Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46362 articles
Browse latest View live

The Rights of Women in Islam

$
0
0
BISMILLAHI RAHMAAN, RAHIM.
 In the name of Allah, the Most Gracious, and the Most Merciful


Compiled by Leila Sheikh.

.


MANY issues are brought to light of the atrocities committed against Muslim Women on the mistaken belief that it is an Islamic Prescription. This is in contrast to the fact that the Koran strongly condemns all forms of oppression and injustice and that Islam is a Faith based on Peace.



Allah (SW) is protective of the downtrodden and oppressed classes of people and in fact favors women but Muslim societies in general based on cultural patriarchy and NOT on Islamic Thought and Practice, tends to be far more concerned with the control of women’s bodies; thoughts and action rather than with the Human Rights of Women as stipulated in the Holy Koran.


When women’s Rights are discussed by the Muslim Orthodoxy which is highly patriarchal for having integrated more`s and beliefs from their ethnic and cultural practices and which are NOT Islamic in origin and practice, women’s chastity is brought into focus, not their Right to Responsible Freedom.The Koran is particularly solicitous of domestic well being and development but despite this, Muslim Women have been the target of the most serious violation of Human Rights.

Very rarely is the Muslim ideal of Peace; Justice and Harmony practiced in Muslim households. Often in Muslim households, there is a vast discrepancy between what such households practice and what Muslims have been enjoined to practice in the teachings of the Holy Koran.


Such households most often have dominant male figureheads who mis interpret the Holy Koran whether deliberately or from what they hear and learn from the Ulamaa and who in turn carry baggage of cultural prejudice and practice having integrated such culture based prejudice against women in religious sermons to the extent, the lines between cultural practice and Islamic Thought; Practice and Jurisprudence has become blurred.

  
Male dominated Muslim societies having borrowed oppressive cultural practices from their ethnic groups and their natal specifics, keep asserting ”Islam has given more Rights to Muslim Women in comparison with other Religious Faiths” but in practice, keep women in physical; mental and emotional confinement thus depriving them of the opportunity to actualize their human potential. The majority of the Muslim Patriarchy sees Emancipated Muslim Women not as a symbol of modernity or development but as symbols of Westernization.


Traditional societies, which encompass a large Muslim populace, see the intrusion of women in the public sphere as an aberration and a disruptive influence and have used religion to segregate women, what some of us call religious apartheid, by stopping them from realizing their potential. This practice is un Islamic because curtailing the Responsible Freedom of a person is in contrast to the Human Rights which are emphasized in the Holy Koran.


In Islam, men and women are created from a single being with no particular emphasis on either sex. Contrary to popular belief that woman – Hawa/Eve committed the first sin, hence the concept of ‘The original Sin’, the Koran states that Adam and Hawa/Eve sinned together and both are ordered by Allah (SW) to repent and begin a life on earth, thus establishing that the punishment was meted out in equal proportion.


In Islamic Theology, Man and Woman have been created equal by God who in His Might and Wisdom is the ultimate Arbiter of value. There is absolutely no ambiguity in God’s Might and Wisdom though the sermons we are given, often based on oppressive traditional practices has capitalized on the notion of the original sin, the fall from Grace as having originated from woman and still seeks to punish woman for it.


The Koran stipulates that God’s Creation is ‘for just ends’ and not for idle sport and insists that Service to Humanity and Seeking of Knowledge for the good of the individual and the community is the path of the Righteous. The prevention and segregation of women seeking knowledge or from working for gain is a violation of the Muslim Credo.


Women are free to work and earn as a result of their work and no man- father; husband; brother or son has the right to control the earnings of a woman, this is so that Muslim Women may have financial independence which are human values on par with men. In the family sphere, the Koran has pointed differences but has also emphasized an equitable distribution of duties and responsibilities. Western scholars tend to mistakenly assert that Islam is discriminatory towards women on the Right to Inheritance without taking into account the fact that Allah (SW) has commanded men to protect women therefore, what a woman inherits would become her estate and what her brother(s) inherit should be used for the wellbeing of the family.

When a woman marries, irrespective of whether she is engaged in paid employment or not, her husband has to provide her with shelter; daily sustenance and gifts. Upon entering a marriage, a woman’s freedom to work or pursue of knowledge is not curtailed. The gifts that a husband bestows on his bride upon marriage should not be taken as ‘buying a wife’ or bride price but should be seen in the spirit it is given and it is given to the bride to dispose of as she wishes, not to her father as compensation. This gift is irrevocable in the advent of a divorce. The gift is also set by the bride and is not negotiable.

The Holy Koran stresses those gifts given to a wife by a husband should not be recalled.

There is a Decree in the Islamic Jurisprudence that a woman can claim payment from a husband for performing household chores and if she obtains a divorce, she has the Right to demand Compensation.


