Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live

TBL YAWAPATIA WANANCHI WA MANYONI MSAADA WA SH. MIL 60 ZA VISIMA VYA MAJI

$
0
0
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) Steve Kilindo akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 60, Diwani wa Kata ya Sasilo wilayani Manyoni, mkoani Singida, Robert Mussa kwa ajili ya uchimbaji wa visima vya maji 20 ili kupunguza tatizo la maji. Wanaoshuhudia tukio hilo lililofanyika juzi katika kata hiyo ni Meneja wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokela (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Fortunata Malya.
 Wananchi wa kata ya Sasilo wilayani Manyoni Mkoa wa Singida wakifurahia baada ya kata hiyo Kukabidhiwa hundi ya Tsh 60 Mil iliyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania [TBL] kwa ajili ya uchimbaji wa visima 20 vya maji ambapo waliomba kupiga nayo picha
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Fortunata Malya akitoa shukrani kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa kutoa msaada wa sh. mil 60 katika Kata ya Sasilo kwa ajili ya uchimbaji wa visima 20 vya maji. Hafla ya makabidhiano ilifanyika hivi karibuni katika kata hiyo.

 Mkazi wa Kijiji Cha Sasilo Wilayani Manyoni Mkoa wa Singida Selebia Robert 51 mfugaji  akiwa Nyumbani kwake pamoja na Familia yake kwenye pozi la picha huku wakiwa na vibuyu vya kuchotea maji na matumaini ya kupata maji Baada ya Kata yao kukabidhiwa Milion 60 na TBL kwa ajili ya Uchimbaji wa visima 20 vya maji vitakavyopunguza tatizo Hilo.

 Meneja wa kampuni ya Bia Tanzania [TBL] Kanda ya Kusini, James Bokela akizungumza na wananchi wa Kata ya Sasilo, wilayani Manyoni, baada ya hivi karibuni kampuni hiyo kukabidhi msaada wa sh. mil 60 za kusaidia kuchimba visima vya maji.
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania [TBL] Steve Kilindo akifafanua jambo mbele ya wananchi wa kata hiyo wakati alipoenda kukabidhi msaada wa 60 milion kwa ajili ya Uchimbaji wa Visima 20 vya maji.

 Wananchi wa kata ya Sasilo wakifuatilia jambo wakati walipokuwa wakishuhudia upokeaji wa Msaada wa Tsh 60 mil zilizotolewa na TBL kwa ajili ya uchimbaji wa visima vya maji 20 makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Selakari ya mtaa na Mtendaji


KINANA AZUNGUMZA NA WAZIRI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA CPC CHINA, ATEMBELEA CHINALCO LEO

$
0
0

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipewa zawadi ya pambo la Kichina, na  Rais wa kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO) kilichopo mjini Beijing, Xiong Weiping, Kinana alipotembelea kampuni hiyo na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM ambao yupo nao katika ziara ya mafunzo nchini China. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. (Picha na Bashir Nkoromo).

  KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri anayeshughulikia mambo ya chama katika Chama Cha Kikomunisti cha China, Wang Jiarui, alipokutana naye leo Machi 20, 2013, kwenye Ofisi za CPC, mjini Beijing, China na kuwa na mazungumzo naye. Nyuma ya Kinana ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa zwadi ya kinyagoo cha Kimakonde cha aina ya 'Ujamaa', Rais wa kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO) kilichopo mjini Beijing, Xiong Weiping, alipotembelea kampuni hiyo na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM ambao yupo nao katika ziara ya mafunzo nchini China.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na waziri anayeshughulikia masuala ya chama wa Chama cha Kikomnisti cha China, Wang Jiarui, alipokutana naye leo Machi 20, 2013, kwenye Ofisi za CPC, mjini Beijing, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akitazama baadhi ya malighafi, alipotembelea kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO), alipotembelea kiwanda hicho mjini Beijing,  Machi 20, 2013. Wapili kulia ni Rais wa Kampuni hiyo Xiong Weiping
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na uongozi wa CHINALCO, Kinana na ujumbe huo walipotembelea kampuni hiyo wakiwa katika ziara ya mafunzo Beijing, China.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia saini kweneye kitabu maalum cha wageni, katika kampuni ya Aluminum ya China ((CHINALCO). Kushoto ni Rais wa Kampuni hiyo, Xiong Weiping na wapili kushoto ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Khamis Suleiman Dadi.

si ya kukosa hata kidogo.!

SIKU KUBWA YA ALBINUS NA UBINGWA WA DUNIA YAWADIA

$
0
0


Kampuni ya Kinda Boxing Promotions ikishirikiana na kampuni ya Warriors Promotions CC zote za Namibia leo waliitisha mkutano wa waandishi wa habari katika ofisi za Bodi ya Mieleka na Ngumi ya Namibia kulitangaza pambano kati ya bondia Albinus Felesianu wa Namibia na Herbert Quartey wa Ghana.

