Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46201 articles
Browse latest View live

Alhaj Ali Hassan Mwinyi asema bado viongozi wanatumia madaraka yao kujinufaisha

0
0
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. 
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda (kwanza kushoto) akizungumza kwenye semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda (kwanza kushoto) akizungumza kwenye semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda akizungumza kwenye semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. 
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda akizungumza kwenye semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.

Katibu Msaidizi Kanda ya Mashariki, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Getrude Cyriacus (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada juu ya Rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma kwa wanasemina. Katibu Msaidizi Kanda ya Mashariki, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Getrude Cyriacus (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada juu ya Rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma kwa wanasemina.Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Baadhi ya washiriki katika semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.

 Na Joachim Mushi, Dar RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amesema bado viongozi wa umma wanatumia madaraka yao na Ofisi zao kwa kujinufaisha wenyewe na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani hivyo kuna kila sababu ya kuleta sheria ya kuziba mianya hiyo kwa viongozi wanaokwenda kinyume na maadili.

 Alhaj Mwinyi ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. Alisema licha ya kuwepo kwa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995 inayotumika sasa bado kumekuwa na wimbi kubwa la mienendo ya matumizi mabaya ya ofisi na madaraka kwa viongozi wa umma kwa kujinufaisha wenyewe kimaslahi. 

"...Maana yake ni kwamba umma sasa haupewi kipaumbele unavyo stahiki. Maamuzi ya viongozi yanatolewa kwa maslahi binafsi na hivyo kudhihirisha kuwepo kwa tatizo la mgongano wa maslahi. Viongozi hao waliopewa dhamana na wananchi wanatumia rasilimali za umma ili kujinufaisha binafsi au shughuli zao ambazo wanazo pembeni," alisema Rais huyo mstaafu. 

Alisema hata hivyo sheria ya maadili ya viongozi wa umma imekuwa na mapungufu kwa kuwabana baadhi ya viongozi wa umma na kuwaacha wengine pamoja na watumishi wa umma hivyo kujikuta nao wakijihusisha na mgongano wa kimaslahi. Hata hivyo, ameongeza kuwa tayari Serikali imeona mianya hiyo na hivyo kuanza mchakato wa kuja na sheria maalum itakayo dhibiti hali hiyo. 

"...Nadhani mmewahi kusikia mara kwa mara namna ambavyo Rais wetu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiagiza Serikali kufanya jitihada za dhati ili kuhakikisha kuwa viongozi wa umma wanaacha au wanajiepusha na tabia ya kushiriki zaidi kwenye biashara na kuacha jukumu lao...," .

alifafanua Mwinyi akiwaeleza washiriki wa semina hiyo. Aidha aliipongeza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kuanza mchakato wa kutungwa kwa sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma, ambapo itakapo kamilika huenda ikawa suluhisho la mgongano wa kimaslahi kwa viongozi na watumishi wa umma. 

 Rais huyo mstaafu aliwataka wanasemina kuijadili rasimu iliyowasilishwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na kutoa maoni yao kuiboresha zaidi ili itoke na majibu ya kero ya muda mrefu ya Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma. 

Kwa upande wake, Katibu Msaidizi Kanda ya Mashariki, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Getrude Cyriacus akiwasilisha mada juu ya Rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma kwa wanasemina kabla ya mjadala alisema wataalam wa Sekretarieti hiyo wamefanya utafiti kwenye mataifa mbalimbali na kutoka na mapendekezo ambayo yataongoza mjadala kuelekea kupata sheria nzuri. 

 Naye Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Salome Suzete Kaganda akizungumza katika semina hiyo, alisema Rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma walioiandaa itajadiliwa na wadau mbalimbali ili kupata maoni kabla ya kuwasilishwa kwenye baraza la makatibu wakuu kuboreshwa zaidi kabla ya mchakato kupanda ngazi za juu. 

Aidha aliwataka wananchi na wadau wengine kuendelea kuijadili Rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma pindi itakapo wafikia na kutoa maoni kwa lengo la kuiboresha zaidi ili itakapo kamilika iweze kufanya kazi vizuri na kujibu kero zilizopo katika eneo hilo la viongozi wa umma. 

“...Mapendekezo ya sheria hii hayalengi kuwafanya viongozi kuwa maskini, bali kasi yao ya ukwasi iendane na hali halisi ya kipato chao. Sheria hii itakapopitishwa itapunguza ubinafsi wa viongozi walioko madarakani kujipendelea wenyewe na maeneo wanayotoka.” Alifafanua Jaji Kaganda. *Imeandaliwa na www.thehabari.com

Nakumatt set to celebrate golden milestone with opening of 50thbranch in Arusha, Tanzania this Saturday

0
0
 Regional retailer, Nakumatt Holdings, will this weekend kick-off a series of consumer reward programmes to celebrate the opening of its 50thBranch in Arusha, Tanzania, this Saturday.

The opening of Nakumatt Arusha, formerly operated by South African Retailer- Shoprite- is a major milestone for the retailer, as it had earlier set a corporate target to open its 50thbranch by February 2015 under its Nakumatt 2.0 Corporate Development Strategy. Having started its supermarket operations in 1992 with its pioneer Nakumatt Mega store located along Nairobi’s Uhuru Highway opposite Nyayo Stadium, Nakumatt has been enjoying steady growth for the last 20 years.