No man has the right to throw out his wife from the marital home, but he is commanded to move out of the marital home for three months and if reconciliation hasn’t taken place, and a divorce is decided, the man has to provide sustenance for a prescribed time or unless she marries another husband. The household items belong to the woman and as such, she can dispose of them as she sees fit.



A husband has to gift his wife with money and/or gold adornments for breastfeeding during the period prescribed in the Koran.

A woman has the right to ask for divorce on the grounds of mental or physical cruelty and a man does not have the right to revoke the gifts given during the period of the marriage.

A Muslim woman has the Right to use her clan/family name and cannot be forced to assume the clan/family name of the husband. Regarding polygamy, men have chosen to interpret it to suit their wants because although allowed in Islam, the Koran states that if a man does not have the financial means or the temperament to treat both wives equally, then it is better to remain with one.

Forced marriages are not legal in Islamic Sharia and a woman has the Right to choose a husband from among the Muslim community. Husbands are directed to treat their wives with kindness; Honor and Patience and in one Hadith, the Prophet Muhammad (SAW) in his last sermon, reminded men to “Fear Allah (SW) concerning women “For verily you (men0 have taken them on the Security of Allah (SW) and you have made their persons lawful unto you by the Words of Allah (SW). The Koran has stated that Muslim men and women should marry with peace and if there is need for a divorce, they should separate in peace.

Prophet Muhammad (SAW) had on various occasions spoken against the practice of emotional and verbal abuse by a husband to a wife and he is said to have abhorred wife beating, calling it “A shameful act”.


The Koran states that mankind be careful towards the wombs that bore them. Mothers are especially held in high esteem while the prophet said “Of the two parents, a mother deserves the higher honor and consideration”.



Some of the Human Rights stated in the Holy Koran

ü  That everyone has the Right to Life and Security: regardless of gender; class; color or age, meaning that the Koran does not create a hierarchy in which men are placed above women, nor does it put men against women in an adversary position.

ü  Everyone has the Right to Respect

ü  Everyone has the Right to Justice- two concepts are consistently used in the Koran for Justice and these are ‘Adil’ which is justice in the legal sense and which is represented by a scale which is equally balanced. While ‘Ihsaan’ goes beyond Adil and refers to the restoring of balance by making up for a loss or deficiency. The nature of Ihsaan is based on the nature of the ideal community- Ummah- which is a derivative of Umm meaning Mother. Thus the community or ummah is likened to a mother because communities should be supportive and nurturing.

 It should also be noted that the two symbols of maternal love and compassion are two attributes most characteristic of Allah (SW)- ‘Rahman’ and ‘Rahim’ both of which are derived from the root word ‘Rahm’ meaning womb. Thus an idea ummah/community cares about all its members just as a loving mother cares for all her children, knowing they may be different but deserve equal care and compassion.

ü  The Right to Freedom: A notable point is the Koran’s emphasis on freeing humans from ignorance; authoritarianism; tribalism; caste and slavery. In fact one way of atonement for a Muslim is to free a slave. Also, the greatest guarantee of personal freedom for a Muslim lies in the Koran decree that no being other than God can limit human freedom and that the ultimate judgment regarding what is right and what is wrong rests with God alone.

ü  In political matters, the Koran emphasizes on the Right of Mutual Consultation (Shura’a) and gives mandate to Responsible Dissent the status of a fundamental Right. The Koran also emphasizes that “There shall be no coercion in matters of Faith”.

ü  The Right to Privacy: The Koran recognizes the Right to Privacy as a Human Right and has laid down Rules in the individual’s life in the home from intrusion from within and without,

ü  The Right to Protection from Slander; Backbiting and Ridicule and that “No person be maligned on assumed guilt”.

ü  The Right to Knowledge which is a pre requisite for a Just world in which Peace and harmony can prevail.

ü  The Right to work and to sustenance which should be rightfully gained.


And Allah (SW) is the Judge above all Judges.

 References:

1.      The Holy Koran with translations by Yusuf Ali (English) and Saleh Farsy (Swahili).

2.      Women in Islamic Thinking (unpublished MS) by Dr. El Back- Adam Abdou Moumari University, Niamey.

3.      Rights of Women (unpublished MS) by Rifat Hassan.

4.      Polygamy in Islam by Dr. Jamal Badawy, published by International Islamic Publishing House.

5.      The Protection of Women in Islam by Salma maoulid, (unpublished MS).

6.      Dissolution of Islamic Marriages in Tanzania by AbdulRahman Kaniki, published in the Guardian/1995.

7.      Conversations with the late Sheikh Mahmud Kipengule and the late justice Ali Omar.

8.      The Rights of Women in Islam (unpublished MS) by Leila Sheikh for TGNP/GDSS.


About the writer

Leila is a writer; editor of books and magazines; researcher and producer of radio and television documentaries.


