Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live

Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 yafanyika leo jijini Dar

$
0
0
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini Wakuu wa Redd's Miss Tanzania,Fimbo Butallah akitoa ufafanuzi juu ya Mada ua Udhamini na Wadhamini wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Vivian Shalua akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga na Kushoto ni Afisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Agnes Kimuage.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundenga akitoa Mada kwenye Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Mbeya City Center,Anitha Audax akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Tanga,Zahor Said akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Temeke,Benny Kisaka akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Chang'ombe,Tom Chilala akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Ustawi,Bress Urasa akijitambulisha kabla ya kuanza kwa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.
 Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred akiwa na Mrembo mwenzie alieshika nafasi ya tatu,Eda Sylvester wakiwa kwenye Semina hiyo.
 Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Kanda ya Kati,Mama Salome Kiwaya akichangia Mada katika Semina hiyo inayoendelea leo kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye (kulia) akiwa na Afisa Mipango wa Kamati ya Miss Tanzania,Yasson Mashaka pamoja na Muandaaji wa shindano la Urembo la Redd's Miss Tabata,Fred Ogot wakati wa Semina ya Mawakala wa Mashindano ya Urembo ya Redd's Miss Tanzania 2013 inayofanyika kwenye Ukumbi wa Jetty,uliopo ndani ya Hoteli ya Girrafe,Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo.

Africa Gender Action Plan & Gender Innovation Lab

$
0
0

Innovation Improves Gender Programs, Spurs Economic Development in Africa, World BankWASHINGTON, March 8, 2013 – Despite the steady economic growth in many African countries over the last few years, gains have not always translated into greater gender equality or poverty reduction, the World Bank announced today.   

To mark International Women’s Day, the World Bank’s Africa region launched two evidence based initiatives to step up its commitment to improve gender programs in Africa.  

First is the Africa Gender Action Plan, a five year blueprint for the Bank’s gender informed activities.   Next is the Gender Innovation Lab that will bring scientific solutions through rigorous impact evaluation that will transform how the World Bank will identify development solutions for some of its poorest clients.  Combined, the World Bank Africa Gender Action Plan and Gender Innovation Lab will link scientific evidence to guide gender-related lending operations in Africa.

In the past decade, African countries have made some considerable strides when it comes to gender equality,” says Makhar Diop, World Bank Vice President for Africa.  Today, we have moved from an intuitive understanding of gender programs to add the Gender Innovation Lab that will fill the knowledge gap by providing more qualitative and quantitative evidence than ever about what works and what doesn’t in terms of gender equality in sub-Saharan Africa,” concludes Diop.

On behalf of the World Bank, Diop said the new Gender Innovation Lab will provide development solutions to countries as it works to keep the momentum toward achieving gender equality in Africa.

The World Bank’s Africa Gender Action Plan, the institution’s regional strategy for addressing gender inequality, will advance development for both men and women using the latest technological tools that provide evidence on the effectiveness of gender programs through its funding and operations.

The Gender Innovation Lab, the first at the World Bank, brings science to improve delivery of its programs. The Lab already has over 20 impact evaluations under way, and they are providing clear evidence of what works.  This week, The Gender Innovation Lab received financial support from the UK’s Department for International Development (DFID) in the amount of USD$18 million.

Partnering with DFID and the government of Rwanda, a Lab impact evaluation showed how land title registration resulted in women increasing investments in land, at twice the level as men. Working with BRAC and researchers at the London School of Economics, another Lab impact evaluation showed that a program that provided life skills and vocational training through adolescent girls’ clubs resulted in 30 percent lower fertility, a 30 percent increase in the likelihood of girls working, and a 75 percent lower chance that they had been forced to have sex again their will. These are powerful lessons that show not only what works, but the payoffs to making these kinds of investments.  

Post-2015 Goals Must Include Non-Traditional Voices

Shifts in global influence from large emerging economies and the private sector are challenging the traditional development paradigm, experts note.  Experts also explain that global private sector firms are seeking to modernize their business models to match profits with responsibility through their supply chains, suggesting a post-2015 world will need to include new voices to the development debate.  

Experts agree that chief among the new voices should be women from developing countries.  

I am proud to be the first person from the South, the first African, the first woman to head such a respected organization like Oxfam International,” says Winnie Byanyima, UNDP Director of Gender and Development and Oxfam Executive Director Designate. “I’m stepping into a very powerful space, and I’m conscious of that.  I hope to bring the voices of poor men and women from my continent Africa and from the developing world to the global stage,” concludes Byanyima.  

For sub-Saharan Africa, The Bank notes that gender must be mainstreamed into all future development programs. However, it must also be a global priority.

Gender Programs Are a Global Priority

Globally, the World Bank is making financing available for gender equality by strengthening its monitoring and tracking systems, and by setting gender-related targets through the Bank’s corporate scorecard and in other ways. 

