriel Manyaga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Mmiliki na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Lilliane Masuka. 
 Mkurugenzi wa Ubunifu wa kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa habari kuhusu tamasha hilo.
 Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Black Sensation inatarajia kufanya tamasha lenye kutangaza utamaduni wa Mwafrika Oktoba 3 mwaka huu katika Club ya Escape One iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam ambalo linatambulika  kama 'Fahari ya Mwafrika'.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni hiyo, Liliane Masuka alisema tamasha hilo ni la muhimu katika kuutangaza utamaduni wetu.

Masuka alisema tamasha hilo linatarajiwa kuonyesha vitu mbalimbali vya asili ya mwafrika na tamaduni zake litakuwa la aina yake kutokana na maandalizi pamoja na washiriki.


Mkurugenzi huyo alisema tamasha hilo litakuwa na lengo lake likiwa ni kuhamasisha utamaduni na kubadilishana kimawazo pamoja na kufanya maonesha ta tamaduni mbalimbali.

"Oktoba 3 mwaka huu tutakuwa na tamasha ambalo litatambulika kwa jina la 'Fahari ya Mwafrika' na tunatarajia kutakuwepo na vikundi mbalimbali ambavyo vitaonesha utamaduni wetu," alisema. 

Masuka alisema katika tamasha hilo kutakuwepo na muziki wa dansi, vichekesho, maigizo, ngoma na vitu mbalimbali ambavyo kwa pamoja vinatangaza utamaduni wa Tanzania.

Alisema pia kutakuwa na vikundi mbalimbali kutoka shule za Sekondari, wanamitindo na wabunifu wa ndani ambao wataonesha vitu vyenye kuakisi utamaduni wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni hiyo, Gabriel Manyaga alisema pamoja na kuanda tamasha hilo pia wanatarajia kutoa tuzo za Fahari ya Afrika kwa watu ambao wataonesha kuudumisha uafrika kupitia tamasha hilo kubwa na la aina yake.

Alisema tuzo zitatolewa kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali ambavyo kwa pamoja vitazingatia sifa husika na sio kuchaguana kishabiki kama tuzo zingine zinazotolewa.

Manyaga alisema wao kama Black Sensation wanaamini kuwa wataweza kukuza na kuibua vipaji vya wasanii wa hapa nchini ambao wameshindwa kuonekana na kutambulika kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wao.

Mkurugenzi wa Ubunifu wa Kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya alisema kampuni hiyo ilibuni tamasha hilo ili kutoa fursa ya kuutangaza utamaduni wetu ambao kwa kiasi kikubwa umeanza kusahulika kutoka na sababu mbalimbali ikiwemo kupungua kwa kasi ya kuutangaza.
 (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

$
0
0
Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei (kulia).

MAADHIMISHO YA CP DAY KUFANYIKA OKTOBA 7 MWAKA HUU JIJINI DAR

$
0
0
Makamu  Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi Watoto wenye Ulemavu wa mtindio wa Ubongo na akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA) Hillar Said  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maadhimisho ya mwaka  huu maadhimisho hayo yatakayofanyika Oktoba 7 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jjijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadicki, kulia ni Katibu (CHAWAUMAVITA) Mwanahamisi Hussen

Mwenyekiti  huyo wa (CHAWAUMAVITA) , amewaomba wanachama kuchangia ili kufanisha zoezi la Maadhimisho hayo.


Na Dotto Mwaibale
CHAMA cha Wazazi wa Watoto Wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo (Chawaumavita) kimewataka wakina baba kuacha tabia ya uoga ya kukimbia majukumu pindi wanapopata watoto wenye ulemavu.

Katika hatua nyingine chama hicho kimewaomba wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kuzungumzia namna gani watasaidia walemavu katika mikutano yao.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu na Watoto Wenye Mtindio wa Ubongo ambayo huazimishwa kila mwaka ifikapo Oktoba 7. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Hilal Saidi, alisema watoto wenye matatizo hayo wanapaswa kusaidia badala ya kuwatenga.

Alisema kuwa  katika tafiti walizofanya wamegundua kuwa wanaume wengi ni waoga wa majukumu pindi wanapopata watoto wenye ulemavu hadi kupelekea kukimbia famia zao.

"Wanaume wengi waoga wa majukumu hasa anapozaliwa mtoto mwenye ulemavu, wanaona kuwa ni mkosi mkubwa na kuanza kupata msukumo katika familia yake kuachana na mkewe hivyo anateleleza familia huku mwanamke akibaki peke yake" alisema Said

Hata hivyo alisema ulemavu umegawanyika katika makundi matatu ambayo ni  ni ulemavu wa akili,mtindio wa ubongo na viungo.

