Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live

msikilize wakili wa zitto kabwe baada ya kuibwaga chadema mahakamani.


SALAM ZA MWAKA MPYA 2014 KUTOKA KWA WANANCHI WA MKOA WA RUKWA

JUMUIYA YA DARAJA FONDATION YENYE MAKAO MAKUU YAKE CANADA YAJITAMBULISHA ZANZIBAR.

$
0
0
 
 Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Fonndation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya watoto yatima na walezi wao waliofika katika uzinduzi wa Jumuiya ya Daraja Fonndation katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
 Afisa wa Afya wa Daraja Fonndation Bwa. Ahmed Said Suleiman akielezea jinsi ya Jumuiya yao inavyofanya kazi zake hapa Zanzibar katika sherehe iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

CHADEMA YATOA TAMKO KUFUATIA MAUAJI YA MWWENYEKITI WA CHAMA TEMEKE

$
0
0

       

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick.

         Chama kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano na Uhusiano, mbali ya kukemea kwa nguvu zote tukio hilo la kihuni na mengine ya namna hiyo yenye lengo ya ukatili dhidi ya binadamu, katika hatua ya sasa kinapenda kusema yafuatayo juu ya tukio hilo ovu ;


1.     Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi juu ya tukio hilo la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke ili ukweli ujulikane na haki itendeke, kwa sheria kuchukua mkondo wake.


2.      Chama kinawataka wanachama na Watanzania kwa ujumla kutulia, hasa pale ambapo watu wenye hila na malengo yao, wanaanza kukihusisha chama na tukio hilo. Watambue kuwa pamoja na mtu yeyote kuwa kiongozi wa chama, bado anayo maisha yake na uhusiano na watu wengine katika jamii.


3.      Jeshi la Polisi linapaswa kuyachukulia uzito mkubwa na unaostahili matukio ya namna hii ambayo yanaanza kuota mizizi kutokana na watu waovu wanayoyatekeleza kutochukuliwa hatua za kisheria ambazo zingesaidia kuzuia yasitokee tena.


4.     Watanzania bado wanakumbuka kwamba hadi sasa Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa taarifa za kina na kuchukua hatua za kisheria ambazo zingesaidia ukweli kujulikana na haki kutendeka katika matukio ya kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa madaktari Dk. Steven Ulimboka na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda. Hivyo ingesaidia kuzuia matukio mengine kutokea.


5.     Ni kutokana na jeshi hilo kushindwa kuwajibika ipasavyo katika matukio mengine ya namna hiyo, watu waovu wanaweza kutumia mwanya wa kinachoendelea ndani ya CHADEMA kwa chama kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wanachama wasio waadilifu, kufanya matukio ya namna hiyo ili kujenga taswira ya kukihusisha chama na uhuni huo unaobeba kila sifa ya kuitwa ukatili dhidi ya binadamu.


6.      Aidha kushindwa kwa Jeshi la Polisi kuwajibika ipasavyo katika kufanya uchunguzi wa matukio hayo (yaliyotolewa kama mfano hapo juu) na mengine ya namna hiyo, jeshi hilo linazidi kujiweka katika wakati mgumu wa kukwepa tuhuma za baadhi ya watendaji wake kujua na kushiriki masuala haya, hususan kwa kurejea tukio la kutekwa kwa Dkt. Ulimboka.


Imetolewa leo Jumanne, Januari 7, 2014 na;


Kurugenzi ya Mawasiliano na Uhusiano

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)



MAASKOFU WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBANI KWAKE ZANZIBAR.

$
0
0
 Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa binti wa Mratibu wa Dua maalum ya kuiombea Zanzibar, Clare Allen Mbaga walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Picha ya pamoja ya Kamati maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya 2014 na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ilipomtembelea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mpinduzi ya Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
 Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa  2014  Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

KATUNI ZA NATHAN MPANGALA

msiba Tanzania

$
0
0

FRANCIS DASTAN BENDERA
Ndugu Allan Dastan Bendera mwana Diaspora wa Italy na mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Italy anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake pichani Francis Dastan Bendera, kilichotokea jana tarehe 6/01/2014 katika hospitali ya Muhimbili Dar Es Salaam Tanzania.


Marehemu alikuwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili baada ya kupata ajali ya bus la BURUDANI lililokuwa likitokea Korogwe kwenda Dar Es Salaam .
Ajali hiyo ilitokea  Disemba 12 mwaka huu majira ya saa 1.30 asubuhi  katika Barabara Kuu ya Segera Chalinze  eneo la Kwaluguru Kata ya Kwedizinga  wilayani ya Handeni.

