Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live

SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI KATIKA KAMPENI YAO YA ‘NIJALI

$
0
0

Waajiriwa wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo watakiwa kuwa waadilifu

$
0
0
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea kwa msisitizo kuhusu maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Barnabas Ndunguru akifafanua jambo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa mikutano uliopo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mwajiriwa mpya katika kada ya Afisa Habari akichangia mada wakati wa semina elekezi ya waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia mada wakati wa mafunzo elekezi kwa ajili ya kuwajengea uwezo kujua taratibu za Kiutumishi wa Umma semina iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waajiriwa wapya na baadhi ya viongozi wa wizara hiyo mara baada ya kufungua mafunzo kwa watumishi wapya leo jijini Dar es Salaam.

Picha na Frank Shija, WHVUM

South Sudan's SPLM warring factions ink CCM-brokered framework agreement to address conflict causes

$
0
0
Factions of the ruling party in South Sudan, the Sudan Peoples’ Liberation Movement (SPLM), on Monday 20th October, 2014 signed a framework agreement aimed at addressing root causes of the conflict that erupted in mid-December and plunged the country into violent crisis. 

The signing ceremony, held at the Ngurdoto Mountain Lodge in the outskirts of Arusha, was witnessed by the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, as well as the SPLM faction of former detainee, who also participated in the talks. 

The Chairman of the Tanzania's  ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, also witnessed the occasion. 

Delegates of the three rival groups of the South Sudanese ruling party met in Arusha from 12th to 18th of this month to try to come up with the framework of the intra-SPLM dialogue which is being facilitated by CCM. 

The framework agreement highlighted preamble, principles, objectives and agenda that will be discussed in the intra-party dialogue. It also included rules of engagement and role of CCM. However, it said the process is distinct from the peace talks which take place in Addis Ababa, Ethiopia. 

 "The parties recognize that the Arusha process is essentially an intra-SPLM dialogue and is separate and distinct from the IGAD mediated peace talks among South Sudanese stakeholders. 

"Yet the parties are fully aware that the two processes, although separate, are mutually interdependent and reinforcing,” partly reads a communiqué. 
The document recommits the parties to the principles of democracy, internal democracy especially on matters of decision making, elections, succession and peaceful transfer of power. It further calls for “unity of SPLM as a safeguard against fragmentation of the country along ethnic and regional fault lines.”

 “Initiate measures to stop the war, lead the government and the people of South Sudan towards peace, stability and prosperity,” it further urges. 
Both leaders expressed their commitment to the intra-party dialogue that would reunite the divided historical party. 

The document was signed by senior officials of the rival factions, namely Daniel Awet Akot, Peter Adwok Nyaba and Pagan Amum Okech, representing SPLM in government, SPLM-in-Opposition and SPLM former detainees, respectively. 

The agreement serves as a roadmap for further negotiations in trying to reunite the ruling party and end the war, with guiding principles and objectives for further discussions and possible resolutions The governance crisis within the SPLM gave birth to the 15 December violence which has unfortunately plunged the country into the current national crisis or civil war. 
The intra-party dialogue provides a supplement to the peace talks in Addis Ababa to try and address the root causes of this conflict within the ruling party. 
The framework agreement has also recognized the need to “revitalize, reorganize, strengthen and restore the SPLM to its vision, principles, political direction and core values. 

Analysts say the dialogue, could provide an avenue for progress on key issues, including deep divisions between South Sudanese party leaders, if respected.
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete walks to the conference hall with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, ready for the Monday 20th October, 2014 ready for the signing ceremony of the framework agreement aimed at addressing root causes of the South Sudan conflict that erupted in mid-December and plunged the country into violent crisis. 
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete leads  to the high table  the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny 
Mr Pagan Amum Okech, representing SPLM in government, makes his opening remarks
Part of the conference hall during the ceremony
Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, is introduced
A relaxed atmosphere as the CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana engage in pep talks before the start of the proceedings at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny as Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
A relaxed atmosphere as the CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana engage in pep talks at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny as Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
Mr. Pagan Amum Okiech of  the SPLM-in-Opposition makes his remarks