Under the stewardship of its Managing Director Mr. Atul Shah, Nakumatt has over the last two decades managed to revolutionalise East Africa’s formal retail operations having pioneered several retail concepts. Among other retail concepts, Nakumatt was the first retailer to unveil The 24 hrs shopping across the region.

With a staffing force of more than 7000 across the region, Nakumatt is perhaps now the leading formal sector employer in Retail sphere in East Africa.Across the region, Nakumatt has been at the forefront in the promotion of regional retail trade integration and currently operates 8 branches in Uganda, 4 in Tanzania and 2 in Rwanda alongside its 36 Kenya stores.

“This weekend, we shall be opening our 50thbranch in Tanzania which will also symbolically confirm our commitment to expand our services beyond East Africa in the next five years,” Shah affirmed.

And added: “As we celebrate this golden milestone, we are also kicking off a variety of consumer reward programmes to express our corporate appreciation to our smart shoppers across the region.” Currently enjoying a more than US$650million turnover for its regional operations, Shah confirmed that Nakumatt’s future looks bright with its  expansion plans now trained on such markets as, South Sudan and Burundi among others.

With the opening of Nakumatt Mlimani, Pugu road and Nakumatt Arusha Shah, pointed it out that Nakumatt now has four running stores in Tanzania. The three new stores are the latest additions to the existing Nakumatt Moshi store which opened its doors in 2011 in the bustling town at the foot of Mt Kilimanjaro.

In Kenya, Nakumatt is also gearing up for the opening of two new stores in Kenya by the end of the year.  Alongside the store openings, Nakumatt is also actively enhancing its private brands (Nakumatt Select and Nakumatt Blue Label) roll-out across the East Africa region, to offer the best value proposition to its loyal shoppers.

WAKO MAKUMBUSHO NYUMA YA ACCESS BANK,CHANGAMKA MZIGO MPYA UMEINGIA

0
0




 Tuko makumbusho nyuma ya access bank
No 0713656534
IG vicky_ collection
Price range handbags 43000
Jumla 39000
Viatu
Reja 40000
Jumla 29000
Clutch and wallet Jumla 25000
Reja 35000
Tuko wazi SAA 3 asubuhi mpaka SAA 2 usiku
Tunatuma mizigo mikoa yote tanzania

RADIO EFM YAZIDI KUIBOMOA RADIO ONE,BAADA YA KITENGE YAMNYAKUWA MWINGINE TENA.

0
0
Embedded image permalink
Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge .Saa moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao. baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.

Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10

0
0
 Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi Sylvia Lupembe akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu jitihada wanazofanya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kukabiliana na changamoto katika sekta ya elimu,wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na Uhusiano toka benki ya KCB Bi. Christina Manyenye.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Uhusiano toka benki ya KCB Bi. Christina Manyenye akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mipango waliyoiweka kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania katika kuendeleza na kuinua sekta ya Nchini.kushoto ni Meneja Sheria na Uhusiano toka kampuni ya uuzaji na usambazaji wa mafuta ya TOTAL Bi. Masha Msuya.
Afisa Rasilimali Fedha toka taasisi isiyo ya kiserikali ya Social Action Trust Fund (SATF) Bw. Timotheo Tenga akiwaeleza jambo waandishi wa habari( hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Sheria na Uhusiano toka kampuni ya uuzaji na usambazaji wa mafuta ya TOTAL Bi. Masha Msuya.
 Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakiwasikiliza wawasilishaji toka Mamlaka ya Elimu Tanzania, KCB, TOTAL, Social Action Trust Fund (SATF) leo Jijini Dar es Salaam. PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO.

=======  ========

Frank Mvungi-Maelezo.

Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia  kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10 zilizopo jijini Dara es salaam katika kukabiliana na Tatizo la upungufu wa madawati hapa nchini. Hayo yemesemwa na Meneja Habari Elimu na Mawasilano wa Mamlaka ya  hiyo Bi Sylvia Lupembe wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

“Wanafunzi zaidi ya 6000 watanufaika na madawati hayo ambayo yatagharimu zaidi ya shilingi Milioni Mia Moja na Hamsini (150,000)” alisema Lupembe. Akifafanua Bi Lupembe amesema shule zitakazonufaika ni Chamazi, Mbande, Boko NHC, King’ong’o, Hekima, Bwawani, Bunju, Goba, Kombo na Kingugi.

Katika kuhamasisha wadau wengine kushiriki kwenye mchakato wa kuchangia madawati Bi Lupembe amesema kuwa Mamlaka ya Elimu Tanzania imezingatia rai iliyotolewa na Waziri Mkuu ikielekeza kuwa tatizo la madawati katika shule za msingi limalizike ifikapo mwezi Juni, 2015 kwa kulipa kipaumbele suala hilo. Pia Bi Lupembe alibainisha kuwa tathmini ya mwaka 2013 Tanzania ina upungufu wa madawati 1,147,471 hivyo ni jukumu la kila mdau kuunga mkono juhudi hizo ili kuondoa tatizo hilo kote nchini.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB Bi Christina Manyenye amesema wamekuwa wakishiriki katika kuchangia madawati ambapo kwa mwaka jana walichangia zaidi ya madawati 700.