Mazishi yatafanyika kesho tarehe 08/01/2014 nyumbani kwao 
Korogwe.
Basi la Burudani alilopata nalo ajali marehemu Francis Dastan Bendera

WADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI

$
0
0
DSC05524
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika halmshauri ya manispaa ya Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini Singida. Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi.
DSC05509
Meneja msaidizi wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Singida, Isaya Shekifu, akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Singida.Dk.Parseko Kone, kuzindua mfuko wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika manispaa ya Singida. Walioketi kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na Mstahiki Meya wa manispaa ya Singida,Sheikh Salumu Mahami.
DSC05559
Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,Yahaya Nawanda, akitoa mada yake iliyohusu mfuko wa afya ya jamii (CHF) kwenye mkutano wa wadau wa afya wa manispaa ya Singida.
DSC05565
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,(wa kwanza kulia) akisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano wa wadau wa afya wa manispaa ya Singida. Wa kwanza kushoto,ni mstahiki meya wa manispaa ya Singida,Sheikh Mahami.
DSC05527
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone (wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na madiwani wa manispaa ya Singida.Walioketi wa kwanza kulia ni Diwani wa viti maalum Yagi Kiaratu na anayefuatia ni mstahiki Meya wa manispaa ya Singida,Sheikh Salum Mahami.Kulia ni Katibu Tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan mkuu wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na mkuu wa wilaya ya Iramba na Queen Mlozi, mkuu wa wilaya ya Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WADAU wa afya katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida kwa kauli moja wameridhia kuanzishwa kwa Mpango wa Tiba kwa Kadi (TIKA) katika Manispaa hiyo. Wadau hao wamefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa mpango wa TIKA una manufaa mengi ikiwemo mwananchi baada ya kulipa ada ya uanachama, atakuwa na haki ya kupata huduma za matibabu ndani ya Manispaa kwa mwaka mzima.

Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Singida, Isaya Shekifu mpango wa TIKA ambao unafafana na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) unatumika mijini tu. Shekifu amesema uanachama wa TIKA ni wa mtu mmoja mmoja, wakati ule wa CHF, ni wa familia au kikundi.

“Kwa sasa hapa Manispaa ya Singida, baada ya mpango huo kupata baraka ya kuanzishwa tunaendelea na mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya CHF kwenda kwenye Tiba kwa Kadi (TIKA)”,alifafanua Shekifu.

Meneja Msaidizi huyo amesema baada ya kukamilika kwa sheria ndogo itakayotawala uendeshaji wa TIKA, mpango huo utaanza rasmi mapema iwezekanavyo mwaka huu. Akizindua mpango huo wa Tiba kwa Kadi (TIKA) katika Manispaa ya Singida juzi, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone amesema mpango wa TIKA utawahakikisha wakazi wa Manispaa ya Singida na viunga vyake mwanzo mpya wa kupata huduma za matibabu zenye uhakika.

Hata hivyo, Dk. Kone aliagiza viwango vya uchangiaji vya TIKA zitazingatia uwezo wa mwananchi kulipia pia vitazingatia hali ya sasa ya huduma za matibabu. Katika hatua nyingine, Mkuu huyo wa Mkoa amesema kwa kuwa suala la TIKA ni la hiari wananchi watajiunga kwa wingi endapo watahamasishwa kikamilifu.

“Kila mmoja hapa awe balozi mzuri kwa kuhamasisha wannachi wajiunge na mpango huu mara baada ya sheria ndogo kupitishwa. Manispaa ihakikishe huduma zinakuwa bora katika vituo vyote ikiwa ni pamoja na lugha nzuri kwa wananchama”,amesema Dk.Kone.

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA ALGERIA KIUCHUMI

$
0
0
Na Asteria Muhozya na Teresia Mhagama

 Tanzania kuanza kushirikiana na nchi ya Algeria katika masuala ya uchumi kupitia sekta za    gesi, mafuta na umeme kutokana na mafanikio makubwa  iliyofikia nchi hiyo kupitia rasilimali hizo.


 Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusu  ziara ya Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria  nchini ambaye ameongozana na ujumbe  wa wakuu  wa mashirika ya umma  ya Algeria yanayosimamia sekta za nishati na madini .


“Tanzania imekuwa ikishirikiana na Algeria hasa katika masuala ya siasa tangu enzi za vuguvugu la kupigania uhuru lakini  sasa tumeamua kushirikiana katika masuala ya kiuchumi kutokana na nchi hii kufanikiwa kupitia rasilimali za gesi,  mafuta na umeme”. Alisema Profesa Muhongo.


