Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live

KANISA LA TAG (TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD) LAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA 1300 KWA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA MKOANI RUKWA

$
0
0
Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Rukwa Mchungaji Nestory Watua akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka vyandarua 1300 vya kukinga mbu waenezao Malaria kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya tarehe 04/07/2014. Msaada huo ni sehemu ya vyandarua 8550 vitakavyotolea na Kanisa hilo kwa Mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa katika kuadhimisha  Jubilee ya miaka 75 ya Kanisa hilo nchini. Pamoja na zoezi la ugawaji vyandarua hivyo maadhimisho hayo yataenda sambamba na zoezi la uchangiaji damu na huduma mbalimbali za kiroho.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka akizungumza katika hafla hiyo fupi ya makabidhiano ambapo amelishukuru kanisa hilo kwa mchango walioutoa wa kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya malaria. Ameziomba taasisi zingine binafsi kuiga mfano huo kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuleta maendeleo hapa nchini. Katika hatua nyingine amepiga marufuku matumizi mabaya ya vyandarua ikiwemo tabia ya kuzungushia kwenye bustani za mbogamboga ambapo amezitaka mamlaka husika kuwakamata watu wa aina hiyo na kuwachukulia hatua kali kutokomeza tabia hiyo.
Muwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya katika hafla hiyo fupi ya makabidhiano Ndugu Methew Sedoyyeka ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga akizungumza katika hafla hiyo ambapo amewataka viongozi wa Serikali na wananchi kuhamasishana kwenye shughuli za usafi na uhifadhi wa mazingira ili kutokomeza mazalia ya mbu waenezao Malaria na ugonjwa hatari wa Dengue. 
Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Rukwa Mchungaji Nestory Watua akizungumza katika hafla hiyo muda mfupi kabla ya kukabidhi vyandarua 1300 kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa tarehe 04/07/2014. Alisema kuwa Kanisa la TAG lilizaliwa Igale Mkoani Mbeya mwaka 1939 na sasa  linaadhimisha Jubilee ya miaka 75 ambapo kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni "Mungu anajali roho yako na mwili wako, jenga mahusiano nae"
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Mtika akifanya utambulisho wa wenyeji katika hafla hiyo.
Vyandarua 1300 vilivyokabidhiwa kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa na Kanisa la TAG, vyandarua hivyo vitagawiwa katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zilizoainishwa Mkoani Rukwa. 
Picha ya pamoja.- Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @rukwareview.blogspot.com

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

$
0
0
IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni
 
IMG-20140704-WA0002
IMG-20140704-WA0003
IMG-20140704-WA0004
Add caption
IMG-20140704-WA0005
IMG-20140704-WA0006Wadau wa utalii wakiwa katika mazungumzo
IMG-20140704-WA0007
IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakini
IMG-20140704-WA0011
IMG-20140704-WA0012
MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo.
 
Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu wakati akifungua mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO ambapo  alisema kuwa hii ndio nafasi kubwa waliyokuwa nayo makampuni hayo makubwa ya uendeshaji shughuli za kitalii.
 
Pamoja na hayo pia ameyataka makampuni hayo ya kitalii kuhakikisha yanaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia hapa nchini ili kuingizia serekali fedha nyingi za kigeni na kuachana na kasumba iliyozoeleka ya kupandisha ada ya kiiingilio cha katika hifadhi zetu pamoj a na vivutio.
 
Aidha kwa upande wa kutunza utalii wa Utamaduni Waziri wa maliasili mh. lazaro Nyarandu amezitaka kampuni hizo zinazohusika na kuwa shafirisha watalii katika mbuga kuhakisha wanawapitisha watalii katika sehemu za kiutamaduni kwa maana kama wanyama watalii wameshawaona na upande wa utamaduni nako kuna ulazima mkubwa sana.
 
Pia Waziri wa maliasi na utalii alisema kuwa kwa sasa wizara yake imejipanga katika kutangaza utalii hapa nchini na sasa hivi wanaanza kutangaza katika shirika katika mashirika makubwa ya habari kiwemo Shirika la hababri la BBc pamoja na CCN.
 