She is a Social Justice Defender and the owner of the consultancy firm, Studio Calabash.


WAKALA WA MAJENGO (TBA) KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA

$
0
0


Wakala wa Majengo (TBA), ulianzishwa mwaka 2002 kupitia Sheria ya Wakala Namba 30 ya mwaka 1997. Lengo la kuanzishwa TBA ni kutoa huduma bora na ya gharama nafuu ya makazi kwa watumishi wa umma na ofisi kwa Serikali na Taasisi zake.

Ikiwa ni taasisi muhumu ya Serikali iliyochini ya Wizara ya Ujenzi, TBA imeshiriki maonesho ya Wakulima maarufu Nane Nane ambayo hii leo yanafikia Kilele katika kanda mbalimbali na Kitaifa yanafikia Kilele katika Viwanja vya Nzuguni, mjini Dodoma.

Timu ya TBA iliyo katika banda lao Viwanja vya Nzuguni jana ilitembelewa na Blog hii na kuikuta ikiwa kamili katika utoaji huduma kwa wananchi ya nini ambacho TBA inakifanya kila siku katika utekelezaji wa shughuli zake.

Timu hiyo pichani kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Uhusiano, Mariam Lusewa, Meneja Miradi Maalum, Edwin Nnunduma, Afisa Miliki, Pendaeli Mhufu na Mhandizi Mazingira, Mtapuli Juma.
 Afisa Miliki, Pendaeli Mhufu (kushoto) akihudumia wananchi.
 Wageni wakisaini kitabu cha kutembelea banda hilo na kutoa maoni yao juu ya huduma.
 Kutoka Kulia ni Pendaeli Mhufu, Mariam Lusewa na Mtapuli Juma wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kuhudumia wananchi waliotembelea banda lao Nzuguni Dodoma.
 Kaimu Afisa Uhusiano, Mariam Lusewa akiwasikiliza mwananchi  aliyetembelea banda lao jana kupata taarifa mbalimbali.
 Meneja Miradi Maalum, Edwin Nnunduma pamoja na Kaimu Afisa Uhusiano, Mariamu Lusewa wakiwasikiliza wananchi na kuwapa maelezo ama majibu ya maswali yao.
Kaimu Afisa Uhusiano, Mariam Lusewa akimsikiliza mwananchi aliyetembelea banda lao jana kupata taarifa mbalimbali.

Tigo yakabidhi Bajaji kwa washindi saba wa droo ya tatu ya 'Miliki Biashara Yako'

$
0
0
 Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Khalid Shabani katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
 Washindi wa droo ya tatu wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ (kutoka kushoto) Bw. Sande Juma, Tito Mkude  na Iddi Zonki wakikagua Bajaji walizokabidhiwa kutoka kwa kampuni hiyo ya simu katika hafla iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.
Meneja Chapa wa Tigo, Bw. William Mpinga akihojiwa na Waandishi wa Habari katika hafla ya makabidhiano ya washindi wa promosheni 'Miliki Biashara Yako' iliyofanyika Soko la Nyuki, Tegeta jijini Dar es Salaam.

POLISI KUUKABILI UHALIFU KISASA ZAIDI

$
0
0
Mkurugenzi wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes (T) Ltd, Max Komba (wapili kulia-waliosimama), akikagua uchimbaji mtaro kwa ajili ya kutandika nyanya za mfumo wa mawasiliano kwenye kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam, jana, kuunganisha kwenye mkongo wa mawasiliano wa taifa. Kulia ni Mhandisi wa masuala ya ICT, Makao Makuu ya Polisi,  Mosses Maganza na watatu ni mhandisi wa Kotes (T) Ltd, Mohamed Sibuga.  

HABARI KAMILI
DAR ES SALAAM, Tanzania 
JESHI la Polisi nchini limechukua hatua za kujiimarisha zaidi katika kuukabili uhalifu kisasa zaidi kwa kuamua kuviunganisha vituo vyake vikubwa kwenye mtandao wa mawasiliano katika mkongo wa taifa. 

Kufuatia hatua hiyo, ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano hayo ya kuunganishwa kwenye mkongo wa taifa wa mawasiliano, umeshaanza kwenye vituo vikubwa vya polisi katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Zanzibara na jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari, jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Kotes (T) Limited iliyopewa na jeshi la polisi kutengeneza mindombinu hiyo, Max Komba, alisema, ujenzi huo ulianza kwenye Kituo cha Polisi Kurasini, Chuo Cha Polisi Chang'ombe na Oysterbay ambako ujenzi wake ulitarajiwa kukamilika jana.

