Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46362 articles
Browse latest View live

MASHABIKI WA KANDANDA NCHINI SASA KUBOFYA *149*31# KUPATA MATOKEO NA RATIBA ZA LIGI MBALIMBALI ULIMWENGUNI.

$
0
0
20130817_132318
Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni Afrisoft Technologies Ltd Brian Mushi, Mkurugenzi wa Ufundi wa Kampuni hiyo David Kagoma pamoja na Msimamizi wa Fedha Bw. Bujune Leo kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa huduma ya M-soka.
-------------------------------------
Kampuni ya Afrisoft Technologies Ltd inayojihusisha na masuala ya teknolojia zinazorahisisha maisha ya kila siku, sasa imekuja na huduma mpya ya ‘M-Soka’ ambapo mtumiaji wa mtandao wa Vodacom anaweza kufaidi huduma hiyo kwa muda wowote na kwa haraka zaidi.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo, Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Brian Godwin Mushi amesema wameamua kutengeneza huduma hiyo, kwa kuwa mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi na hivyo ukizingatia mahitaji ya watu kutaka kujua matokeo au kujua ratiba, sasa haina haja tena kusubiri gazeti au redio ila ukiingia katika ‘M-Soka’ (Mobile Soka)unapata kila kitu moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi.

Bw. Mushi amesema ukizingatia hali halisi sio kila mahali panapatikana huduma ya intaneti na sio kila mtu ana simu inayoweza kuunganishwa kwenye mtandao huo, hivyo kupitia ‘M-Soka’ unaweza kupata matokeo au ratiba kwa kutumia simu ya aina yeyote ile.

Akitaja namba zinazotumika kupata matokeo hayo amesema kuwa ni *149*31# kwa gharama nafuu ya shilingi 40 tu. Amesema unaweza kupata matokeo ya mechi zilizochezwa, ratiba ya mechi zitakazofuata na pia msimamo wa ligi mbalimbali, na kuwa kama ni matokeo unaweza kupata ya leo, jana, juzi na siku moja kabla na kama ni ratiba utapata ya leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo na kama ni msimamo unapata wa wakati huohuo(real Time).

Pia kuna ‘option ya live’ ambayo inakuwezesha kufuatilia mpira kwa dakika hiyo hiyo hata goli likifungwa inakupa matokeo yake mpaka jina la mfungaji na dakika ambayo goli limefungwa.Ni njia rahisi kwa mashabiki kufuatilia matokeo ya timu yao wanayoipenda na kupata taarifa ya kila kitu ikiwemo magoli, kadi hata penati.

Ligi zinazopatikana katika mtandao huo ni za Uingereza, Hispania, Ufaransa, Italia, Ujerumani, UEFA, Kombe la Dunia na CAF kwa shilingi 40 tu. Kwa mshabiki yeyote wa soka usipate tabu, chukua simu yako na uandike *149*31# na upate matokeo, ratiba na msimamo papo hapo bila shaka na kwa gharama nafuu.

Article 6

wamarekani na maadhimisho ya miaka 50 tangu kufanyika maandamano makubwa ya kudai haki za watu weusi.

$
0
0
Leo,(jana) WaMarekani wameadhimisha miaka 50 tangu kufanyika kwa maandamano makubwa ya kudai haki za watu weusi. Katika maadhimisho hayo, kamera ya swahilivilla blog iliegeshwa kando ya mlango wa kuingila na kushuhudia watu maarufu hapa nchini wakipekuliwa kwa sababu za usalama kabla ya kuingia ndani sherehe hizo ambazo ambazo zimehudhuriwa na maelfu ya watu kutoka sehemu mbali mbali nchini hapa

Tuliobahatika kuwanasa katika kamera ya swahilivilla muigizaji Jimmy Foxx, pale alipotolewa ndani ya gari na maofisa kuanza kupekua gari alilolipanda kabla ya kuingia ndani ya eneo la Lincoln Memorial  Washington DC. Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Muigizaji wa filamu Jimmy  Foxx akishuhudia gari lake likipekuliwa kabla ya kuingia ndani ya tukio la maadhimisho ya miaka 50 ya March on Washington DC
Mwigizaji wa filamu Angelha Bassett Evelyn alipotolewa kwenye gari lake na maofisa kuanza kulipekua kabla ya kuingia ndani ya eneo la Lincoln Memorial  Washington DC.


