Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel

Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels

Showcase

Channel CatalogChannel Description:

Karibuni Jamvini Wanajamii

older | 1 | .... | 1556 | 1557 | (Page 1558) | 1559 | 1560 | .... | 1897 | newer

  0 0

  Makamu wa Rais, Samia Suluhu,  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi   Seif Ali Iddi  (kushoto) na Balozi Ali Karume  (wapili kushoto) wakishiriki katika  dua ya kumwombea Rais wa  Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume   kwenye  kaburi la Hayati Karume  lililopo Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar Aprili 7, 2018. Wanne kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,  Ali Hassan Mwinyi na watatu kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume.
    Makamu wa Rais, Samia Suluhu,  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi   Seif Ali Iddi  (kushoto) na Balozi Ali Karume  (wapili kushoto) wakishiriki katika  dua ya kumwombea Rais wa  Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume  kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mini Zanzibar Aprili 7, 2018. 
   Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein  akishiriki katika dua ya kumwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,  Ali Hassan Mwinyi. Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Rais wa Zanzibar DKt. Ali Mohammed Shein  akishiriki katika dua ya kumkwombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Aman Abeid Karume kwenye Ofisi Kuu ya CCM iliyopo Kisiwandui Zanzibar Aprili 7, 2018. Watatu kulia ni  ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wanne kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Wapili kulia ni Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi .
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi  Augustine Mahiga wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki  katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui kushiriki  katika dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman Karume Aprili 7, 2018. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (katikati) akifafanua jambo jana wakati wa kikao cha kujitathimini kwa ajili ya kuja na majibu ya kuondoa ajali za barabarani mkoani humo kichofanyika jana Wilayani Igunga na kuhudhuriwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Tabora na ile ya Wilaya ya Igunga na wadau mbalimbali wa usafiri. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Igunga John Mwaipopo na kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Wilbroad Mtafungwa. 

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (aliye na kofia ya kijani) akiwa kwenye ilipotokea ajali ya Basi la City Boy kugonagana uso kwa uso na lori siku ya Jumatano usiku. 

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiliangalia Basi la City Boy lilopata ajali ya kugonagana uso kwa uso na lori siku ya Jumatano usiku mara baada kuongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na ile ya Wilaya ya Igunga kutembelea eneo la tukio. 
  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye kofia ya kijani) na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na ile ya Wilaya ya Igunga wakiliangalia Basi la City Boy lilopata ajali ya kugonagana uso kwa uso na lori siku ya Jumatano usiku. 
  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwafariji majeruhi wa ajali ya Basi la City Boy iliyogongana uso kwa uso na lori siku ya Jumatano usiku mara baada kutoka katika ilipotokea ajali wilayani Igunga 

  ………………. 

  NA TIGANYA VINCENT 

  RS TABORA 

  KAMATI ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora na Wadau wa Usafiri wamependekeza uanzishwaji wa matumizi ya vitabu(log book) kwa magari ya mizigo ili kudhibiti madereva kusafiri mwendo mrefu bila kupumzika na hivyo kusababisha ajali kwa magari yao au kugongana uso kwa uso na magari mengine kutokana na uchovu. 

  Tamko hilo limetolewa jana wilayani Igunga na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri mara baada ya kikao cha kujitathimini kwa ajili ya kuja na majibu ya kuondoa ajali za barabarani mkoani humo. 

  Mkuu huyo wa Mkoa alisema vitabu hivyo vitasaidia kuonyesha muda alitoka , mahali alitoka na kama amesafiri muda mrefu atalazimisha apumzike ili kuepusha ajali. 

  Alisema malori yamekuwa yakisafiri mwendo mrefu bila hata dereva wake kupumzika jambo ambalo limesababisha magari hayo yapate ajali au wakati mwingine yawe chanzo kinachosabisha ajali katika magari ya abiria. 

  Mwanri alisema kwa kulitambua hilo wanaona wakati umefika kwa magari ya mizigo nayo kuwa na vitabu(log book ) inayoonyesha muda alianza safari katika kituo chake cha kwanza na muda alipo baada ya kusimamishwa ili kuona kama kweli amezingatia matawaka ya kitaalamu na sharia ya kutokwenda kasi. 

  Alisema kitaalamu dereva anatakiwa aendeshe chombo cha moto kwa muda usiozidi saa nane lakini mara nyingi madreva wa malori wamekuwa wakiendesha magari yao hata zaidi ya muda huo jambo ambalo limekuwa kiwasababisha baadhi yao kuendesha huko wakisinzia na kupelelea gari kukosa mwelekeo. 