Mr. Pagan Amum Okiech of  the SPLM-in-Opposition makes his remarks
Mr Daniel Awek Okot of the SPLM-in-Government delivers his statements 
Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe steers the meeting
CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana makes his statements
CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana addresses the delegates
CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana speaks on
SPLM factions sign framework agreement. They are  Peter Adwok (right), Daniel Awet (center), CCM Secretary General Abdulraman Kinana, and Pagan Amum (left). Behind are the principal leaders and their host CCM Chairman President Kikwete
The media bust at work to record the historic event

Grang Demebiar, son of late Sudanese politician Dr. John Garang, have his picture taken 
SPLM factions sign framework agreement. They are  Peter Adwok (right), Daniel Awet (center), CCM Secretary General Abdulraman Kinana, and Pagan Amum (left). Behind are the principal leaders and their host CCM Chairman President Kikwete
Hand shake after SPLM factions signed the  framework agreement. They are  Peter Adwok (right), Daniel Awet (center), CCM Secretary General Abdulraman Kinana, and Pagan Amum (left). Behind are the principal leaders and their host CCM Chairman President Kikwete

SPLM factions show off the signed the  framework agreement. They are  Peter Adwok (right), Daniel Awet (center), CCM Secretary General Abdulraman Kinana, and Pagan Amum (left). Behind are the principal leaders and their host CCM Chairman President Kikwete

Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition addresses the delegates
Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition speaks on
Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition makes a point as he commits to the signed agreement
Members of the Secretariat and obsevers
President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government makes his speech 
Delegates listen to President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government 
President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government, speaks on 
A bird's eye-view of the conference hall as President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government, addresses the delegates

President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government concludes his speeh 
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete adresses the delegates
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete speaks on
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete makes a point
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete shakes hands with President Salva Kiir Mayardiit, as Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition looks on
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete shakes hands with Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete shakes hands with Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition shares a jokes with former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
 President Kikwete listens to Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe
Signing of the communique
Part of the delegates
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition
The Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, in a group photo with delegates from the SPLM-in-Government
he Chairman of  the Tanzanian ruling party,  Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of  SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, in a group photo with delegates from the SPLM-in-Opposition.
STATE HOUSE PHOTOS.

ALLAN LUCKY AONESHA UWEZO KWENYE MOJA NA MBILI

$
0
0
Allan Lucky
Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi maarufu cha Televisheni kinachohusiana na maisha ya wanafunzi wawapo shuleni, Allan Lucky a.k.a Rais wa Wanafunzi ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake nchini Kenya, ameibuka na kipaji kingine, U-DJ.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Allan Lucky amewaambia mashabiki wake kuwa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi, atakuwa anatoa kupitia Hulkshare mixing mpya kali ambayo mtu yeyote anaweza kui-download na kuisikiliza mahali popote, iwe ni kwenye gari, nyumbani, house party na kadhalika. Unaweza kupitia ukurasa wake wa Hulkshare kupata mixing zote kali kutoka kwakehttp://www.hulkshare.com/AllanLucky
Mwezi huu ametoa mixing ya nyimbo za zamani za miondoko ya RnB ambazo zilipendwa sana miaka ya 90 na mwanzoni 2000. Unaweza pia kuipata kwa kuingia kwenye link hii: http://www.hulkshare.com/allanlucky/hotshit-mixx-11
Kwa taarifa zaidi,unaweza kutembelea kurasa zake za Facebook, Twitter na Instagram.
hotshitvol1

Chuo Kikuu Ardhi kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na taka ngumu

$
0
0
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrissa Mshoro akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mpango wa chuo hicho wa kuendelea na jitihada za kutatua tatizo la udhibiti wa maji taka na tanga ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji na gesi asili ya kupikia, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma wa chuo hicho Prof. Gabriel Kassenga.

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi ambaye pia ndiye mtaalam wa teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka (waste treatment facilities) Dkt. Shabaan Mgana Akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) namna Teknolojia hiyo ya kubadili taka ngumu na maji taka inavyotumika na kuwasaidia wananchi walioonesha nia ya kuitumia ikiwamo kupata mboji kwa ajili ya mazao, mimea pamoja na kupata gesi asili ya kupikia, ambapo mpaka sasa kiasi cha nyumba 100 za awali katika mtaa wa Migombani, kata ya Segerea na  nyumba mia moja katika Chuo Kikuu cha Ardhi zimeshaunganishwa katika Mradi huo, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idrissa Mshoro

 Mkemia Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya Chemicals Bw. Benedict Mtenga Akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) jinsi wanavyoendelea kunufaika na teknolojia hiyo ya kibiolojia ikiwemo kutumika kusafisha maji taka yanayozalishwa na kiwanda hicho na kuepusha uharibifu wa mazingira,wakati wa ziara iliyofanywa katika kiwanda hicho ili kuona jinsi teknolojia inavyofanya kazi.