Naye Mwenyekiti wa TATO Bw. Willey Chambulo ametoa malalamiko yake kwa serekali na kuwakilisha kwa waziri wa Maliasili Mh. Lazaro Nyarandu kuhusiana na tatizo la hivi karibuni la kuwepo kwa mageti yasiyo rasmi katika baadhi ya hifadhi hapa nchini.
 
Alisema kuwa, hii imetoke hivi karibuni katika mbuga ianayomilikiwa na TANAPA mnamo tarehe 01 mwezi huu na kudaiwa ongozeko la kodi amabalo wao hawakuwa  taarifa na hivyo kuwapa usumbufu kupelekewa kukamatwa kwa watalii waliokuwepo kuzuiliwa na kuwekwa chini ya Ulinzi hivyo kupelekea kurudisha nyuma hali ya utalii hapa nchini.
 
Hata hivyo Waziri wa Maliasili Mh. lazaro Nyalandu  alijibu malalamiko hayo kwa kusema kuwa akiwa kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maagizo kwa mamlaka zote za uhifadhi pamoja na mbuga kusitisha mara moja kusumbua watalii na kuwataka kutumia lugha nzuri katika kudai mapato.
 
Mkutano huu wa TATO wa 30 unatarajiwa kupitia Mahesabu yaliyopita pamoja na kufanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wapya wa Asasi hiyo.(Pamela Mollel wa jamiiblog)

Viongozi mbalimbali waipongeza kampuni ya TTCL Maonyesho ya Sabasaba

$
0
0
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Banda la TTCL katika maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Kibiashara katika viwanja vya Sabasaba. Mama Salma katika mazungumzo yake aliipongeza TTCL kwa kazi nzuri inayoifanya katika kuleta maendeleo nchini. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Banda la TTCL katika maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Kibiashara katika viwanja vya Sabasaba. Mama Salma katika mazungumzo yake aliipongeza TTCL kwa kazi nzuri inayoifanya katika kuleta maendeleo nchini.
Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba. Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba..Viongozi Waipongeza TTCL Maonesho ya Sabasaba Viongozi Waipongeza TTCL Maonyesho ya Sabasaba.Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba. Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julius Nyerere, Sabasaba.Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba. Baadhi ya wateja wa TTCL na wananchi wengine wakitembelea banda la TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba.

VIONGOZI mbalimbali wa Serikali waliotembelea Banda la Kampuni ya TTCL katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika Viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba wameipongeza kampuni hiyo kwa utendaji kazi. 

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Mlengeya Kamani alimwaga pongezi hizo kwa TTCL alipotembelea banda hilo, ambapo aliipongeza Kampuni ya Simu TTCL kwa kazi nzuri ya kusimamia mawasiliano nchini. 

Kwa upande wake mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akitembelea banda la TTCL alipongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuchangia maendeleo ya taifa kupitia sekta ya mawasiliano.

 Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL ambayo pia katika maonesho hayo imefanikiwa kushinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano, inashiriki katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

Banda la TTCL limeendelea kuwa kivutio katika Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea ambapo wananchi wamekuwa wakifurika katika banda hilo kushuhudia bidhaa na huduma anuai zilizoletwa kwenye maonesho hayo.

UZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM ZAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

