Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAONGEZEKA.

$
0
0
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 ambao umefikia asilimia 4.3 leo jijini Dar es salaam. Kushoto niKaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.
mf3
Waandishi wa Habari wakiwa kazini, Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati Mkurugenzi  wa Sensa naTakwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015.
Pichana Veronica Kazimoto – Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
…………………………………………………………………………………………………………………….
Na. Veronica Kazimoto, Takwimu.
Dar es salaam.

Mfumuko wa Bei  wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 umeongezeka kidogo hadi kufikia asilimia 4.3 ikilinganishwa na asilimia 4.2 za mwezi Februari kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.

Akitoa taarifa ya mfumuko huo leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa ongezeko hilo linatokana na badiliko la bei ya bidhaa na huduma kati ya mwezi Machi na Februari 2015. Amesema bei ya vinywaji baridi na bidhaa za vyakula ikiwemo Mchele, Ungawa Muhogo, nyama, Samaki, Maharage, Choroko na Sukari kwa mwezi Machi imeongezeka kidogo ikilinganishwa na ile iliyokuwepo mwezi Februari.

Amesema Mfumuko wa Bei unaopimwa kwa kipimo cha mwezi umeongezeka kwa asilimia 0.7 mwezi Machi ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 1.6 za mwezi Februari huku Fahirisi za bei kwa mwezi Machi zikiongezeka hadi 155.88 kutoka 154.83 za mwezi Februari, 2015 kutokana na ongezeko la bei ya mchele, Samaki, matunda aina ya machungwa, maharage, mboga mboga na sukari.

Aidha, amefafanua kuwa kiwango cha Mfumuko wa bei wa bidhaa za Vyakula na Vinywaji Baridi kwa mwezi Machi  2015 kimeongezeka hadi kufikia asilimia 5.9 ikilinganishwa na asilimia 4.9 ya mwezi Februari 2015.
Akitoa ufafanuzi kuhusu uwezo wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma kwa mwezi Machi 2015 amesema kuwa umepungua na kufikia shilingi 64 na senti 15 ikilinganishwa na shilingi 64.59 za mwezi Februari 2015.

Kwa upande wa mfumuko wa Bei wa mwezi Machi kwa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki amesema una mwelekeo unaofanana Uganda ikiwa na Mfumuko wa Bei wa asilimia 1.90 kutika  asilimia 1.4 za mwezi Februari huku Mfumuko wa Bei nchini Kenya kwa mwezi Machi 2015 ukiongezeka hadi kufikia asilimia 6.31 kutoka asilimia 5.61 za Februari.

MAADHIMISHO YA MIAKA 21 YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI

$
0
0
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Bendera za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti nje ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, kuashiria tukio la kuwakumbuka raia wa Rwanda waliouwawa mauaji ya kimbari.
Bendera za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti nje ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, kuashiria tukio la kuwakumbuka raia wa Rwanda waliouwawa mauaji ya kimbari.
Ofisa Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Sarah Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Ofisa Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Sarah Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

WASHINDI WA DROO YA MWISHO YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI YAO

$
0
0
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka wa pili kushoto) ni washindi wengine wa droo hiyo, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, William Saimon Sondi (wa pili kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto) na Boutrous Hebron Mwanjali.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia), akifurahia jambo na washindi wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, (kutoka kushoto), Tipwa Rashid Mapunda, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali, baada ya kuwakabidhi funguo za magari yao aina ya Toyota IST, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.

MAMIA YA WAKAZI WA DODOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SEMINA YA UJASIRIAMALI KUHUSU BIASHARA YA MTANDAO

$
0
0

Baada ya semina wadau walipata nafasi ya kukaa kwa vikundi na kupata nafasi ya kuuliza maswali na ufafanuzi zaidi na jinsi ambavyo wanaweza kufanikiwa mapema kwa kufanya biashara hii semina ilifanyika katika hoteli ya Dodoma hotel .
Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015  karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na kuendelea kukua kwa kasi duniani pia hapa nchini na kuwezesha kutengeneza mamilionea kwa wingi bila kujali kiwango chao cha elimu wala kipato na pia huanza kwa mtaji kidogo na bila mkopo toka benki
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania .


\Mmoja ya wafanyabiashara  wakubwa waliofanikiwa katika biashara ya mtandao toka mkoa wa Dodoma Ndg George akipozi na wadau wengine wakati semina ikiendelea 

Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na KAJO ITECH  Ndg Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akipata taswira "selfie " na wadau waliofika katika semina hiyo iliyogfayika katika ukumbi wa dodoma hotel siku ya jumanne
Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na  KAJO ITECH Ndg Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akipata taswira na mfanyabishara aliyefanikiwa kwa biashara hiyo toka mkoa wa Dodoma ndg Patrick komba  na mdau mwingine 


Wadau wakifuatilia kwa makini semina hiyo ambayo ilfanyika katika ukumbi wa dodoma  jumanne wiki hii na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa jirani 
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel 

wanawake ambao ni wajasirimali toka mkoa wa dodoma wakifuatilia kwa makini semina ya kuweza kubadili maisha yao na kufanikisha ndoto zao ambayo iliendeshwa na wafanyabishara wakubwa na wajasiriamali waliofanikiwa katika biashara ya mtandao 

Mdau Bendera shekighenda ambaye ni mjasirimali toka mkoa wa Tanga  akifuatilia kwa makini semina ya kuweza kubadili maisha  na kufanikisha ndoto zake ambayo iliendeshwa na wafanyabishara wakubwa na wajasiriamali waliofanikiwa katika biashara ya mtandao 
Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na KAJO ITECH nd  Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akieleza namna jinsi ya kuweza kubadili fikra na kuweza kufanikiwa katika biashara kubwa ya mtandao na kuweza kufanikisha kutengeneza mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania walioka kwenye viti ni dada Esther Mella na mfanyabiashara na mwanafunzi wa udom ndg frey 


Baadhi ya wafanyakazi toka sekta za umma na binafsi toka mkoa wa dodoma wakifuatilia kwa makini 
mtaalamu wa biashara ya mtandao ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili toka chuo kikuu dodoma amefanikiwa kupata kipato kikubwa kupitia biashara ya mtandao akiwa mwanafunzi na kuweza kuishi ndoto zake 

Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel
Dada Esther Mella aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu dodoma akitoa shuhuda jinsi gani biashara ya mtandao ilivyobasilisha maisha yake na kuhamasiha watu bila kujali kada zao na elimu zao kuweza kujiunga na biashara hii kuweza  kutimiza ndoto zao 
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu akipata taswira na Mama Beatrice Mkina aliyekuwa mfanyakazi wa serikali kwa sasa ni mjasiriamali na mfanyabishara toka mkoa wa dodoma  Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel 

Mmoja wa  waliohudhuria semina hiyo ndg Ally  akipata nafasi ya kubadilishana namba ya simu na mfanyabishara na mtaalamu wa biashara yaa mtandao toka mkoa wa dodoma dada zainab semina hii ilifayika katika ukumbi wa dodoma hotel.




wadau wakipata taswira na watoa mada katika semina hiyo iliyofanyika katika hotel ya dodoma 

semina kama hii itafanyika tena kwa wakazi wa dar siku ya jumapili tarehe 12 mwezi huu katika ukumbi pale ARCADE HOUSE mikocheni kama unataka kuhdhuria
 piga simu 0712579102 /0767392840( krantz ) kupata 


tiketi yako kwa sh elfu 5 tu 
PICHA NA HABARI NA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG 

Watatu wajishindia mamilioni kutoka Bayport

$
0
0
Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, inayoendeshwa na taasisi hiyo ambapo washindi watatu ambao ni Hyasint Mbunda (Songea), Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam) na Allen Bishubo (Bukoba), walipatikana na kila mmoja kushinda Sh Milioni moja. Kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport, Ngula Cheyo na kushoto ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha, Humud Abdulhussein. Picha na Mpiga Picha Wetu.


Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WASHINDI watatu waliokopa fedha kwa njia ya Mtandao wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wamejishindia Sh Milioni moja kila mmoja, kutokana na shindano hilo lililoanzishwa maalum kwa ajili ya wateja wao waliomua kuutumia mtandao wao wa www.kopabayport.co.tz kupata huduma mbalimbali.

Washindi hao wamepatikana kutoka kwenye droo ya mwezi wa Aprili, iliyoendeshwa na Bayport Financial Services kwa kusimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.

Meneja Utawala wa Bayport Financial Services Evelyine Hall katikati akisoma koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya Mtandao inayoondeshwa na taasisi hiyo ya kifedha. Kulia kwake ni Msimamizi wa Michezo ya Kubatisha Tanzania, Humud Abdulhussein na kushoto ni Ngula Cheyo, Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi hiyo ya Bayport Financial Services.

