Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46329 articles
Browse latest View live

BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA

$
0
0
 Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.
  Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika  Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya waandishi wa TAJOC,Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Regence jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja ya waandishi wa TAJOC,Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali  wakiwa nje ya Hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

SHIRIKA lisilo la kiserikali la C-Sema limeiomba serikali kuongeza bajeti  ya watoto ambayo iko wazi pasipo kuunganishwa na bajeti  nyingine   ili kuweza kutatua changamoto zinazowakabili.

Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika hilo, Michael Kehongoh ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika semina iliyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto (TAJOC) na watunga sera na watoa maamuzi kutoka wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto.

Amesema  lengo lao ni kuona mabadiliko yanaletwa ndani ya Jamii kupitia watoto na kuona wazazi na walezi wanatimiza wajibu wao katika kuhakikisha haki za watoto zinatekelezwa na kuleta matokeo chanya.

“Watoto wakipewa nafasi ya kusema na kushirikishwa wanaweza kuleta mabadiliko chanya  ni sasa C-Sema tunafanya programu tatu ambazo zinawashiriki watoto ikiwemo ya sanduku la maoni shuleni"alisema.

Amesema kwa sasa kwa kushirikiana na Shirika la kimataifa la SOS wamezindua kampeni ya 'NIJALI'  kwa ajili ya kukutana na wadau wa masuala ya watoto ili kuishawishi serikali kuongeza bajeti katika masuala ya watoto na kuhakikisha fedha zilizotengwa zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.

Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista kampeni hiyo inafanyika katika Mikoa ya Arusha, Dar es Salaam,  Iringa, Zanzibar na Mwanza.

Amesema Shirika hilo linajishughulisha na masuala mbalimbali ya watoto hasa katika kuweza kwenye elimu sambamba na kuimarisha makazi ya watoto.

BANG YAADHIMISHA MIAKA 11 KATIKA KUINUA VIPAJI VYA WANAWAKE,VIJANA

$
0
0
 Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd,Emelda Mwamanga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya jarida la Bang! katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi wa Ubunifu na Masoko wa Relim Entertainment Ltd ,Mpegwa Mwarang’ata na Ofisa Masoko Relim Entertainment Ltd Darliana Mbedule.
 Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga wakionyesha waandishi wa habari baadhi ya habari ya Mwanawake ambaye wamemzungumzia katika la Jarida Bang! wakati wa kuadhimisha miaka 11 ya Jarida holi  leo jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd Emelda Mwamanga akiwasha mishumaa kwenye Keki ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 11ya kuanzishwa kwa Jarida la  Bang! pamoja na kukata keki leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
  Mmiliki wa Full Shangwe blog, John Bukuku akilishwa keki na Mkurugenzi  Mkuu wa  Relim Entertainment Ltd, Emelda Mwamanga wakati wa maadhimisho ya Miaka 11 ya kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Kampuni ya Relim wachapishaji wa jarida la Bang imesema kuwa imenua wanawake wenye vipaji pamoja na kuibua vibaji kwa baadhi ya wanawake kutokana na kuandika habari zinazohusu vpaji vyao.

Akizungumza na waandishi wa habari  katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi wa Kampuni ya Relim,Emelda Mwamanga amesema katika kusherekea miaka 11 tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo wamefanikiwa kuinua wanawake katika sekta mbalimbali ikwemo ujasiriamali kwa kuandika habari zao na kuonekana kwa mchango wao katika jamii.

Emelda amesema jarida la Bang katika kipindi chote limekuwa likiandika habari mbalimbali katika kuinua maisha ya wanawake ,vijana na jamii katika   kutambulisha vipaji vyao.

Amesema  katika miaka 11 wamejipanga kuinua maisha ya wanawake kwa kutambulisha vipaji na biashara zao na kuandika habari mbalimbali zitakazowezesha kutambulisha Afrika yote kwa ujumla.

Emelda amesema wamekuwa wakitambua mchango wa viongozi wa siasa katika majimbo yao na kutaka katika kuelekea uchaguzi mkuu jamii iweze kuwatambua viongozi wanaowachagua kwa kuyafahamu maisha yao.

MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA ,JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI

$
0
0
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo B .
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B.
Meya Michael akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua ofisi ya kata ya Chadema.
Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema akitia saini katika kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi wa ofisi ya kata ya Longuo B.
Diwani wa kata ya Longuo B,Ray Mboya akitia saini katika kitabu hicho.
Baadhi ya makada wa Chadema manispaa ya Moshi wakishuhudia zoezi hilo.
Ofisi mpya ya Chadema kata ya, Longuo  manispaa ya Moshi ikafunguliwa rasmi. Na Dixon Busagaga wa globu ya Jamii kanda ya Kasakazini.

