Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAKUTANA NA WAANDISHI NA WADAU WA HABARI JIJINI DAR LEO

$
0
0
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio (wa kwanza kulia), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo. 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absolom Kibanda, akizungumza wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano ambao pia ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel akisisitiza jambo wakati akitoa mada kwenye mkutano ulioandaliwa na PPF kwa waandishi na wadau wa habari katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam leo.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Janeth Ezekiel (katikati) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Wa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF , Ndg Godfrey Mollel (hayupo pichani) Ndg Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.Dokta Isaac Maro Wa AfyaCheck akizungumza wakati  wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.


 Mzee Timoth Kahoho (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari  uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almas Nyangasa wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Mzee Timoth Kahoho (katikati) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Huduma kwa Wateja wa Mfuko Wa Pensheni wa PPF, Ndg Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa waandishi na wadau wa Habari uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF pamoja na timu yake nzima kutoka Ofisi ya PPF Makao Makuu.

Siku za kwenda Brazil Kombe la Dunia ziko ukingoni

$
0
0
FIFA-World-Cup-2014-Brazil
Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii.

Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya aina ya mwisho kwa Brazil, tofauti na kujitangaza yenyewe kimataifa. Uangalizi utakuwa juu yetu na ni nafasi kubwa kwetu kwa kuionyesha Dunia umuhimu kuhusu Brazil na watu wa Kibrazil walivyo.

Wakati wa Kombe la Dunia la Olimpiki 2016 itakayofanyika Brazil, tutakuwa na nafasi ya kuionyesha Dunia jinsi tunavyo penda michezo na vilevile tulivyo na nguvu katika uchumi wetu. Brazil ni kiongozi mkubwa Duniani kiteknolojia na kiongozi mkubwa wa uzalishaji wa Nyama, madini na mzalishaji mkubwa wa soya duniani. Ni karibu sasa maelfu ya watalii na waandishi wa kigeni watafika kwenye mlango wetu ulio wazi kujionea na kugundua uhalisia wa Wabrazili.
Ingawa Brazili ni nchi kubwa kijamii, lakini tumefanya mambo mengi ya kukabiliana na matatizo katika miaka ya hivi karibuni. 

Tuna utaifa tofauti lakini tuna umoja mzuri kijamii na kimaendeleo katika ubunifu wa juu. Ni nchi iliyojaliwa watu wenye uwezo mkubwa kiakili na inawatu wengi wenye vipaji vikubwa katika michezo kama Neymar anavyocheza na maajabu yake ya kuchezea mpira . Vilevile mziki wa Tom Jobim na sayansi aliyoipata kutoka kwa Miguel Nicolelis, kama utafiti waliofanya na kupata matumaini kuwa siku moja mifupa ya binadamu inaweza kutembea tena.
estadios2014
Brazili ni nchi nzuri sana, na ni nchi iliyobarikiwa kuwa na hali ya asili nzuri. Watalii wote watakaofika Brazil wakati wa Kombe la Dunia wajiandae kukutana na hali ambayo hawataisahau na hawajawahi kuiona. Vilevile watafurahia kutembelea fukwe za kusini na kujionea misitu na mto wa Amazon, milima katika mji wa Rio de Janeiro ambayo ni sehemu muhimu sana kwa watalii. Naamini kila mtalii ataondoka Brazil akiwa na kumbukumbu nzuri katika maisha yake yote.


