Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Karibuni Jamvini Wanajamii

older | 1 | .... | 609 | 610 | (Page 611) | 612 | 613 | .... | 1898 | newer

  0 0

  Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa. 
  Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya (mbele) akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa. Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya (mbele) akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 Sustainable Development Agenda'. Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 Sustainable Development Agenda.Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai. Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai.Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai. Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai.Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai. Baazi ya washiriki wa semina hiyo kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 wakifuatilia mada anuai.Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akijibu maswali ya washiriki semina hiyo. Kulia ni Ofisa Uchumi, Andrew Aloyce kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akijibu maswali ya washiriki semina hiyo. Kulia ni Ofisa Uchumi, Andrew Aloyce kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.Mwakilishi kutoka UN Women, Bi. Usu Mallya akiwasilisha mada yake katika semina hiyo kwa washiriki. Mwakilishi kutoka UN Women, Bi. Usu Mallya akiwasilisha mada yake katika semina hiyo kwa washiriki.

  ACTIONAid kwa kushirikiana na taasisi ya Landesa imekutanisha wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 Sustainable Development Agenda' yanayotarajiwa kutekelezwa kwa nchi zilizokubaliana. Akiwasilisha mada Ofisa Uchumi, Andrew Aloyce kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango alisema serikali imejipanga vema katika kutekeleza malengo mapya 17 ya Milenia yaliyopendekezwa ikiwa ni pamoja na kushirikisha asasi za kijamii na wananchi katika kuyatekeleza kila mmoja na nafasi yake.

   Alisema licha ya malengo ya sasa ya milenia kuwa mengi tofauti na yaliyopita lakini utekelezaji wake kwa kila moja unategemeana huku yakiwa yamechambuliwa zaidi pamoja na kuingizwa kwenye mipango ya maendeleo katika utekelezaji wake jambo ambalo litachangia mafanikio kwenye utekelezaji wa kila lengo. "...Malengo mapya ni mengi lakini ukisoma kwa undani kila lengo linaingiliana na lingine, hakuna linalosimama peke yake...na pia ya sasa yamechambuliwa zaidi," alifafanua Aloyce akifafanua zaidi baada ya wanasemina kuonesha hofu ya utekelezwaji wa malengo mapya kutokana na wingi wake.

   Alisema Serikali inaendelea kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi ili kushiriki kiufasaha katika utekelezaji wake, kwani kila mwananchi wakiwemo wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara kila mmoja ananafasi yake katika kufanikisha malengo hayo. Aidha aliongeza licha ya kutofanikiwa vizuri kwa malengo yaliyopita lakini yapo baadhi ya maeneo nchi ilifanya vizuri sana hasa kwenye elimu na kupunguza umasikini kwa jamii. 

  Alisema maeneo ambayo yalikuwa na changamoto kubwa ni katika malengo yaliyogusa upunguzaji vifo vya akinamama wajawazito pamoja na vifo vya watoto chini ya miaka mitano. Kwa upande wake, Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada juu ya haki za wanawake katika suala zima la umiliki wa ardhi nchini alisema migogoro mingi ya ardhi bado inachangiwa na jamii kutokuwa na utamaduni wa kuandika usia kabla ya kifo. 

  Alisema suala la kujenga utamaduni wa kuandika usia ni jambo la msingi ambalo linapaswa kuzingatiwa ili kupunguza migogoro ndani ya familia, kwani kufanya hivyo mapema hakuna uhusiano na kukaribia kufa. Alibainisha kuwa watu wengi hawapendi kuandika usia mapema na wengine hudhani kuandika usia basi umekaribia kufa jambo ambalo si kweli. Alisema kwa sasa Serikali imejitahidi kujenga usawa kati ya wanawake na wanaume katika umiliki ardhi lakini changamoto iliyopo bado akinamama wengi wanaofanikiwa kupewa ardhi wamekuwa hawaiendelezi na kungoja kuiuza hapo baadaye. 