 Miundombinu ya majaribio ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili tanga ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji zilizojengwa katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Ardhi, mtaa wa Migombani, kata ya Segerea na katika kiwanda cha Madawa ya Binadamu cha  Mansoor Daya Chemicals.

 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo na kutembelea maeneo ilipojengwa miundombinu ya teknolojia za kibiolojia zinazobadili taka ngumu au maji taka ambayo huzalishwa majumbani kuwa mboji.

 Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Bi. Minza Selele akiwaeleza waandishi wa habari jinsi mtambo wa kuzalisha gesi asili inayotokana na mabaki ya chakula, taka za jikoni na mbogamboga, wakati wa ziara iliyofanywa chuoni hapo kujionea jinsi teknolojia ya kubadili taka ngumu na kuzalisha gesi asili ya kupikia inayofanya kazi.


Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Bi. Minza Selele akiwasha karatasi kwa kutumia Gesi Asili iliyozalishwa na Mtambo huo.
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO

RITA YAFANIKIWA KUSAJILI WANAFUNZI ELFU 15 MANISPAA YA ILALA.

$
0
0
 Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu Mafanikio ya Mkakati wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Manispaa ya Ilala.
 Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro akiwaeleza  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu kueneza Mkakati  wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Manispaa ya Kinondoni na Temeke baada ya kumaliza Manispaa ya Ilala. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya mafanikio kutoka kwa  Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro leo jijini Dar es Salaam. Picha na MAELEZO.

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

$
0
0
 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.
 MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.
 WASHIRIKI  KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
 WASHIRIKI  KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
 PICHA YA PAMOJA NJE YA UKUMBI WA MKUTANO
 JOPO LA WANANDAAJI KUTOKEA WA WARSHA YA USALAMA MITANDAO KUTOKEA COMSAT TUKIBADILISHANA MAWAZO NA WATAALAM WA NDANI  KUPANGA MIKAKATI ENDELEVU NA RAFIKI KUONGEZA UWEZO KWA WATAALAM WA NDANI.
KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA AKITAMBULISHWA NA BWANA YUSUPH KILEO BAADHI YA WASHIRIKI WA WARSHA HIYO - MMOJA KUTOKA KENYE (DR. WAUDO SIGANGA - MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATAALAM WA TEHAMA NCHINI KENYA PAMOJA NA BWANA. TAJAMMUL HUSSAIN - MSHAURI WA COMSAT)

Tumieni namba za simu kudhibiti uendeshaji holela - UDA

$
0
0

Miongoni mwa mabasi ya shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) yanayofanyakazi katika maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam. Na kila basi lina namba za simu ili kurahisisha abiria na watumiaji wa mabasi hayo kutoa maoni juu huduma zitolewazo na mabasi ya shirika hilo.


Abiria na watumiaji wengine wa barabara Dar es Salaam wameombwa kusaidia katika kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria na makondakta wa Dar es Salaam kupitia namba za simu zilizochapishwa katika mabasi yote ya Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA).


Taarifa iliyotolewa na uongozi wa UDA jana na kusainiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Bw.  George Maziku, imesema utumiaji wa namba hizo utaisaidia pia kampuni kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wake. 


 “Tunawakumbusha wateja wetu wapendwa pamoja na watumiaji wengine wa barabara kuripoti uzembe wowote au utovu wa nidhamu utakaofanywa na madereva na makondakta wa UDA ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yao ambazo zitasaidia kuboresha huduma zetu kwa jamii kwa ujumla.”


“Mbali na kuboresha utoaji wa huduma zetu, UDA inalenga kuwa mfano wa kuigwa kwa mabasi mengine ya abiria nchini katika uzingatiaji wa sheria, utoaji wa huduma nzuri kwa wateja na kuwa kichocheo cha kupunguza  foleni katikati ya jiji la Dar es Salaam. Hii itakuja pale ambapo wamiliki wa magari binafsi watakapoanza kutumia usafiri wa umma wenye gharama nafuu,” alisema.


