Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46371 articles
Browse latest View live

WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA WAKIBADILISHANA MAWAZO NA KATIBU MKUU WA CCM MH ABDURAHAMANI KINANA

$
0
0

IMG_1053
Waziri Mkuu Mtaafu Mh. Edward Lowasa akiwa ana badilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahaman Kinana walipo kutana katika maeneo ya ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam hivi karibuni picha na Chris Mfinanga

DoubleTree by Hilton HAS PARTNERED WITH SOBER HOUSE WITH THE AIM TO EDUCATE THE CHILDREN OF ZANZIBAR ON DRUG AWARENESS AND PREVENTION.

$
0
0

First Vice-President of Zanzibar Seif Sharif Hamad, DoubleTree by Hilton Regional Director Mr.Judd Lehmann, Director of Sales, DoubleTree by Hilton Florenso Kirambata in a group photo with Sober House Members.

DoubleTree by Hilton Resort in Zanzibar announced their partnership with Sober House, a grass roots organisation in Zanzibar that supports the recovery of drug addicts and conducts community awareness and prevention.

DoubleTree by Hilton has partnered with Sober House with the aim to educate the children of Zanzibar on drug awareness and prevention. The Sober House volunteers (many former drug addicts) will visit schools every month for the next two years and facilitate a workshop that allows the children to learn about the facts and ask questions in a safe, supported space.

Each child will receive a booklet that features a comic written by the Sober House residence as well as factual information that was approved earlier this year during a workshop hosted by DoubleTree with the Ministry of Education, The Drug Commission of Zanzibar and representatives from The Ministry of Health.

Director of Sales, DoubleTree by Hilton Florenso Kirambata said Sober House Founder Members, Suleiman Mauly and Fatma Juma should be applauded for their dedication and efforts.
Added that we are proud to empower Sober House by building their capacity to make a larger impact in the community.

DoubleTree by Hilton Regional Director Mr Judd Lehmann insisted that “we hope that our campaign throughout schools will encourage the children to say NO to drugs because they understand the consequences.”

AJALI ya LORI ENEO LA WAMI

$
0
0

         HILO NI LORI LA MAFUTA LILILOKUWA HATARINI KUTUMBUKIA MTO WAMI.
HUO NI MSURURU WA MAGARI UKISUBIRI LORI HILO KUONDOLEWA DARAJANI WAMI
ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI PAMOJA NA WANANCHI WAKIANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI KULIONDOA LORI DARAJANI WAMI
ABIRIA WENGINE WAKAAMUA KUWA WATALII.PICHA ZOTE KWA HISANI YA MCHOME BLOG.

Zitto kabwe afunguka kuhusiana na ulipaji kodi wa makampuni ya simu.!

$
0
0

Serikali inasema kampuni za simu zinalipa kodi nyingi. Kodi gani? VAT! Nani kasema VAT inalipwa na kampuni? Hii Ni kodi ya walaji kama ilivyo ushuru wa bidhaa (excise duty). Serikali inasema kampuni za simu hazilipi kodi ya mapato Kwa kuwa zimewekeza sana, tshs 2.5 trilion! Nani kakagua huo uwekezaji? Eti Kwa miaka 5 kodi ya makampuni iliyolipwa Ni tshs 64bn, wastani wa tshs 12bn Kwa mwaka. Rwanda yenye idadi ya watu sawa na wateja wa Vodacom peke yake mwaka 2010 walikusanya corporate tax $14m, Tanzania ilikusanya $1.4m tu. Serikali iache blah blah, ikusanye kodi. TCRA ipewe Nguvu ya kukagua uwekezaji wa makampuni kama ilivyo TMAA kwenye madini. Inatosha sasa.# Mh Zitto Kabwe.

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AENDESHA HARAMBEE YA MFUKO WA UDHAMINI WA ELIMU YA JUU WA MWALIMU NYERERE

$
0
0

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa harambee hiyo. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana Aprili 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam. Katika Harambee hiyo zilikusanywa fedha taslimu  shilingi milioni 71 na ahadi ya fedha za Kitanzania shilingi milioni 658. 
 Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha moja ya Sarafu iliyopigwa mnada katika harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana Aprili 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam, ambayo ilinunuliwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginard Mengi kwa Sh. milioni 20. Kushoto ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa. Harambee hiyo ilifanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi wa BOT. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginard Mengi, baada ya kununua sarafu kwa Sh. milioni 20, wakati wa Harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam. .
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginard Mengi, baada ya kununua sarafu kwa Sh. milioni 20, wakati wa Harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
 Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi sarafu Dkt. Charles  Kimei, baada ya kuinunua sarafu hiyo kwa Sh. milioni 19 katika mnada wa Harambee ya Mfuko wa Udhamini wa Elimu ya Juu wa Mwalimu Nyerere, iliyofanyika jana April 8, 2013 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam.Picha na OMR. 

SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, MH. MARGARET NANTONGO ZZIWA AFUNGUA RASMI KITUO KIPYA CHA AFYA CHA AAR MKOA WA ARUSHA

$
0
0

 Hon. Zziwa cutting the ribon to officiate the opening of AAR health center in Arusha, her left is AAR Holding Board Chairman Mr. Frank Nnjenga
 AAR holding Board Chairman, Mr. Frank Njenga handling First aid kit Presnt to Hon, Zziwa during the launching of AAR Arusha Health Center
 Hon. Margaret Nntongwa Zziwa handling the East African community Flag to AAR Holding Board Chairman Mr. Frank Nnjenga during the launching of AAR Arusha Health Center.
 Hon Zziwa having a Medical examination of BMI and roundom Blood suger during the launching of AAR Arusha Health Center
 The Speaker of East AfricaN Legislative Assembly,East Africa Community,Hon. Margaret Nntongwa Zziwa giving her speech to all AAR Team and invitees during the launching of AAR Arusha Health Center

Hon. Margaret Zziwa signing the guest book during the launching of AAR Health center in Arusha
======== ==== =======
== ====== 
SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, MH. MARGARET NANTONGO ZZIWA KUFUNGUA RASMI KITUO KIPYA CHA AFYA CHA AAR MKOA WA ARUSHA .

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki  Mh. Margeret Nantongo Zziwa azindua rasmi kituo cha afya cha AAR Mkoani Arusha tarehe 8-4-2013. 

Kampuni ya AAR inamiliki vituo 22 vya afya katika nchi za Afrika ya Mashariki vikiwemo vituo vitatu nchini Tanzania  huku kukiwa na mpango endelevu wa kuongeza vituo vingine vitatu kabla ya mwisho wa mwaka 2013.

Akizungumza katika uzinduzi wa kituo hicho cha Afya, Spika  wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Zziwa alisema, “Mfumo wa huduma za afya unapaswa kuboreshwa na kuwa endelevu katika jumuiya ya Afrika Mashariki ili kurahisisha huduma za afya na kufikia malengo ya Milenia”.

Ufunguzi wa kituo cha Afya cha AAR Mkoani Arusha unalenga katika kutoa huduma bora na nafuu si tu kwa wakazi mkoa wa Arusha bali hata kwa wageni wa mkoa huu. Kituo hiki kina uwezo wa kuhudumia wagonjwa zaidi ya 100 kwa siku.

“Kilichofanywa na AAR siku ya leo ni mfano wa kuigwa na ni matumaini yangu sekta binafsi zitaendelea kuwekeza katika huduma ya afya ili kurahisisha katika utoaji wa huduma hizo kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine wa maendeleo.” Alieleza Mhe. Zziwa

Sherehe ya Uzinduzi wa kituo hicho cha afya ulihudhuriwa na watu muhimu wenye mchango mkubwa katika kuendeleza sekta ya afya nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla , baadhi yao ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dr. Maryamu Murtadha, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magessa Mulongo na wawakilishi wa ECSA (East, Central and Southern Africa Community).

Kituo cha afya cha AAR Arusha  kiko barabara ya Phillips-Impala.

MUUNGANO DAY - LUTON - UINGEREZA.

ABG appoints Janet Reuben-Lekashingo Organizational Effectiveness Directo

$
0
0

AFRICAN Barrick Gold (ABG) has appointed Janet Reuben-Lekashingo as the Organizational Effectiveness Director of ABG.
 
Janet assumed her position effectively from 1 April, 2013, making her one of the most senior Tanzanians in the mining company.

Her main duties will be to work with the team to lead evolution of the human resources function to Employee Effectiveness Management, ensuring that ABG has all organizational conditions required to  utilise the available workforce at their full potential and effectively ensure all the control mechanisms for monitoring the effectiveness of the employee utilisation are in place.
 