  Alisema taratibu zote zipo wazi na pale inapotakiwa kundi hilo kupewa ardhi hupata bila vikwazo vyovyote tofauti na ilivyokuwa huko nyuma. Awali mwakilishi wa taasisi ya Landesa linalofanya kazi kwa ushirikiano na ActionAid alisema shirika hilo limekuwa likiwajengea uwezo jamii hasa makundi ya wanawake ili kuweza kupigania haki anuai za msingi kwao pamoja na kusaidia kutatua changamoto mbalimbali dhidi yao. Pamoja na kusaidi kampeni za usawa wa umiliki ardhi katika maeneo mbalimbali. *Imeandaliwa na www.thehabari.com

  0 0

  SIMUTV: Mbowe adaiwa kuuza chama bei chee, fahamu mengi kuhusu hili na mengine mengi kupitia dondoo za magazeti hapa Simu.tv . https://youtu.be/4sKlAHoa_QM   
  SIMUTV: Daktari feki atibu watu 20,abainika kuwa na elimu ya darasa la saba,fuatilia hili na mengine mengi kupitia Uchambuzi wa magazeti ya leo ; https://youtu.be/dnRNQ0D1Iqs
  SIMUTV: Jeshi la wananchi  Tanzania JWTZ lawaonya wanasiasa nchini. Ni moja kati ya habari zilizopewa kipaumbele magazetini leo; Bofya hapa; https://youtu.be/U2_lcOA7Uc0 
  SIMUTV: Shaaban Kisiga atamba kuirejesha shooting ligi kuu.Pata habari motomoto  za michezo   katika magazeti ya leo hapa Simu.tv; https://youtu.be/RAu00vxOU5E

  0 0

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC
  Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London
  MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wana Diaspora wa London na Maputo
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Disapora kutoka kampuni ya simu 
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa na mdau
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Mdau wa Diaspora akichukua taswira ya hafla
  Rais Kikwete akihutubia wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  wakimsikiliza Rais Kikwete katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
  Rais Kikwete akisisitiza umuhimu wa wana Diaspora kuwekeza nyumbani
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
  Rais Kikwete akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, baada ya hotuba
  Rais Kikwete akitoa hati kwamwakilishi wa kampuni ya HUWAWEI ambao ni  wadhamini wa hafla hiyo
  Hati kwa mdau mdhmini
  Hati ya udhamini kwa PPF inayopokewa na Bi Lulu

  Hati ya udhamini kwa NIC
  Hati kwa mdau
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa Mamlaka ya Bandari
  Hati kwa Shirika la Nyumba
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa Azania Bank
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa mdhamini toka Coca Cola
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa mdhamini toka Clouds FM
  Hati kwa mdhamini
  Hati kwa mdhamini Mkuu
  Hati kwa mdhamini mkuu
  Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu
  Salamu toka kwa mdau kijana toka China
  Peter Msechu na bendi yake jukwaani
  Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions
  Wanamitindo wa Fabak Fashions
  Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo
  Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake
  Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau

  Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
  Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
  Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
  Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora

  0 0


  0 0

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa wakifanyia Ibada ya kimila na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa akipokea rungu maalum ikiwa ni ishara ya Uongozi, kutoka kwa Mzee Nyinyajwangwa Laiza, mara baada ya Ibada ya kimila na Wazee (Malaigwanani) ya Kimasai, wakati wa Mkutano wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
  Mzee wa Kimasai (Laigwanani), Mzee Naftar Samson Mollel akiongoza ibada ya kimila na kumtambulisha rasmi kwenye ukoo, Mgombea Mwenza wa Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Dkt. Juma Haji Duni ambaye sasa anaitwa Juma Duni Ole Laiza.
  Muasisi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Edwin Mtei akizungumza na maelfu ya wananchi wa Jiji la Arusha, wakati akimtambulisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama hicho, Mh. Edward Lowassa, wakati wa Mkutano wa kutafuta udhamini wa Tume ya Uchaguzi na kutambulishwa kwa Mgombea huyo na Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kimandolu, leo Agosti 15, 2015.
  Muasisi Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Edwin Mtei akipena mkono na Mgombea Mwenza wa Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Dkt. Juma Haji Duni.

  Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mh. Godbless Lema akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,pamoja na kutambulishwa kwa wananchi, uliofanyika Agosti 15, 2015, kwenye Uwanja wa Kimandolu, Jijini Arusha.
   Mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, akihutubia wananchi.

  0 0

   Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.
   Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza akiongozwa na Kamanda wa Gwaride. Sherehe hizo zimefanyika leo Agosti 15, 2015 katika Chuo cha Magereza Kiwira, Mbeya.
   Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akitoa cheti cha sifa kwa Mwanafunzi Mhitimu wa Mafunzo hayo, Wdr. Raymond Mgosso ambaye amefanya vizuri masomo ya Darasani(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja.
   Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akiwa jukwaani akifuatilia  kwa makini Onesho Maalum la zoezi la kujihami(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja.
   Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la kwanza likipita mbele ya Jukwaa kutoa heshima kwa Mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka.
   Askari wa Kike ambao wamehitimu Mafunzo hayo wakionesha zoezi la kujihami(Self Defence).
   Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa makini hafla ya kufunga Mafunzo hayo ya Uongozi. 
  Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza(wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil(wa tatu kulia) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(wa tatu kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro(wa kwanza kulia) ni Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Sylivester Ambokile(wa kwanza kushoto) ni Kamishna wa Utawala na Fedha, Gaston Sanga(wa pili kushoto) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza.