Angela Bassett Evelyn akishangaa flash ya swahilivilla pale ilipomnasa alipokuwa akisubiri gari lake kufanyiwa upekuzi wa lazima kabla ya kuingia eneo la tukio
Mshangao mkubwa watu walioupata ni pale mtoto wa Rais wa zamani nchini Marekani John F. Kennedy, Caroline Kennedy ambae ni balozi mteule Nchini Japani, alipoingia na Cab (Taxi). cha kuchangaza pia ni pale gari lake lilipopekuliwa bila ya kujali ukubwa au cheo alichonacho na kufata sheria ya upekuzi kama wengine magari yao yalivyopekuliwa.
Caroline Kennedy akiishangaa flash ya swahilivilla blog pale ilipomnasa akisubiri gari lake likifanyiwa upekuzi wa lazima
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani Forest nae pia gari lake lilifanyiwa upekuzi na maofisa wa usalama baada ya kuwasili katika endeo la Sherehe za miaka 50 ya March on Washington DC
Forest Whittigar akishangaa kwambalii flash ya swahilivillablog baada ya kutolewa ndani ya gari lake na kufanyiwa utaratibu wa kupekuliwa kabla ya tukeo kuanza rasmi.
Vile vile kamera ya swahilivilla blog imemnasa Rajiv “Raj” Shah American Economic development specialist, alipotolewa nje ya gari lake na kufanyiwa upekuzi wa lazima siku ya Jumatano Aug 28, 2013 Washington DC
 Rajiv “Raj” Shah akishangaa kwambalii flash ya swahilivilla.blog baada yakutolewa ndani ya gari lake na kufanyiwa utaratibu wa kupekuliwa.
Ofisa Usalama akifanya upekuzi wa magari ya watu maarufu yanayoelekea katika maadhimisho ya miaka 50 ya March on Washington DC siku ya jumatano Aug 28.
Mwanasheria Mkuu wa jimbo la California Kamala Harris pia alishushwa ili kuruhusu upekuzi wa gari kabla ya kuingia  katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya March on Washington
Kamala Harris aliamua kusogea na kusalimiana na baadhi ya watu waliokua karibu yake pamoja na kamera ya swahilivilla wakati gari yake ikipekuliwa kabla ya kuingia katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya March on Washington
Ni Oprah Gail Winfrey pekee ambaye hajatoka kwenye gari lake ambalo lilipekuliwa na kuruhusiwa kuondoka bila ya kutolewa ndani ya gari hilo alilokua amalipanda
Oprah Gail Winfrey akishangaa  kwa mbali flash ya swahilivilla wakati anaelekeaa ndani ya Lincoln Memorial Washington Washington DC 
 Chief wa swahilivilla Abou Shatry akiwa katika 50th anniversary March on Washington DC Siku ya Jumatano 28, 2013 Rais Barak Obama, leo ametoa changamoto kwa kizazi kilichopo kuwaenzi mashujaa walioandamana mwaka 1963 kudai haki sawa kwa watu wa rangi zote nchini Marekani. JAMII RADIO ina ripoti kamili. Sikiliza. na pia kwa taswira zaidi bofya hapa   

MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YAENDEREA KUPAMBA MOTO

$
0
0

Bondia Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho. 
Wasimamizi wa mashindano hayo wakifuatilia kwa makini, kushoto ni Remmy Ngabo na Majeshi Kibilabila
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoendelea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho, Mohamedi alishinda kwa point .Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo
mabondia wakiwa katika picha ya pamoja.
Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja
Mabondia Mussa Kimweri
Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde

Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi
Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi

Mtandao wa Jinsia Tanzania Wakutana na Wahariri wa Habari

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Usu Mallya (wa kwanza kushoto) akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari katika mkutano na wahabari hao leo kwenye ofisi za mtandao huo Mabibo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Usu Mallya (wa pili kulia) akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari. Alioambatana nao ni viongozi anuai, watendaji na baadhi ya wanachama wa TGNP. katika mkutano na wahabari Sehemu ya jopo la viongozi na wanachama wa TGNP wakiorodhesha maswali ya wahariri (habapo pichani) kabla ya kuanza kuyatolea majibu kwenye mkutano huo leo Meneja wa Idara ya Habari na Mawasilino TGNP, Lilian Liundi (wa pili kushoto) akifafanua jambo katika mkutano na wahariri. Baadhi ya wahariri kutoka vyombo anuai vya habari jijini Dar es Salaam wakiwa katika mkutano na TGNP.


Baadhi ya wahariri kutoka vyombo anuai vya habari jijini Dar es Salaam wakiwa katika mkutano na TGNP. Baadhi ya wahariri wakifuatilia mkutano huo na viongozi, watendaji na wanachama wa TGNP. [/caption] Katika mkutano huo na wahariri TGNP imeainisha baadhi ya mafanikio na changamoto ambazo mtandao huo umezipata, ikiwa mbioni kufanya tamasha la mwaka huu ambalo litafanyika Septemba 3 hadi 6 2013, Katika viwanja vya TGNP Mabibo.