 Mpambano huo wa kugombea mkanda wa ubingwa wa dunia wa IBF kwa vijana katika uzito wa Super Featherweight, utafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Windhoek Country Club and Casino tarehe 29, Machi mwaka huu na linatagemewa kuwa pambano kubwa lililowahi kutokea katika nchi ya Namibia.
 Wageni rasmi na muhimu waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Rais wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati Mtanzanai Onesmo Ngowi pamoja na bwana Oiva Angula ambaye ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Simu ya Telecom nchi Namibia.
Rais Ngowi aliahidi ushirikiano wa IBF katika kukuza ngumi katika nchi ya Namibia na kuihamashisha serikali ya nchi hiyo kuwa pamoja na uwekezaji inaoufanya kwa sasa ni muhimu pia iwekeze zaidi katika kujenga na kuendeleza miundombinu endelevu ya mchezo wa ngumi. 
Ngowi aliihakikishia nchi ya Namibia kuwa IBF daima itakuwa mshirika wa karibu katika maendeleo ya ngumi ya Namibia. Rais Ngowi yuko nchini Nmibai kusimamia pambano la ngumi la ubingwa wa kimataifa katika uzito wa Bantam kati ya bondia Immanuel “Prince” Naidjala wa Namibai na Lesley Sekotswe kutoka nchini Botswana litakalofanyika leo saa moja unusu usiku katika ukumbi wa Windhoek Country Club and Casino. 
 Naye meneja wa Telecom Namibia bwana Angula alitangaza rasmi mpango kabambe wa kuijenga uwezo tasnia ya ngumi ya Namibia kwa kugawa vifaa vya mchezo huo kwa wadau mbalimbali pamoja na kujenga uwezo kiufundi kwa wale wote wanaosimamia mchezo wa ngumi nchini Namibia kwa sasa.
 Bwana Angula alimhakikishia Rais Ngowi kuwa Telecom Namibia daima itakuwa mstari wa mbele katika kuchangia maendeleo ya ngumi nchi humo!
 Albinus Felesianu anakuwa bondia wa kwanza kutoka Namibia kugombea mkanda wa dunia wa IBF na hii inaleta hamasa kubwa katika taifa hili la watu wapatao milioni mbili na ushee!
 INTERNATIONAL BOXING FEDERATION AFRICA (IBF/AFRICA)
DAR-ES-SALAAM, TANZANIA. 

ratiba ya tamasha la pasaka

Mstahiki Jerry Silaa amtembelea mtoto wa kwanza kuzaliwa katika Zahanati ya G/Kwalala aliyoijenga 2007-2010

$
0
0

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Zahanati ya Guluka Kwalala iliyopo katika Halmashauri yake baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpongeza Mkazi wa eneo hilo kwa kujifungua Salama mtoto wa Kwanza katika Wodi ya Wazazi aliyoijenga kwa nguvu zake kwa ajili ya wakazi wa eneo hilo ikiwa ni kutekeleza katika moja ya ahadi alizozitoa kwa wapiga kura wake.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akimsalimia na kumpongeza Bi. Halima Abubakari aliyejifungua mtoto wake katika Zahanati G/Kwalala iliyojengwa na Mstahiki Meya.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akiwa amepakata mtoto wa Bi. Halima Abubakary mkazi wa Kata ya Gongo la Mboto katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala aliyejifungua salama usiku wa kuamkia Machi 19, 2013 kwenye Zahanati iliyojengwa na Mstahiki Meya ikiwa ni kutekeleza ahadi zake kwa wapiga kura wake.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akimchekesha mtoto huku akiwa ameshikilia zawadi ya mtoto kwanza kuzaliwa kwenye Zahanati yake.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni katika wodi ya wazazi iliyopo kwenye Zahanati ya G/Kwalala.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akipongezwa na baadhi ya wakazi wa eneo hilo kwa kuwasogezea huduma za Afya karibu na makazi yao.
Tangazo la kutoa huduma ya kujifungua lililobandikwa nje ya Zahanati hiyo.
Bango la Zahanti ya Guluka Kwalala iliyojengwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.

Zahanati ya G/Kwalala imejengwa mwaka 2007-2010 na Mh. Jerry Silaa. Mwaka 2012 alijenga wodi ya kinamama kujifungua na kuaznia mwezi Februari 2013 iliwekwa vifaa vyote vinavyohitajika na aliahidi zawadi kwa mtiti wa kwanza ambaye amezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 19 Machi, 2013.

Rais Kikwete azindua Daraja la Suka Golani Kimara Suka jijini Dar leo

$
0
0
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kufungua rasmi Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo.Kushoto anayeangalia ni mbunge wa Ubungo John Mnyika.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Madabida,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Bwana Jordan Rugimbana,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik,Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuf Mwenda na kushoto ni Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea  Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe Yusuf Mwenda  na  mbunge wa Ubungo John Mnyika.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waishio eneo la Golani  Kimara Suka muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani.
 Wananchi wa vyama mbalimbali vya Siasa wakishangilia wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiwahutubia muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo mchana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo John Mnyika wakati alipokwenda kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro.

SERIKALI YA TANZANIA NA BODI YA UTALII YA NEPAL KUSHIRIKIANA KATIKA KUUTANGAZA UTALII KATIKA NCHI ZAO

$
0
0
Mkurugenzi wa Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ibrahim Mussa (kulia) Kwanza ningependa kuwapongeza akinamama hawa kutoka Nepal kwa ujasiri waliouonyesha kwa kupanda mlima Kilimanjaro, na pia hilo lisingewezekana bila msaada wa Bodi ya Utalii ya Nepal hivyo tunawakaribisha sana Tanzania na tuko tayari kutangaza utalii baina ya nchi zetu hizi.

