Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46384 articles
Browse latest View live

UZINDUZI WA MICHEZO MUTUKA,WILAYANI BABATI MKOANI MANYARA

$
0
0
Diwani wa Kata ya Mutuka, Wilayani Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao akizungumza juzi na wachezaji wa timu za soka za Mutuka FC na Chem Chem FC wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Diwani huyo (kushoto) ni Mwenyekit wa halmashauri ya Mji wa Babati, Mohamed Omary Farah.(picha woinde shizza,Manyara

REDIO 5 WAFUNGUA MWAKA KWA TAMASHA LA BURUDANI

$
0
0
DSCF2600Timu ya AJTC ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kunyakuwa ushindi katika tamasha la fungua mwaka na redio 5 lililoandaliwa na kampuni ya Tan media jijini Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.

DSCF2564Timu ya Highridge ikipokea zawadi ya saa kutoka kwa mtangazaji Semio Sonyo baada ya kushika nafasi ya pili.
DSCF2557Mashabiki wakiangalia burudani kutoka kwa wasanii wa Arusha
DSCF2553Muonekano wa wachezaji wakiwa uwanjani.
DSCF2627

DSCF2629Jambo squard wakiwapa burudani wakazi wa Arusha.

DSCF2593Kulia ni meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo akiwa na MC Victoria wakijadili jambo
DSCF2562Mtangazaji maarufu wa kituo cha redio 5 Semio Sonyo akijadili jambo na baadhi ya wachezaji
DSCF2552Nyama choma pia ilikuwepo
DSCF2556DJ akifanya yake kuwapa burudani wakazi wa Arusha
DSCF2577Mmiliki wa jamiiblog akishow love na kikundi cha kck spark katika tamasha la fungua mwaka na Redio 5
DSCF2569
DSCF2589
DSCF2634K-vant gin nao walikuwa wadhamini wa tamasha hilo
DSCF2584Kulia Mtangazaji maarufu wa redio 5 Linus Kilembu kushoto producer BR tukishow love
DSCF2587Miondoko ya archuga pia ilichezwa
DSCF2632Mashabiki wakiangalia burudani

DSCF2619Wadau muhimu pia walikuwepo kwenye tamasha

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 4, 2014, kwa mazungumzo. Picha na OMR 

Are you graduate from University of Dar es Salaam (UDSM) leaving in Mwanza city????

$
0
0
University of Dar es Salaam Alumni Event will be held on Friday 07 February 2014 in Mwanza from 5-7pm.Venue will be Mwanza Hotel.

Kindly confirm attendance through 0754-623395 or udsmalumni@gmail.com. This event is for all UDSM (DUCE and MUCE included) graduates from 1964 to 2013 who are in Mwanza.

‘Entrance is free’

For updates please follow us on facebook at

WATOTO 287 WAFADHILIWA MASOMO NA COMPASSION IRINGA

$
0
0
 Mgeni Rasmi Daniel Kadinde akimkabidhi zawadi mwanafunzi Monalisa Sungwa aliyefanya vizuri katika masomo yake. Monalisa ni mmoja ya wanafunzi anayesomeshwa na Compassion.
Mgeni rasmi Daniel Kadinde akizungumza na watoto wahitaji katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ipogoro katika siku ya shukrani.
 baadhi ya watoto wenye uhitaji wakifatilia kwa makini burudani iliyokuwa ikitolewa na kwaya ya watoto wenzao wa Ebeneza.
  Kwaya ya watoto Ebeneza akitumbuiza katika siku ya kutoa shukrani kwa watoto wenye uhitaji iliyofanyika katika ukumbi wa Kanisa la Anglikana Ipogoro.
 Mwanafunzi bora Monalisa Sungwa akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzake wanaosomeshwa na Compassion

=========   =======  =========
WATOTO 287 WAFADHILIWA MASOMO NA COMPASSION IRINGA
 
Na Denis Mlowe,Iringa
 
JUMLA ya watoto wahitaji 287 wamefaidika na ufadhili wa masomo ya elimu ya shule ya msingi na sekondari unaotolewa na Kituo cha Huduma ya Mtoto cha Anglikana Ipogoro kwa ufadhili wa shirika la   Compassion.
 
Hayo yamesemwa na  Mkurugenzi wa kituo hicho Kaini Mwakisyala wakati akiongea na mwandishi wa habari hizi wakati wa siku ya Shukrani kwa Watoto wahitaji uliofanyika katika kanisa la Anglikana tawi la Ipogoro mwanzoni mwa wiki.
 
Mwakasyala alisema kuwa watoto walionufaika na ufadhili huo ni kutoka mikoa sehemu za Ilula, Ipogoro na maeneo jirani ya wilaya ya Kilolo huku wengi wao wakiwa ni watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu kwani moja ya malengo ya Taasisi hiyo ni kuwasaidia watoto wenye mahitaji hasa wa kike ili waweze kupata elimu sawa na watoto wengine walio na wazazi.
 
“Watoto hawa wako katika shule za Bweni hii ni kuwafanya waweze kupata huduma zote muhimu ambazo ni chakula, malazi na muda wa kujisomea kwani watoto wengi wa kike wakisoma shule za kutwa  wanatumia muda mwingi kufanya kazi za nyumbani na hivyo kukosa muda wa kujisomea na kucheza michezo mbalimbali” alisema Mwakasyala.
 