Komba alisema, kampuni yake imepewa kufanya kazi katika mikoa hiyo kwa wiki tatu, tangu ilipoanza Julai 27 mwaka huu kwa mujibu wa mkataba, na ujenzi unatakiwa ume imekamilika ifikapo Agosti 20 mwaka huu.

Likizungumzia mradi huo, Jeshi la Polisi kupitia msemaji wake, lilisema, mradi huo ukikamilika utasaidia jeshi hilo kupunguza gharama na muda mwingi ambao limekuwa likilazimika kutumia katika kufuatilia kumbukumbu katika kuwatambua wahalifu.

Msemaji wa Jeshi hilo, Advera Senso, alisema, kupitia mtandao huo, vituo vilivyounganishwa vinaweza kupata taarifa na kuziona kwa wakati mmoja na kwa haraka zaidi,  jambo ambalo litawezesha kumbaini mhalifu haraka zaidi na kuwa na ushahidi wa kutosha baada ya kumnasa.

"Mradi huu ni miongoni mwa maboresho mengi tunayofanya katika jeshi la polisi ili kwenda na wakati. Hivyo baada ya kukamilisha kwenye vituo vyenye hadhi ya mikoa kipolisi, tunatarajia pia kushuka hadi ngazi za wilaya kulingana na mahitaji", alisema.

MR BLUE KATIKA SPORAH SHOW, LONDON

KILELE CHA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI DODOMA

$
0
0
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi. Seif Ali Idd (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa kwanza kundi la Sekta ya Mawasiliano, Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis wa Maonesho ya kilimo Nane Nane  wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma jana
 Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati, Mruta Hamis akiwa a kikombe chao cha Ushindi wa kwanza Sekta ya mawasiliano katika Maonesho ya kilimo Nane Nane  wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kitaifa Nzuguni Dodoma jana.

JAMBAZI SUGU LA ATM LANUSURIKA KUUWAWA JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0

Dar es Salaam. Msako wa wezi wa kwenye Mashine za Kutolea Fedha (ATM), umeanza kuzaa matunda baada ya raia wa Bulgaria kukamatwa akiiba kwenye ATM ya Bank of Africa (BOA), Tawi la Afrikana, Kinondoni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa za benki, mtuhumiwa huyo ambaye  hakutajwa jina lake alikamatwa baada ya kamera maalumu zilizowekwa kwenye ATM za BOA, kumtambua kuwa ni mwizi sugu wa benki hiyo anayetafutwa.

Mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo ambaye hakupenda kutajwa jina kwa kuwa si msemaji, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 12 asubuhi baada ya mtuhumiwa huyo kuwekewa mitambo maalumu ya kumnasa. Alisema benki hiyo ilipelekewa malalamiko na baadhi ya wateja kwamba wakienda kutoa fedha kwenye ATM wanakuta akaunti zao hazina salio wakati wanaamini zilikuwa na fedha.

Chanzo hicho cha habari kilidai kuwa baada ya kupelekewa malalamiko hayo, waliweka mitambo maalumu ya kuwawezesha walinzi wa maeneo ya ATM za BOA kumbaini mtu atakayetoa fedha kwa njia ya wizi. “Kama Benki tuliweka mtambo maalumu na mtuhumiwa huyo alionekana kwenye mtambo wetu, hivyo tuliwaagiza walinzi wetu watakapomwona mtu huyo wamkamate haraka sana,”alisema.

Alisema mtuhumiwa huyo alianza mchezo huo kwa muda mrefu ambapo kwa kutumia kadi za ATM zisizojulikana idadi yake, alikuwa anakwenda kwenye ATM mbalimbali za benki hiyo na kutoa fedha hadi Sh10 milioni.

Kuhusu tukio la jana, mmoja wa walinzi wa BOA aliyejitambulisha kwa jina moja la Frenky alisema mtuhumiwa huyo alipofika kwenye ATM hiyo aliingia na kuchukua fedha ambazo alizipeleka kwenye gari lake. Frenky alisema baada ya kupeleka fedha hizo, alirudi kwa mara ya pili ili achukue fedha nyingine ndipo walinzi hao walimkamata na kumfunga pingu.

“Huyu mtuhumiwa mwenye asili ya Kiarabu alifika na gari lake saa 12 asubuhi, aliingia kwenye ATM na kutoa fedha ambazo hazikujulikana ni shilingi ngapi na kuzipeleka kwenye gari lake, baadaye alirejea tena kwa ajili ya kutoa fedha zingine, wakati anaingia ndipo alipokamatwa na mlinzi aliyekuwa analinda hapo,” alisema Frenky.

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Camilius Wambura alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa anashikiliwa na jeshi hilo huku uchunguzi dhidi yake ukiendelea. “Ni kweli taarifa nimezipata, mtuhumiwa amekamatwa, bado hatujajua ni kiasi gani ambacho ameiba kwa kutumia mtandao, tunaendelea na uchunguzi,” alisema Wambura.