“Tutaendelea kusaidia huduma za jamii katika maeneo mablimbali kama tunavyofanya katika sekta ya Elimu” alisisitiza Manyenye Mamlaka ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya Mafuta ya TOTAL na wadau wengine kama Kenya Commercial Bank  (KCB), na Social Action Fund  wamekuwa katika ushirikiano tangu mwaka 2013 katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Elimu hapa nchini ikiwemo ya upungufu wa madawati.

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MASHINDANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI AFRIKA MASHARIKI

0
0

PICHA ZA KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.

0
0
 Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Adam Malima akijadiliana jambo na mjumbe wenzake  John Cheyo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba 11 wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba Moja wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu(katikati) akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Makamu wake ,Profesa Makame Mbarawa na kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Ali Kessy.(Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba)

Ruvuma Yazinduwa Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum

0
0
Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa wa Ruvuma. Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni zinazotarajia kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa wa Ruvuma.Mhamasishaji wa Utalii na Maliasili katika Kampeni ya Bwela Kuni, Bakari Likapo akizungumza katika mkutano na wanahabari. Mhamasishaji wa Utalii na Maliasili katika Kampeni ya Bwela Kuni, Bakari Likapo (wa pili kulia) akizungumza katika mkutano na wanahabari.Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa Ruvuma. Produza C9 (katikati) akizungumza na wanahabari kuzungumzia Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum aliouandaa kuzungumzia Mkoa wa Ruvuma.
Baadhi ya vijana na washiriki wa Kampeni ya Bwela Kuni katika mkutano na wanahabari. Baadhi ya vijana na washiriki wa Kampeni ya Bwela Kuni katika mkutano na wanahabari.Baadhi ya vijana wasanii walioimba wimbo maalum wa Kampeni ya Bwela Kuni unaousifia Mkoa wa Ruvuma wakitoa kionjo cha wimbo huo katika mkutano na wanahabari. Baadhi ya vijana wasanii walioimba wimbo maalum wa Kampeni ya Bwela Kuni unaousifia Mkoa wa Ruvuma wakitoa kionjo cha wimbo huo katika mkutano na wanahabari.Baadhi ya vijana na wasanii pamoja na viongozi wa Kampeni ya Bwela Kuni wakiwa katika picha ya pamoja. Baadhi ya vijana na wasanii pamoja na viongozi wa Kampeni ya Bwela Kuni wakiwa katika picha ya pamoja.

 BAADHI ya Vijana kutokea Mkoa wa Ruvuma wakishirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wameandaa kampeni maalum ya kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa huo kupitia sanaa ya muziki kwa kuwashirikisha wasanii na vijana wenye vipaji.

 Kampeni hizo zilizopewa jina la 'BWELA KUNI' neno la lugha ya Kingoni lenye asili ya mkoa huo likiwa na maana ya 'njoo hapa' zitazinduliwa rasmi mwishoni mwa Septemba, 2014 kwa tamasha kubwa litakalofanyika katika Uwanja wa Maji Maji mjini Songea hivi karibuni. Akizungumzia na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga alisema kampeni hizo zilizo na lengo la kunadi fursa anuai za uwekezaji zinazopatikana eneo hilo kwa kushirikisha vijana wasanii zitashirikisha makundi anuai ya sanaa ikiwemo sanaa muziki wa kizazi kipya, injili, uigizaji. 

 "...Hii ni kampeni maalum iliyoanzishwa na vijana wanaotokea na wenye asili ya Mkoa wa Ruvuma wakiwemo wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wasanii wamuziki wa injili, waigizaji na wasanii wengine wa kada tofauti tofauti kwa madhumuni ya kuamsha ari na hamasa ya wananchi wa mkoa huu na wenye asili ya mkoa huu na Watanzania kwa ujumla kuweza kutangaza sifa za mkoa wetu...," alisema Mhenga. Alisema kampeni hiyo pia itatangaza historia ya Mkoa wa Ruvuma, tamaduni za watu wake na fursa mbalimbali zinazopatikana eneo hilo kwenye sekta ya kilimo, utalii, biashara, elimu na uvuvi kupitia sanaa.

 "...Hii pia itakuwa ni fursa ya pekee kwa wasanii watakaoshiriki kwenye kampeni kuweza kutangaza vipaji vyao na uwezo hivyo kutambulika kitaifa na kimataifa," alifafanua Mhenga. Alisema kampeni hiyo kwa kuanza imewaunganisha wasanii vijana wenye asili ya Mkoa wa Ruvuma na kuandaa wimbo unaojulikana kama "Bwela Kuni" ambao pia umeandaliwa na Produza mwenye asili ya mkoa huo maarufu kwa jina la C9 Kanjenje na tayari umetolewa kuchochea kampeni hizo. 

Aidha Mhamasishaji wa Utalii na Maliasili katika kampeni hizo, Bakari Likapo alisema kampeni hiyo imekusudia kubainisha vivutio na fursa za uwekezaji zinazopatikana katika Mkoa wa Ruvuma ikiwemo vituo vya makumbusho ya taifa (Vita vya Majimaji), Mbuga ya Wanyama Selous, utamaduni wa jamii ya wakazi wa eneo hilo pamoja na kuhamasisha wawekezaji kutumia fursa hizo. 