Alisema watoto wenye ulemavu wa viongo na mtindio wa ubongo wanaweza kupatiwa matibabu hali yao ikawa sawa kushiriki katika katika elimu na kufikia malengo yao.

Hivyo aliwataka wakina baba na familia kwa ujumla kutowafungia ndani watu wenye ulemavu na badala yake kuwapeleka katika vituo vya afya kwaajili ya matibabu na miili yao ikatengemaa.

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
 TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania  (Tanzania Wildlife Authority -TAWA),  imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi  Septemba, 2015.
Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua  Meja  Jenerali (Mstaafu) Hamis Rajabu SEMFUKO kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo.

Wajumbe wengine  wa Bodi hiyo ambao wameteuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii  ni Dkt. Simon Mduma – Mkurugenzi Mkuu - TAWIRI,  Dkt. Fred Manongi – Mhifadhi  Mkuu - NCAA,  Suzane Charles Ndomba – Mwanasheria – ATE,  Bw. Gerald Bigurube – Meneja wa Program   Frankfurt Zoological Society – SERENGETI, Dkt. David Manyanza (Mstaafu)  Mtaalam wa Maswala ya Wanyamapori , Bw. Benson A. Shallanda – Kamishna wa Sera – HAZINA, Jenerali  Samweli Ndomba – Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Winfrida Nshangeki – Mkurugenzi wa Uratibu wa Sera – TAMISEMI, Abdulrahman Kaniki – Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania , Allan J. Kijazi – Mkurugenzi Mkuu  TANAPA, Mr. Herman W. Keraryo –Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori , Abdul Rajab Mhinte – Mkuu wa Idara ya Usalama   na Atakayeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka.
 
Bodi hii, itaongoza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania kwa kipindi cha miaka  mitatu kuanzia tarehe ya uteuzi.
                                                     Imetolewa na

                                Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikali
                                        Wizara ya Maliasili na Utalii
21/09/2015

NAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA LEO MCHANA

$
0
0
Sehemu  ya wajumbe wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika Kitaifa mkoani Mtwara,leo mchana, wakisikiliza mada mbalimbali zinazohusu changamoto na mikakati ya kuboresha mazingira ya Usafiri wa Majini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akitoa shukrani zake kwa Ushirikiano unaoonyeshwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sekta ya Uchukuzi kabla hajamkaribisha Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano kufungua rasmi  Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika mkoani Mtwara,leo mchana.
 Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande, akifafanua jambo katika Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika mkoani Mtwara, leo mchana.
 Mkuu wa Kikosi cha Meli Vita (701 KJ), TPDF-NAVY, Brigedia Generali, Richard Makanzo, akifafanua jambo, leo mchana katika Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika Kitaifa mkoani Mtwara, leo mchana
Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Zanzibar, Issa Usi Gavu, akifungua rasmi Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika mkoani Mtwara,leo mchana.Maadhimisho ya Siku ya Bahari yanafanyika Kitaifa Mkoani Mtwara kwa siku tatu. 
(Habari Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

$
0
0
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu jinsi namna  wananchi watapata dawa zilizo bora na salama zaidi kwa kutumia vigezo vya kikamataifa kwa kuwa kuzingatia masharti yanayotolewa na Shirika la Afya Duniani. Amesema Tanzania ni nchi ya kwanza kutoa uhamasishaji huu kwa wadau  wazalishaji na wasambazaji wa  dawa na wote wanaojihusisha na biashara ya dawa na kwamba  hii ni jumuiya  ya kwanza  katika bara la Afrika kutekeleza mpango wa kuwa na mifumo ya aina moja ya uthibiti wa dawa kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 Sehemu ya wadau wa dawa walio hudhulia kikao hicho leo Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando na  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo wakifurahia jambo baada ya kikao hicho (Picha na Emmanuel Mssaka)

TASWIRA ZA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA KABLA NA BAADA YA UKARABATI. PICHA ZINAJIELEZA

TANGAZO LA MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
TANGAZO KWA UMMA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-
1)    TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;
2)    TAREHE 23 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA TEMEKE NA ILALA;
3)    MALALAMIKO HAYO YAWASILISHWE NA MUHUSIKA MWENYEWE NA SIYO MWAKILISHI;
4)    MALALAMIKO AMBAYO YAMEKWISHA WASILISHWA MAHAKAMNI HAYATAPOKELEWA.
KATIBU MKUU
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI



RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

$
0
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.
Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.
“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za Dunia mwaka 2020 Tokyo –Japan hivyo wachezaji wenye vipaji kutoka kwenye michuano hii ya Airtel na vijana wengine wataendelea kutunzwa kwa ajili ya timu ya Taifa ya baadae” Alisema Malinzi.
Naye Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ambao ndio wadhamini wakuu wa michuano hiyo, amesema airtel wataendelea na program hiyo ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 kwa wanawake na wanaume, na kuahidi kuendelea koboresha michuano hiyo kila mwaka.
Michuano ya Airtel Rising Stars iliyomalizika leo, ilizisihirkisha timu za wanaume na wanawake kutoka mikoa saba nchini, huku mashindano hayo yakiwa yanafanyika kwa msimu wa tano sasa tangu kuanzishwa mwaka 2011.
Kwa upande wa wanaume, timu ya Ilala imeibuka mabingwa baada ya kuifunga Mbeya kwa mabao 4-0 katika mchezo wa fainali ulochezewa jioni ya leo, huku timu ya wanawake ya Temeke wakiibuka washindi baaada ya kuibwaga Kinondoni mwa mikwaju ya penati 5-4.

MAGUFULI ALIVYOUNGURUMA MJINI BUKOBA LEO

$
0
0
 Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki akiwahutubia wananchi wa Bukoba na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni wa Urais,ambapo Dkt John Pombe Magufuli aliwahutubia jioni ya leo mkoani Kagera.
 Wakazi wa Runazi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akiwahutubia wananchi wilayani Muleba mkoani Kagera jioni ya leo.
 Wakazi wa Muleba Mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimsilikiza mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa 
  Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kufunga barabara wakitaka kusikilizwa shida zao, alipokuwa akiwasili eneo hilo na kuwasalimia Magufuli alipokuwa 


 Mgombea Urais wa CCM akijinadi mbele ya wakazi wa Kamachumu,wilayani Muleba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika jioni ya leo mkoani Kagera.
 Mgombea Ubunge wa jimbo la Bukoba vijijini,Ndugu Jasson Rweikiza akijinadi mbele ya wananchi wa Bukoba vijijini kuwaomba ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo,kwenye mkutano wa kampeni.
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Bukoba mjini alipokuwa akiwasili  kwenye viwanja vya Gymkhana mkoani Kagera,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. 
  Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. 

 Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 
  Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 Sehemu ya wafuasi wa chama CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni

SIKU YA TEMBO KITAIFA TAREHE 22.09.2015

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
                                   
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Maliasili na Utalii ikishirikiana na Shirika la Uhifadhi Duniani WWF ofisi ya Tanzania  kwa pamoja wanaadhimisha siku ya tembo kitaifa mwaka huu tarehe 22/9/2015,  kwa kujadili na wadau mbali mbali kuhusu kumuokoa mnyama Tembo kupitia vyombo vya habari hapa nchini. Kauli Mbiu ni ‘Wakati wa kuhifadhi tembo waliosalia ni sasa’

Malengo ya kuadhimisha siku ya Tembo kitaifa ni; kujenga uelewa na kuibua hamasa ya wananchi kuhusu uhifadhi wa tembo; kujadili kwa kina madhara ya ujangili wa Tembo katika nyanja za kijamii, kiikolojia, kiutamaduni na sekta ya utalii kwa jumla na kutoa mapendekezo na hatua za kuchukua kuzuia ujangili wa Tembo. 

Maadhimisho haya yanatokana na mkutano wa 15 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa kuzuia biashara ya Wanyamapori na viumbe walioko hatarini kutoweka 'Convention on International Trade in Endangered Species - CITES', uliofanyika mwaka 2010 katika mji wa Doha nchini Quatar. 

Nchi 37 zilizojaliwa kuwa na tembo barani Afrika zilikutana, na kupitisha mpango mkakati wa kuhifadhi tembo barani Afrika (African Elephant Action Plan-2010). Mwaka uliofuatia 2011 Tanzania ilianza kutekeleza mpango mkakati maalum wa uhifadhi wa Tembo (Tanzania Elephant Management Plan 2010-2015).

Tanzania inasifika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa wanyamapori barani Afrika na Ulimwenguni kote, ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na rasilimali nyingi asili. Katika kuhakikisha kuwa wanyamapori hususani Tembo wanalindwa, Tanzania imetenga zaidi ya asilimia 24 ya ardhi yake kwa ajili ya uhifadhi.