Alisema kuna umuhimu wa watoto wa wa jinsia zote kupa elimu itakayomsaidia katika maisha yake ya kila siku na shirika hilo linamsomesha mtoto hadi anapofikia elimu ya chuo na baada ya hapo atakuwa na uwezo wa kujiendeshea maisha yake.
 
Mwakasyala alisema watoto wa kituo hicho licha ya elimu ya kawaida wanapa elimu ya ufundi wa kushona nguo, kufyatua matofali na ufundi mwingine unaoweza kuwakomboa mara wamalizapo elimu zao na elimu hiyo hutolewa kutokana na vipaji walivyonavyo.
 
Aidha aliwataka wazazi kuwapa ushirikiano katika kuwaleta watoto waweze kupata elimu stahiki kwa kugharamiwa kila kitu na shirika hilo zikiwemo ada, sare za shule na vitabu mbalimbali vya kujisomea.
 
Mwakasyala alibainisha changamoto wanazokumbana nazo mojawapo ni wazazi wengi kushindwa kuwaleta watoto wao kwa misingi ya dini wakidhani kwamba wakiwapeleka katika kituo hicho watabadilishwa dini walizozaliwa nazo kutokana na chuo kumilikiwa na kanisa la Anglikana.
 
Kwa upande wao watoto wa kituo hicho wakiwakilishwa na Monalisa Sungwa wa kituo hicho alitoa shukrani kwa uongozi wa kituo hicho kwa kusimamia huduma zote kwa watoto hao kwa ufanisi wa hali ya juu na kuwakomboa katika kupata elimu iliyobora.
 
Sungwa aliitaka jamii kuwashirikisha katika maswala ya kijamii kwa ngazi ya kiwilaya katika kutoa maoni kutokana na mtoto kuwa na haki katika kutoa maoni kwa jamii inayomzunguka.
 
“ Tumekuwa hatupewi fursa nyingi za kushiriki katika mafunzo na matamasha pamoja na shughuli zingine  za kijamii hakika hii inasababisha ushiriki mdogo katika masuala ya kijamii naomba sana tushirikishwe katika kutoa maoni” alisema Sungwa
 
Aidha alisema wanakumbana na changamoto ya wazazi kutokuwa na ushirikiano na kituo hasa pale wanapohitajika kushirikiana katika kuwafatilia watoto maswala ya shuleni na tabia za watoto kwa ujumla.
 

SACGOT Corridor Anchors 110 Million Euro Agricultural Investment Project in Tea

$
0
0

From left to right: Juliet Kairuki, CEO, Tanzania Investment Centre, Peniel Lyimo, Deputy CEO, Presidential Delivery Bureau, Mrs Sophia Kaduma, Permanent Secretary Ministry of Agriculture; Hon. Chiza, Minister of Agriculture United Republic of Tanzania, Pierre Luigi Sigismund, Board Member and Head of Global Supply Chain Unilever; Dr Ramadhaan Mwinjika, Permanent Secretary Ministry of Transport; Ambassador Modest Mero, Permanent Representative of the Government of Tanzania to the United Nations in Geneva. 
=========  ========= ===========
By A Correspondent .

Tanzania Investment Centre (TIC) has confirmed that 2014 has kicked to a positive start with respect to investment in the agriculture sector in Tanzania.  As signal of their strong confidence in the Tanzanian investment climate and the country's future economic prospects,  Unilever has chosen the SACGOT corridor to expand its tea project.  The planned investment will triple Unilever’s production of tea from smallholders through outgrowers schemes.  This will not only generate significant export revenue (projected at 110 million Euro), it will also position Tanzanian Tea as an original tea of international repute. 

As a partner of Tanzania’s SAGCOT initiative, Unilever has expressed its full commitment to ensure that it’s investment also addresses social economic and environmental goals.  Smallholders will be accredited according to the rain forest alliance certification.   The investment will catalyze significant socio-economic development in the Iringa and Njombe regions by creating 10,000 more jobs, enhancing the livelihoods of another 2000-3000 tea small holders, and in total, touching the lives of an estimated 50,000 people. 

 At the recent World Economic Forum Annual Meeting in Davos, Switzerland,  Mr Pierre Luigi, Board member of Unilever, met with the Minister of Agriculture, Honourable Chiza and the team that played a key role in supporting Unilever with the  development of the project and reiterated Unilever's commitment to investing in Tanzania. 

Mrs Sophia Kaduma, Permanent  Secretary in the Ministry of Agriculture, advised that Unilever has signed an MOU with the Ministry, the Tanzania Tea Board and the Tanzania Smallholder Tea Development Agency, to progress the development of the project in line with the social and economic aspirations of the Government of Tanzania.

 TIC,  Executive Director, Mrs. Juliet Kairuki, confirmed that Unilever had applied and was granted National Strategic Investor Status  in December 2013 at a National Investment Steering Committee (NISC) meeting convened by the Honourable Prime Minister, Hon. Mizengo Peter Pinda in Dodoma. 

Unilever is a leading global supplier of fast moving consumer goods with operations in 100 countries and sales in 190 countries. It directly employs 30,000 people  and has a turnover of 3.5 billion Euros. Africa remains at the heart of their global business strategy. 

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA JUKWAA LA ARDHI TANZANIA

$
0
0
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania,Kauli mbiu  yake ni Ardhi yetu ,Watu wetu na Urithi wetu.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua Jukwaaa la Ardhi Tanzania katika ukumbi wa PSPF .kutoka kushoto ni Muhashamu Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ,Alex Malasusa na kulia na Shekhe Ally kutoka Mkoa wa Tanga .

     Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askof Alex Malasusa akimkaribisha Waziri Mkuu  Mizengo  Pinda katika ukumbi wa PSPF kwa ajili ya Uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania .Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil

$
0
0
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto). Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto).Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.  Pamoja naye ni Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (wa pili kulia) Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam  Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya SerengetiShamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia pia ya Serengeti Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini BrazilBaadhi ya mabalozi wa Bia ya Serengeti wakionesha shoo kwa wananchi baada ya uzinduzi wa Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia pia ya Serengeti Baadhi ya mabalozi wa Bia ya Serengeti wakionesha shoo kwa wananchi baada ya uzinduzi wa Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya SerengetiUzinduzi wa promosheni ya shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia pia ya Serengeti uliofanyika leo. Uzinduzi wa promosheni ya shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti uliofanyika leo.

RAIA WATATU WA SYRIA WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMAN KARUME KUELEKEA ROME

$
0
0
Raia watatu wa Syria wamekamatwa  walipokuwa wakijiandaa kusafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) kuelekea Rome Italy kwa kutumia ndege ya Italy yenye nambari 193253 tarehe 29/01/2014.
Raia hao ni Mamdoh ALasfar Yousuf aliezaliwa tarehe 01/08/1975 katika mji wa Hama Syria, Mohd Akram Adnan aliyezaliwa tarehe 14/01/1995 Damascus  na Bibi Razan Adnan Alkurdi aliezaliwa Damascus tarehe 01/01/1994.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Uhamiaji Zanzibar kwa vyombo vya habari, Mamdoh Alasfar Yousuf alikuwa na pasi ya kusafiria nambari 006011215  iliyotolewa tarehe 24/02/2011 Hama Syria na aliingia nchini kwa mara ya kwanza tarehe 21/12/2013 kupitia AAKIA  na kuondoka tarehe 29/12/2013 kwa kupitia AAKIA akiwa na pasi yake halali ya kusafiria.
Mamdoh alikamatwa AAKIA akitumia pasi ya kusafiria ya Taifa la Bulgaria yenye nambari 308991470 iliyotolewa tarehe 28/05/2010 kwa kutumia jina la kughushi ambalo ni Anastas Dimitrov Karabobov.
Mohd Akram Adnan alikuwa na pasi ya kusafiria nambari 0073573492 iliyotolewa tarehe 22/10/2012  aliingia nchini kwa mara kwanza tarehe 15/01/2014 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambare Nyerere (JKNIA) akiwa na pasi yake halali ya kusafiria.
Mohd alikamatwa AAKIA akitumia pasi ya kusafiria ya   kughushi  ya Taifa la Luxembourg yenye nambari G 76CB80 iliyotolewa tarehe 14/07/2009 yenye jina la kughushi Hosam Jaber.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bibi Razan Adnan Alkurdi alikuwa na pasi ya kusafiria nambari 006425707 iliyotolewa tarehe 27/08/2011 na aliingia nchini tarehe 15/012014 kupitia JKNIA.
Razan alikamatwa AAKIA akitumia pasi ya kusafiria ya kughushi ya Taifa la Sweden yenye nambari 0966629944 iliyotolewa mwezi Disemba 2004 kwa kutumia jina  la Laila Mohd.
Raia hao walizuiliwa kuondoka nchini kwa vile waligundulika kutumia pasi za kusafiria za kughushi ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria za Uhamiaji pamoja na sheria za kimataifa za kusafiria kifungu 31(1)(e)(g)(o).
Baada ya kuhojiwa na kufanyiwa uchunguzi wa kina na Maafisa Uhamiaji ilibainika pamoja na kuwa na hati za kusafiria za kughushi walikuwa na pasi zao halali za kusafiria pamoja na tiketi rejea walipoondokea.
Baada ya kuhojiwa raia hao walipelekwa Polisi Madema ambako walikaa kwa muda wa siku mbili na baadae wakakaa Hoteli ya Tembo siku moja na wakasafirishwa na Afisa Uhamiaji husika kupitia AAKIA.
Taarifa hiyo imebainisha kwamba kwa mujibu wa taratibu za kimataifa za usafiri zinazoongozwa na Shirika la Kimataifa la usafiri (ICAO) zinaelekeza msafiri aliegundulika kufanya makosa ya kiuhamiaji anatakiwa kurejeshwa kituo cha mwisho alichoondokea, hivyo Idara ya Uhamiaji Zanzibar iliwarejesha raia hao wa Syria Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JKNIA tarehe  31/01/2014 ambacho ni kituo walichoingilia nchini. Kunataarifa kuwa JKNIA wameshawarejesha raia hao wa Syria kituo walichotoka.
Uchunguzi wa awali wa tukio hilo inaonekana raia wa kigeni hasa kutoka mataifa yenye mizozo wanakimbilia nchi mbali mbali za Ulaya kwa kupitia baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na mara nyingi kusaidiwa na wenyeji wenye nia mbaya kama ilivyojitokeaza katika tukio hilo.                                                                                                            
                                            