Brazili ni nchi nzuri na ya furaha sana. Tunawakaribisha watalii wote katika Kombe la Dunia kwa mikono yote miwili na hadi tutakapo anza kufanya kazi.
Kwa mwaka 2014 FIFA World Cup taasisi za mitaa na uongozi wa bodi ya wanachama, nimeridhika mwenyewe kwa kuona uwezo wao na uzoefu walionao wa kusimamia tamasha kubwa hili. Ndani ya miji yote 12 itakayofanyika mashindano haya, nimeshuhudia maelfu ya watu wakihakikisha kuwa mashindano ya Kombe la Dunia yanafanyika katika hali nzuri.
Tumekumbana na vikwazo vigumu katika maandalizi ya Kombe la Shirikisho la FIFA mwaka jana ambapo tulikuwa wenyeji. Hayo siyo maoni yangu tu bali maoni ya washabiki wote wanahabari, na vilevile Raisi wa FIFA Joseph S. Blatter.
Chini ya miezi sita baadae kwa mafanikio tuliandaa tukio la changamoto nyingine. Droo ya mwisho katika mji wa Costa do Sauipe Bahia. Na tulipogundua ni katika miji ipi michezo itakapochezewa timu za mataifa 32 ambazo zitapinga mashindano zilijadiliana mipango yao ya kiutekelezaji na uanachama wa LOC, FIFA na serikali ya Brazil. Kubadilishana huku kwa mawazo na maoni baina ya waandaaji wa timu za taifa ni mchakato unaoendelea, na tukio jingine muhimu la warsha ya timu za taifa mjini Costao do Santinho katika mji wa Florianopolis uliofanyika mwezi uliopita. Mada zikiwa kama vile , usalama, usafiri na jinsi timu zitakavyohudumiwa vilijadiliwa kwa undani.
Hivi sasa tuko nyumbani moja kwa moja , toka mwanzo wa mwaka viwanja viwili vya mpira vimefunguliwa ambavyo ni Arena Amazonas, Arena da Baixada, Arena Pantanal na Arena Corinthians, ambavyo karibia viko tayari. Wakati Kombe la dunia likianza viwanja vyote vitakuwa vimeshafanyiwa matukio ya majaribio. Haya yote ni muhimu sana ili waandaaji waweze kufanya marekebisho ya mwisho katika mipango yao.
Hatuna muda mwingi wa kutosha mpaka mashindano yatakapoanza, na wachezaji wakubwa katika sayari kwenda kifua mbele kama, Messi, Christiano Ronaldo, Iniesta, Neymar.....siwezi kungojea. Ninawatarajia nchini Brazil. Tutaonana katika Kombe la dunia.

Onesho la wapiga ala/vyombo vya muziki kufanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Ijumaa

$
0
0
Action Music Tanzania inayofuraha ya kukualika kuhudhuria onesho la muziki litakalofanyika siku ya Ijumaa ya tarehe saba mwezi wa tatu (07.03.2014) kwenye idara ya sanaa na sanaa za maonesho (FPA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa mbili usiku (12:30-2:00), Kiingilio ni bure.
 
Onesho hilo limeandaliwa na AMTZ litawahusisha wanamuziki kutoka kwenye taasisi mbalimbali ambao wameshiriki mafunzo maalumu ya muziki kwa muda wa wiki mbili ambayo yamefanyika kwenye Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (FPA), kuanzia Februari 24 mwaka huu. Pia wakati wa onesho kutakuwa na zoezi la kuchangia mfuko wa AMTZ ambapo wageni wataombwa kuchangia kiasi chochote cha fedha ili kuijengea uwezo asasi wa kuendelea kutoa mafunzo ya namna hiyo kwa watu wengine.
 
AMTZ ni asasi isiyo ya kiserikali inayoundwa na walimu wa muziki kutoka katika taasisi mbalimbali za elimu ya muziki nchini na imesajiliwa na BASATA na kupata kibali cha kutoa mafunzo ya muziki ya muda mfupi. AMTZ imekuwa ikitoa mafunzo ya muziki kwa wanamuziki wa aina zote kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuandaa, kucheza na kufundisha muziki kwa kutumia mbinu mpya na za kitaalamu ili kuambukiza elimu ya muziki kwa wanamuziki wengine na hatimaye kuboresha ustawi wa muziki kwa ujumla wake nchini.
 
Kufika kwako katika onesho hilo utakuwa ni mchango mkubwa sana kwa wanamuziki wetu, asasi yetu na muziki kwa ujumla wake. Natanguliza shukran zangu za dhati na karibu sana

MWANZA NA MBEYA WAULA NA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

$
0
0
 Mshindi wa Samsung Galaxy tab3 kutoka Tunduma Mbeya Vedastus Kalinga akionesha zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti kanda ya kusini Lumuli Msika(kushoto)akimpongeza mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Julius Chao kutoka Mbeya mara baada ya kumkabidhi king'amuzi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Mbeya.
 Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga(kushoto) akimkabidhi zawadi ya king'amuzi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti  Deus P. Mwikitalu kutoka Buhongwa jijini Mwanza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,anayeshuhudia ni Meneja Mauzo wa eneo hilo. 
Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu aina ya samsung Galaxy tab3 mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Mwl. Jacob Nnko, 36,kutoka Nansio Ukerewe katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki

MAKONDA ASIMIKA MAKAMANDA 16 WA UVCCM SINGIDA, AMSIFU TUNDU LISSU

$
0
0

Ø  ATOA WITO KILA MKOA UJITAMBULISHE KWA ZAO LAKE,Ø  AWANANGA CHADEMA KUWA WAASISI WA SIASA ZA UKANJANJA.Ø   AMPONGEZA TUNDU LISU KWA KUWA KIONGOZI MJANJA.Ø  AKABIDHI KADI 50 KWA VIJANAWALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MA PINDUZI (CCM) NA KUVUNA WANACHAMA WENGINE KUTOKA CHADEMA.


Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Ndugu Paul Makonda amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Singida na kusimika makamanda wateule wa jumuiya ya Vijana wa Kata 16 za wilaya ya Singida Mjini.

Shughuli hiyo ya kusimika makamanda 16 iliyofanyika Katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ukombozi uliopo Kata ya Majengo Singida Mjini  ilihudhuriwa na mamia ya wananchi ambao walijitokeza kumsikiliza kiongozi huyo wa Jumuiya ya Vijana.

Akiongea na wananchi, Paul Makonda amewataka Makamanda hao wateule kufanya kazi kwa ajili ya Jumuiya, Chama na wananchi, amewataka watambue kuwa nafasi hiyo ni kubwa na ya msingi kwa Maendeleo ya Vijana na wananchi kwa Ujumla.

Lakini pia amewataka wananchi wa Singida na watanzania wa mikoa yote kujitambulisha kimikoa katika sura ya kimataifa kwa aina ya zao  wanalozalisha, aliwataka wanasingida kujitambulisha kwa zao la alizet na kutumia kilimo kama nyenzo muhimu ya kijiletea Maendeleo ya Kiuchumi.

Katika  mkutano huo, Makonda alikabidhi kadi kwa vijana Zaidi ya 50 ambao waliamua kujiunga na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi na kupokea wanachama wengine kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na kiongozi wa Vijana wa CHADEMA wa Kata hiyo ndugu Yasin Athuman.  

Pia, aliwananga Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha za Ukanjanja za kutumia matatizo ya wananchi kama daraja la kufikia mafanikio yao binafsi. Asema wanashindwa kutumia rasilimali zao kujiimarisha kama Chama na kusaidia kutatua matatizo ya wananchi badala ya kutumia fedha nyingi kwa kukodi helkopta na kufanya matumizi yasiyo na msingi yasiyojali mustakabal mwema wa Wananchi. 

Pia amsifu  na kumpongeza Tundu Lissu kuwa ni kiongozi mjanja ndani ya Chama hicho kwani baada ya kugundua kuwa Chama hicho kinaendeshwa kiukoo na kifamilia nae akamchukua Dada yake anayeitwa Christina Lissu na kumpa Ubunge wa Viti maalum.

MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI NA MMOJA WA WAANZILISHI WA TIMU YA MAJI MAJI YA SONGEA.

$
0
0

 Mzee Abdala Alli alikuwa mmoja wa waanzilishi wa timu ya Majimaji ya Songea wana lizombe,yeye na wenzake watatu ndiyo walianzisha timu hiyo,Alikuwa mzee Mbegambega,Mzee Mshamu wakiongozwa na Mhe,Laurensi Mtazama Gama hao wote kwa sasa ni marehemu. PICHA NA MPENDA MVULA.
 Mmoja wa watani wa Kabila la Wayao akimpaka unga usoni mtoto wa Kwanza wa kiume Hamisi Abdala Alli,
 Siyo Igizo ni utani kati ya Wamwela na Wayao.
 Mfiwa uruusiwi kufuta huo unga ukifuta tu wanakuja na debe zima wanakumwagia bora uwe mpole.
 Mzee Abdala Alli muda wake mwingi aliutumia kwenye mchezo wa mpira mpaka tatizo la upofu lilipompata ndipo akastaafu mambo ya soka akawa mshauri tu kwa Viongozi wa timu yake ya Majimaji.




 Mwili wa Marehemu ukitoka ndani ya nyumba yake.