UNFPA WAKABIDHI MSAADA WA GARI LA WAGONJWA, JENGO NA VIFAA VYA UPASUAJI GEITA

$
0
0
DSC_0275
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akifunua kitambaa kuzindua cha jiwe la msingi huku Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi (kulia) akishuhudia tukio hilo.
DSC_0277
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akisoma maneno yaliyoandikwa kwenye jiwe la msingi.
DSC_0281
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la upasuaji huku Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi akishuhudia tukio hilo.
DSC_0282
Sasa limezinduliwa rasmi.
DSC_0287
Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Masumbwe wilayani Mbogwe, Dkt. Peter Shilogile (kulia) akitoa maelezo kwenye chumba cha kujifungulia kina mama kilichowekwa vifaa vyote muhimu kwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto). Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha, Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi.

DSC_0360
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua gari la wagonjwa (Ambulance) lenye thamani ya Tsh. Milioni 80 kwa ajili ya kubebea wakinamama wajawazito na watoto wanaohitaji huduma za dharula za upasuaji kutoka vituo vyote vya kutolea huduma za afya katika wilaya ya Mbogwe kwa ufadhili wa Shirika la UNFPA. Kushoto anayeshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi.
DSC_0362
Mh. Kassim Majaliwa na Dkt. Rutasha Dadi wakipiga makofi.
DSC_0289
Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Masumbwe wilayani Mbogwe, Dkt. Peter Shilogile akitoa maelezo ya mashine ya kisasa ya kuongezea damu wakina mama watakaokua wakijifungulia kwenye kituo hicho kwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa.

DSC_0318
Wafadhali wa ujenzi na vifaa kwenye kituo hicho Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi akifafanua jambo kwa mgeni rasmi Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa baada ya kuzinduliwa kituo hicho cha afya. Kulia ni Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Masumbwe wilayani Mbogwe, Dkt. Peter Shilogile.
DSC_0340
Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Masumbwe wilayani Mbogwe, Dkt. Peter Shilogile akielezea changamoto waliozokuwa nazo hapo awali za kipimo cha "Ultra sound" kilichonunuliwa na UNFPA ambacho hivi sasa kitapatikana kituoni hapo kwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa.
DSC_0373
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akijaribu gari hilo.
DSC_0386
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akitoa angalizo la matumizi mabovu kwa DED wa Mbogwe na wafanyakazi wa kituo hicho cha afya.
DSC_0388
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikabidhi funguo za gari hilo la kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe, Abdala Idd Mfaume.
DSC_0411
Mgeni rasmi Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo hicho cha afya na uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbogwe mara baada ya makabidhiano hayo.
DSC_0421
Mgeni rasmi Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na Muhanga wa Fistula, Bi. Ester Ernest (walioketi kulia), Balozi wa Fistula CCBRT, Bi. Elizabeth Jacob (wa pili kushoto), Katibu Tawala mkoa wa Geita, Charles Palanjo (kushoto) na waliosimama kutoka kushoto ni Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla, Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi, MC pamoja na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon.
DSC_0048
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa pili kushoto ni Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt.Rutasha Dadi.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na Zainul Mzige wa modewjiblog
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani(UNFPA) limekabidhi msaada wa gari la wagonjwa lenye thamani ya shilingi milioni 80 katika kituo cha afya cha Masumbwe kilichopo katika Wilaya mpya ya Mbogwe Mkoani Geita.

Shirika hilo limetoa vifaa vya kutoa huduma ya upasuaji vyenye thamani ya shilingi milioni 250 katika kituo hicho mbali na kutumia shilingi zaidi ya shilingi milioni 100 kusadia ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo hicho. Misaada hiyo kwa pamoja ilikabidhiwa Jumamosi iliyopita katika halfa ambaye mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa.

Majaliwa alishuruku UNFPA kwa msaada huo na kutaka utumike vizuri ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi. “ Nimeona vifaa vya hospitali vingi na vya gharama kubwa, sasa ni wajibu wetu kuvitunza na kuvitumia vizuri. Mfano gari tu limegharimu shilingi milioni 80.

 Huu ni msaada mkubwa sana na kwa niaba ya serikali nawashukuru sana UNPFA, tutaendelea kushirikiana”, alisema Majaliwa . Hata hivyo Naibu Waziri huyo aliwaagiza vingozi wa Halmashuri ya Wilaya ya Mbogwe kuhakikisha kuwa gari hilo linatumika kusafirisha wagonjwa tu na sio vinginevyo.
DSC_0062
Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla (kushoto) na Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt.Rutasha Dadi wakipitia ratiba ya sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula ambapo kitaifa yamefanyika katika Wilaya Mbogwe, Geita.

“ Gari hili litumike kwa matumizi ya wagonjwa tu. Sitegemei kusikia kuwa linapeleka wafanyakazi sokoni kununua nyanya. Na Mkurugenzi atenge bajeti ya mafuta ya gari hili muda wote”, aliagiza Majaliwa.
Hafla ya makabidhiano ya misaada hiyo ilienda sambamba na maadhimisho ya siku ya kutokomeza tatizo la ugonjwa wa Fistula duniani yaliyofanyakia kitaifa katika viwanja vya shule ya msingi Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe , Mkoani Geita.