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

WASANII NA WAANDISHI WALIPOKUTANA USIKU WA TAREHE 2 MJINI MBEYA

$
0
0
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wageni waalikwa kwenye sherehe za Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari zilizofanyika usiku wa tarehe 2 Februari kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Mbeya.
 Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba akizungumza na waandishi wa habari na wasanii wa muziki na sanaa za filamu Tanzania kwenye siku ya Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari uliofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Mbeya, katika usiku huo Komba alisisitiza wasanii kuangalia maisha yao ya mbele na sio sasa kwani wasipojiandaa wataaibika hapa ulimwenguni pia alisisitiza juu ya maslahi ya wasanii kuongezwa kutokana na kazi kubwa wanazofanya na thamani ya kazi wayofanya.
 Wasanii wakimpongeza Kapteni John Komba kwa wosia mzuri aliotoa juu yao .
 Msanii Maarufu nchini Hafsa Kizinja akitumbuiza siku ya usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari,Februari 2 mjini Mbeya ,siku ambayo CCM ilisheherekea miaka 37 ya kuzaliwa kwake na kitaifa sherehe hizo zilifanyika mjini hapo.
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali wakijumuika kumshangilia Mwenyekiti wao wa Kikosi cha Ziara mkongwe Richard Mwaikenda akijimwaga wakati wa sherehe za Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari zilizofanyika tarehe 2 Februari siku ambayo CCM ilisheherekea ktutimiza miaka 37 ya kuzaliwa kwake na sherehe kufanyika kitaifa mkoani Mbeya.
 Wasanii wa tasnia ya Filamu wakiwa wamepozi kwenye sherehe za usiku wa Wasanii na Waandishi
 Msanii wa Siku Nyingi nchini Dokii akisalimiana na  Mwigulu Lameck Nchemba Naibu Waziri Wizara ya Fedha (Sera) wakati wa sherehe za usiku wa Wasanii na waandishi wa Habari.
 Baadhi ya waandishi kutoka Jjiji la Mbeya wakipata vinywaji na maongezi kidogo wakati wa sherehe fupi za kukutana pamoja na waandishi na wasanii wa muziki na filamu zilizofanyika tarehe 2 Februari mjini Mbeya.
 Waandishi wa Umoja wa Waandishi wa Habari mkoani Mbeya wakizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe fupi za kupongezana kwa kazi nzuri wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM lakini pia usiku huo ulipewa jina la Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari.
 Wasanii wakongwe wa tasnia ya filamu Tanzania nao walikuwepo kutoka kushoto ni Baba Haji, JB na Rich.
 Kila mtu maarufu alikuwepo kwenye tasnia ya sanaa za maigizo na filamu.
 Malkia wa Taarab nchini Hadija Kopa akitoa vionjo vya nyimbo yake mpya ambacho kinasema hata Obama anamjua.
Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi wa CCM Nape Nnauye akiimba sambamba na band ya TOT wakati wa usiku uliopewa jina la usiku wa Wasanii na Waandishi wa habari.

TANZANIA TELECOM INDUSTRY'S CONTINUE TO PAY TAXES TO GOVERNMENT

$
0
0
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has remitted 1.7bn/- to the Treasury collected from calls in October last year.

This follows completion of installation of the Telecommunication Traffic Monitoring System (TTMS).

The amount is from revenue that TCRA collected in one month from firms dealing in telecommunications outside Tanzania whose subscribers made calls to telephone subscribers in Tanzania.

According to TTMS regulations, the government is entitled to at least 28 percent of incoming calls from outside the country.

Speaking during the handing over of the cheque, TCRA Director General Prof John Nkoma told Finance Minister Saada Mkuya that TTMS was installed in October 2013 and started work immediately.

According to Prof Nkoma, the TTMS uses the Build Operate and Transfer system (BOT). He said the system has managed to increase government revenues from the former eight percent to the present 28 percent of the money one pays per minute when calling Tanzania.

As the government gets 28 percent, the TCRA gets at least 25 percent of the money one pays for making a call to Tanzania. Further, the company that collaborated with TCRA to install the system is entitled to at least 20 percent of the revenues.

TCRA handed over another cheque of 1.6bn/- to the Treasury in line with the Finance Law of 2008 that obliges institutions that collect revenues to submit to the government ten percent of such revenues. Meanwhile, Innocent Mungy – TCRA’s Manager Corporate Communications, said in an email to The Guardian:

“For the months of November and December last year as well as January this year, we await to be paid by each operator in Tanzania given the number of minutes terminated in their network. 

“The process requires verification and calculations in terms of the agreed formula.”
Speaking at the function, Finance Minister Saada Mkuya commended TCRA for installing the system successfully and starting to pay dividends.

She urged the TCRA to ensure that it motivates workers manning the system so that they continue to collect more revenue for the government.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA ONGEZEKO LA MALIPO YA PENSHENNI KWA WABUNGE.

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA

WIZARA YA FEDHA


TANGAZO KWA UMMA


            Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya magazeti yamekuwa yakitoa taarifa za upotoshaji juu ya suala la kuongezeka kwa malipo ya pensheni kwa Waheshimiwa Wabunge.  Magazeti hayo yanadai kwamba Mheshimiwa Waziri wa Fedha amethibitisha ongezeko hili.  Taarifa hizo ziliendelea kudai kwamba Waheshimiwa Wabunge watakapostaafu watastahili kulipwa shilingi 160 milioni kila mmoja.