$
0
0
Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza kina mama waliotembelea kutoa pesa wakati wa uzinduzi wa mashine ya ATM ya kampuni hiyo ambazo zinatoa  pesa kwa kutumia mitandao mbalimbali ya simu kama M-pesa,tigo pesa,Airtel Money, walipo tembelea katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere  kushoto ni Ester Kariwa na Joyce Mtema picha na mpiga picha wetu
Mmoja ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya Selcom Wireless, Bi,Joriet Benjamin akichukuwa fedha zake katika ATM mashine mpya za kampuni hiyo wakati wa  maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere.
Wafanyakazi wa Selcom kampuni ya Wireless, wakiwa katika banda lao wakati wamaonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kutoka kushoto ni Juma Mgori Meneja ukuzaji biashara na masoko,Ofisa Mauzo Ally Mbaga na Meneja miradi wa kampuni hiyo Gallus Runyela.
ATM mpya na za kisasa za selcom zawa kivutio kikubwa kwa kampuni ya selcom ambayo imekuwa ikijihusisha na utoaji wa malipo mbalimbali kama vile ving'amuzi na luku mwaka huu imezindua huduma yake mpya ya ATM ambazo zitakuwa zinatoa pesa kwa kutumia mitandao kama Mpesa,Tigo pesa,Airtel Money, na Easy pesa ATM hizo zimevuta hisia nyingi kwa watanzania baada ya kuziona kwa mara ya kwanza katika banda la Selcom na kushudia ATM hizo mpya na za kwanza nchini kutumika kutoa pesa kwa njia ya simu za mkononi
Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza Goerge Vupembe jinsi ya mashine zinavyofanya kazi
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Selcom Wireless  Ally Mbaga  kushoto akifurahia jambo na mteja, Bi, Rose Mombo aliyekuja kutoa pesa katika mashine ya ATM ya kampuni hiyo




Mtaalamu wa ufundi wa mashine za ATM za Selcom, Maful Awadhakitoa maherekezo ya jinsi ya kutumia mashine hizo
Meneja ukuzaji biashara na masoko kampuni ya Selcom Wireless Juma Mgori akionesha mashine hiyo

Mtaalamu wa ufundi wa mashine za ATM za Selcom, Maful Awadh akiwa katika moja ya mashine hizo zilizozinduliwa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam
Meneja ukuzaji biashara na masoko
Juma Mgori akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashine za ATM za kampuni hiyo kwa ajili ya kutolea fedha
kutumia mitandao kama Mpesa,Tigo pesa,Airtel Money, na Easy pesa ATM hizo zimevuta hisia nyingi kwa watanzania baada ya kuziona kwa mara ya kwanza katika banda la Selcom na kushudia ATM hizo mpya na za kwanza nchini kutumika kutoa pesa kwa njia ya simu za mkononi
Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu mashine hizo za TM wakati wa maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere

PPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA, JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba
 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam kuridhika na huduma walizowapatia
Mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akijaza fomu ya kuomba maelezo ya michango yake wakati alipofika katika banda la PPF kwenye maonyesho ya sabasaba katika viwanja vya Mwl Nyerere anayeshuhudia pembeni ni Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwahudumia wateja waliofika katika dawati lao kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam.Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog

SIMANZI KUANZA KUTAWALA KATIKA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WIKI HII

$
0
0
 Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa jukwaani wakati wakiigiza moja ya Igizo walilopewa na Mwalimu wao Dk Mona Mwakalinga katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa siku ya Jumanne ya Wiki inayomalizika leo.Igizo hilo ni la kwanza kwaajili ya mchujo kwa washiriki
 Vijana wakiendelea na Kazi Jukwaani
Vijana wakiwajibika katika jukwaa kwaajili ya kuwania tiketi ya kuzisaka Milioni 50 za kitanzania katika fainali itakayofanyika mwisho wa mwezi wa nane.
Josephat Lukaza - Proin Promotions Limited - Dar Es Salaam.
Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) limeingia hatua nyingine ambapo sasa washiriki wa fainali ya Shindano hilo kuanza kupigiwa kura na watazamaji. Washiriki hao 20 kutoka kanda sita za Tanzania wanaendelea na kambi huku wakipewa mafunzo juu ya sanaa ya uigizaji na uandikaji wa muswada (script) kutoka Kwa Mhadhiri wa Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Dk Mona Mwakalinga.
Washiriki hao 20 sasa watapigiwa kura na watazamaji kutoka na kuonyesha uwezo wao wa kuigiza na kuwavutia watazamaji kwa vipaji vyao. Kipindi cha Kwanza cha Mchujo kimeonyeshwa hapo jana Kupitia kituo cha Runinga cha ITV ambapo sasa watazamaji wameweza kujionea uwezo wa kila Mshiriki katika Shindano hilo.
Vipindi vya TMT vitaendelea kurushwa kupitia ITV kila Jumamosi saa NNE USIKU na kurudiwa Jumapili Saa KUMI JIONI na JUMATANO SAA TANO USIKU, usikose kutazama ni mshiriki yupi mwenye uwezo na aliyekuvutia ili uweze kumpigia kumpigia kura
Jinsi ya Kumpigia Kura Mshiriki umpendae unaenda upande wa Meseji kwenye Simu yako na Kuandika "TMT"ikifuatiwa na Namba ya Mshiriki halafu unatuma kwenda 15678. Mfano: TMT00 halafu unatuma kwenda 15678. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents litafanyika Mwisho wa Mwezi wa Nane ambapo mshindi mmoja atajinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania

MAWAZIRI WAMIMINIKA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR.

$
0
0
DSC_0097
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer (wa pili kulia) akimuelezea mchanganyiko uliotumika kutengenezea Soda zinazozalishwa na kiwanda cha AOne chini ya kampuni ya MeTL GROUP Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyetembelea banda hilo jana kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0100
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akimwonyesha kinywaji kipya cha “MO Bomba” (Energy Drink)inayozalishwa na Aone kampuni mama ya vimiminika ya MeTL GROUP, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyetembelea banda hilo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0118
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer (katikati) akitoa maelezo ya mali ghafi zinazotumika kutengenezea Mafuta ya kupikia yanayozalishwa na kiwanda cha East Coast Oils and Fats chini ya makampuni ya MeTL GROUP kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyetembelea banda hilo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0124
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akikagua moja ya madumu ya mafuta yanayotengenezwa na kampuni ya MeTL GROUP alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar . Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer.
DSC_0143
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akimkabidhi zawadi ya Vitenge na Khanga vinavyozalishwa na kiwanda cha 21st CENTURY Textile Ltd chini ya Makampuni ya MeTL GROUP alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
 
DSC_0146
Mdhibiti ubora idara ya sabuni za kampuni ya MeTL GROUP, Cuthbert Sangiwa Msuya akitoa maelezo ya utengezaji wa sabuni na vipodozi vya kampuni hiyo kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) ( wa tatu kulia)alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer.
DSC_0004
Umati wa wakazi wa jiji la Dar wakimiminika kujipatia mahitaji maalum kwenye banda la makampuni ya METL kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar
DSC_0186
Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali (wa pili kushoto) akimwonyesha bango la kampuni ya mama ya MeTL GROUP, STAR OIL Ltd wauzaji wa mafuta magari Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0033
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akipozi na mtoto aliyenunua kinywaji cha MO Malt kinachotengenezwa na kiwanda cha AOne chini ya kampuni ya MeTL GROUP.
DSC_0203
Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali (Katikati) akitoa maelezo ya Baiskeli bora na imara za NABICO zinazotengenezwa na kampuni MeTL GROUP kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Kulia ni Msimamizi wa mauzo kwenye la maonyesho ya sabasaba la MeTL GROUP, Jumanne Kisawaga.
DSC_0226
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer (kushoto) wakati akikagua Matrekta ya MeTL AGRO na zana bora za Kilimo zikiwemo Mbolea kwenye banda la makampuni ya MeTL GROUP hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Wa pili kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali.
DSC_0256
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akifafanua jambo kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo jana jijini Dar.
DSC_0232
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akimsindikiza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid mara baada ya kutembelea banda la maonyesho ya Sabasaba la kampuni hiyo kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0265
Msaidizi wa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL Group, Kelvin Msangi akiagana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid mara baada ya kumaliza ziara ya kutembelea banda la kampuni hiyo.
DSC_0335
Mkurugenzi wa Masoko wa Makampuni ya MeTL “The People’s Brand”, Fatema Dewji- Jaffer akiwa (wa pili kushoto) kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa makampuni hayo ndani banda lao la maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0313
Mkazi wa jiji la Dar aliyekutwa na mpiga picha akiwa amejitwisha Carton ya Soda mpya za MO Portello zinazozalishwa na kamapuni ya MeTL Group kwenye duka la bidhaa banda mbalimbali ndani ya Banda la kampuni hiyo.
DSC_0345
Wafanyakazi wa wa Royal Soap Detergent Industries Zuhura Mwachuma na Aneth Masesa wakionyesha wateja bidhaa zao za sabuni ya unga waliofika kwenye banda la kampuni ya MeTL kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0086
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji (wa pili kushoto). Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali na Kushoto ni Afisa Mauzo wa MeTL GROUP, Yusuf Sadiq.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
DSC_0063
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mkewe akiwasili katika banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0064
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer ( wa pili kulia) akimkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid kwenye banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali.
DSC_0090
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP linalotoa huduma za bidhaa mbalimbali zikiwemo Soda, Unga, Mafuta ya kupikia, Sabuni za kufulia na Sabuni za kuogea na vingine vingi.
DSC_0070
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Makampuni ya MeTL Group huku Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akishuhudia tukio hilo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.