Leo tunasherehekea mafanikio ya kundi la akinadada kutoka Nepal ambao wamepanda mlima Everist lakini ili kuonyesha kwamba wanawake wakiwezeshwa wanaweza pia wamekuja kupanda Mlima Kilimanjaro. Tukio hili kwa ujumla litasaidia sana kuitangaza Tanzania katika Nyanja ya utalii ikizingatiwa kuwa waandishi kadhaa wa habari kutoka nje walikuwepo nasi tunaahidi kutoa ushirikiano.
Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Utalii ya Nepal Subash Niroula akizungumza na waaandishi wa habari ambapo amesema ukweli mafanikio ya program yatatufikisha mbali katika suala zima la utalii, ikizingatia hata sisi kuna vitu na vivutio vingi vya utalii vilivyopo Tanzania tulikuwa hatuvijui hivyo naamini tutafika mbali na kufanikiwa kuvutia watalii wengi zaidi. 

Kwa kweli tumepata fursa nzuri kuzungumza na idara ya utalii ya Tanzania ambayo ni miongoni mwa nchi zenye vivutio vya kipekee miongoni mwa nchi za Kusini Mwa jangwa la sahara. Kwa nafasi hii pia watu watapata kuifahamu Nepal, kiutalii, kiutamaduni na zaidi ya hapo kupitia ushirikiano wetu na Tanzania.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) Bw. Richard Ragan akizungumzia shirika lake lilivyoona umuhimu wa Program hiyo na kuamua kushiriki katika kuifanikisha.
Mratibu wa Msafara wa 7 Summit Women Team Shailee Basnet kutoka Nepal akielezea uzoefu wake baada ya kupanda Mlima Kilimanjaro na Milima mingine ikiwemo milima Evarest ambapo wamekutana na mengi yakufurahisha na kuwashukuru Watanzania waliowapokea vizuri na kuwapa ushirikiano kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho.
Mratibu wa Msafara wa 7 Summit Women Team Shailee Basnet kutoka Nepal akiwaonyesha wageni waalikwa picha zinazoonyesha Hali halisi ilivyokuwa mpaka kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro wakati wa chakula cha usiku kwa ajili ya kuwapongeza wakinamama hao 10 wakiwemo 7 kutoka Nepal, 2 kutoka Tanzania na aliyekuwa mwigizaji wa tamthilia ya Isindingo maarufu kwa jina la Nandipa.
Mkurugenzi wa Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ibrahim Mussa (kulia) na mkewe. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Aloyce Nzuki wakati wa hafla ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwapongeza wakinamama 10 waliopanda Mlima Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) Bw. Richard Ragan akionyesha baadhi ya picha zake wakati alipopanda katika Kilele cha Mlima Mrefu kuliko yote Duniani kwa wageni waalikwa.
7 Summit Women Team kutoka Nepal walioshiriki kupanda milima kadhaa ikwemo Mlima Kilimanjaro wakitoa shukrani kwa kumkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ibrahim Mussa (kulia) kwa mchango wake katika kufanikisha Program ya kutanga utalii nchini Nepal na Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Aloyce Nzuki akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Utalii ya Nepal Subash Niroula kwa kutambua mchango wake.
Austin Makani kutoka UNHCR akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Utalii ya Nepal Subash Niroula kwa kusaidia kuunganisha mawasiliano katika nyanja tofauti kati ya Tanzania na Nepal.
Mmoja wa wanawake kutoka Tanzania aliyeshiriki katika zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro akipongezwa kwenye hafla maalum.
7 Summit Women Team katika picha ya pamoja na timu nzima iliyofanikisha Programu hiyo.

Bodi ya Utalii ya Nepal kwa mara ya kwanza imeandaa programu ya aina yake ya kuhamasisha utalii katika bara la Afrika iliyofanyika nchini Tanzania.Programu hii imeandaliwa kwa mtazamo wa kusherehekea safari ya kipekee iliyofanywa na Seven Summit Women Team, ambao tayari wamepanda vilele vya mlima Evarist, Mlima Kosciuszko (Australia), Mlima Elbrus (Europe) na sasa wamepanda kilele kirefu kuliko vyote Afrika cha Mlima Kilimanjaro ulioko Tanzania.

Wakati wa kuadhimisha mafanikio hayo ya kihistoria ya Seven Summit Women Team, Bodi ya Utalii ya Nepal imechukua fursa hiyo kutangaza na kuhamasisha utalii nchini Nepal kama moja ya vivutio bora duniani.
Bodi ya Utalii ya Nepal imekutana na waendeshaji shughuli za kitalii wa Tanzania ili kuiwezesha Nepal kuwa moja ya vivutio vya utalii na pia kujenga uhusiano na Tanzania ili kwa pamoja kuhamasisha nchi hizo mbili kuwa vivutio vya kipekee.

Ushirikiano huu kati ya Serikali ya Nepal kupitia Bodi ya Utalii na Serikali ya Tanzania umekuja wakati muafaka ambapo Tanzania kwa kiasi kikubwa inatangaza utalii na hivyo kutatoa mwanya sahihi wa kuwa na mawasiliano na kubadilishana taarifa miongoni mwa wahusika wa utalii kwa pande zote za Nepal na Tanzania.