Akizungumza katika droo hiyo, Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, alisema kwamba washindi hao watatu wamepatikana baada ya kuamua kukopa kwa njia ya mtandao wao waliyouzindua mwezi uliopita.
Ngula Cheyo (katikati) ambaye ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services akizungumza jambo katika droo ya kutafutwa washindi watatu wa bahati nasibu inayoandaliwa na taasisi hiyo ambao kila mmoja alishinda Sh Milioni moja.

“Tuliamua kuanzisha huduma ya kukopa kwa njia ya mitandao tukiamini ni huduma rahisi inayoweza kuwafanya Watanzania wote wafurahie kwa pamoja na kukuza uchumi wetu, hivyo tukaona tufike mbali zaidi kwa kuchezesha droo yetu ya kuwapatia Sh Milioni moja washindi watatu kila mwezi.
Ngula Cheyo (katikati) ambaye ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services akizungumza jambo katika droo ya kutafutwa washindi watatu wa bahati nasibu inayoandaliwa na taasisi hiyo ambao kila mmoja alishinda Sh Milioni moja. Kulia ni Humud Abdulhussein kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha na kushoto ni Meneja Utawala wa Bayport Financial Services, Evalyine Hall.
Shughuli ya kutafutwa washindi wa Kopa na Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz inaendelea.
Jamani huyu ndiye mshindi. Ndivyo anavyoenekana kusema Meneja Utawala wa Bayport Financial Services katika droo ya kutafutwa washindi watatu waliokopa kwa njia ya mtandao.


Washindi hao ni Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam), Hyasint Mbunda (Songea) na Allen Bishubo (Bukoba)ambao kila mmoja amejinyakulia Sh Milioni moja baada ya kushinda katika bahati nasibu yetu hii, huku tukiamini kuwa wateja wengine wanao uwezo wa kushinda katika droo nyingine ijayo, ukizingatia kuwa Bayport ipo kwa ajili yao katika kutoa huduma bora zinazoweza kuwakwamua, ikiwamo ya mikopo isiyokuwa na dhamana wala amana,” alisema Cheyo.

Naye Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha kutoka kwenye Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humud Abdulhussein alisema washindi hao baada ya kupatikana walipigiwa simu ili wataarifiwe ushindi wao na jinsi ya kupata zawadi zao za Sh Milioni moja kila mmoja.

“Huduma ya kukopa kwa njia ya mtandao inayoendeshwa na Bayport Financial Services ni nzuri na rahisi, ambapo pia ipo fursa ya kushinda pesa taslimu kwa wale watakaoamua kukopa kwa njia hiyo,” alisema.

Bayport Financial Services ni taasisi ya kifedha inayoongoza kutoa mikopo isiyokuwa na dhamana wala amana kwa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na taasisi hiyo.

BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

$
0
0
 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso na basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.
 Hivi ndivyo lionekanavyo Basi la Ratco baada ya kupata ajali hiyo leo.
 Basi la Ngorika lionekanavyo baada ya ajali hiyo.
 Askari Polisi walifika eneo la tukio kwa Wakati ili kuhakikisha usalama unapatikana eneo hilo.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa, na inasikitisha sana.

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) yashiriki mkutano mkuu wa 30 ALAT jijini Dar es Salaam

$
0
0

DSC_0085

Naibu waziri wa TAMISEMI,Khasim Majaliwa,akipata maelezo na kusaini kitabu cha wageni kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu chini ya Wizara ya Fedha, Bw, Uli Mtebe.

Na Andrew Chale wa Modewji blog.

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) inayoshiriki mkutano mkuu wa miaka wa 30 wa jumuia za Serikali za Mitaa Nchini (ALAT), unaofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulioanza Aprili 8 na kutarajiwa kumalizika Aprili 11, UTT-PID imeendelea kutoa elimu na huduma za taasisi hiyo.
DSC_8842 (1)
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa, Mh Hawa Ghasia, akisaini kitabu na kupata maelezo kutoka Afisa Uhusiano Mkuu wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID), Uli Mtebe, akiambatana na Afisa Masoko, Bi, Kilave Atenaka .