DSC_0323
Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya MeTL wakipanga bidhaa mbalimbali kwenye duka lao lililopo ndani ya banda lao mbalimbali kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0041
Msaidizi wa Mkurugenzi wa Masoko MeTL Group, Kelvin Msangi akipozi na mmoja wa wateja Bw. Bantanuka Burchardy baada ya kuwakabidhi zawadi ya T-shirt na Soda kama asante kwa kulwanunulia watoto wake Baiskeli mpya zilizopo kwenye banda la MeTL GROUP kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0021
Msaidizi wa Mkurugenzi wa Masoko MeTL Group, Kelvin Msangi akimkabidhi zawadi Fransisca Bonifa mmoja wa wateja aliyenunua Viitenge kwenye banda la MeTL lililopo kwenye kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0303
Mtaalamu wa kutembea juu kamba nchini Hassan Mkenjula a.k.a SPIDERMAN akitembea juu kamba huku akijiandaa kuvaa T-Shirt juu ya kamba hiyo huku umati wa watu ukishuhudia burudani hiyo…..Burudani hiyo ipo hapo siku zote za maonyesho ya Sabasaba mletee mtoto wako na familia waje kushuhudia burudani ya bure kabisa huku mkijipatia mahitaji mbalimbali kwenye banda la MeTL Group.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA AICC SABASABA

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akiwasili kwenye Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye viwanja vya Sabasaba
Rais Dkt. Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha wageni katika banda la Wizara ya Mambo ya Nje
Rais Kikwete (Mwenye Koti la Blue) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Taasisi zake.
Mtumishi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mbwana Msingwa akiweka saini katika kitabu cha wageni alipokuja na familia yake kwenye banda la Mambo ya nje lililopo kwenye viwanja vya sabasaba
Ankal akisalimiana na Afisa Mawasiliano Ally kondo, alitembelea Banda la Mambo ya Nje katika Viwanja vya Sabasaba. Picha na Reginald Philip

WADAU NAO WAKIENDELEZA LIBENEKE NDANI YA MAONYESHO VIWANJA VYA SABA SABA

benki ya NBC yafuturisha wateja wake jijini Dar

$
0
0
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Mussa Assad (wa pili kushoto) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (wa pili kushoto) Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale (kushoto), wafanyakazi na wateja wa benki hiyo wakijumuika pamoja katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu ( kushoto) akiwaongoza baadhi ya wateja wa benki hiyo kushiriki futari waliyowaandalia jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuturu katika hafla iliyoandaliwa na Benki ya NBC ikiwa ni sehemu ya jitihada za benki hiyo katika kuwajali na kuwa karibu wateja wao.
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam.

RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA INGINE TENA KWENYE MAONESHO YA SABASABA LEO

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na vijana wa Skauti wanaofanya kazi ya  ulinzi wa viongozi alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda laPPF  alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la TTCL  alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la TRA alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda Ardhi University  alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