Her last appointment in ABG was Corporate Human Resources Manager, where her main responsibilities included Talent Management and Learning & Development and advising ABG's mine sites on Human Resources related processes.
 
Janet joined ABG as the Human Resources Manager for the Dar es Salaam office and working with specific projects with the mine sites in October 2008. She has worked in different capacities within the Human Resources Function in the company.
 
Prior to joining ABG, she was the Human Resources Manager for AngloGold Ashanti’s Geita Gold Mine where she started her mining industry career after spending 5 years in the aviation industry.
 
Janet has a Masters Degree in Arts from the University of Dar es Salaam and a Post Graduate Diploma in Management from the Graduate School of Business at the University of Cape Town.
 
She is a member of the Society for Human Resource Management (SHRM) as well as an affiliate member of the Chartered Institute of Personnel and Development (CIPD).
 
Janet was a Board member of the Association of Tanzanian Employers (ATE) for the past six years and is currently a Board Member of the Tanzanian Wage Board.
 

KAMPENI YA KUWEKA JIJI SAFI YA GREEN WASTE PRO YAKABILIWA NA CHANGAMOTO NYINGI.

$
0
0
Baadhi ya Dust bin zinazomilikiwa na kampuni ya Green Waste Pro ltd. zilizowekwa katika baadhi ya mitaa ya Manispaa ya Ilala ambazo pia mteja yoyote anapohitaji huuzwa.

Na.Ripota wetu.

Wananchi wa jiji la Dar es Salaam hususan wakazi wa manispaa ya Ilala wametakiwa kutambua kuwa suala la usafi na kutunza mazingira ni jukumu la watu wote na sio tu la kampuni zilizopewa kandarasi ya kukusanya taka.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Afisa Habari wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro ltd iliyopewa dhamana ya kufanya usafi katika manispaa ya Ilala Vidah Fammie amesema katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku wanakabiliana na changamoto nyingi zikiwemo watu kutochangia katika ulipaji wa ada ya taka na pia kutolipa kwa muda muafaka.

Akiendelea kuzitaja changamoto hizo amesema pia wangependa wananchi watambua kuwa suala la dust bin, watu wamekuwa wakielewa vibaya kuwa wao ndio wanaopaswa kuzimbaza jambo ambalo sio kweli, kampuni ya usafi ya Green Waste Pro wanaziuza na hawamlazimishi mteja wao yeyote kununua, ila anaruhusiwa kununua pale anapopenda, na kuwa zile dust bin zinazowekwa mitaani wao wanapata usaidizi kutoka manispaa.

Pia ameshauri kwa wale ambao hawana dust bin watumie mifuko maalum ya kuweka taka na gari litakapopita litachukuwa kama ulivyo utaratibu wa suala la usafi. Bi. Vidah Fammie ameongeza kuwa tatizo jingine wanalokabiliana nalo ni suala la upeo mdogo wa wananchi kuhusu suala la usafi.

Mwandishi wa habari hizi alipotaka ufafanuzi kuhusu suala hilo, amesema inaonekana wapo wananchi wanaoelewa suala zima la usafi lakini wanapuuzia na kuna wale wasio elewa kabisa hivyo mtu akiwa na taka anatupa tu kwa kuwa anajua kuna mkandarasi wa kufanya usafi kitu ambacho si sawa.

Kingine amesema ni miundo mbinu mibovu na hali ya hewa hivyo wakati mwingine kwa mfano gari maalum la kusafisha barabara linashindwa kufika hivyo inabidi kutumika nguvu za ziada kama vile vibajaji na vitu vingine.

Uhuru kenyatta aapishwa leo kuwa rais wa awamu ya nne nchini kenya.