Tukio kama hili lilishawahi kutokea mkoani Mwanza Februari 19 mwaka huu na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na maofisa ya Benki ya NMB liliwatia mbaroni watu watatu ambao walidaiwa kuiba kiasi cha Sh700 milioni kwa nyakati tofauti.
NA VIJIMAMBO  BLOG

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURISHA CHAKECHAKE PEMBA

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakati wa hafla ya futari ya pamoja aliyoiandaa katika Makazi yake Ikulu ndogo Mjini Pemba jana Agosti 7, 2013. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki futari ya pamoja na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, aliyoiandaa katika Makazi yake Ikulu ndogo Mjini Pemba jana Agosti 7, 2013.
 Baadhi ya wananchi wa Pemba walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni wake baada ya kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika makazi yake Ikulu ndogo mjini Pemba, jana Agosti 7, 2013. Picha na OMR

BENKI YA FBME YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA SIKUKUU YA IDD

$
0
0
 
.Meneja wa benki ya FBME LTD mkoa wa Arusha Ramadhani Lesso  akikabidhi misaada mbalimbali kwa mama mlezi wa kituo cha watoto yatima cha Abu-Abdulrahamani kilichopo Jr  jijini Arusha leo kwa ajili ya sikukuu ya Idd El Fitiri,misaada hiyo inadhamani ya shilingi laki saba na nusu kwa vituo viwili pamoja na cha Matonyok kilichopo Olasiti.
 Meneja wa benki ya FBME LTD mkoa wa Arusha Ramadhani Lesso  akikabidhi misaada mbalimbali kwa mama mlezi wa kituo cha watoto yatima cha Matonyok kilichopo Olasiti Bi.Emmy Sitayo kwa ajili ya sikukuu ya  Idd El Fitiri,misaada hiyo ina thamani ya shilingi laki saba na nusu kwa vituo viwili pamoja na cha Abu-Abdulrahamani kilichopo Jr  jijini Arusha.
Afisa wa benki ya FBME LTD, Mnukwa Ally akiongea na watoto waishio katika mazingira magumu katika kituo cha Matonyok kilichopo Olasiti,mara baada ya kukabidhi misaada mbalimbali  iliyotolewa na benki hiyo kwaajili ya sikuu ya Idd El Fitiri.Picha na Pamela Mollel.

========  =======  ======
Na Pamela Mollel,Arusha

JAMII nchini imeaswa kuwajali watoto waishio katika mazingira magumu na wale walioko kwenye vituo vya kulelea watoto yatima kwa kuwapatia misaada mbalimbali ili waweze kuishi kama watoto wengine waishivyo majumbani 

Rai hiyo ilitolewa jana na Meneja wa  FBME Benki LTD mkoa wa Arusha Ramadhani Lesso wakati akikabidhi misaada mbalimbali ya vyakula kwaajili ya sikukuu ya Idd El Fitiri katika vituo viwili vya kulelea  watoto yatima cha Matonyok kilichopo Olasiti na kituo cha Abu-Abdulrahamani kilichopo Jr jijini Arusha

Alisema ni vyema jamii ikatambua uwepo wa watoto waishio katika mazingira magumu na wale walioko kwenye vituo, kwa kuwapatia mahitaji mbalimbali kama wanavyopata watoto wa majumbani kwani ni haki yao ya msingi na kuondokana na tabia mbaya ya kuwanyanyapaa na kuwaona ni mzigo kwa jamii

“Tukiwajali hawa watoto hata kwa Mungu tunapata dhawabu kwani wengi wao hawajapenda kuwa katika mazingira haya,wengine wamefiwa na wazazi wao hivyo kujikuta wakiwa watoto wa mitaani”alisema Lesso

Aidha alitaja moja ya sababu iliyowafanya kutoa msaada huo ni pamoja na kuguswa kwa hali ya watoto waishio katika mazingira magumu hivyo kuamua kutoa faida kidogo waliyopata kama benki ili wawezekurudisha katika jamii

Meneja huyo alikabidhi misaada yenye dhamani ya  shilingi laki sabana na nusu katika vituo viwili ambapo kila kituo walitoa sukari,mafuta ya kupikia,mchele,sabuni za kufulia,madaftari na penseli

Mlezi katika kituo cha Matonyok kilichopo Olasiti chenye watoto(40) Bi.Emmy Sitayo  na Mlezi wa kituo cha Abu-Abdulrahamani chenye watoto(21) kilichopo Jr ,  Mama Abdulrahamani kwa nyakati tofauti walishukuru benki hiyo ya FBME kwa kuwakumbuka kipindi hichi cha sikukuu ya Idd na kuwataka makampuni na jamii kuiga mfano huo huku wakitaka  zoezi hilo liwe endelevu kwa watoto yatima na wasiojiweza.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA IDDI KITAIFA KESHO, AFUTURU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA TABORA JIONI HII.

