Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live

DAR BACK UP A FREE PALESTINIANS TERRITORY

$
0
0
DSC_0625
The Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Simba Yahaya cuts a ribbon to officiate the exhibitions of the International Solidarity Day in Dar es Salaam.
DSC_0547
The Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Simba Yahaya gives his key note address during the International Day of Solidarity with the Palestinian People in Dar es Salaam.
IMG_4036
Palestine Ambassador to Tanzania H.E Dr. Nasri Abujaish gives a Pros and Cons of the on going crises in the Middle East between Palestine and Israel.
On her part, United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) Representative, Joyce Mends-Cole said that the annual Solidarity Day is an opportunity to reflect on the critical situation faced by the Palestinian people.

“It is the right time for us to consider our collective contributions and responsibilities as Governments, international or civil society organizations, towards Israeli-Palestinian peace,” “This year’s observance takes place as Israeli and Palestinian negotiators work together towards the agreed objective of a peaceful, comprehensive settlement on all permanent status issues.
IMG_3933
UNHCR Representative Joyce Mends-Cole gives her remarks on the Palestine saga and the role of the International Community in bringing peace and stability.


.The government call on international community intervention
By Damas Makangale, MOblog.

The Government has admitted that the issue of Palestine is the most complicated in the contemporary global relations and poses a great threat to peace, security and tranquility in the world. MOblog reports from Dar es Salaam, Tanzania.

Speaking to invited dignitaries during the commemoration of the International Day of Solidarity for the people of Palestine in Dar es Salaam , the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Mr. John Haule said that, the unwillingness of the international community to take decisive action, political, military and territorial occupation of Palestine over the years has left millions of them to suffer.

“Hostilities between key players in the region and ultraconservative resistance to change, have all added up to complicate the situation. “The interplay of the above led to a situation where the international community is simply seen to be doing too little and too late on the Palestine question, causing one party to the conflict to maintain pre-established positions that allow limited flexibility towards an acceptable solution,” he said.

The Permanent Secretary said that the status quo on settlements in occupied Palestinian territories continuously abrogated against UN Resolutions although on the other hand it is the duty of the international community to support national independence and sovereignty of the Palestinians people.

Mr. Haule further said that through the able visionary, courageous and wise leadership of Mahmoud Abbas, more than 130 United Nations (UN) member states have recognized the State of Palestine; the People of Palestine have been granted ‘non-member observer state’ status in the United Nations General Assembly (UNGA), and Palestine is now a full member of UNESCO.
IMG_3773
Some of the Government Officials, High Commissioners and UN Staff arrives at the International Solidarity Day which took place at Tanzania Institutes of Account (TIA) premises.(All photos by Zainul Mzige -MOblog).
IMG_3832
“I call on the international community to support the parties in this ambitious endeavour to fulfil the two-State solution, bringing about an end to the conflict. All parties must act in a responsible way and refrain from actions that undermine the prospects for successful negotiations,” she said.
She said that the situation in Gaza remains a source of serious concern; she reiterated her condemnation of all rocket fire into Israel, as well as of the construction of tunnels into Israel by militants.
On his part the Ambassador of Palestine, Dr. Nasri Abujaish said that every year the Palestinians remember their chairman the late Yassir Arafat who passed away by poison from Israelis on 11 November 2004.
“Also November is the month when we remember the day when Arafat declared the Independent state of Palestine on 15 November 1998. Today the statehood of Palestine is recognized by 133 countries,” he said.
He further said that the UN partition plan gave Israel 55 percent of the Palestinian land but the Israel grabbed 78 percent of Palestine land and in 1967 it occupied the whole of Palestine and other Arab lands.
IMG_3946DSC_0587
Some of the Students and Un Staff listens attentively the remarks presented in the event.
IMG_3960
Egyptian Ambassador H.E Hossam Moharam speaks to invitees on behalf of Arab Ambassadors group in Dar.
IMG_3983
A famous artist Mrisho Mpoto Performs during the International Solidarity Day which he emphasis Peace and tranquility in the middle east and other parts of the world.
IMG_3991
UNIC Information Officer Usia Nkhoma Ledama shares a light moment with one of the invitees.
IMG_3912
Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Chief Executive Officer Shah Mussa Hanzuruni gives his welcome remarks to the invited dignitaries during the International Day of Solidarity with the Palestinian People.
IMG_3822
The invited guests, High Commissioner and other dignitaries arrives at the event.
IMG_3996
Youth of United Nations Association (YUNA), Dr. Lwidiko Mhamilawa speaks about Youth Perspective on the Question of Palestine during the International day of solidarity.
DSC_0579
One of the TIA Student pose a direct question to UN administrator during questions and Answers session.
DSC_0639
Palestinian Ambassador to Tanzania Dr. Nasri Abujaish with the guest of honour admires some photographs at the Pavilion.
DSC_0684
Bertha Makilagi from the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation exchange views with the UNIC Information Office Usia Nkhoma Ledama.
DSC_0698
Prof. Josephat Kanywani shares a light moment with Veterans Politicians and Journalist.
DSC_0727
Palestinian Ambassador to Tanzania Dr. Nasri Abujaish congratulate Hon. Zakia Meghji for her presence.
DSC_0608
Their Excellencies High Commissioners and Ambassadors pose for a group photo with UN Representative and other dignitaries.