 TGNP inatarajia kutumia Tamasha la Jinsia kuwapa wanawake fursa ya kushiriki mijadala ya wazi na kupaaza sauti zao, tamasha hili litashirikisha wanawake, wanaume, Vijana na watoto zaidi ya 5000 kutoka mikoa yote ya Tanzania na nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya na Amerika. TGNP imebainisha kuwa kupitia Tamasha hilo, wanawake na wanaume wanaoshiriki wanapata fursa ya kujijengea uwezo wa kutumia mbinu za kiraghibishi katika, uchambuzi wa sera , bajeti ya kijinsia, kujadili kwa pamoja na watendaji wa serikali kuu na za mitaa walioalikwa namna bora ya utoaji huduma ambazo zitamfikia kila mwananchi.

 Pamoja na mijadala hiyo ya wazi, kutakuwa na mahakama ya wananchi (Popular tribunal) itakayoendeshwa na Chama cha Majaji Wanawake (TAWJA), watunga sera, wanasheria, wanaharakati waliobobea kwenye masuala ya Kisheria na wananchi walioathiriwa na mfumo kandamizi na kukosa msaada wa kisheria au kuathika na hukumu zilizotolewa. Aidha siku inayofuata kutakuwepo na Bunge la wananchi ambalo litaongozwa na wanazuoni na wataalamu wa sheria na wananchi wote watapata fursa ya kushiriki kikamilifu. 

 Mijadala mingine italenga katika masual ya haki ya uchumi kwenye upatikanaji wa huduma za msingi za jamii kama maji, afya, elimu, miundombinu na haki ya jamii katika umiliki wa rasilimali ardhi. Aidha suala la Katiba mpya litapewa kipaumbele katyika mijadala itakayopfanyika ikiwepo kuendelea kudai ushiriki ulio sawia katika fursa na michakato iliyosalia kufikia kupata katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Fenella akutana na Bondia Francois Botha (White Buffalo)

$
0
0
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt fenella Mukangara na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara na wageni walioambatana na Botha jana jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija - Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akielezea kufurahiswa kwake na ukuaji wa mchezo wa ngumi hapa nchini alipokutana na Bondia maarufu duniani na aliyewahi kuwa bingwa wa dunia mara mbili Francois Botha (White Buffalo) kushoto jana jijini Dar es Salaam.
Bingwa wa dunia mara mbili wa mchezo wa ngumi Bondia Francois Botha (White Buffalo) akielezea jambo kwa waandishi wa habari alipotembelea ofisini kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara kulia jana jijini Dar es Salaam.

SEREEE CO YAJA NA MEN'S WEAR KINONDONI TX

$
0
0
 WADAU mbalimbali mnakaribishwa SEREEE CO, Kinondoni jirani na Soko la TX. Ndani ya SEREEE CO utakutana na huduma mbalimbali nzuri za kuvutia pamoja na mambo mazuri kibao kama vile MEN'S WEAR SHOP, DECORATION SERVICES, CAKE SHOP, EVENT ORGANIZING, BEAUTY SALON, CATERING SERVICES, KIDS GAME & MANY MORE!!!
 Hili ndilo jengo ambalo Duka la Nguo za Kiumela SEREEE pamoja na Salon vinapatikana Duka lipo chini na juu ni Salon matata na yakisasa. Linatazamana kabisa na soko la TX kinondoni.
 SALON pia ipo na huduma za kila namna
 Viatu vizuri na imara vinapatikana.


 Mashati na fulana za kila namna zipo SEREEE Co.

Ukiingia ndani hutatoka bila kitu kikupendezacho na kesho utarudi tena.
 Kule ndani kabisa pia viwalo vyake vipo swaaafi kabisa.
 Manukato ya uhakika
 Walet za nguvu kuweka Shilingi au dola..

 Mikanda ya ngozi za Ukweli na tai za uhakika kwa bei nafuu kabisa.
 Mambo ndio kama hayo...Soksi za pamba







TAMASHA LA SERENGETI FIESTA KUTUA MTWARA MARA YA KWANZA JUMAMOSI HII

$
0
0
Wasanii maarufu wa kizazi kipya zaidi ya Kumi tano watatoa burudani kwa mara ya kwanza kwa wakazi wa mkoa wa Mtwara na majirani zake katika tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2013 ambalo ni maarufu kwa ”Tupo Pamoja, Twenzetu, Tukawinde” Ni Noma sanaa” litalofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona uliopo mjini Mtwara. Burudani hiyo itakuwa kivutio tosha kwa wakazi wengi kutokana na kundi kubwa la wanamuziki wa kizazi kipya waliopo kwenye chati za juu katika muziki huo.

Tamasha hilo linaambatana na shamrashamra zinazoendelea kwenye promosheni za bar mjini hapo ambapo wakazi wa Mtwara watakuwa wakijishindia tiketi za bure pamoja na fulana baada ya kujibu maswali marahisi, pia kutakuwa na washindi ambao watapata nafasi ya kuwakilisha Mtwara kwenye tamasha la kuhitimisha msimu wa Fiesta 2013 jijini Dar Es Salaam. 


Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager ambayo ndio bia inayodhamini tamasha hili kubwa, Allan Chonjo alisema ”Mpaka sasa tumepata wawakilishi kumi na moja Lydia Bitwale, Belinda Mgongorwa, Samweli Aloyce, Josiah Naftael na Severine Matata kutoka Kigoma, Issa Jaffary, Jayson Baduga na Augistino Massawe Kutoka Tabora na Singida ni Richard Mmassy, Emmanuel Nagunwa na Rose Tarimo”.


 ”Washindi wote kutika mikoani watakaa jukwaa la watu maalumu ambapo wataweza kushuhudia burudani kwa karibu zaidi na watapata nafasi ya kupiga picha na wasanii wakubwa, hivyo tunawaomba wakazi wa Mtwara waendelee kunywa bia ya Serengeti  ili waweze kujishindia bia za bure na hatimaye kushinda nafasi hiyo ya kuja Dar Es Salaam kwa ajili ya Fiesta ya mwisho”. Wateja wanatakiwa kuangalia chini ya kizibo na kuona kama wajishindia bia za bure, kwani kuna bia zaidi ya laki mbilli nchi nzima,  aliongeza Chonjo.


Msanii mkali katika miondoko ya kipwani Snura, ambaye ni maarufu kwa wimbo wake wa ”majangaa” ataungana na wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tamasha hilo lililoanzia mkoani Kigoma ambapo ilikuwa kwa mara ya kwanza pia, ikafuatiwa na Tabora na Singida wikiendi iliyopita. Wasanii zaidi ya kumi na tano wanaokubalika kama Nay wa Mitego, Makomandoo, Juma Nature, Matonya, Kassim Mganga,  Chege na Temba, Snura, Madee, Young Killer, Stamina, Godzilla, Nikki Wa Pili, Ommy Dimpoz, Kalapina na Pasha ambaye anatokea mkoani Mtwara watapanda jukwaani kukonga nyoyo za wakazi wa mji wa Mtwara siku ya Jumamosi.




Moses Kulola Afariki Dunia

$
0
0
moses

Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia leo tarehe 29/08/2013 katika hospital ya AMI (African Medical Investments) iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam.

Askofu ana watoto wengi wa kiroho nchini Tanzania, Kanisa  linahuzunishwa na habari hizi, Bwana awape faraja kwa kipindi hiki,  ”Kuishi ni Kristo na kufa ni faida”

Jina la Bwana libarikiwe

SBL YAUNGA MKONO KILIMO KWANZA

$
0
0

Diwani wa kata ya Ngare Nairobi wilayani Siha,  mkoa wa Kilimanjaro akitoa maelekezo kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti ambao  ni Menaja mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Imani Lwinga(wa pili kushoto) pamoja na Meneja kilimo wa kampuni hiyo Shafii Mndeme(wapili kulia) wakati walipotembelea mashamba ya shayiri katika kata hiyo kwa lengo la kuwainua wakulima.

Wakulima wa shayiri katika kata ya Ngare Nairobi mkoani Kilimanjaro, wakikagua shayiri ya mkulima mwenzao 
ambaye alipata mbegu kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti. Kampuni hiyo iliwatembelea wakulima hao wa kanda ya kaskazini na  kujadili jinsi ya  kukuza kilimo cha zao hilo huku kampuni hiyo ikitatua matatizo 
yanayowakabili wakulima hao kwa kuwapatia pembejeo na kuwaahidi  kuwaletea mtaalam wa kupima udongo ili kujua ni mbolea gani dhabiti  itumike ili kupata mavuno yanayoridhisha..

Diwani wa kata ya Ngare Nairobi wilayani Siha,  mkoa wa Kilimanjaro akitoa maelekezo kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti ambao  ni Menaja mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Imani Lwinga(wa pili kushoto) pamoja na Meneja kilimo wa kampuni hiyo Shafii Mndeme(wapili kulia) wakati walipotembelea mashamba ya shayiri katika kata hiyo kwa lengo la kuwainua wakulima.


Menaja mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Imani Lwinga(kushoto) pamoja na Meneja kilimo wa kampuni hiyo Shafii Mndeme(kulia) wakikagua shayiri katika shamba la Bora Msaki mmoja ya wakulima wanaonufaika na mradi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani Kilimanjaro katika kata ya Ngare Nairobi wilayani Siha. Kampuni hiyo inaunga mkono kampeni ya Kilimo Kwanza kwa kuwapa mbegu na kuwahakikishia soko la kuridhisha wakulima wa shayiri kanda ya kaskazini.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA RAIS WA BURUNDI BAADA YA KUMALIZA MAPUMZIKO YAKE NCHINI

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsindikiza Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini.
Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akiagana na baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Makamu wa Rais, waliofika uwanjani hapo kumsindikiza leo Agosti 29, baada ya Rais huyo kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na viongozi wengine, wakimuaga Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR.
======  =======  ========
RAIS WA BURUNDI AMALIZA MAPUMZIKO YAKE TANZANIA
AAGWA NA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo Alhamisi Agosti 29, 2013 amekutana na Rais Pierre Nkurunzinza katika hoteli ya Hilton Double Tree na kufanya naye mazungumzo. Rais Nkurunzinza alikuwa nchini kwa siku tatu kwa mapumziko na ameelezea kufurahishwa kuwapo Tanzania na akaeleza kuwa Tanzania na Burundi ni nchi zenye uhusiano wa kipekee na kwamba uhusiano huo umekuwepo na utaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo.