Aliongeza kuwa, Tanzania inaingia kwenye uchumi wa gesi na hivyo ni lazima ishirikiane na  nchi  kama  Algeria ambayo imefanya vizuri  katika sekta hii kwa takribani miaka 50 katika utafutaji na usambazaji wa nishati za gesi na mafuta na kwa sasa nchi  hiyo tayari imeshajenga mabomba mawili makubwa yanayosafirisha gesi kwenda nchi za Italia na Hispania.


“ Algeria imefanya mengi katika sekta hizi, asilimia 98 ya nchi ina umeme, vijijini umeme umesambazwa kwa asilimia 95, wana kampuni za umma  zinazosimamia sekta hii. Hivyo, tunataka kushirikiana na watu kama hawa”. Alisema Profesa Muhongo.


Alieleza kuwa nchi ya Algeria pia inasindika, inasambaza na kutengeneza mitungi ya gesi na mpaka sasa asilimia 50 ya wananchi wanatumia gesi majumbani na waliobaki wanapelekewa mitungi hivyo,  ikiwa nchi ya Tanzania inataka kufanikiwa katika sekta ya nishati ni lazima ipate uzoefu kutoka katika nchi zilizopiga hatua katika sekta hiyo.


Kwa upande wake Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi alieleza kuwa,  nchi ya Tanzania ina rasilimali nyingi,  hivyo Algeria iko tayari kushirikiana na Tanzania hasa katika suala la elimu katika masuala ya mafuta na gesi ili Tanzania iweze kuisimamia sekta ipasavyo na hivyo kunufaika na  rasilimali zake kama walivyofanikiwa wao.


Aliongeza kuwa, amefika Tanzania ili kuanza utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya mafuta , gesi, umeme na madini, yaliyosainiwa mwezi Desemba mwaka 2013 wakati Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongo alipoitembelea nchi hiyo.


Katika ziara hii Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria ameongozana na wakuu wa mashirika  ya umma yanayosimamia sekta za nishati na madini, ambao wanakutana na wakuu wa mashirika wanaosimamia sekta hizo nchini, ili kujadiliana namna ambavyo nchi hizi zitashirikiana katika kuendeleza sekta hizo

NAMNA YA KUPUNGUZA UZITO KWA NJIA SALAMA.

TANZANIA YAENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI .

$
0
0
 Mkurugenzi wa  Sensa  na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu  Watu na Makazi Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kutokana  na kupungua kwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali nchini. Kulia ni Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei.
========  ========= ======
TANZANIA YAENDELEA KUFANYA VIZURI KATIKA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI .


Na. Aron Msigwa – MAELEZO.

08/1/2014.Dar es salaam.


 Imeelezwa kuwa Tanzania inapiga hatua nzuri katika maendeleo ya uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana  na  kupungua kwa mfumuko wa bei  wa taifa  hali inayoleta unafuu wa maisha kwa mlaji.


Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka 2013 kuanzia mwezi Januari mpaka mwezi Desemba umepungua hadi kufikia asilimia 7.9 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 16.0  iliyofikiwa mwaka katika mwaka 2012.


Akitoa tathmini ya hali ya mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba 2013 na ule wa mwaka mzima kuanzia mwezi Januari 2013, Mkurugenzi wa  Sensa  na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu  Watu na Makazi Bw. Ephraimu Kwesigabo amesema kuwa kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kunatokana na kupungua kwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma mbalimbali nchini.


Amesema  mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi  Desemba umepungua hadi kufikia asilimia 5.6 kutoka 6.2 za mwezi Novemba  2013 na kubainisha kuwa hali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na kupungua kwa mfumuko wa bei za vyakula na bidhaa zisizo za vyakula katika maeneo mbalimbali nchini.


Ameeleza kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula na migahawani umepungua hadi  asilimia 6.6  mwezi Desemba 2013 ikilinganishwa na asilimia  7.6 za mwezi Novemba 2013 huku mfumuko wa bei kwa bidhaa zisizo za vyakula  umepungua hadi  asilimia 5.5  kwa mwezi Desema 2013 kutoka aslimia 5.7 za mwezi Novemba 2013.


Bw. Kwesigabo amefafanua  kuwa mwenendo wa bidhaa zote za  224 zinazotumika kupimia mfumuko wa bei nchini unaonesha kuwa bidhaa za vyakula zimechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa mfumuko wa bei.