Bw. Maziku alisisitiza kuwa uongozi wa UDA utachukulia kwa uzito mkubwa na kuyafanyia kazi maoni yote yakayokuwa yakitolewa kupitia namba hizo zilizotolewa ili kuondokana na dhana potofu iliyopo kuwa wamiliki na waendeshaji wa kampuni za magari ya abiria ni watu ambao hawajaelimika.


Alisema kuwa, mbali na uwepo wa namba hizo za simu, UDA itaendelea na utekelezaji wa utaratibu wake wa kutuma waratibu kupanda mabasi ya kampuni hiyo na kuripoti juu ya utendaji kazi wa madereva na makondakta wa mabasi hayo.


“UDA imelenga kuhakikisha kila mteja anapata huduma bora ambazo zinakidhi matarajio yao na wakati huohuo, zikiwa zinaendana na matakwa elekezi ya usalama barabarani,” aliongeza.


UDA ina zaidi ya mabasi 400 yanayofanya kazi, hii inaifanya kuwa kampuni kubwa zaidi ya magari ya abiria Tanzania. 


KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU

$
0
0


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA FEDHA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
                   
KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kudhibiti Fedha Haramu (The Eastern and Southern Africa Anti - Money Laundering Group (ESAAMLG)) ulioanzishwa mwaka 1999,  kwa lengo la kuweka mikakati ya pamoja ya kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi kwa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.  Baada ya kuanzishwa kwa umoja huo, Tanzania ilitunga Sheria za Kudhibiti Fedha Haramu mwaka 2006. 

Umoja wa ESAAMLG umejiwekea utaratibu wa kufanya tathmini ya mifumo yao ya kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi kwa kuzingatia mazingira ya nchi wanachama na viwango vya kimataifa vilivyowekwa na kikosi kazi cha kimataifa kijulikanacho kama “The Financial Action Task Force “(FATF)”.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilifanyiwa tathmini ya mfumo wake wa kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi mwaka 2009.  Tathmini hii ilihusu maeneo ya kisheria, sera na kitaasisi.  Aidha, mkutano wa FATF uliofanyika mwezi Juni, 2014 mjini Paris - Ufaransa, ulijadili hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Tanzania na kuridhika kuwa hatua hizo ni kubwa na endelevu  na kuwa ipo dhamira ya hali ya juu ya kisiasa katika kuimarisha mfumo wa kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi nchini.  

Pamoja na hatua hizi muhimu za kuimarisha mfumo wa kudhibiti fedha haramu na uhalifu kwa ujumla, Kitengo chetu cha Kudhibiti Fedha Haramu kimekua mwanachama wa umoja wa vitengo vya kudhibiti fedha haramu duniani unaojulikana kama “Egmont Group of Financial Intelligence Units”. Kujiunga na umoja huu kutakiwezesha kitengo cha kudhibiti Fedha Haramu  Tanzania kuimarisha ushirikiano na taasisi zinazoshughulikia udhibiti wa fedha haramu na ufadhili wa ugaidi duniani, kurahisisha kupata taarifa za kiintelijensia zinazotakiwa katika utendaji wake wa kazi na kuongeza weledi na tija ya utendaji kazi kupitia mafunzo maalum na ubadilishanaji utaalam baina ya vitengo vya udhibiti wa fedha haramu. 

Kutokana na hatua zote hizi, tunapenda kuujulisha umma kuwa, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingizwa katika orodha ya nchi zenye mifumo imara ya Kudhibiti Fedha Haramu na Ufadhili wa Ugaidi na hivyo tutaendelea kuimarisha na kusimamia mfumo wetu kwa manufaa na usalama wa mali za wananchi wetu.


Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila fedha haramu wala uhalifu inawezekana!!
Taarifa hii imetolewa na

Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha
11468 Dar Es Salaam

TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYAMISATI MKOA WA PWANI WILAYA YA RUFIJI.

$
0
0
 Kibao cha Shule hii.
 Sehemu ya majengo yaliyokabidhiwa kwa Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (hawapo pichani)
 Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (katikati) na Mkuu wa shule Anthony Lindi.
 Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akikata utepe kabla ya kumkabidhi majengo ya madarasa Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) Mkuu wa wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (wa pili kulia) na Kiongozi wa WAMA (kulia)
 Viongozi wakitembelea moja ya sehemu za shule.
 Sehemu ya mbele eneo la Shule.
 Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akizungumza.
 Wahitimu 10 wa kidato cha nne 2014 katika Shule hiyo akiwepo Msichana mmoja tu.
Naibu Waziri TAMISEMI Kassim Majaliwa (katikati) na Viongozi wa WAMA wakiangalia Maabara ya Shule hiyo.