Akizungumuza katika hafla hiyo Mwakilishi msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dkt. Rutosha Dadi alisema msaada wa vifaa walivyotoa utasadia kumaliza tatizo la Fistula na kuboresha huduma zingine za afya . “ Tumefanya ukarabati mkubwa sana katika jengo la upasuaji na kutoa vifaa vya kisasa kama vile Ultrasound”, alisema Dkt. Dadi.
DSC_0072
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha (wa nne kulia) akitoa salamu na kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza na umati wa wakazi wa Mbogwe waliokusanyika kwenye maadhimisho hayo. Kutoka kushoto ni Meneja wa miradi ya AMREF, kanda ya ziwa Dkt. Awene Gavyole, Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla, Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi, Katibu Tawala wa mkoa wa Geita, Charles Palanjo, mgeni rasmi Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa, Mganga Mkuu wa mkoa wa Geita, Joseph Kisalla, Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon pamoja na Mbunge wa jimbo la Mbogwe, Mh. Augustino Masele.
DSC_0204
Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi akitoa salamu za Umoja wa Mataifa kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Fistula ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Mbogwe mkoa wa Geita.
IMG_1150
Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt. Rutasha Dadi akisisitiza jambo wakati wa kutoa salamu za Umoja wa Mataifa.
DSC_0149
Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla akizungumza na wakazi wa Mbogwe ambapo aliwataka kufika katika vituo vya afya vilivyokaribu na makazi yao kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa Fistula pindi wanaonapo dalili na moja kwa moja kuwasiliana na Hospitali yake inayotoa huduma za matibabu bure ikiwemo usafiri na malazi mpaka mgonjwa anapopona na kumrejesha anakoishi.
IMG_1089
Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon akitoa salamu za Vodacom ilivyobega bega katika kupamba na ugonjwa wa Fistula kabla ya kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 100/- kutoka Taasisi ya Vodacom Foundation kwa ajili ya kutokomeza ugonjwa Fistula nchini wakati wa maadhimisho yanayofanyika kila mwaka Mei 23.
DSC_0248
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (kulia) akikabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika kitaifa katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita mwishoni mwa wiki, Katikati ni Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla.
DSC_0254
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa akikabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 100/- kwa Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla (kushoto) na anayeshuhudia tukio hilo ni Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon.
DSC_0182
Bi. Esther Ernest akitoa ushuhuda wake baada ya kuteseka na ugonjwa wa Fistula kwa takribani miaka 8 na jinsi jamii ilivyomnyanyapaa akiwemo mume wake hadi alipopatiwa matibabu na kupona kabisa hali iliyompelekea kurudisha furaha na nuru katika uso wake wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Fistula ambapo kitaifa imefanyika wilayani Mbogwe mkoani Geita.
IMG_0928
Kikundi cha maigizo cha Mrisho Mpoto kikitoa elimu kwa njia ya maigizo jinsi Wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa Fistula wanavyonyanyapaliwa na waume zao na kudhalilishwa kwa jamii ikiwemo kuitwa majina ya kila aina kutoka na kutokwa na haja ndogo muda wote bila breki.
IMG_0947
Mwigizaji wa kikundi cha sanaa za maigizo cha Mrisho Mpoto akilia kwa uchungu kutokana na kuugua ugonjwa wa Fistula na kunyanyapaliwa na mumewe wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Fistula ambapo kitaifa imefanyika wilayani Mbogwe mkoani Geita.
IMG_0969
Msanii mahiri wa sanaa ya kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto akimliwaza Mwanamke anayenyanyapaliwa na mumewe kutokana na kuugua ugonjwa wa Fistula ambao unatibika bure kabisa bila gharama yoyote na Hospitali ya CCBRT.
IMG_1006
Mume wa mwanamke anayeumwa Fistula wakisoma vipeperushi vya CCBRT vinavyotoa elimu, dalili na nini cha kufanya pindi unapojigundua ni Fistula pamoja na jirani yake wakati wa mchezo wa maigizo kwenye maadhimisho hayo.
IMG_1009
Mrisho Mpoto akiendelea kutumia sanaa ya maigizo kuelemisha umati wa wakazi wa wilaya ya Mbogwe waliohudhuria maadhimisho hayo.
IMG_1030
Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon (kushoto) na Mganga Mkuu wa wilaya ya Geita, Dkt. Joseph Kisalla wakifuatilia igizo la unyanyapaa kwenye jamii kwa wanawake wanaougua Fistula wakati wa maadhimisho hayo.
DSC_0170
Mgeni rasmi Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akifurahi jambo kwenye maadhimisho hayo.
DSC_0235
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Fistula Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akimpongeza Balozi wa Fistula CCBRT, Elizabeth Jacob na kumkabidhi pesa taslimu Sh. 20,000/- kama motisha ya kazi anazofanya za kuwasafirisha wagonjwa wa Fistula jijini Dar es Salaam kwa matibabu.
DSC_0238
Balozi wa Fistula CCRT, Elizabeth Jacob akionyesha pesa alizokabidhiwa kama zawadi kutoka kwa mgeni rasmi Mh. Kassim Majaliwa.
DSC_0241
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akimpongeza na kumkabidhi pesa taslimu sh. 100,000/ kama motisha ya kazi anazofanya za kuelimisha jamii kwa kutumia sanaa na maigizo Mrisho Mpoto aliyekuwa akisheresha sherehe hizo.
DSC_0023
Makamu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Bi. Haika Mawalla ( kushoto) na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon (kulia) wakimuangalia mtoto Nyambole Kulubone mwenye tatizo la mdomo wa Sungura akiwa amebebwa na mama yake Mariam Sanda (22) Mzazi huyo aliyehudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Fistula aliahidiwa na Bi. Haika Mawalla (kushoto) mtoto wake atatibiwa bure katika hospitali CCBRT baada ya kusikia matangazo jirani na eneo liliofanyika sherehe hizo ambapo kitaifa katika Wilaya Mbogwe Geita.
DSC_0025
Mariam Sanda (22) akiwa amembeba mwanae mwenye mdomo wa Sungura.
DSC_0098
Baadhi ya umati wa wakazi wa Mbongwe waliohudhuria maadhimisho hayo.
IMG_0958
DSC_0101
IMG_0897
IMG_0891
IMG_1359
Burudani kutoka kwenye kikundi cha Mrisho Mpoto.
IMG_1393
DSC_0272
Mganga mfawidhi wa kituo cha Afya Masumbwe wilayani Mbogwe, Dkt. Petr Shilogile (kushoto) akisoma taarifa fupi ya ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo hicho kwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa uliofadhiliwa na Shirika linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania na ujenzi kusimamiwa na AMREF kabla ya kuzinduliwa rasmi. Kulia ni Mbunge wa jimbo la Mbogwe, Mh. Augustino Masele.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU DODOMA