UTT-PID ambayo imejikita hususani katika upimaji wa viwaja na upangaji wa miji katika maeneo mbalimbali ya Nchi ikiwemo Halimashahuri ya Lindi, Bukoba, Sengerema, Bagamoyo, Chalinze, Morogoro na Halimashahuri nyingine mbalimbali za hapa Nchini.

Aidha, katika maonyesho hayo, banda la UTT-PID limeendelea kutoa elimu na huduma kwa watu mbalimbali kuhusiana na kazi zao zinazofanywa na taasisi hiyo kwa wajumbe wa ALAT na wananchi wanaotembelea banda hilo.
Pia viongozi mbalimbali wa kiserikali akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia.
IMG_6592
Naibu Waziri wanchi Tawala za Mikoa Agrey Mwanri akisaini kitabu cha wageni na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mkuu wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID), Uli Mtebe, akiambatana na Afisa Masoko, Bi, Kilave Atenaka.


KAZI ZA UTT-PID
Kazi za UTT-PID ni pamoja na Utoaji huduma za ushahuri katika maeneo ya upembuzi yakinifu wa miradi mbalimbali, Uratibu wa fedha na huduma zinazohusiana katika maandalizi ya mapendekezo ya miradi kwa benki au taasisi za fedha, uteuzi wa watoa huduma kuhusiana na maandalizi ya zabuni na usimamizi wa majengo na mali ambao ni utoaji wa huduma fanisi za usimamizi wa majengo yaliyochini ya uangalizi thabiti wa taasisi.
JENGO
Moja ya mradi uliofanikisha na UTT-PID wa jengo la kisasa la Ushirika Bulding lililopo, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam.

MWAROBAINI WA MIGOGORO YA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA MASHARIKI WAPATIKANA

$
0
0
 Jaji Mstaafu,Thomas Mihayo akichangia maada Wadau katika Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam. 

 Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki,Kitengo Usuluhishi,Fakihi Jundu akizungumza na vyombo vya habari katika  Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Namibia Nchini,Japhet Isaac akizungumza na vyombo vya habari katika  Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wadau katika Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Avila Kakingo)



viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba -Mangula

$
0
0
 Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu shule ya Hagafilo mkoani njombe kuhusian ana katiba pendekeza na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa.
wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)

Na Furaha Eliab, Njombe


MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa na kuwataka wamuonyeshe kipengele kinacho taja masuala ya dini na mahakama ya Kadhi.


Akizunzungumza na wanafunzi wa sekondari, Chuo na walimu katika shule ya Hagafilo Mkoani Njombe wakati akitoe elimu ya katiba pendekezwa , amesema kuwa ameisoma katika yote na hajaona kipengele kinacho zungumzia masuala ya udini wala mahakama ya kadhi.


Lakini hata hivyo viongozi wa dini wanapinga mswada wa mahakama ya kadhi kupitishwa bungeni na kuwa sheria.


Amesema kuwa alikuwa katika kanisa moja anako Sali mchungaji wake alisema kuwa waumini wasiipegie kura katiba pendekezwa kwa kuwa ina masuala ya Mahakama ya Kadhi alipo muuliza ni katika kipengele gani kinacho zungumzia mahakama hiyo mchungaji huyo hata kipengele hicho alisema hakifahamu.


 Amesema kuwa katiba hiyo haina kipengele hata kimoja kinachozungumzia dini yoyote na kunakipengele kinacho zungumzia utawala wa sheria na kuwapo kwa mahakama huru


Amesema kuwa katika katiba pendekezwa kuna misingi ya utawala bora na umiliki wa arhi na kuwa ardhi hiyo inatunza na kuwa ni mali ya mtanzania wa kizazi cha sasa na cha baadae.


Katika hatua nyingine Mangula ameungana na kauli ya kiongozi katoriki Kadrinari Polinal Pengo kuhusiana na kuwahusu wananchi kuchukua maamuzi yao wenyewe juu ya kupiga kura ya ndio au hapana.


Amesema kuwa wananchi wakiisoma katiba wao wenyewe wakaielewa kama kuna mapungufu watayaona waikatae wao wenyewe na wanao sema isipigiwe kura wawe na hoja kwanini isipigiwe kura na sio wanasema hivyo bila kuwa na hoja sahihi


CBE YAWAKUMBUKA WAMACHINGA, YAENDESHA UTAFITI KUWASAIDIA KUTAMBULIWA RASMI.