WAGUNDUZI GUNDUENI VITU VITAKAVYOWASAIDIA WANANCHI KATIKA JAMII: DK. MWERE

$
0
0


Watafiti na wanasayansi nchini Tanzania wametakiwa kufanya tafiti za kiungunduzi ambazo zitaleta manufaa na kusaidia jamaii ya watanzania .



Hayo yamesemwa jana  jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela(pichani juu) wakati wa semina ya siku moja ya wagunduzi mbalimbali iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NIMR na Shirika la Grand Challenges la nchini Canada.



Dkt. Malecela amesema umefika wakati sasa kwa wagunduzi mbalimbali wa Kitanzania kuanza kungundua njia mbalimbali za kuweza kutatua matatizo yaliyopo katika jamii hasa katika sekta ya afya.



Semina hiyo ya siku moja ilikuwa na lengo la kuhamasisha wangunduzi sekta ya afya ambapo baadhi ya wanasayansi wagunduzi kadhaa walitoa taarifa zao za awali za namna ya kukabiliana na matizo kadha hasa kwa Mama na mtoto.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya semina hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya NIMR jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela akipiga picha na Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya NIMR jijini Dar es Salaam 





Wagunduzi kadhaa waliweza kuzungumzia gunduzi zao katika semina hiyo na miongini mwa hizo ni pamoja na ile ya hali ya Utapiamlo unaofanywa na Dkt. Magreth Kagashe kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Bianadamu Ifakara ambayo inafanyika katika Vijiji vya Kilombero.



Ugunduzi mwingine ni wa namna ya kusafisha maji na kuyaweka katika hali salama kupitia njia ya Takasa maji, na kuyaweka taika hali salama nay a usafiugunduzi unaofanya na Kijakazi Mashoto na Ugunduzi mwingine ni matumizi ya Maua ya Rosella katika kukabiliana na Upungufu wa damu kwa mama na mtoto.



Dkt. Malecela amesema ya kuwa ugunduzi unaofanyika sasa na kupewa fedha na Grand Challenge ya Canada unatakiwa uwe ugunduzi ambao utaleta mabadiliko na kubadili maisha ya wananchi.



“Mara nyingi wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali na kugundua matatizo mengi katika jamii lakini mara chache watafiti hawa wametafuta suluhisho ya hayo matatizo au magonjwa katika jamii hizo ...kwahiyo hivi sasa wanasayansi wagunduzi wa kitanzania umefikia hatua ya kugundua vitu ambavyo vitasaidia jamii,” alisema Dkt.Malecela.


Aidha nae Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer alisema kuwa jumlya ya miradi 16 ya ugunduzi inayofanywa na wanasayansi wa kitanzania itapatiwa fedha kupitia taasisi hiyo.

ALEXANDER FORBES TANZANIA LIMITED REBRANDS TO ARIS

$
0
0
 The Finance Minister William Mgimwa takes a group photo with the African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) management staff
 The African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) Board Chairman Sir Andy Chande (second left) and the Finance Minister William Mgimwa (second right) display signed documents during a function that saw Alexander Forbes Tanzania Limited re-brand to ARIS. Left is the Commissioner of Insurance, Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) Israel Kamuzora. 
 The African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) Board Chairman Sir Andy Chande (second left) hands over a present to the Finance Minister William Mgimwa (right) during a re-branding event that saw Alexander Forbes Tanzania become African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) with effect from Tuesday. 
 The Finance Minister William Mgimwa (right) and the Commissioner of Insurance, Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) Israel Kamuzora (centre) sign documents during a re-branding event that saw Alexander Forbes Tanzania become African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) with effect from Tuesday.
 The Finance Minister William Mgimwa gives a speech on behalf of the Prime Minster Mizengo Pinda who was supposed to be the Guest of Honor for the event. 
 The Mohamed Enterprises Tanzania Ltd (METL) Managing Director, Mohammed Dewji shares a light moment with the Minister for Home Affairs, Dr Emanuel Nchimbi during the event
 The Exim Bank Board Chairman Yogesh Manek interacts with some of the invited guests during the event

M2 Advertising staff Mili and Tadzie ensured that the event gets a smooth run.



Unleashing African Risk and Insurance Services Limited (ARIS) formerly Alexander Forbes Tanzania Limited

Stara Thomas, Martha Mwaipaja, Bahati Bukuku, Masanja Mkandamizaji kutumbuiza Tamasha la Tumaini Jipya Morogoro

$
0
0


 Stara Thomas akiwa na wakali wengine wa muziki wa injili ambao watakuwapo kwenye tamasha la Tumaini Jipya na picha nyinginezo

Mkurugenzi  wa Kampuni ya QS Entertainment, Joseph Mhonda, amesema kuwa amejipanga imara kuhakikisha kuwa tamasha lao la ‘Tumaini Jipya’ linalotarajiwa kufanyika Machi 31 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, linagusa hisia za wengi kwa kushirikisha wakali mbalimbali wa muziki wa Injili nchini.

 Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mhonda alisema kuwa alisema kuwa tamasha hilo lina lengo la kuwasaidia watu wenye mahitaji maalumu kwenye jamii ikiwemo watoto yatima na kutarajiwa pia kufanyika katika mikoa mbalimbali baada ya kuzinduliwa mkoani Morogoro. 