Nani kati ya washiriki hawa watano kushinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 ?

$
0
0
Lile shindano la Mpendekeze ashinde vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni Tano leo linafikia tamati. Tumepokea mapendekezo mengi na watano hawa wameibuka kidedea. Ni zamu yako sasa kuwapigia kura ili apatikane mshindi wa shindano la mama shujaa wa chakula mtandaoni.. 


Shindano la Mama Shujaa wa Chakula mtandaoni linaendeshwa na balozi wa kampeni ya GROW, Mwanawavuti, Shamim Mwasha.  Kampeni hii ilianza mwaka 2011 na inatarajiwa kumalizika mwaka 2015. 

GROW inalenga kuhakikisha kuwa kila mtu ana chakula cha kutosha kila siku “everyone has enough to eat always”.

Kampeni ya GROW inaendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam.

KIDUMU AWASILI NCHINI TAYARI KWA ONYESHO LA CLUB E- LICENCE TOPARTY LITAKALOFANYIKA USIKU WA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR

$
0
0
Msanii wa Muziki kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu” akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kwa ajili ya kutumbuiza katika Shererhe ya “CLUB E”- LICENCE TO PARTY inayotarajiwa kufanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu” (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wake nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere sambamba na waimbaji wake kwa ajili ya kutumbuiza katika Shererhe ya “CLUB E” – LICENCE TO PARTY inayotarajiwa kufanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO ZA MUAJIRI BORA WA MWAKA 2013

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Rashid Nassoro, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja wa Sera wa CCBRT, Frederick Msigala, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya jumla ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Salum Mwalimu wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Muajiri Bora wa mwaka 2013, Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Francis Ndenje, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempisky jijini Dar es Salaam, jana usiku.

TCRA yaipa Azam Media leseni kuiwezesha kuendesha shughuli zake.

$
0
0
 Azam Media Ltd  leo imepata leseni kutoka Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) na hivyo kuwa na uwezo wa kuanza rasmi shughuli zake hapa Tanzania.

Hatua hii muhimu sasa inaiwezesha AzamTV kuanza kutoa huduma zake kwa wateja wake kote Tanzania kuanzia tarehe16 Desemba. Huduma hii itwapa fursa wateja kuangalia zaidi ya chaneli 50 za kitaifa na kimataifa ziliozosheheni burudani kwa ajili ya familia kwa bei nafuu ya shilingi 12,500/= kwa mwezi. Kutakuwepo wigo mpana wa kuchagua kifaacho kuangalia vikiwemo vipindi vya michezo, makala, watoto na tamthilia kutoka Tanzania, barani  Afrika na sehemu mbalimbali za dunia. 

Baadhi ya vipindi hivyo tajwa vitapatikana katika chaneli maarufu  kama vile National Geographic Gold na Nickelodeon, na pia matangazo yetu yatakuwa na chaneli za bila malipo zikiwemo TBC1, Channel 10, Clouds, ZBC na K24. Jambo la kusisimu zaidi  ni kwamba  AzamTV itakuwa na matangazo katika chaneli zake tatu:

AzamOne - Itakuwa na vipindi vya kiafrika, ambapo kwa asilimia kubwa vitahusu masuala ya Afrika Mashariki kwa lugha ya Kiswahili. Hii ndiyo chaneli ambayo itakuwa ikirusha matangazo ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara;
AzamTwo – Hapa vitapatikana vipindi vya burudani kwa familia amabavyo ni vya kimataifa na baadhi ya hiovyo vitakuwa katika lugha ya kiswahili;
SinemaZetu – Chaneli maalum kwa ajili ya tamthilia za kitanzania.

Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington, alisema: “Huu ni  wakati wa kujivunia  kwa Tanzania kwani sasa ina huduma za luninga zinazopatikana kwa  bei ambayo wengi wanaweza kuimudu.  Miezi michache ijayo tutaivusha huduma hii mipaka hadi katika nchi zingine za Afrika Mashariki na hata mbali zaidi. Nimefarijika kwamba tumewekeza vilivyo katika chombo hiki cha kitanzania na tutaendelea kufanya hivyo”.

Torrington pia alibainisha kuwa kwa wateja ambao hawatapenda kungojea kuzinduliwa rasimi wa huduma za Azam TV, milango ya ofisi zake za Dar es Salaam itakuwa wazi kuanzia  leo (Ijumaa Desemba 6, 2013).  Watejawataweza kununua  vifaa muhimu kutoka duka la AzamTV na kwa mawakala walioidhinishwa  na hivyuo kuweza kujionewa vipindi mbalimbali kuanznia sasa – japo malipo yao kwa mwezi yatahesabiwa kuanzia Desember 16.

