Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46379 articles
Browse latest View live

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR

$
0
0
  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiongea katika uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wageni na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa Kituo Kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.


Gari litakalotumiwa katika mashindano ya Magari yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa wiki.
Wateja wakipatiwa huduma na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania.
Meneja Mauzo wa Vilainishi vya Castrol, Gilbert Chacha akizungumza wakati wa uzinduzi ambapo alisema kuwa Vilaainishi vya Castrol vina ubora wa kimataifa na hutumika katika magari, viwanda, meli, ndege. Kwa sasa wana aina mbili za Vilainishi hivyo Castrol GTX 20W50 na GTX Diesel 15W40. Pembeni yake niMshereheshaji Shebe Machumani na dereva wa gari la Mashindano.
Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache.
Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akionyesha picha ya sanamu itakayotumika kutambulisha vilainishi vya Castrol wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti na Mshereheshaji Shebe Machumani wakionyesha vilainishi vya Castrol.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akitoa zawadi ya pesa taslimu shilingi laki mbili kwa mfanyakazi bora namba tatu wa Mwezi wa Aprili, Andrew Jagy wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mfanyakazi bora namba mbili wa Mwezi wa Aprili, Samwel Joseph akionyesha pesa taslimu shilingi laki na nusu alizozawadiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
 Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi akimkabidhi Mfanyakazi bora namba moja wa Mwezi wa Aprili, Janeth Martine pesa taslimu shilingi laki mbili na nusu wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwezi Aprili. Kampuni hiyo hutoa zawadi kila mwezi kwa wafanyakazi wanaofanyakazi vizuri. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYA YA KALIUA,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

$
0
0
 Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Wilaya ya Kaliua,katika ukumbi wa Millenium mkoani Tabora mara baada ya kupokea taarifa mbalimbali za maendeleo ya miradi na hali ya kisiasa wilayani Kaliua. Kinana yupo mkoani Tabora kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Usindi  wakishuhudia Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa jengo la Zahanati ambayo tayari imwekwishakamilika,isipokuwa inasubiri kibali na kukamilika nyumba ya mganga.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenenezi Nape Nnauye,ambapo walipokelewa na Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi,Mh.Prof Juma Kapuya 
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata taarifa fupi juu ya mradi wa ujenzi wa jengo la nyumba ya Mganga wilayani Kaliua katika kijiji cha Usindi,Kata ya Ushokora,Katika ziara hiyo ya siku 11,Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenenezi Nape Nnauye,ambapo walipokelewa na Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi,Mh.Prof Juma Kapuya .
  Katibu Mkuu wa CCM,dugu Kinana  akilakiwa na Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi,Mh.Prof Juma Kapuya,mara baada ya kuwasili wilayani Kaliua,katika kijiji cha Usindi kata ya Ushokora akiwa ameambatana na  Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenenezi Nape Nnauye (hayupo pichani). mkoani Tabora.
Mbunge jimbo la Urambo Mashariki,Mh.Samwel Sitta akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi Prof.Juma Kapuya mapema leo kwenye wilaya ya Kaliua,mara baada uusindikiza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana aliyekuwa Wilayani Urambo Mashariki kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Tabora.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipokelewa katika kijiji cha Usindi,Kata ya Ushokora wilayani Kaliua mkoani Tabora mapema leo asubuhi,akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenenezi Nape Nnauye na kupokelewa na Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi,Mh.Prof Juma Kapuya 
 Ndugu Kinana pichani na viongozi wengine wa CCM,wakienda kukagua Mradi wa ujenzi wa Zahanati na nyumba ya Mganga,katika kijiji cha Usindi kata ya Ushokora wilayani Kaliua mkoani Tabora.
  Ndugu Kinana  wat tatu kulia akizungumza jambo na  Mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi,Mh.Prof Juma Kapuya,kulia ni   Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenenezi Nape Nnauye  na viongozi wengine wa CCM,wakitoka kukagua Mradi wa ujenzi wa Zahanati na nyumba ya Mganga,katika kijiji cha Usindi kata ya Usindi wilayani Kaliua mkoani Tabora.

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

MWIGIZAJI MAHIRI WA BONGO MOVIE ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA.