Alisema Mkoa huo una Ziwa Nyasa, upatikanaji wa madini mbalimbali na fursa za kilimo kupitia ardhi yenye rutuba jambo ambalo likitangazwa na wawekezaji kujitokeza linaweza kuchochea kasi ya maendeleo ambayo yatawanufaisha zaidi wananchi wa eneo husika na taifa kiujumla. 

Hata hivyo, Likapo aliwataka viongozi wa Serikali na wanasiasa pamoja na wadau wengine wapenda maendeleo kujitokeza na kuunga mkono juhudi hizo za vijana wa Ruvuma na wasanii za kuchochea maendeleo kupitia sanaa ya muziki. Miongoni mwa wanamuziki vijana 15 ambao wameshiriki kuimba mwimbo wa hamasa ya kampeni ya Bwela Kuni ni pamoja na Herieth Ndosi (toka muziki wa injili), Single J, G Luck, Cammy Bway, Roby Songea, Gemy Rymez, Fobyone, Bad H Badilika, G Van, Zero Wiz, FM, HDM, Full P, Tony na D Pesa. *Imeandaliwa na www.thehabari.com

CHRISTIAN BELLA KUTUMBUIZA FAINALI YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) AGOSTI 30 2014 MLIMANI CITY

0
0
Christian Bella 

Na Josephat Lukaza .
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania.
Katika Fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi tarehe 30 huku viingilio vya Kuja kutazama fainali ya Kwanza kubwa vikiwa ni V.I.P Shilingi 50,000 na Kawaida 30,000 huku fainali hiyo ikirushwa live kupitia Kituo cha Runinga cha ITV na milango itakuwa wazi kuanzia Saa 7.30 Usiku.
Tanzania Movie Talents (TMT) ni shindano la Kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati ambalo limeanzishwa na Kampuni ya Proin Promotions Ltd likiwa na lengo la Kuibua na Kusaka Vipaji vya kuigiza kwa watanzania ambao wana vipaji lakini walikosa fursa ya kuonekana. 

TMT ilianza Rasmi tarehe 1 April 2014 katika Mkoa wa Mwanza, Kanda ya Ziwa ambapo baadae shindano likaendelea katika Kanda nyingine Tano huku katika Kila Kanda Washindi walikuwa ni watatu huku kanda ya Pwani washindi walikuwa Ni 5 ambapo jumla ya Washindi 20 walipatikana na kuletwa Dar Es Salaam katika kambi na Hatimaye Mchujo kuanza na Kubakiwa na Washiriki 10 ambao leo hii wameingia Fainali ya kuzisaka zile Milioni 50 za Kitanzania.

WADAU WA KILIMO WAITAKA ANSAF KUTOA ELIMU ZAIDI YA UHIFADHI MAZAO YA NAFAKA MIKOANI

0
0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara yaKilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akionyesha mbegu za mahindi zilizohifadhiwa kwenye ghala aina ya Silo, wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa jukwaa hilo.
 Mmoja wa wadau wa kilimo akichangia mada katika uzinduzi wa jukwaa la kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara yaKilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa kusimamia upotevu wa nafaka baada ya kuvunwa.
 Ghala la kuhifadhia chakula aina ya Silo.


xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

SERIKALI kupitia Wizara ya kilimo, Chakula na Ushirika imekili uwepo wa tatizo la upotevu wa mazao hasa jamii ya Mikunde na Nafaka ambalo ni tatizo kubwa, linalowakumba wakulima na wafanyabiashara kwa ujumla.

Akizungumza katika uzinduzi wa jukwaa la wadau watakaoangalia mazao mara baada ya kuvunwa jana, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Yamungu Kayandabila alisema, hata wizara yake inalitambua suala hilo, na imeanza harakati za kupambana na janga hilo, hasa kwa kuwaamasisha wakulima na wauzaji kutunza mazao hayo katika maghara.

“Tatizo la upotevu wa mazao ni tatizo kubwa, na hilo linachangiwa na uhifadhi duni ambapo zaidi ya asilimia 30 utokea katika upotevu wa mazao hayo,”alisema Kayandabila.

Kayandabila ambaye alikuwa mgeni rasm katika uzinduzi wa jukwaa hilo ulioandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Ansaf, aliipongeza taasisi hiyo kwa jitihada ambazo wanazionyesha katika kukomesha tatizo hilo, huku pia akiyataka mashirika, taasisi mbalimbali kuiga mfano wa Ansaf.

“Tunawashukuru sana Ansaf kwa kufanya uzinduzi huu, na naimani taasisi na mashirika mengine yatafuata nyayo zao katika kutokomeza suala hili la upotevu ili wakulima na wafanya biashara waweze kuzihifadhi vizuri,”alisema Kuyandabila na kusema kuwa Serikali pekee haiwezi bila ya sapoti ya watu kama wao.

Naye Katibu Mtendaji wa Ansaf, Audax Rukonge alisema, wamegundua changamoto mbalimbali juu ya mazao hayo, ambazo uwakumba wakulima na wafanya biashara kwa ujumla na hiyo ndiyo sababu iliyowafanya kuzindua jukwaa hilo.

Naye mmoja wa wajumbe walioudhulia uzinduzi huo, Lusekelo Mwandemange ambaye ni mkulima wa zao la Mpunga kutoka Kyera, alisema, amefarijika kupata nafasi hiyo, huku akiwataka Ansaf kuhakikisha wanatoa elimu zaidi kwa wakulima walioko Mikoa mbalimbali.