  Mwanri alisema ili kuepukana na hilo wadau wamependekeza wammiliki wa gari wa ya mizigo ya masafa marefu ni vema wawe na madereva wawili ili wasaidiane. 

  Mkuu huyo wa Mkoa alisema hatua nyingine ambayo wameamua kuichukua ni pamoja na kuongeza askari na magari ya doria katika barabara kuu ya Igunga, Nzega kwenda Mwanza na Shinyanga. 

  Alisema hatua hii inalenga kupambana na madreva ambao nyakati za usiku wakwenda mwendo mkali kwa sababu ya kujua kuwa nyakati hizo tochi hazifanyi kazi. 

  Mwanri aliongeza kuwa Wadau wa usafiri wameiagiza Wakala wa Barabara Tanzania(TANROADS) mkoani Tabora kuhakikisha wanaziba mashimo yaliypo katika barabara kuu zote ili kuondoa uwezekano wa yenyewe kuwa chanzo cha ajali za barabarani. 

  Aidha alisema kuwa Wadau wamekuwabaliana kuwa ukaguzi wa madereva na magari katika barabara kuu zinazopita Mkoani Tabora utakuwa unafanyika kila siku ili kujihakikishia kama gari linazo breki, taa zifanya kazi vizuri , matari yako vizuri na dreva ajatumia kilevi. 

  Alisema hatua hiyo inalenga kujihakikishia kama chombo cha usafiri na dreva wake yuko katika hali nzuri. 

  Hivi karibuni (4 /4/2018) kulitokea ajali ambapo basi la abiria Kampuni ya City Boy yenye namba T 983 DCE iligongana uso kwa uso lori lenye namba T .486 ARB Mitsubishi Fuso wilayani Igunga na kusababisha watu 12 kufa palepale na mmoja kufia katika Hospitali ya Rufaa Bugango. 

  Taarifa za awali zinaoonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa Fuso uliosababisha tairi kupasuka na gari kuhamia upande wa basi. 

  Lori hiyo lilikuwa na viazi ambavyo lilivitoa Njombe Mwisho

  Baada ya kufanya tamasha la pasaka kanda ya ziwa (Mwanza na mkoa wa Simiyu) na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa,sasa zamu ya kanda ya kati Dodoma,makao makuu ya nchi.

  Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo mjini Dodoma,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka,Alex Msama amesema sasa zamu ya kanda ya kati Dodoma.

  "Tunamshukuru Mungu tumefanikisha salama tamasha la pasaka kanda ya ziwa,kwa maana kwamba ya mkoa wa Mwanza na Simiyu,kesho tunahitimisha kanda ya kati Dodoma,ndani ya uwanja wa Jamhurui'',alisema Msama.

  Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha hilo ndani ya mkoa wa Dodoma,yamekwishakamilika na kwamba kila kitu kikosa sawa,alisema na kuongeza kuwa hata waimbaji wameishawasili tayari kwa kumtukuza Mungu kupitia nyimbo zao za injili.

  Amesema tamasha hilo litakuwa la tofauti,kwa sababu waimbaji wengi ambao hawakuwepo Mwanza na simiyu,watapata nafasi ya kuonekana na kuimba mbele ya wakazi wa mji wa Dodoma,watakaofika kwenye tamasha hilo linalotarajia kufanyika kesho April 8 2018,ndani ya uwanja Jamhuri 

  Msama amewawataja baadhi ya waimbaji baadhi ya Waimbaji watakaoimba katika tamasha hilo ni Solomon Mukubwa kutoka nchini Kenya ambaye tayari amekwishawasili mjini Dodoma,Rose Muhando ambae ataendeleza uzinduzi wa albam yake mpya ya “Usife Moyo” huku akitamba na kibao chake kilichomo kwenye albam hiyo kijuliakano kwa jina “Lazima Wakae” .

  Msama anawakaribisha wakazi wa mji wa Dodoma na vitongpoji vyake kujitokeza kwa wingi ili kushuhudia burudani ya muziki wa injili huku wakipata uponyaji na wokovu kwa njia ya uimbaji kwa kiingilio cha shilingi elfu 3000/= tu.

  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka,Alex Msama akisisitiza jambo alipokuwa akitoa ufafanuzi mfupi kwa waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Tamasha la Pasaka mjini Dodoma leo.

  0 0

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

  Wakazi wawili wa Dar es salaam, wameibuka washindi shindano la shika ndinga lililoendeshwa na kituo cha Radio cha Efm.