$
0
0
jk2
Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba.
jk1
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.
jk3
Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano(picha na Freddy Maro).

PSPF YAUNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFLA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

$
0
0
  Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF)
 Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
 Baadhi ya wanawake wajasiriamali wakiwa wameketi pamoja huku wakiendelea kupokea ujumbe mbalimbali kutoka kwa wanawake tofautitofauti waliokuwepo katika sherehe hiyo.
…………………………………………………………………………………………..
Wanawake wajasiriamali dar es salaam washerehekea pamoja katika hafra fupi iliyo andaliwa na mjasiriamali shamimu mwasha kwa lengo la kuendeleza kuwa na mahusiano mazuri katika shughuli zao za kuijenga nchi kwakutumia  vipaji na ubunifu walionao ili kuhakikisha bidhaa mbalimbali zakitanzania hazikosekani katika soko la hapa nyumbani hata nje ya nchi.

Mfuko wa jamii wa (PSPF) umeweza kuwaunga mkono wajasiriamali hao kwa kuwa miongoni mwa mfuko unaotoa huduma mbalimbali kupitia mafao yao kwakuwa kunamafao mbalimbali katika  mfuko wa pesheni ambayo wao kama wajasiriamali wanaweza kuyamudu na hatimaye kufikia malengo waliyo jiwekea.

Akizungumza wakati wa sherehe hiyo Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu amesema mfuko wa jamii wa (pspf) ni mfuko unao jali kila mmoja na nimfuko ambao unakupatia wewe mtanzania faida maradufu kutokana na huduma zinazo tolewa kuwa za kiwango cha hali ya juu amesema kupitia mafao mbalimbali likiwemo fao la mikopo ya elimu,fao la ujasiriamali,nyumba na mengine mengi pia aliweza kuwaeleza kuhusu uchangiaji wa hiari ambapo kupitia uchangiaji huo mtu yeyyote anaweza akaumudu kutokana ni rahisi na inakiwango cha kawaida cha kuchangia .

“Napenda kuwaalika katika uchangiaji wa hiari utakao kuwezesha wewe mchangiaji kunufaika na mfuko wako kwa mambo mbalimbali huu ni mpango mpya ambao hauchagui kama unafanya kazi za kuajiriwa au zisizo za kuajiriwa pindi utakapo jiunga utaanza na kuchangia moja kwa moja ambapo kiwango cha chini cha kuchangia ni kiasi cha sh.10,000 kwa kila mwezi nawakaribisha wote (PSPF) ili muweze kupata huduma zilizo bora na zenye uhakika”

Mfuko wa pesheni wa (PSPF) ni kwaajiri ya wananchi wa Tanzania kutokana na huduma zinazotolewa kukidhi kiwango kwa watu wa aina zote hivyo kujiunga kwako na mfuko huu wa kijamii ni miongoni mwa mafanikio yako katika maisha yako kwani ndoto zako zitakuwa zinatimia kwa wakati.

 Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji Jamadary akiwa na balozi wa mfuko huo Flaviana Matata katika sherehe hiyo
 Afisa wa mfuko wa pensheni David.M.Mgaka (kulia) akimuelekeza namna ya kujaza fomu ya kujiunga na mfuko wa uchangiaji wa hiari 
 Zuhra.H.Wendo ambaye ni Afisa katika mfuko wa pensheni wa (PSPF) kulia akiwa na mmoja ya wajasiriamali akimpa msaada wa kujaziwa fomu ya kujiunga na mpango wa (PSS).
 Kushoto afisa wa (PSPF)Hadji Jamadary  akimpa maelezo mmoja ya mjasiriamali aliye weza kutembelea meza ya PSPF
 Maafisa wa mfuko wa Penheni (PSPF) wakiwa wanaelekezana kitu mara baada ya kufanya usajili wa watu kadhaa walio weza kujiunga na mfuko huo

JUMA NATURE NA WENZAKE KULITIKISA JIJI LA DAR TAMASHA LA KOMAA JUMAMOSI NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA

$
0
0
Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. 

Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo, ambao ni waandaaji wa tamasha hilo. Kulia ni Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Microphas Insurance Agency Ltd, Mansoor Kipolelo wa dhamini wa tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni Msanii Said Christopher ‘Mucky), Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Microphas Insurance Agency Ltd, Mansoor Kipolelo wa dhamini wa tamasha hilo,Msanii  Juma Nature, Msanii, Semani Jabiri ‘Msagasumu’ na Msanii Snura Mushi.
Wasanii watakaotoa burudani la nguvu siku hiyo ya tamasha. Kutoka kulia, Fredy Felix ‘Fredwayne’ Juma Nature, Snura Mushia, na Said Christopher ‘Mucky)
Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Lydia Moyo (kushoto), akiperuzi simu yake katika mkutano huo.
Wanahabari wakichukua tukio hilo.

………………………………………………………………………………………………
                              TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


KOMAA CONCERT


Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya
msanii JUMA NATURE  maarufu kama kiroboto pamoja na hitimisho la
sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA
CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi  jumamosi hii ya  tarehe 30 mwezi mei katika ukumbi wa Dar Alive –Mbagala,  kuanzia saa kumi na
mbili jioni.


Tamasha hili limeandaliwa na Juma nature akishirikiana
na EFM kwa lengo la kuwaburudisha Mashabiki wa juma nature na wasikiliazaji wa 93.7 EFM ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru mashabiki kwa ushirikiano wao kwa miaka kumi na sita ya muziki tangu kuanza msanii huyo Juma Nature aingie kwenye game ya Muziki nchini Tanzania.


Aidha, mashabiki watapata burudani kutoka kwa
kiroboto  ambaye atatumia dakika 180
akiwa jukwaani kuhakikisha anakonga nyoyo za mashabiki wake ambapo ataimba nyimbo zake zote kali zilizofanya vizuri na kusindikizwa na wasanii kibao.

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na  Profesa Jay, Shetta, Snura, Makomando, Msagasumu na wengine wengi.


Tunatoa wito kwa mashabiki wote wa juma nature , Efm
Radio, wadau na wengine kujitokeza kwa wingi siku ya tamasha hili ili kupata burudani hii ya kihistoria ambapo kiingilio kitakuwa ni shilingi 7,000 tu.


Tunaamini Juma nature ni msanii mwenye kipaji
kikubwa na aliyewahamasisha wasanii kibao kuingia katika muziki huu wa kizazi kipya hivyo anastahili kupewa heshima kubwa kwa mchango wake mkubwa katika kukuza muziki wa kizazi kipya.


Lakini kwa Efm huyu ni msanii wa Kwanza itaendelea
kufanya hivyo kwa wasanii wengine kwakuwa kwetu sisi
tunaamini Muziki unaongea. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

IMETOLEWA NA, DENIS SSEBO,

MENEJA MAWASILIANO NA MAMBO YA SHERIA WA EFM.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.

$
0
0
 ha1
Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. ha
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.ha3
Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, kufungua rasmi mkutano wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo kwenye Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. ha4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
ha5ha6ha7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya kufungua rasmi leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
ha8ha9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Hoteli  ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Wizara kufikia Dira ya Taifa 2025. Mkutano huu ni wa nne kufanyika tangu ule wa kwanza uolifanyika mwaka 1999 katika hoteli ya Whitesands, Dar es Salaam.