In 2012, for the first time in the series history, the World Bank’s World Development Report focused exclusively on gender equality and development. 

"And it was about time,” says Caroline Anstey, World Bank Managing Director. “We know that equal opportunity, regardless of sex, is not only the right thing to do; it is also smart economics,” concludes Anstey

Underinvesting in women puts a brake on poverty reduction as, amongst other things, women usually reinvest a much higher portion of their earnings into their families and communities, compared to men," she adds.

For its part, The World Bank is committing to funding more gender-related projects, to monitoring results more closely, and to making sure that more and more projects consider gender in their design, even if they do not have an explicit gender focus. 

In fiscal year 2012 alone, just over US$29 billion, or 83 percent of the World Bank's overall lending and grants, were allocated to gender-informed operations in education, health, access to land, financial and agricultural services, jobs, and infrastructure.  Part of the reason for this is that, together with our partners, we made gender a Special Theme of the International Development Association (IDA), which provides close to $50 billion in credits and grants to the poorest countries between 2011 and 2014—many of which are in Africa.

Hadi kufikia sasa Uhuru Kenyatta ana kura 5,159,344 Raila Odinga ana kura 4,516,660.

$
0
0

Siku nne baada ya kupiga kura wakenya wangali kujua mshindi, wa urais, baadhi ya yaliyojitokeza hadi sasa ni pamoja na malalamishi ya muungano wa CORD wake Raila Odinga kutaka tume ya uchaguzi kusitisha shughuli ya kuhesabu kura wakidai kufanyika udanganyifu.
Leo mashirika ya kijamii yamekwenda mahakamani kuitaka mahakama kuu kusitisha shughuli inayoendelea ya kuhesabu kura.

Hadi kufikia sasa Uhuru Kenyatta ana kura 5,159,344 Raila Odinga ana kura 4,516,660.Nayo tume ya uchaguzi yasema idadi kubwa ya kura zilizoharibika ilitokana na hitilafu katika mtambo wake ambao ulikuwa unaongeza idadi ya kura hizo mara nane

Wakenya wakiwa katika kipindi kigumu na cha wasiwasi kwani imechukua Tume ya Uchaguzi muda wa siku nne tangu kuanza shughuli ya kuhesabu kura na bado mshindi hajajulikana.
Kumekuwa na kila aina ya matukio katika muda huo wote. Tayari mashirika ya kijamii yameitaka mahakama kusitisha shughuli inayoendelea ya kuhesabu kura inayofanywa na tume ya uchaguzi.Muungano wa CORD unaoongozwa na tume ya uchaguzi, umelalamika ukisema shughuli hiyo ina mizengwe na wanataka ianzishwe upya.BBC.

MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI TUZO ZA MWANAMAKUKA KATIKA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

$
0
0
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwahutubia wanawake na wageni waalikwa katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, zilizofanyika sambamba na uksherehekea siku ya Wanawake Duniani, katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana Machi 8, 2013. 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya hundi ya Sh. milioni 6, mshindi wa kwanza wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, Aziza Mbogolume, wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika sambamba na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani, katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mshiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya Mwanamakuka, Mama Kusaga, akipita jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, ambapo zawadi hizo zilikabidhiwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, jana Machi 8, 2013 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, na baadhi ya wageni waalikwa wakishiriki kucheza muziki na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Baby Husna, wakati akitoa burudani kwenye hafla ya kutoa tuzo za Mwanamakuka 2013 zilizofanyika sambamba na sherehe za siku ya Wanawake Duniani, katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana.
   Mshiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya Mwanamakuka, Madam Ritha, akipita jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, ambapo zawadi hizo zilikabidhiwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, jana Machi 8, 2013 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
  Mshiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya Mwanamakuka, Madam Ritha, akipita jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, ambapo zawadi hizo zilikabidhiwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, jana Machi 8, 2013 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
  Mshiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya Mwanamakuka, akipita jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, ambapo zawadi hizo zilikabidhiwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, jana Machi 8, 2013 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mshiriki wa onyesho la mitindo ya mavazi ya Mwanamakuka, akipita jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, ambapo zawadi hizo zilikabidhiwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, jana Machi 8, 2013 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
 Mama Asha Bilal, akishiriki pamoja na wageni waalikwa kuburudika kucheza muziki wa kizazi kipya wa Msanii Q-Chilla, wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Mwanamakuka zilizofanyika sambamba na sherehe za siku ya Mwanamke Duniani, jana Mchi 8, 2013 katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mke wa Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wadhamini waliofanikisha kufanyika kwa hafla hiyo ya utoaji tuzi za Mwanamakuka 2013, baada ya kukabidhi tuzo hizo kwenye hafla hiyo iliyofanyika jana machi 8, 2013 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Msanii Baby Husna, akishambulia jukwaa na wimbo wake mpya wa miondoko ya mduara.