  Washindi hao ni Ashura Ramadhani mkazi wa Bunju ambaye alipiga simu na kupata nafasi hiyo kupitia kipindi cha uhondo.Mwingine ni Abbas Awadhi ambaye ni mkazi wa Mwananyamala ambaye alipata nafasi ya kushiriki katika shindano hilo kupitia kipindi cha Genge kinachoendeshwa na radio Efm.

  Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi za Washindi hao Meneja Mkuu wa Radio Efm na Tv E, Dennis Busulwa(Sebo) amesema kuwa washindi hao wameshinda pikipiki na kupatiwa tiketi ya kushiriki fainali za shika ndinga zitakazo fanyika Dar es Salaam mara baada ya kuwapata washindi wa mikoani.

  Amesema kuwa siku ya jumatatu washindi hao watafika katika ofisi za Efm na Tv E kwa ajili ya kubadilisha majina ya kadi za pikipiki hizo kutoka jina la kampuni kwenda majina yao.

  Washindi hao ambao wamepatikana kupitia mchakato mrefu ulioanza asubuhi kwa mbio za kukimbia na Vikombe vya maji kisha ikaja awamu ya pili ya kukimbia na mayai ambayo iliwapeleka fainali.

  Katika hatua ya fainali ya kushika gari ndio iliyotia fora kwa wanawake kuweza kusimama kwa zaidi ya saa moja wakti wanaume ndani ya nusu saa walikuwa washapata mshindi.
  Meneja Mkuu wa Radio Efm na Tv E, Dennis Busulwa(Sebo), akizungumza kabla ya kukabidhi kadi kwa washindi wa Pikipiki wa shindano la Shika Ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam
  Mshindi wa Shindano la Shika Ndinga kwa Wanawake kwa mkoa wa Dar es Salaam Ashura Ramadhani mkazi wa Bunju Akiwa jjuu ya pikipiki yake mara baada ya kukabidhiwa na Efm. 
  Mshindi wa Shindano la shika ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam kwa Wanaume Abbas Awadhi ambaye ni mkazi wa Mwananyamala akiwa juu ya Pikipiki yake mara baada ya kutangazwa mshindi
  wanawake waliongia fainali katika shindano la shika ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam wakichuana wakati wa shindano hilo lililofanyika katika Viwanja vya Mwembeyanga
  Wanaume waliongia fainali katika shindano la shika ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam wakichuana wakati wa shindano hilo lililofanyika katika Viwanja vya Mwembeyanga
  washiriki wa shindano la shika ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam wakichuana wakati wa shindano hilo lililofanyika katika Viwanja vya Mwembeyanga
  Msanii wa Muziki wa Singeli nchini Man Fongo, akitumbuiza katika shindano la shika ndinga kwa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa shindano hilo lililofanyika katika Viwanja vya Mwembeyanga
  Wakazi wa Dar es Salaam waliofika kushuhudia shika ndinga katika Viwanja vya Mwembeyanga

  0 0

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi na waumini alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

  0 0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii.

  Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie tathmini ya mafanikio waliyoyapata kutokana na uwakilishi wao katika Mataifa ambayo  ni kwa kiasi gani wamechangia kwenye uboreshaji wa maendeleo ya Taifa.
  Ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Aprili 8, 2018) wakati akizungumza na Balozi Ernest Mangu anayewakilisha Tanzania nchini Rwanda na Balozi Simon Mumwi anayewakilisha Tazania nchini Urusi, katika ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma.
  Waziri Mkuu amesema Tanzania ina vivutio vingi vya utalii ikiwa ni pamoja na uwepo wa mbunga za wanyama, hivyo ni vyema wanapoondoka wachukue nyaraka zote zitakazowasaidia katika kutangaza vivutio vya utalii ili kuongeza idadi ya watalii nchini.
  Amesema mbali na kutangaza sekta ya utalii, pia watafute wawekezaji kwa ajili ya kuwekeza kwenye sekta nyingine kama vile madini, viwanda na kutafuta masoko ili wafanyabiashara na wakulima wa Tanzania waweze kuuza bidhaa zao nje ya nchi.
  “Pia mkajifunze mbinu ambazo wenzetu wanazitumia katika kuboresha sekta mbalimbali ambazo na sisi tunazo hapa nchini kama za viwanda na kisha mje mtueleze namna ya kuziboresha. Kujifunza ni jambo zuri hivyo msisite kufanya hivyo huko muendako.”
  Pia Waziri Mkuu amewataka mabalozi hao wakawatambue na kuwaunganisha Watanzania waishio kwenye nchi wanazoiwakilisha ili nao washiriki kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda na wawasisitize wafuate sheria za nchi wanazoishi na wakumbuke nyumbani.