 Watu wengi walijitokeza.


 Watani wa Kiyao wakishangilia.
 Watani wa Kiyao wakimfuatisha marehemu alivyokuwa akitembea enzi ya Uhai wake.
 Amezikwa kwenye Mashamba yake hapa Kipera Songea.


 APA NDIYO MWISHO WA SAFARI YAKE MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINA....

Msimu mpya wa Maisha Plus kuanza leo

$
0
0


Vipindi vya televisheni vya shindano la Maisha  Plus kuanza kuonyeshwa leo usiku  katika kituo cha televisheni, TBC1. Akizungumza na wanahabari jijini Dar, Mratibu wa Mashindano hayo, Masoud Ali ‘Kipanya’ alisema vipindi hivyo vitaonyesha hatua za awali ambazo ni usaili na mpaka kupatikana kwa washiriki 30 waliobahatika kuingia kijijini.

“Tutaanza kuwaonyesha kipindi chetu kuanzia leo hii saa nne na dakika tano usiku, kipindi kitaanza kwa kuonyesha hatua za mwanzo kabisa za mashindano haya,” alisema Kipanya. Alifafanua akisema kuwa vipindi 10 vya mwanzo vitaonyesha mchakato mzima wa upatikanaji wa vijana 18 kutoka Tanzania watakao ungana na vijana wengine 12 kutoka Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi zitakazotoa washiriki watatu kwa kila nchi.

Usaili wa mwaka huu ulikuwa tofauti na miaka mingine ambapo orodha ya washiriki 40 ilitengenezwa na ikagawanywa katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza lilikwenda mkoani iringa kuishi kwenye vijiji vya huko na kushiriki shughuli za kijamii. Kundi la Pili litaenda visiwani Zanzibar ambalo pia litashiriki utamaduni wa kila siku wa kimaisha wa visiwani humo ambapo ni washiriki tisa tu katika kila kundi watachukuliwa na watachujwa kutokana na jinsi walivyoyamudu maisha ya huko.

“Vijana wakiwa huko katika vijiji vya kweli watakuwa wakishiriki shughuli za kilimo, usafi, za kiafya na nyinginezo kabla hawajaingia katika kijiji cha Maisha Plus”, alifafanua Kipanya. Baada ya kundi la kwanza na la pili kutoa washiriki tisa kila kundi, washiriki 18 watakuwa wameshapatikana, na sasa nchi za zikishapata washiriki wake 12, idadi ya washiriki 30 itaingia kijijini cha Maisha Plus katikati ya mwezi huu.

SAMWEL SITTA MGOMBEA PEKEE UENYEKITI BUNGE LA KATIBA, CHENGE "ABWAGA MANYANGA"

$
0
0


Samwel Sitta.

Hatimaye mzee wa "Standards and Speed", Mbunge wa Urambo Mashariki (CCM), Samwel Sitta, ambaye pia ni Waziri wa Ushirikianmo wa Afrtika Mashariki, amepitishwa na chama chake, kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.



Taarifa kutoka Dodoma zilizonukuliwa na vyombo vya habari mapema Jumanne Asubuhi Machi 4, 2014, Samwel Sitta, spika mstaafu anayeelezwa kuleta mabadiliko makubwa ndani ya bunge la Muungano la vyama vingi, atasaidiwa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia masuala ya Muungano.



Taarifa hiyo ilisema, hatua ya Samwel Sitta kuteuliwa kuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo, inafuatia vikao virefu vya wabunge wa CCM vya kimkakati, ambapo aliyekuwa akitajwa kuwania nafasi hiyo, sambamba na Sitta, Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge alitangaza kujitoa.



Sitta sasa atapambana na wagombea kutoka upande wa upinzani, na haitarajiwi kushindwa.



Umaarufu wake, ulitokana na falsafa yake ya “Standard and Speed” ambapo, alitoa fursa karibu sawa kwa wabunge wote kutoka upinzani na chama chake, wakati wa kuchangia mijadala mbalimbali hata ile iliyoonekana kukibomoa chama chake.