AIRTEL BINGWA KUFUNGUKIA MBAGALA ZAKHIEM KESHO

$
0
0
Haya sasa mabingwa woote WA AIRTEL BINGWA kula bata pamoja wikiendi hii Mbagalaaaaaa Kama wewe ni bingwa wa kusakata kabumbu na kuonyesha umahili wa kumiliki mpira njoo KESHO tuonyeshe Jumamosi hii MBAGALA ZAKHIEM kuanzia saa sita mchana mpaka saa 12 na nusu…..zawadi kibao kutolewa jezi, tisheti, N.K.………. 

 On stage atakuwa wasanii huku atakuwa Ney wa Mitego pande ya huku atakuwapo Young killer bila kuwasahau Vinoko shackers ndani, Piaaaa wadada kumi wazuriii watachuana kupiga dana dana live. 

 Huku tukishuhudia draw ya Mimi Bingwa watu wanavyojishindia mamilioni na ticket ya kwenda old Trafford kuangalia live mechi za Man U bureee  .

 Kama haitoishi Sasa screen kubwa ya ukubwa zaidi ya mita 4 itaonyesha live mchezo wa Man u na Newcastle united Kiingilio ni BUREEEEE 
 Bata hili linaletwa kwenu na Airtel kupitia Promotion ya Mimi ni bingwa

MAKAMU WA RAIS ASAINI KITABU CHA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MZEE MADIBA

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha rambirambi  kwenye  Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki  jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima zake baada ya kusaini kitabu cha rambirambi  kwenye Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki  jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza  Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza  ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. Picha na OMR

IFC Helps Chinese Developer Construct Energy-Efficient Building in Tanzania to Increase Property Supply

$
0
0


Beijing, December 5,  2013—IFC, a member of the World Bank Group, has agreed to provide financing to support Chinese developer CRJE Estate Ltd. to construct an energy-efficient commercial building in Dar es Salaam, the largest city in Tanzania. The project will significantly increase the supply of quality hotel rooms and office space in the African nation. 

IFC will provide CRJE Estate a $22 million long-term loan to fund a 29-storey commercial complex, which includes 250 hotel rooms and 8,200 square meters of office and retail space. CRJE Estate, a wholly owned subsidiary of China Railway Jianchang Engineering Co., is one of the largest construction companies in Tanzania. The project will adopt IFC’s green-building standards, which can help reduce a building’s energy consumption by 20 percent. 

“IFC’s advice is integral to the smart and sustainable design, construction and operation of our building and improves the project’s long-term prospects,” said Shi Yuan, Chairman of CRJE Estate. “We can now supply essential infrastructure to investors and travelers in order to facilitate business and create economic opportunities in Tanzania.”

Although Tanzania’s economy grew a robust 7 percent last year, with the World Bank forecasting that it will continue to grow at a similar pace in the coming years, Dar es Salaam’s property and hotel sectors remain significantly underdeveloped. In 2010, IFC already provided $10 million to CRJE Estate for the initial phase of this property project, which was IFC’s first loan to a Chinese company in Africa. The latest financing will more than double IFC’s funding to support the new development plan.   

“The CRJE Estate-led project demonstrates that Chinese developers can be a major force in Africa’s property investment and development,” said Oumar Seydi, IFC Director for Eastern and Southern Africa. “Office infrastructure and hotel development create business opportunities and good jobs, which can help spur further investment and development in Tanzania.”

The hotel will be managed by Rotana Hotel Management Corp., which runs 70 hotels and resorts in the Middle East and North Africa. The project is a partnership between CRJE Estate and Mwalimu Nyerere Foundation, a nongovernmental organization honoring the legacy of Tanzania’s first president, Julius K. Nyerere, which has a long-term lease on the building.

RC Dar: Tuko tayari Uhuru Marathon

$
0
0
WAKATI maandalizi yam bio ndefu za Uhuru, Uhuru Marathon, yakiwa yamekamilika zawadi kwa washindi zimetangazwa upya pale mshindi wa mbio ndefu za kilomita 42 kwa upande wa wanaume na wanawake akiondoka na Sh milioni 2.

Huku mshindi huyo akiondoka na fedha hizo, kwa upande wa mbio za kilomita 21 kwa wanaume na wanawake kila mmoja ataondoka na Sh milioni 1, hivyo kuongeza chachu ya mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika kesho kwa kuanzia na kumalizikia katika Viwanja vya Leaders, vilivyopo Kinondoni, Dar es Salaama.

Akizungumza na waandishi wa habari jana kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, Kaimu Mkuu wa Mkoa, Sophia Mjema alisema, wana faraja kubwa kwa maandalizi ya mbio hizo kukamilika na hivyo kutimiza azma ya kudumisha uhuru, amani, umoja na mshikamano uliopo miongoni mwa Watanzania.