               Kwa kupitia tangazo hili, tunaeleza kwamba, Mheshimiwa Waziri wa Fedha hajawahi kuongea na Mwandishi wa Habari yeyote kuhusu suala la nyongeza ya pensheni ya Waheshimiwa Wabunge na maelezo kwamba Mheshimiwa Waziri alithibitisha taarifa za ongezeko hilo sio kwelibali ni maelezo binafsi ya Waandishi wa Habari hizo na suala hilo halipo Serikalini wala Bungeni.


                             Aidha, tunapenda kuwaasa Waandishi wa Habari kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya taaluma yao na kuacha kuwachonganisha Wabunge na Wananchi wanaowaongoza kwa kuwapotosha kwa masuala ambayo hayana ukweli na uthibitisho wowote.

KATIBU MKUU – WIZARA YA FEDHA



5 FEBRUARI, 2014

Rais Kikwete akutana na Mhifadhi wa Sokwe Dkt.Jane Goodall

$
0
0






Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza mhifadhi wa Sokwe wa kimataifa Dkt.Jane Goodall wakati mhifadhi huyo alipomtembelea Rais Ikulu na kumwelezea kazi zake mbalimbali za uhifadhi nchini.Dkt.Goodall anajihusisha na uhifadhi wa Sokwe katika hifadhi ya Gombe mkoani Kigoma na kazi yake imeipatia Tanzania umaarufu mkubwa Duniani.Dkt. Goodall ni mwanzilishi wa taasisi ya Jane Goodall Institute inayojihusisha na uhifadhi wa Sokwe. Picha na Freddy Maro

RAIS KIKWETR AKABIDHIWA HUNDI YA SH MILIONI 100 NA BENKI YA CRDB KWA AJILI YA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MKOANI MOROGORO

$
0
0
 Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100  kutoka benki hiyo kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB.
 Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB.
 Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mhe William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB, hundi ya shilingi milioni 100 iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, zikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014.

Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia pia masuala ya maafa pamoja na maafisa wa CRDB.
Picha na Ikulu

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki,Mahmoud Thabit Kombo aapishwa rasmi leo Zanzibar.

$
0
0

Mhe Mhmoud Thaib Kombo, akiapishwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi kuwa Mwakilishi wa Jimbola Kiembesamaki, baada ya kushinda Jimbo hilo na kuwa Mwakilishi Mpya kuchukua nafasi ya aliyekuwa mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.    
Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Mhe. Mahmoud Thaib Kombo, baada ya kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo la kiembesamaki Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM. 
Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akitia saini baada ya kuapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo la Kiembesaki Zanzibar kwa kupata ushindi katika uchaguzi mdogo uliofanyika wiki iliopita.
Mhe. Spika wa Baraza la Mapinduzi Pandu Ameir Kificho akimkabidhi Vitendea Kazi vya Baraza la Wawakilishi Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.baada ya kuapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.




Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akifurahi baada ya kuapishwa akiwa na Mwakilishi wa Bububu Mhe.Husein
Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwa katika picha ya pamoja na familia yake na Waheshimiwa wa Baraza nje ya Ukumbin wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuapishwa.



Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakimshangilia Mwakilishi wao nje ya Majengo la Baraza la Wawakilishi.
Mhe. Mahmoud Thabi Kombo akiwashukuru wananchi wa jimbo la kiembesamaki kwa mashirikiano yao tangu mwazo wa kampeni hadi kupiga kura na kumchagua kuwa mwakilishi wao. 



 Msafara wa Mhe. Mwakilishi Mpya wa Jimbo la Kiembesamaki ukiingia katika viwanja Baraza la Wawakilishi kumshindikiza kwa ajili ya kuapishwa leo asubuhi. 
 Gari iliomchukuwa Mhe. Mahmoud Thabit Kombo likingia katika viwanja vya Baraza leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria kuapishwa na kushiriki katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea kujadili Ripoti za Kamati za Baraza Zinazowakilishwa na Wenywviti wa Kamati hizo.
 Mhe. Mwakilishi Mteule akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani tayari kwa kuapishwa Rasmin kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki  Zanzibar,akishindikizwa na Mwakilishi wa Jimbola Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira na katikati Mwakilishi wa Bububu Mhe Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) wakimshindikiza katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili kuapishwa 
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Yahya Khamis Hamad, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo alipowasili katika Ofisi ya Katibu wa Baraza kwa ajili kujitambulisha na kuhudhuria kuapishwa kwake kuingia katika Baraza la Wawakilishi baada ya kushinda kiti hicho katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika wiki iliopita.
Mhe. Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuaza kwa taratibu za shughuli za Kikao na kumapisha Mwakilishi Mpya wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. wakati wa Kikao cha asubuhi leo. 
Mhe. Spika Pandu Ameir Kificho akisoma Dua kabla ya kuaza kwa Kikao cha Baraza cha Asubuhi leo. 

Waheshimia wakisimama wakati wa kusomwa kwa dua kabla ya kuaza kwa Kikao cha Baraza. 
Wageni walioongozana na Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakisimama wakati wa kusomwa kwa Dua kabla ya kuaza kwa shughuli za Kikao cha Baraza leo asubuhi.
Wanafamilia ya Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakihudhuria sherehe za kuapishwa kwake leo asubuhi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wanawake wakimshindikiza Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiingia katika ukumbi wa Mkutano tayari kwa kuapishwa kwake kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar baada ya kushinda nafasi hiyo katika uchaguzi mdogo uliofanyika mwishoni mwa wiki.
Waheshimiwa Wawakilishi wa Chama cha Mapinduzi wakimshangilia Mwakilishi wao wa Jimbo la Kiembesamaki wakati akiapishwa katika ukumbi wa Mkutanona Mhe. Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho leo asubuhi
.
Picha zote kwa hisani ya  mtandao wa http://www.zanzinews.com

A CANDID INTERVIEW WITH SPORAH NJAU [FOUNDER AND HOST OF THE SPORAH SHOW)

$
0
0
SporahTopSporah Njau-The Host
To a large extent, and for all the right reasons, we all have dreams and aspirations. We are constantly encouraged to dare, dream big and seize any great opportunity that jot in our lives. Dreaming and acting on our dreams or opportunities is only sure way for the complete circle of manifestation.