Kwa upande wake Mheshimiwa Makamu wa Rais Dkt. Bilal alimueleza Rais Nkurunzinza furaha yake kwa yeye kuchagua Tanzania kuwa sehemu ya mapumziko yake na familia yake na kwamba Tanzania inazo fursa nyingi za kitalii hali ambayo imewafanya viongozi wa nchi mbalimbali kupenda kuja hapa. Makamu wa Rais alimtakia safari njema Rais Nkurunzinza na kumueleza kuwa uhusiano wa nchi zetu unatufanya kuwa ndugu hivyo anakaribishwa tena hapa nyumbani Tanzania.

Imetolewa na: Ofisi ya Makamu wa Rais Agosti 29, 2013, Dar es Salaam

Stand up For African Mothers Campaign – Fundraising Gala Dinner

$
0
0
Montage Managing Director Ms.Teddy Mapunda speaks to the media during press conference of announcing the date for Fundraising Gala Dinner which will be on 11th October,2013  at  Dar es Salaam Serena Hotel with the aim of raising funds  for the campaign dubbed “Stand Up for African Mothers”, Dr.Jakaya Kikwete is expected to be the guest of honour.

AMREF Country Director Dr. Festus Ilako speaks to the media during press conference of announcing the date for  Fundraising Gala Dinner which will be on  11th October,2013 at Dar es Salaam Serena Hotel with the aim of raising funds for the campaign dubbed “Stand Up for African Mothers”, Dr.Jakaya Kikwete is expected to be the guest of honour,and the target is to raise 1 billion Tanzanzanian Shillings.On the left side is  Montage Managing Director Ms.Teddy Mapunda and AMREF Deputy Country Director Dr.Rita Noronha(R). 


 ********
AMREF Tanzania today announced the date for the Fundraising Gala Dinner which will be on 11th October, 2013 at the Dar Es Salaam Serena Hotel.  The aim of the Gala Dinner is to raise funds for the campaign dubbed “Stand up for African Mothers”. 

Speaking at the press conference today, Dr Festus Ilako, AMREF Country Director said “we are playing our part in helping the Country meet its health related millennium development goals (MDGs) targets, by strengthening the national health care system and contributing to the improvement of the current state of maternal health. Tanzania has done well in meeting the other MDG goals but the one that is critical and important for the future of our country is improving the quality of care for maternal health.  

Enhancing the skills of our existing nurse midwives and training others is critical and that is the reason we appeal to you.   The funds raised since the launch of the campaign have so far supported the training of 10 nurse midwives from Tanga (Kilindi) and 70 more are expected to be enrolled from Kilindi, Mtwara and Simiyu regions.  The training will be expanded to cover all regions of Tanzania mainland and Zanzibar, if we can mobilise adequate resources”.
Contributions to support this initiative will be received using the following channels: 

  • Mpesa number +255 752 167286 or,
  • Deposit your contribution in our National Bank of Commerce (NBC), Corporate Branch, account number 0111030004548
  • Purchase a table of 10 at USD 1,500 at the fundraising event
“The expected guest of honour will be His Excellency Dr Jakaya Mrisho Kikwete the President of the United Republic of Tanzania. The event is expected to bring together senior government officials, development partners, Corporates, interested public and the media. All proceeds from this event will go towards supporting the aforementioned objective”, he added.

AMREF has been active for the last 57 years striving to create a healthy generation. Last year in May 15th 2012, we launched the Stand Up for African Mothers campaign and rallied all to join hands to improve the quality of maternal and child health care services .  To achieve this, we need to upgrade the skills of 2,800 existing health workers using eLearning and an additional 1,000 nurse midwives through pre-service training by 2015.

This will contribute to the country’s efforts to achieve MDG5 by increasing the number of skilled birth attendants.  We are appealing to all Tanzanians, to join in the various fundraising activities that will kick off starting with the major one that will be held on 11th October at the Serena Hotel.  

For further enquiries, please call Montage Limited on 0685701269/270/298/289 or email info@montaget.com

Kova awatahadharisha wananchi kutokubeba fedha nyingi

$
0
0
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Suleiman Kova,akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na Watanzania kuacha utamaduni wa kubeba pesa nyingi badala yake watumie mfumo wa kielektroniki wa M-PESA kwani ni sehemu ya maisha ya mtanzania kwa sasa,wengine kutoka kushoto ni wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.