  0 0

  Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi nyaraka za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini Dar es Salaam.

  0 0

   Rais wa VICOBA Endelevu, Devota Likokola, (Watatu kushoto), akinyanyua juu, mfano wa ATM kadi ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo itakayotumiwa na wanachama wa VICOBA Endelevu kota nchini. Uzinduzi huo ulifanyika leo Agosti 15, 2015 kwenye bustani ya kumbukumbu ya mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

   Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, Mwenyekiti wa Bodi wa Wadhamini ya Benki hiyo, Profesa Lettic Rutashobya, na Katimu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezweshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, Beng’ Issa.(Picha na Habari na K-VIS MEDIA)

  BENKI ya Posta Tanzania, TPB, imezindua rasmi kadi maalum ya ATM kwa ajili ya wanachama wa kikundi cha, VICOBA Endelevu.

  Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika kwenye bustani ya kumbukumbu ya Mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2015, ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TPB, Profesa Lettic Rutashobya, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi, pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Beng’ Issa, walishuhudia Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, akimkabidhi mfano wa kadi hiyo ya ATM, Rais wa Vicoba Endelevu, Devota Likokola mbele ya mamia ya wanachama wa Vicoba Endelevu kutoka sehemu mbalimbali nchini.

  Benki ya Posta Tanzania, imeingia mkataba na Vicoba Endelevu, wa kuwapatia mikopo midogomidogo wananchama hao chini ya udhamini wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, ili kukuza mitaji na kuendeleza shughuli zao za kiuchumi.


   Wana VICOBA Endelevu wakiingia kwenye bustani hiyo kwa maandamano.


   MWENYEKITI wa Bodi hya Wadhamini ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, Profesa Lettic Rautashobya, (katikati), Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, na Meneja Mkuu wa TPB anayeshughulikia masuala ya kampuni, Noves A. Moses


   Profesa Lettic, na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng' Issa, wakitembelea shughuli za wajasiriamali ambao ni wanachama wa VICOBA Endelevu
   Profesa Rutashobya, akizungumza na waandishi wa habari
   Beng' akizungumza na waandishi wa habari

  WAELIMISHAJI kuhusu shughuli za ujasiriamali wa VIDOBA Endelevu, wakipozi kwa picha

  Khalfan Said Photojournalist K-VIS MEDIA P.Box 77807 Mobile; +255 646-453/+255-653-813-033 Blog:http//khalfansaid.blogspot.com Dar es Salaam, Tanzania

  0 0

   Rais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.
   Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye hafla ya kumuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi.


   Wahandisi mbali mbali wa Wizara na wasiokuwa wa Wizara walijumuika pamoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
   Wageni waalikwa kutoka taasisina mashirika mbali mbali walishiriki kikamilifu. 
   Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa ufunguo wa trekta lake alilopewa zawadi kwenye hafla ya kumuaga.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikweteakiwa kwenye picha ya pamoja na wahandisi wanaogombea ubunge kwenye majimbo mbali mbali.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wanamuziki wa Bendi ya Sikinde ambao walikuwa wakitumbuiza kwenye hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi.

  0 0


  Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.
  Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.
  Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.
  Hapa akikabidhiwa Biblia Takatifu. Kushoto ni Askofu Joshua Lwele.
  Askofu Gadi akikabidhiwa cheti cha kutawazwa kuwa Askofu.
  Hapa anakabidhiwa fimbo ya Uaskofu.
  Anavalishwa kofia ya Uaskofu.
  Hapa anavalishwa Losari wakati wa ibada hiyo.
  Hapa anavalishwa pete ya kiaskofu.
  Askofu Charles Gadi akiwasimika wachungaji wa makanisa hayo baada ya kusimikwa kuwa Askofu rasmi wa makanisha hayo hapa nchini.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com

  0 0

  Msanii wa muziki  wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea wa CCM.
  Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki.
   Akiwa ameambatana na wapambe wake waliokuwa wamepanda bodaboda
  Akisalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio.


  Kalapina aka nabii akihesabu pesa za kulipia fomu ya udiwani kabla hajaingia katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi kata ya Kinondoni.
  Washabiki wa Karama Masoud wakiamsha amsha nje ya ofisi za mtendaji.
  Karama akipokea fomu za kugombea udiwani toka kwa Bibi Ikunda Lyimo, anayetazama kulia ni katibu kata tawi la Kinondoni wa ACT Bw Johnson Kapi.