Akieleza kuhusu  matokeo ya mfumuko wa bei unaopimwa kwa kigezo cha mwezi  amesema takwimu zinaonyesha ongezeko la asilimia 1.3 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 0.6 kama ilivyokuwa mwezi Novemba huku fahirisi za bei zikiongezeka hadi kufikia 144.07 mwezi Desemba kutoka 141.23  za mwezi Novemba na kubainisha kuwa ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa bei za bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.


Amesema baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa fahirisi kuwa ni pamoja na mchele kwa asilimia 0.2 , vitafunwa kwa asilimia 2.4, mahindi kwa asilimia 1.4, unga wa mahindi kwa asilimia 1.6, unga wa muhogo kwa asilimia 3.0 , kuku wa kienyeji kwa asilimia 1.5 na dagaa kwa asilimia 2.1.


Bidhaa nyingine ni pamoja na nazi kwa asilimia 11.5, mbogamboga kwa asilimia 5.8, nyanya asilimia 8.3, njegere asilimia 12.6, maharage kwa asilimia 3.7 mihogo kwa asilimia 5.1 na viazi vitamu kwa asilimia 7.2 wakati zile zisizo za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa fahirisi  ni pamoja na vitambaa vya suruali kwa asilimia 1.2, blauzi asilimia 1.2, huduma za kufua nguo kwa asilimia 3.6, gesi kwa asilimia 3.4, mafuta ya taa asilimia 2.1, mkaa asilimia 4.0, mazulia na vifaa vingine vya kufunikia sakafu kwa asilimia 1.7, mafuta ya dizeli asilimia 1.3, Petroli asilimia 0.2 , huduma za usafi wa nywele pamoja na usafi binafsi kwa asilimia 1.2.


Bw. Kwesigabo ameongeza kuwa mwenendo wa bei za bidhaa za vyakula  kwa mwezi Desemba  2012 na Desemba 2013 mathalani mchele  bei imeonyesha kupungua kwa asilimia 26.6  huku bidhaa nyingine kama mahindi zikipungua kwa asilimia 9.3, unga wa mahindi 4.4, viazi mviringo 6.3 na karanga kwa asilimia 9.7. 


Aidha ameeleza kuwa thamani ya shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma za jamii kwa mwezi Desemba  2013 umeonyesha kuwa imara kufikia shilingi 69 na senti 41.


“Napenda niwahakikishie kuwa fahirisi za bei za Taifa zimeonyesha kuwa na mwelekeo imara kwa kipindi chote, kwa hiyo uwezo wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umeonyesha kuwa na mwelekeo imara kwa kufikia shilingi 69 na senti 41 ” amesema.


Kuhusu ulinganifu mfumuko wa bei wa Tanzania na baadhi ya nchi za Afrika Mashariki amesema kuwa una mwelekeo unaofanana na kueleza kuwa mfumuko wa bei nchini Kenya umefikia asilimia 7.15 mwezi  Desemba kutoka asilimia 7.36  za mwezi Novemba,  huku nchini wa Uganda ukifikia asilimia 6.7 kwa mwezi Desemba  kutoka asilimia 8.7 za mwezi Novemba. 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo aanza ziara ya kutembelea shughuli za maendeleo ya vijana Mkoa wa Pwani

$
0
0
 Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bw.Yussuph Kipengele akiteta jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel katika Mkoa wa Pwani Kuangalia utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya vijana katika Mkoa wa Pwani.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel akimweleza Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai(kushoto) Mipango na mikakati mbalimbali ya wizara katika kuhakikisha wanawaendeleza vijana na kumtaka Katibu Tawala huyo kuendeela kuratibu shughuli za kimaendeleo kwa vijana.

 Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai Akimweleza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel mipango mbalimbali ya kuwaendeleza vijana kimaendeleo ikiwamo kuanzisha chombo cha kusimamia maendeleo kwa vijana cha Pwani Youth Centre of Excellence(PYCE) wakati wa ziara ya Kuangalia utekelezaji wa Miradi mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa Pwani leo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel Prof.Elisante Ole Gabriel na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kutoka katika mkoa wa Pwani wakati wa ziara kutembelea Miradi mbalimbali inayotekelezwa na vijana katika Mkoa wa Pwani leo, katika Ofisi ya katibu Tawala Mkoani Pwani.


PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

MKUU WA MKOA APONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOA WA GEITA

$
0
0
Na. Magesa Jumapili (Geita).


Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi Magalula amewapongeza viongozi na watu mbalimbali wote waliohusika kwa namna yeyote ile katika usimamizi wa utekelezaji wa miradi yote ya barabara inayotekelezwa ndani ya Mkoa wa Geita.