$
0
0
Adam Kuambina enzi za uhai wake.

MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. 

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!…

Diamond atamba kutwaa tuzo MTV

$
0
0
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul ‘Diamond’akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuanza show hiyo,(kushoto), ni wasanii wa kundi la Sauti Sol.
 Picha ya pamoja.
 Watangazaji wa MTV Base Vanessa Mdee (kushoto),  na Nomuzi Mabe (kulia), wakiwaelezea mashabiki wa muziki kuhusina na show  hizo.
 Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano.
 Kundi la Mi Casa likitoa burudani.
 Diamond akitoa burudani.
  Mashabiki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo wakifuatilia show.
Mashabiki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo wakifuatilia show.

Diamond atamba kutwaa tuzo MTV

MSANII nyota wa muziki wa kizai kipya nchini Naseeb Abdul ‘Diamond’ ametamba kufanya vizuri katika tuzo za MTV Africa ‘Mama’ zinazotarajiwa kufanyika Juni 7 mwaka huu nchini Afrika Kusini.

Diamond ameingia katika tuzo hizo kwenye vipengele viwili ambavyo ni msanii bora wa Afrika pamoja na msanii mwenye nyimbo bora ya kushirikisha.

Wimbo ambao umembeba kwa kiasi kikubwa msanii huyo ni wa Number One aliomshirikisha Davido wa Nigeria ambapo amewaomba mashabiki wake kumpigia kura kwa wingi.

Akizungumza katika hafla ilioandaliwa na kituo cha runinga cha MTV Base kama sehemu ya kusherekea tuzo za MTV Africa mwaka huu iliyofanyika Mei 16,2014  kwenye Ukumbi wa Billcanas,jijini Dar es Salaam  Diamond alisema kuwa anafanya muziki wa Afrika na ndio maana amepata mafanikio makubwa. wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Sauti Solo,Mi Casa Msic

Alisema kuwa wasanii wanatakiwa kujituma zaidi ili kuhakikisaha wanafikia malengo zaidi.

“Ninafanya muziki wenye ladha ya Afrika na hivyo ninatarajia kufanya vizuri zaidi katika tuzo za MTV nawaomba Watanzania wazidi kunipigia kura ili niweze kuibuka kinara, wasanii wanatakiwa kufanya juhudi za ziada kwa kutoa kazi nzuri ili kuhakikisha wanafikia malengo,” alisema

PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU AZIKWA LEO

$
0
0
  Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

 Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.PICHA NA IKULU


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
  Sehemu ya waombolezaji 
 Sehemu ya waombolezaji 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kwenye mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu. Kushoto ni Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefua, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
 Katekista aikongoza sala ya mazishi
  Sehemu ya waombolezaji 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Jeneza likiwa kaburini
 Wazazi wa marehemu 
 Askari wa JWTZ wakishusha kaburini mwili wa mpiganaji mwenzao 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Mama Isabella Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
 Baba Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
 Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
 Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini
 Dada wa marehemu akiweka udongo
 Dada wa marehemu akiweka udongo
Majonzi ya kupoteza mpendwa
Wanafamilia wakiweka udongo
Waombolezaji wakisogea kuweka udongo kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
Meja Jenerali 
Salva akipitia ratiba na wasifu wa Brian
  Wanafamilia