“Tunachukua fursa hii pia kutoa shukrani za dhati kwa Rais Jakaya Kikwete kwa kukubali kwake kushiriki mbio hizo kwa mbio za kilomita 3. Hii inadhihirisha jinsi Rais Kikwete alivyoguswa mno na suala la kupigania amani, umoja na mshikamano miongoni mwetu.
 

MAMIA WAFURIKA NEEMA HERBALIST FOUNDATION

$
0
0
MAMIA  WAFURIKA  NEEMA  HERBALIST  FOUNDATION  KWA  AJILI  YA  KUPATA  HUDUMA  YA  MSAADA  WA  DAWA  ZA  MIMEA NA  VYAKULA-LISHE.


Kituo  cha  Msaada  wa  Dawa  za  Mimea  na  Vyakula  -Lishe  cha  Neema  Herbalist  Foundation  ambacho   kinafanya  kazi chini  ya  Neema  Herbalist  Foundation, kinaendelea  kupokea  mamia  ya   watu  wenye  kusumbuliwa  na  magonjwa  & matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kwa  ajili  ya  kupata  msaada wa   Dawa  Za  Mimea &  Vyakula –Lishe ambavyo ni  tiba  kwa  magonjwa  yanayo   wasumbua.

Akizungumza  na   Neema Herbalist  BLOG, Mratibu  wa Shughuli  za  Neema Herbalist  Foundation, Dada  Neema  Africanus, anasema  kuwa  tangu  kutangazwa  kwenye  vyombo  mbalimbali  vya  habari,  kituo  kimekuwa  kikipokea  idadi  kubwa    ya   watu  wanao fika  kituoni  hapo kwa  ajili  ya  kupatiwa  msaada  wa   Dawa  Za  Mimea  na  Vyakula –Lishe  kwa magonjwa  mbalimbali  yanayo  wasumbua, jambo  linalo  thibitisha  kuwa, kuna  idadi  kubwa  sana  ya  watu   nchini  ambao  wanakabiliwa  na  matatizo mbalimbali  ya  kiafya  lakini  wanaendelea  kuteseka  nayo  kwa  sababu  ya  kutokuwa  na  uwezo  wa  kumudu  gharama  kubwa  za  dawa  za  mimea   katika  vituo  mbalimbali  vya afya.
.
“  Kwa  siku  tumekuwa  tukipokea  zaidi  ya  watu  mia  moja,  wanao  hitaji  msaada  wa  dawa  za  mimea(Dawa   Za  Asili )  kwa  ajili  ya  matatizo mbalimbali  yanayo  wakabili  “  Alisema.

 Dada  Neema  Africanus  aliendelea  kwa  kusema :

“  Tunawashukuru  sana  wahisani  na  wafadhili wetu  wa  ndani  na  nje  ya  Tanzania, ambao  wametoa fedha  zao  kwa  ajili  ya  kugharamia  huduma  hii  ya  uponyaji  kwa  njia  ya  Dawa   Za  Mimea  na  Vyakula –Lishe , kwani  imewasaidia  na  itawasaidia  watu  wengi  sana  ambao  hawana  uwezo  wa kumudu  gharama  kubwa  za   Dawa za  Mimea ( Herbal)  ambazo  hutolewa  na   vituo  mbalimbali  vya  afya  na  makampuni  yaliyo  wekeza  kwenye   biashara  ya  dawa  za  asilia  “
  
    DAWA   ZINAZO  TOLEWA  KATIKA  HUDUMA  HII 

Dada Neema   Africanus  anasema  kuwa  Dawa  Za  Mimea  zinazo  tolewa  katika  huduma  hii  ni   pamoja  na  dawa  zinazo  tibu  magonjwa  mbalimbali  kama  vile :  Presha  &  Kisukari,  Vidonda  Vya  Tumboni, Uvimbe  wa  Tumboni
( Fibroid ), Dawa  Ya  Kuongeza  Nguvu  Za  Kiume, Dawa  Ya  Kuongeza  askhki ama  hamu  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake,  Dawa  Ya  Kupunguza  Unene, Uzito  &  Vitambi, Dawa  Ya   Kuondoa  Tatizo  La  Upara, Dawa   Za Kutibu  Matatizo  Yote  Ya  Ngozi,  Dawa  Za  Kutibu  magonjwa  mbalimbali ya  watoto,  Dawa  za  uzazi  kwa wanawake  na  wanaume, Dawa  Za  Kuzuia  kutoka  kwa  mimba, Miguu  kuwaka  moto, kuzuia  tatizo  la  kukojoa ( bed wetting )  na  matatizo  mengineyo  mengi  yanayo  mkabili  mwanadamu.