 “Tamasha hili limeanzia Morogoeo lakini litaendelea kwenye m ikoa mingine ya Tanzania likiwa na lengo la kutoa tumaini kwa jamii, na mapato yatakayopatikana yatasaidia watu walio katika mazingira magumu” alisema Mhonda.

  Alisema katika tamasha hilo ambalo ni la aina yake kufanyika Tanzania, litapambwa na waimbaji wakubwa wa muziki wa Injili Afrika Mashariki ambao ni Bahati Bukuku, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Joseph Nyuki, Stara Thomas, Matha Mwaipaja, Sifa John, Chamwenyewe na Revina Steven.

 Mbali na waimbaji hao pia kutakuwa na kwaya mbalimali Rafiki Gospel Singers, Haleluya Kwaya, Victoria Kwaya na MTC . Mhonda alisema sambamba na kutoa burudani ya mziki kupitia waimbaji hao pia watakuwa na muda maalum wa kutoa elimu ya Ujasiriamali kwa watu wote, pamoja na mbinu za kufaulu mtihani kwa wanafunzi. 

 Kwa mujibu wa waandaaji hao, Tamasha la Tumaini Jipya, ni fursa pekee kwa wakazi wa Morogoro kuweza kujumuika na watu wengine duniani katika kusherehekea siku Kuu ya Pasaka.
 Stara Thomas, Martha Mwaipaja, Bahati Bukuku, Masanja Mkandamizaji kukamua Tamasha la Tumaini Jipya Morogoro

John Baptiste da Silva – 1937 - 2013 - A story to be told

$
0
0

John Baptiste da Silva – 1937 - 2013

A story to be told.

The wind was blowing and the movie screen was shaking on a hotel rooftop high above the remains of Stone Town, ancient capital of the Zanzibar archipelago. Yet John Da Silva, then 75, was undeterred. He wanted to tell his story. Many followers and friends will remember how the frail man with spectacles made up his way on the steep staircase of Emerson Spice hotel to give entertaining power point lectures about the elaborate and often painful history of Zanzibar, every fortnight or so. The audience of eager listeners was growing every week - tourists, expatriates and locals alike.

John da Silva passed away today (on March 20, 2013) at the age of 76, with his family by his side, leaving many wondering: Who, now, will pick up where the renowned historian left and continue to tell the story? Da Silva, who died of heart complications, some related to diabetes, had been ill for some time and leaves behind his devoted daughters Donna, Valerie and Cecilia, his adored nieces Bernadine, Presilda, Lucas, Lorna, Francesca, Lorraine, Ulrica, Roselee and Ramona, and three brothers Santana, Abel and Cajetan. His wife Carmen, who he had met and married in Zanzibar, died in 1993 and his late brother Rudolph had passed away recently.

Not least, he leaves an island, which is in mourning today for a man universally loved, admired and cherished for his gentle, generous and gregarious soul, his sharp wit, intellectual brilliance and tenacious dedication to the integrity of Zanzibar and its people. All it’s people. Those from every community he so lovingly sought to be preserved in their intertwined intricacies of their diverse histories.  

The historian, artist and family father was Zanzibar’s living memory. And he had indeed a story to tell. Of artistically carved doors of Indian, Persian and Arab origin, of Sultans’ times and merchandise, of Zanzibar’s development over the centuries under the gentle trade winds of the monsoon. Audiences were spellbound when he talked about “The doors of Zanzibar”, “The history of Cosmopolitan Commerce” or “The history of Zanzibar thorough old photos” as some of his lectures were titled. In his later years, when the end of the Cold War in Africa and the world finally enabled him to speak more freely, Da Silva was using his private archives of photos, drawings, street maps, shop signs and files to bring to life chapters of the rich history of Zanzibar, the spice islands off the coast of Tanzania. He presented facts and photos, which might have otherwise been lost forever.

As the main historian of Zanzibar he had witnessed it all: Born in Portuguese Goa on the 24th January, 1937, as the son of Goan immigrants, his family moved to Zanzibar in 1947. His father, a renowned tailor, had been the dressmaker of the island’s ninth sultan, Sayyid Sir Khalifa II bin Harub Al-Said. The Omanis had ruled Zanzibar for two centuries before it became independent. As history has it, John’s father also designed and stitched a dress for Princess Margret from England during her state visit to Zanzibar in 1954. Often, little John was to make the deliveries of the royal gowns to his father’s clients.

In 1964, when Zanzibar became part of Tanzania after a bloody revolution where many were killed and fled the country, da Silva stayed on initially working for the local registrar. In 1958 he started work in accounting, but his interest in art soon led him to work on the restoration of of the paintings and murals in the Catholic Cathedral of St Joseph. Built by the French about 1898, the Cathedral’s Romanesque style is a replica of the basilica of Notre Dame de La Garde Marseilles.

Although Da Silva’s early paintings featured Zanzibar portraits, the work on the Cathedral stimulated his interest in the architecture of Stone Town. Concerned that there was no doucumentation of these diverse architectural styles influenced by cultures of the Omani Arabs, Indians, Persians and European colonials, he soon focused his art on the buildings of Stone Town. Da Silva captured these facades in pen and ink and watercolour as well as with his camera. He leaves a collection of over 300 photos, and in many instances, the only known record of the carved wooden doors, windows, iron lattice work  decorating the balconies, alleys, streets, historical and architectural important buildings of Stone Town.