 Kipaumbele cha Mpango Mkakati wa uhifadhi ni pamoja na; kulinda shoroba za wanyamapori hususani Tembo; kupunguza migogoro kati ya wananchi na Tembo; kufanya tafiti za uhifadhi wa tembo na kushirikisha wadau mbalimbali katika kuhifadhi Tembo. Serikali imekua ikifanya shughuli za uhifadhi wa wanyamapori kwa kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za kiserikali, mashirika ya kimataifa kama WWF, taasisi zisizo za kiserikali, wafanyabiashara, taasisi za kidini na wananchi kwa ujumla. 

Naye mkurugenzi mkazi wa WWF Tanzania Dr. Amani Ngusaru amesema Tembo ana mchango mkubwa kiikolojia pamoja na kusaidia uwepo na ustawi wa viumbe wengine akiwemo binadamu.  

Kumekuwa na changamoto katika utekelezaji wa kazi ya kumlinda Tembo Ikiwemo  ujangili, ukame,  uhaba wa fedha, uchache wa watumishi na vitendea kazi, ushirikiano hafifu wa wadau katika uhifadhi wa wanyamapori; uchomaji moto misitu ambayo ni makazi ya wanyamapori; ubovu wa miundombinu katika maeneo yaliyohifadhiwa na matumizi haramu ya wanyamapori.

Katika kukabiliana na changamoto Wizara imepanga mikakati mbalimbali kupitia Mpango Mkakati wake 2013 – 2016. Mikakati hiyo ni pamoja na kuendelea kuajiri watumishi wapya, mwaka 2014 waliajiriwa askari wapya 430 na mwaka 2015 tunategemea kuajiri askari 500; kuongeza ushiriki wa wadau mbalimbali ikiwepo WWF na kushirikiana na nchi jirani (Cross border collaboration), kununua vitendea kazi; kutoa elimu ya uhifadhi kwa wananchi, kupunguza quota ya uwindaji wa Tembo kutoka 200 hadi 100; kutumia teknolojia ya kisasa kuthibiti ujangili, kuimarisha usimamizi wa rasilimali za wanyamapori kwa kufanya doria ndani na nje ya maeneo yaliyohifadhiwa. Vilevile, miundombinu, vitendea kazi na huduma zitaboreshwa kwa watumishi kwenye hifadhi za Taifa, mapori ya akiba na kikosi dhidi ya ujangili. 

Wizara ya Maliasili na Utalii katika kuadhimisha siku ya Tembo kitaifa ikishirikiana na WWF Tanzania zinatoa wito kwa raia wema kutoa taarifa  Makao Makuu ya Idara ya wanyamapori, Tanapa, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro, Mashirika ya kimataifa  na/au kwenye kituo cha Polisi kilicho karibu ili kufanikisha  kukamatwa kwa  majangili na wale wote wanaojihusisha na biashara haramu ya nyara,  hususan  meno ya tembo, pembe za faru, nyama ya pori na wanyamapori hai wakiwemo ndege, duma na nyani. Tushirikiane kuzuia uharibifu wa rasilimali zetu ili kulinda urithi wa dunia.
IMETOLEWA
NA
KATIBU MKUU


NYALANDU AZINDUA KAMPENI KATA YA MTINKO

$
0
0
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa bodaboda.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akisoma bango lenye ujumbe wa kumpongeza lililoandaliwa na wananchi wa Kata ya Mntiko, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake za ubunge.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakicheza kwa furaha wakati wakiwasili kuzindua kampeni zake za ubunge katika Kata ya Mtinko.
  MKE wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Faraja, akicheza na wanachama na wapenzi wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Singida Kaskazini, juzi.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, akihutubia umati wa wanachama na wakazi wa Kata ya Mtinko wakati uzinduzi wa kampeni zake, juzi.
 MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, mkewe Faraja na Mbunge mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, wakicheza muziki wa hamasa wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika Kata ya Mtinko, juzi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, akisalimia na mamia ya wanachama na wakazi wa Mtinko wakati alipozindua kampeni zake juzi, ambapo maelefu ya watu walijitokeza kumsikiliza

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani

$
0
0

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. 
Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. 
Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika viwanja vya Usagara Tanga Mjini leo. Idadi kubwa ya wananchi walihudhuria mkutano huo hadi wengine kuzimia kutokana na msongamano.

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. 
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Bi. Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni za CCM timu ya mgombea mweza iliyofanyika mkoani Tanga leo.
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live


Latest Images