CHANZO    CHA  KUANZISHWA  KWA  HUDUMA  HII :

Dada   Neema  Africanus, anaelezea chanzo  cha  kuanzishwa  kwa  huduma  hii  ;

“    Dawa  za  mimea, zimekuwa  kimbilio  kwa  watu  wengi  wenye  kusumbuliwa  na  magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya.
Hata  hivyo   gharama  za  dawa  hizi  zimekuwa  juu  sana  kiasi  cha  kuwafanya  wananchi  wa  kawaida  kuendelea  kuteseka  na  magonjwa & matatizo  yao  ya  kiafya  kwa  sababu  ya  kukosa  fedha  za  kumudu  gharama  kubwa  za  dawa  za  mimea .
Kutokana  na  ukweli  huu, sisi  kama  kituo  tuliamua  kukaa  chini  na  kubuni  namna  ambayo  tutaweza  kuwasaidia  watanzania   wa  kawaida  kabis, kupata  tiba  ya  matatizo  yao  kwa  gharama  nafuu.
 Hivyo  basi, tuliamua  kuomba  ufadhili   kwa  mashirika  mbalimbali  duniani  pamoja  na  watu  binafsi  kwa  ajili  ya  kupata  fedha  za  kutusaidia  kufanya  huduma  hii ".


UTARATIBU   WA   KUPATA  HUDUMA  HII :

Akielezea   jinsi  utaratibu  wa  kupata  huduma  hii  ulivyo, Dada  Neema  Africanus  anasema ;
“  Utaratibu  wa  kushiriki  ama  kujiunga  katika  huduma  hii, ni  kufika  katika  ofisi  zetu  kwa  ajili  ya   kujaza  fomu  ya  kujiunga  na  huduma  hii,  ambayo  gharama  yake  ni  SHILINGI  ELFU  SABA  ( Tshs.7,000/=) na  kisha  kupangiwa   tarehe   ya  kurejea  ofisini  kwa  ajili  ya  kupatiwa  Dawa  Za  Mimea  zinazo  endana  na  tatizo  lako “

               WAFADHILI   WA   HUDUMA   HII :

Huduma  hii  inafadhiliwa  na  wafadhili &   wahisani  mbalimbali  waliopo ndani na  nje  ya  Tanzania  ambao  hutoa  fedha  kwa ajili  ya  kugharamia   gharama  za  dawa  za  mimea  na  vyakula-lishe   kwa  watu  wenye  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya.
Miongoni  mwa  wahisani  wetu, ni watu  mbalimbali  ambao  waliponywa  magonjwa  na  matatizo  yao  ya  kiafya  kupitia  huduma  yetu  ya  uponyaji   wa  magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kwa  njia  ya  dawa  za  mimea  na  vyakula-lishe.

                    SIKU  ZA  KAZI

Kwa  wanao hitaji  huduma  hii, siku  za  kazi  ni  Jumatatu hadi  Ijumaa, saa  tatu  kamili  asubuhi  hadi  saa  kumi  kamili  jioni, na  siku  ya Jumamosi  saa  tatu  kamili  asubuhi  hadi  saa nane  kamili  mchana.

            MAHALI  ZILIPO  OFISI  ZETU ;

Ofisi  zetu  zipo  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.

JINSI   YA  KUFIKA  KATIKA  OFISI  ZETU ;

Panda   magari  ya  UBUNGO-CHANGANYIKENI  kasha  shuka  katika  kituo  cha  TAKWIMU  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  kisha   tazama  upande  wako  wa  kulia, utaona  ofisi  imeandikwa  NEEMA  HERBALIST, hapo ndipo  zilipo  ofisi zetu.
 Kwa  maelezo  zaidi, wasiliana  nasi  kwa  SIMU; 0766538384.

HII  NI  HABARI  NJEMA  SANA  KWA  WATU  WENYE  KUSUMBULIWA  NA  MAGONJWA  NA  MATATIZO  MBALIMBALI  YA  KIAFYA  LAKINI  HAWANA  UWEZO  WA  KUMUDU  GHARAMA  KUBWA  ZA  MATIBABU. USIENDELEE  KUTESEKA !!! WAONE  NEEMA  HERBALIST  FOUNDATION UPATE  MSAADA WA  DAWA  ZA  MIMEA  ZA  KUTIBU  TATIZO  LAKO

UPPER HILL RESIDENCE GOBA

$
0
0
 Goba is located in Mbezi, Kinondoni municipality in Dar es Salaam. This chosen site is only 5.5 km from Bagamoyo road (Turning left at Shamo Plaza, following the road past Massana hospital) 30 Minute drives to CBD facilities. The spacious Luxurious villas contain enough space for parking 3 cars, 3 bedrooms plus small room, Adequate water supply (Borehole and water tanks for each house), Paved roads, Gated community, High end finishes, Garden etc.. The houses are fitted with porcelain floor tiles and zinc coated aluminum roofing tiles which look similar to concrete tiles. At the moment we have completed 10 houses out of 42 houses.  
 
The price of each house is $110,000 USD +VAT and each owner will be provided with their own individual subtitle.  
 