========   =======  =========
 Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Suleiman Kova, amewataka wananchi wenye mazoea ya kubeba fedha nyingi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kuacha tabia hiyo kutokana na sababu za kiusalama.



Kamishina Kova ameyasema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi kuu za polisi kanda maalum ya Dar es Salaam huku akitanabaisha kuongezeka kwa matukio ya watu kuporwa fedha wakiwa wanaelekea au wanatoka katika mabenki na wakati mwingine kutokea kwa vifo.



"Jeshi la polisi linafanya jitihada kubwa kukabiliana na uhalifu wa aina mbalimbali, tunataka wananchi watupe ushirikiano ili tuweze kupunguza matukio ya uhalifu, Kazi kubwa ya polisi ni kuzuia uhalifu na sio kupambana na uhalifu hivyo wananchi wanatakiwa wawe wa kwanza kuzuia uharifu usitokee". Alisema Kova na kuongeza.

"Kwa wadau mbali mbali katika kuhakikisha usalama wa raia wa nchi leo tunayofuraha kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kupitia huduma ya M pesa katika kuleta suluhisho la uvamizi kwa watu wenye mazoea yakubeba fedha nyingi kutoka sehemu moja kwenda nyingine,"



Alisema kuwa kuna watu wanadhani kuwa na fedha nyingi ndani au kubeba fedha nyingi ni ufahari, "Kuna watu wanatabia za kushangaza sana, mtu anafurahi kubeba pesa nyingi  akijiona ni ufahari na hata wakati mwingine kuwaita watu na kuwaonyesha pesa zao ili wawaogope au kuwasifia utamaduni huo umepitwa na wakati."

Kova alisema jamii ya sasa inatakiwa kutoka katika mfumo wa matumizi ya fedha taslim, (Cash Sosiety) na kuwa jamii yenye matumizi ya fedha kwa njia za Ki elektroniki (Cashless Society) Ili kuokoa trasilimali za jeshi la polisi na vifo visivyo vya lazima kwa askari au raia.



"Katika usindikizwaji na polisi kunaweza kukatokea uvamizi ambao unaweza kuleta mapambano na hatimaye kusababisha vifo, "Nawasihi wote mtumie mfumo huu maalum wa M pesa katika kuhifadhi pesa zenu na katika kuwalipia wafanyakazi mishahara yao na hata magawio mengine kwasababu ndio njia yenye usalama zaidi kuliko kutoa fedha benki na kutembea nazo. 

Kwa kufanya hivyo mtakuwa mmelisaidia jeshi la polisi katika operesheni zake kwasababu ni mfumo wa kiusalama zaidi hivyo kupelekea uhalifu kupungua na kutupunguzia sisi gharama za operesheni zetu katika kuhakikisha usalama wa wananchi." Kwa upande wake Mkuu wa Ukuzaji wa Biashara M-Pesa, Jackson Kiswaga alifafanua zaidi mfumo huo unaotumia M-Pesa kufanya kazi.



"Mfumo huu mpya wa kielektroniki wa kulipa mishahara na magawio kwa njia ya M-Pesa ni rahisi na ya haraka zaidi. Kitakachofanyika hela zitatumwa kutoka akaunti yako ya benki kwenda kwenye akaunti inayoitwa Fast Account ambayo ni ya M- Pesa alafu kwenda kwenye akaunti ya kawaida ya M-Pesa na hapo ndipo unaweza kulipa wafanyakazi wako kwa kuandika tu majina yao nambari zao za simu na kiasi kisha kubonyeza kitufe cha kutumia," alisema Kiswaga.



Alimalizia kwa kusema kuwa kwa mfumo huu unaweza kulipa wafanyakazi zaidi ya mia mbili kwa wakati moja na vilviele kwa wafanyabiashara wanaoingiza zaidi ya billioni moja wanaweza wakajiunga na M-Pesa daraja la tatu (level three)  na kujiwekea fedha zao kwenye akaunti ya M-Pesa na ataweza kulipa shilingi milioni kumi na mbili kwa wakati mmoja na milioni 50 kwa siku.

Mwanajeshi wa Tanzania auwawa na waasi wa M23

$
0
0
Wakati  huo  huo, Rwanda  imezuwia pendekezo lililotolewa  na  Marekani  na  Ufaransa  kuweka  vikwazo dhidi  ya  makamanda  wawili waandamizi katika  kundi  la waasi  la  M23, ikidai  kuwa ushahidi  dhidi  ya  watu  hao ni dhaifu.

SOURCE:BOFYA HAPA

MSAADA WA MFALME QABOOS KWA SMZ

$
0
0
Na Kassim Ali na Amina Abeid (ZJMMC)

Sultan Qaboos wa Oman ametoa msaada wa Riali milioni tatu na laki moja za nchi hiyo kwa ajili ya  ujenzi wa Msikiti mkubwa  utakaojengwa katika  eneo la Chuo cha Kiislamu Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar.

 Akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Mazizini,  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamhuna amesema ujenzi  wa msikiti huo unatarajiwa kuanza  wakati wowote baada ya kutiwa saini makubaliano ya msingi kati ya Zanzibar na Oman.

Amesema msikiti huo, pamoja na shughuli za ibada, pia  utakuwa  ni chimbuko la kuanzishwa Chuo Kikuu cha Kiislamu Zanzibar na kufanikisha azma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar marehemu Abeid Amani karume aliependekeza kujengwa Chuo Kikuu cha Kiislamu katika eneo hilo alipokifungua chuo hicho.

“Maandaliz yote ya kujengwa msikiti huu yamekamilika na utakuwa na sehemu ya kusalia wanawake na wanaume, madarasa sita ya kusomea, chumba cha Kompyuta na  maktaba ya kisasa,” alieleza Waziri wa Elimu.

Akizungumzia msaada wa masomo ya Elimu ya juu uliotolewa na Mfalme Qaboos (Sultan Qaboos Academic Fellowship) kupitia Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) amesema umeanza kuleta mafanikio na wanafunzi wa kwanza 16 wataanza kufaidika na msaada huo mwaka huu.

Amesema wanafunzi tisa watasoma Digree ya tatu na saba watachukua Digree ya pili katika fani walizoomba na  watajiunga  kwenye  vyuo vikuu vya  nchi tofauti duniani.  
 
Ameongeza kuwa awali Wazanzibari 170 walipeleka maombi ya kupatiwa nafasi hizo kupitia mtandao na baada ya mchakato uliofanywa na kamati mbili zilizoundwa kushughulikia maombi hayo, waliobahatika ni watu 16.

Waziri Shamhuna amewatoa wasi wasi wananchi kuwa  hakukuwa na upendeleo wa aina yoyote katika kuwapata wanafunzi hao na kila kitu kilifanywa kwa njia ya mtandao.

“Tumekataa suala la ujomba au ushangazi katika nafasi hizi, tumetumia mtandao kuwapata wanafunzi bora na hao ndio waliofaulu kutokana na masomo waliyoomba na sifa walizanazo,”alisema Shamhuna.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali amesema hivi sasa wanaendelea kuboresha masomo ya sekondari na hivi Karibuni watakwenda Oman kuzungumzia  suala hilo ili kupata wanafunzi wengi zaidi wenye sifa za kujiunga kupitia msaada wa mfalme Qaboos.

“Elimu ya  ya juu haifikiwi mpaka wapatikane wanafunzi bora kutoka sekondari kwa hiyo ni lazima tujadili vipi tatawaboresha wanafunzi wa Sekondari,” alisema  Waziri wa Elimu.

Amesema Oman na Zanzibar zimekuwa na mashirikiano makubwa katika nyanja mbali mbali ikiwemo Elimu na imefadhili Kongamano la Kimataifa litakalo zungumzia Ustaarabu wa Kiislamu katika nchi za Afrika Mashariki litakalofanyika kuanzia tarehe 2 hadi tarehe 4 mwezi ujao Nungwi, Mkoa wa kaskazini Unguja.

Kongamano hilo limendaliwa na Taasisi ya Tafiti za Historia na Utamaduni ya Jumuia ya Nchi za Kiislamu Duniani kwa ushirikiano na Mamalaka ya kumbukumbu na nyaraka ya Falme ya Oman na wenyeji wa kongamano hilo ni Wizara ya Elimu Zanzibar ikishirikiana na SUZA.

Shamhuna ameongeza kuwa  Kongamano hilo litahudhuriwa na washiriki 170 kutoka Nchi 18 zikiwemo za Falme za Kiarabu, Mashariki ya mbali, Afrika Mashariki na Kati nchi za kusini mwa Afrika, Marekani na Ulaya.

Kongamano hilo litafunguliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohammmed Shein litafungwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt Mohammed Gharib Bilal tarehe 4/9/2013.
                                           Mwisho
IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR



Kigoma All Stars-Lekadutigite kufanya ziara kubwa nchini Rwanda,DRC-Congo,Kenya na BUrundi

$
0
0
Pichani wa tatu shoto,Mratibu wa  Kigoma All Stars-Lekadutigite,Bwa. Sam Odera akimkabidhi kiasi cha fedha Bi.Aisha Amri kwa ajili ya kusaidia Watoto Mayatima wa Burundi,tukio hilo fupi limefanyika leo jijini Dar.Shoto ni wanaoshuhudia tukio hilo ni Bwa.Omar Mwinyi,Manira Mbona na mwisho kabisa kulia ni Maimuna Msangi.Kundi la Kigoma All Stars-Lekadutigite linaloundwa na wasanii mbalimbali mahiri akiwemo Dimaond,Ommy Dimpo,Chege,Baba Levo,Mwasiti Almas,Rachael,Abdul Kiba na wengineo wanatarajiwa kufanya ziara kubwa ndani ya nchi ya Tanzania,Rwanda,DRC-Congo,Kenya pamoja na Burundi