$
0
0
 Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika Ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni. Picha na OMR. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo leo jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage. Picha na OMR

MBUNGE WA TEMEKE, MTEMVU AFUTURISHA DAR

$
0
0
 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula  futari iliyoandaliwa na Mtemvu kwa waumini mbalimbali juzi jijini Dar es Salaam.
 Wageni waalikwa wakipata futari kwenye mgahawa wa City Garden, Gerezani, Dar es Salaam

                                                       Akina mama wakipata futari.

                                                              Acha tupate futari ya mwisho mwisho

 Sheikh wa Msikiti wa Azimio, Tandika Dar es Salaam, akitoa mawaidha wakati wa futari hiyo
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akitoa salmau za serikali wakati wa futari hiyo.
 Mtemvu akimpongeza DC wa Temeke, Sofia Mjema. Kulia ni mkewe Mtemvu
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akizungumza na wanahabari wakati wa futari ambapo alisisitiza wanachi kudumisha amani nchini.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Ujumbe wa wawekezaji toka Japan watembelea TPA

$
0
0
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imejipanga vizuri kuhudumia wateja wote wa ndani na wa nje ili kufikia malengo hayo .TPA inakaribisha wawekezaji binafsi ili kushirikiana katika kuendeleza na kujenga miundombinu ya Bandari zetu.

SWALA YA IDD KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR LEO

$
0
0
Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akiswalisha Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakishiriki kwenye Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akitoa hotuba wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akiwa akiwa ni miongoni mwa waumini wa kiislam walioswali swala ya Idd el Fitr,kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
 Waumini.
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akitoa nasaha zake mara baada ya Swala ya  Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
 Sheikh akisoma Dua.
 Mkono wa Idd el Fitr.
Sie tukiwa na Bi. Mkubwa mara baada ya Swala ya Idd.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA SIKUKUU YA IDDI KITAIFA MKOANI TABORA

$
0
0
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu maalum za Sikukuu ya Iddi baada ya Swala iliyofanyika Kitaifa Mkoani Tabora katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi leo, Agosti 9, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Swala ya Iddi iliyofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo Agosti 9, 2013

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa sita kutoka kulia), akishiriki na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.



  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
   Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013. Picha n0a OMR
    Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013. Picha n0a OMR.

KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUU YA IDDI WATANZANIA WAMEOMBWA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO HAPA NCHINI

$
0
0
Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa kibaha Njuweni Pamoja na Mke wake Mama Mfinanga wamewaomba  Watanzania   kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zetu za kidini kisiasa kwani kufanya hivyo mwenyezi mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo  hapa nchini  kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo na utii

Tamasha kubwa la muziki wa Injili kufanyika Washington DC kesho

$
0
0
Waimbaji wanaofanya vema kwenye muziki wa Injili Afrika Mashariki, Upendo Kilahiro na Christina Shusho, watatumbuiza katika Tamasha kubwa la Injili litakalofanyika Jumamosi hii jijini Washington DC
Kama walivyoongea kwenye VIDEO HII, waimbaji hao wamekamilisha maandalizi ya tamasha hilo ambalo pia litashirikisha waimbaji wenyeji wa hapa Marekani.
Tamasha hilo kubwa lililo sehemu ya Maadhimisho ya miaka mitano ya kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries litafanyika siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi kamili mpaka saa tatu usiku (6:00pm - 9:00pm) na kiingilio kwenye tamasha hilo kitakuwa ni dola kumi ($10) kwa watu wazima, bure kwa watoto.
Anwani ambapo litapofanyika tamasha hilo ni
The Way of the Cross Gospel Ministries
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na
Mch. Ferdnand Shideko +1 240 476 6718 ama
Ms Flora Mnkande +1 240 217 6335
Waimbaji hawa wote watatumbuiza nyimbo zao za zamani na mpya na wanawaalika watu wote kujumuika nao na waimbaji wenyeji kuweza kupata BARAKA kwa njia hii ya uimbaji

RAIS dkt SHEIN AHUTUBIA BARAZA LA IDD LEO.

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia Wananchi katika Baraza la Idd lililofanyika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. 
 Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab akiomba dua baada ya kumaliza hutba ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein aliyoitoa katika Baraza la Idd Bwawani mjini Zanzibar,kulia ni Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd. 
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa Mkono wa Idd kwa Watoto na Watu wasiojiweza katika hafla iliyofanyika Ofisi kwake Ikulu mjini Zanzibar.
 Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Zanzibar Dkt. Abdulhamid Mzee kushoto na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud pamoja na Viongozi wengine wakipata Dhifa iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein baada ya Baraza la Idd Bwawani mjini Zanzibar. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kulia akipata Dhifa aliyoindaa baada ya Baraza la Idd huko Bwawani,katikat ni Makamu wa Kwanza wa Ris Maalim Seif Sherif Hamad na kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Aman Abeid Karume.


Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria Baraza la Idd wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo huko Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
========    =========  =============
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa Serikali itafanya kila iwezalo kuwakamata na kuwapeleka katika Vyombo vya sheria Watu waliohusika kuwamwagia Tindikali Raia wawili wa Uingereza hivi karibuni.

Amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama viko Imara na kwamba vitaendelea kulinda amani ya Nchi ikiwemo kuwabaini Wahalifu wote na kuwapeleka katika Vyombo husika.  Dkt Shein ameyasema hayo leo alipokuwa akiwahutubia Wananchi kupitia Baraza la Idd lililofanyika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.

Amesema kwa mara ya pili kila inapokaribia Sherehe za Sikukuu kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya kihalifu na kuongeza kuwa kila aliyehusika hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake. “Vitendo hivi si uungwa ni Ukatili, hatutawatia hatiani Wasiohusika lakini kila aliyehusika hatutamsamehe” Alionya Dkt Shein.

Aidha Dkt. Shein amelaani kushamiri kwa Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji hasa kwa Watoto ambapo jumla ya Watoto wakike 480 Zanzibar wamebakwa katika kipindi cha mwezi Julai 2012 hadi Aprili mwaka huu.

Amesema hilo ni jambo la kushtua sana na kwamba wakati umefika kila mmoja kuchukua hatua zinazofaa kudhibiti hali hiyo. Dkt Shein ametoa wito kwa Wananchi na Viongozi wote kuendelea kupendana bila kuchukiana na kulinda Amani, Umoja na Kuvumiliana kwa manufaa ya Zanzibar.

Amesema panapotokea tofauti za hoja kuhusu suala la Maendeleo ya Nchi jambo la busara ni kuzungumza na kujadili kwa kuzingatia sheria zilizopo kwa manufaa ya Zanzibar. Dkt Shein ametoa Shukrani kwa Jeshi la Polisi kwa kudumisha hali ya amani katika kipindi chote cha Mwezi wa Ramadhani na kulitaka Jeshi hilo lizidishe juhudi zake kipindi cha Sherehe za Idd na siku za usoni.

Kabla ya Baraza la Idd Dkt Shein alitoa Mkono wa Idd kwa Wazee na Watu wasiojiweza katika hafla iliyofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

SUMASESU NA UNICEF ZAMALIZA UTAMBULISHAJI WA MRADI WA VIJANA MAKETE

$
0
0

Na James Festo, Makete

Shirika lisilo la kiserikali la Suport Makete to self suport SUMASESU la wilayani Makete kwa ufadhili  wa shirika la Misaada Duniani UNICEF limemaliza  Utambulishaji wa mradi wa vijana  wa Makete na Mapambano  dhidi ya maambukizi mapya ya virusi  vya ukimwi katika kata tano  za wilaya ya makete hapo jana.

Utambulishwaji huyo wa mradi huo uliwashirikisha  viongozi mbalimbali wa ngazi ya kata hadi vitongoji pamoja na vijana watatu kutoka katika kila kijiji kinachonufaika na mradi huo kwa lengo la kuwaandaa vijana hao kuwa waelimisha rika  katika  sehemu wanazoishi ili kuweza kupunguza maambukizi  mapya ya virusi vya ukimwi na unyasaji wa kijinsia.

Akiongea katika kikao cha utambulishaji  wa mradi huo mwezeshaji kutoka shirika hilo la SUMASESU bw Faustin Mwenda alisema kuwa mradi huo umelenga kuhamasisha vijana kuweza kujua afya zao ambapo  kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2011 kutoka kwa mganga mkuu wa wilaya ya makete inasema kuwa vijana wenye umri wa kuanzia  miaka 15-24 wanachangia idadi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia 8.9% 

Pia mwezeshaji huyo kwa kushirikiana na mwezeshaji mwenzake bi.Anipha Mwakatalima  waliongeza kuwa  katika mradi huo utakaodumu kwa miaka miwili  utaambatana na matamasha mbalimbali ya michezo na  sinema pamoja na maiigizo katika vijiji 20 kutoka katika kata za isapulano,Iniho,Ipelele,Kitulo, na Iwawa ambapo Kikao cha mwisho kilifanyika hapo katika ukumbi wa kata hiyo ya Iwawa.