$
0
0
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam  Prof. Emanuel Mjema  akitoa ufafanuzi kuhusu utafiti  wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana  na  Shirika la Wafanyabiashara  kutoka nchini  Finland (FBMA)  kwa lengo la kubaini  fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto  na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye mfumo rasmi unaotambulika kisheria.
2
Makamu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam  Prof.  Simon Msanjila akitoa ufafanuzi kuhusu  mchango wa utafiti  wa shughuli za wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) unaofanywa na chuo hicho kwa kushirikiana  na  Shirika la Wafanyabiashara  kutoka nchini  Finland (FBMA) utakavyochangia maendeleo ya sekta ya biashara nchini.
………………………………………………………………………..
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.Dar es salaam.
Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kwa kushirikiana  na  Shirika la Wafanyabiashara  kutoka nchini  Finland (FBMA)  kinafanya utafiti  wa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) kwa lengo la kubaini  fursa za biashara zilizopo , faida, changamoto  na mchango wao katika maendeleo ya taifa pindi watakapoingizwa kwenye mfumo rasmi unaotambulika kisheria.
Akizungumzia utafiti huo leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa kwa kipindi kirefu wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama wamachinga wamekuwa katika malumbano na mamlaka za miji na majiji kote nchini kutokana na kukosa mfumo rasmi unaotambua biashara zao.
Amesema chuo chake kwa kuliona jambo hilo kikishirikiana na Shirika la Wafanyabiashara wa Finland (FBMA) kimeamua kuendesha utafiti huo kuanzia mwaka 2014 na kuongeza  kuwa matokeo ya awali yaliyopatikana ndani ya mwaka mmoja yamebainisha kuwa jiji la Dar es salaam lina wamachinga zaidi ya Laki saba (700,000) wanaofanyabiashara zao nje ya mfumo rasmi unaotambulika kisheria.

“Katika utafiti tumegundua kuwa Dar es salaam ina wamachinga wengi zaidi kuliko maeneo mengine walio nje ya mfumo rasmi unaotambuliwa na Serikali hii ni fursa, kwa sasa hakuna mfumo wowote unaotambua uwepo wao na baadhi yao wamekuwa wakilumbana na vyombo vya usalama na mamlaka husika jambo lililojenga uadui miongoni mwao” Amesema Prof. Mjema.
Amesema katika kutatua changamoto hizo utafiti huo utaangalia jinsi gani wamachinga watatambulika kisheria katika mfumo rasmi , pia kukisaidia Chuo cha Elimu ya Biashara kuandaa mitaala na programu mbalimbali za masomo ya biashara kwa vijana hao ambao wengi wao wameishia elimu ya darasa la Saba ili kuwajenge uwezo wa kutunza kumbukumbu za biashara zao pamoja na kuiwezesha Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara hao kufikiwa na huduma muhimu katika maeneo yao.
Aidha, amesema utafiti huo utawasaidia wafanyabiashara hao kuepuka hasara wanayoipata mara kwa mara kutokana na bidhaa zao kukamatwa na wakati mwingine kuharibiwa na mamlaka zinazohusika wakati wa oparesheni mbalimbali za kuwaondoa katika maeneo yasiyoruhusiwa kisheria kufanya biashara.
“Katika utafiti huu tunapendekeza kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa kuwatambua  wamachinga wote kote nchini ili waweze kujulikana  na  shughuli wanazofanya na  mchango wao kwa taifa” Amesisitiza.
Katika hatua nyingine Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa chuo chake kiko katika hatua za mwisho za uanzishaji wa mafunzo ya Shahada ya Ualimu katika Biashara  ili kuziba pengo la uhaba wa walimu wa kufundisha masomo ya Biashara katika shule za Sekondari na vyuo kote nchini.
Amesema chuo chake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimefikia uamuzi huo kufuatia  utafiti uliofanywa na jopo la wataalamu wa maandalizi ya Mtaala wa kufundishia programu hiyo mwaka 2012  uliobaini uwepo wa kiwango kikubwa cha uhitaji wa waataalam wa kufundisha masomo ya biashara wenye taaluma ya ualimu.
 “Sisi kama chuo cha Elimu ya Biashara tumeona uhitaji uliopo nchini wa kukosa wataalam wa kufundisha masomo ya Biashara wenye taaaluma ya ualimu ndio maana tumeamua kuanzisha  mtaala huu wa kufundishia wanafunzi wa Shahada ya Elimu katika Biashara ili  tupate wahitimu bora watakaofundisha wanafunzi wetu na kukidhi mahitaji ya soko” Amesisitiza.
Kwa upande wake Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof.Simon Msanjila akifafanua kuhusu  utafiti huo amesema  kuwa Serikali itanufaika zaidi kutokana na kutambua mchango wa wafanyabiashara hao pindi itakapowaingiza katika mfumo rasmi.
Amesema wafanyabiashara hao wanapotembeza bidhaa zao barabarani, mitaani pamoja na maeneo mbalimbali ya miji hufanikiwa kusanya zaidi ya shilingi elfu thelathini kwa siku ( 30,000) jambo linalotia matumaini  kwa sekta ya biashara na Serikali iwapo watathaminiwa na kujengewa mazingira mazuri ya kutambuliwa.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE DAR ES SALAAM