WAKAZI ZAIDI YA 160,000 JIJINI MWANZA KUNUFAIKA KWA MRADI WA MAJI KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI(SBL)

$
0
0


Mke wa rais mama Salma Kikwete akisaidiana na Meneja miradi wa

SBL Nandi Mwiyombela wakimtwisha ndoo ya maji mkazi wa jiji la Mwanza
Getrude Ngonyani kuashiria kuanza kutumika kwa kisima kwa ajili ya wakazi wa  
Mwanza.




 Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria


uzinduzi wa kisima kilichojengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Bia ya Serengeti  
kwa ajili ya wakazi zaidi ya 160,000 waishio jijini Mwanza, kushoto kwake ni  
Mkuu wa mkoa wa Simiyu na kaimu mkuu wa mkoa wa Mwanza Pascal K. Mabiti na 
kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Jaji Mark  
Bomani.
Meneja miradi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Nandi Mwiyombela
akitoa maelezo kwa mke wa Rais mama Salma Kikwetejuu ya kisima
kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia ya Serengeti katika Hospitali ya 
mkoa wa Mwanza - Sekou Toure.



Mke wa Rais mama Salma Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la
Mwanza(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji uliodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti katika eneo la  hospitali ya Sekou Toure ulifanyika Alhamisi ya wiki hii.

Meneja miradi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Nandi Mwiyombela
katikati akisalimiana na mke wa rais mama Salma Kikwete mara baada
yakuwasili katika hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure kwaajili ya
uzinduzi wa kisima cha maji na pembeni yake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mwanza Patrick Kisaka

==============
WAKAZI ZAIDI YA 160,000 JIJINI MWANZA KUNUFAIKA KWA MRADI WA MAJI KUTOKA  KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI(SBL)


Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries kupitia mpango wake wa kuisaidia jamii leo imekabidhi rasmi mradi wa maji uliopo katika Hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza. Mradi huo ulikabidhiwa na Mke wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika makabidhiano hayo.


Mradi  huo wa maji unatarajia kukidhi mahitaji ya watu zaidi ya 160,000 waishio jijini Mwanza na ambao wanatibiwa au kufika hospitalini  ya Sekou Toure. Mradi huu kwa kiasi kikubwa utapunguza mfumuko wa magonjwa na vilevile vifo vya watoto na kina mama wajawazito. Mradi huu wa Hospitali ya Sekou Toure unajumuisha kisima , pampu ya maji ya umeme na tanki la kuhifadhia maji la lita elfu kumi. Kampuni ya Bia ya Serengeti imetumia kiasi cha shilingi milioni 70 kukamilisha mradi huu. Kisima hiki kina uwezo wa kutoa  lita 240,000 kwa siku.

Akiongea katika hafla  ya makabidhiano  hospitalini Sekou Toure , Mama Salma alisema “ Nafarijika sana kujua kwamba Hospitali hii sasa imepata suluhisho la tatizo la maji walilokuwa nalo hapo awali.Na napenda kuwashukuru sana Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa juhudi zao katika kusaidia shughuli za kijamii na hasa katika upatikanaji wa maji safi na salama na hasa katika hospitali zetu.”


Kampuni ya Bia ya Serengeti wamekuwa mstari wa mbele katika kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama na tayari wamewezesha miradi mbalimbali ya maji  katika maeneo mbalimbali hapa nchini kama vile Iringa – Hospitali ya Frelimo, Moshi – Hospitali ya Mawenzi , Dar-es salaam – Hospitali ya Temeke na ule wa Mkuranga.


Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti , Bwana Evans Mlelwa , amesema “Suala la kuisaidia jamii kwa Kampuni ya Bia ya Serengeti limepewa kipaumbele na uzito wa hali ya juu na hasa katika kusaidia upatikanaji wa maji safi , salama  na pia endelevu.


Kama Kampuni SBL inatambua umuhimu wa maji kwa binadamu na pia mchango wa maji katika maendeleo ya nchi , kiuchumi na kijamii.Kama Kampuni kutafuta na kupata suluhisho la kudumu ni katika kuhakikisha tunatoa msaada kwa jamii inayotuzunguka na tunakofanya uzalishaji”. Aliongeza Mlelwa “Kampuni ya Bia ya Serengeti na EABL Foundation mpaka sasa tumeshawekeza zaidi ya milioni 300 za kitanzania , katika maeneo mbalimbali ambapo zaidi ya watu 450,000 wanafaidika na miradi hiyo”.