TOYOTA IPSUM INAUZWA

$
0
0
Year 2001,Mileage 78200 kwa atakeyehitaji wasiliana na +255 788 000 768








MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, wakati alipofika ofosini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, na kufanya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akigana na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Mh.Samia Suluhu mgeni rasmi uzinduzi wa njia mpya za shirika la ndege la Flydubai jijini Dar leo

$
0
0

Wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo wa njia mpya ya shirika la ndege la Flydubai lenye makao yake makuu Dubai..
Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo wana habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani) katika hafla fupi ya uzinduzi wa njia mbili mpya za shirika la ndege hiyo kutoka Dubai kuja jijini Dar es salaam na Zanzibara (nchini Tanzania). Bwa.Sudhir amesema kuwa shirika hilo la Flydubai liliingia katika soko la kibiashara kuanzia mnamo mwaka 12009,ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kuongeza njia mpya sita (six new routes ) .
 Wageni waalikwa wakishangilia jambo.
Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tukio hilo .

Chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella Manispaa ya Ilala yavuka lengo

$
0
0
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu akionyesha picha ya yenye maelezo ya Chanjo ya kukinga ugonjwa wa Surua na Rubella wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la chanjo hiyo linalofanyika nchi nzima.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.

Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la chanjo hiyo linalofanyika nchi nzima.

Dkt. Sangu alisema kuwa zoezi la kutoa chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Surua na Rubella linaendelea vizuri katika Manispaa ya Ilala kama ilivyopangwa ambapo linafanyika kwa muda wa wiki moja katika kote nchini. “Ninawaomba watu wote ambao hawajajitokeza kupata chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Surua na Rubella, wafike kwenye vituo vya kutolea chanjo hiyo ili kuokoa maisha ya watoto, akina mama wajawazito, akiba baba na vijana” alisema Dkt. Sangu.

Dkt. Sangu alisema kuwa idadi ya watu walioitikia wito wa kupata chanjo hiyo imekuwa kubwa katika Manispaa ya Ilala suala ambalo linawapa faraja ambapo watu wa rika zote wamejitokeza kupata huduma.

Ili kutoa huduma ya chanjo kwa wakati kulingana na ratiba, Dkt. Sangu amesema kuwa imewalazimu kuongeza vituo 30 ambapo timu ya wahudumu kutoka kwenye vituo mama inatoka ili kuwafuata wananchi waliko.

Awali Manispaa ya Ilala ilitenga vituo 236 vya kutoa chanjo hiyo kwa wananchi ndani ya Manispaa hiyo.

Dkt. Sangu amesema kuwa mafanikio idadi kubwa hiyo ya mwitikio wa watu  kupata chanjo katika manispaa ya Ilala yanatokana na sifa ya kuwa katikati ya jiji ambapo watu wengi hupata huduma mbalimbali za kijamii.

Kwa upande wake Afisa Muuguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo Ilala Queen Lutufyo amesema kuwa mwitikio wa watu kuja kupata chanjo ni mzuri na hawajakosa wateja muda wote wakati wa kutoa huduma hiyo kituoni hapo.

Aidha, katika zoezi la kutoa chanjo hiyo magonjwa ya Surua na Rubella wahudumu pia wanatoa dawa za magonjwa ya matende, mabusha, minyoo na matone ya vitamin ‘A’.

Muda wa kutoa huduma hiyo ya chanjo vituoni ni kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni licha ya kwanba wakati mwingine huduma hiyo hutolewa hadi saa 1:00 usiku kulingana na idadi ya wateja waliopo katika kituo wakati huo kuanzia Oktoba 18 hadi 24 mwaka huu.

Zoezi la kutoa chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Surua na Rubella nchini linaongozwa na kauli mbiu inayosema “Linda, Okoa, Zuia ulemavu- Kamilisha Chanjo” na kusimamiwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa ufadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Kusaidia Watoto (unicef), Shirika la Afya Duniani (WHO), Shirika la Misaada la Marekani (UNSAID) na Muungano wa watoa chanjo duniani (Gavi).