$
0
0
 02
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
01
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaoshiriki mkutano unaohiusu lishe bora unaoratibiwa na Sun Lead Group’s Visioning Sub Group(VSG) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.

SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO

$
0
0
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na  Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa  mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa Morogoro
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia 
 mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro.
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekeza Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele jinsi ya kutumia 
 mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME APRIL 09, 2015.

$
0
0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakati alipofanya ziara ya kutembelea Ofisi ya Zima moto na sehemu mbali mbali ikiwemo na ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.3
Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna  Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege waKimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo.4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya kichini inayojenga Jengo la Terminal II leo wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya  adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakatialipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Abiria Terminal II Yasser De Costa katika Wizara ya Miundimbinu na Mawasiliano   wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya  adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II unaojengwa na kampuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo (kushoto)Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili .Picha zote na Ikulu

AIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 Naibu Waziri wa fedha na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo.
 Kaimu mtendaji  mkuu wa Benki ya NMB Tom Borghols akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi mtendaji wa  Airtel  Sunil Colaso akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya  Selena jijini Dar es Salaam leo. 
Naibu waziri wa fedha   na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba (katikati) akizunzindua  huduma ya Airtel money  na Benki ya NMB wanaoshuhudia uzinduzi huo kulia ni  Kaimu mtendaji  mkuu wa Benki ya NMB Tom Borghols,  kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa  Airtel  Sunil Colaso.(Picha zote na Emmanuel Massaka.


Na Avila Kakingo Globu ya Jamii.

Wateja wa benki ya NMB  wamerahisishiwa  kazi kutokana na  benki hiyo kuungana na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel Tanzania  kwenye upande wa miamala ya fedha kwa urahisi na usalama zaidi.

Akizungumza Naibu Waziri wa fedha   na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba katika hoteli ya   Serena jijini Dar es Salaam leo  , amesisitiza kuwa huduma za Fedha kupitia simu za mkononi ni mhimu katika kuliletea maendeleo Taifa. Mwigulu  amesema kuwa ukuaji wa uchumi nchini umewasukuma watanzania kutumia simu zao za mkononi kupata taarifa kuhusu akaunti zao za benki popote pale walipo na wakati wowote.

Naye Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu ya Airtel,Sunil Colaso, alisema kuwa umoja huu ni ishara ya mageuzi katika matumizi ya Teknolojia katika kuboresha masisha ya watanzania kupitia simu za mkononi.

Kwa njia hii wateja wa Airtel na benki ya NMB kwa pamoja wanaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Airtel Money kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Alisema  Colaso.



 Pia katika uzinduzi huo utasaidia wateja wa Airtel kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Benki na za NMB.

Rais Kikwete atoa mhadhara katika Woodrow Wilson Centre jijini New York, Marekani, April 3, 2015


KEVERA AJITOA KWA VIJANA KATIKA KUIPIGA JEKI SEKTA YA MICHEZO

$
0
0
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga,Abuu Nido baada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa katika uwanja wa twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi wa Globu ya Jamii.

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni mwanamichezo ndio maana amejitoa kusaidia vijana katika sekta ya michezo kwa kutambua michezo ni ajira.

Akizungumza hivi karibani,Scolastica amesema ataendelea kujitoa kwa vijana katika michezo ili waweze kufika mbali na kuweza kusaidia watu wengine.




Scolastica amesema vijana wakijituma katika michezo wanaweza kupata mafanikio na kuweza kusaidia nchi kwa uchumi kuptia michezo.