Kuteuliwa kwake, kunatarajiwa kulichangamsha bunge  hilo maalum la Katiba ambalo wachambuzi wa mambo wanabashiri kuwa litakuwa gumu mmno kuliongoza, kwani kuna wajumbe wake, wanatoka kada mbalimbali na hivyo kulifanya kuwa ni bunge litakalohitaji busara na uvumilivu kuliongoza.HABARI PICHA NA K-VIS

Exim Bank launches corporate center in Arusha

$
0
0
The Exim Bank Tanzania Board Chairman, Yogesh Manek (left) stresses a during an event held in Arusha at the weekend to launch the bank’s corporate center. Looking on at the right is the Exim Bank Arusha Corporate Center Senior Manager Hamad Said.
 The Exim Bank Tanzania Board Chairman, Yogesh Manek (left) stresses a point to the Exim Bank Head of Treasury George Shumbusho (right) during an event held in Arusha at the weekend to launch the bank’s corporate center.
 The Exim Bank Tanzania Board Chairman, Yogesh Manek (left) shakes hands with one of Exim Bank’s loyal customers Munila Mauli (right) shortly after receiving an award for her loyalty during an event held in Arusha at the weekend to launch the bank’s corporate center. Looking on at the center is the Arusha Regional Commissioner Magesa Mulugo
 The Arusha Regional Commissioner Magesa Mulugo (left) pulls down a curtain to officially inaugurate the Exim Bank Corporate center in Arusha at the weekend. Looking on at the right is Exim Bank Tanzania Board Chairman, Yogesh Manek 
 The Arusha Regional Commissioner Magesa Mulugo (left) briefs reporters shortly after the Exim Bank Corporate center in Arusha at the weekend. Looking on at the right is Exim Bank Tanzania Board Chairman, Yogesh Manek. 
 The Exim Bank Tanzania Chief Executive Officer Dinesh Arora (right) stresses a point to the Arusha Regional Commissioner Magesa Mulugo (left) during the launch of the bank’s corporate center in Arusha at the weekend.

========== ======   =======  ========
Exim Bank launches corporate center in Arusha

By Staff Reporter

Exim Bank Tanzania has launched a corporate center in Arusha that seeks to cater for its corporate clients needs within the region. Speaking during the launch of the center, the Exim Bank Tanzania Board Chairman Yogesh Manek said the new corporate branch reiterates the bank’s commitment to offer highest level of service to its clients across all segments.

“Our new facility will cater for all corporate clients’ needs by providing a full range of tailored corporate banking solutions in one convenient location.
“We believe the corporate center will go a long way in supporting economic activity in Arusha region among which include forestry, industrial development, mining, agro-economic zone, wildlife and natural resources as well as real estate development,” he added
Manek said the Arusha Corporate center is fully equipped and specialised to provide the broadest suite of corporate banking solutions specifically tailored to the needs of the bank’s corporate clients that include cash transfers, loans, trade finance, and treasury.
Manek said the bank is set to embark on a three year ambitious expansion strategy that seeks to enhance the bank’s service offering by expanding the bank’s branch network to 50, 100 Automated Teller Machines (ATMs) and 1000 Point of Sales (POS) across the country by the end of 2016.

“We are seriously working on installation of a very sophisticated and world class banking system that will enhance our service delivery,” he said. He said the bank will be increasing its operating profit to 50 billion shillings per year and pay up to 50 billion shillings in taxes to the Tanzanian Government.

The Exim Bank Arusha Corporate Centre Senior Branch Manager Hamad Said during the event said the branch will continuously work around the clock to enhance its service quality while providing a unique, smooth and fully integrated client experience.

“Our corporate clients will now be able to further benefit from a full range of services at a single location that is fully dedicated to meet all their needs. We are confident that our customers will realise its benefits and take full advantage of it” he said. The Arusha Regional Commissioner Magesa Mulugo during the event said Exim Bank’s corporate center comes at the right as the region braces for more investment opportunities.

“The region is set to embark on more development projects especially in the infrastructure sector, tourism and hospitality. It is my belief that the new corporate center will provide the necessary finances to support development of the projects,” Mulugo said.

He however called upon the bank to strike a balance between its corporate and Retail clients by offering the same level of service delivery.
“Service delivery for your corporate clients should go hand in hand with that of retail clients as both are equally important,” he said.