  Wakisikiliza kwa makini msimamimizi wa uchaguzi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu za udiwani.

  Mwandishi wa gazeti la DIRA  Bi Rachel Gabagambi akimuhoji Kalapina aka Nabii baada ya kuchukua fomu.
  Shangwe barabarani baada ya kuchukua fomu.

  Picha na habari na Mkala Fundikira wa Keronyingi blog

  0 0

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
  Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 


   Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza katika hafla hiyo.

  Naibu Mkurugenzi wa Huduma Shirikishiwa Benki ya CRDB, Ester Kitoka (katikati) akiwa na Naibu Mkurugenzi MtendajiwaBenki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.

   Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa (kulia) akiwa katika hafla hiyo.
   Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
    Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
   Wakuu wa idara mbalimbali wa benki ya CRDB.
   Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni <!--[if gte mso 9]>

  0 0

  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Kisiwani Pemba.
  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea uwakilishi wa CUF Jimbo la Ole baada ya kutambulishwa kwa wagombea rasmi wa Ubunge na Uwakilishi.
  Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Kisiwani Pemba.
  Na: Hassan Hamad (OMKR)
  Chama Cha Wananchi CUF kimesema kimejipanga vyema ili kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vinapata taarifa za kuwaeleza wananchi kuhusiana na chama hicho kuanzia ngazi za majimbo.
  Katibu Mkuu wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kupitia timu za ushindi wa chama hicho kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu ujao, chama hicho kitatoa taarifa kwa vyombo vya habari katika ngazi zote kuanzia ngazi ya majimbo, Wilaya hadi Taifa.
  Amesema lengo la hatua hiyo ni kuondosha urasimu wa upatikanaji wa habari ndani ya chama hicho, ili kuwawezesha wananchi kupata taarifa zinazokwenda na wakati kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi.
  Maalim Seif ameeleza hayo katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro kisiwani Pemba, wakati akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho kwa majimbo 18 ya Pemba.
  Amefahamisha kuwa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na chama hicho, kamati tendaji za Taifa, Wilaya na Majimbo sasa zinageuka kuwa timu za ushindi, na kuwataka wajumbe wa kamati hizo kufanya kazi kwa mashirikiano ili kuhakikisha kuwa wanakipatia ushindi mkubwa chama hicho.
  Amefafanua kuwa Chama hicho hakitokuwa na muhali kwa mtendaji yeyote atakayekiuka maadili ya Chama, na kuwaagiza viongozi wa Wilaya na Majimbo  kuwa makini na kuwawajibisha watendaji watakao zembea.
  Wakati huo huo Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu amesema wakati chama hicho kikijiandaa kuchukua fomu za uteuzi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, hakitotoa barua kwa mgombea yeyote aliyeshindwa kulipa madeni yake ndani ya chama hicho.
  Amesema Chama hicho hakitokuwa na muhali na jambo hilo, na iwapo mgombea atashindwa kulipa madeni hayo, Kamati tendaji Taifa inaweza kuteua mgombea mwengine wakati wowote.
  Ameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kudumisha nidhamu ndani ya chama hicho na kuwafanya wanachama kuwa na imani na viongozi wao.
  Chama hicho tayari kimetangaza timu yake ya kampeni kwa upande wa Zanzibar inayoongozwa na Naibu Katibu Mkuu Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akisaidiwa na Mansoor Yussuf Himid, ambapo kwa upande wa Pemba kampeni za Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho zitaratibiwa na Mjumbe wa Kamati Tendaji Taifa Mhe. Hamad Massoud Hamad akisaidiwa na Waziri wa Habari Mhe. Said Ali Mbarouk.
  Aidha chama hicho cha CUF kimekabidhi seti 40 za jezi na mipira 120 kwa kila jimbo kati ya majimbo 18 ya Pemba na kukamilisha utaratibu wake wa kutoa vifaa kama hivyo kwa majimbo yote 54 ya Zanzibar.

  0 0

   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.

   Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli. 

   Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.

   Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM

   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Dk. Emmanuel Nchimbi.
   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa NEC Vijana mara baada ya kufungua na kumaliza kuhutubia Baraza la Vijana wa CCM.


   Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
   Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akihutubia Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM
   Wageni waalikwa kutoka nje ya Nchi (Diaspora)
   Dk.Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
   Mgombea Urais kwa tiketi ya |CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM na kuwaambia kuwa atashirikiana nao vizuri.