Akijibu maswali ya viongozi wa vitongoji pamoja na wa Kijiji Bw Mwenda alikiri kuwa Katika miradi mingi ambayo wamekuwa wakifanya hasa ile ya kutoa elimu kwa jamii  wapokeaji wa elimu wamekuwa nao wakihitaji posho 

 katika sehemu tulizopita tumekutana na changamoto hii kuna wapokeaji wa elimu wanataka na wao kulipwa posho.... najua kwamba ni vigumu kumlipa kila mtu hata aliyepo katika mradi huu lakini sisi kama SUMASESU hatupo tayari kununua ushiriki wao... alisema bw.Mwenda 

Pia mwezeshaji hiyo  amliwaomba wenyeviti wa vijiji na vitongoji wa kuweza kutoa ushirikiano wa kutosha  kwa vijana hao ikiwa pamoja na kuwatambulisha  katika mikutano  vijiji wanamotoka ili kuweza kufahamika kiurahishi na kurahisisha kazi yao.

Akiwasomea baadhi ya vigezo ambavyo vijana wanatakiwa kuwa navyo ili kuweza kujiunga na mradi huo alisema kuwa kijana anatakiwa kuwa na umri wa miaka 15 hadi 24 ilikuweza kusambaza elimu hiyo ipasavyo kutokana lengo la mradi huo.  

kwa upande wake Diwani wa kati ya iwawa Bw Benjamin Mahenge wakati akifunga kikao hicho aliwataka vijana hao kuonyesha ushirikiano wa kutosha kwa shirika hilo ili kupunguza maambukizi ya ukimwi   wilayani hapa.

Kikao hicho kilichofanyika katika kila kata zinazotarajia kunufaika na mradi huo na kumalizaka katika kata ya Iwawa wilayani hapa kilihudhuliwa na mtendaji wa kata hiyo ya iwawa bw Festo msigwa,watendaji na wenyeviti wa vijiji,wenyeviti wa vitongoji pamoja na   vijana walioteuliwa na vijiji vyao.

Jose Chameleon kutumbuiza Dar kesho-Eid Pili Escape one.

$
0
0
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda , Dr. Jose Chameleon anatarajiwa kufanya onyesho kali kesho kwenye ukumbi mpya wa burudani wa Escape Complex.


Chameleon, ambaye ndie mwanamuziki mashuhuri kuliko wote kwenye ukanda huu wa Afrrika Mashariki anatarajiwa kukonga nyoyo za wakazi wa Dar es Salaam kwa kuimba nyimbo zake zote kali, ikiwemo Valuvalu.

Usiku huo wa Chameleon utaenda sambamba na burudani kali kutoka kwa MA DJ wakali, DJ Pac na DJ Senorita ambao watafanya show ya utangulizi.

Akizungumzia burudani hizo, Meneja Uendelezi wa Biashara wa Escape Complex, Anthony David, alisema watu watarajie burudani kali siku ya jumamosi hasa kwa kuwa sherehe hizo zitaenda sambamba na sherehe za Eid za pale Escape Complex.

‘Kama lilivyo jina lake, Escape ni mahali ambapo mtu anakuja kupumzika kukwepa mihangaiko ya kila siku, iwe kikazi au kimaisha, lakini Eid hii tumeandaa burudani hii ili kuwapa wakazi wa Dar es Salaam kitu tofauti’ anasema Anthony.

Mbali na Chameleon siku ya jumamosi, Escape Complex imeandaa burudani siku ya Eid Mosi, ambapo DJ maarufu Boni Luv atatoa burudani kali, na siku ya Jumpili, bendi inayokuja kwa kasi Skylight, itawaburudisha wapenzi wake kuanzia asubuhi ili kuimaliza wikiendi ndefu.

Escape Complex, ambayo ipo Mikocheni/Kawe karibu nyuma ya ukumbi wa Safari Carnival, ni Club mpya ambayo inapendezeshwa na ufukwe pamoja na mandhari ya kuvutia, pamoja na chakula kizuri kwa wateja wake.




Mashabiki wa Chameleon watalipia shilingi elfu kumi na tano ili kuburudishwa na mwanamuziki huyo mashuhuri. Na VIP watalipa elfu 40,000/= ikiwemo kinywaji cha bure pamoja na nafasi ya kumuona msanii huyo baada ya maonyesho.

HOLLYWOOD CELEBRITY KARLIE REDD EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV

$
0
0
  Mcheza sinema, TV personality, Nyota anayeng'ara wa Love & Hip Hop Atlanta, Mwimbaji , Mmiliki wa Biashara za Nywele, Mtu maarufu Karlie Redd aanika mikakati yake na AFRICA SWAHILI MEDIA GROUP. Usikose kuangalia Interview hii, katika blog yetu www.swahilitv.blogspot.com
Viewing all 46362 articles
Browse latest View live




Latest Images