UBOVU WA MITARO YAPELEKEA MAJI KUJAA KWENYE STENDI YA MWENGE

$
0
0
 Hii ni sehemu ya maduka ambayo kwa mbele ya hayo maduka maji yamejaa kutokana na kuziba kwa mitaro ya eneo la stendi ya daladala ya Mwenge jijini Dar es salaam
 Sehemu hii kuna mtaro wa maji lakini kutokana na kuziba kwake imekuwa kero kwa wafanyabiashara na watu wanaotumia stendi ya Mwenge kwani mitaro hiyo imeziba na kupelekea maji kujaa na kuingia barabarani hata madukani.
 Maji ya mvua yakiingia kwenye mtaro wa maji ambao kwa mbele kumezibwa kutokana na uchafu ulioko kwenye mtaro huo wa stendi ya Mwenge
 Hii ni sehemu ya mtaro mmojawapo ambao unapokea maji mengi pale mvua inaponyesha lakini hayawezi kwenda kwani pameziba.
 Eneo hili ndipo daladala zinapoingilia kwenye kituo cha Mwenge kilichopo Kinondoni. Eneo hili halipitiki wakati wa mvua ikinyesha kutokana na mitaro mingi kuziba na kujaa maji  mengi ndani ya stendi hii.
 Sehemu hii pamejamaji lakini kwa chini kuna mtaro mkubwa ila kutokana na kuziba inapelekea maji kujaa sehemu kubwa ya maduka na hata barabarani.
 Unaweza kusema ni mto lakini kumbe ni maji ya mvua yaliyotuhama kutokana na mitaro kuziba
 Hii ndio hali halisi kama inavyoonekana katika picha
 Kutokana na kuziba kwa mitaro hiyo maji yanaingia mpaka kwenye barabara ya Bagamoyo inayopita karibu na kituo hicho cha Mwenge.

PICHA NA PAMOJA BLOG

WAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF

$
0
0
Mwandishi wa Habari Ndg Elias Mnonjera Daudi akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PPF jana mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo ulioandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PPF.
 Mwandishi wa habari, Ndg Francis Dande (wa kwanza kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana  mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya huduma nyingine zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF.
Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almasi Nyangasa akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa PPF jana mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF.
Mdau wa Habari Nchini Bw Albart Jackson (wa Pili Kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa PPF jana mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari ulioandaliwa na mfuko wa Pensheni wa PPF kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar Es Salaam. 
Baadhi ya waandishi wa habari nchini wakijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar Es Salaam mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kumalizika
 Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengele (wa kwanza kushoto) akiwapa maelekezo waandishi wa habari jinsi ya kujaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa PPF jana Katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar Es Salaam mara baada ya Mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika.
 Waandishi na Wadau wa habari waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mara baada ya kujiunga na Mfuko huo hapo jana katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar Es Salaam.

Matukio Bunge la Katiba Leo

$
0
0
 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Steven Wassira akiwaeleza jambo Wajumbe wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

WASHIRIKI TUZO ZA HABARI TANAPA WAONGEZEKA

TASAF YAFUNGUA WARSHA YA MIRADI YA UJENZI MJINI KIBAHA-PWANI LEO

$
0
0
 Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge mara baada ya kufungua warsha hiyo.
Mkurugenzi wa miradi wa TASAF Amadeus Kamagenge akifungua warsha ya miradi ya ujenzi kwa wataalam wa halmashauri ya manispaa ya kibaha ikiwa ni moja ya mikakati ya kufanikisha mpango wa kunusuru kaya masikini unao
Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakimsikilza kwa makini mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge (hayupo picha) wakati wa warsha hiyo.
TASAF yaanza kuwajengea uwezo wataalaam watakaosimamia miradi ya ujenzi kufanikisha mpango wa kunusuru kaya masikini (PSSN).
Mkurugenzi wa Miradi (DCS) wa TASAF Amadeus Kamagenge akilakiwa na baadhi wa washiriki, kufungua warsha ya miradi ya ujenzi katika halmashari ya manispaa ya Kibaha

Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wanakutana kujadili rasimu ya kanuni

$
0
0
 Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma ambamo Wajumbe wanakutana kujadili rasimu ya kanuni za Bunge Maalum za mwaka 2014 leo.Picha na Muhidin  Issa Michuzi 




Doreen Noni kushiriki shindano la Africa Magic Choice Awards Lagos

$
0
0
DSC_0041
Mjasiriamali na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Doreen Noni akizungumza kwenye Exclusive Interview na mtandao wa habari wa MOblog.