 
More information about the house stages and Photos are available on our Facebook page. You can also get more details through our contact below: 
 
+255756145287 
+255789282971


 
 
"WHY JENGA WHEN YOU CAN BUY"

WANANCHI WAOMBWA KUITUMIA TOVUTI KUU YA SERIKALI

$
0
0
Tovuti_1_2_04ac8.jpg
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Huduma za Serikali Mtandao nchini Bw. Michael Moshiro akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa taarifa za serikali kwenye Tovuti Kuu Serikali. Amewaomba watanzania kuitembelea tovuti hiyo ili wapate taarifa na huduma zinazotolewa na serikali.Kulia kwake Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala hiyo Bi. Suzan Mshekangoto.
Tovuti_-_2_2_8e185.jpg
Waandishi wa Habari wakiwa kwenye Mkutano na watendaji wa Wakala ya Serikali mtandao leo jijini Dar es salaam. Mkutano umelenga kuwahamasisha watanzania kuitumia Tovuti Kuu ya Serikali inayopatikana kwa anuani ya: 
Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.

ILIKUWA SHUGHULI PEVU KWA DKT ASHAROSE MIGIRO LEO MKOANI NJOMBE.

$
0
0
 Gari aliyokuwa amepanda Katibu wa NEC,Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro ikiwa imepoteza muelekeo,kufuatia eneo hilo kukumbwa na utelezi mkubwa kutokana na mvua iliyokuwa imenyesha.Dkt.Migiro alikuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana walipokuwa wakitokea Wilayani Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe mapema leo ambapo hata hivyo walifika salama na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii.
 Juhudi ya kulinasua gari hilo zikiendelea kufanyika.
Pichani Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na wadau wengine wakitoka kutoa msaada wakati gari ya Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa iliponasa kwenye tope.
 Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara akisubiri gari yake iliyokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,iondolewa mara baada ya kunasa kwenye tope,kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo.
 Juhudi za kulinasua gari hilo zikiendelea.
 Eneo linavyoonekana
Gari ikiwa imekwishaondolewa kwenye eneo korofi tayari kwa kuendelea na msafara kutoka Wilaya ya Makete kuelekea Wilaya mpya ya Wanging'ombe,mkoani Njombe.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,ItIkadi na Uenezi,Nape Nnauye,Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro amemaliza ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya na baadae kupitia mkoa wa Njombe kukagua baadhi ya miradi mbalimbali na kazi za kijamii.

CCM YAOMBOLEZA KIFO CHA MZEE NELSON MANDELA

President Kikwete attends Peace and Security

$
0
0
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in a group photo with other African Heads of State,French President Francois Hollande and UN Secretary General Ban Ki Moon shorly after the opening of the meeting on Peace and Security in Africa held at Elysee Palace in French capital, Paris this afternoon.(Photo by Freddy Maro)


BAADA YA ZIARA YA RUVUMA NA MBEYA, KINANA ACHAPA KAZI WANGINGOMBE NA NJOMBE

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  watatu kushoto, akiungana na Vijana wa CCM kula kiapo cha uanachama, baada ya kuwakabidhi kadi za Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) vijana 40, katika mkutano uliofanyika kwenye kiituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe mkoa mpya wa Wanging'ombe leo mchana. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge mteule, Dk. Asha-Rose Migiro.
Vijana waliopatiwa kati za CCM na Katibu Mkuu wa CCM,  katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya UVCCM, kijana Geawa Wibiki, wakati wa mkuytno wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe. Kushoto ni Dk. Asha-Rose Migiro na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Wanging'ombe, Deo Sanga.
 Vijana wakimshangilia Kinana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Kinana, Nape na Dk. Asha-Rose wakiwasalimia wananchi walipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Esteria  Kilasi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani humo katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Kinana akifurahia ngoma zilizokuwa zikitumbuizwa na kinamama wa Wanging'ombe, alipowasili katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akijaribu Power Tiller, katika  Kituo cha Mafunzo ya zana za kilimo kwa wakulima katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Isuka Wilayani Wanging'ombe katika mkoa mpya wa Wanging'ombe.
 HEEEE JAMANI, ZA SIKU NYINGI... Mtangazaji wa zamani Sarah Dumba ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya ya Njombe, akimsalimia kwa bashasha Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asjha-Rose Migiro alipowasili katika mkoa huo leo
Umati wa wananchi kaika kijiji cha Ramadhani, ukipokea msafara wa Kinana kuingia mkoa wa Njombe
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakiwa mbele ya Jengo la Mradi wa CCM, mkoa wa Njombe, baada ya Kinana kuzindua jengo hilo leo. 

MHE. ANGELA KAIRUKI ATAJWA KUWA MIONGONI MWA WANAWAKE VIJANA 20 WENYE NGUVU BARANI AFRIKA 2013

$
0
0
Mhe. Kairuki
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Angela Jasmine Kairuki (37) ametajwa katika  jarida la kimataifa la Forbes kuwa ni mmoja wanawake vijana 20 wenye nguvu barani Afrika mwaka huu. 