Over the years he saw the decay of the main island’s historic city centre, a unique collection of 2000 or so elaborate palaces, temples, merchant houses built entirely from coral stone, most of them stemming from the height of Zanzibar’s development in the mid-19th century. “In 1880, this was one of the richest trade towns in the world after New York, Paris and London; we had a garage for Rolls Royce cars here but only a one-mile-stretch of road”, da Silva used to amuse his listeners in his typical dry humour.

Following the revolution in Zanzibar it was not allowed to photograph Stone Town – yet, although it endangered his freedom, da Silva did. As an historian he felt a personal obligation to document the fate of the islands, which had seen 11 dynasties of Omani rulers in three centuries, before it became a British protectorate in 1890, and where last Sultan, Bhargash, had built “The House of Wonders”, Africa’s first property with electricity and an elevator south of the Sahara.


John da Silva was intimately connected to the history of the island. Not only in talking but also in doing. He personally re-painted some of the frescos of St. Joseph Cathedral, the centre of Catholic faith on the predominantly Muslim island, and he took part, although not voluntarily, in the building of the so-called German Flats, a present of residential buildings by former East German Democratic Republic to Zanzibar.

His walking tours became legendary amongst visitors to the island, often undertaken in his later life with the help of a walking stick in searing tropical heat during periods of ill health. Walking with Da Silva, Stone Town became a living museum. He pointed out the details that distinguished the Arab (Swahili) doors from the Indian (Zanzibar has the largest number of carved doors in East Africa): the simplicity of the Arab mosques as compared to the ornate Indian mosques and four Hindu temples: Gothic, Italian and English window styles all in the same building; history learned from change of ownership of buildings as new rulers came to power .

In 1991 the united Republic of Tanzania approved a proposal by Da Silva to dedicate a series of postage stamps to the rich architectural heritage of Stone Town. A unique collection of four stamps was issued featuring his pen and watercolour drawings of the National Museum, The High Court building, the Balnarna Mosque and a Balcony.

Not last with da Silva’s documentation and scholarly assistance Stone Town was declared a UNESCO world heritage site in 2000. Experts fear, however, that 80 per cent of the building stock is already beyond repair. The House of Wonders was turned into a Museum in 2002, and is currently under repair after parts of the backside of the historic monument collapsed late last year. John da Silva was furious about this, as he always was when neglect overran conservation.

He was an ardent defender of historical sites appreciating their immeasurable value against all odds. A conservationist of high moral standard, he always pleaded in favour of protecting the cultural sites of Zanzibar in all their variety – but also stressed that he did not want Stone Town to become a museum nor a collection of boutique hotels.  Meaningful restoration to him meant authentic, multi-purpose reuse of old structures. The preservation and restoration had to be done without creating a sterile, new environment affordable only to the wealthy and the tourists.

John da Silva loved the island, which was his home and the island loved him. He was one of Zanzibar’s true and rare cosmopolitans. He has lived to tell his story.  Da Silva’s funeral mass will take place tomorrow (Thursday   21st March) at 3.30pm at St Joseph's Cathedral, Stone Town followed by his interment at Mwanakwerekwe Cemetery.

BY  ANDREA TAPPER & FRANCESCA MCKENNA

HARUSI TRADE FAIR 2013

WATANZANIA WAANZA VIZURI MASHINDANO YA GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE

$
0
0
  winners: Washindi wa kipindi cha kwanza cha Guinness Football Challenge kilichooneshwa jana katika Televisheni za ITV na Clouds TV Mwalimu Akida Hamad(kushoto) na Daniel Msekwa(kulia) katika picha ya pamoja na waenesha kipindi Flora Tumsiime na Larry Asego jana baada ya kipindi.
Timu zilizoshiriki kipindi cha kwanza cha Guinness Football Challenge kutoka kushoto wenye nyekundu ni timu kutoka Kenya Stephen Githinji na Michael Kirwa, wenye bluu ni Mwalimu Akida na Daniel Msekwa timu kutoka Tanzania, wenye rangi ya kijani ni timu kutoka Uganda  Kennedy Andindu na Oscar Boban na mwsho timu nyeusi pia ni kutoka Kenya Oscar Litonde na Daniel Muthendu.

Article 12


Airtel yazindua gharama nafuu za kupiga simu mitandao mingine

$
0
0
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akielezea huduma mpya ya Airtel yatosha  yaani Simu kadi moja, taifa moja, bei moja inayomwezesha mteja wa Airtel kuwasiliana na mitandao yoyote nchi na kupata kifurushi cha muda wa maongezi, sms, na internet kwa bei nafuu hadi shiling 349/= pichani (katikati) ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel  Bi, Beatrice Singano Mallya akifatiwa na Meneja masoko Airtel Anethy Muga
 Mkurugenzi mkuu wa Airtel bwana Sunil Colaso akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma ya Airtel yatosha inayomwezesha mteja wa Airtel kupata dakika za muda wa maongezi,sms na kifurushi cha internet.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel  Bi, Beatrice Singano Mallya akiongea
wakati wa uzinduzi wa huduma mpya  ya Airtel Yatosha inayomwenzesha mteja wa Airtel kupata kifurushi cha maongezi , sms na internet na kuwasiliana na mitandao yoyote nchini, huduma hii imebeba ujumbe wa  simkadi moja, taifa moja, bei moja.