  Waziri Mkuu amewasisitiza mabalozi hao kwenda kupunguza gharama za uendeshaji wa Balozi kwa kuzuia matumizi katika mambo yasiyo ya lazima. “Pia maslahi ya nchi lazima mkayasimamie huko muendako hasa katika masuala ya kiuchumi.

  Kwa upande wao mabalozi hao  wamesema watahakikisha wanayafanyia kazi maelekezo yote waliyopewa ikiwa ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na nchi wanazoziwakilisha.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Ernest  Mangu ambaye  ni Balozi wa Tanzania nchini Rwanda (kushoto) na Meja Jenerali  Mstaafu, Simon Marco Mumwi ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi, kabla ya mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, Aprili 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Ernest Mangu ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Rwanda (kushoto) na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Marco Mumwi ambaye ni Balozi wa  Tanzania nchini Urusi ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Aprili 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

   Mlinda mlango wa Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania akiwa langoni wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Mchezo huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana.
   Vijana wakiwa uwanjani wakimenyana.
   Mchezo ukiendelea.
   Picha ya pamoja.
  Kikosi cha Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja. Wafanyakazi hao wamecheza mechi ya kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Uganda ilishinda kwa mabao 2 dhidi ya UBA (Tanzania) 0. Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni Dar es salaam jana&n

  0 0

  Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akikata utepe kuashiria uzinduzi wa albamu mpya ya Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili. Rose Muhando ijulikanayo kwa jina la 'Usife Moyo'wakati wa kilele cha tamasha la pasaka katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana jioni.Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa na kushoto  ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion na mwandaaji wa tamasha hilo Alex Msama.
  Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson kwa pamoja na viongozi wengine wakifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa albamu mpya ya Rose Muhando ijulikanayo kwa jina la  'Usife Moyo',.
  Mgeni rasmi katika tamasha la pasaka 2018,Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akizungumza mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),waliofika kushuhudia waimbaji wa nyimbo za injili wakitumbuiza katika tamasha hilo mapema jana katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Dkt Tulia aliwaasa Watanzania kuilinda  na kuitunza amani ya nchi kwa gharama yoyote,kwani wakiichezea amani waliyonayo kuipata tena haitakuwa rahisi,hivyo akaongeza kwa kuwaomba Watanzania waishi kwa upendo,kushirikiana kwa namna moja ama nyinine na pia kushiriki katika suala zima la kujenga uchumi wa nchi yao na hatimae kupiga hatua katia suala zima la maendeleo.
  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini,Mh.Anthony Mavunde akitoa neno la shukurani kwa kampuni ya Msama Promotions Ltd kwa kuandaa tamasha la pasaka 2018 mjini humo na kuwakusanya Wakazi wa mji wa Dodoma na vitongoji vyake,kuja kujionea waimbaji mahiri wa nyimbo za injili ndani ya uwanja wa Jamhuri.
  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd,Alex Msama ambaye ndiye Muaandaji wa tamasha la pasaka 2018 akiwashukuru wakazi wa Dodoma na Vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi katika tamasha la pasaka ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson,Naibu Waziri wa Kilimo Dk. Mary Mwajelwa pamoja na Rose Muhando.
  Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akicheza na Mwimbaji Rose Muhando, Mwimbaji Bonny Mwaiteje na Naibu Waziri wa Kilimo Dk. Mary Mwajelwa na baadhi ya wabunge mara baada ya kuzindua albam yake inayoitwa “Usife Moyo” kwenye tamasha la pasaka lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana jioni.Kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion na mwandaaji wa tamasha hilo Bw. Alex Msama.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora Mh. Kapteni George Mkuchika akizungumza katika tamasha hilo huku Naibu Spika Dk.Tulia Ackson na baadhi ya viongozi wengine wakimsikiliza.
  Sehemu ya Meza kuu,ikifurahi yaliyokuwa yakijiri uwanjani huku waimbaji wakiendelea kuimba kwa zamu ndani ya tamasha la Pasaka jana jioni mjini Dodoma.
  Sehemu ya Meza kuu ilipoamua kushuka na kwenda jukwaani kuunga mkono na kutoa neno la shukurani kufuatia kufanyika tamasha la Pasaka jana jioni mjini Dodoma.

  Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akizungumza akicheza sambamba na kundi zima la Mwimbaji Rose Muhando mara baada ya kuzindua albam hiyo.

  Mwimbaji Rose Muhando akifanya mambo makubwa jukwaani huku mashabiki wake wakimfuatilia.  Baadhi ya mashabiki wa muziki wa injili wakifuatilia wakati mwimbaji Rose Muhando akiimba jukwaani.
  Rose Muhando na kundi lake wakipiga push up jukwaani pamoja na kundi lake.
  Kijana mwenye kipaji cha uimbaji wa nyimbo za Injili ambae kwa sasa amekuwa akijizolea mashabiki lukuki,Goodluck Gozbert  akiimba jukwaani huku mashabiki wake wakimsikiliza kwa makini.
  Mwimbaji Bonny Mwaiteje akiwaimbisha wakazi wa mji wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi kwenye kilele cha tamasha la pasaka 2018 ndani ywa uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
  Mwimbaji Christina Shusho akimpongeza Mwimbaji wa Bongofleva Chid Benz ambaye alihudhuria kwenye tamasha la pasaka mjini Dodoma katikati ni Mwimbaji Solomon Mukubwa kushoto ni Mwimbaji Bonny Mwaiteje.
  Mwimbaji Christina Shusho akiimba pamoja na viongozi waliohudhuria katika tamasha hilo kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
  Mwimbaji Christina Shusho akiimba na Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, Naibu Waziri wa Kilimo Dk. Mary Mwajelwa na Anthony Mavunde Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira.
   
  Mwimbaji Martha Baraka akifanya vitu vyake na kundi lake katika tamasha hilo.
  Baadhi ya mashabiki waliohudhuria katika tamasha hilo.
  Martha Barajka Mwaipaja akifanya vitu vyake.
  Mwimbaji Joshua Mlelwa na Martha Baraka wakishambulia jukwaa katika tamasha la Pasaka kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

  Mwimbaji Joshua Mlelwa akiwaimbisha mashabiki wake katika tamasha hilo.

  Mashabiki wakiimba huku wakiwa wamenyanyua mikono yao juu.

  Mwimbaji Christopher Mwahangila akiimbisha mashabiki katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
  Baadhi ya mashabiki wakiwa wamesimama majukwaani wakati mwimbaji Christopher Mwahangila akiimba jukwaani.

  0 0

  Antonella Cataldi, Etihad Airways General Manager Italy and Federico Scriboni, AdR Head of Airline Traffic Development, flanked by Etihad Airways cabin crew.

  Abu Dhabi, UNITED ARAB EMIRATES - Etihad Airways, the national airline of the United Arab Emirates and Aeroporti di Roma (AdR), celebrated the introduction of a second daily flight between Abu Dhabi and the Italian capital. The inauguration ceremony took place at the innovative E boarding area for international flights at Leonardo Da Vinci International Airport Fiumicino.

  Flight EY 85 was greeted with a welcoming cake cutting ceremony by representatives of Etihad Airways and AdR upon arrival in Rome Fiumicino.

  Antontella Cataldi, Etihad Airways General Manager Italy, said: “We are extremely proud of having increased the number of flights that connect Rome with our Abu Dhabi hub. Our additional flights demonstrate the importance of the strong economic ties between the UAE and Italy, and our continued support for the growth of bilateral trade between both countries.  This will also make a positive contribution to the tourism industry in Italy and the UAE, offering greater choice to our business and leisure guests travelling between the two countries.”

  “We are pleased to welcome the launch of Etihad Airways’ second daily flight from Abu Dhabi to Rome Fiumicino,” added Federico Scriboni, Head of Airline Traffic Development of AdR. “This reinforces the presence of the airline in Rome, highlighting the strategic role played by the Roman market, and caters to the demand for destinations not currently served directly from Rome, such as Australia, which are now accessible seamlessly via Abu Dhabi. Leonardo da Vinci is becoming an increasingly popular gateway, renowned for its excellent services, and boasting a large number of the world’s major international airlines.”

  Flights on the Abu Dhabi – Rome Fiumicino route will be operated by a Boeing 777-300ER aircraft – equipped with 28 Business Class and 384 Economy Class seats – and Airbus A330-200 aircraft – featuring 22 Business Class and 240 Economy Class seats.

  Alitalia continues its codeshare partnership with Etihad and will also place its code on the new Etihad flights.

  Etihad Airways commenced operations to Italy in September 2007 with the introduction of the daily service between Abu Dhabi and Milan Malpensa and added a daily service to Rome Fiumicino to its route network in 2014.