 Katika toleo lake la hivi karibuni chini ya kichwa cha habari ‘The 20 Young Power Women in Africa 2013’, jarida la Forbes linamuorodhesha Mhe Kairuki sambamba na wanawake wengine 19 kama vijana wa kike wenye nguvu kwa nafasi zao kikazi na kibiashara. 

Kutajwa kwa Mhe Kairuki katika orodha hiyo kumezua msisimko katika mawasiliano ya mtandao wa 'twitter' ambapo Watanzania wengi wamekuwa wakielezea furaha na fahari zao kwa kuona Mtanzania mwenzao, tena mwanamke kijana, anatambulika kimataifa kwa utendaji wake.

Mhe. Angela Kairuki akitembelea Jeshi la Magereza
 katika mojawapo ya shughuli zake za kikazi
 Wanawake wengine waliotajwa na jarida hilo ni Mimi Alemayehou (Ethiopia) Makamu wa RAis Mtendaji wa Overseas Private Investment Corporation (OPIC),   Vera Songwe(Cameroon) Mkurugenzi Mkazi World Bank Senegal, na Tara Fela-Durotoye (Nigeria) Mwanzilishi wa House Of Tara.

Wengine ni  Rapelang Rabana (Afrika Kusini) Mjasiriamali,   Claire Akamanzi (Rwanda) Afisa Mtendaji Mkuu wa Rwanda Development Board,   Valentina da Luz Guebuza (Msumbiji) Mwekezaji,  Hadeel Ibrahim (Sudan) wa Mo Ibrahim Foundation,  Alengot Oromait (Uganda) Mbunge, na   Monica Musonda, (Zambia) Afisa Mtendaji Mkuu na MWanzilishi wa kampuni ya Java Foods.

Wengine ni NoViolet Bulawayo (Zimbabwe) Mtunzi wa vitabu, Minoush Abdel-Meguid (Misri) Mwekezaji, mjasiriamali na mwendesha benki,  Ola Orekunrin (Nigeria) Daktari na Mwanzilishi wa The Flying Doctors,  Sibongile Sambo (Afrika Kusini) Afisa Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi wa SRS Aviation,  Lupita Nyong’o (Kenya) Mwigizaji na mtengeneza filamu,    Amini Kajunju (Congo DRC) Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Africa-America Institute na  Folake Folarin-Coker (Nigeria) Mbunifu wa mitindo.

Wengine katika orodha hiyoni  Lindiwe Mazibuko (Afrika Kusini) Mwanasia na Kiongozi wa chama cha Democratic Alliance (DA) bungeni,   Minoush Abdel-Meguid (Misri) Mwekezaji, Mjasiriamali na mwendesha benki,  Sibongile Sambo (Afrika Kusini),  Wangechi Mutu, (Kenya) Msanii na mchongaji.



MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI "GEPF" AONANA NA KUUTAMBULISHA MFUKO HUO KWA VIONGOZI WA MKOA WA RUKWA

$
0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF) Bwana Daud Msangi akizungumza na viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Rukwa alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya kwa lengo la kuutambulisha mfuko huo na faida zake. Mfuko huo una fursa mbili za kujiunga ambazo ni kwa njia ya lazima kama ilivyo kwa mifuko mingine ya hifadhi ya jamii kwa watumishi wa Serikali na njia nyingine ni ya hiari kwa wafanyakazi wote wakiwemo wa Serikali, Sekta binafsi na hata wale waliojiajiri wenyewe. Kwa wale wateja waliojiunga na mfuko huo kwa hiari wana uwezo wa kuchukua mafao yao kwa muda mfupi tofauti na ule mfumo wa lazima wa Serikali ambao ni lazima mteja afikie umri wa kustaafu.
Wajumbe wa kikao hiki walikuwa Wakuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo. Wakuu wa Idara wote katika Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa, Wakurugenzi wa halmashauri za Manispaa ya Sumbawanga, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbwanga, Kalambo na Nkasi pamoja na baadhi ya wataalamu kutoka katika maeneo hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Moshi Chang'a (wa pili kulia) akichangia katika kikao hicho ambapo alisema Wilaya mpya ya Kalambo ina fursa nyingi za uwekezaji ikiwemo sekta ya nyumba za ofisi na makazi ambayo ni fursa kwa mfuko huo wa GEPF kuwekeza kwa kujenga nyumba hizo katika Wilaya hiyo na Mkoa kwa ujumla. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Kimanta. Kulia kwa Mhe Chang'a ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Albinus Mugonya na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Samson Mashalla.
Sehemu ya wajumbe katika kikao hicho.
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @Rukwareview.blogspot.com)

Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Mtandaoni lafikia tamati

$
0
0

 Mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa chakula mtandaoni Neema Urasa Kivugo kutoka Kibaya Kiteto akifurahia na kushangiliwa baada ya kutangazwa matokeo.
========  ======  ======
Na mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa chakula mtandaoni ni Neema Urasa Kivugo kutoka Kibaya Kiteto.