A few years ago, a young lady from Northern Tanzania, a student/ immigrant in the United Kingdom, saw an opportunity and decided it was time to manifest her passion that was hidden within like a yolk in an eggshell. Her inquisitive mind and positive attitude walked her through. She dumped her own doubts and of her doubters and put her boots on. It was time to prove that with a dream and aspirations, success begins with a great idea.

As a result, we now have The Sporah Show. It’s a newer and comfortable home for people of color in the United Kingdom, on a globally televised Talk Show. It’s her place and our place to share views and ideas. Place to make things happen-for the better. If you want to turn your unproductive hours into time well spent, you are encouraged to tune in to The Sporah Show.

I recently caught up with Sporah Njau [founder and host The Sporah Show] for this candid interview;
BC: Thank you very much for agreeing to do this interview with me. How are you doing?

SN: I am doing pretty good Jeff. Thanks for having me.
BC: Let’s start with a bit of history… your history. Where were you born and where did you grow up?

SN: I am a ‘God Fearing ‘Christian; I was born in Arusha to a middle class family. Coming from a humble background, I grew up believing that education is very important because it helps to shape life positively; I attended my primary level in Arusha and O level in Dar es Salaam. Then I went to Kampala for my A level and after that I moved to London, England where I graduated with BA at London Metropolitan University.
Sporah2

BC: When did you move to the United Kingdom?
SN: I moved to the UK in 2003, oh gosh, time fly.
BC: Now let’s talk about The Sporah Show. How did the idea come about and what were the challenges you encountered when trying to establish it?

SN: The idea came after watching different TV talk shows here in the UK, and the impact they have to the society. This made me realize how powerful TV is and how it can influence people’s lives. My motive was to motivate people’s lives especially the younger generation.
I was really into watching a lot of TV talk Shows back then. I really liked the idea of doing a talk show, but the tough inner question was always “How do I do that?”

So, I started doing a lot of research I got to know more about the Television Industry and how to seriously pursue an idea of a Talk Show. At that time we didn’t have any talk show for people of color in the UK if not Europe. I realized that the gap is there for someone to jump on! So I decided I was going to start a Talk show. I was excited about my idea; I rushed to tell my friends around me. Too many of them it was like “You can’t do that!” they all said. “Do you know how much money you need, how many Cameras you need and how are you going to get it on in the UK?

At that time language was part of my fear! Well it was my dream, my life, and my choice to live the dream or let my friends squash the vision right out of my head. I decided to stand up for myself.  I found a website that listed all media and broadcasting courses and began part time studying.

Funny thing is, once people realized that I wasn’t going to give in, do you know what happened? They wanted to become part of the journey, too. I started hearing things like: “Hey, I know a friend that can get you on TV, and maybe my other friend can help you with this and that!
The point of all this is that it takes real courage to believe in yourself. If you want to be an entrepreneur, you absolutely must learn to stand up for what you believe in.

Challenges: First, I was a young black African woman from East Africa trying to do a TV Show!!! It was very… very hard to convince people. Second… I had a Language barrier, OMG! This wasn’t easy at all. And lastly… but not least, I was starting a TV show while in University. This too proved to be hard. It was like trying to pursue two degrees at one. But once I finished my degree course I felt like I was on the right track. The rest is history. Here we are.

Sporah na mGENI
 

BC: Growing up did you have a feeling that one day you are going to be where you are now?
SN: No. NEVER in a million years.
BC: What challenges are you and the entire production team facing now?
SN: Challenges: Seriously, I faced a lot of challenges. I am still facing them. But I always try to face them. Some of the few that I can remember… Just being a woman in an industry dominated by men is a challenge.

When it comes to being an African woman migrant in the UK, it’s even more challenging. However you’ve got to keep pushing towards your goal. I’ve had to learn to be ruthless or a “diva” because that is what it takes sometimes for people to take you serious.

On the other hand, when you have an audience and when people have put their faith and trust in you, expectations can asphyxiate the excitement you once had (Special THANKS to my fans, followers) it’s harder to take risks when people are watching. It’s hard to stay vulnerable, real, and honest. It’s easier to put on a show and act like everything is always amazing, but in the real world, it so, so difficult, you would be surprised at how much it takes to produce just one show.

Another challenge I must mention is, there are a lot of difficulties running a TV show, especially in western countries where everything has to be paid for; In addition to using professionals as a requirement in this industry and all have to be paid hourly. Not a joke!

I, however, must also mention that I have a wonderful team working behind the scenes. These guys work tirelessly to make it all possible. I am very grateful to have them. It’s an amazing team.
Diamond on Sporah2
 Sporah with Diamond on the show.
BC: So far, a lot of shows have aired on The Sporah Show. It has been a place where people confess their “sins”, share secrets etc. When you look back, which episode do you consider to be outstanding?