Gwaride Maalumu likijiandaa kufanya zoezi la kuaga mwenzao kijeshi








Last Post 
"Fyatuaaaaaa....."
Risala ya askari wenzie marehemu
Wazazi wakipokea risala
MC akiandaa waombolezaji kwa zoezi la kuweka mashada ya maua
Mashada ya maua yaizunguka picha ya marehemu
Waombolezaji
Katekista na msaidizi wake wakiongoza zoezi la kuweka shada la maua
Wazazi na shada maalumu la mtoto wao
Wazazi wakiweka shada lao la maua
Majonzi makubwa
Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao
Dada wakiweka shada lao
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka shada
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik  akiweka shada
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Mwantumu Mahiza akiweka shada
 Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akiweka shada
Mkuu wa Wilaya ya Kiondoni Mhe Jordan Rugimbana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema wakiweka shada lao
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe Muhingo Rweyemamu na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi wakiweka shada
Meja Jenerali Hassan Vuai Chema akimuaga kijana wake baada ya kuweka shada la maua
Dkt Reginald Mengi akiweka shada la maua
Wabunge Mhe Richard Ndassa na Mhe Zainabu Vullu wakiweka shada
Katibu wa Rais Bw Prosper Mbena akiweka shada la maua kwa niaba ya wafanyakazi wenzie Bw. Salva Rweyemamu
Majonzi ya mpendwa Getrude
Getrude anashindwa kujizuia
Mjomba na shangazi wa marehemu wakiweka shada lao
Mabibi wa marehemu wakiweka shada
Bibi wa marehemu akiweka shada
Mjomba na shangazi wa marehemu wakisogea kuweka mashada yao
Mama wakubwa wa marehemu
  Nyuso za huzuni za waombolezaji
kinadada wakiweka shada lao
Makaka wakiweka shada
Shada la marafiki wa Salva linawekwa na Rahim Kangezi "Zamunda" na Dkt Shoo
Shada la marafiki wa Salva likiwekwa kaburini
Marafiki wa mama wa marehemu wakiweka shada
Brigedia Jenerali Kimaryo akiwa na shada lake
Brigedia Jenerali  Kimaryo akiweka shada
Kiongozi kutoka kikosi cha Nyumbu akiweka shada
Profesa Janabi na mkewe wakiweka shada
Dada Clara Mbaga akisogea na shada lake
Dada Clara Mbaga akiweka shada
Wadau wa habari wakiweka shada
Premi Kibanga akiweka shada
Wawakilishi toka WAMA wakiweka shada
Jenerali Ulimwengu na Dkt Johnson Mbwambo wakiweka shada

Juma Pinto akiweka shada
Waombolezaji wakiweka mashada ya maua
Makamu Mwenyekiti wa chama cha vilabu vya waandishi wa habari Jane Mihanji na wenzie wakiweka shada
Meja Hassan akiweka shada
Mtani akiweka shada
Msemaji wa familia akitoa neno la shukurani
Sehemu ya marafiki wa karibu wa Salva
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa
Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni

OMMY DIMPOZ-NDAGUSHIMA (0FFICIAL VIDEO).

KINANA AJITWISHA KILIO CHA WAKULIMA WA TUMBAKU MKOANI TABORA,AHIDI KUINGILIA KATI

SIKILIZA PINI JIPYA LA BEN POL-AFRO

$
0
0
 This is strictly for my fans. I had to do a cover of AFRO which was originally sang by Les Wanyika. This song is a classic and the only way to make music live forever is by doing what I just did on this record. The younger generation don't know much about it but I wanna make Les Wanyika be known to them as Legends of Music in Tanzania. I got much respect for them. 

KATIBA SI MWAROBAINI WA KILA KITU,TUFANYE KAZI-KATIBU MKUU WA CCM,KINANA

DADA SHAHADA IBRAHIM ALAMBA NONDOZZ YAKE

$
0
0
Dada Shahada Ibrahim (wa tatu kulia) akiwa na Wahitimu wenzake wa Ualimu kwa ngazi ya Cheti wakirusha kwa pamoja kofia zao juu mara baada ya kula Nondozz zao katika Chuo ya Ualimu cha Mtakatifu Rock kilichopo Wilayani Korogwe,Mkoani Tanga,ikiwa ni mahafali ya Nane ya chuo hicho ambayo yalifanyika jana Mei 17,2014 Chuoni hapo.
Ankal Shahada Ibrahim akipozi na Wahitimu wenzake.
 Shahada Ibrahimu akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kulamba Nondozz yake hiyo aliyoisotea kwa miaka mibeee...
 Shahada akiongezwa na Ankal wake Ismail.
 Ba'Mdogo Itami akimvalisha vizuri kofia Mhitimu Shahada.
 Mama Mkubwa wa Shahada akimpongeza kijana wake kwa kulamba Nondozz yake hiyo.
 Mama Mzazi wa Shahada,akimpongeza mwanae huku wote wakiwa na furaha tele.
 Mama akiiweka sawa kofia ya Mwanae.Nani kama Mama??
 Mama Mkubwa Margerth akimpongeza Shahada.
 Dada Mwamvita na Shahada. 
Dada Amina akipiga konozz na Mdogo wake Kipenzi Shahada. 
 Keki ya pongenzi
 Dada Fatna akiwa kashika keki huku Shahada akiikata kwa utaratibu,tayari kwa kuwalisha ndugu jamaa na marafiki.
Kaka akisaidia zoezi la kukata keki.
 Picha ya pamoja.