MICHUANO YA NSSF CUP 2013 YAZINDULIWA RASMI LEO

$
0
0
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akipa mpira wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya NSSF Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya NSSF Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau na Mwenyekiti wa Bodi, Abubakar Rajabu.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya NSSF leo.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akikagua timu ya Changamoto kabla ya pambano lao na timu ya Habari Zanzibar. Changamoto iliwavua ubingwa wa michuano hiyo mabingwa watetezi wa michuano hiyo timu ya Habari Zanzibar kwa kuitandika 3-0.
 Waamuzi wa mchezo wa ufunguzi wakisalimiana na mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka kabla ya mchezo.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akisalimiana na wachezaji wa Habari Zanzibar.
 Golikipa wa Habari Zanzibar akipatiwa matibabu baada ya kuumia.
 Kocha wa timu ya Changamoto, Mawazo Lusonza akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.
 Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (katikati) akifuatilia mchezo wa netiboli kati ya NSSF na Mlimani Tv, katika mchezo huo NSSF ilishinda 46-1 Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau na Mwenyekiti wa Bodi, Abubakar Rajabu.
 Meneja Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu akitoa maelekezo kwa Ofisa Uhusiano Kinongozi wa NSSF, Eunice Chiume wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo.
 Beki wa timu ya Changamoto, Emmanuel Balele akiruka juu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa wa ufunguzi wa mashindano ya NSSF Media Cup dhidi ya NSSF uliofanyika leo kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Changamoto imeshinda 3-0
 Mshambuliaji wa timya Habari Zanzibar, Amour Mohamed akimtoka beki wa Changamoto, John Robert 
 Kiungo wa timu ya Changamoto, Andrew Faustin akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa Habari Zanzibar, Thani Mfamau.
 Beki wa timu ya Changamoto, Emmanuel Balele akiruka juu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake.
 Timu za Nertiboli za NSSF na Mlimani Tv zikichuana ambapo NSSF imeshinda 46-1

ZANZIBAR NAO WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

$
0
0
 Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi.Anna Senga alie vaa suti akenda kutunza walipokuwa wakiburudika kwa Tarab iliyopigwa na kikundi cha Bigstaa na viongozi wengine katika sherehe za kuadhimisha siku ya wanawake Duniani.Machi 08/2013.
 
  Kikundi cha Tarab cha Bigstaa kikisubiri kutumbuiza katika kilele cha siku ya wanawake Duniani,huko Kijito Upele Fuoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi.Anna Senga alie vaa suti akenda kutunza walipokuwa wakiburudika kwa Tarab iliyopigwa na kikundi cha Bigstaa na viongozi wengine katika sherehe za kuadhimisha siku ya wanawake Duniani.Machi 08/2013. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. 
  Waziri wa Ustawi Wajamii, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zainab Omar akipokea mandamano ya kina mama wakati wa kilele cha siku ya wanawake Duniani,huko Kijito Upele Fuoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 
 Waziri wa Ustawi Wajamii, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zainab Omar alie vaa miwani Mwakilishi wa Fuoni Swaiba Kisasi wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wakina mama wa Fuoni wakati wa kilele cha siku ya wanawake Duniani.

Balozi mdoga wa China Bi.Chen akiwa na Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi.Anna Senga wakitizama mabatiki yanayouzwa na wajasiriamali wa jimbo la Fuoni katika kilele cha siku ya wanawake,huko Kijito Upele Fuoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 

JUMUIYA YA FAWE ZANZIBAR YAKABIDHI FEDHA KWA WANAFUNZI MAYATIMA

$
0
0
 Wakushoto Katibu wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar Dkt.Mwatima,wa katikati Kaimu Mratib Fawe Arafa Yahya na wakulia ni Bi Mwaka Sleiman Mlezi wakiwa katika Picha ya pamoja na wanafunzi waliopatiwa msada huko Ofisini kwao Vuga. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
  Katibu wa Jumuiya ya FaweZanzibar Dkt.Mwatima Abdalla Juma akimkabidhi msada wa fedha mwanafunzi Halima Vuai Issa uliotolewa na Al-Amana ya Dubai kupitia Jumuiya ya FaweZanzibar.
  Katibu wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar Dkt.Mwatima Abdalla Juma akimkabidhi msada wa fedha mwanafunzi Abushiri Abdalla uliotolewa na Al-Amana ya Dubai kupitia Jumuiya ya FaweZanzibar.
Katibu wa Jumuiya ya FaweZanzibar Dkt.Mwatima Abdalla Juma akifafanua kitu kwa wanafunzi mayatima waliofika kupokea msada wa fedha uliotolewa na Al-Amana ya Dubai kupitia Jumuiya ya  FaweZanzibar,hawapo pichani kulia Kaimu Mratibu Fawe Arafa Yahya hafla hiyo imefanyika ofisini kwao Vuga Mjini Zanzibar.
 Katibu wa Jumuiya ya FaweZanzibar Dkt.Mwatima Abdalla akizungumza na wazee na wanafunzi kabla ya kuwakabidhi msada wa fedha zilizotolewa na Al-Amana ya Dubai kupitia Jumuiya ya FaweZanzibar.