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

MJASIRIAMALI na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Doreen Noni anatarajiwa kushiriki kwenye shindano la kumtafuta mbunifu bora katika sanaa ya filamu, (Africa Magic Viewers Choice Awards) nchini Nigeria wiki hii.

Akizungumza na MOblog Tanzania, hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Noni amesema kwamba amechaguliwa kushiriki katika shindano hilo la Africa Magic Viewers Choice Awards baada ya kushiriki filamu ya siri ya mtungi. “Africa magic viewer’s choice awards ni kama Oscar ya Afrika ambapo sinema zote wanazotizama watu kwenye Mnet, series na nia hasa ni kutizama kazi za wasanii mbali katika fani ya uingizaji wa filamu Afrika,” amesema.

Amesema alifanikiwa kufanya kazi na kampuni ya (Media for Development International) ambao wanafanya kazi ya kuhamasisha kazi za uzalishaji katika filamu za Afrika ili kutambua mchango wa wasanii mbalimbali katika bara hili.
DSC_0128
Noni amesema kuwa kupitia kampuni au shirika hilo lisilo kuwa la kiserikali aliweza kushiriki kwenye filamu ya “Siri ya Mtungi” ambapo alitengeneza nguo na mavazi yote yaliyotumika katika filamu hiyo.

Amesema kwamba katika filamu hiyo alitengeneza nguo kwa kila mshiriki wa filamu baada ya kuzunguka katika masoko mengi ya jijini Dar es Salaam katika kutafuta nguo zinazoendana. “nimechaguliwa baaada ya kupeleka baadhi ya kazi zangu za kisanii hasa kwa design na kubuni mavazi mbalimbali baada ya kuonyesha kipaji chake katika tamthilia hiyo ya Siri ya Mtungi,” alilisitiza.

Noni amesema kwamba yeye ana malengo yake kama kijana na mjasirimali ni kufika mbali katika fani yake hiyo ya ubunifu wa mavazi na ujasiriamali. MJASIRIAMALI na mbunifu wa mavazi anayekuja juu nchini Tanzania, Doreen Noni anatarajiwa kushiriki kwenye shindano la kumtafuta mbunifu bora katika sanaa ya filamu, Africa Magic Choice Awards nchini Nigeria.

Muungano wa Tanzania ni kielelezo cha maendeleo.

$
0
0

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano) Samia Suluhu Hassan akiongea na waandishi wa habari( Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika utekelezaji wa masuala ya Muungano wakati wa Mkutano leo Mjini Dodoma. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Ofisi hiyo Bi. Siglinda Chipungaupi.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano) Samia Suluhu Hassan leo mjini Dodoma.

(PICHA NA HASSAN SILAYO)


Na Jovina Bujulu
Muungano wa Tanzania umeendelea kuwa nyenzo na utambulisho muhimu katika kuleta umoja na maendeleo katika taifa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo mjini Dodoma.

“Miaka 50 ya Muungano imekuwa ni ya mafanikio makubwa ambayo yamewanufaisha wananchi katika nyaja mbalimbali kijamii, kiuchumi, na Kisiasa” alisema Waziri Suluhu.

Waziri Samia alisema kuwa muungano huo umeendelea kuwa kielelezo imara katika suala la ulinzi na usalama hali iliyowezesha kuwepo kwa amani na utulivu nchini.

Katika suala la haki za binadamu Waziri Samia alisema kuwa suala hilo limeendelea kupewa kipaumbele ndani ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo wananchi wameendelea kupata haki zao za msingi kupitia mahakama za Mwanzo hadi za Juu.

Akifafanua kuhusu suala la elimu Waziri Samia alibainisha kuwa wanafunzi wenye sifa Tanzania Bara na Zanzibar wanapatiwa mikopo ili kukidhi gharama za Masomo, hali iliyosabisha uimarishwaji wa elimu ya juu kwani kuwekuwepo kwa ongezeko la vyuo vya elimu ya juu kutoka 25 mwaka 2015 hadi 63 vilivyopo sasa.

Aidha Waziri Samia alisema kuwa Serikali hizi mbili zinashirikiana katika kubuni na kuibua miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na Serikali kwa Kushirikiana na Wahisanai wa Maendeleo.