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku shughuli zote za kilimo na ufugaji karibu na vyanzo vya maji kulinda vyanzo hivyo.
Sehemu ya banio la kukingia maji kwenye chanzo cha maji (chemchem) katika kijiji cha Malonje ambalo ni sehemu ya mradi huo, baadhi ya wananchi wameonekana kuendesha shughuli zao za kilimo na ufugaji karibu na chanzo hicho ambapo wamepigwa marufuku kuendeleza shughuli hizo za uharibifu wa chanzo hicho cha maji. 
Bwana Danford Anania Kaimu Injinia wa Maji Manispaa ya Sumbawanga wa pili kulia akitoa maelezo ya tenki la maji lenye ujazo wa lita 45, 000 kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya. Tenki hilo limejengewa pampu itakayotumia nguvu ya nishati ya jua kusukuma maji katika vijiji vya jirani vya Malonje ikiwa ni sehemu ya mradi wa maji wa Kijiji cha Malonje katika Manispaa ya Sumbawanga.
Banio la kukinga maji kwenye chanzo (chemchem) ikiwa ni sehemu ya ujenzi wa mradi wa Maji katika kijiji cha Mlanda Manispaa ya Sumbawanga ambapo mradi huu utakaotumia zaidi ya Tsh. Milioni 394 unajengwa na mkandarasi Safari General Traders na unategemewa kuhudumia wanachi wa kijiji cha Mlanda. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya alitembelea jumla ya miradi mitano ya Maji katika Manispaa ya Sumbawanga ambayo ni Malonje, Mlanda, Pito, Chilenganya na Kanondo. Aliwataka wakandarasi waharakishe kumaliza kazi walizobakisha ili wanancni waweze kupata huduma hiyo muhimu ya maji. Aidha alikataa kukagua moja ya mradi kwa vile mkandarasi husika amekua akitoa visingizio mbalimbali vya kutokumaliza kazi. 
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Malonje muda mfupi baada ya kukagua mradi wa maji na Zahanati katika kijiji hicho, aliwataka wananchi hao kuwaendeleza watoto wao kielimu na kushirikiana na uongozi wa kijiji katika kuhifadhi mazingira na kulinda vyanzo vya maji. Kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawannga Ndugu William Shimwela.
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @rukwareview.blogspot.com)

MKUTANO WA KUTATHMINI UZALISHAJI WA KARAFUU MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAFANYIKA.

$
0
0
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Biashara la Zanzibar ZSTC Mwanahija Almas akifafanua jambo katika Mkutano wa ZSTC na Wadau wa Karafuu wenye lengo la kutathimini zao la Karafuu mwaka 2013/2014 katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuzo ya Amali Mkokotoni.
 Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa ZSTC na Wadau wa Karafuu wenye lengo la kutathimini zao la Karafuu mwaka 2013/2014 wakifuatilia Mkutano huo katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuzo ya Amali Mkokotoni.
 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Khamis akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa wa Mkutano wa ZSTC na Wadau wa Karafuu wenye lengo la kutathimini zao la Karafuu mwaka 2013/2014 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuzo ya Amali Mkokotoni Unguja. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ZSTC Kassim Maalim na kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa ZSTC Mwanahija Almas.
Picha Mkulima wa Zao la Karafuu Mkoa wa Kaskazini Unguja Hassan Shibu akichangia mada katika Mkutano wa ZSTC na Wadau wa Karafuu wenye lengo la kutathimini zao la Karafuu mwaka 2013/2014 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuzo ya Amali Mkokotoni Unguja.