$
0
0
1w
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo, Wakati alipowasili katika banda la (NHC) na kukagua, Kupata maelezo mbalimbali ya shughuli za miradi inayotekelezwa na shirika hilo. Wakati alipotembelea maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) maarufu kama Sabasaba kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. Yanayofikia tamati kesho jijini Dar es salaam , Katikati ni Dr. Abdallah Kigoda Waziri wa Viwanda na Biashara.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2w
Rais Dr. Jakaya Kikwete akimsikiliza Bw. David Shambwe Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara Shirika la Nyumba (NHC) wa pili kutoka kulia ni Elias Msese Meneja Miliki Uendeshaji Makao Mkuu na Edith Ngunwe Afisa Mawasiliano NHC.
4w
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Shirika la Nyumba NHC kwenye maonyesho ya Sabasaba Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam wanaoshuhudia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dr. Abdalla Kigoda na Nalindwa Norbert mmoja wa maofisa wa Shirika la Nyumba NHC.
5w
Baadhi ya maofisa wa Shirika la Nyumba NHC wakiwahudumia watu mbalimbali waliotembelea banda lao ili kupata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo.
6w
Baadhi ya wakuu wa vitengo wa shirika hilo na maofisa kutoka kulia ni Yahya Charahani Meneja Uhusiano wa NHC , Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara (NHC) Bw. David Shambwe , Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha Bw. Felix Maagi , Benedict Kilimba Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki na Bw. Muungano Saguya Meneja wa Huduma za Jamii (NHC).
7w
Baadhi ya wakuu wa vitengo wa shirika hilo na maofisa kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara NHC Bw. David Shambwe , Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha Bw. Felix Maagi, Bw. Muungano Saguya Meneja wa Huduma za Jamii (NHC) na Yahya Charahani Meneja Uhusiano wa (NHC) wakisubiri kuwasili kwa Mh. Rais Dr. Jakaya Kikwete katika banda lao.
3w
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiendelea kupata maelezo kutoka kwa Bw. David Shambwe Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara Shirika la Nyumba (NHC) wakati alipotembelea banda hilo.

Rais Kikwete atembelea banda la TTCL maonesho ya kimataifa ya biashara

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba leo Juai 6, 2014. Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba leo Juai 6, 2014.Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba. Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni ya TTCL alipotembelea Banda la TTCL. Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni ya TTCL alipotembelea Banda la TTCLRais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba. Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa mawasiliano alipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba.Baadhi ya wananchi walipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba. Baadhi ya wananchi walipotembelea Banda la TTCL kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSabaBaadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara.

MTOTO ZALEX JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

$
0
0
 Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Baba yake Bwa.Joseph Kusaga ,mapema jioni ya leo mara baada ya wageni waalikwa mbalimbali kupata futari ya pamoja ndani Escape Two,Mbezi jijini Dar,na baadae ikafuatia hafla ndogo ya mtoto Zalex ambaye alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
 Zalex akimlisha keki Mama yake Mdogo,Bi.Mariam Shamo
 Zalex akikata keki huku akiwa amezungukwa na watoto wenzake waliofika kushiriki nae kwenye hafla hiyo ya siku ya kuzaliwa.
 Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Mama yake,Bi Juhayna Kusaga .
 Dada yake Zalex,Natalia akisaidia kukata keki
 Watoto wakiimba kwa pamoja.
 Mama yake Zalex,Bi Juhayna Kusaga akiwasha mishumaa.

FACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA MWANZA WAJIANDAE AGOSTI 10 UWANJA WA CCM KIRUMBA

$
0
0

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando, 

Msama alisema kuwa albamu hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.

 Msama amesema kuwa baada ya albamu hiyo kuzinduliwa jijini Dar,Rose Muhando ataitambulisha tena albamu hiyoa kwa mashabiki wake Agosti 10 mwaka huu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Amesema kuwa kwa upande wa mkoa wa Mwanza,Rose Muhando ametoa kipau mbele kwa jiji hilo kuwa chaguo lake la kwanza baada ya uzinduzi wa jijini Dar es Salaam.Msama amewataka mashabiki wa mwimbaji huyo nyota wa nyimbo za injili hapa nchini kujitokeza kwa wingi na kumuunga mkono.
Msama amesema kuwa Rose Muhando anaendelea kujipanga vyema kuhakikisha anawapa burudani ya nguvu,

Kwa mujibu wa Alex Msama amesema kuwa nyimbo zilizopo katika albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu ni Bwana Niongoze, Wewe Waweza, Usiniache, Nibariki, Muongo, Kwema, Kamata Pindo la Yesu na Facebook.