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania yaanzisha masomo ya jioni ya diploma ya ukutubi

$
0
0


Mkuu wa Kitengo cha Mipango kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Bw. Comfort Komba akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) Kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Ofisi hiyo ikiwamo ujenzi wa majengo ya chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka kilichopo Bagamoyo na uzinduzi wa maktaba za wilaya za Kibaha, Chunya, Ruangwa, Ngara, Rulenge, Masasi na Mbulu, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Georgina Misama.




Na Hassan Silayo-MAELEZO.

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania imeanzisha masomo ya jioni ya diploma ya ukutubi katika Kampasi ya Dar es Salaam katika mwaka wa masomo 2014/2015.Hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa maombi ya wanafunzi wanaohitaji kuendelea na masomo baada ya kuhitimu mafunzo ya cheti.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mipango kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Bw. Comfort Komba wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Comfort alisema kuwa masomo hayo kwa awali yalikuwa yakitolewa katika kampasi ya Bagamoyo lakini kutokana na kuongezeka kwa uhitaji wa masomo hayo ambapo mpaka sasa kuna wanafunzi wapya 130.

“Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania imeamua kuanzisha masomo ya jioni ya diploma ya ukutubi katika Kampasi ya Dar es Salaam katika mwaka wa masomo 2014/2015 na utaratibu huu tunautekeleza kutokana na kuwepo kwa ongezeko la uhitaji wa wanafunzi” Alisema Comfort.

Aidha Comfort alisema kuwa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania kwa kushirikiana na halmashauri za Wilaya na Mikoa imefanikiwa kuanzisha maktaba katika wilaya mbalimbali ikiwemo Kibaha, Chunya, Ruangwa, Ngara, Rulenge, Masasi na Mbulu.

Akizungumzia kuhusu uhufadhi wa machapisho ya kitaifa, Comfort  alisema kuwa Ofisi hiyo imefanikiwa kuhifadhi jumla ya vitabu 1,300,000 pamoja na majarida 950,000 tangu Bodi hiyo ilipoanzishwa katika ngazi ya Mikoa, Wilaya hadi Tarafa.
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania ni Shirika la umma lililopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Mahakama ya Tanzania imedhamiria kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote

$
0
0


Kaimu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mashauri kutoka Mahakama ya Tanzania Bw. John Kahyoza akiwaeleza waandishi wa (hawapo pichani) mikakati iliyoweka iliyowekwa na Mahakama ya Tanzania ili kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote na kwa wakati kwa vitendo, kwa kuhakikisha inapunguza muda wa mashauri kukaa mahakamani, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Mahakama ya Tanzania Bi. Mary Gwera.
Picha na Hassan silayo-maelezo


Na Georgina Misama-MAELEZO.

Mahakama ya Tanzania imedhamiria kutekeleza  dira yake ya haki sawa kwa wote  ili kuhakikisha inapunguza muda wa mashauri na  rufaa kukaa Mahakamani kwa muda mrefu.

Hayo yamesemwa  na  Afisa Habari wa Mahakama ya Tanzania Bi Mary Gwera wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Akizitaja hatua zilizochukuliwa na Mahakama Bi Mary alisema, kuboresha bajeti ya kushughulikia mashauri kupitia mfuko wa mahakama toka bilioni 57 kwa mwaka 2012/13 mpaka bilioni 88 mwaka 2014/15, Idadi ya vikao vya Mahakama ya Rufani vimeongezeka kutoka 26 mwaka 2012 hadi 34 mwaka 2013/14.

Aidha, Bi Mary alisema kuwa hatua nyingine ni pamoja na kuanzisha kitengo cha Mahakama Kuu Dar es Salaam kitakachoshughulikia masuala ya utatuzi wa mashauri kwa njia ya suluhu muafaka, pia uundwaji wa kamati ya kanuni za Mahakama itakayosaidia kutunga au kurekebisha kanuni ili kuhakikisha kuwa kanuni zinazotumika Mahakamani si chanzo cha kuchelewa mashauri Mahakamami.

Naye, Kaimu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mashauri kutoka Mahakama ya Tanzania Bw. John Kahyoza alisema kuwa Mahakama imeanza kuchukua hatua za kuimarisha ukaguzi wa shughuli za Mahakama na maadili ya watumishi kwa kuanzisha kurugenzi ya ukaguzi na maadili.