Umeme wa uhakika ndiyo nguzo ya maendeleo ya uchumi nchini – IPTL

0
0
 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL. Wakishuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya IPTL. 
 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL. 
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), iliyo chini ya Pan Africa Power Solutions (PAP), Bw. Harbinder Sethi (Kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) maboresho yaaliyofanyika katika kiwanda hicho tangu PAP ilipochukua uongozi wa IPTL.  Akishuhudia ni Mkurugenzi wa Operesheni wa kampuni hiyo Bw. Parthiban Chandrasakaran.

Mahitaji makubwa ya umeme nchini yataweza kupatiwa ufumbuzi kwa kuhakikisha kuna uzalishaji ziada wa umeme kwa kutumia teknolojia zinazokubalika na nishati iliyopo Tanzania.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), kampuni iliyo chini ya Pan African Power Solutions (PAP) wakati wa ziara ya wandishi wa habari walipotembelea mitambo ya ufuaji umeme ya kampuni hiyo iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 

Alisema kuwa IPTL inaamini kwamba usambazaji wa umeme unaweza kuboreshwa kutoka megawati 800, ambazo kwa sasa zinahudumia watu zaidi ya milioni 51.1 ambao mahitaji yao yanaweza kuzidi megawati 2000.  

“PAP/IPTL inaamini kuwa soko bado ni kubwa na si tu IPTL, bali pia na makampuni mengine yanapaswa yachangie katika kukuza uwezo wa gridi na uzalishaji wake ili kufikia matakwa ya watanzania wapatao watu milioni 51.1 kama ilivyokadiriwa katika sensa iliyofanyika mwaka 2014,” alisema Bw. Sethi. 

Alibainisha kuwa kupitia usambazaji wa umeme wa uhakika na sera nzuri ya uwekezaji, Tanzania itapiga hatua ya kimaendeleo kwa kasi na kuwa moja kati ya nchi kubwa kiuchumi Afrika katika siku za karibuni.  

“Kama wawekezaji watahakikishiwa umeme wenye gharama nafuu na sera nzuri ya uwekezaji inayolinda pande zote mbili, viwanda vingi vitajengwa nchini kwasababu Tanzania imebarikiwa kuwa na wingi wa mali ghafi. Viwanda na miundombinu mizuri ni moja kati ya vigezo ambavyo wachumi utumia katika kutambua maendeleo ya nchi,” alisema.  

Alisema kuwa kuna ushaidi tosha unaoonyesha jitihada za kuhakikisha kuwa nchi inaondokana na umaskini, baada ya kuorodheshwa miongoni mwa nchi za kiafrika ambazo uongezekaji wa watu wake umebaki thabiti na kukuwa kwa kasi kwa maendeleo ya watu walio na uchumi wa kati.  

Ongezeko la uwekezaji katika miundombinu unaongeza mahitaji ya umeme na usambazaji ambao pia unasaidia kukuza viwango vya pato la taifa (GDP).

Bosi huyo wa IPTL/PAP alisema kuwa kampuni yake ameeleza jitihada zake katika kuongeza uwezo wa umeme nchini kwa kuweka mipango kazi ya utanuzi madhubuti na kupunguza viwango vya tozo katika bei ya umeme kwa kuwajali wateja.  

“Awamu ya kwanza ya mpango wetu umelenga kuweka mtambo wa megawati 200 wa gesi ambao utakua karibu na mtambo wa sasa wa megawati 103 wa IPTL unaotumia mafuta mazito (HFO). Mazungumzo juu ya hili bado yanaendelea na mamlaka husika. Kama yote yatakwenda vizuri, mpango huu utamalizika ifikapo mwezi Aprili 2015. 

“Ikiwa kama ni sehemu ya awamu ya kwanza, tutaweka kituo kidogo kipya chenye 220kv ambao ni muhimu sana kwa Tanesco kwa ajili ya usambazaji katika kanda zote mpya mbali mbali za maendeleo huko Bagamoyo na Chalinze. Hii ni pamoja na laini ya 220kv ya Ubungo,” alisema. 

Bw. Sethi alibainisha kuwa awamu ya pili – itakuwa ni uwekaji wa mtambo wa megawati 300 wa gesi pembezoni mwa mtambo wa IPTL.
Alisema kuwa mtambo wa sasa wa IPTL utaendelea kuendeshwa kwa kutumia mafuta mazito (HFO) endapo kutakuwa na tatizo katika gridi ya taifa hususani la gesi asilia au matumizi ya mafuta.

RAIS KIKWETE AWEKA AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI

0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia) wakifunua pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea akikagua wodi mpya ya  kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa maeneo mbali mbali ya kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini baada ya kukifungua Agosti 22, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wazazi baada ya kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa  kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.PICHA NA IKULU

Taasisi ya BMAF itafanya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya program ya Mkapa Fellows Agosti 23 jijini Mwanza

0
0

UCHAMBUZI: NJIA ZA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

0
0
Suala la hivi karibuni la nchini Israel la kiusalama mitandao linaloweza kusomeka "HAPA", Polisi wanchi ya Botswana kuonyesha wasi wasi wao juu ya maswala ya usalama mtandao kama inavyoweza kusomeka "HAPA" pamoja na matukio mengine kadhaa ya uhalifu mitandao ambayo yamekua yakigonga vichwa vya habari hivi sasa yameibua swali, je kuna uwezekano mapambano dhidi ya uhalifu kufikiwa malengo kwa kupunguzwa walau kwa kiasi Fulani?