SN: There is no magic; I guess it’s just how I talk to my guest and make them feel so safe and secure to the point that they open up their lives to me. Its funny most of the time, my guests asks, “I Don’t Know How I Open This Much To Sporah??” Hahaha I jokingly tell them because “Am Sporah” hihihi so funny.

I guess its about making your guests feel confortable and making sure you have enough information about them to make them feel like you’ve known each other before and the ability to control their emotion. I am a very easygoing person, funny and VERY serious when I need to be.

The episode I consider to be outstanding? I have many show I would consider as Outstanding and I could easily say all my shows so far have been amazing and outstanding. Each episode has taught my team and I something. I believe it is the same experience to people who have watched.

But if I can just look in 2013, my outstanding show in 2013 will have to be “Women Living with HIV” and Albino Killings in Tanzania. These shows made me realize how strong a person can be when needed. Everybody who knows me well know that Sporah cry, I mean I cry a lot. That’s who I am, and to my viewers, this is nothing new-I cry over a lots of things.

Now when we were doing these two shows my producer/team were begging me Sporah DON’T CRY. These people don’t need to see tears when they’re sharing their story. Trust me it was so difficult but eventually I did well. “Give Sporah a round of applause ”


VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAZUWA KIGAMBONI GEZAULOLE

$
0
0
VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA NA VIPO KIGAMBONI GEZAULOLE,SQ 1010 SH.MILIONI 18,SQ 1100 SH.MILIONI 19,SQ 800 SH.MILIONI 15 NA VYOTE VINA OFA.SQ 1500 SH.MILIONI 30.SQ 1062 SH.MILIONI 22 NA SQ 822 SH.MILIONI 19,HIZO ZOTE NI PAMOJA  NA MALIPO YOTE YA MANISPAA.


KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NO 0652020343

RAIS KIKWETE APOKEA TOKA CRDB MILIONI 100 KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO.

ANGALIA TASWIRA YA MECHI YA KIRAFIKI KATI YA MORO VETERAN NA TANGA VETERAN

$
0
0
 Manaodha wa Timu ya Moro Vetrani na Tnga Veteran  Wakiwa na Waamuzi wa Mchezo huo Uliofanyika Morogoro. 

Timu hicho zilicheza Mchezo wa Kirafiki Katika Uwanja wa Mochwari mKoani Morogoro Mara daaba ya Timu ya Tanga Veterani Kufanya ziara ya Kudumisha Urafiki na Undugu walionao dhidi ya Timu ya Morogoto Vetrani.Katika Mchezo Huo Wenyeji Timu ya Morogoro Veterani Walishinda kwa Jumla ya Magoli 2 kwa Moja.Magoli ya Moro Veterani Yalifungwa na Mokili Rambo dk 35 na 72 Wakati Goli la kufutia Machozi la Tnga Veterani Lilifungwa Dk 80.
Kikosi cha  Timu ya Tanga Veterani Kilichoanza katika Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Morogoro Veteran
Wenyeji wa Mchezo huo Timu ya Morogoro Veterani wakiwa katika picha ya pamoja.



Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo
Mchezaji wa Morogoro Veterani Boniface Mapunda akiwa na Mpira sambamba na Mchezaji wa zamani wa Timu za Ligi kuu za Moro united,Ynaga na Ruvu Shooting Benjami Haule
Mchezajiwa zamani wa timu ya Polisi Morogo Juma Khamisi akiwa na Mpira wakati wa Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Timu ya Tanga Veterani
Moja ya Purukushani katika mchezo huo katika Lango la Timu ya Tanga Veterani



Wachezaji wa Timu ya Morogoro Veterani wakimpongeza Mcheazji Wa zamani wa Polisi Morogoro Mokil Rambo mara baada ya kuwafungia Goli la Kuuongoza.
Beki wa Timu ya Moro Veterani akiwa katika Mchezo huo.


NAIBU WAZIRI KITWANGA APOKEA SHEHENA YA MWISHO YA MABOMBA YA MWISHO KATIKA BANDARI YA MTWARA

$
0
0
 Naibu Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Mhe. Charles Kitwanga (wa tatu kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Menjeja wa Bandari ya Mtwara (wa pili kutoka kushoto) Bw. Absalim Bohella. Anayefuatia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Wilman Kapenjama Ndile, na uongozi wa Mkoa mara baada ya kupokea Shehena ya mwisho ya Mabomba ya Gesi katika bandari ya Mtwara.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Mtwara wakiendelea na kazi ya kupakua shehena ya mabomba ya gesi kutoka katika meli baada ya mabomba hayo kuwasili katika Bandari ya Mtwara.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ya Mtwara wakiendelea na kazi ya kupakua shehena ya mabomba ya gesi kutoka katika meli baada ya mabomba hayo kuwasili katika Bandari ya Mtwara.
 Mtaalamu wa Masuala ya Gesi na Msimamizi Mkuu wa Mitambo ya Kusafisha Gesi Mhandisi Sultan Pwaga (katikati) akimweleza jambo Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Charles Kitwanga na ujumbe wake alipotembelea eneo hilo kuangalia namna shughuli mbalimbali zinavyoendelea katika eneo hilo.
Naibu Waziri Mhe. Charles Kitwanga (wa pili kutoka kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Wilman Kapenjama Ndile, (wa kwanza kulia) wakipata  maelezo kutoka kwa mtaalamu Abshakim Marunda kuhusu namna kisima cha gesi cha nchi Kavu kinavyofanya kazi. Kwa mujibu wa Maelezo ya Mjiologia Mwandamizi wa TPDC Bw.George Ngwale hayupo pichani ameeleza kuwa, Mnazi Bay ina jumla ya visima vitano kati ya hivyo visima vine vina gesi inayochimbwa na kisima kimoja kikavu. Aidha gesi inayopatikana katika eneo hili inauzwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao wanatumia kuzalisha umeme unaosambazwa katika Mikoa ya Lindi na Mtwara. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Mhe. Naibu Waziri Bw. Mjengwa Ngereja.