Aidha, Bw Kahyoza alivitaja viwango ambavyo kila hakimu au Jaji anatakiwa kuvitimiza kwa mwaka na muda ambao mashauri yanatakiwa kuwa Mahakamani kuwa ni Mh. Jaji wa Mahakama Kuu analenga kumaliza kesi 220, Mahakimu wa Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi kesi 250 na Mahakimu wa Mahakama za mwanzo kesi 260.

Mahakama Kuu inatoa rai kwa Watanzania kufika Mahakamani kwa Tarehe zinazopangwa ili kuisaidia Mahakama kuhakikisha inapunguza muda wa mashauri kukaa Mahakamani.
 

WANAHABARI WASHIRIKI SEMINA YA KUWAONGEZEA UJUZI NA WELEDI KATIKA KURIPOTI HABARI ZA FEDHA NA UCHUMI

$
0
0
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani)  wakati wa ufunguzi wa semina hiyo leo mjini Bagamoyo,Mkoani Pwani,Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) bw. Juma Reli  wa  tano kutoka kulia (mwenye suti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari za fedha  na uchumi mara baada kufungua semina iliyoandaliwa na Benki hiyo ikiwa ni moja ya mikakati yake katika kuelimisha wananchi  ili waweze kutumia fursa zilizopo ikiwemo kushiriki kununua dhamana za Serikali.
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) bw. Juma Reli (katikati mwenye suti nyeusi )akiwaeleza waandishi wa habari za  Fedha na uchumi kuhusu majukumu ya benki hiyo mara baada ya kufungua rasmi Semina kwa waandishi hao iliyolenga kuwaongezea ujuzi na weledi katika kuripoti habari za  fedha na Uchumi.
Baadhi waandishi wa habari wa  za Fedha na Uchumi waliohudhuria Semina ya kuwajengea uwezo iliyoandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania Wakimsikiliza Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) bw. Juma Reli   (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo leo mjini Bagamoyo Mkoani Pwani.

Frank Mvungi- Maelezo,Bagamoyo
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa wananchi kushiriki katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo endelevu.

Hayo yamesemwa  leo mjini Bagamoyo na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli wakati akifungua Semina kwa waandishi wa habari za Uchumi na Fedha  iliyoandalliwa na Benki hiyo.

Akifafanua Bw. Reli amesema  waandishi wa habari wanalo jukumu la msingi la kuuhabarisha umma kuhusu majukumu ya Benki hiyo katika kukuza uchumi na fursa zinazotolewa na Serikali ili kuwanufaisha wananchi.“Navipongeza Vyombo vya habari hapa nchini kwa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa za uchumi na fedha kwa wananchi” alisema Reli.

Akizungumzia Lengo la Semina hiyo Reli amesema imelenga kuwaongezea ujuzi na weledi waandishi hao ili kuwasaidia wananchi kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu fursa za kiuchumi zilizopo na namna wanavyoweza kunufaika nazo.

Naye Meneja Uhusiano na Itifaki wa BOT Bi. Zalia Mbeo alisema kuwa mwaka huu waandishi wa habari wapatao 20 wanashiriki katika Semina hiyo ambapo mwaka  jana ilifanyika kwa mara ya kwanza  na ilihusisha waandishi wa habari 15.

Pia  bi Mbeo alisema BOT  itaendelea kushirikiana na vyombo vya habari hapa nchini kwa kuwa ni wadau muhimu katika kutoa taarifa kwa wananchi kuhusu  Kazi zinazotekelezwa na Benki hiyo kwa maslahi ya Taifa na wananchi wake.

Mada zitakazotolewa katika Semina hiyo ni pamoja na Ushiriki wa wananchi katika dhamana za Serikali,Soko la pamoja kwa nchi za  Jumuiya Afrika Mashariki,Kurugenzi ya uchumi na Sera,Kurugenzi ya huduma za Kibenki na Sarafu,Kurugenzi ya usimamizi wa Mabenki,Kurugenzi ya Mifumo ya malipo na Bodi ya Bima ya Amana.


SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI

$
0
0
MONTAGE
SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI KATIKA KAMPENI YAO YA ‘NIJALI, MCHANGO WAKO TUMAINI LA MAISHA YANGU’ KWA AJILI YA WATOTO WA SOS VILLAGES ITAKAYOFANYIKA TAREHE 24/10/2014 PALE HOTEL YA SERENA MJINI ZANZIBAR KUANZIA SAA MOJA USIKU.