Jibu ni kwamba hivi sasa uhalifu mtandao umeendelea kukua huku pakitumika njia za kisasa na hatarishi zinazo onekana kua tishio katika mifumo ya mitaandao katika nchi nyingi duniani. Ingawa pia  wataalam wa maswala ya usalama mitandao wameendelea kujipanga na kuangalia kila namna ya kuweza kukabiliana na uhalifu mtandao katika ngazi ya kidunia.

Kubwa lililo jiri hivi karibuni kumeendelea kutafutwa mbinu za kuhakiki uhalifu mitandao unapata kudhibitiwa huku baadhi ya makampuni nanchi mbali mbali kuchukua hatua stahiki nikitolea mfano "FACEBOOK" na tukio la "UJERUMANI" ikiwa ni mifano miwili kwa uchache.

Lakini pia azimio la hivi karibuni lililokua limebeba mambo ma tano (5) limeendelea kufanyiwa kazi katika mataifa mbali mbali ambapo yatatoa fursa ya kuweza kupunguza na kuzuia uhalifu mtandao katika maeneo husika. Mambo hayo ni pamoja na kukuza uelewa wa maswala ya usalama mitandao kwa wananchi ( Cyber security awareness programs), Kuwa na Sheria za usalama mitandao ( Cyber laws) , Kuweza kukuza uwezo wa wataalam wa ndani katika mataifa mabali mbali ( Capacity building).

Mengine ni pamoja na Kuwa na uwazi wa takwimu za kiuhalifu mtandao ( Cybercrime statistics) pamoja na kupatikana kwa makubaliano ya pamoja ya nchi katika mabara ili kuweza kuunganisha nguvu ya pamoja kwenye mapambano dhidi ya uhalifu mtandao ( Cybersecurity framework).

Kwenye andiko hili nitatolea ufafanuzi juu ya mambo hayo matano na jinsi gani yanavyoweza kusaidia mapambano dhidi ya uhalifu mtandao huku nikitolea mifano kadhaa.

CYBERSECURITY AWARENESS PROGRAMS:Inaaminika ni vizuri kujikinga na tatizo kuliko kungoja litokee kisha litaftiwe tiba. Na pia inaaminika tatizo linaweza kuzuiwa kuanzia katika ngazi ya mtu moja mmoja. Kila Mmoja anapoweza kujiweka salama mtandaoni atasababisha uhalifu kupungua na kutoa urahisi kwa wana usalama mitandao kuweza kupambana na uhalifu huo.

Hivyo jukumu la kila mtu kujijengea muda wa kutaka kujua namna za kuweza kukaa salama kimtandao ni muhimu sana. Tasnia ya habari michezo na maigizo kupitia vipeperushi, Sinema , maandiko mengine yanaweza kutumika kuweza kukuza uelewa kwa wananchi kujua namna ya kua salama na hatimae kujenga uelewa wa kujikinga na uhalifu mtandao kuanzia katika ngazi ya mtu mmoja mmoja.

CYBER LAWS: Hizi ni sharia mitandao. Ni vigumu sana kwa mahakama kuweza kutoa hukumu stahiki kwa wale wote wanaoweza kukamatwa kwa maswala ya uhalifu mitandao ikiwa hapata kuwa na sheriashariai inayo kidhi mahitaji ya maswala ya ulinzi mitandao.

Hili limekua likionekana kua kikwazo kikubwa nanchi nyingi zimeendelea kuchukua hatua za kuboreshwa sharia mtandao zilizo kuwepo ili kwenda na wakati (Mfano: "UINGEREZA") pamoja nanchi nyingine kuazisha sharia hizo ili kuweza kusaidia kutoa hukumu kwa wahalifu mtandao (Mfano: "TANZANIA")

CAPACITY BUILDING:Hili la kukuza uwezo wa ndani kwa wataalam wa maswala ya usalama mitandao ili kuweza kupata watakao kua na ujuzi sahihi wa uhalifu mtandao na namna ya kuppambana nao pia imeendelea kua muhimu sana. Nilipata kuhojiwa na chombo kimoja cha ughaibuni na baadae kuwekwa hili vizuri kama linavyo someka "HAPA"ambapo msisitizo juu ya kila nchi kuweza kujenga miundo mbinu ya kuweza kukuza vipaji vya wataalam wake wa ndani wa maswala ya usalama mitandao ni muhimu sana ukizingatia uhaba mkubwa ulioko wa wataalam wa maswala ya usalama mitandao kote duniani.

Nchi nyingi kwa sasa zimeendelea kulichukulia hili uzito na tayari limeendelea kufanyiwa kazi ikiwa ni pamoja na Marekani, Visiwa Vya Solomoni, Uingereza na Afrika Kusini kutaja nchi kwa uchache. Uzuri kwa Tanzania Pia Hili huwenda likawa na sura nzuri hivi karibuni ambapo itakua ni fursa kwa watanzania kulichangamkia  ili kuweza kuendana na hali ya ukuwaji wa teknolojia hivi sasa.