Mhe. Magalula aliyasema hayo katika kikao maalum cha bodi ya ushauri ya barabara ya Mkoa (Road Board) kilichofanyika Mjini Geita katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya Wilaya ya Geita na kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa Wilaya,viongozi wa vyama vya siasa na wataalam wa ujenzi.


Katika kikao hicho Mhe.Mkuu wa Mkoa alizitaka mamlaka za serikali za mitaa pamoja na Tanroads Mkoa wa Geita ziendelee kuhakikisha kwamba shughuli za ujenzi na ukarabati wa barabara zinatolewa kwa wakandarasi wenye vigezo vya uzoefu, uwezo, wataalam na mitambo ya uhakika na pia kufuatilia na kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi hiyo ili kufikia kiwango sahihi na thamani ya fedha ionekane katika miradi husika.


Katika hatua nyingine Mhe. Magalula alizitaka Halmashauri za Wilaya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutovamia hifadhi za barabara na pia kuweka mipaka ya barabara ili kuepusha uharibifu wa barabara. Aidha, alitumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi wenye tabia ya wizi wa alama za barabara na kupitisha mifugo katikati ya barabara  na kuacha  mara moja tabia hizo kwani zinasababisha hasara kubwa kwa serikali na  kuziagiza kamati za ulinzi na usalama,ulinzi shirikishi kuweka utaratibu mzuri wa kulinda na kutunza barabara.


Mkoa wa Geita una mtandao wa barabara zenye Kilometa 6,650.75 huku barabara za kiwango cha lami zikiwa ni kilometa 485, changarawe ni kilometa 3,381.05 na barabara za udongo ni kilometa 2,784.70.

Miradi inayotekelezwa kwa kiwango cha lami ni pamoja na ujenzi wa barabara ya “Round about” - Benki ya CRDB - Hospitali ya Wilaya - Benki ya NMB na kuunga barabara kuu ( KM 1) kwa usimamizi wa Tanroads kwa gharama ya Tshs 450 milioni imekamilika kwa asilimia 98.

Ujenzi wa barabara ya Nyankumbu-Nyanghwale (km 91) unaendelea kujengwa kwa KM 2 kutoka Nyankumbu hadi Mkolani ujenzi umefikia asilimia 60 na itagharimu kiasi cha million 750 mpaka kukamilisha kilometa 2 za lami ujenzi huo unasimamiwa  na Tanroads. Aidha kuna ujenzi unaoendelea wa barabara ya CRDB- Boman i- Magereza (km1) kwa kiwango cha lami  ambao umefikia asilimia 24 ambao utagharimu Tshs 438 milioni.


Miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara inayotekelezwa na serikali na kusimamiwa na Tanroads katika Mkoa wa Geita ni pamoja na Bwanga- Biharamulo (KM 67) kwa gharama ya Tshs 55 bilioni na Bwanga –Uyovu (KM 45) kwa gharama ya Tshs 43.3 bilioni miradi hii yote imefikia asilimia nzuri na iliwekewa jiwe la msingi na Mhe. Rais wakati wa ziara yake Mkoani  Geita. 

HAPPY BIRTHDAY MY SON PREZZO

$
0
0
09th JANUARY 2014   ……. Happy Birthday my SON.  
No matter how old you are, to me you will always be my little and special SON! You are the best SON in the whole wide world! I love and adore you very much, you are my reason to live and I pray to God to grant every mother in this world a SON as loving, caring, charming, and above all special as you and I believe the world would be a better place for all.

May you be blessed with all the good things you deserve; you have always by my side and made me STRONG and PROUD.


I wish you to love life and never stop dreaming big! May beauty and happiness surround you today and always!

Happy Birthday NGECHU,



From Malaika Mama.

JAHAZI MODERN TAARAB YAFAFANUA NI KWANINI WAMEAMUA KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO.

$
0
0
KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwanini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo.

Jahazi wanatagemewa kufanya onyesho maalum Morogoro kwaajili ya kuwaonyesha nyimbo mpya mashabiki wao Ijumaa ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex.


Jana kiongozi wa Jahazi Modern Taraab Mohamed Mauji alifanya mahojiano na kipindi cha Sham Sham za Pwani cha ITV kinachoongozwa na mtangazaji Hawa Hassan (Kama wanavyoonekana pichani) ambapo msanii huyo alitoa sababu kadhaa ni kwanini wameichagua Morogoro. Kipindi hicho kitaruka hewani Jumamosi hii saa 11 jioni.