  Flight schedule between Abu Dhabi and Rome from 25 March 2018:
  Flight No.
  Origin
  Departs
  Destination
  Arrives
  Frequency
  Aircraft
  EY 83
  Abu Dhabi
  08:45
  Rome
  13:00
  Daily
  Boeing 777-300
  EY 84
  Rome
  22:00
  Abu Dhabi
  05:50 +1
  Daily
  Boeing 777-300
  EY 85
  Abu Dhabi
  02:35
  Rome
  07:05
  Daily*
  Airbus A330-200
  EY 86
  Rome
  11:15
  Abu Dhabi
  19:20
  Daily*
  Airbus A330-200

  Note: All departures and arrivals are listed in local time.
  + denotes next day

  *Flights will be operated on Mondays, Wednesdays, Fridays, Saturdays and Sundays until 30 April 2018. Starting from 1 May 2018, the frequency will become daily. 

  0 0
 • 04/09/18--03:42: ASSEMBLY TO SIT IN DODOMA
 •  
  …the Sitting is a first for the regional Assembly in the designate capital

  East African Legislative Assembly, Dodoma, 9th April, 2018: The East Africa Legislative Assembly (EALA) has commenced its sitting in Dodoma, United Republic of Tanzania. The Sitting which is the fourth meeting of the first Session of the fourth Assembly takes place from today (April 9th 2018) and runs through to 28th of April 2018. This is the first time the regional Assembly which embraces a rotational principle in holding its meetings in the Partner States, is sitting in Dodoma.
                                                                      
  The Assembly is to be presided over by Speaker, Rt Hon Ngoga K. Martin. H.E. President Dr John Pombe Joseph Magufuli is expected to address the Assembly at a Special Sitting at a date to be communicated next week.

  The Assembly shall also deliberate on a number of key issues over the three-week period. Bills and resolutions are expected to be brought before Plenary.  A number of Committee undertakings are also expected – particularly on scrutiny of Bills in preparation for the forthcoming public hearings. Currently, there are two key Bills that are pertinent to the Monetary Union Protocol. 

  These are the EAC Monetary Institute Bill, 2017 and the EAC Statistics Bureau Bill, 2017, both of which were introduced by the Chair of the Council of Ministers, Rt Hon Dr Ali Kirunda Kivenjija at the 2ndMeeting of the 1st Session held in Kampala, Uganda, in January 2018 and sailed through the First Reading.

  The object of the EAC Monetary Institute Bill, 2017, is to provide for the establishment of the East African Monetary Institute as an institution of the Community responsible for preparatory work for the EAC Monetary Union.  In accordance with Article 23 of the Protocol on the EAC Monetary Union, the Bill is expected to provide for the functions, governance and funding for the Institute as well as other related matters.

  Closely related to the EAMI Bill is the EAC Statistics Bureau Bill, 2017, which also seeks to establish the Statistics Bureau as an Institution of the Community under Article 9 of the Treaty and Article 21 of the Protocol on Establishment of the EAC Monetary Union.   The Bill provides for the functions, powers, governance and its funding with a view to establishing an institution responsible for statistics in a bid to support the East African Monetary Union.

  The Council of Ministers for EAC is thus expected to meet with the Committees to thrash out key matters on both Bills. The EALA Committee on Communications, Trade and Investment shall at a later date engage with stakeholders on the EAC Statistics Bureau Bill, 2017 while the EAC Monetary Institute Bill, 2017 will be handled by the General Purpose Committee.

  Furthermore, the Assembly will also interact with various stakeholders and other citizens in Dodoma in a move anticipated to collect views to effectively undertake its mandate and enhance its representation mandate.

  The entire Government of the United Republic of Tanzania is expected to move to the designate capital of Dodoma by 2019.  As at the end of 2017, the Prime Ministers Office and several Ministries had already settled in Dodoma.

  The decision to relocate the capital was made by the founding President Julius Nyerere in 1973 with the aim of bringing government services closer to the people – given the City’s central location.

  0 0

  Na Ripota Wetu, Globu ya jamii

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Mwigulu Nchemba ametoa rai kuwa ili kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani ni vema jamii ikaacha kufanya matukio ya uhalifu nchini.

  Dk.Mwigulu ametoa kauli hiyo leo Bungeni mjini Dodoma wakati anatoa ufafanuzi kuhusu madai ya uwepo wa msongamano wa wafungwa katika magereza mbalimbali yaliyopo nchini ambapo amelieleza Bunge si kweli kwamba magereza yote yana msongamano.