$
0
0
Rais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta akiwapungia maelfu ya watu waliofika kushuhudia kuapishwa kwake, mapema leo kwenye sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Kasarani,jijini Nairobi Sherehe hizo zimehudhuriwa na Marais kutoka nchi mbalimbali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Jakaya Mrisho Kikwete,Mabalozi mbalimbali na watu mbalimbali.Picha zote kwa hisani ya Mike Kariuki wa Capital FM.
Rais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta akisoma hotuba yake mbele ya maelfu ya watu waliofika kushuhudia kuapishwa kwake, mapema leo kwenye sherehe iliyofanyika ndani ya uwanja wa Kasarani,Sherehe hizo zimehudhuriwa na Marais wa nchi mbalimbali ambapo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Jakaya Mrisho Kikwete amehudhuria.
 Rais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta
Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Makamu wake William Ruto.
 Rais Uhuru Kenyatta akila kiapo cha Urais,kuwa rais wa awamu ya nne nchini Kenya,kwenye sherehe zilizofana kwa kiasi kikubwa ndani ya uwanja wa kasalani.
 Rais wa Uganda,Mh Yoweri Kaguta Museven akisoma hotuba yake fupi wakati wa kuapishwa kwa Rais wa awamu ya nne nchini Kenya,kwenye sherehe zilizofanyika ndani ya uwanja wa Kasalani,jijini Nairobi.

Kwa mara ya kwanza Tanzania wanafunzi wa shule za sekondari wataweza kusoma na kubadilishana ujuzi katika masomo mbalimbali kwa kutumia mtandao wa kompyuta.

$
0
0

Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo alizindua tovuti hiyo  ya shuledirect.co.tz na kusema kuwa itakuwa msdaada mkubwa kwa wanafunzi ili kuweza kuwasaidia kufanya vizuri katika mitihani yao.
Aliwapongeza wabunifu wa mradi huo kuwa wameonyesha uzalendo katika kukuza elimu nchini na kuwataka watanzania wengine kuwa wabunifu ili kuweza kusaidia jitihada za serikali katika kuboresha elimu nchini kuliko kulaumiana.
Mulugo alisema kama hakutakuwa na ushirikiano wa karibu kati ya wanafunzi, walimu na wazazi elimu yetu itazidi kudorora huku kila mtu akimnyooshea kidole mwenzake “Eti jamani hata kama tutajaza vitabu mashuleni halafu mzazi akashindwa kumpa mwanafunzi chakula akashiba utategemea ataweza kusoma?” alihoji
Pia aliziomba taasisi za kidini ,kiraia,wadau wa elimu,wanaharakati,waandishi wa habari na wote wenye mapenzi mema kuisaidia serikali katika kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini na kuwapongeza waanzilishi wa tovuti hiyo kwa kuleta fursa mpya katika elimu na kukidhi changamoto zinazoikabili sekta hiyo.
Mwanzilishi wa tovuti hiyo Faraja Nyalandu alisema alisema tovuti hiyo itakuwa na manufaa kwa wanafunzi wa Tanzania kwani masomo yanayotolewa yanaadaliwa na walimu wazoefu wenye elimu za shahada hivyo wanafunzi watakapotumia tovuti hiyo watapata manufaa makubwa.
“Napenda kutoa changamoto kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia, wadau wa elimu wanaharakati na vyombo vya habari na wote wenye mapenzi mema kusaidiana na serikali katika kutoa chnagamoto sekta ya elimu nchini hususan katika karne hii ya sayansi nateknolojia” alisema Faraja.
Aliomba mitandao isitumike kubomoa maadili na kujadili mambo yasiyo na tija kwatika jamii na kuwa Tehama itumike kama ilivyo kwingine ulimwenguni kukabiliamana ana changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa kiuchumi na Sayansi na teknolojia.

Jeshi la Polisi lakabidhiwa vifaa maalum vya kupima ulevi kwa madareva kutoka SUMATRA

$
0
0

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga) na Viongozi mbalimbali wa Sumatra wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima (kulia) akimkabidhi “vipima ulevi” Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema akimkabidhi “Vipima ulevi” Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania – SACP. Mohammed R. Mpinga, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP. Said Mwema akitoa hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima akisoma hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi na washiriki mbalimbali wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Washiriki mbalimbali wakishuhudia makabidhiano ya “vipima ulevi” wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Mabango elimishi ya Sumatra na la Jeshi la Polisi yaliyoonyeshwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.

Article 18

Exim Bank beats KCB Bank 4-3 in friendly

$
0
0

Exim Bank Tanzania’s ‘Innovation Team’ football team poses for a group photo shortly before playing a friendly match with KCB Bank. Exim bank beat KCB 4-3 .
=================  ============
Exim Bank beats KCB Bank 4-3 in friendly

By Staff Reporter

EXIM Bank Tanzania’s football team ‘Innovation Team’ has persisted on the winning trend by beating  KCB 4-3 during a friendly match played at Don Bosco playing grounds in Dar es Salaam on Monday evening. Exim Bank exempted an impressive performance in the first half scoring two goals during the first half courtesy of Ally Sumar and Norbert Misana in the 15th and 41st minutes respectively.