HABARI Group YAFANYA HARAMBEE NA KUFANIKIWA KUKUSANYA ZAIDI YA MILIONI SITA

$
0
0

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia katika harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waandishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza kikundi hicho kinaendeshwa chini  ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala 'Jukuila' kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia, Uzinduzi huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamaa, kushoto ni mratibu wa hafla hiyo Bi, Rabia Bakari  
Mratibu wa Kikundi ya HABARI Group Bi.Rabia Bakari akikabidhi risara ya kikundi hicho wakati wa uzinduzi 
Wana kikundi cha Habari Goup wakijitambulisha mbele ya mgeni rasmi .
WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI AMBAO NI WANACHAMA WA HABARI Group
WANACHAMA WA HABARI Group WAKICHEZA KWA SHANGWE 
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya dokomenti picha na www.burudan.blogspot.com

Rais Kikwete akutana na Rais Jackob Zuma jijini Pretoria

$
0
0
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini mwishoni mwa ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini humo ampapo alihudhuria mkutano wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele katika harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na pia aliongoza kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika SADC Troika jana(picha na Freddy Maro)

MAMA PINDA AHIMIZA AKINAMAMA KUWA WAZI NA WAAMINIFU

$
0
0

MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amewataka akinamama wanaojihusisha na shughuli za ujasiriamali kuwa waaminifu kwa wenza wao na wanafamilia wao ili waweze kupata ushirikiano kutoka kwao.
 
Alisema mbali ya majukumu mengi yanayowakabili, akinamama wanapaswa kuwa karibu na familia zao kwani ndiyo msingi mkuu wa Taifa. “Hatuna budi kutoa malezi mema kwa wenza wetu na watoto wetu. Tunapofanikiwa katika shughuli zetu,tusiache kuwa waaminifu kwa wana-familia wetu (akinababa na watoto wetu); tuwaheshimu na kuwaenzi kwa kuwashirikisha kazi tunazofanya ili tuweze kupata ushirikiano wao na baraka zao,” alisema.
 
Mama Pinda ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumamosi, Machi 10, 2013) wakati akizungumza na wanawake wajasiriamali walioshiriki Maonyesho Maalum ya Batik (Batik Gala Night) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwenye ukumbi wa Hellenic Club, Upanga jijini Dar es Salaam.
 
Maonyesho hayo yaliandaliwa na Kamati ya Tamasha la Wanawake Wajasiriamali Tanzania (MOWE) kwa kushirikiana na Ofisi ya Shirika la Kazi Duniani hapa nchini (ILO) yalikuwa na nia ya kuamsha chachu ya kuendeleza kazi za akinamama wanaofanya maonyesho kila mwaka yaliyopangwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
 
Alisema akinamama wanapaswa kuungana kwenye vikundi vya ujasiriamali ili waweze kuunganisha ujuzi, stadi walizonazo na kushirikishana uzoefu. Alisema hawana budi kuhakikisha kuwa bidhaa wanazozalisha zinakuwa na ubora wa kiwango cha juu ili waweze kukabiliana na ushindani kwenye soko.
 
“Napenda kusisitiza, suala la ubora wa bidhaa tunazozizalisha kwa kuzingatia viwango vya Kitaifa na kimataifa ili bidhaa zetu ziweze kupata uhakika wa soko. Hili litafanikiwa pia endapo tutazingatia pia ubora wa vifungashio tunavyotumia kwenye bidhaa zetu. Endapo, tutazingatia viwango, vifungashio na kutumia kiandishi-anuani (barcodes), sioni ni kwa nini bidhaa zetu zisiende hadi masoko ya mbali huko ughaibuni,” alisema.
 
Aliwataka akinamama wajipange vizuri kwa ajili ya Maonyesho makubwa ya kitaifa (MOWE) yatakayofanyika Oktoba mwaka huu ambayo yatajumuisha washiriki kutoka mikoa yote hapa nchini.
 
 Mapema, Mkurugenzi wa Shirika la Kazi hapa nchini (ILOTanzania), Bw. Alexio Musindo, alisema anawapongeza akinamama wajasiriamali chini ya kamati ya MOWE kwani kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na Ofisi yake, akianamama hao wameweza kujiamini zaidi na kuthubutu kushiriki maonyesho mbalimbali ndani na nje ya nchi.
 
Alisema jamii haina budi kuwekeza zaidi kwa wasichana kwa kuwapa fursa za kujiendesha kibiashara pamoja na ujuzi (skills) ili waweze kujiajiri kwani wanakumbana na vikwazo vingi wanapotafuta ajira ikiwemo, unyanyasaji na unyanyapaa.
 
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
S. L. P. 3021,
DAR ES SALAAM.
JUMAPILI, MACHI 10, 2013

RAIS KIKWETE AMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI RAIS MTEULE WA KENYA

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi nyingi Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Uhuru Kenyatta.