MGENI RASMI ATAKAWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR MOHAMMED GHARIB BILAL, TICKET ZINAUZWA SHILLING LAKI MBILI ZA KITANZANIA AU SHNG MILION MBILI KWA MEZA YA WATU KUMI, PIGA SIMU NO 0756-860231 AU 0715-003355 UNAWEZA PIA CHANGIA KWA KUPITIA EASY PESA NO 0774 022270 AU TIGO PESA 0652 475847

PUSH MOBILE MEDIA LTD, PARTNERS WITH APALYA TECHNOLOGIES FOR OTT VIDEO STREAMING TECHNOLOGY

$
0
0
Push Mobile Managing Director, Freddie Manento (L) exchange documents contract with Apalya Technologies International Business, Rishabh Gunjal, Apalya to provide best-in-class mobile video solutions across East and Central Africa. 

Dar es Salaam. Tanzania’s leading interactive mobile communications technology provider, Push Mobile has partnered with Apalya Technologies, South Asia’s leading technology platform provider to enhance mobile video and live TV streaming experience in Tanzania and into other markets across the region.

Freddie Manento, Push Mobile Managing Director, speaking at the signing ceremony held at Push Mobile offices said the partnership serves to cement Push’s vision and mission of being the mobile communications market leader in East Africa and the international sphere and a provider of high quality products and services.

 “Our partnership with Apalya Technologies is in line with our strategy to expand our video and Live TV streaming technology to new markets around the region and they are the right technology partners to take us there.” said Manento.

On his part Rishabh Gunjal, Apalya Technologies’ AVP – International Business said “Apalya Technologies is excited to partner with Push Mobile in their drive to provide best-in-class mobile video solutions across East and Central Africa. Apalya’s leadership across the emerging markets of India and South Asia as well as their 8 year track record in working with some of the biggest global telecom brands will be a great leverage in helping Push Mobile serve the growing mobile market in this region.”

He said that the firm partnership promises the best platform in terms of technology and content offering providing an opportunity to mobile network operators to monetize their mobile data network with best possible consumer experience.

Television stations and production houses can use this platform to create new revenue stream in digital media space. Consumers will also have access to best of local and international content at an affordable price across all video streaming supported devices like feature phones, smart phones, tablets and PCs.

MAOFISA WA UN WAHAMASISHA WANAFUNZI WA JANGWANI KUTEKELEZA AJENDA ZA UMOJA WA MATAIFA

$
0
0
DSC_0132
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Bi. Usia Nkhoma Ledama, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani akiwa ameambatana na maafisa wenzake wa mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwa ni shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa unazishwe. Kushoto kwa Bi Ledama ni Albert Okal (ILO).

Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 69 toka Umoja wa Mataifa uanzishwe zimeanza nchini, na leo jumatano maofisa waandamizi wa UN walitembelea shule ya sekondari ya Jangwani na kuwahabarisha wanafunzi hao juu ya shughuli za Umoja wa Mataifa hapa nchini.

Mjadala kati ya maofisa hao Phillemon Mutashubirwa, Programme Manager wa UN Habitat, Usia Nkhoma Ledama, Afisa habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa(UNIC), Albert Okal (ILO),Greta Sayungi (UNICEF), ulijikita katika masuala ya HIV/AIDS, EBOLA, Usafi na umuhimu wakuosha mikono ili kujikinga na maradhi, elimu ya ujasiriamali, ajira kwa vijana, kazi za kujitolea, malengo ya Milenia na malengo ya Umoja wa Mataifa kwa ujumla wake.

Ijumaa wiki hii Umoja wa Mataifa utaadhimisha mkiaka 69 toka uanzishwe na kilele cha maadhimisho hayo yatafanyika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
DSC_0106
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Bi. Usia Nkhoma Ledama akifafanua jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa shule yasekondari Jangwani jijini Dar. Kutoka kushoto ni Phillemon Mutashubirwa (UN Habitat), Greta Sayungi (UNICEF) pamoja na Dr Bwijo Bijo (UNDP)
DSC_0094
Pichani juu na chini ni Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani wakiwasiliza maafisa wa Umoja wa Mataifa waliowatembelea shuleni hapo.
DSC_0083
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live


Latest Images