KCB tried to get a consolation goal before the end of the first half but this was not possible because of Exim Bank’s solid defense and by the end of the first half, KCB Bank was two goals down. KCB Bank managed to score its first and second goal through Raymond Bunyinyiga in the 50th and 60th minutes thanks to team work that was exhibited by the team.

Exim Bank however made a comeback into the game scoring its third game in the 64th minute through Stephen Kimei putting Exim Bank into the lead again but KCB got its third goal third goal following an own goal by Exim Bank FC following a blunder made by the Exim Bank defense in the 76th minute.
Exim Bank however managed to score its fourth and winning goal through Lusajo Adam in the 85th minute and by the end of the final whistle, Exim Bank emerged winners.

Speaking after the final whistle, the Exim Bank Innovation Team captain Fadhil Seleman attributed his team’s win to team spirit and vigorous training undertaken by his team. “We always take routine trainings to ensure that we are always physically fit. We played as a team so we deserved to win.

“Our good performance is backed by the support accorded by the bank’s management because it understands the importance of sports in people’s daily lives. With this support, we will always continue to win any bank that will come our way,” he added.

hii ni kwaWadau wa Filamu Tanzania.!

$
0
0

Toka ZIFF imeitisha upokeaji wa filamu kwaajili ya Tamasha la 16 la Nchi za Jahazi mnamo Septemba 2012 na kuweka mwisho wa kupokea 31 Machi 2013 kumekua na upokeaji mdogo sana wa filamu toka Tanzania, tofauti na nje ambapo mpaka sasa tumepokea filamu zaidi ya 200 kwaajili ya uchaguzi wa jumla (General Selection).

Filamu za Tanzania ambazo tumepokea mpaka sasa hazi zidi 5 ukijumla na zile zinazoingia katika uchaguzi wa jumla (General Selection) na zile kwajili ya Swahili Movie/Bongo Movie competition. Tukumbuke filam hivi ndio zitatoa Filamu Bora ya Kitanzania na pia kugombea Filamu Bora ya Afrika Mashariki na maeneo mengine (Categories). Tumekuwa wavivu wa kusoma websites, Blogs na hata magazeti kwa kutegemea kupata taarifa za mdomo au taarifa kwa mtu mmoja mmoja ili kujua nini kinaendelea, jambo ambalo si sahihi, tujifunze kupitia vyombo vya habari ili tupate habari kwa wakati muafaka.

Hivyo basi natoa nafasi mpaka tarehe 15 Aprili, 2013 filamu zote za Kitanzania ziwe zimetumwa ZIFF au kupatiwa Ndugu Ibrahim Mitawi (Outreach Officer) - Dar es Salaam (0713-300997) au Mohamed (Film Coordinator) - Zanzibar (0718115468).

Nimatumaini yangu mtaitumia hii nafasi ipasavyo

---------------------------------------------------------------------------
Regards

Daniel Nyalusi
Festival Manager
16TH ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL (ZIFF)
29TH JUNE - 7TH JULY, 2013


binti huyu wa miaka 22 ndiye aliyeandika hotuba za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya !

$
0
0

Wakati hapa kwetu Tanzania aka "Bongo" yaani "Bongo Tambarare" tunalalamikia.

kushuka kwa kiwango cha elimu, jirani zetu Kenya au watani wa jadi watoto wao ndio wana mafanya kweli katika elimu na kuvuna wanachopanda! 
mfano hai ni huyu msichana Julie Wang'ombe miaka 22,ndiye aliyezi andika hotuba za kampeni za Rais Mteule Mhe.Uhuru Kenyatta,na hotuba hizo zikawa ndio dira ya ushindi wa rais huyo.

Hapa kwetu Tanzania tuna kilio na matanga ya  kushuka kwa kiwango cha
Elimu ayatakwisha, kama hatua za haraka azitochukuliwa kwa kuipa pumzi za uhai sekta ya elimu, kila siku hitakua tia maji tia maji.

Kuna haja kubwa ya kurudi nyuma na kukaa vikao hili kutafakari wapi ?tulipoteleza hadi kufikia msiba huu wa Elimu. Vipi kweli ? nalo hili la kushuka kwa kiwango cha elimu lina hitaji kupiga ramli au kwenda kwa waganga wa jadi kuangilia nani? mchawi wa Elimu yetu.