Katika salamu hizo zilizotumwa leo, Jumamosi, Machi 9, 2013, saa chache baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Kenyatta ameshinda Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika mwanzoni mwa wiki hii Jumatatu, Machi 4, 2013, Rais Kikwete amemwambia Mheshimiwa Uhuru Kenyatta:



“Mpendwa Rais Mteule na Kaka, ilikuwa ni furaha kubwa kwangu kupokea taarifa ya ushindi wako wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya. Niruhusu, kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania, na kwa hakika, kwa niaba yangu binafsi kukupogenza kwa dhati ya moyo wangu kwa mafanikio haya makubwa ya kuchaguliwa kwako.”



Ameongeza Rais Kikwete: “ Ushindi huu ni ushahidi na ishara ya wazi kabisa ya imani na matumaini ambayo wananchi wa Kenya waliyonayo katika uongozi wako. Huu ni utambuzi wa kazi yako maridadi na mchango wako mkubwa ambao umeutoa katika nafasi mbali mbali za uongozi katika siku za nyuma katika jitihada zako za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii na ustawi wa nchi yako na wananchi wake.”



Amesisitiza Rais Kikwete: “Wakati unajiandaa kuchukua madaraka ya juu zaidi katika nchi yako, napenda kukuhakikishia msimamo wangu binafsi pamoja na ule wa Serikali yangu wa  kuunga mkono Serikali yako. Ni imani yangu kubwa kwamba pamoja tutaweza kuendelea kusukuma mbele zaidi maendeleo ya nchi zetu – Kenya na Tanzania na pia utengamano wa Afrika Mashariki kwa manufaa ya nchi zetu na wananchi wake.”


Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

IKULU

DAR ES SALAAM


9 Machi, 2013


Exim Bank opens new branch in Shinyanga

$
0
0
 The Shinyanga Regional Commissioner Ali Lufunga (second left) cuts a ribbon to inaugurate the Exim Bank Shinyanga Branch at the weekend. Left is the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant. 
 The Shinyanga Regional Commissioner Ali Lufunga (second left) cuts a ribbon to inaugurate the Exim Bank Shinyanga Branch at the weekend. Left is the Exim Bank Assistant Marketing Manager Anita Goshashy

 The Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant (right) shares a light moment with the Shinyanga Regional Commissioner Ali  Lufunga ( left) during an event to launch the bank’s new branch in Shinyanga at the weekend
 Shinyanga residents familiarize themselves with the facilities at the Exim Bank Shinyanga Branch Opened at the weekend
 The Shinyanga Regional Commissioner Ali  Lufunga (left) draws cash from the ATM facility at Exim Bank Shinyanga Branch during the official inauguration of the branch at the weekend. Looking on at the right is the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant and Exim Bank Shinyanga Branch Manager Justus Mkurasi (centre).
 Shinyanga Branch Exim Bank staff pose for a group photo during the official opening of the branch at the weekend
The Shinyanga Regional Commissioner Ali  Lufunga (red tie) poses for a group photo with Exim Bank Tanzania management staff. Fifth from the left is the Exim Bank Tanzania Managing Director Anthony Grant. 

Standard Bank appoints two new Chief Executives

$
0
0

Mr. Jacko Maree
Mr. Tshabalala Sim
Ben Kruger
========  ======  =======
Standard Bank appoints two new Chief Executives
Johannesburg,
Standard Bank Group (SBG) has appointed two new Chief Executives to replace Jacko Maree (57) who is stepping aside as Group Chief Executive of SBG after more than 13 years at the helm of Africa’s largest bank.

According to a statement released from the bank, Mr Maree retired as chief executive on Thursday, and resign from the boards of directors of Standard Bank Group, The Standard Bank of South Africa (SBSA) and Liberty Holdings, following a carefully planned management succession process. The statement says he will remain employed by the group as a senior banker focusing on key client relationships while not performing an executive or managerial role.

“The board expresses its deep appreciation to Jacko for his substantial contribution to Standard Bank over a career of more than 32 years, and is delighted that his skills will remain within the group. Under Jacko’s leadership, the Standard Bank share price has increased from R21 to R118, the dividend per share is up almost seven times, and the group’s market capitalisation has grown from R30 billion to R190 billion,” said Group Chairman Fred Phaswana. The bank has appointed Sim Tshabalala (45) and Ben Kruger (53) as Chief Executives of Standard Bank Group with immediate effect.

The statement shows that Mr Tshabalala and Mr Kruger will be held accountable and responsible, both jointly and severally, for the management and performance of SBG. “To take advantage of each of the joint Chief Executives’ skills, knowledge and talent, they will split the main duties as follows: Sim Tshabalala will remains Chief Executive of SBSA and will take charge of the group’s banking businesses outside South Africa on the African continent. He will also take charge of the group’s Wealth businesses, including responsibility for Liberty Holdings. Simon Ridley, the Group Financial Director, will report to him.