Neema amepata kura 778 kati ya kura 1011 ambayo  ni sawa na asilimia 76.95 ya kura zote zilizopigwa.

Neema amejishindia vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 ambavyo atachagua yeye mwenyewe na nafasi ya moja kwa moja ya kushiriki shindano kubwa la Mama Shujaa wa Chakula linalofanyika sambamba na kipindi cha Maisha halisia cha Maisha Plus litakalozinduliwa rasmi siku ya Jumanne tarehe 10/12/2013.

Shindano la Mama Shujaa wa Chakula mtandaoni lilifunguliwa rasmi tarehe 4/11/2013 na Balozi wa Kampeni ya Grow, mwanawavuti Shamim Mwasha kama mchango wake kwa wakulima wadogo wanawake.

Akiongea baada ya kutangazwa mshindi, Neema amelishukuru shirika la Oxfam kwa kufadhili shindano hilo na kwamba limemtia moyo kuendeleza kilimo na anaahidi kuwashirikisha wanawake wakulima wenzake.

Naye Shamim amewashukuru na kuwapongeza washiriki wote wa shindano hilo. Ametambua mchango wa wakulima wote hasa wanawake na kusema kwamba wote ni bora na wasivunjike moyo kwa sababu hawakushinda bali waendelee kuamini kwamba jamii inathamini sana mchango wao kwani chakula wanacholima ndicho tunachokula.

Washiriki waliobaki pia wana fursa ya kushiriki shindano kubwa la Mama Shujaa wa Chakula, kwa kujaza fomu, linalofanyika sambamba na kipindi cha maisha halisia cha Maisha Plus litakalozinduliwa rasmi siku ya Jumanne tarehe 10/12/2013.

Hafla hizo zilihudhuriwa na Bi. Anna Maembe, Katibu Mkuu wa Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, mabalozi wa kampeni ya GROW, washiriki watatu kati ya watano bora ambao ni Ezeline Mujila, Neema Urassa ambaye ni mshindi pamoja na Gloria Kidulile.

Ezeline Mujila.


 Balozi wa Grow Masoud Kipanya (kati) Eluka na Bonda Boy (kulia) wakifurahia matokeo.
 Bi Anna Maembe Katibu Mkuu Wizara Ya Maendeleo  Ya Jamii Jinsia Na Watoto akkiasema machache

Mdau Bill Marwa na Marc Wegerif kutoka Oxfam.
 Gloria Kidulile

Khadija Mwanamboka, Balozi Wa Kampeni Ya Grow akifafanua jambo.
 Mkamiti Mgawe Afisa Mradi Haki za Kiuchumi  kutoka Oxfam akiongea

Mshindi Neema Urasa akipongezwa  na Shamim Mwasha
 Mwakilishi Kutoka TAWLAE akifurahia haki kutendeka
 Neema Urasa kabla ya kutangazwa mshindi
Wageni  waalikwa

tamasha la Handeni Kwetu, kurindima desemba 14

$
0
0


YAH: MWALIKO WA TAMASHA LA HANDENI 2013
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ukiwa kama mdau wa Handeni, mwananchi na mzalendo wa Tanzania, unaombwa kuhudhuria Tamasha la Utamaduni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu 2013’, litakalofanyika katika Uwanja wa Azimio,  Jumamosi ya Desemba 14 mwaka huu.

Katika tamasha hilo, tutapata fursa ya kuangalia ngoma mbalimbali za utamaduni kutoka katika vijiji vya wilaya ya Handeni, kama vile Kweingoma, Kwamatukutu, Kwediamba, Kwachaga pamoja na vikundi vingine vya Handeni Mjini.

Tunapenda sana kushirikiana na wewe katika tamasha hili linaloanza kwa mara ya kwanza katika wilaya hii ya Handeni, mkoani Tanga. Kuanzishwa kwa tamasha hili ni sehemu ya kushirikiana kwa karibu na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika Tamasha hili, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Handeni, Dkt Abdallah Kigoda. Tamasha hili litaanza na matembezi Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Handeni, saa 2:00 na kuelekea Uwanja wa Azimio, ambako huko litaisha saa 12 za jioni.

Kama mdau wetu wa maendeleo, tunakuomba tushirikiane kutangaza, kuthamini na kukuza utamaduni wetu ili iwe njia ya kuchangia maendeleo yetu. Hakuna kiingilio. Pia unaombwa kujigharamia mwenyewe katika ujio wako kwenye tamasha hili. Tunashukuru kwa ushirikiano wako na unakaribishwa sana katika Tamasha hili.
Wako katika Ujenzi wa Taifa.
Mratibu Mkuu
Kambi Mbwana
Wabsite: HANDENI KWETU, www.handenikwetu.blogspot.com
+255 712053949
+255 753806087
Viewing all 46343 articles
Browse latest View live




Latest Images