   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Sixtus Mapunda wakihimiza vijana kuwa imara.
   Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM
   Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa


   BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


  0 0

   Wafanyakazi wakishiriki katika michezo ya viungo mapema wakati wa kuanza tamasha hilo la michezo na burudani kwa wanafamilia ya Benki ya CBA mjini Bagamoyo.
  Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.
   Wana CBA na familia zao katika mchezo wa kuvuta kamba.
  Wafanyakazi wakifurahi na kuburdika na familia zao baada ya uchovu wa majukumu ya kazi ya kila siku Wafanyakazi  na familia zao wakishiriki mazoezi  na michezo ya aina mbalimbali
  Mkurugenzi Mtendaji wa  CBA Tanzania Julius Mcharo  akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na familia zao katika tamasha la CBA Family Day iliyofanyika katika viwanja vya hoteli ya Ndoto Pole Pole,wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki.
  Washindi katika michezo mbalimbali wakipokea zawadi.

  0 0

   MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na K-VIS MEDIA)

  Mfuko huo ambao umeanza kazi rasmi Julai 1, 2015, lengo kuu ni kutekeleza nia ya Serikali kukabiliana na changamoto za ulipaji wa fidia kwa Wafanyakazi katika mfumo wa utoaji fidia uliokuwepo awali, Mkurugenzi Mkuu Masha alizitaja changamoto hizo kuwa ni pamoja na kiwango kidogo cha malipo ya fidia(kiwango kisichozidi shilingi 180,000) kwa ulemavu wa kudumu na shilingi 83,000 kwa wategemezi endapo kifo kitatokea kwa Mfanyakazi husika.

   Akinukuu sheria iliyoanzasha Mfuko huo, Masha alisema, kifungu cha pili (2), cha sheria ya fidia kwa wafanyakazi namba 20/2008 Mfuko huu unawahusu Waajiri na Wafanyakazi wote katika sekta ya Umma na Binafsi, Tanzania Bara pekee. "Naomba ieleweke, anayepaswa kuchangia kwa mujibu wa sheria hii ni Mwajiri na sio Mfanyakazi kukatwa mshahara wake." Alifafanua Masha
  Waandishi wa Habari kazini
  Mwandishi kazini
   Masha (katikati), akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa hifadhi za Jamii kutoka Wizara ya Kazi na Ajira, Daudi Kaali, (kulia) na Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini, SSRA, Ansgar Mushi
  Mwandishi kazini
  Waandishi wakisikiliza maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Masha

  Mkurugenzi Mkuu, akitoa ufafanuzi kufuatia maswali ya waandishi wa habari

  0 0


  0 0

  Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-

  1. Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana na tabia na mwenendo wake wa hivi karibuni kuenda tofauti na maadili na taratibu za CCM.

  Aidha kikao kimetoa mapendekezo kwa vikao vya Chama Cha Mapinduzi kuuangangalia upya uanachama wake na kuchukua hatua kubwa zaidi.

  2. Kikao pia kiliunda timu ya kampeni ambayo itafanya kazi pamoja na kamati ya utekelezaji kuhakisha ushindi wa CCM kwa nafasi zote.

  3. Kikao kimemshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba nzuri ya ufunguzi wa Baraza na kikao kimeahidi kutekeleza maagizo na maelekezo ya hotuba hiyo kwa matendo.

  Sixtus Raphael Mapunda Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa

  0 0


  0 0


    In now days children enter into computers/smart phones at very young age. This has become challenge to many parents/guardians to control their children using computers. 

  Bitdefender Parental Control blocks content that may be offensive or inappropriate for children, restrict Web access between custom -set hours and remotely monitor all online activity - even on facebook

  You need to buy Bitdefender Internet Security antivirus 2015 (BIS) which has features of parental controls. Many Antiviruses lack this feature.

  CALL US FOR YOUR ORDER PRICE

  Call +255 654 936 407   +255 715 093 592

  +255 713 434 392 Tele +255 22 2121140

  INTERCOM SYSTEM (T) LTD, Morogoro Road,

  Old Kisutu Bus Stand, P.O. Box  8898, Dar Es Salaam

   Email : info@intercomsystem.co.tz        

          BitDefender Products

  sno
  BitDefender Antivirus Products
  1
  BitDefender Antivirus 2015 - BAV 1 User 1 year
  2
  BitDefender Antivirus 2015 - BAV 3 User 1 year
  3
  BitDefender Internet Security 2015 -  BIS 1 User 1 year
  4
  BitDefender Internet Security 2015- BIS 3 User 1 year
  5
  BitDefender Mobile Security 2015 - BMS 1 User 1 Year
  6
  BitDefender Total Security 2015 - 3 User 1 year
older | 1 | .... | 609 | 610 | (Page 611) | 612 | 613 | .... | 1898 | newer