Mauji ambaye ni mcharazaji gitaa la solo miongoni mwa sababu nyingi alizozitoa ni pamoja na kusema kuwa mji wa Morogoro ni ngome yao kubwa (ukiondoa Dar es Salaam) na hivyo safari hii wameupa heshima ya kipekee.

Mara zote Jahazi imekuwa ikianza kutambulisha nyimbo mpya jijini Dar es Salaam na baadae kufuatiwa na uzinduzi na baada ya hapo ndio wanazipeleka nyimbo mpya mikoani.


Mauji pia katika mahojiano yake hayo alifichua mikakati yao mikubwa ya kukukabiliana na ushindani kwa mwaka huu wa 2014.

Magonjwa ya mlipuko yanukia Dar

$
0
0
IMG-20140107-WA0007
Picha juu na chini ni magari ya kuzolea taka ngumu ya kampuni mbalimbali yakiwa kwenye foleni ya kuingia Dampo la Pugu Kinyamwezi ambalo miundo mbinu yake ni mibovu na kupelekea zoezi hilo kuchukua zaidi ya siku 4 mpaka kufanikisha kufikia eneo maalum la kumwagia taka ngumu.

.Ni kutokana na kukwama kwa magari ya taka kwenye Dampo la Pugu
.Siku ya tatu sasa magari ya taka yamekwama

Na.Mwandishi wetu, MOblog
MIUNDOMBINU mibovu katika Dampo kuu la jiji la Dar es Salaam Pugu Kinyamwezi imesababisha magari makubwa ya kuzoa na kumwaga taka kukwama kwa muda wa siku tatu na kupunguza ufanisi wa kuzoa taka katika mkoa wa Dar es Salaam, MOblog inaripoti.
Mtoa taarifa wetu ambaye hakutaka kutajwa kwenye blogu hii, amesema kwamba uongozi wa Dampo Pugu umeshidwa kuweka utaratibu mzuri na kukarabati miundombinu ya dampo kwa muda mrefu na kusababisha msongamano mkubwa wakati wa kwenda kumwaga taka katika sehemu hiyo.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa MOblog jana asubuhi, mtoa taarifa (Jina linahifadhiwa) amesema kwa muda wa wiki mbili sasa umwagaji wa taka katika dampo hilo siyo mzuri kabisa na inaweza kufika miezi kadhaa tangu dampo hilo lianze kuelemewa na uchafu kutoka kila kona ya jiji la Dar es Salaam.

“hali ni mbaya katika dampo la pugu kwa miezi kadhaa sasa na uongozi wa dampo wameshidwa kufanya kazi kwa tija na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa dampo katika jiji la Dar es Salaam,’ amesema mtoa taarifa.

Amesema magari makubwa aina ya (Bulldozers) hayawafanyi kazi kabisa na kusababisha kukwama kwa kazi ya kumwaga taka katika dampo la Pugu Kinyamwezi na msongamano mkubwa wa magari. Mtoa taarifa anasema kuwa kutokana na matatizo hayo katika dampo la Pugu imesababisha baadhi ya taka kuoza kabisa na kuleta harufu kali kwa wakazi wa karibu wa dampo hilo na tishio la magonjwa ya mlipuko ni kubwa. “kutokana na tatizo hili katika dampo la hapa Pugu hali za kiafya kwa wakazi wa karibu wa eneo ni ya hatari na magonjwa ya mlipuko yako mbioni kutokea,” aliongeza.