=========  =========


 ==========  ========  ========
NAIBU WAZIRI CHARLES KITWANGA APOKEA SHEHENA YA MWISHO YA MABOMBA YA GESI

Na Asteria Muhozya, Mtwara

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Mhe. Charles Kitwanga, amepokea Shehena ya mwisho ya mabomba ya gesi katika bandari ya Mtwara na kueleza kuwa, ujio wa miundo mbinu hiyo ni neema kwa uchumi wa Tanzania.

Aliongeza kuwa, hiyo ni hatua kubwa katika kufikia malengo tarajiwa ikizingatiwa kwamba, kukamilika kwa mradi huo kutachochea na kufungua njia mbalimbali za uchumi unaoendana na sekta ya gesi na mafuta.

“Ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha gesi ni jambo jema kwa Tanzania, tunataka kuingia katika uchumi wa kati wa dola elfu tatu au karibu ya hapo, tunataka pato la mtanzania liongezeke. Sasa bila kuwa na umeme haya yote hatutayafikia. Gesi itazalisha mengi, tunataka tufikie lengo letu. Alisema.’’ Mhe. Kitwanga.

Aidha, aliongeza kuwa, kuzalishwa kwa gesi  na kusambazwa katika maeneo mbalimbali chini kutasaidia kufungua fursa nyingi ikiwemo  kuongezeka kwa viwanda ambavyo vitakuwa na uhakika  wa kupata umeme unaotokana na gesi.

Vilevile, alieleza kuwa, mbali na matumizi ya viwandani gesi inatarajiwa kutumiwa katika mahitataji mbalimbali yakiwemo matumizi ya majumbani.

 “Nataka kuwaeleza wana Mtwara, si kwamba gesi itachukuliwa yote, hapana. Tunachotaka kufanya ni kuisambaza maeneo mbalimbali lengo letu ni kukuza uchumi wetu kwa kutumia gesi hata Mtwara viwanda vitajengwa na fursa mbalimbali zitakuwepo”. Alisema.

Akieleza mafanikio ambayo yamekuwepo kutokana na shughuli za gesi kutumia bandari ya Mtwara, Meneja wa Bandari Bw. Absalim Bohella alieleza kuwa, ujio wa gesi na mradi unaotekelezwa Mkoani humo umekuwa neema kwa bandari hiyo kutokana na kuongezeka kwa mapato yanayotokana na bandari hiyo pia  kutumiwa kwa shughuli mbalimbali za gesi.

Aliongeza kuwa, tayari bandari ya Mtwara imevuka malengo ya ukusanyaji mapato waliojiwekea ambapo hadi sasa tayari zaidi ya Tsh. Milioni mia tano kimekusanywa.

Aidha, aliongeza kuwa, mradi wa gesi umewaongezea watumishi wa bandari hiyo ujuzi kutokana kufanya shughuli tofauti tofauti zinazohusiana na gesi ikiwemo upakuaji wa bidhaa zinazopitia katika bandari hiyo kwa shughuli.

“Bandari bila rasilimali watu si kitu. Kwa wafanyakazi waliobobea wamepata ujuzi zaidi na sasa wanao uwezo wa kuhudumia shughuli zote za bandari”. Aliongeza.

Akielezea hatua mbalimbali ambazo zimefikiwa katika ujenzi wa miundombinu ya gesi, Mtaalamu wa Masuala ya Gesi na Msimamizi Mkuu wa Mitambo ya Kusafisha Gesi Mhandisi Sultan Pwaga alieleza kuwa, shughuli za uwekaji mabomba ya gesi unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Julai, 2014 ambapo pia inatarajiwa mwanzoni mwa mwezi Disemba mwaka huu shughuli za usimikaji mitambo utakamilika.

 Vile vile, ameongeza kuwa, shehena hiyo iliyopokelewa katika bandari ya Mtwara ni ya mwisho lakini mabomba ya mwisho ya mradi yatapokelewa tarehe 10 Februari, 2014 katika bandari ya Dar es Salaam.

Aidha, aliongeza kuwa, miundombinu hiyo ndio kichocheo cha gesi asilia na lengo la mradi huo ni kuhakikisha kuwa, mitambo inajengwa mahali ambapo gesi asilia inachimbwa.

Mbali ya kupokea Shehena za mabomba ya mwisho ya gesi, Mhe. Kitwanga ametembelea eneo la Mnazi Bay ambako gesi asilia na kuuzwa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambapo shirika hilo linaitumia gesi hiyo kuzalisha umeme kwa Mikoa ya Lindi na Mtwara.

Vilevile, Mhe. Kitwanga alitembelea katika eneo la Madimba kunakojengwa kambi za wafanyakazi na panapotarajiwa kujengwa mitambo ya kusafisha gesi.
Viewing all 46384 articles
Browse latest View live




Latest Images