“Ben Kruger will remain in charge of Personal & Business Banking (PBB) and Corporate & Investment Banking (CIB). He will remain chairman of Standard Bank Plc and will be responsible for the Group Risk function. Peter Wharton-Hood, the Chief Operating Officer responsible primarily for IT and Operations, will report to him,” the statement noted. Sim Tshabalala, Ben Kruger and Peter Wharton-Hood will join the boards of Standard Bank Group.

breaking News;basi la kilimanjaro express litokalo dar kwenda arusha lapata ajali

$
0
0
Pichani juu na chini ni baadhi ya abiria wakiwa nje ya basi lao la Kilimanjaroo Express lenye namba za usajili T860 BVA walilokuwa wamepanda wakitokea jijini Dar kuelekea jijini Arusha mapema leo asubuhi,ajali hiyo imetokea eneo la Mombo ambapo chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa kuwa ni dereva wa basi hilo alikuwa akimkwepa muendesha baiskeli,matokeo yake basi hilo likakosa mwelekeo na kupinduka,aidha katika jali hiyo inaelezwa kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa lakini hakuna aliyepoteza maisha.


bingwa wa dunia wa mchezo wa Kareti kutengeneza filamu inayopinga mauaji ya walemavu wa ngozi, albino

$
0
0
Bingwa wa Dunia wa mchezo wa Karate ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la mchezo huo duniani, Professa Maurizio Martina akimfundisha mwandishi wa habari wa kampuni ya Sahara Communication, Joyce Nsima moja ya mbinu atakazozitumia kuwafundisha albino na wanawake kwa lengo la kujilinda wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana uliofanyika kwenye hotel ya JB Delmonte. 

Bingwa wa Dunia wa mchezo wa Karate ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la mchezo huo duniani, Professa Maurizio Martina akionyesha moja ya mbinu atakazozitumia kuwafundisha albino na wanawake kwa lengo la kujilinda wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana uliofanyika kwenye hotel ya JB Delmonte
=======   ======== =======
KAMPUNI ya  Advanced security Limited imeingia  makubaliano na bingwa wa dunia wa mchezo wa Kareti,  Profesa Maurizio Martina wa Italia kwa ajili ya kutengeneza filamu mbalimbali pamoja na ile inayopinga mauaji ya walemavu wa ngozi, albino na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.
Makubaliano hayo yalifanyika jana kwenye hotel ya JB Delmonte na filamu hiyo itaanza kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa na kukamilika kwa miezi mitatu. Mwenyekiti wa Kampuni ya Advanced Security Limited, Juma Ndambile alisema kuwa  sababu kubwa ya kuingia katika masuala ya filamu ni moja ya shughuli zake katika kujihusisha na masuala ya jamii.
Ndambile alisema kuwa kampuni yao ni Limited na kutokana na hilo inaweza kufanya shughuli nyingine mbalimbali tofauti na huduma ya ulinzi na usalama. Alisema kuwa katika filamu hiyo, atawashirikisha waigizaji mbali mbali wa hapa nyumbani na wapo mbioni kukamilisha taratibu zote kwa mujibu wa sheria ya kurekodi filamu hapa nchini.
Kwa mujibu wa Ndambile, Profesa  Maurizio  ambaye ameigiza filamu nyingi katika nchi za mbali mbali pamoja na Uingereza na Marekani mbali ya Italia atashirikiana na mke wake, Angel Howel na mwanaye, Dumiano ambaye amewahi kuigiza na mcheza filamu maarufu duniani.
Profesa Maurizio alisema kuwa pia atafundisha wanawake jinsi ya kujilinda kwa kutumia mchezo wa karate ili kuondoa unyanyasaji wa wanawake nchini. Amesema kuwa amefanya kazi  hiyo nchi mbali mbali ikiwa pamoja na DR Congo na Afrika Kusini.
“Lengo la filamu yangu ni kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na mila potofu za kuwaangamiza albino na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake,” alisema Profesa Maurizio ambaye pia ni Rais wa Dunia wa Shirikisho la Mchezo wa Kareti.