Kauli mbiu ya mkutano ni Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025. Ujumbe huo umechaguliwa kwa kuzingatia mchango wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika juhudi za kutimiza ndoto ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (wa pili kutoka kushoto) akiongea wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania  ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Balozi Liberata Rutageruka Mulamula ambaye ameziwakilisha nchi za Marekani na Mexico ambaye pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim pamoja na Balozi wa Tanzania nchini India, Engineer John Kijazi ambaye anawakilisha nchi za India,  Sri Lanka, Singapore na Nepal.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa Balozi Yahya Simba akitoa shukrani kwa viongozi waliweza kufanikisha mkutano huo.

Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje kutoka nchi mbali mbali wanaohudhuria mkutano huo.
Mabalozi wa Tanzania kutoka nchi mbali mbali wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa makini.

Mahojiano na Nape Nnauye Pt II

$
0
0
Karibu katika sehemu hii ya pili na ya mwisho ya mahojiano yetu na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kazungumzia mambo mbalimbali, hasa suala la uchaguzi
Karibu.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2015

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA

$
0
0
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi na kushoto ni Mundakweli Kaniki Meneja Mwandamizi wa Mipango Mkakati ya TPB. Mkutano huo utashirikisha zaidi ya washiriki 100 kutoka nchi mbalimbali Afrika na viongozi wa Dunia wa Taasisi hiyo ya WSBI ambapo pia TBP ndio Benki mwenyeji wa mkutano huo.

UPENDO NKONE, MIKE KALAMBAY WANOGESHA TAMASHA LA GOSPEL COLUMBUS, OHIO

$
0
0
Mwimbaji wa nyimbo za injili wa Columbus, Ohio Enock Mwamba(kati) akiimba moja ya nyimbo za injili huku akiwashirikisha Mike Kalambay aliyekuja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Upendo Nkone aliyekuja toka Tanzania maalum kunogesha tamasha la Gospel lililofanyika siku Jumapili May 24, 2015 na kuhitimisha tamasha hilo lililokua la siku 3 mjini humo lililoanzia siku ya Ijumaa May 22, 2015.
Mike Kalambay akiimba huku akitoa neno la Mungu kwa Kifaransa kilichochanganyika na lingala huku mchungaji Fayes (kulia) akitafsiri kwa kiingereza na Kiswahili.
Mike Kalambay akiimba moja ya nyimbo za injili kwenye tamasha la gospel lililofanyika siku ya Jumapili May 24, 2015 mjini Columbus, Ohio.
Mike Kalambay toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akishambulia jukwaa na nyimbo za injili.
Mwimbaji mahili wa nyimbo za Injili Upendo Nkone akiimba moja ya nyimbo zake kwenye tamasha hilo.
Upendo Nkone na mchungaji Donis Nkone wakifuatilia tamasha Mike Kalambay (hayupo pichani).
Mchungaji Donis Nkone na mke wake Nnunu Nkone wakiwa wamepiga magoti wakati Mike Kalambay akiwashukuru kwa kufanikisha ujio wake ikiwa ndio mara ya kwanza kwa yeye kufika mjini humo.

Mike Kalambay(kati) akipata picha ya pamoja na mchungaji Donis Nkone na mkewe Nnunu Nkone mara tu baada ya kumalizika kwa tamasha hilo lililovuta watu mbalimbali wa mataifa tofauti mjini Columbus, Ohio.



WAISLAMU WAMETAKIWA KUJIANDAA VYEMA NA MWEZI MTUKUFU

$
0
0
IMG_9411
Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk(kushoto) akiwa katika swala iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika msikiti wa msikiti wa Alsahaba  ulioko eneo la Morombo jijini Arusha,ambapo aliwatembelea waumini hao na kutoa zawadi za tende.(Picha na Ferdinand Shayo wa jamiiblog)

Waislamu kote nchini wametakiwa kujiandaa vyema na mwezi mtukufu wa Ramadhani unaotarajia kuanza hivi karibuni kwani kipindi hicho ni cha kufanya matendo mema na kuisaidia jamii hasa wahitaji .

Hayo yameelezwa  na Mwenyekiti wa taasisi ya  Islamic Foundation  Bader Marei  jana katika  swala ya ijumaa iliyofanyika katika msikiti wa Alsahaba  ulioko eneo la Morombo jijini hapa  na kuhudhiriwa na Balozi wa falme la kiarabu nchini .

Bader  huyo amesema kuwa kipindi cha Ramadhani ni kipindi cha kujitazama na kubadili mwenendo   na kuwa watu wanaofaa katika jamii.

Akizungumza kwa niaba ya Ugeni huo wa Ubalozi wa falme hizo za kiarabu amesema kuwa ziara hiyo inalenga kuangalia changamoto za kijamii na kuangalia namna ya kuzitatua ambapo wamezindua visima 34 vya maji katika wilaya ya Ngorongoro.