CYBERCRIMES STATISTICS:Hili lakuwa na takwimu za uhalifu mitandao zinazowekwa wazi limekua likisisitizwa liweze kufanyiwa kazi na kubainishwa kupitia ripoti za mwaka za nchi moja moja ambazo baadae zinaweza kujumuishwa kwenye ripoti za mwaka za kimataifa ambazo zitatoa fursa ya kutambua maeneo hatarishi ili kuweza kukabiliwa kwa haraka na kupatiwa nguvu ya muunganiko.

Aidha, Kupitia Tovuti maalum zinazojihusisha na mapambano dhidi ya uhalifu mtandao au za serikali za nchi moja moja pia zimeonekana kuwa na nafasi katika hili huku nchi ya "SIRILANKA" kuonyesha mfano kwenye hili pamoja na Nchi nyingine kadhaa.

CYBERSECURITY FRAMEWORK: Hili limekua ni la muhim sana chini ya mwamvuli wa umoja ni nguvu na utengano ni udahifu. Mapambano ya uhalifu mtandao ni magumu sana endapo nchi moja moja itachukua dhamana binafsi bila kushirikiana na nyingine kwa ukaribu kwa kuunganisha nguvu.

Hili linatokana na uhalisia wa uhalifu mtandao mbali na kua na uharibifu mkubwa sana katika mataifa mbali mbali bali pia hauna mipaka. Hapa naamanisha mhalifu mtandao hana ulazima wakua katika eneo la tukio au kua katika nchi anayo tegemea kuifanyia uhalifu, Maana yake Mhalifu aliye nchi moja anaweza kuleta madhara makubwa sana katika nchi nyingi pasi nayeye kuwai kufika katika nchi hiyo.

Kwa kuliona hili Nchi za Umoja Wa Ulaya (EU) Walifanikiwwa kuja na makubaliano yao yapamoja yaliyo unganisha nguvu nchi zote wanachama pamoja na kuwa na kituo mama kinachoshughulikia maswala yao ya usalama mtandao na takwimu zinaonyesha wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika mapambano baada ya kuanzishwa kwa umoja huo wa kushughulikia maswala ya usalama mitandao ambapo walipata kusifiwa kufuatia hatua yao hiyo kupitia taarifa inayosomeka "HAPA"

MEET African Reggae Ambassodor JHIKOMAN & Afrikabisa band

0
0

Jhikoman & Afrikabisa band
Jhikoman is a well-known Tanzanian reggae artist. His unique singing
style and lyrics have been touching people since 1994. He’s produced
several albums and has performed widely in Europe and Africa.
Biography

Jhikoman is a well-known Tanzanian reggae artist. His unique singing style and lyrics have been touching people since 1994. He’s produced several albums and has performed widely in Europe and
Africa. In his upcoming album Tupendane, Jhikoman keeps exploring, combining roots reggae with acoustic African sounds you call this Afro-Reggae.

Using music as a tool for unification.

The journey continues for Jhikoman to compose songs in a style without boundaries, a product of continued spiritual searchings and musical experimentation. Jhikoman mixes Kiswahili,English and his Native   language Kinyasa.

Jhikoman's music must be heard, preferably live, to be fully appreciated. Uplifting beats combined with positive words visibly move his audiences. Songs are composed in African and reggae styles
(Afro-Reggae).https://www.youtube.com/watch?v=aJJyZ3NTrts#t=11


For Jhikoman, music presents an opportunity to raise awareness about social oppression and injustice. It also provides a medium for communicating messages of peace, love and unity. Jhikoman's songs bring real societal issues to the fore.

Born in 1972 Dar es Salaam, Tanzania. Third born amongs nine.Six brothers and three sisters. Apart from music JHIKOMAN is a painter, cartoonist, sculpture above of all JHIKOMAN is a Farmer! Based in Bagamoyo coastal Region! in Tanzania.

SERENGETI MARA ECOSYSTEM CENSUS REPORT

0
0
 Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (seated fourth right) in a group photo with the participants who attended the launching of the 2014 Serengeti-Mara ecosystem census report.
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (facing the camera) in a plenary discussion after the presentation of the 2014 Serengeti-Mara ecosystem census report.

KAMATI KUU YA BARAZA LA WATOTO LAKUTANA DODOMA KUTOA TAMKO LA WATOTO

0
0
  Waheshimiwa Wabunge walioitwa kusikiliza ajenda ya mtoto na kuhakikisha inaingia katika mchakato wa katiba.

kamati kuu la Baraza la watoto limekutana mjini Dodoma chini ya Uongozi wa mwenyekiti wake Ummy Jamaal kutoa tamko la watoto kwa waheshimiwa wabunge na waandishi wa habari wakitoa msisitizo wa ajenda ya mtoto kuwa sehemu ya mchaakato wa katiba.

Jambo kubwa walilosisitiza ni kuwaomba Ukawa warudi bungeni ili kumalizia mchakato wa kutengeneza katiba.
Mheshimiwa Sophia Simba, waziri wa maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati kuu ya baraza la watoto waliokaa pamoja Dodoma na kutoa Tamko lao mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya waheshimiwa wabunge.

Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

0
0
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa haraka Zaidi. 
===========  ==========
  • Wateja Airtel Money sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kwenye akaunti zao za Airtel Money toka Tigo Pesa
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua huduma itakayowawezesha wateja wake wa huduma ya Airtel Money kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money ,  huduma hii ni ya kwanza Afrika na duniani kwa ujumla na hivyo inaweka historia nchini kuzinduliwa ya kwanza kupitia njia ya  mtandao wa simu.