 Nani  asiyetetujua watanzania tulivyokua mabingwa wa kuishi kwa Mithali na kugeuza geuza maneno ! hivi katika kilio hiki  cha "ELIMU" nacho tugeuke wasanii wa kugeuza maneno maneno kwa kuukwepa ukweli?

Maana tukiendelea kuutupia kisogo ukweli huu wa kushuka kwa kiwango cha elimu hipo siku tunawakuta watoto wetu wakiwa wapagazi katika ardhi yao wenyewe Tanzania kwa ukosefu wa elimu,na pia tutashindwa hata katika soko la ajira la jumuyia za kiafrika.

KUNA HAJA YA KUJIPANGA NA KUANZA UPYA KAMPENI YA ENZI ZILE ZA KUFUTA UJINGA, ni vema tuanze sasa kujikosoa kuliko kuishi kwa misemo ya jijini Dar ! oh ! One day Yes! lini? Oh ! no sweat ! One day Yes.

KUMBUKUMBU YA SARAH NELSON MAKINDA

$
0
0

Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu MHU 3:1

Ni mwaka mmoja leo tangu uitwe nyumbani Ingawa tupo mbali na wewe, lakini  umetutoka kimwili tu, kiroho tuko na wewe. Bado tunakumbuka kauli zako, ushauri wako katika familia yako uliyoiacha katika wasiwasi mkubwa. Tumelia sana, Tumeumia sana lakini yote ni mapenzi ya Mungu

Kazi ya Mungu haina makosa, lakini kwetu ni majonzi makubwa.
Kama binadamu tungekuwa na uwezo wa kukata rufaa ya kifo, hakika nasi tungekata rufaa mbele ya Mungu ili turudishiwe  Dada /mama yetu kipenzi, SARAH NELSON MAKINDA, na kuendelea kuishi pamoja nae hapaduniani.

Picha na mtiririko wa maisha yako ni ushahidi kuwa wewe ulikuwa dada/mama bora kwetu, huku tukiamini Mungu muweza na muumba wa yote ataitumia fursa hiyo kama sehemu ya kukulaza mahali pema kwa unyenyekevuwako.

Suala zima la kifo, linaashiria kuwa ni sehemu ya mpito katika maisha ya duniani. Vitabu vyote vya dini vimekitaja kifo kuwa hakuna kiumbe ambaye anaweza kuvuka bila kupitia katika hatua hiyo, hivyo tunatumia nafasi hii kukuombea mwanga na raha ya milele akuangazie na ulale mahali pema peponi.


Unakumbukwa sana na mtoto wako mpedwa Emaculata Mwasakyeni,baba yako mzee Nelson Makinda,dada yako Wende,wadogo zako Richard,Mariam.Daniel na Elizabeth,shemeji zako Joseph Mwigune,Geofrey Mlagha na Michael Mbwambo,wifi zako StahimilMsigwa,mama Emmy,mama Jackline na mama Mwasakyeni,familia yote ya  Makinda,Magehema,Mwasakyeni na ndugu jamaa na marafiki.

Mh. Lowassa atoa msaada wa sh. mil. 5 kwa Baraza la Misikiti Tanzania

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi msaada wa shilingi mil. 5 kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA),Sheikh Salum Sung'he kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi wa BAMITA katika kutoa Elimu kwa Jamii juu ya kupunguza maambukizi ya Ukimwi na Kudhibiti Mimba kabla ya Ndoa.Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA),Alhaj Juma Swalehe.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) wakati wa kukabidhi msaada wa sh. mil 5 kwa Viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzana,katika makabidhiano yaliyofanyika leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA),Alhaj Juma Swalehe (kushoto) na Sheikh Salum Sung'he waliofika ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kupokea msaada wa shilingi mil. 5 kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi wa BAMITA katika kutoa Elimu kwa Jamii juu ya kupunguza maambukizi ya Ukimwi na Kudhibiti Mimba kabla ya Ndoa.
Katibu Mkuu wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA) ,Sheikh Salum Sung'he akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) wakati akitoa shukrani zake kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa,mara baada ya kuwakabidhi msaada wa shilingi mil. 5 kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi wa BAMITA katika kutoa Elimu kwa Jamii juu ya kupunguza maambukizi ya Ukimwi na Kudhibiti Mimba kabla ya Ndoa.Makabidhiano hayo yamefanyika leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA),Alhaj Juma Swalehe.
Katibu Mkuu wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA) ,Sheikh Salum Sung'he akikabidhi kwa Mh. Lowassa barua ya shukrani kutoka Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA).Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA),Alhaj Juma Swalehe.