Mbali na shughuli hizo pia wamegawa msaada wa tende kwa waislamu wote waliohudhuria katika swala hiyo ikiwa ni moja kati ya maandalizi ya Mwenzi huo mtukukufu.

Baadhi ya waumini walioshiriki katika swala hiyo  Issa Tesha muuminI  na Saidi Hamis muumini  wameeleza kufurahishwa na ujio huo mkubwa ambao unashirikiana na jamii ya waislamu katika masuala mbali mbali ya kijamii na kidini.

“Tumefurahi kupata msaada wa tende kipindi cha Ramadhani upatikanaji wa tende huwa mgumu lakini sasa walau tuna tende tunashukuru sana “ Alisema Issa

MUNISl ASHAURI WAGOMBEA CCM KUTOCHAFUANA

$
0
0
SAM_2935
Pichani ni Mgombea anayetajwa kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM),Thomas Munisi (Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

Mgombea anayetajwa kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM),Thomas Munisi amewataka wagombea wa chama hicho kutochafuana kwenye majukwaa na vijiwe bali wafanye kampeni za kistaarabu.

Munisi,ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Kilimanjaro Millenium Printers(KPML) yenye makao makuu yake jijini Arusha alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa kuhusu uamuzi wake wa kugombea ama la.

Hadi sasa jijini Arusha jumla ya wagombea saba wamejitokeza kutia nia ya kugombea jimbo la Arusha mjini kupitia CCM ambao ni Kim Fute,Mustapha Panju”Bushbuck”,Phillemon Mollel”Monaban”,Victor Njau,Edmund Mgemela,David Rwenyagira pamoja na mbunge wa zamani wa jimbo hilo Felix Mrema.

Akiongea katika hoteli ya Palace iliyopo jijini Arusha alisema kuwa si vyema wagombea wa CCM kuanza kampeni za kuchafuana kupitia kwenye vijiwe na majukwaa kwa kuwa haileti picha nzuri ndani ya chama.

“Mimi nashangaa wagombea wanapita huko vijiweni na kuanza kuchafua wenzao wakati sote tunajenga nyumba moja”alisema Munisi ambaye pia ni mmiliki wa kamuni ya madini ya Tom Gems

Hatahivyo,alisema kuwa ndani ya CCM watajitokeza wagombea mbalimbali lakini mwisho wa siku ni mgombea mmoja tu atakayepitishwa na chama kwa lengo la kupeperusha bendera ya CCM.

Akizungumzia uamuzi wake wa kugombea jimbo hilo au la alisema kuwa kwa kuwa taratibu ndani ya chama zimeshatangazwa na muda ukiwadi atafanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya wakazi wa jimbo la Arusha mjini.

WAZIRI MKUU PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni iwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura,  Auxilia Gaspar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nd2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha  katika kituo  cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni i wilayani Mlelele Machi 25,2015. .Kulia ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nd3
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa maelezo  wakati  alipojiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura,  Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nd4
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa alama za vidole wakati  alipojiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura,  Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU AJIANDIKISHA KIJIJINI KWAKE

*Ahimiza kila Mtanzania ajiandikishe bila kukosa


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote watumie fursa ya uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa kujiandikisha ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu. 


Akizungumza mara baada ya kujiandikisha kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata iliyopo kijiji cha Kibaoni, wilayani Mpanda, mkoani Katavi jana jioni (Ijumaa, Mei 25, 2015), Waziri Mkuu alisema hii ndiyo fursa pekee ya kuwawezesha kushiriki uchaguzi mkuu ujao. 


“Ninawasihi Watanzania wote tusiache kutumia fursa hii… kila mtu ahakikishe kuwa anajiandikisha. Ni fursa pekee itakayohakikisha kila mwananchi anashiriki uchaguzi wa kumpata Rais, Mbunge na Diwani,” alisema.Waziri Mkuu alisema amefarijika kwa kazi aliyoiona ikifanyika kwani hadi sasa Halmashauri za Nsimbo na Mlele zimefanikiwa kuandikisha watu kwa zaidi ya asilimia 100.


 Mapema, akiwasilisha taarifa ya uandikishaji katika Halmashauri ya Mlele, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bw. Godwin Benne alisema walilenga kuandikisha watu 19,482 lakini hadi kufikia jana walifanikiwa kuandikisha watu 20,292 sawa na asilimia 105. Uandikishaji katika wilaya ya Mlele ulianza tarehe 18 Mei, mwaka huu. 


“Mlele tuna vituo 84 katika tarafa tatu za Inyonga, Mpimbwe na Mamba. Inyonga tuna vituo 28, Mpimbwe viko 23 na Mamba viko 33. 