IMG-20140107-WA0006IMG-20140107-WA0004
Pichani juu na chini hii ndio hali halisi ya muonekana wa eneo la Dampo la Pugu Kinyamwezi. Kwa hali hii kweli jamani hata hayo magari ya kuzoa taka yaliyopewa zabuni ya kukusanya taka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam yatadumu kweli....???
Hivi karibuni waandishi wa habari ikiwemo blog hii walitembelea eneo la dampo na kufanya mahojiano na badhi ya madereva, Devera wa gari la Kampuni ya usafi ya Green Waste Pro ltd Bw. Ramadhani Sufi alisema adha wanayoipata ni pamoja na kulala siku mbili na gari lenye mizigo ya taka katika mazingira ambayo hawawezi kula kitu kwa hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu.
‘tunawaomba viongozi wa jiji kurekebisha hali hii ili waweze kutuepusha na magonjwa hatarishi kutokana na uchafu unaorundikana mahali pamoja kuanzia kwenye dampo hadi kwenye magari,” alisema.
Kwa upande wake Dereva Rajab Kavuzi wa kampuni ya Tirima Enterprises, amefafanua kuwa hali hiyo inasababisha kuwachafulia jina la kampuni yao na kuonekana kama hawafanyi kazi kumbe tatizo lipo kwenye utaratibu mzima wa Manispaa na suala la miundo mbinu.
Kwa upande dereva mwingine Bw. Likongo wa Eco Protection alisema kero ya kwenye dampo la taka lililopo maeneo ya Pugu Kinyamwezi ni za muda mrefu ambapo taka zimerundikana hadi barabarani na njia hazipitiki hata Magreda ya kuzoa hayana pakupita.
IMG-20140107-WA0010IMG-20140107-WA0002IMG-20140107-WA0005
Gari la kampuni ya Tirima Enterprises likipita kwa shida kuelekea eneo maalum la kumwagia taka ngumu.
MOblog ilifanya jitihada za kumtafuta Mkuu wa Afya Mazingira wa Halmashauri ya Manispaa ya Dar es Salaam Bw. Membe Protus Membe ambaye aliahidi kupambana na tatizo la mrundikano wa magari ya taka yaliyokwama katika eneo la Dampo kutokana na ubovu wa miundo mbinu ya barabara unaopelekea kukwamisha zoezi la ukusanyaji taka katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar na kusababisha mrundikano wa taka nyingi kwa muda wa siku tatu.
Lakini mpaka sasa hali iko hivyo hivyo na imechukua takribani miezi sita tangu atoe ahadi hiyo ya kutatua kero na ubovu wa miundombinu kuelekea dampo la Pugu Kinyamwezi.

NAFASI ZA KAZI YA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WALIOPO MAJUMBANI

$
0
0

HABARI  ZA  UZIMA  NDUGU  MICHUZI.. TUNAOMBA  UTUSAIDIE  KUWEKA  TANGAZO  LETU  KWENY  WEBSITE  YAKO. TUNATANGULIZA  SHUKURANI  ZETU ZA  DHATI  KWAKO. ASANTE  NA  UBARIKIWE.
 
NAFASI  ZA  KAZI  KWA  VIJANA  WALIO OKOKA.
UPENDO  NA  FURAHA  MINISTRY  ni  Huduma  ya  Kikristo  inayo  jihusisha  na  kuwahudumia wagonjwa  waliopo  majumbani  wachanga  pamoja  na  wazee. 
 Huduma  inatangaza  nafasi  za  kazi  ya   KUWAHUDUMIA WAGONJWA  WALIOPO  MAJUMBANI  NA  WAZEE,   kwa  vijana  wa  kikristo walio  okoka.
 
SIFA  ZA  MWOMBAJI :
i.             Awe  kijana  wa kikristo  aliye  okoka  na  mwenye  hofu  kuu  ya  Mungu.
ii.           Elimu  ya  kuanzia  darasa  la  saba  hadi  kidato  cha  nne.
iii.         Awe  mkaazi  wa  jijini  Dar  Es  salaam.
iv.         Awe  maridadi  na  mwenye  kujituma.
v.           Awe  tayari   kufanya  kazi  ya  kuwahudumia  wagonjwa waliopo  majumbani  na  wazee   wanao  hudumiwa  na huduma  hii  waliopo  jijini  Dar  Es  salaam.
 
MAJUKUMU  YA  KAZI  : 
 Kwa  watakao  pata  kazi  hii, watakuwa  na  jukumu  la  kuwahudumia  wagonjwa  waliopo  majumbani  pamoja  na  wazee  wanao  hudumiwa  na  huduma  hii  katika  wilaya  za  Ilala, Kinondoni  na  Temeke. 
Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni  tarehe  31  JANUARI  2014. 
Kazi  itaanza  rasmi  tarehe  03  FEBRUARI  2014.

Leta  maombi  yako  moja  kwa  moja  katika  ofisi zetu.
Kwa  maelezo  zaidi  wasiliana  nasi  kwa  SIMU : 0784406508

“TUTAKUZA USHIRIKIANO NA ALGERIA”, WAZIRI MKUU

$
0
0
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akiwa katika kikao na Ujumbe kutoka  nchi ya Algeria wakiongozwa na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria Mhe. Youcef Youfsi (wa kwanza kulia) walipomtembelea jana Ofisini kwake. Wa kwanza Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo. Wengine katika picha ni Watendaji wa Mashirika ya nishati na gasi ya Tanzania.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda  (katikati) katika picha ya Pamoja na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria Mhe. Youcef Yousfi na  ujumbe wake ( wa pili kushoto mstari wa mbele), Wa pili kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Mhe.profesa Sospeter Muhongo .