Hivi sasa Muhando anatamba na albamu yake ya Utamu wa Yesu yenye nyimbo saba, ambazo ni Utamu wa Yesu, Raha Tupu, Tamalaki, Ndivyo Ulivyo, Woga Wako, Imbeni na Kusifu na Achia.

Mbali na Utamu wa Yesu, Rose Muhando pia amewahi kutamba na albamu za Uwe Macho, Nyota ya Ajabu (Zawadi ya Krismasi) na Jipange Sawasawa, Kitimutimu, Mungu Anacheka, Wololo.Pia amepata kung’ara katika wimbo wa Vua Kiatu, alioshirikiana na Anastazia Mukabwa wa Kenya.

Kitimutimu, Mungu Anacheka, Wololo.Pia amepata kung’ara katika wimbo wa Vua Kiatu, alioshirikiana na Anastazia Mukabwa wa Kenya.


JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA

$
0
0
IMG_1291
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa.
Na Mwandishi Wetu

WATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, kesho Jumatatu wanatarajiwa kuchezeshewa droo maalum itakayotoa zawadi mbalimbai ikiwemo pikipiki.
Katika droo hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na atakabidhi zawadi kwa wateja mbalimbali watakaojishindia zawadi hizo.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer alieleza kuwa, droo hiyo ni maalum kwa ajili ya wateja wote waliopata kutembelea banda hilo tokea siku ya kwanza na kujiorodhesha majina yao.

Fatema alisema MeTL Group imeamua kutoa zawadi hizo kama shukrani na kujitangaza zaidi kwa wateja na wananchi waliopata kutembelea na kununua bidhaa za MeTL Group. “Kwa ubora wa bidhaa zetu za MeTL Group, kama inavyojulikana, ‘The People’s Brand’, kwa droo hii wateja wetu watafurahia kwa zawadi hizo nono” alisema Fatema.

Katika droo hiyo, zawadi kuu ni pamoja na Pikipiki, zawadi za khanga, vitenge, mashuka, sabuni za kuogea na kufulia, mafuta ya kupikia, unga na bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kampuni hiyo.

Aidha, MeTL Group imetambulisha rasmi vinywaji vyake vipya kwenye maonyesho hayo ya Saba Saba, ikiwemo kinywaji kinachopendwa na wengi kwenye maonyesho hayo, MO Cola, MO Portello na MO Malt. Vingine ni MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).

NSSF OPENS UP TO TANZANIANS IN DIASPORA

$
0
0


 Head ofRelationshipand Customer ServicesFund (NSSF), EuniceChiumespeaking toreportersabout thebenefitsof Tanzanians livingabroadWESTADIforpaymentof the $300justintransportingthe bodyof the deceasedburiedTanzania(RepatriationBenefit) and the benefitsoffree medical careforrelatives4memberliving inTanzania(HealthInsuranceBenefit). 

Contributions ofthese benefitsnowmade​​to the network(onlinepayment) through a system of4PAYthereby simplifyingandreducing the cost ofsharingthe transfer ofmoneytothe member.

 By Staff Reporter

National Social Security Fund (NSSF) has called upon Tanzanians living abroad to register in the 2011 established Welfare Scheme for Tanzanians in Diaspora (WESTADI)


The Scheme inaugurated by H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania during the 50 years anniversary of  Independence in Maryland, USA.


The response from Diaspora has been less than ideal causing the scheme which intends to benefit the Tanzanian community abroad by providing Repatriation Benefit for the deceased member and Health Insurance Benefit to four (4) dependents of the underlying member living in Tanzania to stall.

NSSF Chief, Public Relations and Customers Service, Ms Eunice Chiume talking to the media on the Diaspora scheme WESTADI at DITF grounds.


The NSSF Chief, Public Relations and Customer Service, Ms Eunice Chiume stated" The main objective of the Scheme is to alleviate the high cost of transporting a Tanzanian deceased body for burial at homeland and to reduce the burden of cost medical cover for dependents of a Tanzanian living abroad".