Akifafanua zaidi, Bw. Benne alisema katika kata ya Kibaoni ambayo ina vituo sita, jana peke yake walifanikiwa kuandikisha watu 1,007 kikiwemo kituo cha Kibaoni ambacho Waziri Mkuu Pinda alijiandikisha. Alivitaja vituo vingine kuwa ni Milumba, Sungusungu, Ilalangulu, Manga na Shule ya Msingi Kakuni ambako Mama Tunu Pinda alijiandikisha jana hiyo hiyo. 


Naye, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Bw. Neneka Rashid, uandikidhaji ulianza Mei 18, 2015 kwenye kata 12 na kwamba hadi kufikia jana, kata nne zilikwishaandikisha watu 12,001 sawa na asilimia 108.9 licha ya kuwa matarajio yao yalikuwa ni kuandikisha watu 11,014. Alizitaja kata hizo kuwa ni Nsimbo, Kapalala, Magamba na Uruwira.


 IMETOLEWA NA

OFISI YA WAZIRI MKUU,

JUMANNE, MEI 26, 2015.



BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, FLAVIANA MATATA, ATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU JIJINI MWANZA

$
0
0
PIC3 
 Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuombalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza. PIC4 Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko waPenseni wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi waPSPF, Bi. Flaviana Matata, hivi karibuni PIC5 Mmoja wa wanafunzi waliohudhuria semina juu ya Mfuko wa Penseni wa PSPFiliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, hivi karibuni akiuliza swali ili kupata ufafanuzi PIC6PIC1 
 Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Baloziwa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwawanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza. PIC2

MWANZA NA MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!!!! PART TWO

$
0
0
Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.
Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza, ndani ya Tamasha la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata. 
Cake ya uzinduzi.
Diamond Platnumz na stage la JEMBEKA FESTIVAL = OYOMBA YES..
Juu....
The Platnumz kikazi zaidi.
Hatari.
Shaap....
Waooo....!!
Kikazi zaidi...
Makamuzi wacha yaendelee.
Shughulini.
Wasafi.
Izo Bizness.
Mkali wa Hip hop Izo Bizness ndani ya uzinduzi wa JEMBEKA FESTIVAL 2015.
Godzillah.
Mr. Blue.
Mr. Blue akifanya yake yake kwa stage. 
Mheshimiwa Temba, Maromboso na Chege katika songi lao Wauwe. 
Chege na Temba.
Wanaume.
Madee.
Wana waliimba na Madee.
Yamoto Band.
Stape ..Nyataaaa.
Maufundi kwa stage na Yamoto Band.
Dogo Asley.
Kiduku kilichezeka kwa mguu mmoja.
Kamata twende.
JJ Band wakiwa na Dogo Janja.
H. Baba akiwa na mabalozi wa JEMBEKA FESTIVAL 2015.
Sekta ya ukarimu ilisimamiwa na Mabalozi wetu hawa.
Mkali wa siku nyingi katika game ya home Kibra aka Sir Juma Nature (kushoto) na G. Sengo (kulia).
Sir Nature.
Kibra.
Kutoka nyuma hadi kwenye umati.
The nyomi is hot.....
Hili game.
The area is full of Shangwe....!!
Aksante Mwanza.

CELEB AFRICA TV BRINGS YOU THE FULL COVERAGE OF TUZO ZA WATU AWARDS AND RED CARPET GLAMOUR.

MICHEZO YA MAJESHI YA FUNGULIWA RASMI LEO KATIKA UWANJA WA MAJI MAJI SONGEA MKOANI RUVUMA

$
0
0
Vikosi mbali mbali ya Majeshi vikiwa vimejipanga tayari kwa kungia uwanjani kwa ajili ya ufunguzi wa michezo ya majeshi 2015.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni mkuu wa Wilaya ya Songea Prof. Nomarn Sigalla King akisalimiana na wachezaji wa timu ya jeshi kutoka Mtwara.

Na Amon Mtega ,SONGEA

MICHEZO ya majeshi inayoshirikisha vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama briged ya kanda ya kusini imefunguliwa rasmi na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Songea ,Pr Noman sigaa King huku benki ya NMB tawi la Songea likiwa limetoa msaada wa jezi za mpira wa miguu seti saba ambazo zenye thamani ya shilingi 3,000,000.

Akiongea kwenye ufunguzi  huo  uliyofanyika leo katika uwanja wa michezo wa majimaji uliyopo Songea ,Sigara alisema kuwa  michezo hiyo itaimarisha mahusiano ya kiulinzi baina ya mipaka yetu ya Tanzania kwa kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitakuwa na ushirikiano.

Alisema kuwa ulinzi wa Tanzania katika mipaka yetu  hautegemei jeshi moja tuu bali ni ushirikiano wa vikosi vya majeshi mbalimbali kama vikosi hivi ambavyo vimeshirikishwa kwenye michezo hii iliyozinduliwa na ambayo itarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.

Viewing all 46329 articles
Browse latest View live




Latest Images