  Amesema yapo baadhi ya magereza idadi ya wafungwa ni wengi na hiyo inatkana na wingi wa matukio ya uhalifu kwenye eneo husika na kule ambako hakuna uhalifu mwingi basi nako kwenye magereza hakuna msongamano mkubwa wa wafungwa.

  Dk.Mwigulu amesema alifanya ziara katika gereza la Mkoa wa Lindi na baada ya kufuka huko ameshuhudia idadi ndogo ya wafungwa kuliko uwezo wa gereza lenyewe ambalo linao uwezo wa kuhifadhi wafungwa wengi na kufafanua udogo wa wafungwa unatokana na kutokuwepo na matukio mengi ya kihalifu ambayo husababisha mhusika kufungwa.

  Ameongeza maeneo ambayo uhalifu ni mwingi unapoenda kwenye magereza nako utakuta idadi ya wafungwa ni kubwa, hivyo ili kuondoa hali hiyo ni jamii kuacha kufanya uhalifu tu."Nitoe rai kuwa ili kupunguza msongmano kwenye magereza yetu njia ni moja tu kuacha kufanya uhalifu.Hiyo itasaidia kuondoa malalamiko kwenye magereza yetu idadi ya wafungwa ni kubwa,"amesema Dk.Mwigulu.

  Ameongeza Serikali haipendi kufunga watu ili wakajaze magaerezani bali msongamano huo unasababishwa na watu kufanya matukio ya uhalifu na matokeo yake kufungwa na kusababisha msongamano ambao unaelezwa kuwepo.

  Wakati huo huo,Mbunge wa Tarime Mjini Estar Matiko(Chadema) ameelezea namna ambavyo wafungwa na mahabusu wanawake ambavyo wanateseka magaerezani na kuomba wale wenye kesi ndogo waachiwe kwani wapo ambao wamefungwa kwa makosa madogo madogo yakiwamo ya fedha ambapo , kiwango cha fedha anachotumia gerezani ni kikubwa kuliko makosa yake.

  Amesema akiwa magereza ya Segerea ameshuhudia kuna mwanameke ambaye amefungwa na anatatizo la kuvuja damu, hivyo kila siku lazima apelekwe hospitalini ambako gharama inakuwa kubwa.Hata hivyo Wizara hiyo imejibu kinachofanyika sasa ni kwa mujibu wa sheria na hivyo kama inaonekana ni tatizo basi ni vema Matiko akapeleka hoja bungeni ili sheria ibadilishwe.

  0 0

  0 0

  Wakazi wa kisiwa cha Kome wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameiomba serikali kuboresha huduma za afya kisiwani humo ikiwa ni pamoja na kuongezwa kwa watoa huduma kwenye kituo cha afya Kome kilichopo kisiwani humo. Mganga mfawidhi wa kituo cha afya Dr.Victor Mathias licha ya kukiri upungufu huo amesema kituo hicho kinahudumia vijiji 12 kinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwepo za upungufu wa vitendea kazi hatua inayoathiri utoaji wa huduma kwa wananchi.  

  0 0

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
  Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dkt Gaudensia Kabaka (MCC) akisaini kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
  Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akisaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
  Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akiagana na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mh. Thamsanga Dennis Msekelu Mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
   (Picha zote na Fahadi Siraji CCM BLOG)

  0 0

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2017.
  Sehemu ya washiriki wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)

  Wataalam wa Idara ya Nishati, wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)

  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Luhumbi akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani humo kuhusu Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi iliyoanza leo tarehe 9 hadi 13 Aprili, 2018 ikiwa na lengo la kuelimisha, kusikiliza malalamiko, changamoto pamoja na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara na wananchi wa mkoa huo.
  Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita akizungumza wakati wa mkutano wa waandishi wa habari mkoani humo kuhusu Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi iliyoanza leo tarehe 9 hadi 13 Aprili, 2018 ikiwa na lengo la kuelimisha, kusikiliza malalamiko, changamoto pamoja na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara na wananchi wa mkoa huo.
  Kiongozi wa timu ya watalaam kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Maternus Mallya akizungumza wakati wa mkutano wa waandishi wa habari mkoani Geita kuhusu Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi iliyoanza leo tarehe 9 hadi 13 Aprili, 2018 ikiwa na lengo la kuelimisha, kusikiliza malalamiko, changamoto pamoja na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara na wananchi wa mkoa huo.PICHA NA BENEDICT LIWENGA

  Na Veronica Kazimoto-Geita

  Wito umetolewa kwa wafanyabiashara na wananchi wa Mkoa wa Geita kujitokeza kwa wingi katika Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kwa ajili ya kuwasilisha malalamiko, changamoto, maoni pamoja na kupata elimu ya masuala ya kodi na ukusanyaji wa mapato ya Serikali kwa ujumla.

  Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Geita, Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Robert Luhumbi amesema kuwa, wafanyabishara na wananchi watumie fursa ya kampeni hii itakayomalizika tarehe 13 Aprili, 2018 kupata elimu sahihi ya masuala ya kodi na tozo mbalimbali.

  “Nachukua fursa hii kutoa wito kwa wafanyabiashara na wananchi wote wa mkoa huu hususani wale wanaoishi katika maeneo ya Masumbwe, Ushirombo, Rulembela, Katoro, Lunzewe, Namonge, Nyanghw’ale, Bwanga na Muganza kujitokeza kwa wingi ili waweze kujifunza, kupata huduma na kutoa maoni yao kwa watalaam wetu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili waweze kuyatolea ufafanuzi na kuyafanyia kazi,” amesema Mhe. Luhumbi.

  Nae Meneja wa TRA mkoani hapa, James Jilala amesema kuwa, lengo kuu la kufanya kampeni hii maalumu ni kuelimisha, kusikiliza malalamiko, changamoto pamoja na kupokea mrejesho na maoni mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.

  “Kampeni hii ni mwendelezo wa Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi iliyofanyika nchi nzima kuanzia tarehe 5 hadi 9 Machi, 2018 katika ngazi ya mkoa. Kutokana na matokeo ya kampeni ile mkoani hapa, tumeona ni muhimu tuwe na kampeni nyingine maalumu ambayo inafanyika maeneo mbalimbali katika wilaya zetu tofauti na ile ya kwanza iliyofanyika Geita mjini tu,” amefafanua Jilala.Kwa upande wake kiongozi wa timu ya watalaam kutoka TRA Makao Makuu Maternus Mallya ameeleza kuwa, timu yake imejipanga vizuri na tayari kazi imeanza kufanyika katika vituo vyote vilivyotengwa kwa ajili ya kampeni hiyo.

  “Hapa ninapozungumza, wenzangu wako kwenye maeneo husika wanaendelea kufanya kazi. Hivyo, kama alivyosema Mhe. Mkuu wa Mkoa, nami natoa rai kwa wananchi wote mkoani hapa, kujitokeza kwa wingi ili waweze kukutana na watalaam wetu kwa ajili ya kupata huduma na elimu ya mlipakodi,” amesema Mallya.

  Kampeni Maalum ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi mkoani Geita imeanza leo tarehe 9 hadi 13 Aprili, 2018 ambapo pamoja na mambo mengine, wafanyabiashara na wananchi watasajiliwa na kupatiwa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) pamoja na kuelimishwa kuhusu ulipaji wa Kodi ya Majengo kwa njia ya kieletroniki.

  0 0

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo,Picha na Ikulu

  0 0

  Mgeni Rasmi, Kaimu Kamishna wa walipa kodi wakubwa Alfred Mregi (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio (kulia), Mkufunzi wa watafiti wa Kodi Afrika Profesa Mede Nikaise, (kushoto), Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Profesa Isaya Jairo (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa ITA, Dkt. Lewis Ishemoi wakiwa meza kuu wakati ufunguzi wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika jijini Dar es Salaam leo Aprili 9 2018. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Mmoja wa washiriki akitoa mchango wake katika warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018. Kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio
  Mkufunzi kutoka chuo cha kodi (ITA) Dkt. Amos Ibrahimu akitoa mada kwa washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.

  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakibadilishana mawazo wakati wa kifungua kinywa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Sehemu ya washiriki wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika hiyo wakifuatilia mada zikitolewa jijini Dar es Salaam leo April 9 2018.
  Mgeni Rasmi, Kaimu Kamishna wa walipa kodi wakubwa Alfred Mregi (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF), Bras Eugenio (kulia), Mkufunzi wa watafiti wa Kodi Afrika Profesa Mede Nikaise, (kushoto), Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Profesa Isaya Jairo (wa pili kushoto) na Naibu Mkuu wa ITA, Dkt. Lewis Ishemoi wakiwa meza kuu wakati ufunguzi wa warsha ya mtandao wa watafiti wa kodi Afrika jijini Dar es Salaam leo Aprili 9 2018.

older | 1 | .... | 1556 | 1557 | (Page 1558) | 1559 | 1560 | .... | 1897 | newer