Huduma hii ya kwanza Duniani na Afrika inayohusisha makampuni ya simu Airtel na Tigo ulitangazwa kuwa itaanza kutumika mwishoni mwa mwezi wa Julai na sasa iko tayari ambapo wateja wa Airtel Money  wataweza kutumia  huduma hii kabambe na yenye utofauti kwa inaaminika kuwa ni  rahisi zaidi, salama na ina unafuu katika kutuma pesa kwa kutoka mteja mmoja kwenda mwingine na kuingia moja kwa moja katika (e-wallet) akaunti yake ya simu/mtandao anaotumia na kuweza kuitoa popote alipo.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo Mkurugenzi wa Airtel Bwana Sunil Colaso alisema” Tunayofuraha kushirikiana na makampuni mengine ya simu katika kuhakikisha tunaendelea kutoa huduma za kisasa, zenye ubunifu na kwa gharama nafuu. Ushirikiano huu utawawezesha wateja wa Airtel kutuma na kutoa pesa kutoka kwenye mitandao mingine . 

 Sasa wateja wetu watapokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine na kuingia moja kwa moja kwenye (e-wallet) akaunti  zao za Airtel money hivyo kuondoa usumbufu ulikuwepo awali  ambapo mteja anapotumiwa pesa kutoka mtandao mwingine alitakiwa kuzitoa ndani ya siku 7.

Kwa uzinduzi huu  leo tunafanya huduma hii ya kifedha kwa njia ya mtandao kukidhi mahitaji ya wateja. Vile vile mawakala wetu pia wamerahisishiwa utoaji huduma  ambapo sasa hakutakuwa na haja ya wakala kupata udhibitisho wa ujumbe kutoka kwa simu ya mteja kabla ya kufanya malipo.  Tunaamini huduma hii itaongeza usalama wa mawakala na wateja nchini, Pia itamuongezea wakala muda wa kuhudumia wateja wengi Zaidi kwa uhakika, haya ni mapinduzi ya huduma za kifedha ambayo tunaamini ni maendelea makubwa ya maboresho ya huduma hii aliongeza kwa kusema Colaso.

Akiongea kuhusu huduma hiyo mmoja wa wakala ambae alijaribu wa Airtel Money Pasco Woiso alisema “Tunafurahia huduma iliyoanzishwa na Airtel kwa kushirikiana  na mitandao mingine,  leo nimeitumia huduma hii kwa mara ya kwanza lakini nimefurahishwa na ufanisi wake na jinsi wateja wanavyoipokea vizuri nikiwapasha habari kuhusu huduma hiii.  

Kwa sisi wakala awali tulikuwa na tatizo la kupata ujumbe wa malipo, kitambulisho cha malipo na pesa kurudi baada ya muda wa siku saba,  lakini kwa sasa ushirikiano huu umeifanya huduma hii ya pesa kwa mtandao kuwa bora zaidi na kupunguza muda niliokuwa nautumia kumuhudumia mteja moja na hivyo.

WAZIRI MKUU PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME

0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jaji Leila Makame Mgonya mmoja wa wana familia, wa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Marehemu Jaji Lewis Makame baada ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu huyo kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia nI jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kulia) na Mawaziri Wakuu Wastaafu, Joseph Warioba (wapili kulia) na Frederick Sumaye kabla ya kutoa salamu za Serikali na heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Marehemu Jaji Lewis Makame baada ya kuzungumza kwa niaba ya serikali kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Luis Figo,Christian Karembeu na Fernando Sanz Duran waahidi kutoa burudani safi kwa watanzania

0
0
Mratibu wa Ziara ya Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Real Madrid,Ssebo (wa tatu kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mechi ya kirafiki kati ya Tanzania Eleven na Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Real Madrid kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kesho.Mpaka sasa ni wachezaji watatu tu ndio waliowasili nchini huku wengine kadhaa wakitegemewa kuwasili mchana wa leo.Wachezahi hao ambao wapo nchini hivi sasa ni Luis Figo (wa tatu kulia),Christian Karembeu (kulia) na Beki Fernando Sanz Duran (wa pili kushoto).wengine pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TSN,Farough Baghoza na Kocha wa Timu ya Tanzania Eleven,Jamhuri Kihwelo "Julio"
Kocha wa Timu ya Tanzania Eleven,Jamhuri Kihwelo "Julio" (katikati) akizungumzia namna Timu yake ilivyojiandaa kuwakabili Wakali hao wa soka Duniani wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwenye Hoteli ya SouthernSun jijini Dar es Salaam.Kulia ni Luis Figo na kushoto ni Fernando Sanz Duran ambao ni wachezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid ya nchini Hispania.
Mchezaji Kiongozi wa Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Real Madrid,Luis Figo akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ujio wao hapa nchini.Figo amewaahidi wa Tanzania kuwa yeye na Wenzake watatoa burudani kabambe katika Uwanja wa Taifa jijini Dar hapo kesho.
Mchezaji Fernando Sanz Duran (kati) nae akitoa maneno yake kuhusu mchezo huo.
Mwanasoka Christian Karembeu akizungumza.
Viewing all 46201 articles
Browse latest View live




Latest Images