It has been witnessed through social media and other communication platforms that when a Tanzanian dies abroad it is a costly exercise to transport the body home; likewise Diaspora members are frequently faced with the challenge of sending money home for medical costs.

 With these two challenges NSSF designed WESTADI for the Tanzanians living overseas. Ms. Chiume also stated that since its inauguration the Scheme has improved its services by providing an online payment platform dubbed as NSSF 4 PAY which cuts significantly on time and cost of money transfers for members.


Members of WESTADI are obliged to pay a contribution of USD 300 per year per member for the cover. She urged all Tanzanians to respond to this key scheme for their peace of mind.

MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AGAWA VITANDA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI JIMBONI MWAKE.

$
0
0
1
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za sekondari kwa jimbo zima la Chalinze wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba jana, Shule ambazo zimepewa vitanda hivyo ni shule ya sekondari Chalinze 50, Moleto Lugoba 50, Mandera 25, Talawanda 24, Kiwangwa 50, Lugoba 38 na Kikaro 30.

katika hatua hiyo Mh. Ridhiwania pia amepiga hatua kwa kutekeleza mambo mbalimbali aliyoahidi wakati wa kampeni zake. Katika utekelezaji huo ametoa Baiskeli 10 kwa walemavu, Miwani na mafuta kwa Maalbino, Jezi pea 100 kwa ajili ya mbunge Cup mashindano ambayo yataanza baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, Visima 3 kata ya Kibindu, na 16 kwa shule zote za sekondari jimbo zima kila shule kisima kimoja kitachimbwa.

Ametoa Transforma kubwa ya umeme kata ya Lugoba na kumaliza kabisa tatizo la umeme katika kata hiyo, Kwa upande wa barabara amesema mvua zimekwisha hivyo barabara zote za jimbo hilo ambazo ziliharibwa na kutopitika sasa zitafunguliwa baada ya kupatikana kwa mdau ambaye atatoa mashine (Mitambo)za kukarabati barabara na mafuta yapo ya kutosha kuhakikisha kazi hiyo inakamilika kabla ya kuanza tena kwa mvua za masika ili kuzinfungua upya.

Mh. Ridhiwani pia ametoa mipira kwa shule za Msingi jimboni humo,, ametoa Microscope kwa Zahanati ya kanisa Lugoba. na atajenga darasa 1 shule ya msingi Kiwangwa.
Wengine katika picha kulia ni Abukbakary Mlawa Meneja Uhusiano wa kampuni ya Mamba Cement ambayo ndiyo iliyotoa vitanda hivyo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Lugoba Bi Rehema Mwene.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LUGOBA)
3
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mamba ment ambayo ndiyo iliyotoa vitanda hivyo wakivikabidhi kwa Diwani wa kata ya Bwilingu Bw. Ahmde Nasser na Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari Chalinze Bw. Emmanuel Kahabi katika makabidhiano yaliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba.
4
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi vitanda Mkuu wa shule ya seondari ya Sekondari ya Mandera Bi. Rose Jumila, kushoto ni Diwania wa Viti maalum kata ya Msoga Bi. Maria raban Moreto.
5
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lugoba wakipiga pichya pamoja mbele ya vitanda hivyo kwa niaba ya wenzao.
 
6
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kukabidhi vitanda hivyo na kutangaza mkakati wake katika kutatua matatizo ya wananchi katika jimbo hilo.
7
Baadhi ya walimu wa shule za sekondari wakiwa katika hafla hiyo ya makabidhiano.
8
Baadhi ya madiwania na wananchi wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye shule ya sekondari ya Lugoba.
9
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye shule ya sekondari ya Lgoba kwa ajili ya kukabidhi vitanda 267 kwa ajili ya shule za sekondari jimbo la Chalinze.
10
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwasili katika shule ya sekondari ya Lugoba jana.
11
Baadhi ya vitanda vikiwa vimefungwa.

WANANCHI WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya  siku ya Jumamosi kutokana na muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia.
PICHA NA IKULU.

 




Kabaka atembelea sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

$
0
0
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.
 Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha kadi mpya ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana Jumatatu Julai 7, 2014. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live




Latest Images