“Serikali hizi zimekuwa na ushirikiano wa pamoja katika masuala ya mandeleo mfano Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF III, MACEMP, ASDPL na ASDP kwa ujumla imekuwa ni chachu kubwa ya Maendeleo ya wananchi katika pande zote za Muungano” Alisema Waziri Samia.

Waziri Samia aliongeza kuwa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yalizinduliwa Zanzibar tarehe 1 Machi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ally Mohamed Shein ambapo nembo ya Muungano ilizinduliwa na sherehe za Muungano zitafanyika Dar es Salaam.


Kauli mbiu ya Mwaka huu ni “Utanzania wetu ni Muungano wetu, Tuulinde, Tuumarishe na Kuudumisha.”

Suala la Jinsia Laibua Mjadala Bungeni.

$
0
0
Na Jovina Bujulu 
Suala la Jinsia katika uongozi wa Bunge Maalum la Katiba limeibua Mjadala mzito katika nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo.

Mjumbe wa Bunge hilo Lediana Mung’ong’o ndiye aliyekuwa wa kwanza kuibua suala hilo wakati wa mjadala kuhusu marekebisho ya kanuni za bunge kipengele 8(i) kinachozungumzia utaratibu wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti.

Mung’ong’o alitaka kipengele hicho kuzingatia uhusiano wa kijinsia, ambapo kama mwenyekiti atakuwa ni mwanaume, makamu wake awe mwanamke au kama Mwenyekiti atakuwa mwanamke, makamu wake awe mwanaume.

“Mwenyekiti hili suala la Mwenyekiti na Makamu wake hatuna budi kuangalia suala la jinsia kwamba ikiwa mwenyekiti atakuwa ni mwanaume, makamu wake awe mwanamke au kama Mwenyekiti atakuwa mwanamke, makamu wake awe mwanaume” alisema Mung’ong’o.

Naye Mjumbe wa Bunge hilo Anna Abdalah alisema kuwa suala hilo lilikosewa Tangu awali hivyo hakuna budi makubaliano yafanyike kwa busara maana wanawake wenye sifa na uwezo wapo wengi Tanzania Bara na Zanzibar.

Akichangia katika suala hilo Mjumbe wa Bunge Hilo ambaye ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha Adam Malima alisema kuwa ili kuwepo kwa amani na Mshikamano sheria haina budi kusema wazi endapo Mwenyekiti atatoka Tanzania Bara basi Makamu wake atoke Zanzibar.

Akijibu hoja hiyo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman alisema kuwa suala hilo liwe la marekebisho lakini si kwa kuvunja sheria hiyo.


“Sharti hilo likibadilishwa litakuwa ni kituko na tutakuwa tunarekebisha sheria ambazo hazikutungwa na Bunge Maalum la Katiba hivyo ni busara kufanya makubaliano ili kufikia muafaka wa jambo hilo" alisema 
Othman Masoud Othman.

MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA

$
0
0


Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete,Ndugu Ridhiwani Kikwete akijipigia kura.

Leo kumefanyika Upigaji Kura za maoni kupitia chama cha CCM,jimbo la Chalinze,aidha Katika  uchaguzi  huo uliofanyika Ridhiwani Kikwete amishinda kwa kuibuka na kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa, huku mpinzani wake wa karibu  ambaye pia ni mdau mkubwa wa Soka hapa nchini,Ndugu Shaban Iman Madega ameibuka na kura 335.


Wengine  walioshiriki   katika uchaguzi huo ni pamoja na Athuman Ramadhan Maneno aliyepata kura  206 na Changwa Mohamed Mkwazu aliyeambulia  kura  12.

Katika  uchaguzi huo jumla ya kura  zote  zilikuwa ni 1363 wakati  kura zilizoharibika ni 5 na Halali ni kura 1316, hivyo kwa matokeo  hayo  Kikwete anasubiri vikao  vya juu  vya  chama  ili  kutoa baraka  kama ateuliwe  kuwa mgombea ama vinginevyo.

Rais Kikwete akagua madaraja ya kijeshi

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana, Jumatatu, Machi 2, mwaka huu, 2014. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu).

Viewing all 46334 articles
Browse latest View live




Latest Images