FILAMU YA LOVE AND POWER YA KANUMBA KUINGIA MTAANI RASMI IJUMAA TAREHE 12th APRIL 2013.

$
0
0

Pichani kati ni mratibu wa filamu ya Love & Power Bwana Myovela Mfwaisa akizungumza na Wanahabari Mapema leo jijini dar.

Dar es Salaam, 10th April 2013

Imetayarishwa na Kanumba the Great Film , ikiongozwa na Steven C. Kanumba imeandikwa na  Ally Yakuti.


Ile filamu ya Love & Power ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa filamu hatimaye mwisho wa wiki hii siku ya Ijumaa tarehe 12th April 2013 itazinduliwa na kuingia sokoni rasmi na kusambazwa nchi nzima na kampuni ya mahiri ya usambazaji wa filamu ya Steps Entertainment Ltd.


Akizingumza na waandishi wa wanahabari mratibu wa filamu ya Love & Power Bwana Myovela Mfwaisa amesema kuwa  “Filamu ya Love & Power  ni filamu ya mwisho kutengenezwa na marehemu The Great Kanumba  inaingia sokoni na kuwafikia watanzania wote siku ya ijumaa,”


Hivyo basi hii itakuwa fursa pekee kwa wa tasnia ya filamu na watanzania wote kwa ujumla na kuweza kujionea kazi bora iliyotengenezwa na gwiji la filamu na balozi aliyetangaza tasnia ya filamu ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania, kila mpenzi wa filamu aweke ahadi kutokuikosa filamu bora na ya mwisho kuigizwa na marehemu nyota wa filamu Tanzania.


Akizungumzia kwa ufupi juu ya filamu ya Love & Power Bwana Myovela, “Filamu ya Love & Power imetengenezwa na kampuni ya Kanumba the Great film kwa kushirikia na Steps Entertainment Ltd ikiwa imeandikwa na Ally Yakuti, Filamu ya Love & Power imeshirikisha wasanii nyota katika tasnia ya Filamu Tanzania kama Hussein Mkiety ‘Sharomilionea’, Irene Paul, Patcho Mwamba, Grace Mapunda, Hartman, Rammy Galis pamoja Seth Bosco ambaye ni mdogo wake na marehemu  kuongozwa na Steven Kanumba, Watayarishaji wakuu ni Steps Entertainment Ltd imetengenezwa hapa jijini Dar es Salaam katika maeneo  tofauti tofauti.


Lugha iliyotumika katika filamu hiyo ni Kiswahili lakini pia Lugha ya kiingereza imetumika  kama ‘Subtitles’. Umri wa kutazama filamu ya Love & Power ni miaka 16 ni filamu nzuri inayotazamwa na watoto pamoja na familia, iliyopewa kibali cha ukaguzi  Kutoka Bodi ya ukaguzi wa filamu na michezo ya kuigiza Tanzania.


Katika kuhakikisha kuwa wasanii wanafaidika na kazi zao tunaomba kila mdau wa filamu awe mlinzi wa kazi hizi za filamu za kitanzania kwa kupambana na Maharamia wa kazi za Wasanii wa filamu, pia tunawaomba wapenzi wa filamu kununua nakala halali yenye nembo ya Steps Entertainment Ltd, hiyo itachochea maslahi kwa wasanii wa Tanzania na kuongeza ajira kwa vijana ili kufikia hilo nunua filamu ya Love & Power halali.


Unaweza kupata filamu ya Love & Power kwa kuwasiliana na Wasambazaji kwa namba hizi:  0716 788 805, 0713 570 581

Asanteni.