WIMBO MPYA WA LADY JAYDEE FT MAZET & UHURU "GIVE ME LOVE"

$
0
0
IMG-20150410-WA0026
Artist:Lady jaydee Ft Mazet&UhuruSong: Give me loveProducer:Uhuru
Support Jaydee, Support Our Own

Kutoka ving’amuzi hadi ‘Android Application’,STARTIMES Hawakamatiki.

$
0
0
Kampuni ya STARMEDIA Technology maarufu kama Startimes imezindua rasmi ‘Android Application’ hii leo jijini Dar es Salaam.

Application hiyo inayofanya kazi katika simu zote zenye kutumia mifumo ya Android itakuwezesha kufahamu ratiba za chaneli zako zote kwa siku saba (wiki moja) zijazo, kuweka ‘reminders’ kwenye vipindi uvipendavyo, kuchat na watumiaji wengine wa StarTimes na kukusanya sarafu au‘coins’ zinazoweza kukombolewa na kujishindia zawadi mbalimbali.

Uzuri mwingine wa application hii iliyopewa jina la TENBRE ni kuwa haina gharama yoyote yaani ni bure kabisa. Unachotakiwa ni kuidownload kwenye simu yako kutoka Google Play, jisajili na anza kufurahia kila kinachojiri kwenye kiganja chako.

Ili kuweza kupata yote yanayojiri fuata njia zifuatazo.

1.      Hakikisha kuwa simu yako inatumia mfumo wa Android au kama simu yako ni kati ya Samsung zote, Huawei zote (isipokuwa W1 na W2), Techno zote, HTC zote, Sony, Motorola na LG.

2.      Tafuta/search Tenbre kwenye Google Play store au bofya hapa http://bit.ly/1Jv6MDn

3.      Download na install kwenye simu yako ya Android.

4.      Jaza sehemu zinazohitajika ili kujisajili.

5.      Furahia application yako.


Huu ni muendelezo wa huduma bora kutoa StarTimes kwa watanzania. Kampuni ya StarTimes Tanzania imekuwa ikitoa huduma bora na nafuu za matangazo ya digitali kwa miaka kadhaa hapa nchini. Kampuni hii inasifika kwa kuwa ndio walioleta mapinduzi ya kidigitali kwa sehemu kubwa nchini. Tunatarajia mengi mazuri zaidi kutoka StarTimes.


Kwa habari zaidi kuhusu application hii na huduma zao nyingine unaweza kutembelea moja kati ya kurasa zao mitandaoni.



FILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WENYE THAMAMANI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 32 HOSPITALI YA WILAYA YA LUDEWA

$
0
0
Mbunge  wa   jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  akikabidhi msaada wa  mataulo na mito kwa  mkurugenzi  wa  Halmashauri ya  wilaya ya  Ludewa  Wiliam Waziri kwa  ajili ya  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa.
Filikunjombe  mwenye  T-Shet ya  CCM  akisaidiana na  watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  kushusha  vifaa mbali mbali.
Watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  wakimshangilia mbunge  wao  Deo Filikunjombe kwa msaada Hospitalini hapo
Mbunge  wa  Ludewa  akizungumza na  watumishi wa Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa.
Watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  wakimshangilia mbunge  wao  Deo Filikunjombe kwa msaada Hospitalini hapo
Mbunge wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akionyesha   mataulo ya  kisasa

Watumishi  wa Ludewa  Hospitali  wakimsikiliza mbunge  wao
Katibu  mwenezi wa  CCM mkoa  wa  Njombe  Honoratus  Mgaya  kulia  akimtazama mbunge  Filikunjombe  wakati  akisisitiza uwajibikaji mzuri kwa  watumishi wa Hospitali ya  wilaya ya Ludewa  kushoto ni mkurugenzi wa Halmashauri ya  Ludewa  Wiliam waziri
mbunge wa  Ludewa  Deo Filikunjombe  kushoto akishiriki  kushusha  shehena na  vifaa mbali mbali  alivyovitoa katika  Hospitali ya wilaya ya  Ludewa
Filikunjombe  mwenye  T-Shet ya  CCM  akisaidiana na  watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  kushusha  vifaa mbali mbali
Mbunge  wa  Ludewa Deo Filikunjombe  mwenye  T-Shet ya  CCM  kulia  akisaidiana na  watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  kushusha  vifaa mbali mbali
Katibu  mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  Honoratus  Mgaya  wa  tatu  kushoto  akisaidia  kushusha mizigo
Vitu  vilivyotolewa na  Filikunjombe
Mbunge  Filikunjombe  akifurahi  jambo  wakati  akizungumza na   watumishi wa  Hospitali  ya  Ludewa mara  baada ya kukabidhi misaada  mbali  mbali 
Moja kati ya  magari ya  wagonjwa  yaliyotolewa na mbunge wa  Ludewa  Deo  Filikunjombe  jimboni mwake  kusaidia kubeba  wagonjwa  
                                       Na FG Blog, Ludewa