==========  ==========  =========

Airtel yazindua gharama nafuu zakupiga simu mitandao mingine

*         Airtel yadhihirisha simu kadi moja, taifa moja, bei moja -
Wateja nchini kufaidika na kiwango cha chini cha hadi 75% kupiga simu
popote bila kikomo

*          Piga simu muda wowote usiku and mchana

Dar Es Salaam  Jumatano 20 Marchi 2012.  Airtel Tanzania leo imezindua 
huduma mpya ijulikanayo kama "AIRTEL YATOSHA" itakayowawezesha wateja wake  nchi nzima kupiga simu kwenda mtandao wowote kwa kiwango nafuu cha hadi asilimia 75 bila kuwa na  sababu kubadili simu laini kwa kuhofia gharama.

Huduma ya AIRTEL YATOSHA inadhihirisha simu kadi moja, taifa moja, bei
moja  inayoendeleza dhamira ya Airtel ya kutoa huduma bora na nafuu
ambapo wateja wa Airtel sasa watapata ofa ya kifurushi kitakacho wapa
muda wa maongezi, ujumbe mfupi na kifurushi cha internet ambacho
kinaweza kutumika kwa siku au kwa wiki kulingana na mahitaji ya wateja

Akiongea wakati wa hafla maalum ya uzinduzi wa huduma hiyo iliofanyika
katika makao makuu ya Airtel Tanzania, Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bw
Sunil Colaso Alisema"  Huduma ya Airtel YATOSHA ni maalum kwa kila
mtanzania, hii itawarahisishia watanzania wote kupata mawasilino
nafuu kwa kupiga bila kikomo kwenda mitandao mingine nchini. 


Kupitia kifurushi cha Airtel YATOSHA wateja wa Airtel watafurahia kiwango cha chini cha hadi shilingi 349/=, hii inamaana kwamba  mteja atapata
dakika 10 za kupiga simu kwenda mtandao wowote muda wowote, pia SMS
100 (ujumbe mfupi wa maneno) pamoja na kifurushi cha intenet cha 25MB
ofa itakayotumika masaa 24 kwa siku

Faida za AIRTEL YATOSHA kwa mteja zinadhihirisha dhamira yetu Airtel
ya kutoa huduma za mawasiliano bora na nafuu nchini. Airtel
tunazingatia kuwa wateja wetu wanamahitaji tofauti na ndio sababu
kubwa inayotufanya tuwe wabunifu kwa kuwapatia huduma zinazogusa kila
aina ya wateja na kuleta mabadiliko halisi kwa kuwapa wateja wetu nchi
nzima thamani ya pesa zao

Kwa Upande wake  Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel  Bi,i Beatrice
Singano Mallya alisema " Airtel YATOSHA  ni huduma inayopatikana kwa
SIKU au kwa WIKI hivyo mteja anapewa nafasi ya kuchagua anachokata.
Katika mpango wa WIKI mteja atatozwa shilingi 1,999  na kupata dakika
70, sms 700 na kifurushi cha interneti cha 175MB.

Kujiunga na huduma hii mteja anatakia kupiga *149*99#  na kuunganisha
moja kwa moja kwenye orodha ya huduma hii na kuchangua kifurushi
anachokipenda na kuweza kujipatia dakika za maongezi, ujumbe mfupi na
kifurushi cha internet.  Dakika za maongezi zitatumika kupiga simu
kwenda mtando wowote nchini kwa massa 24 na gharama za kupiga simu
zitatozwa kwa sekunde.

Kuhusu muda wa kujiunga na Airtel YATOSHA mteja anaweza kujiunga
wakati wowote  kati ya 0500hrs to 2359hrs,

Airtel Tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma zenye
ubora na ubunifu nchini. Na hii ni njia nyingine ya kudhihirisha jinsi
Airtel inavyotoa huduma za mawasiliano yenye ubora na gharama za
ushindani kwa watanzania. Airtel itaendelea kuwa chachu ya maendeleo
kwa kutoa huduma  bora zenye gharama nafuu.