IGP MWEMA AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA MTWARA NA VIWANJA VYA NDEGE

$
0
0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
              JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu “MKUUPOLISI”                                                                                                                                                                 Ofisi ya  Inspekta  Jenerali wa Polisi,
Simu : (022) 2110734                                                                                    Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556                                                                                                           S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja:                                                                                       DAR ES SALAAM.
                                                                                                 29/08/2013
IGP MWEMA  AWABADILI MAKAMANDA MTWARA NA VIWANJA VYA NDEGE

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa Mikoa na Vikosi.
Mabadiliko hayo ni pamoja na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara  Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Linus Sinzumwa ambaye amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Idara ya Upelelezi  na nafasi yake inachukuliwa na Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Zelothe Stephen  kutoka Makao Makuu ya Polisi.
Aidha, aliyekuwa Kamanda wa Polisi  Viwanda vya ndege Kamishina Msaidizi (ACP) Deusdedit  Kato amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi  na nafasi hiyo inachukuliwa na Kamishina  Msaidizi wa Polisi (ACP) Selemani Hamisi kutoka Makao Makuu Idara ya Upelelezi.
Wengine ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Hamad Hamad anayeenda kuwa Mkuu wa Upelelezi Viwanja vya ndege ambapo hapo awali nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na David Mwafwimbo aliyehamishiwa mkoani Lindi kuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lindi (OCD).
Uhamisho huo ni wa kawaida kwa mujibu wa kanuni, taratibu na miongozo ya Jeshi la Polisi.
Imetolewa na:

Advera Senso-SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.

WARAKA WA MATUKIO CHUMA KWENDA KWA RAIS

$
0
0



Kwako Mheshimiwa Rais, Kwako JK, Kwako Nahodha wa Jahazi yetu,


Labda Mh Kagame alikimbilia jazba pia hasira kujibu hoja uliyoitoa haiyumkini hilo liwazi, lakini napambanua tu huku nikiwaza Nahodha, kabla ya kutoa kauli/hoja/ushauri ule je ulitumia wengi ulionao weledi kumshauri Mkubwa mwenzio? Je hoja hii ina uhusiano na Wakubwa waliofurika na kuleta mikataba ghafla?


Je mikataba hiyo ina uhusiano wowote na kujaribu kuiwahi fursa ya Jumuiya ilhali iwanufaishe wenye dunia????(Maana Iraq, Libya na hata Syria najiuliza tu.....Congo M23 imekuwa hoja leo???). 


Sitaki kulinganisha la kutoa ushauri kwa Mkubwa mwenzio mbele ya halaiki ikaitwa Dunia (kama hakukuwa na jitiahada zozote za kumshauri kabla) na yaleyale ya wale wasio na staha ya yatokeayo ndani wakayaweka barazani kabla ya kutafuta utatuzi ama USHAURI YAKINIFU ndani,


Nchi ZETU, Jumuiya YETU : Afrika Mashariki KWANZA,

Matukio-Amani OleAfrika Aranyande M Chuma

PRESIDENT KIKWETE ARRIVES IN AUSTRIA ATTENDS UN-EUROPEAN COMMISSION'S HIGH LEVEL RETREAT IN AUSTRIA

$
0
0
President Jakaya Mrisho Kikwete is received by the Mayor of Salzburg, Mr Wilfred Haslauer at the Salsburg Airport in Austria on Thursday August 29, 2013 ahead of a High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALISATION”. The retreat   is hosted and co-chaired by the President of the European Commission Mr Jose Manuel  Barroso and the UN Under-Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, Ms Valerie Amos. 
The Tanzania flag flies alongside others of different countries at the Alpbach resort in Austria at the opening of the  High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALISATION”. The retreat is hosted and co-chaired by the President of the European Commission Mr Jose Manuel  Barroso and the UN Under-Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, Ms Valerie Amos. STATE HOUSE PHOTO

Simply Madini acknowledge Miss Tanzania for charity give back project in Shinyanga

$
0
0
Simply Madini is a locally owned company, specializing in importing Fine Jewelry, Fashion Jewelry, Kids Jewelry and Watches from the US top jewelers and vend to Top Ladies here in Tanzania.

Simply Madini has been touched with Miss Tanzania involvement in charity/give back projects especially the recent one with the Abino kids in Shinyanga. ‘’To acknowledge her great job she has been doing we’ve awarded her with one of our Fine jewelry piece, ¼ ct tw white and black diamond jewelry 4-pc set’’ said Simply Madini representative Nasemba.


Simply Madini is wishing Miss Tanzania Good-Luck on the 63rd Miss World Grand Final taking place in Indonesia –September 2013.


Prepared by: Kikoi Innovative Media Ltd.

Viewing all 46362 articles
Browse latest View live




Latest Images