=======  ==== =====
Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar                            
Licha ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kuvuka lengo lililopangwa la uzalishaji wa Zao la Karafuu bado jitihada zinahitajika ili kuzalisha zaidi zao hilo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa huo Pembe Juma Khamis alipokuwa akifungua Mkutano wa Shiraka la Biashara la Zanzibar ZSTC na Wadau wa Karafuu uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuzo Mkokotoni.

Amesema Mkoa wa Kaskazini Ulikadiriwa na Serikali kuu kuzalisha Tani 199 kwa mwaka 2013/2014 lakini wamefanikiwa kuvuka lengo hilo na hatimaye kuzalisha Tani 250.6  “Ndugu Washiriki lazima tujisifie na kujipongeza kwa kuvuka lengo la Uzalishaji wa Karafuu tulilowekewa na Serikali kuu lakinitusibweteke lazima tuzidishe ari kubwa ya kuzalisha” Alisema Pembe.

Pembe amesema mafanikio hayo ya kujivunia yametookana na mashirikiano ya pamoja baina ya Serikali kupitia ZSTC na wakulima kwa ujumla na kuomba yazidi kuimarishwa. Amefahamisha kuwa Zao la Karafuu linachangia moja kwa moja maendeleo ya Elimu, Miundombinu, Afya na Nishati kutokana na Zao hilo kusaidia upatikanaji wa Fedha za Kigeni ambazo zinatumika kutoa huduma hizo.

Mkuu huyo wa Mkoa ameshauri kuanzishwa Kampeni maalum ya upandaji wa Mikarafuu hasa kwa upande wa Unguja ambapo mwamko wa Upandaji wa Mikarafuu ni Mdogo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la ZSTC Mwanahija Almas amefahamisha kuwa Shirika limefanikiwa kwa kaisi kikubwa ikilinganishwa na ilivyopangiwa na kwamba hadi kufikia May 15 tayari Tani 5,347 zimeshanunuliwa kutoka Tani 4,200 zilizopangwa.

Mwanahija amesema licha ya mafanikio hayo Shirika la ZSTC linakabiliwa na Changamoto mbalimbali zinazotokana na Wananchi katika kuliendeleza na Zao hilo. Amezitaja changamoto hizo kuwa ni pamoja na Wananchi kuzichanganya Karafuu na Makonyo wakati wa kuzianika na baadhi ya Wakulima kutowalipa Wachukuzi wakati wa mauzo.

Changamoto nyingine ni Wakulima kutokurudisha Mikopo wanayokopeshwa na ZSTC kwa wakati na baadhi ya Wananchi kuendeleza na Magendo ya Karafuu. Kwa upande wao Wachangiaji wameliomba Shirika la ZSTC kufungua Ofisi zake Mkoani humo ili kuwarahisishia badala ya Karafuu kupelekwa Mjini kwa Ununuzi.


Wameiomba Serikali kuwaangalia kwa Jicho la huruma Wakulima wanaopatwa na ajali wakati wakiwa kazini kuzalisha Zao hilo. Mkutano huo uliowajumuisha Wadau wa Zao la Karafuu kutoka Mkoa wa Kaskazini Unguja na Shirika la Biashara ZSTC ambapo Lengo lake kuu ilikuwa Kutathmini Zao la Karafuu kwa mwaka 2013/2014.

SAFARI YA MWISHO YA MWANASHERIA LUKE SEYAYI

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI JAPAN JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU SITA

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Aneda, nchini Japan kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kulia ni mke wa makamu, Mama Asha Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Aneda, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kushoto kwake ni aliyekuwa Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, (nyuma yao) ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. Picha na OMR