Kampuni za simu za mkononi zaongoza kutangaza biashara nchini

$
0
0

 Mkurugenzi Mtendaji wa Push Observer, Rubelyn Alcantara akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisini mwa Push Observer, Kinondoni.
 Baadhi ya maofisa kutoka makampuni mbali mbali wakielekezwa jinsi kampuni ya Push Observer inavyofanya shughuli zake kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo.
===========  =============  ============
KAMPUNI za mitandao ya simu za mikononi nchini zimeshika nafasi ya kwanza  katika kutangaza biashara zao kwenye vya habari nchini kwa robo ya mwisho ya mwaka jana.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na kampuni inayoongoza katika kusimamia na kufuatilia mwenendo wa vyombo vya habari nchini, Push Observer, kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel ndiyo inayoshika nafasi ya kwanza kwa kutangaza matangazo mengi nchini.
Mkurugenzi mtendaji wa Push Observer, Ruby Alcantara alisema kuwa kampuni ya pili ni Tigo na kufuatiwa na Vodacom Tanzani katika nafasi ya tatu na Zantel katika nafasi ya nne. Kampuni ya bia Tanzania (TBL) inashika nafasi ya tano ikifuatiwa na Pepsi, Star Times, Coca Cola, SBL na Twaweza katika nafasi ya 10.
Bi. Alcantara alisema kuwa takwimu hizo ni za uhakika kutokana na kukusanya rekodi hizo kwa kupitia vifaa  vya  kisasa walivyowekeza katika sekta hiyo. Alisema kuwa jumla ya fedha zilizotumika kwa makampuni yote 20 bora katika kutangaza biashara ni sh  bilioni 17, 827,970, ingawa taarifa hiyo haija ainisha gharama halisi ya kila kampuni ilizotumia katika kutangaza bidhaa zake.
“ Hatuwezi kuweka bayani ni kiasi gani cha fedha kimetumika katika zoezi hili, ni vigumu kufanya hivyo, lakini takwimu zetu ni sahihi kutokana na vifaa tulivyowekeza katika kutoa huduma hii, ni ya kisasa na yenye ubora wa kimataifa, tutakuwa tunatoa taaifa hizi kila baada ya miezi mine,” alisema.
Alisema kuwa vyombo vya habari vinavyofaidika kwa kupata matangazo mengi ni redio na televisheni. Amesema kuwa kampuni yao itakuwa inatoa taarifa kuhusiana na watangazaji bora wa kwenye vyombo vya habari kila baada ya miezi mitatu. Ripoti  robo ya kwanza ya mwaka huu inatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni.
“Ripoti hii inatoa  fursa kwa kila kampuni kujua utendaji wake katika ushindani wa kibiashara, pia kujua mshindani wako anafanya nini katika kujitangaza  na kukuwezesha kubadili mbinu ili uweze kuendeleza ushindani au kuweza kuendelea kushika nafasi ya kwanza kibiashara,” alisema.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SIKU 3 WA MABADILIKO YA TABIANCHI JIJINI DAR

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Mkutano wa kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, wakati akifungua mkutano huo wa siku tatu ulioanza leo Machi 21,2013 kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji, wakionyesha moja vitabu vya Mabadiliko ya Tabianchi, baada ya kuzinduliwa na Makamu wa Rais wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabinchi, ulioanza leo Machi 21, 2013 katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) ni Makamu Katibu Mtendaji wa UNFCC, Richard Kinley.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mwakilishi wa Balozi wa Denmark, Hanne Fritzen,wakionyesha moja vitabu vya Mabadiliko ya Tabianchi, baada ya kuzinduliwa na Makamu wa Rais wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabinchi, ulioanza leo Machi 21, 2013 katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR

wizara ya maliasili kuwakamata wale wote wanaofanya matumizi mabaya ya misitu

$
0
0


NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kulia) akifurahia kinyago kilichochongwa na raia wa Afrika Kusini, Azwimpheleli (mwenye fulana nyeupe) huku Makamu wa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti, Haward Rosen (mwenye tai) akimtazama.

Na Tulizo Kilaga

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema ataenda porini pamoja na jeshi lake kuwakamata wale wote wanaofanya matumizi mabaya yasio endelevu ya misitu.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kwenye kilele cha Siku ya Mbao Duniani, alisema serikali imeazimia kutoa elimu ya kutosha na kuwataadhalisha watu wenye nia mbaya, masilai binafsi ya kuchoma misitu kwa makusudi, kukata miti bila vibali na wale wanotolosha magogo.

Alisema tayari wameshaanza kuwakamata wananchi wanaohujumu misitu nchini na wamefikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa lengo la kutaka wafungwe ili wawe fundisho kwa watu wasioitakia mema Tanzania.

Aliongeza kuwa watu wote wanaohusika na kuhujumu nchi kwa misitu ni wahujumu uchumi, na wahujumu uchumi hao watafuatwa kama ilivyokuwa kwenye zama za hayati Moringe Sokoine.

Aliongeza kuwa, serikali imeongeza nguvu kuhakikisha inaiokoa nchi dhidi ya janga la jangwa kwa kuamua kutumia maaskari wake wa misitu, wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vya nchi katika kupambana na ujangili wa wanyamapori na mazao ya misitu.

Nyalandu aliongeza kuwa, hali ilivyo sasa nchini kama watu hawatazamana machoni na kuambiana ukweli misitu ya Tanzania itatoweka yote. Hivyo alitoa wito kwa wanahabari na wananchi wote kushirikiana kuiokoa nchi dhidi ya janga la jangwa.

Akizungumzia maazimisho ya Siku ya Mbao Duniani yalioandaliwa na na Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti alisema, Serikali imeazimia kuwaunganisha wasanii wote ili waweze kutengeneza kazi zenye ubora wa kimataifa utakaowawezsha kupenya kwenye soko la kimataifa.

Kwa upande wake, Makamu wa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti, Haward Rosen aliwataka Watanzania kutumia mbinu za kitamaduni za kutumia miti na kutunza miti kama hazina.

Mwaka huu Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa siku Siku ya Kimataifa ya Miti kwa kuwa imeonyesha juhudi za kuwashirikisha wananchi wake katika kuhifadhi na kupanda miti.

kazi nzuri fid Q

$
0
0
Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania,Farid Kubanda a.k.a Fid Q akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Under The Same sun,Bwa.Peter Ash.
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live




Latest Images