KATIKA kukabiliana na tatizo la uhaba wa vifaa mbali mbali katika Hospitali ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe mbunge wa Jimbo la Ludewa (CCM) Deo Filikunjombeamekabidhi msaada wa Mashuka ya wagonjwa 200, Blanketi ya kisasa 100,taulo za kuogea wagonjwa 200 pamoja na mito 100 ya kulalia wagonjwa vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya milioni 32 .

 Mbunge huyo amefikia hatua hiyo kutokana na tatizo kubwa la Hospitali hiyo kukabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo na vifaa hivyo kwa wagonjwa .

 Akikabidhi msaada huo hospitalini hapo jana mara baada ya kuzungumza na watumishi wa sekta ya afya Mbunge huyo ,aliwataka watumishi hao kuwa waaminifu kwa kuviangalia vifaa hivyo visipotee na badala yake wavitunze na vitumike kwa ajili ya wagonjwa na si vinginevyo .

 Alisema,anathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na watumishi hao katika kuwahudumia wagonjwa wanaolazwa katika hospitali hiyo lakini amewataka kuthamini wapiga kura wake hao kwa kuwapatia huduma inayostahiri na kuokoa maisha yao.

 “Nawaomba sana ndugu zangu watumishi mjitahidi kutunza hivi vifaa nilivyoleta ilimnitie moyo niendelee kusaidia zaidi ,kwani hii ni fedha yangu binafsi niliyokaata kwenye posho yangu ya vikao vya bunge pia naomba muithamini sana kazi yenu ,kwani ajira ni ngumu na kuna watu wanahangaika huko mitaani kutafuta ajira pamoja na usomi wao hakuna ajira, tuwatumikie wagonjwa kwa upendo na furaha ikiwa ni pamoja na kuhokoa maisha yao kwani wanachohitaji toka kwenu ni upendo na huduma nzuri tu,alisema Filikunjombe.

 Awali akisoma Risala fupi ya hospitali hiyo kwa Mbunge huyo Kaimu Mganga mkuu Hospitali ya Wilaya ya Ludewa Apolnary Nombo alisema,

Watumishi hao wanaheshimu jitihada kubwa ambazo amezifanyahususani kwenye sekta hiyo katika kipindi cha miaka mitano ainaonekana na zinapimika ndani na nje ya Bunge ikiwa ni pamoja na kuwatembelea mara kwa mara na kutoa misaada hospitalini hapo.

  Hata  hivyo  alisema  bado hospitali hiyo inakabiliwa na changamoto mbali mbali ambazo zinakwamisha maelengo yao ikiwemo ya kukosekana vifaa muhimu katika jengo la upasuaji ikiwemo mashine ya kuchemshia vifaa vya upasuaji na mashine za kutolea dawa za usingizi .

 Pia  changamoto nyingine ni uchakavu wa jengo la wazazi ambao unapingana na MDG 4 na 6 upunguzaji wa vifo vya wazazi pamoja na ukosefu wa chumba cha watoto wachanga ambao wakizaliwa njiti wanahitaji  huduma   hiyo  pamoja na changamoto  nyingine  ambazo  waliomba msaada  wa mbunge   huyo .

Mganga  huyo  alipongeza   jitihahada  mbali mbali  ambazo  zimekuwa  wakifanywa na  mbunge  Filikunjombe  katika  Hospitali  hiyo na Zahanati  za vijiji  mbali mbali katika  wilaya ya  Ludewa na kuwa  pasipo  kuboresha  huduma  za afya  kwenye  zahanati hizo  yawezekana  idadi ya  wagonjwa  kukimbilia katika  Hospitali  hiyo ya  wilaya  ingekuwa  kubwa  zaidi.

In Loving Memory

Viewing all 46343 articles
Browse latest View live


Latest Images