MARY RUTTA WA MANYARA ATWAA TAJI LA MISS UTALII TALENT 2013

$
0
0
Mary Chrisostom Rutta, kutoka Mkoa wa Manyara (katikati) akifurahi baada ya kutangazwa mshindi. Kushoto ni Jamia Abdul (Kagera) na Joan John kutoka Lindi ambao waliingia tatu bora.
Mary na warembo wenzake wakishangilia ushindi huo.
Warembo wakionesha vipaji kwa kucheza ngoma za asili.
Wakionesha vazi la ubunifu.
Msanii wa ngoma za asili kutoka Bagamoyo, Chemundu Gwao, akicheza na warembo hao.
Ilikuwa ni shangwe na furaha tupu kwa washiriki na ubunifu wao.
Mwakilishi wa Kagera, Jamia Abdul, akicheza ngoma ya Kihaya.
Mikogo pia ilipewa nafasi yake mbele ya meza kuu.
Rais wa Miss Utalii Tanzania na Jaji Mkuu wa kinyang’anyiro hicho, Gideon Chipungahero ‘Chipss’ (kulia) na majaji wenzake wakikusanya pointi.
Meya wa Manispaa ya Temeke, Maabad Hoja, akimvisha Sasha mrembo huyo baada ya kutangazwa mshindi.
DJ Max (kulia) na Mc Adria Cleophace walifanya kazi kubwa ya kunogesha tukio hilo. MREMBO Mary Rutta kutoka Mkoa wa Manyara jana usiku aliwabwaga warembo wenzake 26 katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Miss Utalii mwenye kipaji. Kinyang’anyiro hicho kilifanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

CPwaa to be one of the speakers for the impact of ICT in Tanzania Entertainment Industry at MoMoDar

$
0
0


A Tanzanian Music Artist Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa who has 3 Tanzanian Kilimanjaro Music Awards and multiple International Music Awards nominations including "The Channel O Africa Music Video Awards" will be one of the key speakers at MobileMonday (MoMo) in Dar es salaam this Monday of 11th March 2013. CPwaa who is one of Tanzanian International Bongoflava Artists is also an  ICT specialist with over 7 years of work in Tanzania Telecommunication Industry. Started working in 2006 immediately after graduating from college CPwaa is a professional IT Engineer and Technical Project Manager.Currently working as IT consultant for different companies and a Music stakeholder.

At this Mobile Monday CPwaa will share his experience, success and challenges in the entertainment industry and how technology has impact on it.The event will take place at KINU Innovation offices  and other speakers include:

1. Rashid Shamte - Head of Group Strategy, 6Telecoms.
2. Luca Neghesti - Enterpreneur and founder of Bongo5.
3. Charles Motadane - Head of value Added Services and Internet, Vodacom Tanzania.
4. Hussein Mkwazi - Final year student at IFM, Part-time programmer.

For more about Mobile Monday (MoMoDar)  visit www.mobilemonday.net and www.mobilemonday.co.tz

For more about CPwaa visit www.cpwaa.co.tz and www.pwaaa.com

Thank you and Best regards.

hafla ya wanawake wajasiria mali ilivyofana jijini dar

$
0
0
Kamati ya maandalizi ikipiga picha ya pamoja na Mh  Angellah kairuki, Naibu waziri wa Katiba na sheria ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya wanawake wajasiria mali waliposheherekea siku ya wanawake duniani machi 9 kwa kufanya kongamano na maonyesho ya bishara zetu kwenye hotel ya Mbezi Garden jijini dar.
 Mh Angellah Kairuki akicheza muziki na wakinamama wajasiria mali
Naibu waziri wa Katiba na sheria,Mh Angellah Kairuki akizunguzma na wajasiria mali
 baadhi ya wajasiria mali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo .
Mh Angellah kairuki akiangalia maonyesho ya wakinamama

MSAFARA WA KINANA WATUA ETHIOPIA JIONI HII, UKIENDA CHINA

$
0
0

 Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa  Joram Mukama Biswalo (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto), baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Ndege wa Kimataifa wa Adis Ababa, akitua kwa muda kwenye Uwanja huo akiwa safarini kwenda China kwa ziara ya kikazi. Wengine kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu, Titus Kamani.
 Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM, Edward Mpogolo (kushoto) na Ofisa anayeshughulikia Siasa za Kimataifa, Makao Makuu ya CCM, Amos Siantemi wakiratibu taratibu za safari ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwenda China, leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Maofisa hao pia walikuwa sehemu ya msafara huo.
Baadhi ya viuongozi na maofisa wa Chama wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Addis Ababa baada ya msafara wa Kinana kutua kwa saa sita kwa ajili ya kuendelea na safari ya kwenda China jioni hii.

 Mkuu wa Kitengo cha Itifaki na Uhusiano wa Kimataifa wa Makao Makuu ya CCM, D. U. H. Mshana na Mkuu wa Kitengo cha Sera za Jamii na Mahusiano ya Umma, Jasinta Mboneko  na Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ya CCM, Juliana Chitinka wauaga ujumbe wa CCM wakati ukiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliokuwa ukienda china kwenye ziara ya kikazi ya siku kumi ikiongozwa na Kinana.
 Baadhi ya viongozi na maofisa wa Chama waliopo kwenye msafara huo wakiwa kwenye basi maalum kwenda kupanda ndege ya Ehiopian Airlines wakati wa safari hiyo,. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live




Latest Images