Na Asteria Muhozya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda amesema Tanzania itakuza uhusiano na ushirikiano na nchi ya Algeria kutokana na nchi hiyo kuwa mfano mzuri kwenye uwekezaji wa rasilimali asilia.


Waziri Mkuu aliyasema hayo jana wakati Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria Mhe. Youcef  Yousfi alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.


Aliongeza kuwa, Algeria ni moja ya nchi zilizopiga hatua kubwa katika maendeleo ya sekta ya nishati za gesi na umeme  kutokana  na kwamba sekta hiyo inachangia takribani asilimia 60 ya uchumi wa nchi hiyo hali ambayo inatoa fursa kwa Tanzania kujifunza na kuendeleza sekta hiyo kutoka kwao.


 “Ni fursa nzuri kwetu kujua namna wenzetu walivyoweza kufanikiwa na kuendelea kwa kutumia rasilimali hizo. Hali ambayo imefanya nchi hii kuwa mwalimu wa Mataifa mengine yanayochipukia katika kuwekeza katika rasilimali hizo”. Alisema.


Aidha Waziri Mkuu aliongoza kuwa, Algeria ni nchi ya mfano kwa Tanzania ikizingatiwa kuwa, imezisaidia nchi kadhaa za Falme za kiarabu zilizofanikiwa  katika sekta hiyo ikiwemo pia nchi ya Qatar.

Akiongelea kuhusu Serikali kumiliki uchumi kupitia sekta hizo kama ilivyo kwa Algeria, Waziri Mkuu alisema Serikali inataka kuona nchi hii inafanikiwa katika hilo.


“Serikali ya Algeria inasimamia asilimia 51 ya hisa katika sekta hizo kupitia kampuni za umma, na sisi tuna makampuni kama  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), na  Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) hivyo tunataka kujifunza kwa wenzetu kuona namna gani vyombo vyetu vya umma vinavyoweza kufanya kazi kwa kuangalia mifano ya wenzetu na kukidhi matarajio ya wananchi.” Alisema.


Kuhusu kuendeleza rasilimali watu katika sekta hiyo, Waziri Mkuu kwanza ameishukuru Serikali ya Algeria kwa kuendelea kutoa msaada wa ufadhili kwa wanafunzi kusoma nchini humo, lakini zaidi hasa katika masomo ambayo ni maalumu katika sekta hiyo.

Aliongeza kuwa, ni funzo kwa Tanzania kuona namna gani Serikali itavitumia vyuo vilivyoko nchini kuzalisha wataalamu wa sekta za gesi,mafuta,umeme na madini.


Vilevile alisema kuwa anaamini wizara ya Nishati na Madini imejipanga vizuri kutekeleza mipango na hivyo ameitaka Wizara kuhakikisha wananchi wanapata matokeo ya haraka katika muda mfupi.


Kwa upande wake Waziri wa Nishati na Migodi Algeria Mhe. Youcef Yousfi ameishauri Serikali kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kwa kuwa yanatarajia kuleta tija kwa Tanzania huku watanzania wenyewe wakiwa na utaalamu mkubwa katika sekta hiyo. “Tunataka kuisaidia Tanzania kujua namna bora ya kusambaza umeme na gesi, ndio maana tuko hapa alisema”, Waziri Yousfi. 

TOYOTA PASSO 2004 INAUZWA. BEI POA TU NA ISHALIPIWA KILA KITU

$
0
0
 Toyota Passo 2004 Model Nauza. 
Sifa Zake
CC 996
Color: White 
Rim Sports 
Low Mileage
Navigator, DVD, Player, CD
AC, Power Windows
Good Condition
Jack, Spea Tyre.
Wheel Spanner.
Ishalipiwa Kila Kitu Na Imetoka Jana Bandarini...Ipo Tabata Segerea
Kwa Serious Buyer Wasiliana na Mimi au Call 0713 344 399 AU 0712 390 200
Spea tairi, Jeki na Wheel Spana


BASI LA MTEI LACHOMWA MOTO

$
0
0

Pichani chini ni tukio lililotokea leo asubuhi,ambapo basi la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani Singida, baada ya basi hilo kugonga pikipiki (bodaboda) na kusababisha vifo vya watu watatu hapohapo,inaelezwa kuwa mizigo yote ya abiria iliyokuwepo ndani ya basi hilo iliteketea  kwa moto.
Viewing all 46334 articles
Browse latest View live




Latest Images