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara uliondaliwa na CCM leo jioni,ambapo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana amehitimisha siku za ziara yake ya siku 11 mkoani humo,ya  ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kinana na msafara wake kwesho wataelekea mkoani Singida kwa ziara siku kadhaaa tena.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara wa CCM, Mjini Tabora leo, ambapo aliwafananisha Wapinzani na Boko Haramu wa waasi wa Nigeria kwa kuwachonganisha wananchi kwa maneno,hali ambayo imeeleza kuwa kinaweza kusababisha vurugu nchini.
 Katibu Mkuu wa CC,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM,Wilaya ya Tabora mjini mapema leo kabla ya kwenda kwenye mkutano wa hadhara,aidha Kinana katka ziara yake wilayani Tabora alikagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa umwagiliaji,kuweka jiwe la msingi katika ofisi za CCM,kukagua mradii wa ujenzi wa hospitali,kuzindua mradi wa matofali wa akina mama na mengineyo mengi. 
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa na Wazee waasisi wa chama cha TANU mjini Tabora leo.
 Kinana akinawishwa na Mamalishe kabla ya kupakuliwa msosi wa nguvu.
 Kinana akihudumiwa na Mama Lishe alipokwenda kula yeye na msafara wake kwa akina mama lishe eneo la Stendi Mpya Tabora mjini. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe,kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tabora, Aden Rage ukiungana na Kinana kula msosi kwa mamaLishe mjini Tabora leo.
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa wakipata mlo kwa Mama Lishe mjini Tabora leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiapata mlo wa mchana kwa Mama ntilie katika stendi mpya ya mabasi mjini Tabora,Kushoto ni Mbunge wa jimbo la Tabora Mjini ,Mh Aden Rage,katikati ni  Mbunge wa viti maalum CCM mkoani Tabora,Mh.Munde Tambwe wakishiriki pamoja na naye katika mlo huo sambamba na vijana wa mjini Tabora.

 Naibu Waziri wa Maji,Mh.Amoss Makala akitoa ufafanuzi kwa wakazi wa Tabora mjini kuhusiana na suala zima la upatikanaji maji na mikakayi yake katika mkoa huo,ambapo imeelezwa kuwa mkoa huo una tatizo kubwa la maji
 Baadhi ya Wabunge mbalimbali walioshiriki kwenye mkutano huo wa Hadhara uliofanyika mjini Tabora,ikiwa ni siku ya mwisho ya kuhitimisha ziara ya siku 11 ya katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mkoani humo. 
Mbunge wa jimbo la Mtera,Mh.Livingstone Lusinde akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora mjini leo jioni kwenye mkutano wa hadhara uliondaliwa na chama cha CCM.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais,Mh. Ummy Mwalim akihutubia  katika mkutano wa hadhara na kuuponda Ukawa kwa kitendo chake cha kutoka bungeni kwa sababu zisizoeleweka wakati wa Bunge la Katiba,Mh.Ummy pia aliwatia shime akina mama kuwa na mshikamano katika suala zima la kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali walizomo,na kuacha kubweteka wakisubiri waletewe maendeleo.
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa akihutubia katika mkutano wa hadhara wa CCM, ambapo alimpongeza Katibu Mkuu Kinana kwa kufanikisha ziara yake mkoani humo na kumaliza salama.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano ya Umma), Steven Wassira akihutubia katika mkutano wa hadhara na kuwaponda viongozi wa Ukawa wa kususia mkutano wa Bunge la Katiba bila kuwa na sababu za msingi.

Umoja Wa Watanzania Ujerumani Wazindua Tovuti

$
0
0
Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U) Umezindua Mtandao wake leo hii Tarehe 19.05.2011, mjini Aschaffenburg ujerumani. Mtandao huo ambao umeaza kutumika kwa lugha ya Taifa ya Ujerumani (kijerumani) upo mbioni pia kutandaza habari kwa lunga za kimataifa ikiwemo kiswahili.

 Akiongea na vyanzo vyetu vya habari mwenyekiti wa umoja huo mheshimiwa Mfundo Peter Mfundo amewataka wanachama wa U T U  na Watanzania wote kwa Ujumla kuwa na subira kidogo kwani mtandao huo utaanza kupatikana kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuwapasha kila taarifa na kinachoendelea kutoka kwenye umoja wenu. 

Mtandao huo  unapatikana katika www.ututz.com 
au http//www.ututz.com 
kwa mawasiliano zaidi  wasiliana na kamati.utu@googlemail.com  
kamati ya UTU inawatakia kila la heri katika kurambaza kwenye mtandao wetu.
Viewing all 46379 articles
Browse latest View live




Latest Images