WAKE WA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI TANZANIA WAWATAKA WANAWAKE WABUNIFU KUIGA MFANO WA ENJIPAI

$
0
0
Mke wa Balozi wa Japani nchini Tanzania Bi. Keiko Okada (kulia) akimtambulisha aliyewahi kuwa Miss Tanzania (2008) ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Duka la bidhaa za Kiutamaduni zinazotengenezwa kwa Mikono na wanawake wa Kimasai - ENJIPAI Nasreen Karim aliyepata fursa ya kuonyesha kazi za mikono zinazotengenezwa na wanawake wa Kimasai walioko katika kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa duka la ENJIPAI Nasreen Karim (wa pili kulia) lilipo barabara ya Kaunda Drive Oysterbay jijini Dar es Salaam akielezea namna anavyofanya kazi zake za ubunifu wa bidhaa za shanga na kinamama wa Kimasai.
Mwenyekiti wa kundi la wake wa mabalozi nchini (DSG) Juliana Parroni akifungua mkutano wa wake wa mabalozi nchini "Coffee meeting" uliyofanyika katika ukumbi wa Synergy Grill Oysterbay jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog)



Sehemu ya wake wa Mabalozi nchini na wageni waalikwa wakipiga makofi baada ya kusikia Utambulisho wa kazi anazofanya Nasreen Karim Mkurugenzi Mkuu wa Duka la ENJIPAI.
Picha juu na chini wake wa mabalozi nchini katika Coffee meeting yao.
Nasreen Karim akizungumza na mmoja wa wageni waalikwa kutoka Umoja wa Ulaya.
Nasreen Karim akimvisha moja ya bidhaa za Shanga mmoja wa wageni waalikwa kutoka World Bank Bi. Sharon Mitchell aliyetokea kuvutiwa na kazi za mikono ya kinamama wa Kimasai wa duka la ENJIPAI.
Mkurugenzi Mkuu wa Duka la ENJIPAI Nasreen Karim akimvisha mkufu wa shanga mmoja wa wake wa mabalozi wakati wa maonyesho ya bidhaa zake kwenye Coffee meeting ya wake wa mabalozi nchini.
Mke wa Balozi wa Nigeria Bi. Naomi Majnabu (kushoto) na Mke wa Balozi wa Rwanda nchini Bi. Mary Rugangazi (katikati) wakimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa duka la ENJIPAI Nasreen Karim kwa kazi nzuri ya ujasiriamali anayofanya.
Nasreen Karim akifurahi jambo na Mke wa Balozi wa Misri wakati wa maonyesho ya bidhaa za duka la ENJIPAI yakiendelea.
Nasreen Karim katika picha ya kumbukumbu na wageni waalikwa.
Mkurugenzi Mkuu wa duka la ENJIPAI Nasreen Karim katika picha ya pamoja na baadhi ya kinamama wa Kimasai anaofanya nao kazi za kutengeneza bidhaa za shanga mara baada ya maonyesho hayo wakati wa Coffee meeting ya wake wa mabalozi.

Na. Ripot wetu.

Wanawake wajasiria mali haswa wa fani ya vifaa vya urembo vya asili kama vile mikufu ya shanga na vinginevyo nchini Tanzania wametakiwa kujitangaza zaidi kimataifa kwa kushiriki maonyesho mbalimbali ili kuonyesha uwezo wao.

Akitoa rai hiyo wakati akimtambulisha kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya inayotengeneza bidhaa hizo ya Enjipai Bi. Nasreen Karim kwa niaba ya wake wa mabalozi hao, Mke wa Balozi wa Japan hapa Tanzania Keiko Okada amesema bidhaa hizo zinazo tengenezwa kwa shanga zinapendwa na zinahitaji kutangazwa kimataifa.

Wake wa mabalozi hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa mikutano yao ya kila mwezi maarufu kama ‘Coffe Meeting’, kuzungumzia miradi wanayoifanya ambapo kila wakati huwa wanaalika wajasiria mali tofauti na kwa wakati huu wamealika kampuni iliyokusanya akimama wa kimasai wanaotengeneza bidhaa tofauti za shanga ya’Enjipai’.

Enjipai ni kikundi kilichoanzishwa miaka miwili iliyopita chini ya Bi. Nasreen Karim na leo kupata mualiko kutoka kwa wake za mabalozi kuonyesha bidhaa wanazozitengeneza..
Akizungumza Mimi niko Nasreen Karim kama unavyojua kazi zetu ni kwa wawezesha wanawake kwa namna hiyo hivyo nitazungumza na wageni hawa kuwaonyesha bidhaa zetu na baadae tukimaliza watatambua wapi tunataka kuelekea na kudhibitisha kuwa tukiwezeshwa tunaweza.
 
Viewing all 46371 articles
Browse latest View live




Latest Images